Serikali Kwa Maendeleo Ya Wananchi

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Serikali Kwa Maendeleo Ya Wananchi ZANZIBAR SERIKALI KWA MAENDELEO YA WANANCHI TOLEO NO. 024 ISSN 1821 - 8253 MACHI - APRILI 2016 Wananchi wa Zanzibar wameamua Wamemchagua tena Dk. Shein kuwa Rais Maoni ya Mhariri Bodi ya Wahariri Mhariri Mkuu Muelekeo wetu uwe kuleta maendeleo Hassan K. Hassan endelevu ananchi wa Zanzibar pamoja wengi waliotarajia kwamba ingemalizika kwa Mhariri Msaidizi na wenzao wa Tanzania Bara amani, utulivu na usalama kama ilivyotokea. Ali S. Hafidh wanastahiki kujipongeza Hii kwa mara nyengine ilidhihirisha namna kufuatiaW kumalizika kwa salama, amani na Wazanzibari walivyokomaa kisiasa na utulivu kwa uchaguzi mkuu ambao ni moja kufahamu maana halisi ya amani na athari za Waandishi kati ya majukumu muhimu ya kikatiba na uvunjifu wa amani. Said J.Ameir kidemokrasia. Hatua hiyo imeliwezesha taifa Kuna msemo wa kiswahili usemao Rajab Y. Mkasaba kupata viongozi halali waliochaguliwa na “iliyopitayo si ndwele, tugange ijayo”. Wakati wananchi kuiongoza nchi kwa kipindi cha umefika sasa kwa wananchi wote kuona haja, Haji M. Ussi miaka mitano ijayo. umuhimu au ulazima wa kuendeleza harakati Said K. Salim Uzoefu wa Tanzania, Barani Afrika na za kuleta maendeleo endelevu badala ya Yunus S. Hassan kwengineko duniani, kipindi cha uchaguzi kuendelea kukaa vijiweni kuzungumzia siasa Mahfoudha M. Ali ndicho kipindi pekee chenye kuvuta hisia ambazo wakati wake umeshamalizika. za watu wengi wakiwemo wanasiasa na Ni ukweli uliowazi kwamba hivi sasa Amina M. Ameir wanajamii wa rika na jinsia tofauti. Katika kumekuwa na fursa nyingi za kuweza kipindi hiki wanasiasa hutumia njia za kujikwamua na umasikini iwapo kila mtu Mpiga Picha aina mbali mbali kuwashawishi wananchi ataamua kufanyakazi kwa bidii. Serikali kuwapigia kura kupitia vyama vyao vya siasa imeshafanya juhudi kubwa za kueneza Ramadhan O. Abdalla au njia nyengine zozote. huduma za maji safi na salama vijijini, umeme Harakati za siasa kuelekea kwenye na mtatandao wa barabara za lami. Msanifu uchaguzi mkuu huambatana na mambo Sekta ya kilimo imeimarishwa sana kwa mengi ikiwemo takrima, vitisho, kuchafuliana kuinua hadhi taasisi ya utafiti ya Kizimbani Aziz I. Suwed majina kwa lengo la kushushiana hadhi pamoja na Chuo cha Kilimo, mambo ambayo mbele ya jamii na kujitafutia njia za kupata yamewawezesha wakulima kupata mbegu ushindi. Lakini kubwa zaidi ni wasi wasi juu ya bora na vile vile kuwa na wataalamu wa UTAMBULISHO uwezekano wa kuvunjika kwa hali ya amani na kutosha kuweza kuwashauri wakulima namna utulivu hasa kwa nchi kama Tanzania, ambayo bora zaidi ya kulima na kupata mazao bora Wapenzi wasomaji wa Jarida la kwa muda mrefu imekuwa ndiyo darasa la yenye tija kubwa. Ikulu tunafuraha kukukaribisheni kujifunza amani mbele ya mataifa mengine Kutokana na juhudi hizo, kilimo cha katika uendelezaji wa juhudi za duniani. biashara kimeendelea kukua badala ya kile Kutokana na hali hiyo ya wasi wasi, kilimo kilichokuwa kimezoeleka, huduma Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa baadhi ya mataifa duniani na mashirika za afya zimeimarika na huduma za usafiri Baraza la Mapinduzi kuimarisha yanayoshughulikia kusafirisha watuzimekuwa bora zaidi katika miaka ya hivi mawasiliano na wananchi. kibiashara au kiutalii yamekuwa yakitoa karibuni kuliko miaka mingine yote iliyopita. indhari kwa wananchi na wateja wao Hali halisi inaonesha kuwa wananchi wengi Ni lengo la Ofisi ya Rais kukuza wanapopanga kuzitembelea nchi ambazo na hasa vijijini wameanza kuzichangamkia mawasiliano na wananchi kwa katika kipindi hicho zinafanya uchaguzi. fursa hizo na wengi wao wameanza kunufaika. kutumia njia tofauti kama vile Hatua hiyo