Ni Magufuli Tena 2
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
Toleo Maalum Jarida la NI MAGUFULI TENA2020 -2025 ALIAHIDI | AMETEKELEZA | APEWE TENA MITANO | AGOSTI 2020 has got it all TUMETEKELE KWA KISHINDO TUNASONGA MBELE PAMOJA CHAMA CHA MAPINDUZI Miaka Mitano Tena kwa Magufuli Kuzalisha Ajira Milioni Nane Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muun- gano wa Tanzania Rais, Dkt John Pombe Magufuli amesema kuwa atazalisha ajira milioni nane katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo leo Agosti 29, 2020 Jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama hicho kuekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufa- nyika Oktoba 28 mwaka huu. Amesema kuwa ajira hizo zitatokana na - miradi mbalimbali mikubwa na kimkakati inayoendelea kutekelezwa na ile itakayo- tekelezwa katika miaka mitano mingine kama ikiwemo miradi ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa Msalato, ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu pamoja na ajira za moja kwa moja kutoka Serikalini. Aidha, Rais Magufuli amesema kuwa katika kipindi cha miaka mitano ijayo Seri- kali ya Chama cha Mapinduzi itaendelea kusimamia amani, umoja, mshikamano, kuulinda Muungano na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hali itakayowezesha kufikiwa kwa malengo tuliyojiwekea ikiwe- mo kukuza uchumi wetu kwa asilimia nane kwa mwaka,” alisisitiza Dkt. Magufuli. 01 | #NiMagufuliTena 2020 - 2025 Akifafanua Dkt. Magufuli amesema kuwa kipaumbele kitawekwa katika sekta za kilimo, mifugo, uvuvi, miundombinu na nyingine zitakazochangia katika kukuza uchumi na kutoa ajira kwa wingi. Aliongeza kuwa Benki ya Kilimo itaimarish- wa, kuongeza eneo la umwagiliaji, kuimari- sha huduma za ugani, kuboresha sekta ya uvuvi, kununua meli ya uvuvi bahari kuu. Kwa upande wa utalii amesema wataonge- za watalii hadi kufikia milioni tano, Africa’s Oceanic Big Five. kupanua wigo wa utalii kwa kuongeza >> maeneo ya utalii na pia kuweka mkazo katika sekta ya Sanaa, Utamaduni, Michezo, kwa kuwa zinakua kwa kasi na zinatoa mchango mkubwa katika kukuza uchumi. fastjet.com 17 Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Map- induzi umefanyika leo Agosti 29, Jijini Dodoma na kuongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Rais Dkt. John Pombe Magufuli na kushirikisha maelfu ya wananchi wa Dodoma na Mikoa mbalim- bali ya- Tanzania Bara na Visiwani. - - - #NiMagufuliTena 2020 - 2025 | 02 “Asanteni Watanzania” – Samia Suluhu Hassan MGOMBEA Mwenza wa CCM, uliofanyika Uwanja tulizopewa na Mungu Urais kwa tiketi ya Chama wa Jamhuri jijini Dodoma ndizo zitakazojenga Tan- Cha Mapinduzi (CCM), na kuhudhiriwa na vion- zania. Sisi Awamu ya Tano Samia Suluhu Hassan gozi wakuu wa sasa na tumezitumia, tumeweza amewashukuru watanza- wastaafu pamoja namael- kutekeleza kwa kishidno nia kwa kuiunga mkono fu ya wananchi wa Ilani ya CCM, kwa pamoja Serikali ya Awamu ya Dodoma na tusonge mbele. Tano katika safari ya mikoa ya jirani. mapambano ya vita ya "Napigia mstari neno kwa kiuchumi na kujikomboa "Tunamshukuru Mungu pamoja. Tutasonga mbele kutoka kwenye lindi la kwa kutuwezesha kufanya tukifanya kampeni kwa umasikini. tuliyoyafanya. Haikuwa heshima, amani na utu- safari rahisi. Nawashukuru livu. Yote ambayo hatuja- Samia ametoa shukrani watanzania wote kwa ush- maliza yamo ndani ya Ilani hizo wakati wa hotuba irikiano waliotupa, ya Awamu ijayo," alisema yake fupi aliyoitoa wakati nawashukuru wana CCM. Samia. 