Mradi Wa Umeme Wa Rufiji Wazidi Kushika Kasi
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
HABARI ZA NISHATI NewsBulletin Toleo Namba 1 Limesambazwa kwa Taasisi na Idara zote NISHATI Aprili 1-30, 2019 MRADI WA UMEME WA RUFIJI WAZIDI KUSHIKA KASI Hafla fupi ya utiaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa mradi wa umeme wa mto Rufiji (MW 2115), mkataba ulisainiwa kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya ujenzi kutoka Misri ya Arab Contractors, Ikulu jijini Dar es Salaam Disemba 12, 2018. Wanaoshuhudia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Waziri Mkuu wa Misri Dkt. Mostafa Madbouly (waliokaa mbele). UK. Karibuni tuhabarishane kupitia Jarida la Nishati 3 JARIDA HILI LINATOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI, WIZARA YA NISHATI Wasiliana nasi kwa simu namba +255-26-2322018 Nukushi +255-26-2320148 au Fika Ofisi ya Mawasiliano Barabara ya Kikuyu, S.L.P. 2494, 40474 Dodoma NewsBulletin HABARI ZA NISHATI | Aprili 1 - 30, 2019 HABARI 2 MRADI WA UMEME WA RUFIJI WAZIDI KUSHIKA KASI kufanyiwa usanifu miaka ya 1970 lakini gharama za utekelezaji zilikuwa kubwa na kwa kipindi hicho umeme uliokuwa ukihitajika ni megawati 100 tu. Leo mahitaji ya umeme ni makubwa, nchi inahitaji kutekeleza mradi huu sasa na si baadaye. Mkandarasi wa mradi huu ana majukumu makubwa manne ambayo ni kujenga bwawa kuu lenye uwezo wa kuhifadhi maji mita za ujazo bilioni 35, kujenga kituo cha kufua umeme kitakachokuwa na mashine Tisa zenye uwezo wa kuzalisha umeme wa megawati 235 kila moja hivyo kwa ujumla zitazalisha megawati 2115. Kazi nyingine za mkandarasi ni kujenga kituo cha kupoza na kukuza umeme cha kV 400 na kujenga njia za kusafirisha umeme utakaoingia katika Gridi ya Taifa kwa kutumia njia kuu mbili ambazo ni kutoka eneo la mradi kwenda Chalinze ili kuunganishwa na njia ya kutoka Chalinze kwenda Dodoma na Dar es Salaam. Moja ya nyumba inayojengwa na mkandarasi anayetekeleza mradi wa umeme wa Rufiji Njia nyingine ya umeme ya kV 400 ambapo katika eneo hilo kunajengwa kambi ya muda ya wafanyakazi wa mradi huo. itajengwa kutoka Rufiji kuelekea Kibiti ambapo takribani Vijiji 21 vitafaidika na umeme huo. Na Teresia Mhagama akabidhiwe eneo hilo. Mradi wa umeme wa Rufiji una manufaa Kazi za awali zilizokuwa zikiendelea mbalimbali ikiwemo, kuongeza kiwango angu Serikali ya Tanzania chini kufanyika hadi kufikia tarehe hiyo ni ujenzi cha umeme katika Gridi ya Taifa, kuvutia ya uongozi wa Rais, Dkt John wa kambi ya muda ya wafanyakazi, upelekaji shughuli za utalii ambazo zitaingiza kipato Pombe Magufuli ilipoamua wa vifaa na mitambo itakayotumika wakati wa kwa nchi, maji ya bwawa yataweza kutumika kutekeleza mradi wa umeme wa ujenzi pamoja na kazi za kuchukua sampuli za kwa shughuli za umwagiliaji na hivyo Rufiji (MW 2115) utakaotokana udongo na maji kwa ajili ya utafiti. kuchochea kilimo cha kisasa, pia vijiji 37 na maporomoko ya maji ya Mto Rufiji, Baada ya kukagua kazi hizo za maandalizi, na vitongoji 142 vinavyopitiwa na mradi viongoziT mbalimbali kutoka Wizara na Taasisi Dkt Kalemani alieleza kuridhishwa na vitasambaziwa umeme. zinazohusika na mradi huo zilihakikisha hatua iliyofikiwa sasa na mkandarasi katika Pamoja na faida nyingine nyingi, kwamba zinashiriki kikamilifu katika maandalizi hata hivyo alieleza kuwa, bado utekelezaji wa mradi utapelekea kupungua kuhakikisha kuwa uamuzi huo unatekelezeka. Serikali