hupelekea nchi husika kuwa na Hata hivyo, hali bado siyo nzuri kwenye upungufu mkubwa wa watalii katika kipindi taasisi za umma na mashirika ya Serikali. Jarida, vipeperushi pamoja na cha uchaguzi. Kumekuwa na tatizo kubwa la uwajibikaji vyombo vyengine vya habari. Katika kukabiliana na athari ambazo miongoni mwa watumishi wa umma. Licha zingeweza kutokea kabla, wakati na baada ya ya Serikali kujaribu kuinua kwa kiasi kikubwa Tunakaribisha maoni yenu ili uchaguzi, Serikali ya Jamhuri ya Muungano maslahi yao, watumishi wa umma wamekuwa tuweze kufikia lengo hilo. wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya waonekana wakisuasua katika kutekeleza Zanzibar ziliwahakikishia wananchi pamoja majukumu yao ya kazi. na washirika wa maendeleo kwamba uchaguzi Aidha, vitendo vya kukwepa kuwajibika, Jarida hili limetolewa na Idara ya Mawasiliano utakuwa wa amani, huru na wa haki na wizi na ubadhirifu wa mali ya serikali, rushwa, Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la kwamba kila mtu atapata kuitumia haki yake uhujumu wa uchumi na ukiukwaji wa Mapinduzi Zanzibar. ya kupiga kura bila ya usumbufu wowote. makusudi wa maadili ya uongozi ni mambo Pamoja na kuripotiwa baadhi ya ambayo hayanabudi kuchukuliwa hatua dosari zilizopelekea kufutwa kwa uchaguzi zinazofaa. Mambo haya hayana tija katika P.O.BOX: 2422 wa Zanzibar wa tarehe 25 Oktoba, 2015, maendeleo ya nchi yetu Zanzibar - Tanzania uchaguzi wa marudio wa tarehe 20 Machi, Tuendelee kupokea misaada ya wafadhili 2016, ulifanyika kwa mafanikio makubwa na pale tu tunapopewa. Hata hivyo, misaada Phone: +255 223 081/5 kila mwananchi alipata kutumia haki yake ya hiyo kamwe isitufanye kusahau wajibu wetu Fax: 024 223 3722 kumchagua kiongozi aliyemtaka. katika kuleta maendeleo endelevu ya taifa Ni dhahiri kwamba kuna kila sababu letu. Maendeleo ya nchi huletwa na wananchi Email: [email protected] kwa Watanzania na hasa Wazanzibari wenyewe. kujipongeza kwa hatua hiyo ambayo sio watu Ikulu Zanzibar Machi - Aprili 2016 2 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akipokea cheti cha Ushindi wa Uchaguzi Mkuu wa marudio kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa katika ukumbi wa Salama, Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja, tarehe 21 Machi, 2016 Wananchi wa Zanzibar wameamua Wamemchagua tena Dk. Shein kuwa Rais TUME IMEMTANGAZA, AMEAPISHWA NA AMEUNDA SERIKALI arehe 21 Machi, 2016 imekuwa ni siku nyengine ya kihistoria kwa wananchi wa TZanzibar na Tanzania kwa jumla, kwa kushuhudia tukio la Dk. Ali Mohamed Shein kutangazwa tena na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kufuatia ushindi mkubwa wa nafasi hiyo alioupata katika uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi 20, 2016. Licha ya chama kikuu cha upinzani Zanzibar CUF kutoshiriki uchaguzi, idadi kubwa ya Wananchi waliojitokeza kupiga kura ilitosha kuthibitisha kuwa wananchi wengi wa Zanzibar bado wamekuwa na imani na kiongozi huyo kuwaongoza kwa kipindi kingine cha miaka mitano ijayo. Tume ya uchaguzi Zanzibar ilimtangaza Dk. Ali Mohamed Shein kuwa mshindi kwenye uchaguzi huo kwa kupata asilimia 91.4 ya kura zote halali zilizopigwa. Uchaguzi huo ambao ulivishirikisha vyama 14 vya siasa, ulikuwa huru na wa haki. Kurejewa kwa uchaguzi mkuu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akionesha cheti wa Zanzibar kunafuatia kufutwa kwa cha Ushindi wa Uchaguzi Mkuu wa marudio mara baada ya kutangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, katika ukumbi wa Salama, Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja, tarehe 21 Machi, 2016 uchaguzi wa awali na matokeo yake 3 Ikulu Zanzibar Machi - Aprili 2016 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na wagombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Tadea Bw. Juma Ali Khatib na chama cha ADC Bw. Hamad Rashid baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa cheti cha ushindi na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa matokeo ya uchaguzi mkuu wa marudio yaliyotolewa katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja, tarehe 21 Machi, 2016 uliofanyika Oktoba 25, 2015 ambao, Vikwazo vingine ni kufanyika wa upigaji kura, kuhesabu na kutoa kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Tume uhamishaji wa visanduku vya kura matokeo ya uchaguzi huo. Kadhalika ya Uchaguzi Zanzibar Bwana Jecha na kuhesabiwa katika maeneo nje ya nambari katika fomu za matokeo ya Salim Jecha, alilazimika kuufuta vituo kinyume na utaratibu, kutolewa vituo vingi vya Pemba kuonekana uchaguzi huo na matokeo yake nje ya vituo na kupigwa kwa mawakala kufutwa na kuandikwa upya nambari kutokana na kukabiliwa na vikwazo wa vyama vingine, hasa wa chama cha nyengine juu yake. vingi katika kutekeleza majukumu yake TADEA huko Pemba na kuvamiwa Hatua Tume ya Uchaguzi Zanzibar aliyokabidhiwa kikatiba na kisheria. kwa vituo na vijana wanaoonekana ya kumtangaza Dk. Shein kuwa Alivitaja baadhi ya vikwazo hivyo kuandaliwa na vyama vya siasa na mshindi na kumkabidhi cheti cha kuwa ni pamoja na kutofahamiana kwa kufanya fujo kwa kupiga watu na kuzuia ushindi katika uchaguzi huo, inaashiria wajumbe ndani ya Tume na kufikia watu wasiokuwa wa vyama vyao kufika mwanzo wa safari nyengine ya kipindi hatua ya baadhi yao kuvua mashati na katika vituo vya kupiga kura na kupiga cha pili cha miaka mitano ya uongozi kuanza kupigana, baadhi ya wajumbe kura. wake wa awamu ya saba wa Serikali ya badala ya kuwa makamishna wa Tume Aidha, Mwenyekiti alivitaja vikwazo Mapinduzi ya Zanzibar. wamekuwa wawakilishi wa vyama vingine kuwa ni pamoja na vyama vya Akizungumza na wananchi vyao, wakati vipo vyama vingi zaidi siasa kuonekana kuingilia majukumu mbali mbali waliohudhuria kwenye ambavyo havikupata fursa ya kuwa na ya Tume, ikiwemo kujitangazia ushindi hafla ya kutangazwa matokeo, Rais makamishna ndani ya Tume hiyo lakini na kupeleka mashinikizo kwa Tume, mteule
Recommended publications
  • Majadiliano Ya Bunge ______
    NAKALA YA MTANDAO (ON LINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ___________ MAJADILIANO YA BUNGE ______________ BUNGE LA KUMI NA MOJA ___________ MKUTANO WA KWANZA Kikao cha Kwanza - Tarehe 17 Novemba, 2015 (Bunge lilianza Saa Tatu Asubuhi) DKT. THOMAS D. KASHILILAH - KATIBU WA BUNGE: Naomba tukae. TANGAZO LA RAIS LA KUITISHA MKUTANO WA BUNGE DKT. THOMAS D. KASHILILAH - KATIBU WA BUNGE: Waheshimiwa Wabunge, kwa mujibu wa masharti ya Katiba, Mkutano huu wa Kwanza unaanza kwa Rais kuuitisha. Naomba kuchukua nafasi hii kusoma Tangazo la Rais kama ambavyo tumelipokea. Tangazo la Serikali Na. 513 la tarehe 6 Novemba, 2015. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Sura ya Pili, hati iliyotolewa kwa mujibu wa Ibara ya 90(1). Hati ya Kuitisha Mkutano wa Bunge Jipya. KWA KUWA, Uchaguzi Mkuu ulifanyika tarehe 25 Oktoba, 2015 katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977; NA KWA KUWA, masharti ya Ibara ndogo ya kwanza ya Ibara ya 90 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, yanamtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuitisha Mkutano wa Bunge Jipya kabla ya kupita siku saba tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu; NA KWA KUWA, matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25 Oktoba, 2015 yalitangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi tarehe 29 Oktoba, 2015; HIVYO BASI, mimi John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mamlaka niliyonayo chini ya Ibara ya 90(1) ya 1 NAKALA YA MTANDAO (ON LINE DOCUMENT) Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, naitisha Mkutano wa Bunge Jipya la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ufanyike katika ukumbi wa Bunge uliopo Mjini Dodoma tarehe 17 Novemba, 2015 kuanzia saa tatu asubuhi.