03 | #NiMagufuliTena 2020 - 2025 #NiMagufuliTena 2020 - 2025 | 52 “Zanzibar Tunasubiri Siku ya Kupiga Kura Tukamalize Kazi” - Dkt. Shein Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Rais Dkt. Shein ameyase- Hassan, uliofanyika leo Mohamedi Shein amese- ma hayo alipokuwa akim- katika Uwanja wa Jamhuri ma wananchi wa Zanzibar tambulisha mgombea Jijini Dodoma. wanaisubiri kwa hamu Urais wa Serikali ya Map- siku ya kupiga kura ili induzi Zanzibar, Dkt. Hus- Alisema wananchi wa Zan- wakamalize kazi ya kuwa- sein Mwinyi katika uzin- zibarwameishaamua, wa- chagua wagombea wa duzi wa kampeni za nachosubiri ni siku ya Chama Cha Mapinduzi mgombea Urais wa Jam- kupiga kura tu, Oktoba 28 (CCM) kuongoza Serikali huri ya Muungano wa Tan- mwaka huu ili wakawach- ya Jamhuri ya Muungano zania kwa tiketi ya CCM, ague wagombea wa CCM wa Tanzania na Serikali ya Rais Dkt. John Pombe Ma- kuanzia wa Serikali ya Mu- Mapinduzi Zanzibar. gufuli na mgombea ungano na wale wa Seri- mwenza, Samia Suluhu kali ya Mapinduzi Zanzi- bar. 05 | #NiMagufuliTena 2020 - 2025 Alisema uamuzi huo wa wananchi wa Ana uwezo mkubwa, ni msomi mzuri, Zanzibar unatokana na sifa walizonazo Daktari bingwa wa maradhi ya binada- wagombea wa CCM ambazo ndiyo mu. Anaheshimika ndani na nje ya msingi wa kuteuliwa kwao kupeperu- nchi. sha bendera ya chama hicho. “Ni mzalendo, kazi zote alizopewa na Akizungumza kuhusu Dk. Mwinyi, Serikali alizifanya kwa ufanisi mkubwa, alisema ana sifa zote za kuwa Rais wa mimi naamini kama ninyi kuwa atatu- Zanzibar na anaheshimika ndani na vusha katika uchaguzi huu. nje ya mipaka ya Tanzania kutokana na uchapakazi wake, uadilifu na uza- Watu wa Zanzibar wanasubiri wakati lendo kwa taifa. v“Mwinyi ana sifa zote ufike wamchague DkT. Mwinyi na sisi za kuwa Rais wa Zanzibar, ndiyo tulioko Zanzibar tutahakikisha anash- maana amechaguliwa na CCM inda,” alisema DkT. Shein. agombee. #NiMagufuliTena 2020 - 2025 | 06 Dkt. Mwinyi Awataka Watanzania Wasibweteke, Wakapige kura Mgombea urais wa tiketi ya Chama uzinduzi wa kampeni za mgombea Cha Mapinduzi kwa upande wa Zanzi- urais wa Serikali ya Jamhuri ya Muun- bar kupitia Chama cha Mapinduzi gano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi amewata- Pombe Magufuli na mgombea ka watanzania wenye sifa na waliojian- mwenza, Mhe. Samia Suluhu Hassan dikisha kupiga kura kutobweteka wa- katika Uwanja wa Jamhuri jijini kiamini kuwa wagombea wanaowata- Dodoma. ka watashinda na badala yake waji- tokeze kwa wingi kupiga kura ili “Tusimbwete, siku ya uchaguzi tuka- wawawezeshe kushinda. pige kura. Hili nawaomba ingawa leo siyo siku yangu nimetambulishwa tu Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo lakini naomba niwaletee salamu za alipokuwa akiwasalimia maelfu wa wa- wana CCM Zanzibar kuwa wapo tayari nanchi waliokuwa wamefurika katika kwa uchaguzi. Watachagua CCM. 07 | #NiMagufuliTena 2020 - 2025 Wanasubiri siku ya uchaguzi tu,” alisema Dkt. Mwinyi. Aidha, Dkt. Mwinyi alitumia nafasi hiyo kumshukuru Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamedi Shein kwa kufanya kazi nzuri ya utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2010 – 2025 ambayo imekirahishia Chama hicho kazi ya kurudi