Jarida La Ushirika Toleo La Tano (5Th Edition)
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
ISSN 2714 - 2175 Toleo Na: 005 Januari - Machi, 2021 “HAKIKISHENI VITENDEA KAZI HIVI VINATUNZWA NA KUTUMIKA VIZURI ILI KUFIKIA MALENGO YALIYOKUSUDIWA” – WAZIRI WA KILIMO “Ushirika - Pamoja Tujenge Uchumi Imara na Endelevu” SALAMU ZA PONGEZI Jarida la Ushirika, Toleo Namba 005 2 YALIYOMO KUTOKA KWA MRAJIS NA MTENDAJI MKUU WA TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA 04 WAZIRI WA KILIMO AKABIDHI MAGARI NA KOMPYUTA KWA WARAJIS WASAIDIZI WA MIKOA 05 TAFITI ZA USHIRIKA KULETA SULUHU YA CHANGAMOTO ZA USHIRIKA 07 MCHANGO WA USHIRIKA WA KILIMO KWENYE MAENDELEO YA VIWANDA NCHINI 09 SERIKALI YADHAMIRIA KUREJESHA HESHIMA NA HADHI YA USHIRIKA NCHINI 11 ZIJUE KAGUZI ZA VYAMA VYA USHIRIKA 13 SHERIA YA USHIRIKA KUFANYIWA MAPITIO 15 USHIRIKA MKOMBOZI WA WANAWAKE 16 MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE KATIKA PICHA 18 WAJUMBE WAPYA WA BODI ZA VYAMA WAPIGWA MSASA NA KULA KIAPO 19 MASWALI NA MAJIBU KUHUSU CHAGUZI ZA VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA 21 MCHANGO WA VYAMA VYA USHIRIKA WA NYUMBA KUFIKIA AZMA YA NYUMBA KWA WOTE 22 MIFUMO YA KIMASOKO YAWANUFAISHA WAKULIMA WA MKOA WA RUVUMA NA KUWAWEZESHA KUPATA 24 BILIONI 28.6 WAKULIMA WA CHOROKO MWANZA WANUFAIKA NA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA 26 Jarida la Ushirika, Toleo Namba 005 3 KUTOKA KWA MRAJIS NA MTENDAJI MKUU WA TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA - Tumekusudia Kuimarisha Usimamizi wa Ushirika ERIKALI imekusudia kuendeleza na Skuimarisha Vyama vya Ushirika nchini ili kuleta tija kwa Wananchi na hatimaye kuijenga Tanzania yenye uchumi wa kati na wa viwanda kupitia Vyama vya Ushirika. Nina imani kubwa kuwa Ushirika ukiendeshwa na kusimamiwa vizuri unayo fursa kubwa ya kushiriki katika kujenga, kuimarisha na kustawisha uchumi wa nchi yetu na maisha ya wananchi kwa ujumla. Kupitia Dira ya Maendeleo ya Taifa, Serikali imeweka mikakati mbalimbali ya kuinua uchumi wa Wananchi na Taifa kwa ujumla. Serikali imekuwa ikitekeleza mipango mbalimbali ili Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji kufanikisha malengo ya kitaifa tuliyojiwekea. Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege Katika kuimarisha utendaji wa Watumishi walioko katika Sekta ya Ushirika Serikali imeamua kununua vitendea kazi, ili kuongeza Serikali kwa kushirikiana na Wadau wa usimamizi wa vyama kwa lengo la kuongeza Maendeleo inaahidi kuendelea kuboresha ufanisi kwenye Vyama na kuwanufaisha mazingira ya kufanyia kazi kwa Watumishi wa Wananchi kiuchumi ambalo ni lengo moja wapo Sekta hii muhimu kwa Maendeleo ya Wananchi la Taifa. Vitendea kazi hivyo ikiwa ni pamoja na na Taifa kwa ujumla. Tutaendelea kununua Magari na kompyuta zilizonunuliwa na Tume magari zaidi na kuongeza vitendea kazi vingine ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, pamoja ili kuimarisha usimamizi wa Sekta ya Ushirika na kompyuta zilizotolewa na Benki ya CRDB nchini. ni nyenzo muhimu zitakazosaidia kutufikisha Tume ya Maendeleo ya Ushirika tukiwa tunakoelekea katika kuimarisha Sekta ya wasimamizi wa Vyama vya Ushirika nchini, Ushirika nchini. Magari yatasaidia kupunguza tunaahidi kutekeleza ipasavyo Ilani ya Uchaguzi tatizo la usafiri kwa Warajis Wasaidizi na ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2020 Maafisa Ushirika wanaosimamia Vyama vya – 2025 ambayo imetoa Maelekezo mahsusi Ushirika huko Mikoani na kompyuta zitasaidia ya kutekelezwa katika Sekta ya Ushirika. kuimarisha matumizi sahihi ya Teknolojia Maelekezo yaliyotolewa ni: “Katika kipindi ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA). cha miaka mitano (2020 - 2025), Chama Teknolojia hii itawezesha kupunguza na Cha Mapinduzi kitahakikisha dhana kuondoa changamoto mbalimbali zilizokuwa ya Ushirika wa hiari inajengwa na zikijitokeza; ikiwemo ucheleweshaji wa kazi kusimamiwa na sheria ili kuwalinda kwenye uandikishaji wa Vyama vya Ushirika, na kuwanufaisha wanaushirika, hivyo upotevu wa kumbukumbu na utunzaji duni wa kuchangia ipasavyo katika ustawi wao takwimu katika Sekta ya Ushirika. na Taifa kwa ujumla” Jarida la Ushirika, Toleo Namba 005 4 WAZIRI WA KILIMO AKABIDHI MAGARI NA KOMPYUTA KWA WARAJIS WASAIDIZI WA MIKOA Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda akikabidhi gari aina ya Nissan Hard Top N 300 Double Cabin 4WD kwa Mrajis Msaidizi wa Vyama vya Ushirika mkoa wa Njombe, Consolatha Kiluma (kushoto). aziri wa Kilimo, Profesa Waziri wa Kilimo Prof. Mkenda ajili ya kuimarisha shughuli WAdolf Mkenda, mwezi pia amekabidhi kompyuta za utendaji kwa lengo la Januari 2021 amekabidhi 25 pamoja na printa moja kuboresha kasi ya utendaji magari manne aina ya Nissan (1) zenye jumla ya thamani kazi kwenye usimamizi wa Hard Top N 300 Double Cabin ya Shilingi 49,050,000/-. Vyama vya Ushirika. 4WD yenye jumla ya thamani Akizungumza na Washiriki wa ya Shilingi 275,091,670/- hafla ya makabidhiano, Waziri “Hakikisheni vitendea kazi kwa Warajis Wasaidizi wa Mkenda amesema magari hivi vinatunzwa ipasavyo na Vyama vya Ushirika wa Mikoa na kompyuta alizowakabidhi kutumika vizuri ili kufikia minne. Mikoa hiyo ni Simiyu, Warajis Wasaidizi zikatumike malengo yaliyokusudiwa. Kilimanjaro, Njombe na Dar kuongeza kasi ya uwajibikaji Aidha, naagiza Ofisi ya Mrajis es Salaam. Aidha, gari moja kwa Watumishi walioko katika na Mtendaji Mkuu wa Tume lililokuwa likitumika makao maeneo mbalimbali nchini ya Maendeleo ya Ushirika makuu ya Tume limepelekwa ili kutekeleza majukumu yao isimamie ipasavyo matumizi kuhudumia Mkoa wa Kigoma kwa ufanisi zaidi. na matunzo ya vifaa hivi kwa ili kusaidia mpango wa Serikali kufanya ufuatiliaji wa mara wa kuimarisha zao la Mchikichi. Waziri Mkenda amesema kwa mara,” amesema Waziri vitendea kazi hivi ni kwa Mkenda. Jarida la Ushirika, Toleo Namba 005 5 “Kwa kuwa ninyi ni usafiri wa Watumishi katika zaidi na kuongeza vitendea wasimamizi wa Vyama vya kutekeleza majukumu yao kazi vingine ili kuimarisha Ushirika katika ngazi ya havitatosheleza kwa wote; usimamizi wa Ushirika nchini.” Mikoa, nawaagiza kutekeleza magari haya manne (4) amesema Prof. Mkenda. ipasavyo Ilani ya Uchaguzi yanakabidhiwa kwa Mikoa ya Chama cha Mapinduzi ya minne (4) na gari moja Akizungumza katika Hafla mwaka 2020 – 2025 ambayo lililokuwa likitumika makao hiyo, Mrajis wa Vyama vya imetoa maelekezo mahsusi makuu ya Tume litakwenda Ushirika na Mtendaji Mkuu ya kutekelezwa katika Sekta kuhudumia mkoa wa Kigoma. wa Tume ya Maendeleo ya ya Ushirika.” Amesema Prof. Hivyo, jumla ya mikoa saba (7) Ushirika, Dkt. Benson Ndiege, Mkenda. itakuwa na magari