    [Show full text]
  • Issued by the Britain-Tanzania Society No 114 May - Aug 2016
    Tanzanian Affairs Issued by the Britain-Tanzania Society No 114 May - Aug 2016 Magufuli’s “Cleansing” Operation Zanzibar Election Re-run Nyerere Bridge Opens David Brewin: MAGUFULI’S “CLEANSING” OPERATION President Magufuli helps clean the street outside State House in Dec 2015 (photo State House) The seemingly tireless new President Magufuli of Tanzania has started his term of office with a number of spectacular measures most of which are not only proving extremely popular in Tanzania but also attracting interest in other East African countries and beyond. It could be described as a huge ‘cleansing’ operation in which the main features include: a drive to eliminate corruption (in response to widespread demands from the electorate during the November 2015 elections); a cutting out of elements of low priority in the expenditure of government funds; and a better work ethic amongst government employees. The President has changed so many policies and practices since tak- ing office in November 2015 that it is difficult for a small journal like ‘Tanzanian Affairs’ to cover them adequately. He is, of course, operat- ing through, and with the help of ministers, regional commissioners and cover photo: The new Nyerere Bridge in Dar es Salaam (see Transport) Magufuli’s “Cleansing” Operation 3 others, who have been either kept on or brought in as replacements for those removed in various purges of existing personnel. Changes under the new President The following is a list of some of the President’s changes. Some were not carried out by him directly but by subordinates. It is clear however where the inspiration for them came from.
    [Show full text]
  • Issued by the Britain-Tanzania Society No 124 Sept 2019
    Tanzanian Affairs Issued by the Britain-Tanzania Society No 124 Sept 2019 Feathers Ruffled in CCM Plastic Bag Ban TSh 33 trillion annual budget Ben Taylor: FEATHERS RUFFLED IN CCM Two former Secretary Generals of the ruling party, CCM, Abdulrahman Kinana and Yusuf Makamba, stirred up a very public argument at the highest levels of the party in July. They wrote a letter to the Elders’ Council, an advisory body within the party, warning of the dangers that “unfounded allegations” in a tabloid newspaper pose to the party’s “unity, solidarity and tranquillity.” Selection of newspaper covers from July featuring the devloping story cover photo: President Magufuli visits the fish market in Dar-es-Salaam following the plastic bag ban (see page 5) - photo State House Politics 3 This refers to the frequent allegations by publisher, Mr Cyprian Musiba, in his newspapers and on social media, that several senior figures within the party were involved in a plot to undermine the leadership of President John Magufuli. The supposed plotters named by Mr Musiba include Kinana and Makamba, as well as former Foreign Affairs Minister, Bernard Membe, various opposition leaders, government officials and civil society activists. Mr Musiba has styled himself as a “media activist” seeking to “defend the President against a plot to sabotage him.” His publications have consistently backed President Magufuli and ferociously attacked many within the party and outside, on the basis of little or no evidence. Mr Makamba and Mr Kinana, who served as CCM’s secretary generals between 2009 to 2011 and 2012-2018 respectively, called on the party’s elders to intervene.
