Bajeti Ya Wizara Ya Mambo Ya Nje Na

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Bajeti Ya Wizara Ya Mambo Ya Nje Na YALIYOMO YALIYOMO ................................................................................. i ORODHA YA VIFUPISHO .........................................................iii 1.0 UTANGULIZI..................................................................... 1 2.0 MISINGI YA SERA YA TANZANIA KATIKA UHUSIANO WA KIMATAIFA ................................................................ 7 3.0 TATHMINI YA HALI YA UCHUMI, SIASA, ULINZI NA USALAMA DUNIANI KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021 ......................................................................... 9 3.1 Hali ya Uchumi............................................................... 9 3.2 Hali ya Siasa, Ulinzi na Usalama ................................. 10 4.0 MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021 ............ 17 Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 .......... 20 Mapato............... ...................................................................... 20 Fedha Zilizoidhinishwa............................................................. 21 Fedha Zilizopokelewa na Kutumika ......................................... 21 4.1 Kusimamia na Kuratibu Masuala ya Uhusiano Baina ya Tanzania na Nchi Nyingine .......................................... 22 4.1.1 Utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi ......................... 22 4.1.2 Ushirikiano wa Tanzania na Nchi za Afrika.................. 23 4.1.3 Ushirikiano wa Tanzania na Nchi za Asia na Australasia ................................................................... 31 4.1.4 Ushirikiano wa Tanzania na Nchi za Mashariki ya Kati………………. ........................................................ 37 4.1.5 Ushirikiano wa Tanzania na Nchi za Ulaya na Amerika..........................................................…………40 4.2 Kuratibu Masuala ya Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa ...................................................................... 50 4.3 Kufuatilia na Kusimamia Utekelezaji wa Mikataba ya Kimataifa na Hati za Makubaliano ............................... 83 i 4.4 Kuratibu Masuala ya Itifaki, Uwakilishi na Huduma za Kikonseli....................................................................... 87 4.4.1 Ziara za Viongozi wa Kitaifa na Mashirika ya Kikanda na Kimataifa Kutoka Nje ya Nchi ...................................... 87 4.4.2 Ziara za Viongozi wa Kitaifa Nje ya Nchi ..................... 95 4.4.3 Kuanzisha na Kusimamia Huduma za Kikonseli.......... 97 4.5 Uratibu wa Watanzania Wanaoishi Nje ya Nchi (Diaspora) .................................................................... 99 4.6 Elimu kwa Umma ....................................................... 100 4.7 Utawala na Maendeleo ya Watumishi........................ 102 4.7.1 Uteuzi wa Viongozi .................................................... 102 4.7.2 Mafunzo ..................................................................... 103 4.7.3 Upandishaji Vyeo ....................................................... 103 4.7.4 Kubadilisha Kada Watumishi ..................................... 104 4.7.5 Uhamisho................................................................... 104 4.8 Kuratibu na Kusimamia Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ya Wizara na Taasisi Zilizo Chini ya Wizara........................................................................ 104 4.8.1 Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ya Wizara ........ 104 4.8.2 Utekelezaji wa Majukumu ya Taasisi Zilizo Chini ya Wizara........................................................................ 105 5.0 CHANGAMOTO ZILIZOPO NA HATUA ZILIZOCHUKULIWA ..................................................... 112 6.0 SHUKRANI.................................................................... 113 7.0 MALENGO YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022 ..................................................................... 117 8.0 MALENGO YA TAASISI ZILIZO CHINI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022 .................................. 119 9.0 MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022 ......................... 122 10.0 HITIMISHO.................................................................... 124 ii ORODHA YA VIFUPISHO AfCFTA - African Continental Free Trade Area AfDB - African Development Bank AICC - Arusha International Conference Centre APRM - African Peer Review Mechanism CFR - Centre for Foreign Relations Common Market for Eastern and COMESA - Southern Africa DRC - Democratic Republic of Congo EAC - East African Community EPA - Economic Partnership Agreement km - Kilometa kV - Kilovolt United Nations Multidimensional MINUSCA - Intergrated Stabilization Mission in the Central African Republic United Nations Organization MONUSCO - Stabilization Mission in the Democratic Republic of Congo. iii MW - Megawatt Organisation of African, Carribean and OACPS - Pacific States OSBP - One Stop Border Post Southern African Development SADC - Community TEHAMA - Teknolojia ya Habari na Mawasiliano United Nations Educational, Scientific UNESCO - and Cultural Organisation United Nations Development UNDP - Programme United Nations Industrial Development UNIDO - Organisation United Nations Interim Force in UNIFIL - Lebanon Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu UVIKO-19 - unaosababishwa na Virusi vya Korona iv 1.0 UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa leo katika Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 na pia lijadili na kupitisha Mpango na Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022. 