Madini News Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Toleo Na.2 Wa Tanzania Machi, 2020 HALIUZWI

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Madini News Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Toleo Na.2 Wa Tanzania Machi, 2020 HALIUZWI Toleo Na.2 // Machi 2020 Yaliyomo // Biteko - Nitasimama na Mzee Tume ya Leseni ya TanzaniteOne Imefutwa na Kisangani mpaka “asimame” Kurudishwa Serikalini - Biteko... Uk.04 ... Uk.08 Madini Bilioni 66.5 zapatikana tangu Wanawake Tume ya Madini kuanzishwa kwa masoko Wawakumbuka ya madini ... Uk.10 Yatima ... Uk.18 www.tumemadini.go.tz Tume ya Madini 2020 www.tumemadini.go.tz /TAHARIRI Salamu Kutoka kwa Waziri wa Madini Maoni ya Mhariri SEKTA YA MADINI INAIMARIKA, MAFANIKIO MASOKO TUENDELEZE USHIRIKIANO YA MADINI TUMEWEZA! Katika Mwaka wa Fedha 2019/2020 Wizara ya Madini ilipanga kutekeleza majukumu yake kupitia miradi Katika kuhakikisha kuwa Sekta ya Madini inakuwa na mchango mbalimbali ikilenga katika kuimarisha Sekta ya Madini, hivyo kuwa na mchango mkubwa kwenye ukuaji wa mkubwa kwenye ukuaji wa uchumi wa Taifa, Serikali kupitia uchumi wa nchi. Tume ya Madini kuanzia Machi, 2019 ilifungua masoko ya madini Katika Toleo lililopita nilielezea kwa kifupi kuhusu yale ambayo yamesimamiwa na kutekelezwa na Wizara na vituo vya ununuzi wa madini lengo likiwa ni kudhibiti utorosh- kwa kipindi cha takribani miaka miwili tangu kuanzishwa kwake. waji wa madini kwa kuwapatia wachimbaji wa madini nchini Katika Toleo hili nitaelezea kwa kifupi mafanikio ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara kwa kipindi cha sehemu ya kuuzia madini yao huku wakilipa kodi mbalimbali kuanzia Julai, 2019 hadi Februari, 2020. Kama ambavyo nilieleza Bungeni katika Hotuba yangu wakati Serikalini. nikiwasilisha Bajeti ya Wizara kwa Mwaka 2019/2020, nilieleza kuwa, Wizara imepangiwa kukusanya Shilingi 470,897,011,000.00 katika Mwaka wa Fedha 2019/2020. Uanzishwaji wa masoko ya madini na vituo vya ununuzi wa Napenda kuwataarifu wasomaji wa Jarida hili kuwa, hadi kufikia Februari, 2020 jumla ya Shilingi madini ni sehemu ya maelekezo yaliyotolewa kwenye mkutano wa 319,025,339,704.73 zimekusanywa ambazo ni sawa na asilimia 102 ya lengo la makusanyo ya nusu mwaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tazania, Dkt. John Magufuli na katika kipindi husika. Kwetu sisi haya ni mafanikio makubwa kwani mchango wa sekta hii kwenye pato la wachimbaji wa madini nchini uliofanyika jijini Dar es Salaam Taifa letu sasa unaonekana. mapema Januari 21, 2019. Pia, katika kipindi cha nusu mwaka (Januari hadi Juni, 2019) kasi ya ukuaji wa uchumi katika Sekta ya Madini ulifikia asilimia 13.7 na kushika nafasi ya pili kitaifa ikitanguliwa na Sekta ya Ujenzi iliyokua kwa Ikumbukwe kuwa, kabla ya kuanzishwa kwa masoko haya na asilimia 16.5. vituo vya ununuzi wa madini, Sekta ya Madini ilikumbwa na Aidha, ukuaji wa Sekta ya Madini hadi kufika robo ya tatu ya Mwaka (Januari hadi Septemba, 2019) ulifikia changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na utoroshaji na biashara asilimia 12.6 na kuendelea kushika nafasi ya pili kitaifa ikitanguliwa na Sekta ya Ujenzi iliyokua kwa asilimia haramu ya madini. 