Serikali Kwa Maendeleo Ya Wananchi

Serikali Kwa Maendeleo Ya Wananchi

ZANZIBAR SERIKALI KWA MAENDELEO YA WANANCHI TOLEO NO. 024 ISSN 1821 - 8253 MACHI - APRILI 2016 Wananchi wa Zanzibar wameamua Wamemchagua tena Dk. Shein kuwa Rais Maoni ya Mhariri Bodi ya Wahariri Mhariri Mkuu Muelekeo wetu uwe kuleta maendeleo Hassan K. Hassan endelevu ananchi wa Zanzibar pamoja wengi waliotarajia kwamba ingemalizika kwa Mhariri Msaidizi na wenzao wa Tanzania Bara amani, utulivu na usalama kama ilivyotokea. Ali S. Hafidh wanastahiki kujipongeza Hii kwa mara nyengine ilidhihirisha namna kufuatiaW kumalizika kwa salama, amani na Wazanzibari walivyokomaa kisiasa na utulivu kwa uchaguzi mkuu ambao ni moja kufahamu maana halisi ya amani na athari za Waandishi kati ya majukumu muhimu ya kikatiba na uvunjifu wa amani. Said J.Ameir kidemokrasia. Hatua hiyo imeliwezesha taifa Kuna msemo wa kiswahili usemao Rajab Y. Mkasaba kupata viongozi halali waliochaguliwa na “iliyopitayo si ndwele, tugange ijayo”. Wakati wananchi kuiongoza nchi kwa kipindi cha umefika sasa kwa wananchi wote kuona haja, Haji M. Ussi miaka mitano ijayo. umuhimu au ulazima wa kuendeleza harakati Said K. Salim Uzoefu wa Tanzania, Barani Afrika na za kuleta maendeleo endelevu badala ya Yunus S. Hassan kwengineko duniani, kipindi cha uchaguzi kuendelea kukaa vijiweni kuzungumzia siasa Mahfoudha M. Ali ndicho kipindi pekee chenye kuvuta hisia ambazo wakati wake umeshamalizika. za watu wengi wakiwemo wanasiasa na Ni ukweli uliowazi kwamba hivi sasa Amina M. Ameir wanajamii wa rika na jinsia tofauti. Katika kumekuwa na fursa nyingi za kuweza kipindi hiki wanasiasa hutumia njia za kujikwamua na umasikini iwapo kila mtu Mpiga Picha aina mbali mbali kuwashawishi wananchi ataamua kufanyakazi kwa bidii. Serikali kuwapigia kura kupitia vyama vyao vya siasa imeshafanya juhudi kubwa za kueneza Ramadhan O. Abdalla au njia nyengine zozote. huduma za maji safi na salama vijijini, umeme Harakati za siasa kuelekea kwenye na mtatandao wa barabara za lami. Msanifu uchaguzi mkuu huambatana na mambo Sekta ya kilimo imeimarishwa sana kwa mengi ikiwemo takrima, vitisho, kuchafuliana kuinua hadhi taasisi ya utafiti ya Kizimbani Aziz I. Suwed majina kwa lengo la kushushiana hadhi pamoja na Chuo cha Kilimo, mambo ambayo mbele ya jamii na kujitafutia njia za kupata yamewawezesha wakulima kupata mbegu ushindi. Lakini kubwa zaidi ni wasi wasi juu ya bora na vile vile kuwa na wataalamu wa UTAMBULISHO uwezekano wa kuvunjika kwa hali ya amani na kutosha kuweza kuwashauri wakulima namna utulivu hasa kwa nchi kama Tanzania, ambayo bora zaidi ya kulima na kupata mazao bora Wapenzi wasomaji wa Jarida la kwa muda mrefu imekuwa ndiyo darasa la yenye tija kubwa. Ikulu tunafuraha kukukaribisheni kujifunza amani mbele ya mataifa mengine Kutokana na juhudi hizo, kilimo cha katika uendelezaji wa juhudi za duniani. biashara kimeendelea kukua badala ya kile Kutokana na hali hiyo ya wasi wasi, kilimo kilichokuwa kimezoeleka, huduma Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa baadhi ya mataifa duniani na mashirika za afya zimeimarika na huduma za usafiri Baraza la Mapinduzi kuimarisha yanayoshughulikia kusafirisha watuzimekuwa bora zaidi katika miaka ya hivi mawasiliano na wananchi. kibiashara au kiutalii yamekuwa yakitoa karibuni kuliko miaka mingine yote iliyopita. indhari kwa wananchi na wateja wao Hali halisi inaonesha kuwa wananchi wengi Ni lengo la Ofisi ya Rais kukuza wanapopanga kuzitembelea nchi ambazo na hasa vijijini wameanza kuzichangamkia mawasiliano na wananchi kwa katika kipindi hicho zinafanya uchaguzi. fursa hizo na wengi wao wameanza kunufaika. kutumia njia tofauti kama vile Hatua hiyo hupelekea nchi husika kuwa na Hata hivyo, hali bado siyo nzuri kwenye upungufu mkubwa wa watalii katika kipindi taasisi za umma na mashirika ya Serikali. Jarida, vipeperushi pamoja na cha uchaguzi. Kumekuwa na tatizo kubwa la uwajibikaji vyombo vyengine vya habari. Katika kukabiliana na athari ambazo miongoni mwa watumishi wa umma. Licha zingeweza kutokea kabla, wakati na baada ya ya Serikali kujaribu kuinua kwa kiasi kikubwa Tunakaribisha maoni yenu ili uchaguzi, Serikali ya Jamhuri ya Muungano maslahi yao, watumishi wa umma wamekuwa tuweze kufikia lengo hilo. wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya waonekana wakisuasua katika kutekeleza Zanzibar ziliwahakikishia wananchi pamoja majukumu yao ya kazi. na washirika wa maendeleo kwamba uchaguzi Aidha, vitendo vya kukwepa kuwajibika, Jarida hili limetolewa na Idara ya Mawasiliano utakuwa wa amani, huru na wa haki na wizi na ubadhirifu wa mali ya serikali, rushwa, Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la kwamba kila mtu atapata kuitumia haki yake uhujumu wa uchumi na ukiukwaji wa Mapinduzi Zanzibar. ya kupiga kura bila ya usumbufu wowote. makusudi wa maadili ya uongozi ni mambo Pamoja na kuripotiwa baadhi ya ambayo hayanabudi kuchukuliwa hatua dosari zilizopelekea kufutwa kwa uchaguzi zinazofaa. Mambo haya hayana tija katika P.O.BOX: 2422 wa Zanzibar wa tarehe 25 Oktoba, 2015, maendeleo ya nchi yetu Zanzibar - Tanzania uchaguzi wa marudio wa tarehe 20 Machi, Tuendelee kupokea misaada ya wafadhili 2016, ulifanyika kwa mafanikio makubwa na pale tu tunapopewa. Hata hivyo, misaada Phone: +255 223 081/5 kila mwananchi alipata kutumia haki yake ya hiyo kamwe isitufanye kusahau wajibu wetu Fax: 024 223 3722 kumchagua kiongozi aliyemtaka. katika kuleta maendeleo endelevu ya taifa Ni dhahiri kwamba kuna kila sababu letu. Maendeleo ya nchi huletwa na wananchi Email: [email protected] kwa Watanzania na hasa Wazanzibari wenyewe. kujipongeza kwa hatua hiyo ambayo sio watu Ikulu Zanzibar Machi - Aprili 2016 2 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akipokea cheti cha Ushindi wa Uchaguzi Mkuu wa marudio kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa katika ukumbi wa Salama, Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja, tarehe 21 Machi, 2016 Wananchi wa Zanzibar wameamua Wamemchagua tena Dk. Shein kuwa Rais TUME IMEMTANGAZA, AMEAPISHWA NA AMEUNDA SERIKALI arehe 21 Machi, 2016 imekuwa ni siku nyengine ya kihistoria kwa wananchi wa TZanzibar na Tanzania kwa jumla, kwa kushuhudia tukio la Dk. Ali Mohamed Shein kutangazwa tena na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kufuatia ushindi mkubwa wa nafasi hiyo alioupata katika uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi 20, 2016. Licha ya chama kikuu cha upinzani Zanzibar CUF kutoshiriki uchaguzi, idadi kubwa ya Wananchi waliojitokeza kupiga kura ilitosha kuthibitisha kuwa wananchi wengi wa Zanzibar bado wamekuwa na imani na kiongozi huyo kuwaongoza kwa kipindi kingine cha miaka mitano ijayo. Tume ya uchaguzi Zanzibar ilimtangaza Dk. Ali Mohamed Shein kuwa mshindi kwenye uchaguzi huo kwa kupata asilimia 91.4 ya kura zote halali zilizopigwa. Uchaguzi huo ambao ulivishirikisha vyama 14 vya siasa, ulikuwa huru na wa haki. Kurejewa