kwa wananchi kuomba tena ridhaa ya kuendelea kushika dola. Aliahidi kuendeleza kazi zitakazoachwa na Dkt. Shein na kushirikiana na Rais Dkt. Magufuli katika vita vya kiuchumi ambayo ina maadui wengi wa ndani na nje. “Naahidi nitafanya kazi ya kuendeleza alipoachia Rais Shein kule Zanzibar, amefanya kazi nzuri, nitaiendeleza. Sina shaka na bara kutokana na kazi nzuri zilizofanyika na Rais Magufuli, akipewa miaka mingine mitano mafanikio yatakayofikiwa yatakuwa makubwa sana. “Muhimu tuilinde amani yetu, vipo viashiria vya kuvunja amani vinavyotolewa na baadhi ya watu. Tusikubali,” alisema Dkt. Mwinyi. #NiMagufuliTena 2020 - 2025 | 08 Dkt. Bashiru: Tumewasha Mitambo ya Ushindi Kwa Kishindo CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo Alisema CCM imewasha rasmi mitambo kimetangaza kuwasha mitambo yake ya ya ushindi huku kikiwa na hazina ya ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa Rrais, Wabungge 18 wanaosuibiri kuapishwa Wabunge na Madiwani. tu na Madiwani katika kata zisizopungua 400 nchi nzima. Tangazo hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ali alipoku- Aidha, Dkt. Bashiru alionya wale wote wa akizungumza katika uzinduzi wa watakaocheza na mitambo hiyo kwani kampeni wa mgombea Urais wa CCM, watababuka. Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. 09 | #NiMagufuliTena 2020 - 2025 Dkt. Bashiru: CCM Kuenzi Muungano, Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar CHAMA cha Mapinduzi kimesema kitaendelea kuhakikisha kuwa Tanzania inaendelea kulinda uhuru, kudumisha Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na kuim- arisha Muungano. Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Dkt. Bashiru Ali wakati wa uzinduzi rasmi wa Kampeni za Chama hicho leo Agosti 29, 2020 Jijini Dodoma. “CCM inaamini kwamba uzalendo kwa nchi ndio msingi wa maendeleo ya ukweli ya Tanzania ambayo yataletwa na watanzania wenyewe, hivyo basi, CCM itaendelea kuhimiza wananchi kuwa wazalendo kwa nchi yetu kwa kufanya kazi kwa uadilifu, bidii na maarifa kama msingi imara wa maendeleo,” alisisitiza Dkt. Bashiru. Amesisitiza kuwa CCM inaamini kuwa kila mtu ana jukumu la kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kujiletea maenndeleo yake na Taifa kwa ujumla. #NiMagufuliTena 2020 - 2025 | 10 Ameongeza kuwa CCM inatambua kuwa Serikali inazoziongoza zina jukumu la msingi la kuhakikisha kuwa walio wanyonge katika jamii wanapata fursa ya kipe- kee ya kustawisha maisha yao na kuondokana na unyonge wao ili kupunguza tofauti za matabaka. “CCM inatambua kuwa nchi yetu ina watu wenye uwezo na rasilimali za kutosha kama vile ardhi, madini, gesi asili, misitu, wanyama, malikale, bahari, maziwa na mito, pamoja na nafasi na fursa nzuri kijiografia”, Alisisitiza Dkt. Bashiru Alieleza kuwa rasilimali na fursa hizi zikitumiwa vizuri zitakuwa chachu kubwa kwa maendeleo ya Taifa kama ambavyo imethibitika katika utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2015- 2020. Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi umefanyika leo Agosti 29, 2020 Jijini Dodoma na kuwashirikisha maelfu ya wananchi wa Dodoma na mikoa mbalimbali hapa nchini. 11 | #NiMagufuliTena 2020 - 2025 Vijana Wamtaka Tena Magufuli 2020 Wakati Chama cha Mapinduzi kikizindua kwa kishindo kampeni za Urais, Ubunge na Udiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu