Online Document)

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Online Document) Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _______________ MAJADILIANO YA BUNGE _______________ MKUTANO WA KUMI NA MBILI Kikao cha Nane – Tarehe 5 Septemba, 2013 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tukae. Hiki ni Kikao cha nane cha Mkutano wetu wa kumi na mbili. Nawakaribisheni nyote, Katibu. MASWALI KWA WAZIRI MKUU NAIBU SPIKA: Maswali kwa Mheshimiwa Waziri Mkuu. Nina orodha ya Wabunge 15 kama ambavyo nimekuwa nikisisitiza ni vizuri yeyote atakayepata nafasi kuuliza swali aulize kwa kifupi iwezekanavyo, kama kuna la nyongeza vile vile kwa kifupi iwezekanavyo ili kuwapa nafasi Wabunge wengine wenye nia ya kuuliza maswali. Kama ilivyo ada tunaanza na Mheshimiwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni endapo ana swali. 1 Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) MHE. FREEMAN A. MBOWE: Mheshimiwa Naibu Spika nakushukuru kunipa nafasi ya kumwuliza Mheshimiwa Waziri Mkuu swali. Mheshimiwa Waziri Mkuu nchi yetu sasa iko katika kipindi kigumu ambapo Taifa linashiriki mchakato wa kuipata Katiba mpya ya Taifa letu. Ni dhahiri kwamba mchakato wa kuipata Katiba mpya unahitaji ustahimilivu, ushirikiano, uwazi, ukweli, dhamira njema na kipekee sisi ambao ni Wabunge ndani ya Bunge hili tunatambua na tunastahili kutambua kwamba wako wadau wengi sana nje ya Bunge hili ambao nao ni wadau kama sisi katika mustakabali mzima wa Katiba. Mheshimiwa Waziri Mkuu, kwa matukio ambayo yalitokea juana ndani ya Bunge lako, panaonekana kuwepo ufa mkubwa ambao unaweza ukafanya dhamira njema ya kuiandika upya Katiba ya Taifa letu ikapata ufa mkubwa katika hatua hii ya kutunga na kurekebisha Sheria hii. Mheshimiwa Waziri Mkuu Mkuu, wewe kama kiongozi wa Serikali Bungeni, ambayo Serikali yako ndiyo imeleta Muswada ulioleta sintomfahamu iliyotokea jana. Unatoa kauli gani kwa Watanzania kuhusiana na sintomfahamu hii? (Makofi) NAIBU SPIKA: Naomba utulivu. Mheshimiwa Waziri Mkuu, majibu. WAZIRI MKUU: Mheshimiwa Naibu Spika, Bunge hili ndiyo limepewa mamlaka ya kutunga Sheria. Serikali 2 Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) inacholeta ni mapendekezo. Yanaweza kuwa ni mapendekezo yanayohusu Sheria, yanaweza kuwa ni mapendekezo yanayohusu Marekebisho ya Sheria. Mapendekezo hayo ndiyo maana yanapita kwenye hatua mbalimbali. Kuna hatua ya ushirikishwaji wa wananchi kwa kupitia Public Hearing lakini kubwa tunapokuja hapa matarajio ya wananchi ni kwamba Wabunge tuliyomo humo ndani tutaujadili Muswada huo kikamilifu na maeneo yote ambayo yanadhaniwa yanaweza yasiwe na tija au neema kwa nchi yetu ni jukumu letu sisi Wabunge kujadili kwa uwazi, kwa uaminifu, kiukweli na kazi kubwa ya Serikali katika mjadala ule ni kuona mahali gani inawezekana kweli tulipitiwa. Hili tunalikubali, sehemu gani tunadhani Waheshimiwa Wabunge hapa tunadhani bado msimamo wa Serikali ni sahihi. Lakini hatimaye tunafikia maamuzi ya pamoja yanayoonyesha nini hasa kinatakiwa kuwemo katika Sheria hiyo. (Makofi) Niseme tu Mheshimiwa Mbowe, kilichotokea jana mimi nasema it is very unfortunate situation, very unfortunate. Nimejiuliza sana kumetokea nini hasa. Mambo gani ambayo yasingeweza kujadiliwa ndani ya Bunge hili na tukafikia muafaka. Suluhu ikaonekana badala ya Wabunge kutoka nje. Mimi nimepata taabu nalo sana. Sasa kama kwa kufanya hivyo ndiyo kuwakilisha watu kikamilifu mimi nafikiri hapana. (Makofi) Kwa hiyo, niombe sana tutumie fursa hii ya kuwa Wabunge ndani ya Bunge kikamilifu. Hakuna Sheria 3 Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) hapa itakayotungwa ambayo haitakuwa imejadiliwa kwa kiasi cha kuweza kuridhiana. Mara ngapi tumekubali baadhi ya mawazo kutoka kwa Wabunge, mara nyingi tu. Kwa hiyo mimi sikuona kwamba ilikuwa kuna jambo kubwa sana pale la kutufanya mpaka Wabunge wote mtoke. Kwa hiyo, mimi ushauri wangu kwa kweli tujaribu kuzingatia taratibu za Bunge na