Toleo Na.2 // Machi 2020 Yaliyomo // Biteko - Nitasimama na Mzee Tume ya Leseni ya TanzaniteOne Imefutwa na Kisangani mpaka “asimame” Kurudishwa Serikalini - Biteko... Uk.04 ... Uk.08 Madini Bilioni 66.5 zapatikana tangu Wanawake Tume ya Madini kuanzishwa kwa masoko Wawakumbuka ya madini ... Uk.10 Yatima ... Uk.18 www.tumemadini.go.tz Tume ya Madini 2020 www.tumemadini.go.tz /TAHARIRI Salamu Kutoka kwa Waziri wa Madini Maoni ya Mhariri SEKTA YA MADINI INAIMARIKA, MAFANIKIO MASOKO TUENDELEZE USHIRIKIANO YA MADINI TUMEWEZA! Katika Mwaka wa Fedha 2019/2020 Wizara ya Madini ilipanga kutekeleza majukumu yake kupitia miradi Katika kuhakikisha kuwa Sekta ya Madini inakuwa na mchango mbalimbali ikilenga katika kuimarisha Sekta ya Madini, hivyo kuwa na mchango mkubwa kwenye ukuaji wa mkubwa kwenye ukuaji wa uchumi wa Taifa, Serikali kupitia uchumi wa nchi. Tume ya Madini kuanzia Machi, 2019 ilifungua masoko ya madini Katika Toleo lililopita nilielezea kwa kifupi kuhusu yale ambayo yamesimamiwa na kutekelezwa na Wizara na vituo vya ununuzi wa madini lengo likiwa ni kudhibiti utorosh- kwa kipindi cha takribani miaka miwili tangu kuanzishwa kwake. waji wa madini kwa kuwapatia wachimbaji wa madini nchini Katika Toleo hili nitaelezea kwa kifupi mafanikio ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara kwa kipindi cha sehemu ya kuuzia madini yao huku wakilipa kodi mbalimbali kuanzia Julai, 2019 hadi Februari, 2020. Kama ambavyo nilieleza Bungeni katika Hotuba yangu wakati Serikalini. nikiwasilisha Bajeti ya Wizara kwa Mwaka 2019/2020, nilieleza kuwa, Wizara imepangiwa kukusanya Shilingi 470,897,011,000.00 katika Mwaka wa Fedha 2019/2020. Uanzishwaji wa masoko ya madini na vituo vya ununuzi wa Napenda kuwataarifu wasomaji wa Jarida hili kuwa, hadi kufikia Februari, 2020 jumla ya Shilingi madini ni sehemu ya maelekezo yaliyotolewa kwenye mkutano wa 319,025,339,704.73 zimekusanywa ambazo ni sawa na asilimia 102 ya lengo la makusanyo ya nusu mwaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tazania, Dkt. John Magufuli na katika kipindi husika. Kwetu sisi haya ni mafanikio makubwa kwani mchango wa sekta hii kwenye pato la wachimbaji wa madini nchini uliofanyika jijini Dar es Salaam Taifa letu sasa unaonekana. mapema Januari 21, 2019. Pia, katika kipindi cha nusu mwaka (Januari hadi Juni, 2019) kasi ya ukuaji wa uchumi katika Sekta ya Madini ulifikia asilimia 13.7 na kushika nafasi ya pili kitaifa ikitanguliwa na Sekta ya Ujenzi iliyokua kwa Ikumbukwe kuwa, kabla ya kuanzishwa kwa masoko haya na asilimia 16.5. vituo vya ununuzi wa madini, Sekta ya Madini ilikumbwa na Aidha, ukuaji wa Sekta ya Madini hadi kufika robo ya tatu ya Mwaka (Januari hadi Septemba, 2019) ulifikia changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na utoroshaji na biashara asilimia 12.6 na kuendelea kushika nafasi ya pili kitaifa ikitanguliwa na Sekta ya Ujenzi iliyokua kwa asilimia haramu ya madini. 14.8. Ukuaji huu ulitokana na kuongezeka kwa uzalishaji wa madini ya dhahabu, makaa ya mawe, na almasi kati ya madini mengine. Katika kipindi hicho, uzalishaji wa dhahabu uliongezeka hadi kilo 31,615 kutoka kilo 28,338 mwaka 2018. Mpaka sasa jumla ya masoko 28 na vituo vya ununuzi wa madini 28 yamefunguliwa nchini lengo likiwa ni kuongeza uwazi kwenye Uzalishaji wa makaa ya mawe uliongezeka hadi tani 517,986 kutoka tani 483,481 katika kipindi kama hicho biashara ya madini, upatikanaji wa takwimu sahihi za madini mwaka 2018. Ukuaji huu umeifanya Sekta ya Madini kuwa ya pili katika kasi ya