14.8. Ukuaji huu ulitokana na kuongezeka kwa uzalishaji wa madini ya dhahabu, makaa ya mawe, na almasi kati ya madini mengine. Katika kipindi hicho, uzalishaji wa dhahabu uliongezeka hadi kilo 31,615 kutoka kilo 28,338 mwaka 2018. Mpaka sasa jumla ya masoko 28 na vituo vya ununuzi wa madini 28 yamefunguliwa nchini lengo likiwa ni kuongeza uwazi kwenye Uzalishaji wa makaa ya mawe uliongezeka hadi tani 517,986 kutoka tani 483,481 katika kipindi kama hicho biashara ya madini, upatikanaji wa takwimu sahihi za madini mwaka 2018. Ukuaji huu umeifanya Sekta ya Madini kuwa ya pili katika kasi ya ukuaji kwa kipindi rejea ikitanguliwa na sekta ya Ujenzi iliyokua kwa asilimia 14.8. yanayozalishwa nchini na kurahisisha ulipaji wa kodi mbalimbali nchini zinazolipwa na wachimbaji wadogo wa madini. Haya pia ni mafanikio kwa nchi yetu na hatua kubwa ya ukuaji wa Sekta hii ambayo kwa miaka mingi rasilimali hii haikulinufaisha taifa ipasavyo ikilinganishwa na aina ya utajiri wa rasilimali madini tuliyonayo. Tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini na vituo vya ununuzi Aidha, Mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa (GDP) umekuwa ukiimarika mwaka hadi mwaka wa madini nchini manufaa mengi yamepatikana ikiwa ni pamoja kutokana na ongezeko la kasi ya ukuaji wa sekta ikishindanishwa na sekta nyingine za kiuchumi. Katika na upatikanaji wa bei sahihi za madini yanayouzwa na wachim- kipindi cha nusu mwaka (Januari hadi Juni, 2019) mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa ulikuwa asilimia 5.1. Aidha, hadi kufika robo ya tatu ya Mwaka (Januari hadi Septemba, 2019) mchango wa Sekta hii baji na wafanyabiashara wadogo wa madini tofauti na hapo awali ulikuwa asilimia 4.7. ambapo wanunuzi walikuwa wakinunua madini kwa bei ndogo. Pia, baada ya Wizara kufanya kaguzi za kimkakati za leseni za biashara ya madini katika maeneo ya Geita, Mafanikio mengine ni pamoja na kupungua kwa utoroshaji na Mara, Mwanza, Chunya, Kahama na Arusha kumekuwepo na ongezeko la leseni 308 kutoka leseni 696 za biashara ya madini kabla ya ukaguzi wa kimkakati hadi kufikia leseni 1,004. Ongezeko hili pia limechangiwa biashara haramu ya madini na kusaidia upatikanaji wa mapato na kuimarika kwa utendaji wa Tume ya Madini. stahiki ya Serikali kupitia tozo za mrabaha (6%) na tozo ya ukaguzi (1%) za mauzo ya madini kwenye masoko na upatikanaji wa Vilevile, katika mwaka huu wa Fedha na kama tulivyoahidi, Wizara imeendelea kuhamasisha shughuli za uongezaji thamani madini, leo napenda kuwataarifu kuwa, Wizara kupitia Tume ya Madini mpaka kufikia takwimu sahihi za uzalishaji na mauzo ya madini yanayozalishwa Machi, 2020 imetoa leseni mbili za uyeyushaji madini ya metali (smelters) zilizopo katika Wilaya za na kuuzwa na wachimbaji pamoja na wafanyabiashara wadogo wa Mpwapwa na nyingine Kahama. madini nchini. Pia, Wizara kupitia Tume ya Madini imetoa leseni tatu za usafishaji madini (refinery) katika mkoa wa Dodoma, Geita na Mwanza. Viwanda hivyo vya uongezaji thamani madini vipo katika hatua mbalimbali za ujenzi Aidha, tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini mapema ambapo kiwanda cha usafishaji madini kilichopo Dodoma kipo katika hatua za mwisho. Machi mwaka jana jumla ya kiasi cha shilingi bilioni 66.5 zimepa- tikana na kuongeza mchango wa Sekta ya Madini kwenye ukuaji Mbali na hayo, katika Mwaka huu wa Fedha, tumeshuhudia Maabara ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) ikipata ITHIBATI ya kimataifa ya uchunguzi wa sampuli za dhahabu kwa njia ya wa uchumi wa nchi mafanikio ambayo ni makubwa sana kwa tanuru kutoka shirika la SADCAS. Hii itasaidia sampuli zinazopimwa katika maabara zetu ziweze kuaminika Tume ya Madini na Serikali kwa ujumla. kimataifa na kuruhusu upimaji wa sampuli kutoka nje ya nchi na kupunguza gharama za uchunguzi wa sampuli zetu nje ya nchi. Kutokana na kuimarishwa kwa usimamizi kwenye masoko haya, Kwa mafanikio haya machache