Madini News Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Toleo Na.4 Wa Tanzania Mei, 2020 HALIUZWI
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
Toleo Na.4 // Mei 2020 Yaliyomo // Sekta ya Madini Inaongoza Ujenzi Kiwanda cha Kuchakata kwa Ukuaji Nchini - Biteko Dhahabu Mwanza Washika Tume ya ... Na.04 kasi ... Na.05 Madini Profesa Msanjila Atoa Pongezi Udhibiti Utoroshaji Madini Nchini Ofisi ya Madini Singida Waimarika – Prof. Manya www.tumemadini.go.tz ... Na.06 ... Na.07 Tume ya Madini 2020 MABADILIKO YA JARIDA Tume ya Madini Tunapenda kuwajulisha wasomaji wetu kuwa Jarida hili litaanza kutoka kila baada ya miezi mitatu ambapo toleo linalofuatia litatoka mwezi Septemba, 2020. www.tumemadini.go.tz /TAHARIRI Salamu Kutoka kwa Waziri wa Madini Maoni ya Mhariri PONGEZI KWA WATUMISHI WA Tunajivunia Mafanikio WIZARA YA MADINI, MCHANGO Makubwa Sekta ya Madini WENU UMEONESHA TIJA KWENYE SEKTA Aprili 21, 2020 niliwasilisha Bungeni Hotuba yangu ya Bajeti kuhusu Ili kuhakikisha kuwa Sekta ya Madini inakuwa na mchango mkubwa kwenye ukuaji wa Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 uchumi wa nchi, Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli ilifanya Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya Mwaka 2017 yaliyopelekea ambapo pia nilieleza utekelezaji wa Vipaumbele tulivyojiwekea kama uundwaji wa Tume ya Madini na kuondoa Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania Wizara kwa Mwaka 2019/2020. Ni dhahiri kuwa utekelezaji wa vipaum- (TMAA). bele vya Mwaka 2019/2020 vimekuwa tija katika maendeleo na ukuaji wa Sekta ya Madini pamoja na kuchangia na kukuza uchumi wa nchi yetu, Tangu kuanzishwa kwa Tume ya Madini, tumeshuhudia mabadiliko makubwa kwenye hilo halina shaka. Sekta ya Madini yaliyotokana na mafanikio kwenye usimamizi wa Sekta ya Madini huku wazawa wakinufaika na rasilimali za madini zilizopo nchini. Mafanikio yaliyopatikana tangu kuanzishwa kwa Tume ya Madini ni pamoja na Aidha, pamoja na mafanikio yote yaliyopatikana, siwezi kuacha uendelezaji wa wachimbaji wadogo ambapo mpaka sasa maeneo sita kwa ajili ya kutambua mchango na ushirikiano dhabiti walionipatia Watumishi wote wachimbaji madini wadogo yenye jumla ya ukubwa wa hekta 38,951.88 yametengwa. wa Wizara ya Madini, wakiwemo Viongozi wenzangu wa Wizara, Wenyeviti wa Bodi zote za Taasisi zilizo chini ya Wizara kwani utendaji Aidha, maeneo 13 yenye ukubwa wa hekta 22,970.00 yamependekezwa kwa ajili ya wao wa kazi na mshikamano umewezesha mafanikio yaliyopatikana wachimbaji wadogo. Maeneo hayo yapo Msasa na Matabe Mkoani Geita, Biharamulo na katika kipindi hiki na umeniwezesha mimi kama Waziri wa Madini Kyerwa Mkoani Kagera, Itigi Mkoani Singida, D-Reef, Ibindi na Kapanda Mkoani Katavi, Ngapa Mkoani Songea, Nzega Mkoani Tabora na Kitowelo Mkoani Lindi. kutekeleza majukumu ya Wizara kwa tija. Mafanikio mengine yaliyopatikana ni pamoja na uimarishwaji wa ukaguzi wa migodi Ninawaomba tuendelee na ushirikiano huo katika kipindi hiki tunapoka- katika masuala ya usalama, afya na utunzaji wa mazingira kwa kufanya ukaguzi milisha utekelezaji wa majukumu ya Mwaka huu wa Fedha 2019/2020 ili kwenye migodi Mikubwa, ya Kati na Midogo ambapo hadi Machi, 2020 jumla ya migodi hatimaye tuweze kufikia malengo yetu ikiwemo la ukusanyaji wa 123 ilikaguliwa ambapo migodi mikubwa ilikuwa minne ya kati minne na migodi maduhuli tuliyopangiwa na Serikali kwa Mwaka huu, la Shilingi midogo 115. 