    [Show full text]
  • 20 MAY 2019.Pmd
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Thelathini na Moja – Tarehe 20 Mei, 2019 (Bunge Lilianza saa Tatu Asubuhi) DUA Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tukae. Waheshimiwa Wabunge, tunaendelea na Mkutano wetu wa 15, leo kikao cha 31. Katibu! NDG. RAMADHAN ISSA ABDALLAH – KATIBU MEZANI: TAARIFA YA SPIKA SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, nasikitika kuwatangazia kifo cha mwanasiasa mkongwe na kiongozi aliyepata kuhudumia kwa muda mrefu hasa kule kwenye Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Marehemu Ally Juma Shamhuna. Waheshimiwa Wabunge, katika uhai wake, marehemu Ally Juma Shamhuma amepata kushika nyadhifa mbalimbali zikiwemo hizi zifuatazo; amepata kuwa Mkurugenzi wa Mifugo, amewahi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, amewahi kuwa Katibu Mkuu, Export Processing Zone Zanzibar, amewahi kuwa Waziri wa Mipango, amekuwa Waziri wa Nchi, Afisi ya Waziri Kiongozi, aliwahi kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo na wakati huo huo akiwa ni 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) Naibu Waziri Kiongozi, katika uhai wake amekuwa Waziri wa Ardhi, Maji na Nishati na alipata kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali. Aidha, Marehemu Mheshimiwa Shamhuna kwa muda mrefu alikuwa ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi kutokea Zanzibar na baadhi yenu humu Wabunge mtamkumbuka marehemu Mheshimiwa Shamhuna kama Mbunge wa Bunge la Katiba na alikuwa Mjumbe wa Kamati namba 8 kwenye Bunge la Katiba, Kamati ambayo nilikuwa Mwenyekiti wake. Kwa niaba yenu Waheshimiwa Wabunge, tunatoa pole kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Tunatoa pole kwa Wazanzibari wote na Watanzania wote kwa ujumla kufuatia kifo hicho na tunamuomba Mwenyezi Mungu aihifadhi roho yake mahali pema peponi, amina.
    [Show full text]
  • 1 BUNGE LA TANZANIA ___MAJADILIANO YA BUNGE ___MKUTANO WA KUMI NA SABA Kikao Cha Nne – Tarehe 8 Novemba, 20
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA KUMI NA SABA Kikao cha Nne – Tarehe 8 Novemba, 2019 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Mwenyekiti (Mhe. Andrew J. Chenge) Alisoma Dua MWENYEKITI: Waheshimiwa Wabunge tukae. Katibu. NDG. NEEMA MSANGI – KATIBU MEZANI: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa mezani na:- NAIBU WAZIRI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA MAZINGIRA): Taarifa ya Tatu ya Hali ya Mazingira Nchini (State of the Environment Report, 3). NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO: Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma kwa mwaka wa fedha 2018/2019 (The Annual Performance Evaluation Report on Public Procurement Regulatory Authority for the Financial Year 2018/2019). 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) MWENYEKITI: Ahsante sana. Katibu. NDG. NEEMA MSANGI – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU MWENYEKITI: Swali letu la kwanza linaelekezwa Ofisi ya Rais – TAMISEMI. Linaulizwa na Mheshimiwa Justin Joseph Monko, Mbunge wa Singida Kaskazini. Na. 40 Kuwa na Uchaguzi Mdogo wa Serikali za Mitaa MHE. JUSTIN J. MONKO aliuliza:- Inapotokea Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa/Kijiji amefariki au kupoteza sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Mtaa au Kijiji husika huongozwa na Kaimu Mwenyekiti:- Je, kwa nini Serikali haioni umuhimu wa kuwepo uchaguzi mdogo kama ilivyo kwa Madiwani na Wabunge? MWENYEKITI: Ahsante. Majibu kwa swali hilo, Mheshimiwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mheshimiwa Waitara. NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA
    [Show full text]