niliyoyataja, yametokana pia na ushirikiano na juhudi zilizofanywa kwa tangu kuanzishwa kwake mwezi Machi, 2019 hadi kufikia mwezi pamoja na kwa ushirikiano wa Watumishi wa Wizara ya Madini na Taasisi zake zote. Napenda kuchukua Januari, 2020 kilogramu 9,237.34 za dhahabu; karati 12,973.14 za fursa hii kuwapongeza watumishi wote wa Wizara kwa juhudi kubwa wanazofanya kuhakikisha Sekta hii inakua. Nazidi kuwaasa kila mmoja kuendelea kutekeleza majukumu yake kikamilifu kwa manufaa ya taifa madini ya almasi; kilogramu 20,099.17 za madini ya bati; na letu. kilogramu 514,683.28 za madini ya vito mbalimbali ziliuzwa kupitia masoko hayo na kuipatia Serikali jumla ya shilingi bilioni Aidha, napenda kuchukua fursa hii kuendelea kuwasisitiza wadau wote wa madini kuendelea kuunga mkono 66.57. juhudi hizi zinazofanywa na Wizara kuhakikisha lengo hili linafikiwa kikamilifu katika kipindi kilichobaki cha kukamilisha Mwaka huu wa Fedha wa 2019/2020. Kwanza, nawataka wafanyabiashara kufanya biashara zao kwa kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu zilizowekwa, wachimbaji wadogo kuchimba kwa kufuata Sheria, Taratibu na maelekezo ya wataalam ili wachimbe kwa tija na wachimbaji wakubwa kufanya Tunachukua nafasi hii kuwapongeza watumishi wa Tume ya shughuli zao kwa kuzingatia Sheria , Kanuni na Taratibu zilizowekwa. Madini hususan Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa, Kamati za Mwisho lakini si kwa umuhimu, naendelea kuwasisitiza Watumishi wa Wizara na wadau wote wa madini Ulinzi na Usalama za Mikoa na Wilaya, na Taasisi nyingine za kuendelea kuchukua hatua madhubuti za kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya Ugonjwa wa CORONA Serikali kwa ushirikiano mzuri kwenye usimamizi wa masoko na (COVID 19) wakati wote muwapo kwenye utekelezaji wa majukumu yenu na katika maeneo yenu ya kazi lakini kwa umuhimu kwa kuhakikisha tunafuata ushauri unaotolewa na Wizara ya Afya bila kupuuza. vituo vya ununuzi wa madini vilivyoanzishwa. Sekta ya Madini, Tumethubutu Tumeweza! Madini Yetu, Uchumi Wetu Tuyalinde! Prof. Shukrani E. Manya Mhe. Doto Mashaka Biteko Katibu Mtendaji Waziri wa Madini Tume ya Madini Wizara ya Madini Tume ya Madini 2 Toleo Na.2 // Machi 2020 Yaliyomo // Biteko - Nitasimama na Mzee Tume ya Leseni ya TanzaniteOne Imefutwa na Kisangani mpaka “asimame” Kurudishwa Serikalini - Biteko... Na.04 ... Na.08 Madini Bilioni 66.5 zapatikana tangu Wanawake Tume ya Madini kuanzishwa kwa masoko Wawakumbuka ya madini ... Na.10 Yatima ... Na.13 www.tumemadini.go.tz Tume ya Madini 2020 Dkt. John Pombe Magufuli Madini News Rais wa Jamhuri ya Muungano Toleo Na.2 wa Tanzania Machi, 2020 HALIUZWI KUHUSU SISI Tume ya Madini imeanzishwa chini ya Sheria ya Madini ya Mwaka 2010 Yaliyomo kama ilivyorekebishwa na Sheria (Miscellaneous Amendment) Act 2017. /HABARI NA MATUKIO Tume ilianzishwa kupitia Gazeti la Serikali Namba 27 iliyotolewa tarehe 7 Julai, 2017. 1 Leseni ya TanzaniteOne Imefutwa na Kurudishwa Serikalini - Biteko . Uk.04 Tume imechukua majukumu yote ya kiutendaji ambayo yalikuwa 2 Mchuchuma na Liganga sasa basi . Uk.06 yakifanywa na Idara ya Madini chini ya Wizara ya Nishati na 3 Biteko - Nitasimama na Mzee Madini na kazi zote ambazo Kisangani mpaka “asimame” . Uk.08 zilikuwa zikifanywa na Wakala wa Ukaguzi wa Madini wa Tanzania (TMAA) na Kitengo cha Uchambuzi 4 Bilioni 66.5 zapatikana tangu wa Almasi (TANSORT). kuanzishwa kwa masoko ya madini . Uk.10 Lengo la Tume ni kuimarisha Sekta ya Madini kuzalisha usimamizi wa Sekta ya Madini na 5 kuhakikisha Serikali inafaidika mamilionea – Waziri Biteko .
