1447734501-Op Kikao
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
Load more
Recommended publications
-
Nakala Ya Mtandao (Online Document) 1 BUNGE LA TANZANIA
Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ________________ MAJADILIANO YA BUNGE ________________________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Kumi na Tisa – Tarehe 27 Mei, 2014 (Mkutano Ulianza Saa tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA: Taarifa ya Mwaka na Hesabu za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha kwa Mwaka 2012/2013 (The Annual Report and Accounts of Arusha International Conference Centre for the Year 2012/2013). Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. NAIBU WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI: Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MHE. BETTY E. MACHANGU (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA): Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Maoni ya Kamati 1 Nakala ya Mtandao (Online Document) Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MHE. ABDULKARIM E.H. SHAH (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA): Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. -
Ruaha Journal of Business, Economics and Management Sciences, Vol.1, Issue 1, 2018 Ms Hadija Matimbwa , Faculty of Business and Management Science, RUCU Iii
RUAHA JOURNAL of Business, Economics and Management Sciences Faculty of Business and Management Sciences Vol 1, Issue 1, 2018 A. Editorial Board i. Executive Secretarial Members Chairman: Dr. Alex Juma Ochumbo, Dean Faculty of Business and Management Sciences, RUCU Chief Editor: Prof. Robert Mabele, Faculty of Business and Management Sciences, RUCU Managing Editor: Dr.Venance Ndalichako, Faculty of Business and Management Sciences, RUCU Business Manager: Dr. Alberto Gabriel Ndekwa, Faculty of Business and Management Science, RUCU Secretary to the Board: Ms. Hawa Jumanne,Faculty of Business and Management Science, RUCU ii. Members of the Editorial Board Dr. Dominicus Kasilo, Faculty of Business and Management Science, RUCU Bishop Dr. Edward Johnson Mwaikali,Bishop of Mbeya, Formerly with RUCU Dr. Theobard Kipilimba, Faculty of Business and Management Science, RUCU Dr. Esther Ikasu, Faculty of Business and Management Science, RUCU ii Ruaha Journal of Business, Economics and Management Sciences, Vol.1, Issue 1, 2018 Ms Hadija Matimbwa , Faculty of Business and Management Science, RUCU iii. Associate Editors Prof. Enock Wicketye Iringa University,Tanzania. Dr. Enery Challu University of Dar es Dr. Ernest Abayo Makerere University, Uganda. Dr. Vicent Leyaro University of Dar es Salaam Dr. Hawa Tundui Mzumbe University, Tanzania. B. Editorial Note Ruaha Journal of Business, Economics and Management Sciences would like to wish all our esteemed readers on this first appearance A HAPPY NEW YEAR. We shall be appearing twice a year January and July. We hope you will be able to help us fulfill this pledge by feeding us with journal articles, book reviews and other such journal writings and stand ready to read from cover to cover all our issues. -
2019 Tanzania in Figures
2019 Tanzania in Figures The United Republic of Tanzania 2019 TANZANIA IN FIGURES National Bureau of Statistics Dodoma June 2020 H. E. Dr. John Pombe Joseph Magufuli President of the United Republic of Tanzania “Statistics are very vital in the development of any country particularly when they are of good quality since they enable government to understand the needs of its people, set goals and formulate development programmes and monitor their implementation” H.E. Dr. John Pombe Joseph Magufuli the President of the United Republic of Tanzania at the foundation stone-laying ceremony for the new NBS offices in Dodoma December, 2017. What is the importance of statistics in your daily life? “Statistical information is very important as it helps a person to do things in an organizational way with greater precision unlike when one does not have. In my business, for example, statistics help me know where I can get raw materials, get to know the number of my customers and help me prepare products accordingly. Indeed, the numbers show the trend of my business which allows me to predict the future. My customers are both locals and foreigners who yearly visit the region. In June every year, I gather information from various institutions which receive foreign visitors here in Dodoma. With estimated number of visitors in hand, it gives me ample time to prepare products for my clients’ satisfaction. In terms of my daily life, Statistics help me in understanding my daily household needs hence make proper expenditures.” Mr. Kulwa James Zimba, Artist, Sixth street Dodoma.”. What is the importance of statistics in your daily life? “Statistical Data is useful for development at family as well as national level because without statistics one cannot plan and implement development plans properly. -
Issued by the Britain-Tanzania Society No 114 May - Aug 2016