  • Conference Paper No.78
    ERPI 2018 International Conference Authoritarian Populism and the Rural World Conference Paper No.78 Bulldozing like a fascist? Authoritarian populism and rural activism in Tanzania Sabatho Nyamsenda 17-18 March 2018 International Institute of Social Studies (ISS) in The Hague, Netherlands Organized jointly by: In collaboration with: Disclaimer: The views expressed here are solely those of the authors in their private capacity and do not in any way represent the views of organizers and funders of the conference. March, 2018 Check regular updates via ERPI website: www.iss.nl/erpi ERPI 2018 International Conference - Authoritarian Populism and the Rural World Bulldozing like a fascist? Authoritarian populism and rural activism in Tanzania Sabatho Nyamsenda Introduction We are living in a new era, characterised by an ever deepening crisis neoliberal capitalism economically and politically. The establishment’s attempt to salvage neoliberalism with another round of austerity reforms has been met with a backlash from the opposite ends of the ideological spectrum: the radical left and the ultra-right. From Narendra Modi’s electoral victory in India in 2014 through Donald Trump’s presidential triumph in the 2016 US elections, populist right movements have increasingly become influential in the UK (UKIP in the Brexit referendum), France (Marine Le Pens and her Front National), Greece (Golden Down), Germany (Alternative für Deutschland) to mention only a few. On the other hand, SYRIZA’s sweeping electoral victory in Greece (even though the new regime would later be forced disown its socialist commitment) to the rise of PODEMOS in Italy, Bernie Sanders in the US, Jeremy Corbyn in the UK, and Jean-Luc Mélenchon in France marked a new wave of radical leftwing politics as a counter to both the neoliberal establishment and the surging far right movement.
    [Show full text]
  • Tarehe 24 Mei, 2021
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Thelathini na Tano – Tarehe 24 Mei, 2021 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tukae. Waheshimiwa Wabunge, Asalam alaykum. WABUNGE FULANI: Waalaykumu s-salam SPIKA: Bwana Yesu Asifiwe. WABUNGE FULANI: Ameen. SPIKA: Kama mnavyojua wiki iliyopita tulipata msiba wa kuondokewa na ndugu yetu, rafiki yetu, Mbunge mwenzetu, Mheshimiwa Khatib Said Haji, Mbunge wa Konde. Tulipata nafasi ya kupumzika siku ile ya msiba kama ambavyo Kanuni zetu zinaelekeza lakini pia tulifanya maandalizi ya mazishi na baadhi yenu mliweza kushiriki kule Pemba, tunawashukuru sana. Kwa niaba ya Bunge, napenda kutoa salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na kwa Watanzania 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) kwa msiba huu mkubwa ambao tumeupata wa ndugu yetu. Alikuwa ni Mbunge mahiri sana aliyelichangamsha Bunge na aliyekuwa akiongea hoja zenye mashiko lakini kama ambavyo Bwana alitoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe. WABUNGE FULANI: Ameen. SPIKA: Napenda kutoa taarifa kwa Waheshimiwa Wabunge kwamba Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya mabadiliko kama mnavyofahamu tayari na katika mabadiliko kadhaa mojawapo ambalo amelifanya ni la Katibu wa Bunge. Aliyekuwa Katibu wetu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai sasa ni Mheshimiwa Stephen Kagaigai, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na badala yake ameteuliwa Ndg. Nenelwa Mwihambi kuwa Katibu mpya wa Bunge. Naomba nimtambulishe mbele yenu sasa Katibu mpya, ahsante sana. (Makofi/Vigelegele) Kama mnavyofahamu Bunge letu lilianza zamani sana. Hivi Makatibu, Bunge lilianza mwaka gani? NDG. NENELWA J. MWIHAMBI, ndc - KATIBU WA BUNGE: Mwaka 1926.
