Prof. Muhongo Atangaza Takwimu Mpya Za Umeme
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
HABARIHABARI ZA ZA NISHATINISHATI &MADINI &MADINI http://www.mem.go.tz Toleo No. 51 Limesambazwa kwaBulletin Taasisi na Idara zote MEM Tarehe - 23-29 Januari , 2015 NewsToleo No. 164 Limesambazwa kwa Taasisi na Idara zote MEM Machi 24 - 30, 2017 WAZIRIPROF. WA NISHATI MUHONGO NA MADINI AZINDUA RASMI ATANGAZA BODI YA TANESCO -Uk2 TAKWIMU MPYA ZA UMEME Zimetayarishwa na WabungeNBS, REA, TANESCO Waimwagia sifa MEM, TANESCO, REA Uk. 2 Soma habari Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati) akibonyeza king’ora kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya Tatu kwa mikoa ya Songwe na Mbeya. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos wa Makalla (wa pili kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Dkt Gideon Kaunda (wa tatu kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga (wa kwanza kulia). Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akitaja takwimu mpya za umeme nchini wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya Tatu kwa mikoa ya Songwe na Mbeya. Uzinduzi ulifanyika katika kijiji cha Ilinga, wilayani Rungwe. Kulia ni Titus Mwisomba, Meneja Takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu UK >> 2 Waziri wa Nishati Mkurugenzi Mtend- Mkurugenzi Mkuu wa Naibu Waziri wa Nishati na Naibu Waziri wa Nishati na aji wa TANESCO, na Madini, Profesa Madini, anayeshughulikia Madini anayeshughulikia REA, Dk. Lutengano Sospeter Muhongo Mhandisi Felchesmi Mwakahesya UK Madini Stephen Masele Nishati, Charles Kitwanga Mramba EU yachangia bilioni 15 miradi ya Umeme Vijijini >>4 JWTZ wapongezwa kunusuru mtambo wa Msimbati-Uk4 Ofisi ya Mawasiliano Serikalini inapokea habari za matukio mbalimbali kwa ajili ya News Bullettin hii ya Wizara ya Nishati na Madini Ofisi ya Mawasiliano Serikalini inapokea habari za matukio mbalimbali kwaWasiliana ajili nasi ya Kitengo News chaBullettin Mawasiliano hii kwa na simu Jarida Namba la +255 Wizara 22 2110490 ya Nishati Fax 2110389 na MadiniMob: +255 732 999263 au Fika Ofisi ya Mawasiliano Ghorofa ya Tano (MEM) Wasiliana nasi Kitengo cha Mawasiliano kwa simu Namba +255 22 2110490 Fax 2110389 Mob: +255 732 999263 au Fika Ofisi ya Mawasiliano Ghorofa ya Tano (MEM) Barua pepe: [email protected] HABARI ZA NISHATI/MADINI http://www.mem.go.tz 2 Machi 24 - 30, 2017 NewsBulletin PROF. MUHONGO ATANGAZA TAKWIMU MPYA ZA UMEME Na Teresia Mhagama, Kuhusu utekelezaji wa Miradi ya hanga alisema kuwa Wakala huo 2019 jumla ya vijiji 755 katika mikoa Mbeya Umeme Vijijini, alisema kuwa katika umeendelea kutekeza kazi ya hiyo vitakuwa na umeme ambayo kila mwaka wa Fedha, kila mkoa usambazaji umeme vijijini katika ni sawa na asilimia 89 ya vijiji vyote. aziri wa Nishati hupewa vijiji vya kuunganishwa na Mkoa wa Mbeya na Songwe Aliongeza kuwa vijiji 92 vilivyobaki na Madini, huduma ya umeme huku dhamira ambapo mpaka sasa katika vijiji 847, vitaanza kusambaziwa umeme Profesa Sospeter ikiwa ni kusambaza umeme kwenye tayari vijiji 451 vina umeme ambayo kuanzia mwaka 2019. Muhongo vijiji vyote Tanzania ambavyo ni ni sawa na asilimia 53. Mkandarasi atakayehusika ametangaza zaidi ya 12,000. Alisema kuwa REA III itapeleka na usambazaji wa umeme