Tanzanian Affairs Issued by the Britain-Tanzania Society No 114 May - Aug 2016 Magufuli’s “Cleansing” Operation Zanzibar Election Re-run Nyerere Bridge Opens David Brewin: MAGUFULI’S “CLEANSING” OPERATION President Magufuli helps clean the street outside State House in Dec 2015 (photo State House) The seemingly tireless new President Magufuli of Tanzania has started his term of office with a number of spectacular measures most of which are not only proving extremely popular in Tanzania but also attracting interest in other East African countries and beyond. It could be described as a huge ‘cleansing’ operation in which the main features include: a drive to eliminate corruption (in response to widespread demands from the electorate during the November 2015 elections); a cutting out of elements of low priority in the expenditure of government funds; and a better work ethic amongst government employees. The President has changed so many policies and practices since tak- ing office in November 2015 that it is difficult for a small journal like ‘Tanzanian Affairs’ to cover them adequately. He is, of course, operat- ing through, and with the help of ministers, regional commissioners and cover photo: The new Nyerere Bridge in Dar es Salaam (see Transport) Magufuli’s “Cleansing” Operation 3 others, who have been either kept on or brought in as replacements for those removed in various purges of existing personnel. Changes under the new President The following is a list of some of the President’s changes. Some were not carried out by him directly but by subordinates. It is clear however where the inspiration for them came from. -
-
Mkutano Wa Kwanza
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA KWANZA YATOKANAYO NA KIKAO CHA PILI 18 NOVEMBA, 2015 MKUTANO WA KWANZA YATOKANAYO NA KIKAO CHA PILI - TAREHE 18 NOVEMBA, 2015 I. DUA: Spika wa Bunge, Mhe. Job Y. Ndugai alisomwa dua saa 3.00 asubuhi na kikao kiliendelea. II. KIAPO CHA UAMINIFU KWA WABUNGE WOTE: Wabunge wafuatao waliapishwa na Mhe. Spika:- 1. Mhe. Sophia Mattayo Simba 2. Mhe. Munde Tambwe Abdalla 3. Mhe. Alex Raphael Gashaza 4. Mhe. Esther Nicholas Matiko 5. Mhe. Hafidh Ali Tahir 6. Mhe. Halima Abdallah Bulembo 7. Mhe. Halima James Mdee 8. Mhe. Hamad Yussuf Masauni, Eng. 9. Mhe. Hamida Mohammed Abdallah 10. Mhe. Hamisi Andrea Kigwangalla, Dkt. 11. Mhe. Hasna Sudi Katunda Mwilima 12. Mhe. Hassan Elias Masala 13. Mhe. Hassani Seleman Kaunje 14. Mhe. Hawa Abdulrahman Ghasia 15. Mhe. Hawa Subira Mwaifunga 16. Mhe. Hussein Nassor Amar 17. Mhe. Innocent Lugha Bashungwa 18. Mhe. Innocent Sebba Bilakwate 19. Mhe. Issa Ali Mangungu 20. Mhe. Jacquiline Ngonyani Msongozi 21. Mhe. James Francis Mbatia 22. Mhe. James Kinyasi Millya 23. Mhe. Janeth Zebedayo Mbene 2 24. Mhe. Jasmine Tisekwa Bunga, Dkt. 25. Mhe. Jasson Samson Rweikiza 26. Mhe. Jitu Vrajlal Soni 27. Mhe. John John Mnyika 28. Mhe. John Wegesa Heche 29. Mhe. Joseph George Kakunda 30. Mhe. Joseph Michael Mkundi 31. Mhe. Josephat Sinkamba Kandege 32. Mhe. Josephine Johnson Genzabuke 33. Mhe. Josephine Tabitha Chagula 34. Mhe. Joshua Samwel Nassari 35. Mhe. Joyce Bitta Sokombi 36. Mhe. Joyce John Mukya 37. Mhe. Juliana Daniel Shonza 38. Mhe. Juma Kombo Hamad 39. Mhe. Juma Selemani Nkamia 40. -
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Bunge La Tanzania Mkutano Wa Kumi Na Mbili Yatokanayo Na Kikao Cha Kwanza 4 Septemba, 2018
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA KUMI NA MBILI YATOKANAYO NA KIKAO CHA KWANZA 4 SEPTEMBA, 2018 MKUTANO WA KUMI NA MBILI KIKAO CHA KWANZA – TAREHE 4 SEPTEMBA, 2018 I. WIMBO WA TAIFA: Saa 3:00 asubuhi Wimbo wa Taifa uliimbwa, Dua kusomwa na Mhe. Job Y. Ndugai ambaye aliongoza Kikao. MAKATIBU MEZANI: 1. Ndg. Stephen Kagaigai 2. Ndg. Ramadhan Abdallah 3. Ndg. Joshua Chamwela 4. Ndg. Pamella Pallangayo II. KIAPO CHA UAMINIFU: Mhe. Eng. Christopher Kajoro Chizza Mbunge wa Jimbo la Buyungu aliapa kiapo cha uaminifu. III. TAARIFA YA SPIKA: Mhe. Spika alitoa Taarifa zifuatazo:- (a) Taarifa ya Kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini Marehemu Stephen Ngonyani aliyefariki tarehe 2 Juni, 2018; (b) Taarifa ya Miswada miwili ya Sheria iliyopata kibali cha Rais kuwa Sheria za nchi kama zifuatazo:- (i) Sheria ya kuidhinisha Matumizi ya Serikali Namba 3 ya Mwaka 2018; na (ii) Sheria ya Fedha Namba 4 ya Mwaka 2018. 1 IV. HATI ZA KUWASILISHA MEZANI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) aliwasilisha Mezani Maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Kulitangaza Jiji la Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi wa Mwaka 2018 [The Dodoma Capital City (Declaration) Bill, 2018]. Mhe. George Malima Lubeleje aliwasilisha Mezani Maoni ya Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa kuhusu Muswada wa Sheria ya Kulitangaza Jiji la Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi wa Mwaka 2018 [The Dodoma Capital City (Declaration) Bill, 2018]. Mhe. Sophia Hebron Mwakagenda aliwasilisha Mezani Maoni ya Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani juu ya Ofisi ya Rais (TAMISEMI) kuhusu Muswada wa Sheria ya Kulitangaza Jiji la Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi wa Mwaka 2018 [The Dodoma Capital City (Declaration) Bill, 2018]. -
TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2012: Transparency with Impunity?
TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2012: Transparency with Impunity? TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2012: Transparency with Impunity? With Partial Support from a TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2012: Transparency with Impunity? ACKNOWLEDGEMENTS This review was compiled and edited by Tanzania Development Research Group (TADREG) under the supervision of the Steering Group of Policy Forum members, and has been financially supported in part by Water Aid in Tanzania and Policy Forum core funders. The cartoons were drawn by Adam Lutta Published 2013 For more information and to order copies of the review please contact: Policy Forum P.O Box 38486 Dar es Salaam Tel: +255 22 2780200 Website: www.policyforum.or.tz Email: [email protected] ISBN: 978-9987 -708-09-3 © Policy Forum The conclusions drawn and views expressed on the basis of the data and analysis presented in this review do not necessarily reflect those of Policy Forum. Every effort has been made to verify the accuracy of the information contained in this review, including allegations. Nevertheless, Policy Forum cannot guarantee the accuracy and completeness of the contents. Whereas any part of this review may be reproduced providing it is properly sourced, Policy Forum cannot accept responsibility for the consequences of its use for other purposes or in other contexts. Designed by: Jamana Printers b TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2012: Transparency with Impunity? TABLE OF CONTENTS POLICY FORUM’s OBJECTIVES ............................................................................................................. -
Hotuba Ya Wizara Ya Viwanda Na
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA HOTUBA YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, MHE. PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2021/2022 Dodoma. Mei, 2021. YALIYOMO ORODHA YA VIFUPISHO ........................................ vi DIRA, DHIMA NA MAJUKUMU YA WIZARA ................x 1. UTANGULIZI ..................................................... 1 2. UMUHIMU WA VIWANDA NA BIASHARA KATIKA UCHUMI WA TAIFA .............................. 7 3. MCHANGO WA SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA KATIKA UCHUMI ........................... 10 3.1. Sekta ya Viwanda ......................................... 10 3.2. Sekta ya Biashara ........................................ 11 4. TATHMINI YA MPANGO NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA 2020/2021 12 Bajeti Iliyoidhinishwa na Kupokelewa kwa Mwaka 2020/2021 ......................................... 12 4.1. Tathmini ya Utekelezaji wa Malengo ya Bajeti kwa Mwaka 2020/2021 ............................... 12 4.1.1. Utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha Mfumo wa Udhibiti wa Biashara- BLUEPRINT ..............................................12 4.1.2. Mapitio na Utungaji wa Sera na Marekebisho ya Sheria na Kanuni ........ 14 4.1.3. Sekta ya Viwanda .................................. 19 4.1.4. Sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo .................................................... 41 4.1.5. Sekta ya Biashara .................................. 48 4.1.6. Sekta ya Masoko .................................... 69 4.1.7. Maendeleo -
MKUTANO WA TATU Kikao Cha Hamsini Na Sita
NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Hamsini na Sita – Tarehe 22 Juni, 2021 (Bunge Lilianza saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, naomba tukae. Waheshimiwa tunaendelea na Mkutano wetu wa Tatu, leo ni Kikao cha Hamsini na Sita na kabla hatujaendelea nitumie nafasi hii kuwashukuru sana wasaidizi wangu wote wakiongozwa na Mheshimiwa Naibu Spika, Mheshimiwa David Kihenzile, Mheshimiwa Zungu na Mheshimiwa Najma kwa kazi nzuri ambayo wameifanya wiki nzima kutuendeshea mjadala wetu wa bajeti. (Makofi) Sasa leo hapa ndio siku ya maamuzi ambayo kila Mbunge anapaswa kuwa humu ndani, kwa Mbunge ambaye Spika hana taarifa yake na hatapiga kura hapa leo hilo la kwake yeye. (Makofi) Katibu. NDG. NENELWA MWIHAMBI – KATIBU WA BUNGE: MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Maswali na tunaanza na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, swali la Mheshimiwa Deus Clement Sangu, Mbunge wa Kwela. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) Na. 465 Ujenzi wa Makao Makuu ya Halmashauri Katika Mji wa Laela MHE. DEUS C. SANGU aliuliza:- Je, ni lini Serikali itakamilisha ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Halmashauri ya Sumbawanga katika Mji wa Laela baada ya agizo la Serikali la kuhamisha Makao Makuu? SPIKA: Majibu ya swali hilo muhimu la watu wa Kwela, Mheshimiwa Naibu Waziri - TAMISEMI, Mheshimiwa Dkt. Festo Dugange tafadhali. NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (MHE. DKT. FESTO J. DUGANGE) alijibu:- Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -TAMISEMI, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Deus Clement Sangu, Mbunge wa Jimbo la Kwela kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Spika, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga ni miongoni mwa Halmashauri 30 zilizohamia kwenye maeneo mapya ya utawala mwaka 2019. -
Issued by the Britain-Tanzania Society No 124 Sept 2019
Tanzanian Affairs Issued by the Britain-Tanzania Society No 124 Sept 2019 Feathers Ruffled in CCM Plastic Bag Ban TSh 33 trillion annual budget Ben Taylor: FEATHERS RUFFLED IN CCM Two former Secretary Generals of the ruling party, CCM, Abdulrahman Kinana and Yusuf Makamba, stirred up a very public argument at the highest levels of the party in July. They wrote a letter to the Elders’ Council, an advisory body within the party, warning of the dangers that “unfounded allegations” in a tabloid newspaper pose to the party’s “unity, solidarity and tranquillity.” Selection of newspaper covers from July featuring the devloping story cover photo: President Magufuli visits the fish market in Dar-es-Salaam following the plastic bag ban (see page 5) - photo State House Politics 3 This refers to the frequent allegations by publisher, Mr Cyprian Musiba, in his newspapers and on social media, that several senior figures within the party were involved in a plot to undermine the leadership of President John Magufuli. The supposed plotters named by Mr Musiba include Kinana and Makamba, as well as former Foreign Affairs Minister, Bernard Membe, various opposition leaders, government officials and civil society activists. Mr Musiba has styled himself as a “media activist” seeking to “defend the President against a plot to sabotage him.” His publications have consistently backed President Magufuli and ferociously attacked many within the party and outside, on the basis of little or no evidence. Mr Makamba and Mr Kinana, who served as CCM’s secretary generals between 2009 to 2011 and 2012-2018 respectively, called on the party’s elders to intervene. -
Majadiliano Ya Bunge ______
Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ___________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA NANE Kikao cha Thelathini na Tisa – Tarehe 2 AGOSTI, 2012 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) DUA Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati ifuatayo iliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI: Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa Mwaka wa Fedha 2012/2013. SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, naomba mzime vipasa sauti vyenu maana naona vinaingiliana. Ahsante Mheshimiwa Naibu Waziri, tunaingia hatua inayofuata. MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Leo ni siku ya Alhamisi lakini tulishatoa taarifa kwamba Waziri Mkuu yuko safarini kwa hiyo kama kawaida hatutakuwa na kipindi cha maswali hayo. Maswali ya kawaida yapo machache na atakayeuliza swali la kwanza ni Mheshimiwa Vita R. M. Kawawa. Na. 310 Fedha za Uendeshaji Shule za Msingi MHE. VITA R. M. KAWAWA aliuliza:- Kumekuwa na makato ya fedha za uendeshaji wa Shule za Msingi - Capitation bila taarifa hali inayofanya Walimu kuwa na hali ngumu ya uendeshaji wa shule hizo. Je, Serikali ina mipango gani ya kuhakikisha kuwa, fedha za Capitation zinatoloewa kama ilivyotarajiwa ili kupunguza matatizo wanayopata wazazi wa wanafunzi kwa kuchangia gharama za uendeshaji shule? NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (ELIMU) alijibu:- Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Vita Rashid Kawawa, Mbunge wa Namtumbo, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Spika, Serikali kupitia Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) imepanga kila mwanafunzi wa Shule ya Msingi kupata shilingi 10,000 kama fedha za uendeshaji wa shule (Capitation Grant) kwa mwaka.