    [Show full text]
  • Tanzania: Current Issues and US Policy
    Tanzania: Current Issues and U.S. Policy name redacted Specialist in African Affairs June 7, 2017 Congressional Research Service 7-.... www.crs.gov R44271 Tanzania: Current Issues and U.S. Policy Summary Tanzania is an East African country comprising a union of Tanganyika, the mainland territory, and the semiautonomous Zanzibar archipelago. The United States has long considered Tanzania a partner in economic development and, increasingly, in regional security efforts. With more than 52 million people, Tanzania is one of the largest countries in Africa by population and is endowed with substantial natural resource wealth and agricultural potential. Over the past decade, it has experienced robust economic growth based largely on favorably high gold prices and tourism; growth has averaged nearly 7% annually. The ongoing development of large reserves of offshore natural gas discovered in 2010 has raised the prospect of substantial foreign investment inflows and export revenue. Nevertheless, corruption and poor service delivery have hindered efforts to curb widespread poverty, and extensive development challenges remain. Since independence in 1964, Tanzanian politics have been dominated by the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM, Party of the Revolution), created through the merger of the ruling parties of the mainland and Zanzibar. Political pluralism is weak and opposition parties face periodic harassment and de facto restrictions on their activities. The government is led by President John Magufuli of the CCM, who was elected in late October 2015 and also heads the CCM. His predecessor, Jakaya Kikwete, also of the CCM, assumed power in 2005 and won reelection in 2010, but was constitutionally barred from running for a third term.
    [Show full text]
  • Tarehe 28 Aprili, 2017
    NAKALA YA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA SABA Kikao cha Kumi na Nne – Tarehe 28 Aprili, 2017 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa, tukae. Katibu. NDG. THEONEST RUHILABAKE - KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU NAIBU SPIKA: Tutaanza na Ofisi ya Waziri Mkuu, Mheshimiwa Ester Michael Mmasi, Mbunge wa Viti Maalum, kwa niaba yake Mheshimiwa Stanslaus Mabula. Na.110 Vigezo vya Kurasimisha Vibali vya Ajira na Kuishi Nchini MHE. STANSLAUS S. MABULA (K.n.y. MHE. ESTER M. MMASI) aliuliza:- Pamoja na juhudi za Serikali katika kulinda ajira za vijana wa Kitanzania, Serikali kupitia Sheria ya Ajira ya Wageni Na. 1 ya mwaka 2015 ilirasimisha vibali vya kuishi na ajira kwa wageni batili wapatao 317 kati ya 779. Je, ni vigezo gani vilivyotumika katika urasimishaji wa vibali hivyo wakati vijana wengi wa Kitanzania hususan 1 NAKALA YA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) wahitimu wa vyuo vikuu wanahangaika katika kupata ajira ili wafurahie faida ya taaluma zao? NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU (KAZI, VIJANA NA AJIRA) alijibu:- Mheshimiwa Naibu Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Ester Mmasi, Mbunge wa Viti Maalum, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Naibu Spika, Sheria ya Kuratibu Ajira kwa Wageni Nchini Na.1 ya mwaka 2015 ilianza kutumika tangu tarehe 15/9/2015. Sheria hii imeweka utaratibu maalum kwa mtu anayetaka kumuajiri raia wa kigeni kuomba kibali cha ajira kwa Kamishna wa Kazi ambaye ndiye mwenye mamlaka pekee ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni nchini.