ukuaji kwa kipindi rejea ikitanguliwa na sekta ya Ujenzi iliyokua kwa asilimia 14.8. yanayozalishwa nchini na kurahisisha ulipaji wa kodi mbalimbali nchini zinazolipwa na wachimbaji wadogo wa madini. Haya pia ni mafanikio kwa nchi yetu na hatua kubwa ya ukuaji wa Sekta hii ambayo kwa miaka mingi rasilimali hii haikulinufaisha taifa ipasavyo ikilinganishwa na aina ya utajiri wa rasilimali madini tuliyonayo. Tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini na vituo vya ununuzi Aidha, Mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa (GDP) umekuwa ukiimarika mwaka hadi mwaka wa madini nchini manufaa mengi yamepatikana ikiwa ni pamoja kutokana na ongezeko la kasi ya ukuaji wa sekta ikishindanishwa na sekta nyingine za kiuchumi. Katika na upatikanaji wa bei sahihi za madini yanayouzwa na wachim- kipindi cha nusu mwaka (Januari hadi Juni, 2019) mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa ulikuwa asilimia 5.1. Aidha, hadi kufika robo ya tatu ya Mwaka (Januari hadi Septemba, 2019) mchango wa Sekta hii baji na wafanyabiashara wadogo wa madini tofauti na hapo awali ulikuwa asilimia 4.7. ambapo wanunuzi walikuwa wakinunua madini kwa bei ndogo. Pia, baada ya Wizara kufanya kaguzi za kimkakati za leseni za biashara ya madini katika maeneo ya Geita, Mafanikio mengine ni pamoja na kupungua kwa utoroshaji na Mara, Mwanza, Chunya, Kahama na Arusha kumekuwepo na ongezeko la leseni 308 kutoka leseni 696 za biashara ya madini kabla ya ukaguzi wa kimkakati hadi kufikia leseni 1,004. Ongezeko hili pia limechangiwa biashara haramu ya madini na kusaidia upatikanaji wa mapato na kuimarika kwa utendaji wa Tume ya Madini. stahiki ya Serikali kupitia tozo za mrabaha (6%) na tozo ya ukaguzi (1%) za mauzo ya madini kwenye masoko na upatikanaji wa Vilevile, katika mwaka huu wa Fedha na kama tulivyoahidi, Wizara imeendelea kuhamasisha shughuli za uongezaji thamani madini, leo napenda kuwataarifu kuwa, Wizara kupitia Tume ya Madini mpaka kufikia takwimu sahihi za uzalishaji na mauzo ya madini yanayozalishwa Machi, 2020 imetoa leseni mbili za uyeyushaji madini ya metali (smelters) zilizopo katika Wilaya za na kuuzwa na wachimbaji pamoja na wafanyabiashara wadogo wa Mpwapwa na nyingine Kahama. madini nchini. Pia, Wizara kupitia Tume ya Madini imetoa leseni tatu za usafishaji madini (refinery) katika mkoa wa Dodoma, Geita na Mwanza. Viwanda hivyo vya uongezaji thamani madini vipo katika hatua mbalimbali za ujenzi Aidha, tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini mapema ambapo kiwanda cha usafishaji madini kilichopo Dodoma kipo katika hatua za mwisho. Machi mwaka jana jumla ya kiasi cha shilingi bilioni 66.5 zimepa- tikana na kuongeza mchango wa Sekta ya Madini kwenye ukuaji Mbali na hayo, katika Mwaka huu wa Fedha, tumeshuhudia Maabara ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) ikipata ITHIBATI ya kimataifa ya uchunguzi wa sampuli za dhahabu kwa njia ya wa uchumi wa nchi mafanikio ambayo ni makubwa sana kwa tanuru kutoka shirika la SADCAS. Hii itasaidia sampuli zinazopimwa katika maabara zetu ziweze kuaminika Tume ya Madini na Serikali kwa ujumla. kimataifa na kuruhusu upimaji wa sampuli kutoka nje ya nchi na kupunguza gharama za uchunguzi wa sampuli zetu nje ya nchi. Kutokana na kuimarishwa kwa usimamizi kwenye masoko haya, Kwa mafanikio haya machache niliyoyataja, yametokana pia na ushirikiano na juhudi zilizofanywa kwa tangu kuanzishwa kwake mwezi Machi, 2019 hadi kufikia mwezi pamoja na kwa ushirikiano wa Watumishi wa Wizara ya Madini