2. Mheshimiwa Spika, naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia afya njema na kuniwezesha kusimama mbele ya Bunge lako Tukufu siku ya leo. Kwa kuwa Hotuba hii ya Bajeti ni ya kwanza nikiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, napenda kumshukuru Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuniamini na kuniteua kuongoza Wizara hii. Napenda kumhakikishia Mheshimiwa Rais kuwa nitafanya kazi kwa uwezo wangu wote na kwa kudra za Mwenyezi Mungu nitatekeleza majukumu yangu ipasavyo katika kuleta maendeleo ya Taifa letu. 1 3. Mheshimiwa Spika, itakumbukwa kwamba, tarehe 17 Machi, 2021 Taifa lilipata msiba mzito wa kuondokewa na Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aidha, tarehe 24 Julai, 2020 tulimpoteza Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; na tarehe 17 Februari, 2021 tuliwapoteza Mheshimiwa Maalim Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Mheshimiwa Balozi Mhandisi John William Hebert Kijazi, aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Naomba kutumia nafasi hii kuungana na Waheshimiwa Mawaziri wenzangu waliotangulia kuwasilisha Hotuba zao kutoa pole kwa Mheshimiwa Rais, familia, ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote kwa ujumla kwa misiba hii mizito. Wizara yangu inatambua na kuthamini mchango mkubwa wa viongozi hawa katika kukuza taswira ya nchi yetu kimataifa na mahusiano ya kidiplomasia baina yetu na nchi mbalimbali. 4. Mheshimiwa Spika, natumia nafasi hii pia kutoa shukrani za dhati kwa nchi marafiki na jumuiya ya kimataifa kwa kuonesha mshikamano, kutufariji na kushiriki nasi katika kipindi cha majonzi makubwa kwa Taifa letu. 2 5. Mheshimiwa Spika, kwa namna ya pekee naomba kutoa shukrani kwa Umoja wa Mataifa kwa uamuzi wake wa kuitisha kikao rasmi cha Baraza Kuu la Umoja huo kwa ajili ya kumuenzi na kumkumbuka Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichofanyika tarehe 16 Aprili, 2021 Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani. Kupitia kikao hicho, Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa zilielezea mafanikio makubwa ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaliyopatikana chini ya Uongozi wa Hayati Dkt. Magufuli katika kuboresha huduma za jamii kama vile elimu, maji, afya, nishati na miundombinu ya usafirishaji. Tunawashukuru sana. 6. Mheshimiwa Spika, vilevile, naomba kutoa pole kwako na Bunge lako Tukufu kufuatia vifo vya Waheshimiwa Khatibu Said Haji aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Konde, Zanzibar aliyefariki tarehe 20 Mei, 2021; Mhandisi Atashasta Justus Nditiye aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoa wa Kigoma, aliyefariki tarehe 12 Februari, 2021; na Martha Jachi Umbulla aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Manyara, aliyefariki tarehe 21 Januari, 2021. Mwenyezi Mungu azipumzishe roho za marehemu mahala pema peponi. Amina. 3 7. Mheshimiwa Spika, kipekee kabisa na kwa moyo mkunjufu napenda kutumia nafasi hii kumpongeza kwa dhati Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kuapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Vilevile, nawapongeza Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, kwa kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; na Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), kwa kuaminiwa na kuendelea kushika nafasi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuna imani na uongozi mpya ulioingia madarakani kuendelea kudumisha amani na Muungano wetu, kusukuma mbele gurudumu la maendeleo na kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na jumuiya ya kimataifa. 8. Mheshimiwa Spika, nampongeza pia Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi; Mheshimiwa Othman
Recommended publications
  • Predators 2021 8 7 6 5 4 3 2 1
    1 2 3 4 5 6 7 8 1 2 3 4 5 6 7 8 8 7 6 5 4 3 2 1 PREDATORS 2021 8 7 6 5 4 3 2 1 Azerbaijan 167/180* Eritrea 180/180* Isaias AFWERKI Ilham Aliyev Born 2 February 1946 Born 24 December 1961 > President of the Republic of Eritrea > President of the Republic of Azerbaijan since 19 May 1993 since 2003 > Predator since 18 September 2001, the day he suddenly eliminated > Predator since taking office, but especially since 2014 his political rivals, closed all privately-owned media and jailed outspoken PREDATORY METHOD: Subservient judicial system journalists Azerbaijan’s subservient judicial system convicts journalists on absurd, spurious PREDATORY METHOD: Paranoid totalitarianism charges that are sometimes very serious, while the security services never The least attempt to question or challenge the regime is regarded as a threat to rush to investigate physical attacks on journalists and sometimes protect their “national security.” There are no more privately-owned media, only state media assailants, even when they have committed appalling crimes. Under President with Stalinist editorial policies. Journalists are regarded as enemies. Some have Aliyev, news sites can be legally blocked if they pose a “danger to the state died in prison, others have been imprisoned for the past 20 years in the most or society.” Censorship was stepped up during the war with neighbouring appalling conditions, without access to their family or a lawyer. According to Armenia over Nagorno-Karabakh and the government routinely refuses to give the information RSF has been getting for the past two decades, journalists accreditation to foreign journalists.