katika takwimuW mpya za kiwango cha Alisema kuwa katika miradi umeme katika vijiji 304 vya mikoa mikoa hiyo ni kampuni ya STEG utumiaji wa umeme nchini ambazo hiyo ya umeme vijijini, Serikali hiyo ambapo hadi kufikia Machi, International ya Tunisia. zinaonesha kuongezeka kwa fursa za imenunua vifaa mbalimbali kama matumizi ya umeme kwa wananchi. nguzo, nyaya na transfoma hivyo Takwimu hizo alizitangaza wananchi hawatalipia vifaa hivyo wilayani Rungwe mkoani Mbeya, wakati wa utekelezaji wa mradi bali tarehe 20 Machi, 2017 wakati wanachopaswa kulipia ni shilingi akizindua Mradi wa Usambazaji 27,000 tu ya kuunganishiwa umeme. Umeme Vijijini Awamu ya Tatu kwa Vilevile, alisema kuwa bajeti mikoa ya Mbeya na Songwe. iliyotengwa kwa ajili ya usambazaji “Takwimu hizi zimetayarishwa umeme vijijini nchini ni zaidi ya na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) shilingi Trilioni moja ambazo ni kwa kushirikiana na Wakala wa fedha za ndani na nje ya nchi. Nishati Vijijini (REA), Shirika la Kwa upande wake Mkuu wa Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla na Wizara ya Nishati na Madini,” alipongeza juhudi za usambazaji alisema Profesa Muhongo. umeme vijijini na kueleza kuwa Alisema kuwa hadi kufikia vijiji 247 vya mkoa huo tayari Desemba 2016, fursa ya kutumia vimeshapata umeme na katika REA umeme nchini (overall National III, vijiji 238 vitapata umeme na access level) imeongezeka hadi kubakiwa na vijiji 8 tu. kufikia asilimia 67.5 kutoka asilimia Makalla, alitoa ombi kuwa vijiji 10 ya mwaka 2007. hivyo 8 vitakavyosalia, viwekwe Aliongeza kuwa fursa ya kutumia katika mradi huo wa usambazaji umeme vijijini imeongezeka na umeme vijijini Awamu ya Tatu ili kufikia asilimia 49.5 kutoka asilimia vijiji vyote viwe na umeme kama 2 ya mwaka 2007 na kwa mijini fursa ilivyo kwa makao makuu zote za ya kutumia umeme imeongezeka wilaya katika mkoa huo ambazo hadi kufikia asilimia 97.3. zinapata huduma ya umeme. “Tunaposema fursa katika Aidha alitoa ombi kwa Wizara tawimu hizi, tuna maana kuwa na TANESCO kumaliza kero umeme umefika sehemu fulani na ya kukatika mara kwa mara wakati wowote ukihitaji kuwekewa kwa umeme mkoani humo unaupata, hicho ni kipimo cha kunakotokana na matengenezo kwanza kinachotumika duniani ya miundombinu ya umeme ili wakati wa kuandaa takwimu Mbeya iwe na nishati ya uhakika Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla (kulia) akizungumza wakati za umeme na kipimo cha pili itakayokidhi mahitaji ya majumbani wa uzinduzi wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya Tatu kinachotumika ni cha idadi ya watu na viwanda. kwa mikoa ya Songwe na Mbeya. Uzinduzi ulifanyika katika kijiji waliofungiwa umeme,” alisema Naye Mkurugenzi Mkuu wa cha Ilinga, wilayani Rungwe. Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini, ProfesaMuhongo. REA, Mhandisi Gissima Nyamo- Profesa Sospeter Muhongo. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (mwenye koti la Bluu), Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos wa Makalla (kushoto kwa Waziri) na watendaji kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA) na viongozi wa kijiji cha Ilinga wakifurahia uzinduzi wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya Tatu kwa mikoa ya Songwe na Mbeya. http://www.mem.go.tz HABARI ZA NISHATI/MADINI NewsBulletin Machi 24 - 30, 2017 3 MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, MAJADILIANO YANAENDELEA TAHARIRI TULIAHIDI, TUNATEKELEZA Mwezi Machi mwaka huu kuanzia tarehe 6 tumeshuhudia Uzinduzi wa Kitaifa wa Mradi Kabambe wa Usambazaji Umeme Vijini Awamu ya Tatu (Densification) katika Mikoa mbalimbali nchini. Tayari uzinduzi wa mradi huo umefanywa na Viongozi Waandamizi wa Wizara katika Mikoa ya Tanga, Dodoma, Mara, Pwani, Iringa, Mbeya na Songwe na utaendelea katika Mikoa mingine Hivi karibuni Mawaziri wa Nishati wa Serikali za Tanzania na Uganda nchini kulingana na makubaliano ya Mikataba walikutana nchini Uganda ili kujadili maendeleo ya utekelezaji wa Mradi na Wakandarasi, unaokwenda sambamba na wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi kuwatambulisha wakandarasi kwa mikoa husika ikiwa Bandari ya Tanga, Tanzania, linalojulikana kama East African Crude Oil Pipeline (EACOP). ni pamoja na katika Serikali za Mitaa. Lengo la mkutano huo lilikuwa ni kutekeleza maelekezo ya Marais Dkt. Kimsingi, uzinduzi huo unaashiria kuanza kwa John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Rais wa Utekelezaji wa REA III ambao unafanywa na jamhuri ya Uganda, Yoweri Mseveni, yaliotolewa wakati wa ziara ya kikazi Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na ya Rais Museveni nchini Tanzania, Marais hao waliwaelekeza Mawaziri wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), ambapo Wizara husika kukamilisha majadiliano ya Serikali kuhusu mradi huo kwa unatarajiwa kutekelezwa kwa kipindi cha miaka haraka ili kuwezesha ujenzi wa Mradi kuanza mara moja. mitano hadi mwaka 2021. Wengine walioshiriki mkutano huo ni Mawaziri wa Fedha na Ardhi wa REA Awamu ya III unatarajia kumaliza kazi ya Uganda na Tanzania, Wanasheria Wakuu, Makatibu Wakuu na Wakurugenzi kuunganisha huduma ya umeme katika vijiji 7867 wa Sheria, Ardhi, Nishati wa Tanzania na Uganda na Makampuni nchini ambavyo viliachwa katika Awamu ya Kwanza yanayowekeza katika mradi wa bomba hilo. Makampuni hayo yenye hisa na ya Pili ambayo utekelezaji wake utafikisha jumla ya katika visima vya mafuta nchini Uganda ni Total (France), CNOOC (China) na vijiji 12,262 Tanzania Bara vilivyofikiwa na huduma ya TULLOW (UK). umeme ifikapo mwaka 2021. Tayari kazi za awali za maandalizi ya ujenzi wa mradi zinaendelea ikiwemo Kama ambavyo Serikali kupitia Wizara ya Nishati Utafiti wa matumizi ya udongo, maandalizi ya utafiti wa ndani ya maji mahali na Madini iliahidi kuanza utekelezaji wa REA, itakapojengwa ghati ya kushusha mafuta na maandalizi ya ufatifi wa masuala hatimaye REA III imeanza kutekelezwa. ya mazingira na athari zake katika jamii. Vivyo hivyo, Wakandarasi wote watakaotekeleza Mradi wa bomba la EACOP, unatajwa kuwa mradi mwingine wa kihistoria, mradi husika wanapaswa kutekeleza majukumu na unatarajiwa kugharimu kiasi cha Dola za Marekani Bilioni 3.55, urefu wa yao kwa kuzingatia umuhimu wa huduma hiyo kwa kilomita 1,443 na uwezo wa kusafirisha mapipa 200,000 kwa siku. Mradi maendeleo ya nchi ili hatimaye kama Taifa liweze utakuwa na Manufaa kwa Taifa ikiwemo kutoa ajira za muda Mfupi na Mrefu kuingia katika uchumi wa Kati na nchi ya Viwanda na pia kuongeza vyanzo vya kodi kwa Taifa. kutokana