kwa uchaguzi mkuu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akionesha cheti wa Zanzibar kunafuatia kufutwa kwa cha Ushindi wa Uchaguzi Mkuu wa marudio mara baada ya kutangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, katika ukumbi wa Salama, Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja, tarehe 21 Machi, 2016 uchaguzi wa awali na matokeo yake 3 Ikulu Zanzibar Machi - Aprili 2016 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na wagombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Tadea Bw. Juma Ali Khatib na chama cha ADC Bw. Hamad Rashid baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa cheti cha ushindi na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa matokeo ya uchaguzi mkuu wa marudio yaliyotolewa katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja, tarehe 21 Machi, 2016 uliofanyika Oktoba 25, 2015 ambao, Vikwazo vingine ni kufanyika wa upigaji kura, kuhesabu na kutoa kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Tume uhamishaji wa visanduku vya kura matokeo ya uchaguzi huo. Kadhalika ya Uchaguzi Zanzibar Bwana Jecha na kuhesabiwa katika maeneo nje ya nambari katika fomu za matokeo ya Salim Jecha, alilazimika kuufuta vituo kinyume na utaratibu, kutolewa vituo vingi vya Pemba kuonekana uchaguzi huo na matokeo yake nje ya vituo na kupigwa kwa mawakala kufutwa na kuandikwa upya nambari kutokana na kukabiliwa na vikwazo wa vyama vingine, hasa wa chama cha nyengine juu yake. vingi katika kutekeleza majukumu yake TADEA huko Pemba na kuvamiwa Hatua Tume ya Uchaguzi Zanzibar aliyokabidhiwa kikatiba na kisheria. kwa vituo na vijana wanaoonekana ya kumtangaza Dk. Shein kuwa Alivitaja baadhi ya vikwazo hivyo kuandaliwa na vyama vya siasa na mshindi na kumkabidhi cheti cha kuwa ni pamoja na kutofahamiana kwa kufanya fujo kwa kupiga watu na kuzuia ushindi katika uchaguzi huo, inaashiria wajumbe ndani ya Tume na kufikia watu wasiokuwa wa vyama vyao kufika mwanzo wa safari nyengine ya kipindi hatua ya baadhi yao kuvua mashati na katika vituo vya kupiga kura na kupiga cha pili cha miaka mitano ya uongozi kuanza kupigana, baadhi ya wajumbe kura. wake wa awamu ya saba wa Serikali ya badala ya kuwa makamishna wa Tume Aidha, Mwenyekiti alivitaja vikwazo Mapinduzi ya Zanzibar. wamekuwa wawakilishi wa vyama vingine kuwa ni pamoja na vyama vya Akizungumza na wananchi vyao, wakati vipo vyama vingi zaidi siasa kuonekana kuingilia majukumu mbali mbali waliohudhuria kwenye ambavyo havikupata fursa ya kuwa na ya Tume, ikiwemo kujitangazia ushindi hafla ya kutangazwa matokeo, Rais makamishna ndani ya Tume hiyo lakini na kupeleka mashinikizo kwa Tume, mteule

View Full Text

Details

  • File Type
    pdf
  • Upload Time
    -
  • Content Languages
    English
  • Upload User
    Anonymous/Not logged-in
  • File Pages
    32 Page
  • File Size
    -

Download

Channel Download Status
Express Download Enable

Copyright

We respect the copyrights and intellectual property rights of all users. All uploaded documents are either original works of the uploader or authorized works of the rightful owners.

  • Not to be reproduced or distributed without explicit permission.
  • Not used for commercial purposes outside of approved use cases.
  • Not used to infringe on the rights of the original creators.
  • If you believe any content infringes your copyright, please contact us immediately.

Support

For help with questions, suggestions, or problems, please contact us