470,897,011,000 huku tukijiandaa kutekeleza Vipaumbele vya Mwaka Aidha, Serikali iliwaelekeza wamiliki wa migodi mikubwa na ya kati kuandaa mpango 2020/2021 zaidi ya tulivyofanya sasa. wa ufungaji migodi ambao utakuwa na gharama za kurejesha mazingira katika hali inayoweza kutumika kwa matumizi mengine ambapo hadi Machi, 2020 migodi 11 Pamoja na hayo, ninaendelea kuwasisitiza watumishi wa Wizara ya imewasilisha Mipango ya Ufungaji Migodi. Madini wakati wote tunapotekeleza majukumu yetu tuendelee kuchukua tahadhari ya Ugonjwa wa Covid-19 kwa kujikinga na kufuata ushauri Tume ya Madini imekuwa ikifanya ukaguzi wa kimkakati wa madini katika maeneo ya wachimbaji wa kati na wadogo ili kupata takwimu sahihi za uzalishaji katika migodi unaotolewa na Wizara yetu ya Afya na kuhakikisha pia tunawalinda na husika na kutumia taarifa hizo kulinganisha na takwimu za uzalishaji madini wengine. zinazowasilishwa Serikalini na wahusika. Wito huu pia ninautoa kwa wadau wote wa madini tunapoendelea na Kutokana na ukaguzi huo Serikali ilifanikiwa kukusanya Mrabaha stahiki wa kiasi cha shughuli zetu katika maeneo yetu ya kazi ikiwemo ya uchimbaji na Shilingi 10,098,979,246.56 na Ada ya Ukaguzi shilingi 3,316,360,392.38 zilizotokana na kwenye biashara ya madini tuendelee kuchukua hatua za kujikinga na uzalishaji na mauzo ya tani 23,596,994.70 za madini ujenzi na tani 1,022,958.57 za kuwakinga wengine ili kwa pamoja tuijenge Tanzania ya Viwanda kupitia madini ya viwandani yenye jumla ya thamani ya shilingi 336,632,641,554.24. Sekta ya Madini Pia, Serikali ilifuta baadhi ya kodi zenye kero katika biashara ya madini kwa wachimbaji Nikirejea kwenye suala zima la kuhakikisha Sekta ya Madini inazidi kuwa wadogo. Kodi hizo ni kodi ya zuio (Withholding Tax – 5%) na kodi ya ongezeko la thamani yenye manufaa kwa taifa letu, kwa wadau wa madini na hususan (Value Added Tax -18%) pamoja na uanzishwaji wa masoko ya madini ambapo hadi wachimbaji wadogo wa madini, napenda kuendelea kusisitiza kuwa Machi, 2020 jumla ya masoko ya madini 28 na vituo vya ununuzi wa madini 28 yamean- serikali imedhamiria kuhakikisha wachimbaji wadogo wanachimba na zishwa nchini. kufanya biashara kwa faida huku Serikali ikiendelea kuweka mazingira Katika hatua nyingine, Tume ya Madini ilifanikiwa kuanzisha madawati maalum ya wezeshi waweze kutekeleza majukumu yao kikamilifu. ukaguzi katika viwanja vya ndege, Bandari na kwenye mipaka ya nchi kwa lengo la kudhibiti utoroshaji wa madini ambapo kazi husika hutekelezwa kwa kushirikiana na Kwa kuzingatia hilo, hivi karibuni nilikabidhi rasmi kwa Shirika letu la vyombo vya ulinzi na usalama na wadau wengine. Madini la Taifa (STAMICO) Viwanda Viwili vya Mfano vya kuchenjua Madini ya Dhahabu vya Lwamgasa- Geita na Katente Bukombe. Viwanda Hadi kufikia Machi, 2020 ukaguzi uliofanyika kupitia madawati yaliyopo katika viwanja vya ndege, bandari na mipaka, umewezesha kukamatwa kwa watoroshaji wa hivi vimejengwa mahususi kwa ajili ya kutoa mafunzo ya vitendo katika madini katika matukio 189 yaliyoripotiwa ambayo yalihusisha madini yenye thamani ya uchimbaji na uchenjuaji wa madini ya dhahabu kwa wachimbaji ili Dola za Marekani milioni 19.95 na shilingi bilioni 4.53. waweze kufanya shughuli zao kwa tija na hatimaye wakue. Aidha, Serikali ilifanikiwa kujenga ukuta wenye mzingo wa kilomita 24.5 kuzunguka Nipende kutoa wito kwa wachimbaji wadogo wa madini kuvitumia Migodi ya Mirerani ili kuzuia utoroshaji wa madini ya Tanzanite. Viwanda hivi kwa ajili ya