kwa kweli tujadili kikamilifu kwa maslahi ya Watanzania. (Makofi) NAIBU SPIKA: Swali fupi la nyongeza Mheshimiwa Kiongozi wa Upinzani. MHE. FREEMAN A. MBOWE: Mheshimiwa Waziri Mkuu, hili jambo la Katiba, naomba niweke wazi siyo jepesi kama Waheshimiwa Wabunge wenzangu wanaopiga makofi wanavyotaka kuliona. Mheshimiwa Waziri Mkuu, ni kweli kwamba yako matukio ya kibabe, ya kejeli, ya matusi, ya dharau, ambayo yana-delay process nzima ya kutafuta muafaka katika jambo hili. (Makofi) Mheshimiwa Waziri Mkuu pamoja na rai uliyotoa, sisi tunaamini kwamba yako maeneo mengi yasiyo na tija ambayo yanafanya msingi wa Sheria au wa Muswada wa marekebisho ulioletwa jana uwe kwamba hauna tija kwa mchakato huu hauna tija kwa Taifa na sisi tunaamini kwamba kwa sababu kuna lengo jema na kwa sababu unasema kuna dhamira njema upande wa Serikali ni muafaka kwako na Serikali 4 Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) yako kuuondoa Muswada huu mkaurejesha katika maeneo yanayohusika. (Makofi) NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge tumsikilize Mheshimiwa anapouliza swali ili tuwe na ufuatiliaji wa pamoja. Huyu ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni mpeni heshima yake asikike anauliza swali gani kwa Mheshimiwa Waziri Mkuu. Mheshimiwa Kiongozi wa Upinzani endelea. MHE. FREEMAN A. MBOWE: Mheshimiwa Waziri Mkuu narudia, maadamu umedai kwamba kuna dhamira njema kutoka upande wa Serikali na Chama kinachoongoza nchi. Ni ushauri rasmi wa Kambi Rasmi ya Upinzani kwamba Muswada huu kama ulivyoletwa jana una maeneo makubwa ambayo utaweka ufa mkubwa kwenye Taifa hili kuliko mnavyofikiria. Mheshimiwa Waziri Mkuu, tunakushauri Mheshimiwa Waziri Mkuu, tumia Mamlaka yako ondoeni Muswada huu ukafanyiwe kazi za msingi mapema kabla, kafanyeni Political Management kwenye process hii kisha muulete Muswada ambao una muafaka wa pande mbili za Muungano kisha tutakwenda pamoja. Unatoa kauli gani kuhusu kuondoa Muswada huu? (Makofi) NAIBU SPIKA: Mheshimiwa Waziri Mkuu majibu. WAZIRI MKUU: Mheshimiwa Mbowe anasema Muswada una mambo mengi ambayo anafikiri si kwa maslahi ya nchi. Hivi kweli Mheshimiwa Mbowe 5 Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) unangoja mpaka kweli Muswada unafika ndani ya Bunge ndipo unakuja na hoja ya namna hiyo wakati tulikuwa na fursa kubwa kwenye Kamati ndiyo, ndiyo utaratibu ndiyo. (Makofi) Tulikuwa na fursa kwenye Public Hearing, kwenye Kamati yenyewe ya Bunge ndiyo, ni utaratibu tu. Ni utaratibu. Lakini mimi nasema katika mambo ambayo nimeelezwa jana kwamba ndiyo yaliyojiri na kusababisha mkatoka nje, hakuna mtu ambaye ataona umuhimu wa kuondoa Muswada huu hata kidogo. Kwa sababu ni vitu ambavyo ndani ya Bunge hili hili vinazungumzika na vinaweza kubadilishwa kulingana na mamlaka mliyopewa. (Makofi) MHE. JAMES F. MBATIA: Nashukuru sana Mheshimiwa Spika. Mheshimiwa Waziri Mkuu, kutokana na Montevideo Convention ya tarehe 26 Desemba, 1933 imeleza tabia kuu nne za dola ikiwekwa upande wa ardhi, watu, utawala pamoja na ushirikiano wa mambo ya nje. Mfumo wetu wa kiutawala au wa dola ni mgumu is a complex state uki-compare na wenzetu ambao wana simple state. Tendo la kuunda dola ni tendo la kisiasa ambapo mfano Mwalimu Nyerere na Karume mwaka 1964 tarehe 22 Aprili, 1964 walisaini Mkataba wa Muungano. Mfano mwingine Mwaka 2009 Maalimu Seif na Rais wa Zanzibar wakati huo Mheshimiwa Amani Karume walizungumza kisiasa kwanza, tendo la kisiasa, Sheria ikafuata baadaye. 6 Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) Mheshimiwa Waziri Mkuu swali. Hatuoni kwamba ni busara majadiliano ya kisiasa yakafanyika kwanza na kwa uwazi kwa kushirikiana zaidi badala ya kuanza kwa Sheria zaidi tukaji-engage zaidi kwenye masuala ya kisiasa ya mazungumzo ambapo yatatusaidia, dhana halisi ya kuunda dola, dhana halisi ya kuunda Katiba ambayo ni tendo la kisiasa na Sheria inafuata baadaye? (Makofi) NAIBU SPIKA: Mheshimiwa Waziri Mkuu majibu. WAZIRI MKUU: Mheshimiwa Naibu Spika, sina tatizo na ushauri wa Mheshimiwa James Mbatia, hata kidogo. Ni jema tu, tatizo tu ni kwamba kwa sababu nimeshindwa kuelewa ushauri huu unaunganishwa na nini hasa. Kwa sababu kama unazungumza Sheria hii ambayo tumeleta mabadiliko, mapendekezo ya marekebisho fulani fulani, kulikuwepo na mashauriano makubwa ndani ya Vyama kwanza, lakini hata baina ya Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar. (Makofi) Ndiyo maana hata huu Muswada mwingine wa pili tumeuondoa kwa dhana hiyo hiyo, tulikutana kwenye ngazi za Viongozi wa Vyama, kura ya maoni hiyo. Baadaye tukaja na mapendekezo. Tulipokwenda kuona wenzetu wa Zanzibar wakasema tunahitaji muda zaidi wa mashauriano. Tumekubali na tuliondoa Muswada ili wapate muda zaidi wa kushauriana. Kwa hiyo, unalolisema ni la msingi na lazima liendelee kujengewa misingi imara zaidi katika hatua zake zote. Sasa pengine kwa hilo uliloshauri kama kuna 7 Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) namna ambayo unalitazama kwa maana ya suala lenyewe kwa upana wake kwamba pengine mambo mengine yote yawe suspended yaahirishwe kwanza, kwanza tuzungumze kwa ujumla jumla hivi ni jambo jema tu mimi sioni kama lina tatizo hata kidogo. Tutategemea sasa tunataka kuzungumza katika mfumo gani na kwa kujaribu kuzingatia mambo gani halafu tunaweza tukatoka pale tukaelewana tukaona sasa tunakwenda namna gani. NAIBU SPIKA: Mheshimiwa Mbatia, swali fupi la nyongeza. MHE. JAMES F. MBATIA: Nashukuru Mheshimiwa Naibu Spika. Labda nifafanue kwamba kusudio langu ni kwamba ukiona kura ya maoni iliyofanyika Zanzibar tarehe 31 Julai, 2010 siku ya Jumamosi, ambapo asilimia 66.4 ya Wazanzibar waliamua kufanya kurejea au Toleo la 10 au mabadiliko ya 10 ya Katiba ya Zanzibar na kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba ya Zanzibar ni sehemu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa kiasi kikubwa Katiba
Recommended publications
  • 9Aprili,2013
    9 APRILI, 2013 BUNGE LA TANZANIA ________________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________________ MKUTANO WA KUMI NA MOJA Kikao cha Kwanza - Tarehe 9 Aprili, 2013 WIMBO WA TAIFA (Hapa Waheshimiwa Wabunge Waliimba Wimbo wa Taifa) (Mkutano Ulianza Saa 3.00 Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa msimame tena. Mtakumbuka kwamba wakati wa Vikao vyetu vya Kamati, kwa bahati mbaya sana tulimpoteza mpenzi wetu Mheshimiwa Salim Hemed Khamis. Kwa hiyo, tumkumbuke kwa dakika moja. (Hapa Waheshimiwa Wabunge walisimama kwa Dakika moja kumkumbuka Mheshimiwa Salim Hemed Khamis aliyekuwa Mbunge wa Chambani Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amin. Ahsanteni sana na karibuni tukae. 1 9 APRILI, 2013 Waheshimiwa Wanbunge, katika Mkutano wa Tisa, Bunge lilipitisha Muswada wa Sheria ya Serikali uitwao The Plant Breeders` Rights Bill, 2012, kwa taarifa hii napenda kulialifu Bunge hili Tukufu kwamba, Mswada huo umekwisha pata kibali cha Mheshimiwa Rais na kuwa Sheria ya nchi iitwayo: The Plant Breeders` Rights Act, 2012 Na. 9 ya mwaka 2012. Kwa hiyo, ule sasa ni sheria ya Nchi. HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati ifuatayo iliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA NCHI, OFISI YA WAZIRI MKUU, SERA, URATIBU NA BUNGE: Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, naomba kuwasilisha mezani Taarifa ya Matoleo yote ya Gazeti la Serikali pamoja na nyongeza zake zilizochapishwa tangu Kikao cha mwisho cha Mkutano wa Bunge uliopita. Mheshimiwa Spika, naomba kuwasilisha. MASWALI NA MAJIBU Na. 1 Kujenga Barabara ya Old Moshi kwa Lami MHE. GODFREY W. ZAMBI (K.n.y. MHE. DKT. CYRIL A. CHAMI) aliuliza:- Je, Serikali itatekeleza lini ahadi ya kujenga kwa kiwango cha lami Barabara ya Old Moshi inayoanzia Kiboriloni kupitia Kikarara, Tsuduni hadi Kidia? 2 9 APRILI, 2013 NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA, (TAMISEMI) alijibu:- Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Dkt.
    [Show full text]
  • Ruaha Journal of Business, Economics and Management Sciences, Vol.1, Issue 1, 2018  Ms Hadija Matimbwa , Faculty of Business and Management Science, RUCU Iii
    RUAHA JOURNAL of Business, Economics and Management Sciences Faculty of Business and Management Sciences Vol 1, Issue 1, 2018 A. Editorial Board i. Executive Secretarial Members Chairman: Dr. Alex Juma Ochumbo, Dean Faculty of Business and Management Sciences, RUCU Chief Editor: Prof. Robert Mabele, Faculty of Business and Management Sciences, RUCU Managing Editor: Dr.Venance Ndalichako, Faculty of Business and Management Sciences, RUCU Business Manager: Dr. Alberto Gabriel Ndekwa, Faculty of Business and Management Science, RUCU Secretary to the Board: Ms. Hawa Jumanne,Faculty of Business and Management Science, RUCU ii. Members of the Editorial Board Dr. Dominicus Kasilo, Faculty of Business and Management Science, RUCU Bishop Dr. Edward Johnson Mwaikali,Bishop of Mbeya, Formerly with RUCU Dr. Theobard Kipilimba, Faculty of Business and Management Science, RUCU Dr. Esther Ikasu, Faculty of Business and Management Science, RUCU ii Ruaha Journal of Business, Economics and Management Sciences, Vol.1, Issue 1, 2018 Ms Hadija Matimbwa , Faculty of Business and Management Science, RUCU iii. Associate Editors Prof. Enock Wicketye Iringa University,Tanzania. Dr. Enery Challu University of Dar es Dr. Ernest Abayo Makerere University, Uganda. Dr. Vicent Leyaro University of Dar es Salaam Dr. Hawa Tundui Mzumbe University, Tanzania. B. Editorial Note Ruaha Journal of Business, Economics and Management Sciences would like to wish all our esteemed readers on this first appearance A HAPPY NEW YEAR. We shall be appearing twice a year January and July. We hope you will be able to help us fulfill this pledge by feeding us with journal articles, book reviews and other such journal writings and stand ready to read from cover to cover all our issues.
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge ______
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ______________ MAJADILIANO YA BUNGE ______________ MKUTANO WA KUMI NA TISA Kikao cha Tatu – Tarehe 15 APRILI, 2010 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua MASWALI KWA WAZIRI MKUU NAIBU SPIKA: Maswali kwa Waziri Mkuu leo kiongozi wa Upinzani Bungeni hayupo kwa hiyo nitaenda na orodha za wachangiaji na nitakuwa ninakwenda kufuatana na itikadi ya chama, upande, gender na vitu kama hivyo. Kwa hiyo, walioko hapa wasidhani watakwenda kama ilivyoorodheshwa. Kwa hiyo, nitaanza na msemaji wa kwanza Mheshimiwa Dr. Willibrod Slaa. MHE. DR. WILLIBROD P. SLAA: Mheshimiwa Naibu Spika, nakushukuru kunipa nafasi, Mheshimiwa Waziri Mkuu sasa ni takribani mwaka mzima tangu nilipoanza kuhoji, mimi na Wabunge wenzangu, tulipoanza kuhoji kuhusu ubadhirifu na tuhuma mbalimbali zilizokuwa zinakabili matumizi ya fedha za umma zilizofanywa na makampuni kama Mwananchi Gold Company, Tan Gold, Kagoda, Deep Green na mengine mengi ambayo yalitajwa ndani ya ukumbi huu. Kwa nyakati tofauti maelezo mbalimbali yametolewa ndani ya Bunge. Mpaka leo hatujapata taarifa ya kinachoendelea. Bunge hili lenye jukumu la kuisimamia Serikali halijui au wananchi hawajui kama kuna kitu kinaendelea je, Serikali inatoa kauli gani kuhusu ubadhirifu huo? WAZIRI MKUU: Mheshimiwa Naibu Spika, mimi naamini kabisa Dr. Slaa, hutegemei kwamba kweli nitaweza kujibu maswali hayo uliyoyauliza kwamba mimi nina maelezo juu ya Kagoda, maelezo juu ya nani, is not possible nadhani si sahihi kabisa. (Makofi) Mimi ninachoweza kusema ni kwamba jitihada za Serikali zipo zimekuwa zikionekana katika maeneo ambayo yameshaanza kufanyiwa kazi. Sasa kama kuna maeneo ambayo bado hayajafanyiwa kazi jitihada za Serikali zitaendelea kwa kadri itakavyowezekana.
    [Show full text]
  • Mkutano Wa Kwanza
    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA KWANZA YATOKANAYO NA KIKAO CHA PILI 18 NOVEMBA, 2015 MKUTANO WA KWANZA YATOKANAYO NA KIKAO CHA PILI - TAREHE 18 NOVEMBA, 2015 I. DUA: Spika wa Bunge, Mhe. Job Y. Ndugai alisomwa dua saa 3.00 asubuhi na kikao kiliendelea. II. KIAPO CHA UAMINIFU KWA WABUNGE WOTE: Wabunge wafuatao waliapishwa na Mhe. Spika:- 1. Mhe. Sophia Mattayo Simba 2. Mhe. Munde Tambwe Abdalla 3. Mhe. Alex Raphael Gashaza 4. Mhe. Esther Nicholas Matiko 5. Mhe. Hafidh Ali Tahir 6. Mhe. Halima Abdallah Bulembo 7. Mhe. Halima James Mdee 8. Mhe. Hamad Yussuf Masauni, Eng. 9. Mhe. Hamida Mohammed Abdallah 10. Mhe. Hamisi Andrea Kigwangalla, Dkt. 11. Mhe. Hasna Sudi Katunda Mwilima 12. Mhe. Hassan Elias Masala 13. Mhe. Hassani Seleman Kaunje 14. Mhe. Hawa Abdulrahman Ghasia 15. Mhe. Hawa Subira Mwaifunga 16. Mhe. Hussein Nassor Amar 17. Mhe. Innocent Lugha Bashungwa 18. Mhe. Innocent Sebba Bilakwate 19. Mhe. Issa Ali Mangungu 20. Mhe. Jacquiline Ngonyani Msongozi 21. Mhe. James Francis Mbatia 22. Mhe. James Kinyasi Millya 23. Mhe. Janeth Zebedayo Mbene 2 24. Mhe. Jasmine Tisekwa Bunga, Dkt. 25. Mhe. Jasson Samson Rweikiza 26. Mhe. Jitu Vrajlal Soni 27. Mhe. John John Mnyika 28. Mhe. John Wegesa Heche 29. Mhe. Joseph George Kakunda 30. Mhe. Joseph Michael Mkundi 31. Mhe. Josephat Sinkamba Kandege 32. Mhe. Josephine Johnson Genzabuke 33. Mhe. Josephine Tabitha Chagula 34. Mhe. Joshua Samwel Nassari 35. Mhe. Joyce Bitta Sokombi 36. Mhe. Joyce John Mukya 37. Mhe. Juliana Daniel Shonza 38. Mhe. Juma Kombo Hamad 39. Mhe. Juma Selemani Nkamia 40.
    [Show full text]
  • TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2013: Who Will Benefit from the Gas Economy, If It Happens?
    TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2013: Who will benefit from the gas economy, if it happens? TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2013: Who will benefit from the gas economy, if it happens? TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2013 Who will benefit from the gas economy, if it happens? Supported by: 2 TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2013: Who will benefit from the gas economy, if it happens? ACKNOWLEDGEMENTS Policy Forum would like to thank the Foundation for Civil Society for the generous grant that financed Tanzania Governance Review 2013. The review was drafted by Tanzania Development Research Group and edited by Policy Forum. The cartoons were drawn by Adam Lutta (Adamu). Tanzania Governance Reviews for 2006-7, 2008-9, 2010-11, 2012 and 2013 can be downloaded from the Policy Forum website. The views expressed and conclusions drawn on the basis of data and analysis presented in this review do not necessarily reflect those of Policy Forum. TGRs review published and unpublished materials from official sources, civil society and academia, and from the media. Policy Forum has made every effort to verify the accuracy of the information contained in TGR2013, particularly with media sources. However, Policy Forum cannot guarantee the accuracy of all reported claims, statements, and statistics. Whereas any part of this review can be reproduced provided it is duly sourced, Policy Forum cannot accept responsibility for the consequences of its use for other purposes or in other contexts. ISBN:978-9987-708-19-2 For more information and to order copies of the report please contact: Policy Forum P.O. Box 38486 Dar es Salaam Tel +255 22 2780200 Website: www.policyforum.or.tz Email: [email protected] Suggested citation: Policy Forum 2015.
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge Mkutano Wa Kumi Na Mbili
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ______________ MAJADILIANO YA BUNGE ______________ MKUTANO WA KUMI NA MBILI Kikao cha Kumi na Tano – Tarehe 1 Julai, 2008 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua MASWALI NA MAJIBU Na. 132 Kuimarisha Ulinzi na Usalama Jiji Dar es Salaam MHE. CHARLES N. KEENJA : Kwa kuwa, Serikali ya Awamu ya Nne imechukua hatua madhubuti za kuimarisha Ulinzi na Usalama kwenye Jiji la Dar es Salaam kwa kuligawa Jiji kwenye Mikoa na Wilaya za Ki-ulinzi ; na kwa kuwa, hatua hiyo haikwenda sanjari na ile ya kuigawa Mikoa ya Kiutawala:- (a) Je, ni lini Serikali itachukua hatua za kuligawa eneo la Jiji la Dar es Salaam kwenye Mkoa/Wilaya zinazokwenda sanjari na zile za Ulinzi na Usalama ? (b) Je, Serikali haioni kwamba Viongozi kwenye eneo lenye hadhi zinazotofautiana kunaleta matatizo ya ushirikiano na mawasiliano hatimaye kukwamisha utendaji kazi ? (c) Kwa kuwa, zaidi ya 10% ya wananchi wa Tanzania wanaishi Dar es Salaam. Je, Serikali haioni kwamba sasa ni wakati muafaka wa kuweka utaratibu mzuri zaidi wa Uongozi kwenye Jiji hilo ? NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA alijibu:- 1 Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu naomba kujibu swali la Mheshimiwa Charles Keenja, Mbunge wa Ubungo, lenye sehemu (a), (b) na (c) kama ifuatavyo:- (a) Mheshimiwa Spika, ni kweli kuwa katika hatua za kuimarisha Ulinzi na Usalama kwenye Jiji la Dar es Salaam Serikali iliamua kuligawa eneo katika ngazi ya Mikoa ambapo Wilaya zote tatu za Kinondoni, Temeke na Ilala ni Mikoa ya Kiulinzi na ngazi ya Mkoa kupewa hadhi ya Kanda Maalum ya Ulinzi na Usalama.
    [Show full text]
  • The South African ‘Secrecy Act’: Democracy Put to the Test
    2015 3 48. Jahrgang VRÜ Seite 257 – 438 Begründet von Prof. Dr. Herbert Krüger (†) Herausgegeben von Prof. Dr. Brun-Otto Bryde (em.), Justus-Liebig-Universität Gießen, Prof. Dr. Dr. h.c. (Univ. Athen) Dr. h.c. (Univ. Istanbul) Philip Kunig, Freie Universität Berlin, Prof. Dr. Thilo Ma- rauhn, Justus-Liebig-Universität Gießen, Prof. Dr. Philipp Dann, Humboldt-Universität zu Berlin, Prof. Dr. Jürgen Bast, Justus-Liebig-Universität Gießen, Prof. Dr. Axel Tschentscher, Universität Bern, Dr. Karl-Andreas Hernekamp, Universität Hamburg im Institut für Inter- nationale Angelegenheiten der Universität Hamburg durch die Hamburger Gesellschaft für Völkerrecht und Auswärtige Politik in Verbindung mit den Regional-Instituten des Ger- man Institute of Global and Area Studies (GIGA) Beirat: Prof. Dr. Rodolfo Arango, Bogota, Prof. Dr. Moritz Bälz, Frankfurt, Prof. Dr. Ece Göztepe, Ankara, Prof. Heinz Klug, Madison, Prof. Dr. Kittisak Prokati, Bangkok/Fukuoka, Prof. Dr. Atsushi Takada, Osaka. Schriftleitung: Prof. Dr. Philipp Dann, E-mail: [email protected] Inhalt Editorial: The Current State of Democracy in South Africa ..... 259 Abhandlungen / Articles Wessel le Roux Residence, representative democracy and the voting rights of migrant workers in post-apartheid South Africa and post-unification Germany (1990-2015) ......... 263 Jonathan Klaaren The South African ‘Secrecy Act’: Democracy Put to the Test ............................ 284 Richard Calland/Shameela Seedat Institutional Renaissance or Populist Fandango? The Impact of the Economic
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge ______