na Taasisi zake zote. Napenda kuchukua Januari, 2020 kilogramu 9,237.34 za dhahabu; karati 12,973.14 za fursa hii kuwapongeza watumishi wote wa Wizara kwa juhudi kubwa wanazofanya kuhakikisha Sekta hii inakua. Nazidi kuwaasa kila mmoja kuendelea kutekeleza majukumu yake kikamilifu kwa manufaa ya taifa madini ya almasi; kilogramu 20,099.17 za madini ya bati; na letu. kilogramu 514,683.28 za madini ya vito mbalimbali ziliuzwa kupitia masoko hayo na kuipatia Serikali jumla ya shilingi bilioni Aidha, napenda kuchukua fursa hii kuendelea kuwasisitiza wadau wote wa madini kuendelea kuunga mkono 66.57. juhudi hizi zinazofanywa na Wizara kuhakikisha lengo hili linafikiwa kikamilifu katika kipindi kilichobaki cha kukamilisha Mwaka huu wa Fedha wa 2019/2020. Kwanza, nawataka wafanyabiashara kufanya biashara zao kwa kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu zilizowekwa, wachimbaji wadogo kuchimba kwa kufuata Sheria, Taratibu na maelekezo ya wataalam ili wachimbe kwa tija na wachimbaji wakubwa kufanya Tunachukua nafasi hii kuwapongeza watumishi wa Tume ya shughuli zao kwa kuzingatia Sheria , Kanuni na Taratibu zilizowekwa. Madini hususan Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa, Kamati za Mwisho lakini si kwa umuhimu, naendelea kuwasisitiza Watumishi wa Wizara na wadau wote wa madini Ulinzi na Usalama za Mikoa na Wilaya, na Taasisi nyingine za kuendelea kuchukua hatua madhubuti za kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya Ugonjwa wa CORONA Serikali kwa ushirikiano mzuri kwenye usimamizi wa masoko na (COVID 19) wakati wote muwapo kwenye utekelezaji wa majukumu yenu na katika maeneo yenu ya kazi lakini kwa umuhimu kwa kuhakikisha tunafuata ushauri unaotolewa na Wizara ya Afya bila kupuuza. vituo vya ununuzi wa madini vilivyoanzishwa. Sekta ya Madini, Tumethubutu Tumeweza! Madini Yetu, Uchumi Wetu Tuyalinde! Prof. Shukrani E. Manya Mhe. Doto Mashaka Biteko Katibu Mtendaji Waziri wa Madini Tume ya Madini Wizara ya Madini Tume ya Madini 2 Toleo Na.2 // Machi 2020 Yaliyomo // Biteko - Nitasimama na Mzee Tume ya Leseni ya TanzaniteOne Imefutwa na Kisangani mpaka “asimame” Kurudishwa Serikalini - Biteko... Na.04 ... Na.08 Madini Bilioni 66.5 zapatikana tangu Wanawake Tume ya Madini kuanzishwa kwa masoko Wawakumbuka ya madini ... Na.10 Yatima ... Na.13 www.tumemadini.go.tz Tume ya Madini 2020 Dkt. John Pombe Magufuli Madini News Rais wa Jamhuri ya Muungano Toleo Na.2 wa Tanzania Machi, 2020 HALIUZWI KUHUSU SISI Tume ya Madini imeanzishwa chini ya Sheria ya Madini ya Mwaka 2010 Yaliyomo kama ilivyorekebishwa na Sheria (Miscellaneous Amendment) Act 2017. /HABARI NA MATUKIO Tume ilianzishwa kupitia Gazeti la Serikali Namba 27 iliyotolewa tarehe 7 Julai, 2017. 1 Leseni ya TanzaniteOne Imefutwa na Kurudishwa Serikalini - Biteko . Uk.04 Tume imechukua majukumu yote ya kiutendaji ambayo yalikuwa 2 Mchuchuma na Liganga sasa basi . Uk.06 yakifanywa na Idara ya Madini chini ya Wizara ya Nishati na 3 Biteko - Nitasimama na Mzee Madini na kazi zote ambazo Kisangani mpaka “asimame” . Uk.08 zilikuwa zikifanywa na Wakala wa Ukaguzi wa Madini wa Tanzania (TMAA) na Kitengo cha Uchambuzi 4 Bilioni 66.5 zapatikana tangu wa Almasi (TANSORT). kuanzishwa kwa masoko ya madini . Uk.10 Lengo la Tume ni kuimarisha Sekta ya Madini kuzalisha usimamizi wa Sekta ya Madini na 5 kuhakikisha Serikali inafaidika mamilionea – Waziri Biteko .
Details
-
File Typepdf
-
Upload Time-
-
Content LanguagesEnglish
-
Upload UserAnonymous/Not logged-in
-
File Pages23 Page
-
File Size-