Kitabu Cha Kumbukumbu Za Wabunge
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
BUNGE LA TANZANIA ____________ KITABU CHA KUMBUKUMBU ZA WABUNGE BUNGE LA KUMI NA MBILI Toleo la Nne - Agosti, 2021 1 SEHEMU YA KWANZA UTANGULIZI Bunge limekuwepo toka tupate Uhuru mwaka 1961 na kabla ya Uhuru kuanzia mwaka 1926. Wabunge nao wameendelea kuwepo kwa vipindi tofauti na kwa idadi inayobadilika kila wakati wakitekeleza wajibu wao muhimu wa kutunga sheria na kuisimamia Serikali kwa niaba ya wananchi kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Bunge lilipoanza mwaka 1926, Wabunge walikuwa ishirini na moja (21) na mwaka 1961 ulipopatikana Uhuru Wabunge waliongezeka kufikia themanini (80) na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 idadi ya Wabunge iliongezeka na kufikia Wabunge 357. Hata hivyo, baada ya Tume ya Uchaguzi kuona umuhimu wa kuongeza idadi ya majimbo kutokana na sababu mbalimbali sasa hivi idadi ya Wabunge ni 393. Kitabu hiki cha Kumbukumbu za Wabunge kimegawanyika katika Sehemu kuu Kumi na Nne. Katika sehemu hizo, kitabu kimeorodhesha Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na anuani zao, namba zao simu za mkononi na majimbo au aina ya uwakilishi wao Bungeni chini ya picha zao ili kurahisisha mawasiliano. Katika mchanganuo wa kila sehemu, Sehemu ya Kwanza ni Utangulizi. Aidha, Wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge ambao ndio wasimamizi wa shughuli za Bunge wameorodheshwa katika Sehemu ya Pili ya kitabu hiki ikifuatiwa na Uongozi wa Ofisi ya Bunge katika Sehemu ya Tatu. 2 Sehemu ya Nne imeorodhesha Wabunge wote wa Majimbo wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mikoa ikifuatiwa na Sehemu ya Tano ambayo imeorodhesha Wabunge wote wa Viti Maalum kulingana na uwakilishi wa vyama vyao Bungeni ikianzia na Chama cha Mapinduzi (CCM) na ikifuatiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Sehemu ya Sita imeorodhesha Wabunge kupitia nafasi ya Kuteuliwa na Rais na Sehemu ya Saba itaorodhesha Wabunge kutoka Baraza la Wawakilishi. Aidha, Baraza la Mawaziri ambalo limejumuisha Mawaziri na Naibu Mawaziri limeorodheshwa katika Sehemu ya Nane ya kitabu hiki; Sehemu ya Tisa ni mchanganuo wa uwakilishi Bungeni. Pia kitabu hiki kimeonesha anuani za Ofisi ya Bunge katika Sehemu ya Kumi na katika Sehemu ya Kumi na Moja ni Sekretarieti ya Ofisi ya Bunge. Orodha ya Kamati za Kudumu za Bunge imeorodheshwa katika Sehemu na Kumi na Mbili ya kitabu na Sehemu ya Kumi na Tatu ni anuani za Ofisi na Wizara na Idara za Serikali. Tunaamini kitabu hiki cha Kumbukumbu za Wabunge kitasaidia kuleta utendaji wenye ufanisi wa kutosha na kwa haraka. 3 SEHEMU YA PILI TUME YA UTUMISHI WA BUNGE Mhe. Job Y. Ndugai Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mhe. Jenista J. Mhagama MWENYEKITI WA TUME MAKAMU MWENYEKITI MJUMBE WA TUME WA TUME Mhe. Fakharia Shomar Khamis Mhe. Aeshi K. Hilaly Mhe. Halima J. Mdee MJUMBE WA TUME MJUMBE WA TUME MJUMBE WA TUME Mhe. Rashid A. Shangazi Mhe. Zahor Mohammed Haji MJUMBE WA TUME Mhe. Khalifa Mohamed Issa MJUMBE WA TUME MJUMBE WA TUME Mhe. Janejelly James Ntate Ndg. Nenelwa J. Mwihambi, ndc MJUMBE WA TUME KATIBU WA TUME 4 SEHEMU YA TATU UONGOZI WA BUNGE 1. Mhe. Job Yustino Ndugai, (CCM) S.L.P. 9133, D’SALAAM. S.L.P. 941, DODOMA. 41105 DODOMA. Simu: 0762 605951 0655 605951 Baruapepe: [email protected] SPIKA KONGWA 2. Mhe. Dkt. Tulia Ackson, (CCM) S.L.P. 9133, D’SALAAM. S.L.P. 941, DODOMA. 41105 DODOMA. Simu: 0784 763144 Baruapepe: [email protected] NAIBU SPIKA MBEYA MJINI 3. Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, (CCM) S.L.P. 980, DODOMA. Simu: 0785 205910 0752 232137 Baruapepe: [email protected] WAZIRI MKUU RUANGWA 4. Ndugu Nenelwa J. Mwihambi, ndc S.L.P 941, DODOMA. 41105 DODOMA. Simu: 0782 516165 Baruapepe: [email protected] KATIBU WA BUNGE 5 SEHEMU YA NNE WABUNGE WA MAJIMBO KWA MIKOA Jimbo la Uchaguzi/ Aina ya Ubunge ARUSHA 1. Mhe. William Tate Olenasha, (CCM) S.L.P. 1, NGORONGORO. Simu: 0753 529585 NGORONGORO 2. Mhe. Dkt. Steven Lemomo Kiruswa (CCM) S.L.P. ARUSHA. Simu: 0784 543731 LONGIDO 3. Mhe. Dkt. John Danielson Pallangyo, (CCM) S.L.P. 13218 ARUSHA. Simu: 0622 414444 0735 770277 ARUMERU MASHARIKI 4. Mhe. Mrisho Mashaka Gambo, (CCM) S.L.P. 11777, ARUSHA. Simu: 0689 500500 0766 757575 ARUSHA MJINI 6 5. Mhe. Noah Lemburis Saputu Mollel, (CCM) S.L.P. ARUSHA. Simu: 0755 641086 0766 238238 ARUMERU MAGHARIBI 6. Mhe. Daniel Awack Tlemai, (CCM) S.L.P. ARUSHA. Simu: 0755 458744 KARATU 7. Mhe. Fredrick Edward Lowassa , (CCM) S.L.P. 139, MONDULI, ARUSHA. Simu: 0754 266288 MONDULI DAR ES SALAAM 1. Mhe. Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile, (CCM) S.L.P. 36147, D’SALAAM. Simu: 0713 623106 KIGAMBONI 2. Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo, (CCM) S.L.P. 35394, D'SALAAM. Simu: 0754 301908 0623 333884 UBUNGO 7 3. Mhe. Mussa Azzan Zungu, (CCM) S.L.P. 15441, D’SALAAM. Simu: 0768 666999 ILALA 4. Mhe. Bonnah Ladislaus Kamoli, (CCM) S.L.P. 7642, D’SALAAM. Simu: 0758 324552 SEGEREA 5. Mhe. Jerry William Silaa, (CCM) S.L.P. Simu: 0758 855850 UKONGA 6. Mhe. Askofu Josephat Mathias Gwajima, (CCM) S.L.P. 76092, D'SALAAM. Simu: 0717 808111 KAWE 7. Mhe. Issa Jumanne Mtemvu, (CCM) S.L.P. SimU: 0713 283473 KIBAMBA 8 8. Mhe. Abdallah Jafari Chaurembo, (CCM) S.L.P. D'SALAAM. Simu: 0713 447717 MBAGALA 9. Mhe. Tarimba Gulam Abbas, (CCM) S.L.P. 23135, D'SALAAM. Simu: 0767 204570 KINONDONI 10. Mhe. Dorothy George Kilave, (CCM) S.L.P. D'SALAAM. Simu: 0693 300700 TEMEKE DODOMA 1. Mhe. Job Yustino Ndugai, (CCM) S.L.P. 64 KONGWA, DODOMA. Simu: 0762 605951 KONGWA 2. Mhe. George Boniface Simbachawene, (CCM) S.L.P. 980, DODOMA. Simu: 0763 770831 0755 375623 KIBAKWE 9 3. Mhe. Deogratius John Ndejembi, (CCM) S.L.P. Simu: 0718 777707 CHAMWINO 4. Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji, (CCM) S.L.P. DODOMA. Simu: 0789 415954 0716 679297 KONDOA 5. Mhe. Anthony Peter Mavunde, (CCM) S.L.P. 126, DODOMA. Simu: 0784 713204 0755 422491 DODOMA MJINI 6. Mhe. Livingstone Joseph Lusinde, (CCM) S.L.P. 50, DODOMA. Simu: 0755 453327 MVUMI 7. Mhe. Mohamed Lujuo Monni, (CCM) S.L.P. DODOMA. Simu: 0713 300901 CHEMBA 10 8. Mhe. Kenneth Ernest Nollo, (CCM) S.L.P. 1923, DODOMA. Simu: 0787 003004 BAHI 9. Mhe. George Natany Malima, (CCM) S.L.P. 899, DODOMA. Simu: 0754 698528 MPWAPWA 10. Mhe. Ally Juma Makoa, (CCM) S.L.P. 