kupata mafunzo yatakayowawezesha kuona Mafanikio mengine ni pamoja na utoaji wa leseni za madini 15,179 ambapo kati ya hizo umuhimu wa kutumia teknolojia rahisi na muhimu zitakazopelekea leseni 647 za utafutaji (PL), 65 za uchimbaji wa kati (ML) na 14,467 za uchimbaji mdogo kufanya kazi zao kwa tija na hatimaye kunufaika ipasavyo na rasilimali (PML). Katika mwaka wa fedha 2019/20 jumla ya leseni 2,376 za biashara ndogo (BL) na madini na hivyo kuwa sehemu muhimu ya washiriki na wamiliki wa 601 za biashara kubwa (DL) za madini zilitolewa. uchumi wa madini . Nachukua fursa hii kutoa shukrani kwa viongozi wa Tume ya Madini, Serikali za Mikoa na Wilaya pamoja na wadau wa madini nchini kwa ushirikiano mlionipa katika utekelezaji wa majukumu na kuweza kufikia mafanikio haya. JIKINGE NA UGONJWA WA COVID- 19 NA Madini Yetu, Uchumi UWAKINGE NA WENGINE Wetu Tuyalinde! Prof. Shukrani E. Manya Mhe. Doto Mashaka Biteko Katibu Mtendaji Waziri wa Madini Tume ya Madini Wizara ya Madini Tume ya Madini 2 Toleo Na.4 // Aprili 2020 Yaliyomo // Sekta ya Madini inaongoza Ujenzi Kiwanda cha Kuchakata kwa ukuaji nchini - Biteko Dhahabu Mwanza Washika Tume ya ... Na.04 kasi ... Na.05 Madini Profesa Msanjila atoa Kongele Udhibiti utoroshaji wa madini nchini Ofisi ya Madini Singida waimarika – Prof. Manya www.tumemadini.go.tz ... Na.06 ... Na.07 Tume ya Madini 2020 Uzinduzi wa Hati UzinduziHalisia ya wa Jadini Hati Halisiaya bati... ya Na.1 Jadini ya bati... Na.1 Dkt. John Pombe Magufuli Madini News Rais wa Jamhuri ya Muungano Toleo Na.4 wa Tanzania Mei, 2020 HALIUZWI KUHUSU SISI Tume ya Madini imeanzishwa chini Yaliyomo ya Sheria ya Madini ya Mwaka 2010 kama ilivyorekebishwa na Sheria (Miscellaneous Amendment) Act /HABARI NA MATUKIO 2017. 1 Sekta ya Madini Inaongoza kwa Ukuaji Tume ilianzishwa kupitia Gazeti la Nchini - Biteko . 04 Serikali Namba 27 iliyotolewa tarehe 7 Julai, 2017. 2 Ujenzi Kiwanda cha Kuchakata Dhahabu Mwanza Washika kasi . 05 Tume imechukua majukumu yote ya kiutendaji ambayo yalikuwa 3 Profesa Msanjila Atoa Pongezi Ofisi ya yakifanywa na Idara ya Madini Madini Singida . 06 chini ya Wizara ya Nishati na Madini na kazi zote ambazo 4 Udhibiti Utoroshaji Madini Nchini zilikuwa zikifanywa na Wakala wa Waimarika – Prof. Manya. 07 Ukaguzi wa Madini wa Tanzania (TMAA) na Kitengo cha Uchambuzi wa Almasi (TANSORT). 5 Wamiliki wa Migodi ya Kati na Mikubwa Waanza Kuwasilisha Mipango ya Ufungaji Lengo la Tume ni kuimarisha wa Migodi . 08 usimamizi wa Sekta ya Madini na kuhakikisha Serikali inafaidika 6 Ufutaji wa Baadhi ya Kodi Kwenye Madini kutokana na mapato yanayopatika- Waleta Unafuu kwa Wachimbaji Wadogo . 09 na kwa namna endelevu. 7 Tume ya Madini Yatoa Leseni 15,179 . 10 DIRA Kuwa Taasisi inayoongoza katika 8 Waziri Biteko Atoa Mwezi Mmoja Sekta ya Madini Afrika. Kampuni ya Mundarara Ruby Mines Kulipa Deni la Milioni 300. 11 DHIMA Kuchochea na kurekebisha Sekta ya 9 Biteko ataka Mradi wa Uchimbaji Uchimbaji Madini ili kuhakikisha Dhahabu Singida kutochelewa . 12 inatoa mchango endelevu na wenye tija katika uchumi wa Taifa. 10 Naibu Waziri Nyongo autaka uongozi wa Stamigold kushirikiana na wafanyakazi Mhariri Mkuu kuzalisha kwa ufanisi. 13 Prof. Shukrani E. Manya Mhariri Msaidizi 11 Naibu Waziri Nyongo Awataka Viongozi wa Greyson Mwase Vijiji Kushiriki Kutoa Elimu ya Uwekezaji Katika Sekta ya Madini Kupunguza Migogoro. 15 Wajumbe William Mtinya Fidia ya Biloni 33 Yalipwa George Kaseza 12 Mha. Yahya Samamba Nyamongo.