Recommended publications
  • Ruaha Journal of Business, Economics and Management Sciences, Vol.1, Issue 1, 2018  Ms Hadija Matimbwa , Faculty of Business and Management Science, RUCU Iii
    RUAHA JOURNAL of Business, Economics and Management Sciences Faculty of Business and Management Sciences Vol 1, Issue 1, 2018 A. Editorial Board i. Executive Secretarial Members Chairman: Dr. Alex Juma Ochumbo, Dean Faculty of Business and Management Sciences, RUCU Chief Editor: Prof. Robert Mabele, Faculty of Business and Management Sciences, RUCU Managing Editor: Dr.Venance Ndalichako, Faculty of Business and Management Sciences, RUCU Business Manager: Dr. Alberto Gabriel Ndekwa, Faculty of Business and Management Science, RUCU Secretary to the Board: Ms. Hawa Jumanne,Faculty of Business and Management Science, RUCU ii. Members of the Editorial Board Dr. Dominicus Kasilo, Faculty of Business and Management Science, RUCU Bishop Dr. Edward Johnson Mwaikali,Bishop of Mbeya, Formerly with RUCU Dr. Theobard Kipilimba, Faculty of Business and Management Science, RUCU Dr. Esther Ikasu, Faculty of Business and Management Science, RUCU ii Ruaha Journal of Business, Economics and Management Sciences, Vol.1, Issue 1, 2018 Ms Hadija Matimbwa , Faculty of Business and Management Science, RUCU iii. Associate Editors Prof. Enock Wicketye Iringa University,Tanzania. Dr. Enery Challu University of Dar es Dr. Ernest Abayo Makerere University, Uganda. Dr. Vicent Leyaro University of Dar es Salaam Dr. Hawa Tundui Mzumbe University, Tanzania. B. Editorial Note Ruaha Journal of Business, Economics and Management Sciences would like to wish all our esteemed readers on this first appearance A HAPPY NEW YEAR. We shall be appearing twice a year January and July. We hope you will be able to help us fulfill this pledge by feeding us with journal articles, book reviews and other such journal writings and stand ready to read from cover to cover all our issues.
    [Show full text]
  • 2019 Tanzania in Figures
    2019 Tanzania in Figures The United Republic of Tanzania 2019 TANZANIA IN FIGURES National Bureau of Statistics Dodoma June 2020 H. E. Dr. John Pombe Joseph Magufuli President of the United Republic of Tanzania “Statistics are very vital in the development of any country particularly when they are of good quality since they enable government to understand the needs of its people, set goals and formulate development programmes and monitor their implementation” H.E. Dr. John Pombe Joseph Magufuli the President of the United Republic of Tanzania at the foundation stone-laying ceremony for the new NBS offices in Dodoma December, 2017. What is the importance of statistics in your daily life? “Statistical information is very important as it helps a person to do things in an organizational way with greater precision unlike when one does not have. In my business, for example, statistics help me know where I can get raw materials, get to know the number of my customers and help me prepare products accordingly. Indeed, the numbers show the trend of my business which allows me to predict the future. My customers are both locals and foreigners who yearly visit the region. In June every year, I gather information from various institutions which receive foreign visitors here in Dodoma. With estimated number of visitors in hand, it gives me ample time to prepare products for my clients’ satisfaction. In terms of my daily life, Statistics help me in understanding my daily household needs hence make proper expenditures.” Mr. Kulwa James Zimba, Artist, Sixth street Dodoma.”. What is the importance of statistics in your daily life? “Statistical Data is useful for development at family as well as national level because without statistics one cannot plan and implement development plans properly.
    [Show full text]
  • Issued by the Britain-Tanzania Society No 114 May - Aug 2016
    Tanzanian Affairs Issued by the Britain-Tanzania Society No 114 May - Aug 2016 Magufuli’s “Cleansing” Operation Zanzibar Election Re-run Nyerere Bridge Opens David Brewin: MAGUFULI’S “CLEANSING” OPERATION President Magufuli helps clean the street outside State House in Dec 2015 (photo State House) The seemingly tireless new President Magufuli of Tanzania has started his term of office with a number of spectacular measures most of which are not only proving extremely popular in Tanzania but also attracting interest in other East African countries and beyond. It could be described as a huge ‘cleansing’ operation in which the main features include: a drive to eliminate corruption (in response to widespread demands from the electorate during the November 2015 elections); a cutting out of elements of low priority in the expenditure of government funds; and a better work ethic amongst government employees. The President has changed so many policies and practices since tak- ing office in November 2015 that it is difficult for a small journal like ‘Tanzanian Affairs’ to cover them adequately. He is, of course, operat- ing through, and with the help of ministers, regional commissioners and cover photo: The new Nyerere Bridge in Dar es Salaam (see Transport) Magufuli’s “Cleansing” Operation 3 others, who have been either kept on or brought in as replacements for those removed in various purges of existing personnel. Changes under the new President The following is a list of some of the President’s changes. Some were not carried out by him directly but by subordinates. It is clear however where the inspiration for them came from.