2, KONDOA, DODOMA. Simu: 0754 258984 KONDOA MJINI GEITA 1. Mhe. Dkt. Medard Matogolo Kalemani, (CCM) S.L.P. 70618, D'SALAAM. Simu: 0754 562366 CHATO 2. Mhe. Doto Mashaka Biteko, (CCM) S.L.P. 51 BUKOMBE. Simu: 0758 380383 0786 802523 0655 123 762 BUKOMBE 11 3. Mhe. Constantine John Kanyasu, (CCM) S.L.P. 10294, MWANZA. Simu: 0767 643322 GEITA MJINI 4. Mhe. Hussein Nassor Amar, (CCM) S.L.P. GEITA Simu: 0784 270578 0765 974383 NYANG’HWALE 5. Mhe. Joseph Kasheku Musukuma, (CCM) S.L.P. 275, MWANZA. Simu: 0784 144000 0685 000005 GEITA 6. Mhe. Tumaini Bryceson Magessa, (CCM) S.L.P. MWANZA. Simu: 0754 392727 BUSANDA 7. Mhe. Nicodemas Henry Maganga, (CCM) S.L.P. MWANZA. Simu: 0752 130768 MBOGWE 12 IRINGA 1. Mhe. William Vangimembe Lukuvi, (CCM) S.L.P. 2908, 40477 DODOMA. Simu: 0755 555111 0787 222227 0755 333334 ISMANI 2. Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe, (CCM) S.L.P. 2996 40483 DODOMA. Simu: 0754 605688 MUFINDI KASKAZINI 3. Mhe. Cosato David Chumi, (CCM) S.L.P. 21, MAFINGA. Simu: 0784 272411 MAFINGA MJINI 4. Mhe. Jesca Jonathani Msambatavangu, (CCM) S.L.P. 2464, IRINGA. Simu: 0754 301349 IRINGA MJINI 5. Mhe. Jackson Gedion Kiswaga, (CCM) S.L.P. IRINGA. Simu: 0658 123537 KALENGA 13 6. Mhe. David Mwakiposa Kihenzile, (CCM) S.L.P. IRINGA. Simu: 0767 522990 MUFINDI KUSINI 7. Mhe. Justin Lazaro Nyamoga, (CCM) S.L.P. 2387. DODOMA. Simu: 0754 899076 KILOLO KAGERA 1. Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, (CCM) S.L.P. 25, 40481 DODOMA. Simu: 0627 923123 KARAGWE 2. Mhe. Stephen Lujwahuka Byabato, (CCM) S.L.P. 491, KAGERA. Simu: 0752 912861 BUKOBA MJINI 3. Mhe. Charles John Poul Mwijage, (CCM) S.L.P. 177, KAMACHUMU. Simu: 0787 335454 0767 335454 MULEBA KASKAZINI 14 4. Mhe. Dkt. Jasson Samson Rweikiza, (CCM) S.L.P. 1652, BUKOBA. Simu: 0786 101524 0754 282583 BUKOBA VIJIJINI 5. Mhe. Innocent Sebba Bilakwate, (CCM) S.L.P. 31078, D'SALAAM. Simu: 0754 275748 0626 272727 KYERWA 6. Mhe. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, (CCM) S.L.P. Simu: 0767 642442 MULEBA KUSINI 7. Mhe. Florent Laurent Kyombo, (CCM) S.L.P. 1922, DODOMA. Simu: 0754 274709 NKENGE 8. Mhe. Eng. Ezra John Chiwelesa, (CCM) S.L.P. 5, BIHARAMULO, KAGERA. Simu: 0754 655629 BIHARAMULO MAGHARIBI 9. Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, (CCM) S.L.P. Simu: 0754 411009 NGARA 15 KASKAZINI PEMBA 1. Mhe. Abdi Hija Mkasha, (CCM) S.L.P. 98, PEMBA. Simu: 0777 862140 MICHEWENI 2. Mhe. Amour Khamis Mbarouk, (CCM) S.L.P. KASKAZINI PEMBA. Simu: 0774501364 TUMBE 3. Mhe. Omar Ali Omar, (ACT) S.L.P. KASKAZIN PEMBA. Simu: 0773 903885 WETE 4. Mhe. Khalifa Mohamed Issa, (ACT) S.L.P. 188, WETE, PEMBA. Simu: 0777 420750 MTAMBWE 5. Mhe. Hamad Hassan Chande, (CCM) S.L.P. KASKAZINI PEMBA. Simu: 0777 484543 KOJANI 16 6. Mhe. Omar Issa Kombo, (CCM) S.L.P. KASKAZINI PEMBA. Simu: 0771 505220 WINGWI 7. Mhe. Salim Mussa Omar, (CCM) S.L.P. KASKAZINI PEMBA. Simu: 0773 845881 GANDO 8. Mhe. Maryam Omar Said, (CUF) S.L.P. KASKAZINI PEMBA. Simu: 0774 053323 PANDANI 9. KONDE (WAZI) KASKAZINI UNGUJA 1. Mhe. Juma Othman Hija, (CCM) S.L.P. 235, KASKAZINI UNGUJA. Simu: 0777 488744 0656 488744 TUMBATU 17 2. Mhe. Ali Vuai Khamis, (CCM) S.L.P.