    [Show full text]
  • Cabo Ligado Mediafax
    OBSERVATORY CONFLICT CONFLICT CABO LIGADO 14 May 2021 Cabo Ligado Monthly: April 2021 Cabo Ligado — or ‘connected cape’ — is a Mozambique conflict observatory launched by ACLED, Zitamar News, and Mediafax. VITAL STATS • ACLED records 20 organized political violence events in April, resulting in 45 reported fatalities • The vast majority of incidents and fatalities recorded took place in Palma district, where the contest for control of Palma town and outlying areas continued throughout the month • Other events took place in Pemba, Macomia, and Muidumbe districts VITAL TRENDS • Over a month after the initial insurgent attack on Palma town on 24 March, the area around the town is still under threat from insurgents, with clashes reported on 30 April and into May • Attacks on the Macomia coast also continued in May, targeting fishermen pursuing their livelihoods in the area IN THIS REPORT • Analysis of the Tanzania’s role in the Cabo Delgado conflict in the wake of late President John Pombe Magufuli’s death and Samia Suluhu Hassan’s ascension to the Tanzanian presidency Evaluation of child vulnerability in Cabo Delgado following the first confirmed sightings of children under arms in insurgent operations. • Update on international involvement in the Cabo Delgado conflict with a focus on the proposed Southern African Development Community intervention that leaked in April APRIL SITUATION SUMMARY April 2021 was a relatively quiet month in the Cabo Delgado conflict, as both sides appeared to pause to evaluate their positions following the insurgent occupation of Palma town that ran from 24 March to 4 April. From the government’s perspective, the occupation was a disaster.
    [Show full text]
  • October 19, 2020 the Honorable Michael R. Pompeo Secretary Of
    October 19, 2020 The Honorable Michael R. Pompeo Secretary of State U.S. Department of State 2201 C Street, NW Washington, D.C. 20520 Re: Request to address deteriorating human rights situation during Oct. 27 visit with Sri Lanka’s President and Prime Minister Dear Secretary Pompeo: I am writing on behalf of Amnesty International and our 10 million members, supporters and activists worldwide. Founded in 1961, Amnesty International is a global human rights movement that was awarded the Nobel Peace Prize in 1977 for contributing to “securing the ground for freedom, for justice, and thereby also for peace in the world.” Amnesty’s researchers and campaigners work out of the International Secretariat, which over the last decade, has established regional offices around the world, bringing our staff closer to the ground. The South Asia Regional Office was established in 2017 in Colombo, Sri Lanka to lead Amnesty's human rights work on Afghanistan, Bangladesh, Bhutan, the Maldives, Nepal, Pakistan and Sri Lanka. Amnesty's South Asia Regional Office has carefully documented the deterioration of the human rights situation in Sri Lanka under the current government. Impunity persists for new and past human rights violations. We ask that during your upcoming visit to Sri Lanka, you call on President Gotabaya Rajapaksa and Prime Minister Mahinda Rajapaksa to reverse some of their recent actions which undermine human rights and take steps to address impunity. Under the current government, the space for dissent and criticism is rapidly shrinking, as demonstrated by a series of cases, including the harassment of New York Times journalist Dharisha Bastians, the arbitrary detention of blogger Ramzy Razeek and lawyer Hejaaz Hizbullah, and the ongoing criminal investigation against writer Shakthika Sathkumara.