    [Show full text]
  • Ni Magufuli Tena 2
    Toleo Maalum Jarida la NI MAGUFULI TENA2020 -2025 ALIAHIDI | AMETEKELEZA | APEWE TENA MITANO | AGOSTI 2020 has got it all TUMETEKELE KWA KISHINDO TUNASONGA MBELE PAMOJA CHAMA CHA MAPINDUZI Miaka Mitano Tena kwa Magufuli Kuzalisha Ajira Milioni Nane Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muun- gano wa Tanzania Rais, Dkt John Pombe Magufuli amesema kuwa atazalisha ajira milioni nane katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo leo Agosti 29, 2020 Jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama hicho kuekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufa- nyika Oktoba 28 mwaka huu. Amesema kuwa ajira hizo zitatokana na - miradi mbalimbali mikubwa na kimkakati inayoendelea kutekelezwa na ile itakayo- tekelezwa katika miaka mitano mingine kama ikiwemo miradi ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa Msalato, ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu pamoja na ajira za moja kwa moja kutoka Serikalini. Aidha, Rais Magufuli amesema kuwa katika kipindi cha miaka mitano ijayo Seri- kali ya Chama cha Mapinduzi itaendelea kusimamia amani, umoja, mshikamano, kuulinda Muungano na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hali itakayowezesha kufikiwa kwa malengo tuliyojiwekea ikiwe- mo kukuza uchumi wetu kwa asilimia nane kwa mwaka,” alisisitiza Dkt. Magufuli. 01 | #NiMagufuliTena 2020 - 2025 Akifafanua Dkt. Magufuli amesema kuwa kipaumbele kitawekwa katika sekta za kilimo, mifugo, uvuvi, miundombinu na nyingine zitakazochangia katika kukuza uchumi na kutoa ajira kwa wingi. Aliongeza kuwa Benki ya Kilimo itaimarish- wa, kuongeza eneo la umwagiliaji, kuimari- sha huduma za ugani, kuboresha sekta ya uvuvi, kununua meli ya uvuvi bahari kuu. Kwa upande wa utalii amesema wataonge- za watalii hadi kufikia milioni tano, Africa’s Oceanic Big Five.
    [Show full text]
  • Mkutano Wa Kwanza
    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA KWANZA YATOKANAYO NA KIKAO CHA PILI 18 NOVEMBA, 2015 MKUTANO WA KWANZA YATOKANAYO NA KIKAO CHA PILI - TAREHE 18 NOVEMBA, 2015 I. DUA: Spika wa Bunge, Mhe. Job Y. Ndugai alisomwa dua saa 3.00 asubuhi na kikao kiliendelea. II. KIAPO CHA UAMINIFU KWA WABUNGE WOTE: Wabunge wafuatao waliapishwa na Mhe. Spika:- 1. Mhe. Sophia Mattayo Simba 2. Mhe. Munde Tambwe Abdalla 3. Mhe. Alex Raphael Gashaza 4. Mhe. Esther Nicholas Matiko 5. Mhe. Hafidh Ali Tahir 6. Mhe. Halima Abdallah Bulembo 7. Mhe. Halima James Mdee 8. Mhe. Hamad Yussuf Masauni, Eng. 9. Mhe. Hamida Mohammed Abdallah 10. Mhe. Hamisi Andrea Kigwangalla, Dkt. 11. Mhe. Hasna Sudi Katunda Mwilima 12. Mhe. Hassan Elias Masala 13. Mhe. Hassani Seleman Kaunje 14. Mhe. Hawa Abdulrahman Ghasia 15. Mhe. Hawa Subira Mwaifunga 16. Mhe. Hussein Nassor Amar 17. Mhe. Innocent Lugha Bashungwa 18. Mhe. Innocent Sebba Bilakwate 19. Mhe. Issa Ali Mangungu 20. Mhe. Jacquiline Ngonyani Msongozi 21. Mhe. James Francis Mbatia 22. Mhe. James Kinyasi Millya 23. Mhe. Janeth Zebedayo Mbene 2 24. Mhe. Jasmine Tisekwa Bunga, Dkt. 25. Mhe. Jasson Samson Rweikiza 26. Mhe. Jitu Vrajlal Soni 27. Mhe. John John Mnyika 28. Mhe. John Wegesa Heche 29. Mhe. Joseph George Kakunda 30. Mhe. Joseph Michael Mkundi 31. Mhe. Josephat Sinkamba Kandege 32. Mhe. Josephine Johnson Genzabuke 33. Mhe. Josephine Tabitha Chagula 34. Mhe. Joshua Samwel Nassari 35. Mhe. Joyce Bitta Sokombi 36. Mhe. Joyce John Mukya 37. Mhe. Juliana Daniel Shonza 38. Mhe. Juma Kombo Hamad 39. Mhe. Juma Selemani Nkamia 40.