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _______________ MAJADILIANO YA BUNGE ______________ MKUTANO WA KUMI NA NNE Kikao cha Kwanza – Tarehe 27 Januari, 2009 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) WIMBO WA TAIFA Hapa Wabunge Waliimba Wimbo wa Taifa D U A Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua TAARIFA YA SPIKA Waheshimiwa Wabunge katika mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge tulipitisha Miswada saba ya Sheria ya Serikali ifuatayo: The Contractors Registration Amendment Bill , 2008, The Unity Titles Bill 2008, The Mortgage Finance Special Provisions Bill 2008, The Height Skins Bill, 2008, The Animal Welfare Bill 2008, The workers Compensation Bill 2008 na The Mental Health Bill 2008. Baada ya kupitishwa na Bunge Miswada hiyo iliwasilishwa kwa Mheshimiwa Rais ili kama inavyohitaji Katiba yetu ipate kibali chake. Kwa taarifa hii nawaarifu Waheshimiwa Wabunge kwamba tayari Mheshimiwa Rais amekwishatoa kibali chake na sasa Miswada hiyo ni sheria za nchi na sasa inaitwa The Contractors Registration Amendment Act, 2008 Na. 15 ya mwaka 2008, The Unit Titles Act, 2008 Na. 16 ya 2008, The Mortgage Finance Special Provisions Act, 2008 Na. 17 ya mwaka 2008 The Height Skins and Leather Trade Act, 2008. Kwa hiyo, ni sheria Na. 18 ya Mwaka 2008. The Animal Welfare Act 2008 Sheria Na. 19 ya mwaka 2008 na The Mental Health Act 2008 Sheria Na. 21 ya mwaka 2008 huu ndiyo mwisho wa taarifa. HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU (SERA):- Taarifa ya Matoleo yote ya Gazeti la Serikali pamoja na nyongeza zake zilizochapishwa tangu Kikao cha mwisho cha Mkutano wa Bunge uliopita.
    [Show full text]
  • Tanzanian State
    THE PRICE WE PAY TARGETED FOR DISSENT BY THE TANZANIAN STATE Amnesty International is a global movement of more than 7 million people who campaign for a world where human rights are enjoyed by all. Our vision is for every person to enjoy all the rights enshrined in the Universal Declaration of Human Rights and other international human rights standards. We are independent of any government, political ideology, economic interest or religion and are funded mainly by our membership and public donations. © Amnesty International 2019 Except where otherwise noted, content in this document is licensed under a Creative Commons Cover photo: © Amnesty International (Illustration: Victor Ndula) (attribution, non-commercial, no derivatives, international 4.0) licence. https://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/4.0/legalcode For more information please visit the permissions page on our website: www.amnesty.org Where material is attributed to a copyright owner other than Amnesty International this material is not subject to the Creative Commons licence. First published in 2019 by Amnesty International Ltd Peter Benenson House, 1 Easton Street London WC1X 0DW, UK Index: AFR 56/0301/2019 Original language: English amnesty.org CONTENTS EXECUTIVE SUMMARY 6 METHODOLOGY 8 1. BACKGROUND 9 2. REPRESSION OF FREEDOM OF EXPRESSION AND INFORMATION 11 2.1 REPRESSIVE MEDIA LAW 11 2.2 FAILURE TO IMPLEMENT EAST AFRICAN COURT OF JUSTICE RULINGS 17 2.3 CURBING ONLINE EXPRESSION, CRIMINALIZATION AND ARBITRARY REGULATION 18 2.3.1 ENFORCEMENT OF THE CYBERCRIMES ACT 20 2.3.2 REGULATING BLOGGING 21 2.3.3 CYBERCAFÉ SURVEILLANCE 22 3. EXCESSIVE INTERFERENCE WITH FACT-CHECKING OFFICIAL STATISTICS 25 4.