    [Show full text]
  • Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Bunge La Tanzania Mkutano Wa Tatu Yatokanayo Na Kikao Cha Kumi Na Sita 10 Mei, 2016
    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA TATU YATOKANAYO NA KIKAO CHA KUMI NA SITA 10 MEI, 2016 MKUTANO WA TATU YATOKANAYO NA KIKAO CHA KUMI NA SITA TAREHE 10 MEI, 2016 I. DUA: Saa 3.00 asubuhi Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) alisoma Dua na Kuongoza Bunge. Makatibu Mezani 1. Ndg. Ramadhani Issa 2. Ndg. Asia Minja II. HATI ZA KUWASILISHA MEZANI: Hati zifuatazo ziliwasilishwa mezani. 1. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto aliwasilisha Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017. 2. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa aliwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la KujengaTaifa kwa mwaka wa Fedha 2016/2017. 3. Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama aliwasilisha Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017. 4. Mhe. Mwita Mwikwabe Waitara aliwasilisha taarifa ya Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani kuhusu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa juu ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017. III. MASWALI: Maswali yafuatayo yaliulizwa; OFISI YA WAZIRI MKUU: Swali Na.130 – Mhe. Flatei Gregory Massay [Kny. Mhe. Ester Alexander Mahawe] Swali la nyongeza: Mhe. Flatei Gregory Massay OFISI YA RAIS (TAMISEMI): Swali Na.131 – Mhe. Augustino Manyanda Masele Swali la nyongeza: Mhe. Augustino Manyanda Masele 2 Swali Na.132 – Mhe.
    [Show full text]
  • Losing the Battle, Winning the War: Legislative Candidacy in Electoral Authoritarian Regimes
    LOSING THE BATTLE, WINNING THE WAR: LEGISLATIVE CANDIDACY IN ELECTORAL AUTHORITARIAN REGIMES By KEITH R. WEGHORST A DISSERTATION PRESENTED TO THE GRADUATE SCHOOL OF THE UNIVERSITY OF FLORIDA IN PARTIAL FULFILLMENT OF THE REQUIREMENTS FOR THE DEGREE OF DOCTOR OF PHILOSOPHY UNIVERSITY OF FLORIDA 2015 ⃝c 2015 Keith R. Weghorst To my parents Mtoto umleyavyo ndivyo akuavyo And to Kristin Kuoa ni arusi, kuishi wawili ni ngoma ACKNOWLEDGMENTS My first acknowledgments are to those who were willing to invest their time and effort into shaping my research project. Thanks to Staffan I. Lindberg for his mentorship, from coursework and co-authorship to my apprenticeship on the grill at Friday \Firesites." Thanks to Michael Bernhard whose sharp wit has taught me to think on my feet. His guidance to think outside of myself and my project has helped me become a better scholar. I appreciate both of them for their patience while I finished this dissertation. Thanks also to Ben Smith, one of my first instructors at University of Florida and the reason I will always be able to explain my dissertation to my grandmother. Coursework with Bryon Moraski and Ken Wald also shaped this dissertation. In addition to the great faculty in the Political Science department, the Center for African Studies at the University of Florida is a tremendous resource and I am grateful for the opportunity to have been a member of the community. It is truly a one-of-a-kind home for scholars of Africa and a blessing to have shared seminars and talks with so many magnates in the study of Africa.
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA __________ MAJADILIANO YA BUNGE _______________ MKUTANO WA KUMI NA TISA Kikao cha Kumi na Tatu – Tarehe 21 Aprili, 2020 (Bunge Lilianza Saa Nane Mchana) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua NDG. RAMADHANI ISSA ABDALLAH - KATIBU MEZANI: HATI ZA KUWASILISHA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA MADINI: Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2020/2021. MHE. DUNSTAN L. KITANDULA - MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI: Maoni ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria kuhusu utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2019/2020 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2020/2021. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) MHE. JOHN W. HECHE - MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI WA WIZARA YA MADINI: Maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2020/2021 MASWALI NA MAJIBU (Maswali yafuatayo yameulizwa na kujibiwa kwa njia ya mtandao) Na. 113 Ahadi ya Ujenzi wa Barabara za Lami-Arumeru MHE. DKT. JOHN D. PALLANGYO aliuliza:- Rais wa Awamu ya Nne aliahidi kujenga barabara ya Sangis Toangam Kwenda Aken, Kimundo hadi Ubungo Kwa Kiwango cha lami. Vilevile Rais Dkt. John Magufuli wakati wa kampeni aliahidi ujenzi wa barabara ya kilometa 5 kwa kiwango cha lami:- Je, ni lini Serikali itatimiza ahadi hizo zilizotolewa kwa wananchi wa Arumeru Mashariki? WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA alijibu:- Mheshimiwa Spika, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Dkt.
    [Show full text]