    [Show full text]
  • Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Bunge La Tanzania Mkutano Wa Tatu Yatokanayo Na Kikao Cha Arobaini Na Saba 21 Juni, 2016
    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA TATU YATOKANAYO NA KIKAO CHA AROBAINI NA SABA 21 JUNI, 2016 MKUTANO WA TATU - YATOKANAYO NA KIKAO CHA AROBAINI NA SABA TAREHE 21 JUNI, 2016 I. DUA: Saa 3.00 Asubuhi Naibu Spika (Mhe. Dkt.Tulia Ackson) alisoma Dua na Kuongoza Bunge. Makatibu Mezani: 1. Ndg. Theonest Ruhilabake 2. Ndg. Zainab Issa Wabunge wa Kambi ya Upinzani walitoka nje ya ukumbi wa Bunge baada ya dua kusomwa na Mhe. Naibu Spika. II. MASWALI: Maswali yafuatayo yaliulizwa na Waheshimiwa Wabunge na kujibiwa na Serikali:- OFISI YA WAZIRI MKUU: Swali Na.399 – Mhe. Raphael Masunga Chegeni [kny. Mhe. Salome Makamba] Swali la nyongeza: (i) Mhe. Raphael Masunga Chegeni (ii) Mhe. Abdallah Hamisi Ulega (iii) Mhe. Joseph Kasheku Musukuma (iv) Mhe. Mariam Nassoro Kisangi OFISI YA RAIS (TAMISEMI): Swali Na.400 Mhe. Oran Manase Njeza Swali la nyongeza: (i) Mhe. Oran Manase Njeza (ii) Mhe. Desderius John Mipata (iii) Mhe. Goodluck Asaph Mlinga Swali Na.401 – Mhe. Boniventura Destery Kiswaga Swali la nyongeza: (i) Mhe. Boniventura Destery Kiswaga (ii) Mhe. Augustino Manyanda Maselle (iii) Mhe. Richard Mganga Ndassa (iv) Mhe. Dkt. Dalali Peter Kafumu Swali Na. 402 – Mhe. Fredy Atupele Mwakibete Swali la Nyongeza: (i) Mhe. Fredy Atupele Mwakibete (ii) Mhe. Njalu Daudi Silanga (iii) Mhe. Halima Abdallah Bulembo (iv) Mhe. Azza Hilal Hamad 2 WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI: Swali Na.403 – Mhe Joseph Kakunda. kny Mhe. Ally Saleh Ally Swali la nyongeza: (i) Mhe. Joseph George Kakunda (ii) Mhe. Mussa Azzan Zungu (iii) Mhe. Cosato David Chumi (iv) Mhe.
    [Show full text]
  • MKUTANO WA SABA Kikao Cha Ishirini Na Tano – Tarehe 15
    NAKALA YA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA SABA Kikao cha Ishirini na Tano – Tarehe 15 Mei, 2017 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Mwenyekiti (Mhe. Mussa A. Zungu) Alisoma Dua MWENYEKITI: Waheshimiwa Wabunge, tukae. Katibu! NDG. CHARLES MLOKA – KATIBU MEZANI: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA: Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018. MWENYEKITI: Ahsante. Katibu. NDG. CHARLES MLOKA – KATIBU MEZANI: Maswali. 1 NAKALA YA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) MASWALI NA MAJIBU Na. 200 Mgongano wa Kiutendaji – Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma MHE. LEONIDAS T. GAMA aliuliza:- Wananchi wa Songea Mjini wamekuwa wakiitumia Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma kama Hospitali yao ya Wilaya hivyo kufanya kuwepo na mgongano wa kiutendaji kati ya Mamlaka ya Mkoa inayoitambua Hospitali hiyo kama Rufaa ya ngazi ya Mkoa na Mamlaka ya Wilaya. Tarehe 10 Januari, 2016, Mheshimiwa Waziri wa Afya alifika kuona hali halisi na juhudi za wananchi wa Songea Mjini za kujenga Kituo cha Afya Mji Mwema ambacho kimefikia hatua kubwa, hivyo wakamwomba Waziri kituo hicho kipandishwe hadhi kuwa Hospitali ya Wilaya, Songea Mjini. (a) Je, Serikali haioni umuhimu wa kuiacha Hospitali ya Mkoa ifanye kazi ya Rufaa Kimkoa? (b) Je, Serikali haioni haja ya kupunguza msongamano katika hospitali hiyo kwa kuanzisha Hospitali ya Wilaya Songea Mjini? (c) Je, ni lini basi Serikali
    [Show full text]
  • MKUTANO WA TATU Kikao Cha Kumi Na Tisa – Tarehe 29 Aprili, 2021
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Kumi na Tisa – Tarehe 29 Aprili, 2021 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa, tukae. Katibu. NDG. MOSSY LUKUVI – KATIBU MEZANI: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI: Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2021/2022. NAIBU WAZIRI WA MADINI: Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2021/2022. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) MHE. SAADA MONSOUR HUSSEIN - K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI: Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuhusu utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2020/2021 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022. NAIBU SPIKA: Ahsante sana. Katibu. NDG. MOSSY LUKUVI – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Waheshimiwa maswali, tutaanza na Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mheshimiwa Simon Songe Lusengekile, Mbunge wa Busega, sasa aulize swali lake. Na. 158 Serikali Kukamilisha Ujenzi wa Zahanati – Busega MHE. SIMON S. LUSENGEKILE aliuliza:- Wananchi wa Kata ya Imalamate Wilayani Busega wamejenga zahanati na kumaliza maboma manne kwa maana ya zahanati moja kila kijiji:- Je, Serikali ina mpango gani wa kuwasaidia wananchi hao kuezeka maboma hayo ili waweze kupata huduma za afya kwenye zahanati hizo? NAIBU SPIKA: Mheshimiwa Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mheshimiwa Dkt.