    [Show full text]
  • New Unified Platform for Settling Work Disputes Soon: Labour Ministry
    1996 - 2021 SILVER JUBILEE YEAR Qatari banks Bottas takes pole see in asset for Portuguese growth: GP and denies KPMG Hamilton 100th Business | 13 Sport | 20 SUNDAY 2 MAY 2021 20 RAMADAN - 1442 VOLUME 26 NUMBER 8610 www.thepeninsula.qa 2 RIYALS International Workers’ Day this year coincides with the New unified platform for settling start of the implementation of the new and pioneering legislation that has strengthened the work environment that attracts workers, especially the work disputes soon: Labour Ministry legislations that facilitate the movement of workers QNA — DOHA International Workers’ Day is a workers. He said that the Min- in the national plan for vacci- between different employers and the non- tribute to all workers due to the istry is working in this regard nation against coronavirus and discriminatory minimum wage law for workers and The Ministry of Administrative interest they receive as partners to implement modern legis- the intensive efforts made by domestic workers. Development, Labour and in the development renaissance lation in accordance with the the state to provide free vacci- Social Affairs has announced in the State of Qatar, expressing highest standards through con- nation for all categories of H E Yousef bin Mohammed Al Othman Fakhroo the establishment of a unified deep gratitude and appreciation tinuous cooperation and coor- workers, he said. platform for complaints and to the workers who have helped dination with representatives He affirmed that the State disputes in the coming days. and continue to contribute to of employers and workers and will continue implementing The platform will allow the achievement of compre- various local and international measures to respond to the eco- employees and workers who hensive development.
    [Show full text]
  • Republic of Burundi United Republic of Tanzania Joint
    1 REPUBLIC OF BURUNDI UNITED REPUBLIC OF TANZANIA JOINT COMMUNIQUE ON THE OCCASION OF THE STATE VISIT TO THE REPUBLIC OF BURUNDI BY HER EXCELLENCY SAMIA SULUHU HASSAN, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA FROM 16th TO 17th JULY 2021 ---------------------------------------------------------------------------------------------------------- 1. At the invitation of His Excellency Evariste Ndayishimiye, President of the Republic of Burundi, Her Excellency Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, undertook a State Visit to the Republic of Burundi from 16th to 17th July 2021. 2. Her Excellency Samia Suluhu Hassan led a high-level delegation including Ministers and other senior governmental officials of the United Republic of Tanzania. 3. The President of the United Republic of Tanzania expressed her gratitude to His Excellency Evariste NDAYISHIMIYE, President of the Republic of Burundi, the Government and the people of Burundi for the warm welcome extended to her and her delegation during her first and historic State visit to Burundi. 4. The two Heads of State noted with satisfaction and commended the existing excellent bilateral ties between the two countries that have a historic, solid foundation. 5. The two Leaders reaffirmed their shared commitment to strengthen the spirit of solidarity and cooperation in various sectors of common interest between the two Governments and peoples. 2 6. During her State visit, Her Excellency Samia Suluhu Hassan visited FOMI, an organic fertilizer industry in Burundi and the CRDB Bank on 16th July 2021. 7. At the beginning of the bilateral talks, the two Heads of State paid tribute to the Late Excellency Pierre Nkurunziza, former President of the Republic of Burundi, the Late Excellency Benjamin William Mkapa, the third President of the United Republic of Tanzania and the Late Excellency John Pombe Joseph Magufuli, the fifth President of the United Republic of Tanzania.
    [Show full text]
  • Vaccine Diplomacy in India’S Neighbourhood Sohini Bose Editor
    145 SPECIAL . no The Dynamics of Vaccine Diplomacy in India’s Neighbourhood Sohini Bose Editor JUNE 2021 © 2021 Observer Research Foundation. All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, copied, archived, retained or transmitted through print, speech or electronic media without prior written approval from ORF. Introduction n early 2021, India—driven by its ‘Neighbourhood First’ policy1 and in its understanding of its role as the ‘net security provider’ of the region—2 began providing This special report examines the dynamics of COVID-19 vaccines on a priority basis vaccine diplomacy in India’s neighbourhood. In Ito its immediate neighbours.a Between January five sections, the report explores the state of the and April, India either sold or granted a total of countries’ vaccine rollout, the gaps in supply that 19,542,000 vaccine doses to countries in the region,3 either China or Russia is bridging as India halted until it stopped further exports in late April when it vaccine supply, and the implications of such efforts became clear that the second wave of the pandemic on the bigger geostrategic picture across India’s was going to be far more severe than the first one near-neighbourhood. in 2020. Today, at the time of writing this report, a significant volume of vaccines purchased from In her essay on Bangladesh—often referred to India by some of these near-neighbours remains as India’s “closest alliance” in the neighbourhood,5 undelivered. Moreover, the promise of the Quad Sohini Bose highlights the diplomatic challenges countriesb “to expand and accelerate production it faces in balancing the strategic underpinnings [of vaccines] in India” for the Indo-Pacific4 remains of the vaccine assistance it receives.