ikiwemo amesema Tume imenunua mikoa ya Mtwara na Tabora,” magari mapya manne (4) Waziri Mkenda amewataka alisema Prof. Mkenda. aina ya Nissan Double Cabin Warajis Wasaidizi wa Mikoa 4WD yenye jumla ya thamani kuisoma na kuielewa Ilani “Hivyo basi, jumla ya mikoa ya Shilingi 275,091,670/-. Pia ya Chama Tawala, hasa Aya ishirini (20) bado itabakia Tume imenunua kompyuta ya 34 inayosema: ‘Katika kuwa haina magari. Naomba 25 pamoja na printa moja kipindi cha miaka mitano niwahakikishie kuwa Serikali (1) zenye thamani ya Shilingi (2020 - 2025), Chama Cha kwa kushirikiana na Wadau 49,050,000/- kwa ujumla; Mapinduzi kitahakikisha dhana wa maendeleo itaendelea Vilevile, Tume imekabidhiwa ya Ushirika wa hiari inajengwa kuboresha mazingira ya na Benki ya CRDB jumla ya na kusimamiwa na sheria ili kufanyia kazi kwa Watumishi kompyuta 50 ili kurahisisha kuwalinda na kuwanufaisha wa Sekta hii muhimu kwa shughuli za utendaji wa Wanaushirika, hivyo kuchangia kuendelea kununua magari majukumu yake. ipasavyo katika ustawi wao na Taifa kwa ujumla’. Amesema kuwa wakati wote Warajis wa Mikoa wawe tayari kutoa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM katika maeneo yao kwenye ngazi ya Mikoa na Wilaya zao. Profesa Mkenda amempongeza Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania kwa kukusanya mapato ya Tume na kununua magari manne yenye thamani ya shilingi 275. “Ninafahamu kuwa vitendea Warajis Wasaidizi wa Mikoa Tanzania Bara mara baada ya kazi ninavyowakabidhi leo kukabidhiwa kompyuta mpakato na Waziri wa Kilimo, ikiwemo magari kwa ajili ya Prof. Adolf Mkenda, mwezi Januari 2021, Jijini Dodoma Jarida la Ushirika, Toleo Namba 005 6 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Prof. Siza Tumbo akifungua Kongamano la Kwanza la Tafiti za Ushirika, Jijini Dodoma TAFITI ZA USHIRIKA KULETA SULUHU YA CHANGAMOTO ZA USHIRIKA afiti za Ushirika zikitumika ipasavyo Kongamano la Kwanza la Tafiti za Ushirika Tzimetajwa kuwa zinaenda kuongeza kasi linalofanyika kuanzia Machi 16 -18, 2021, Jijini na chachu ya maendeleo katika utatuzi wa Dodoma. Changamoto zilizopo katika Sekta ya Ushirika Akifungua Kongamano hilo Naibu Katibu nchini. Mkuu ameeleza Tafiti mbalimbali zinazofanywa Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Kilimo na Taasisi pamoja na Wadau kwa sasa bado Mhe. Hussein Bashe katika hotuba iliyosomwa hazijatumika ipasavyo kwani nyingi zimekuwa kwa niaba yake na Naibu Katibu Mkuu wa zikichapishwa na pengine kuhifadhiwa Wizara ya Kilimo, Prof. Siza Tumbo, akifungua kwenye maktaba tu. Hivyo, kutofahamika na kuwanufaisha wanachama na wadau katika Sekta ya Ushirika. “Lengo la Serikali ni kuhakikisha kuwa Vyama vya Ushirika vinanufaika na matokeo ya Tafiti zinazofanywa na wadau mbalimbali ili kuinua utendaji na kuondoa changamoto zinazoikabili Sekta ya Ushirika,” alisema Naibu Katibu Mkuu Akieleza Malengo ya Kongamano hilo Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege, amesema Kongamano la Tafiti za Ushirika linalenga Dkt. Audax Rutabanzibwa Mhadhiri wa Chuo kuwakutanisha wadau, watafiti na wanaushirika Kikuu cha Ushirika Moshi akifafanua jambo ili kujadili namna bora ya kuboresha Sekta ya wakati wa Kongamano la Kwanza la Tafiti za Ushirika, Jijini Dodoma Ushirika kupitia tafiti zinazofanyika kupitia Jarida la Ushirika, Toleo Namba 005