    [Show full text]
  • MKUTANO WA TATU Kikao Cha Thelathini
    NAKALA YA MTANDAO (ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE _______________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Thelathini na Tano - Tarehe 2 Juni, 2016 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua (Hapa Waheshimiwa Wabunge wa Kambi ya Upinzani Walitoka Nje) NAIBU SPIKA: Tukae, Katibu. MBUNGE FULANI: Hamna posho ninyi. NAIBU SPIKA: Katibu. NDG. NEEMA MSANGI – KATIBU MEZANI: Maswali. MASWALI NA MAJIBU NAIBU SPIKA: Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mheshimiwa Aida Joseph Khenani, Mbunge wa Viti Maalum swali lake litaulizwa na Mheshimiwa Ally Keissy. Na. 284 Unyanyasaji Unaofanywa na Mgambo/Askari Kwa Wafanyabiashara Wadogo Wadogo MHE. ALLY K. MOHAMED (K.n.y. MHE. AIDA J. KHENANI) aliuliza:- Kumekuwa na hali ya ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na mgambo na askari polisi wanapotekeleza maagizo ya Serikali dhidi ya 1 NAKALA YA MTANDAO (ONLINE DOCUMENT) wafanyabiashara wadogo wadogo hususan mama lishe, bodaboda pamoja na machinga. Je, Serikali inatoa tamko gani juu ya hali hiyo? NAIBU SPIKA: Mheshimiwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI. NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA alijibu:- Mheshimiwa Naibu Spika, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Aida Joseph Khenani, Mbunge wa Viti Maalum kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Naibu Spika, mgambo wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria ya polisi wasaidizi ya mwaka 1969 kwa kuzingatia sheria hiyo, Halmashauri zimeruhusiwa kuajiri askari ngambo kwa ajili ya kusaidia usimamizi wa Sheria Ndogondogo za Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya. Mheshimiwa Naibu Spika, askari mgambo anayefanya kazi katika Halmashauri anawajibika kuzingatia sheria za nchi pamoja na sheria ndogo ndogo zilizotungwa na Halmashauri.
    [Show full text]
  • AFRICA RISK CONSULTING Tanzania Monthly Briefing
    AFRICA RISK CONSULTING Tanzania Monthly Briefing December 2020 Tanzania Summary 4 December 2020 President John Magufuli (2015-present) outlines his priorities for his second and final term in office during the inauguration of parliament on 13 November following the resounding win of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) in the October general election. While Magufuli has signalled further assistance for the private sector, his delay in appointing a full cabinet has further slowed government engagement. The protracted downturn in tourism globally is putting Tanzania’s economy, and its levels of foreign exchange reserves, under strain. Tanzania fares moderately compared to its regional neighbours in the Mo Ibrahim Foundation’s annual Ibrahim Index of African Governance (IIAG). Magufuli’s second term off to a slow start President John Magufuli (2015-present) outlined his priorities for his second, and final, term in office at the inauguration of parliament on 13 November.1 Magufuli won the 28 October election with 84.4% of the popular vote, while the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party won an overwhelming majority in the National Assembly.2 Although there were significant concerns both within Tanzania and among international observers about the level of government interference in the polls,3 the National Electoral Commission (NEC) has upheld the results and the focus has now shifted to what Magufuli’s second term in office is likely to look like. During the inauguration speech, Magufuli vowed to continue to prosecute his broadly successful anti- corruption campaign, which has seen Tanzania rise from 119th place in 2014 to 96th place in 2019 in Germany-based non-governmental organisation Transparency International’s annual Corruption Perceptions Index during his time in office.4 Magufuli also committed to work further to see the country industrialise, with a focus on job creation and infrastructure, as well as commitment to ensure that the country’s key economic indicators remain stable.