    [Show full text]
  • Hotuba Ya Wizara Ya Viwanda Na
    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA HOTUBA YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, MHE. PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2021/2022 Dodoma. Mei, 2021. YALIYOMO ORODHA YA VIFUPISHO ........................................ vi DIRA, DHIMA NA MAJUKUMU YA WIZARA ................x 1. UTANGULIZI ..................................................... 1 2. UMUHIMU WA VIWANDA NA BIASHARA KATIKA UCHUMI WA TAIFA .............................. 7 3. MCHANGO WA SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA KATIKA UCHUMI ........................... 10 3.1. Sekta ya Viwanda ......................................... 10 3.2. Sekta ya Biashara ........................................ 11 4. TATHMINI YA MPANGO NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA 2020/2021 12 Bajeti Iliyoidhinishwa na Kupokelewa kwa Mwaka 2020/2021 ......................................... 12 4.1. Tathmini ya Utekelezaji wa Malengo ya Bajeti kwa Mwaka 2020/2021 ............................... 12 4.1.1. Utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha Mfumo wa Udhibiti wa Biashara- BLUEPRINT ..............................................12 4.1.2. Mapitio na Utungaji wa Sera na Marekebisho ya Sheria na Kanuni ........ 14 4.1.3. Sekta ya Viwanda .................................. 19 4.1.4. Sekta ya Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo .................................................... 41 4.1.5. Sekta ya Biashara .................................. 48 4.1.6. Sekta ya Masoko .................................... 69 4.1.7. Maendeleo
    [Show full text]
  • The Sri Lankan Experience with Covid-19: Strengthening Rule by Executive
    Esta obra forma parte del acervo de la Biblioteca Jurídica Virtual del Instituto de Investigaciones Jurídicas de la UNAM www.juridicas.unam.mx Libro completo en: https://tinyurl.com/y5u4rx6w THE SRI LANKAN EXPERIENCE WITH COVID-19: STRENGTHENING RULE BY EXECUTIVE Kumaravadivel GURUPARAN* SUmmaRY: I. Introduction. II. Rule by ‘Taskforces’ and military. III. The illegality of the curfew, lack of a public discourse and the acculturalization of a no-rules emergency. IV. The dispensability of Parliament. V. Conclusion. I. INTRODUCTION Sri Lanka’s constitutional governance in the post-war context was already tak- ing an authoritarian turn when COVID 19 stuck in February 2020. The coun- try had just elected its war-time Defence Secretary, Gotabaya Rajapaksa, a former army soldier as its President in November 2019. President Rajapaksa came into power promising to repeal reforms enacted in 2015 that took away some powers from the disproportionately powerful Executive Presidency and to make the Presidency strong again. The Government that came into power in 2015 promised to abolish the Executive Presidency but settled for a re- formed Presidency unable and unwilling to muster support for a wholesome reform effort. President Rajapaksa has very conveniently instrumentalised the COVID19 pandemic to justify and further expand the powers of the Executive at the expense of the other two forms of Government. This short article will focus on three aspects of how COVID19 has impacted on matters relating to constitutional governance: Firstly, the impact of the military-run, non-statuto- ry, arguably extra-legal authorities on constitutional governance. Secondly, the extra-legal nature of the curfew imposed by the Government, the lack of pub- lic debate about its illegality and its impact on a public culture supportive of the rule of law and finally the side-lining of the Parliament and the re-emergence of the centrality of the Executive in constitutional discourse and practice.