    [Show full text]
  • Eugénio Luís Da Costa Almeida Fundamentalismo E
    UNIVERSIDADE TÉCNICA DE LISBOA INSTITUTO SUPERIOR DE CIÊNCIAS SOCIAIS E POLÍTICAS MESTRADO EM RELAÇÕES INTERNACIONAIS (Vertente “ Sistema Internacional) EUGÉNIO LUÍS DA COSTA ALMEIDA FUNDAMENTALISMO E TOLERÂNCIA POLÍTICO - RELIGIOSA EM ÁFRICA (Repercussões n as Relações Externas do Continente Africano) Dissertação elaborada sob orientação pedagógica do Professor Doutor António Costa de Albuquerque de Sousa Lara Lisboa, Outubro 2000 NOME: Eugénio Luís da Costa Almeida CURSO DE MESTRADO: Relaçõ es Internacionais – variante Sistema Internacional ORIENTADOR: Professor Doutor António Costa de Albuquerque de Sousa Lara DATA: 16 de Outubro de 2000 TÍTULO: FUNDAMENTALISMO E TOLERÂNCIA POLÍTICO - RELIGIOSA (REPERCUSSÕES NAS RELAÇÕES EXTERNAS DO CONTINENT E AFRICANO) RESUMO: A dissertação, que ora se resume, aborda as políticas sociais, militares e religiosas e as suas influências nos conflitos e nas políticas externas do Continente africano. O trabalho foi dividido em quatro partes: Introdução antropol ógica, histórica e politológica , onde se examina a evolução dos africanos desde as suas raízes antropológicas à II Guerra Mundial; A emergência da politologia em África , que analisa a génese da politologia africana, desde o nascimento da Libéria e do Garve yismo à Descolonização africana; Os fundamentalismos e as diferentes tolerâncias , a parte nuclear do trabalho, que aborda três grandes ramos ecuménicos (cristianismo, islamismo e judaísmo) desde o estudo da sua implantação em África até à sua grande influê ncia nas políticas externas africanas,
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge ______
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ___________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA NANE Kikao cha Thelathini na Tisa – Tarehe 2 AGOSTI, 2012 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) DUA Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati ifuatayo iliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI: Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa Mwaka wa Fedha 2012/2013. SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, naomba mzime vipasa sauti vyenu maana naona vinaingiliana. Ahsante Mheshimiwa Naibu Waziri, tunaingia hatua inayofuata. MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Leo ni siku ya Alhamisi lakini tulishatoa taarifa kwamba Waziri Mkuu yuko safarini kwa hiyo kama kawaida hatutakuwa na kipindi cha maswali hayo. Maswali ya kawaida yapo machache na atakayeuliza swali la kwanza ni Mheshimiwa Vita R. M. Kawawa. Na. 310 Fedha za Uendeshaji Shule za Msingi MHE. VITA R. M. KAWAWA aliuliza:- Kumekuwa na makato ya fedha za uendeshaji wa Shule za Msingi - Capitation bila taarifa hali inayofanya Walimu kuwa na hali ngumu ya uendeshaji wa shule hizo. Je, Serikali ina mipango gani ya kuhakikisha kuwa, fedha za Capitation zinatoloewa kama ilivyotarajiwa ili kupunguza matatizo wanayopata wazazi wa wanafunzi kwa kuchangia gharama za uendeshaji shule? NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (ELIMU) alijibu:- Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Vita Rashid Kawawa, Mbunge wa Namtumbo, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Spika, Serikali kupitia Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) imepanga kila mwanafunzi wa Shule ya Msingi kupata shilingi 10,000 kama fedha za uendeshaji wa shule (Capitation Grant) kwa mwaka.
    [Show full text]
  • Kitabu Cha Kumbukumbu Za Wabunge
    BUNGE LA TANZANIA ____________ KITABU CHA KUMBUKUMBU ZA WABUNGE BUNGE LA KUMI NA MBILI Toleo la Nne - Agosti, 2021 1 SEHEMU YA KWANZA UTANGULIZI Bunge limekuwepo toka tupate Uhuru mwaka 1961 na kabla ya Uhuru kuanzia mwaka 1926. Wabunge nao wameendelea kuwepo kwa vipindi tofauti na kwa idadi inayobadilika kila wakati wakitekeleza wajibu wao muhimu wa kutunga sheria na kuisimamia Serikali kwa niaba ya wananchi kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Bunge lilipoanza mwaka 1926, Wabunge walikuwa ishirini na moja (21) na mwaka 1961 ulipopatikana Uhuru Wabunge waliongezeka kufikia themanini (80) na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 idadi ya Wabunge iliongezeka na kufikia Wabunge 357. Hata hivyo, baada ya Tume ya Uchaguzi kuona umuhimu wa kuongeza idadi ya majimbo kutokana na sababu mbalimbali sasa hivi idadi ya Wabunge ni 393. Kitabu hiki cha Kumbukumbu za Wabunge kimegawanyika katika Sehemu kuu Kumi na Nne. Katika sehemu hizo, kitabu kimeorodhesha Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na anuani zao, namba zao simu za mkononi na majimbo au aina ya uwakilishi wao Bungeni chini ya picha zao ili kurahisisha mawasiliano. Katika mchanganuo wa kila sehemu, Sehemu ya Kwanza ni Utangulizi. Aidha, Wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge ambao ndio wasimamizi wa shughuli za Bunge wameorodheshwa katika Sehemu ya Pili ya kitabu hiki ikifuatiwa na Uongozi wa Ofisi ya Bunge katika Sehemu ya Tatu. 2 Sehemu ya Nne imeorodhesha Wabunge wote wa Majimbo wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mikoa ikifuatiwa na Sehemu ya Tano ambayo imeorodhesha Wabunge wote wa Viti Maalum kulingana na uwakilishi wa vyama vyao Bungeni ikianzia na Chama cha Mapinduzi (CCM) na ikifuatiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Sehemu ya Sita imeorodhesha Wabunge kupitia nafasi ya Kuteuliwa na Rais na Sehemu ya Saba itaorodhesha Wabunge kutoka Baraza la Wawakilishi.
    [Show full text]