    [Show full text]
  • Muhtasari Juu Ya Biashara Na Haki Za Binadamu Tanzania Robo Tatu Ya Mwaka: Julai – Septemba 2020
    photo courtesy of Governance Links MUHTASARI JUU YA BIASHARA NA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA ROBO TATU YA MWAKA: JULAI – SEPTEMBA 2020 Tangu aingie madarakani mwaka 2005, Rais Magufuli ametilia mkazo kwenye maendeleo ya miundom- binu kama jambo muhimu katika kufikia malengo ya viwanda na maendeleo ya Tanzania. Ma- tokeo yake, miradi mingi ya miundombinu mikubwa imekuwa ikiendelea nchini, kuanzia miundombinu ya barabara, ukarabati wa mifumo ya reli na viwanja vya ndege nchini, na kuongeza na kuwa na aina nyingi ya nishati nchini kupitia mitambo ya gesi asilia na umeme wa maji, kwa kutaja tu kwa uchache. Wakati miradi ya miundombinu inaongeza mapato, ajira, ukuaji wa uchumi na, hivyo, maendeleo chanya, upanuzi wa haraka wa sekta unaweza pia kuleta athari hasi kwa jamii na mazingira ambamo miradi inatekelezwa. Mwaka 2017, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG), ilidokeza uhitaji wa ku- zingatia haki za binadamu kwenye sekta ya ujenzi inayokua kwa kasi nchini (Kumb. E.1). Mwezi Machi 2020, zaidi ya wadau 60 kutoka kwenye biashara, asasi za kiraia na serikali walihimiza kuweka kipaumbele katika sekta ya miundombinu ili kukuza heshima ya haki za binadamu nchini Tanzania (Kumb. E2). Matokeo mapya juu ya athari za miradi mikubwa ya miundombinu kwa haki za binadamu yanawasili- shwa kupitia chunguzi kifani mpya tano juu ya “Sauti za Watanzania”. Tafiti hizi zilitathmini athari za miradi mitatu ya usambazaji wa nishati: Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (mkoa wa Manyara; Kumb. E3), Mradi wa Umeme wa Maji wa Maporomoko ya Rusumo (mkoa wa Kagera; Kumb. E4) na miradi ya usambazaji wa nishati vijijini (mkoa wa Mwanza; Kumb.
    [Show full text]
  • Briefing on “Business & Human Rights in Tanzania” – 2020
    photo courtesy of HakiArdhi BRIEFING ON “BUSINESS & HUMAN RIGHTS IN TANZANIA” – 2020 QUARTER 1: JANUARY – MARCH In March 2020, key stakeholders from civil society, the business community and various government agencies from Tanzania mainland and Zanzibar met in Dar es Salaam to discuss the topics of “land rights and environment” during the second Annual Multi-stakeholder Dialogue on Business and Human Rights (Ref.E1). “Land rights and environment” were identified as cross-cutting issues that affect the rights of many in various ways in Tanzania. Sustainable solutions for addressing the country’s many conflicts related to land are therefore essential to guarantee basic rights for all. During the multi-stakeholder meeting, four case studies on current issues of “land rights and envi- ronment” (Ref.E2) were presented by Tanzanian civil society organisations (Ref.E1). Their studies focussed on initiatives to increase land tenure security and on the tensions between conservation and rights of local communities. The studies confirm that land is indeed a critical socio-economic resource in Tan- zania, but a frequent source of tensions in rural areas due to competing needs of different land users, such as communities versus (tourism) investors or local communities versus conservation authorities (Ref. E2, E3). Women face a number of additional barriers acquiring land rights which affect their livelihoods (Ref.E4, E5). The absence of formalized land rights and land use plans in many regions of the country aids in sus- taining land-related challenges. Therefore, initiatives to address land tenure security (Ref.E5) can have positive effects on local communities (Ref.E6).
    [Show full text]