    [Show full text]
  • Hotuba Ya Bajeti Ya Elimu Mwaka 2017/18
    HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA MHESHIMIWA PROF. JOYCE LAZARO NDALICHAKO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2017/18 DODOMA MEI, 2017 i ii YALIYOMO VIFUPISHO ................................................................. v DIRA .......................................................................... vii DHIMA ....................................................................... vii MAJUKUMU ............................................................... vii UTANGULIZI ....................................................... 1 MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI YA KWA MWAKA 2016/17 ...................... 6 KAZI ZILIZOTEKELEZWA MWAKA 2016/17 ................. 7 USIMAMIZI WA SERA NA SHERIA ZA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA ......................................................... 7 UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU KATIKA TAASISI ZA ELIMU .............................................. 8 ITHIBATI NA UTHIBITI WA ELIMU NA MAFUNZO 17 SHUGHULI ZILIZOFANYWA NA TAASISI NA MASHIRIKA KWA MWAKA 2016/17 ................................................ 32 USIMAMIZI WA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU NA MIRADI .......................................................... 75 MPANGO NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2017/18 ....................... 79 URATIBU WA TAASISI NA WAKALA ZILIZO CHINI YA WIZARA ...................................................................... 89 SHUKRANI ...................................................... 139 MAOMBI YA FEDHA KWA MWAKA 2017/18 ..... 141 KUTOA
    [Show full text]
  • Muhtasari Wa Hotuba Ya Waziri Wa Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto, Mhe
    MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, MHE. DKT. DOROTHY GWAJIMA (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2021/22. UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge lako Tukufu, iliyochambua Bajeti ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ninaomba kutoa hoja Bunge lako likubali kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Wizara yangu kwa mwaka 2020/21 na Vipaumbele vyake kwa mwaka 2021/22. Aidha, ninaliomba Bunge lako Tukufu likubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Kawaida pamoja na Miradi ya Maendeleo ya Wizara kwa mwaka 2021/22. 2. Mheshimiwa Spika, Namshukuru Mungu kuniwezesha kusimama mbele ya Bunge lako Tukufu na kuwasilisha hotuba yangu. Aidha, kwa masikitiko makubwa, natoa pole kwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Spika, Waheshimiwa Wabunge Wote, Chama Cha Mapinduzi pamoja na Watanzania wote kwa kuondokewa na mpendwa wetu, Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 3. Mheshimiwa Spika, Vilevile, natoa pole kwa Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuondokewa na Viongozi Wakuu, Hayati Benjamin William Mkapa, aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maalim Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, na Balozi Mhandisi John Herbert Kijazi, aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Kazi ya Mungu haina makosa, Mwenyezi Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi. 4. Mheshimiwa Spika, Vilevile, naomba kutoa pole kwako, Bunge lako Tukufu, familia na wananchi wa Mkoa wa Manyara kwa kifo cha Mheshimiwa Martha Umbulla, Mbunge wa Viti Maalum (CCM).
    [Show full text]
  • Women's Foreign Policy Group
    2019 WOMEN’S FOREIGN POLICY GROUP 9 The Women’s Foreign Policy Group publishes the Guide to Women Leaders in International Affairs to highlight women leaders shaping foreign policy around the world. The Guide provides an index of prominent women from across the international community, including heads of state and government, government ministers, leaders of international organizations and corporations, American officials and diplomats, and women representatives to the US and the UN. This free publication is available online at www.wfpg.org. The WFPG advances women’s leadership in international affairs and amplifies their voices through substantive global issue discussions and mentoring. Founded in 1995, WFPG works tirelessly to expand the foreign policy dialogue across political divides and generations, and to support women at every stage of their careers. As champions of women’s leadership, we are proud of our role in expanding the constituency in international affairs by convening global experts and creating a vital network of women with diverse backgrounds and experience. Through mentoring and career development programs, we connect aspiring leaders with role models, providing students and young professionals with the tools they need for career advancement and to contribute to a stronger, more peaceful, and equitable society. WFPG’s frequent, in-depth global issues forums feature women thought leaders and news-makers from government, journalism, diplomacy, and academia. Our programming takes members beyond the headlines and provides context for key global challenges. WFPG is a nonpartisan, independent, 501(c)3 nonprofit organization. To learn more and get engaged, visit www.wfpg.org. Cover photos listed left to right by line: Hon.
    [Show full text]
  • Economic Developments in East Africa
    ECONOMIC DEVELOPMENTS IN EAST AFRICA MONTHLY BRIEFING MARCH 2021 Image: Samia Suluhu Hassan is sworn in as Tanzanian president Credit: Xinhua / Alamy Stock Photo ECONOMIC DEVELOPMENTS IN EAST AFRICA MONTHLY BRIEFING MARCH 2021 CONTENTS SUMMARY .................................................................................................................................................................................1 1. MACRO ISSUES .............................................................................................................................................................1 1.1. AFRICA .......................................................................................................................................................................................1 1.2. EAST AFRICAN COMMUNITY (EAC)................................................................................................................................2 1.3. KENYA ........................................................................................................................................................................................2 1.4. TANZANIA ................................................................................................................................................................................3 1.5. RWANDA ..................................................................................................................................................................................3 1.6. UGANDA ...................................................................................................................................................................................3
    [Show full text]