kupitia Wizara ya Nishati itaendelea kwa gharama za nishati kwani nchi ambazo Hivyo kila Taasisi inayohusika na mradi kumsimania mkandarasi ili amalize kazi ndani zinatumia umeme wa maji kwa wingi huo ilihakikisha kuwa, inasimamia utekelezaji ya muda uliopangwa. gharama zake za umeme zipo chini kuliko wa miundombinu wezeshi itakayomwezesha Mradi wa umeme wa Rufiji, ulianza zinazotumia vyanzo vingine vya nishati. mkandarasi wa mradi huo kufanya kazi zake kwa ufanisi. Baadhi ya miundombinu hiyo wezeshi ambayo utekelezaji wake umekamilika ni ujenzi wa barabara, maji, umeme, makazi na reli. Februari 14, 2019 ulimwengu ulishuhudia Serikali ya Tanzania na Mkandarasi (JV Arab Contractors and Elsewedy Electric) wakitiliana saini makabidhiano ya eneo la ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Rufiji. Baada ya makabidhiano hayo, Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani alimwagiza mkandarasi wa mradi huo kutoondoka eneo la mradi kwa kuwa miundombinu wezeshi ya kumwezesha kukaa katika eneo hilo imeshakamilika na anatakiwa kufanya kazi ndani ya muda aliopangiwa. Hii ni kwa sababu, kwa mujibu wa Mkataba, Mkandarasi huyo amepewa miezi sita ya maandalizi ya mradi yanayohusisha upelekaji wa vifaa mbalimbali vitakavyotumika wakati wa ujenzi na baada ya maandalizi hayo kukamilika, amepewa miezi 36 ya ujenzi wa mradi. Mkandarasi wa mradi huo, hakurudi Makamu wa Rais wa kampuni ya Elsewedy Electric, Mhandisi Wael Hamdy (kushoto, waliokaa) nyuma katika kutekeleza agizo hilo la Serikali na Mwanasheria kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mwesiga Mwesiga (kulia, kwani hadi kufikia tarehe Machi 14, 2019 tayari kazi za maandalizi ya mradi zilifikia waliokaa) wakisaini makubaliano ya kukabidhiana eneo la mradi wa umeme wa Rufiji (MW asilimia 40 ikiwa ni mwezi mmoja tu kutoka 2115) kati ya Serikali ya Tanzania na Mkandarasi (JV Arab Contractors and Elsewedy Electric). HABARI ZA NISHATI | Aprili 1 - 30, 2019 NewsBulletin 3 TAHARIRI HABARI ZA NISHATI Karibuni tuhabarishane NewsBulletin kupitia Jarida la Nishati BODI YA ili ni toleo la kwanza la Baada ya kugawanywa iliyokuwa Jarida la Wizara ya Nishati Wizara ya Nishati na Madini na kuwa linaloitwa Nishati News na Wizara mbili tofauti; tunalazimika Bulletin. Jarida hili litakuwa kuwa na Jarida jipya la Wizara ya UHARIRI likitoka mara moja kila Nishati, ambalo ndilo hili. mwezi. Uanzishwaji wa Jarida hili umelenga kuifikia familia kubwa ya H Tunaamini kupitia Jarida hili, nishati, ambayo inajumuisha wadau Mwenyekiti wetu mbalimbali walio ndani na nje ya mtaendelea kuongeza uelewa wa sekta nchi. ya nishati, hususan kazi mbalimbali Dkt. Hamisi Mwinyimvua zinazofanywa na Wizara pamoja na (Katibu Mkuu Tumelenga kuwafikia wadau ili Taasisi zake. Sambamba na utoaji Wizara ya Nishati) kuwahabarisha na kuwaelimisha taarifa, mnakaribishwa kuwasilisha kuhusu kazi zinazotekelezwa na maoni/ushauri, maswali na kero serikali katika sekta ya nishati. Aidha, mbalimbali kuhusiana na sekta ya Jarida hili litatumika kutoa taarifa na nishati; nasi tutazipokea na kuzifanyia Wajumbe matangazo mbalimbali yanayohusu kazi. Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini Mhandisi Innocent Luoga yake. Tafadhali tuandikie: (Kaimu Kamishna wa Mhariri Mkuu, Umeme na Nishati Mbadala) Bila shaka wengi wa wasomaji wetu, mtakumbuka kuwa hii siyo Nishati News Bulletin mara ya kwanza sisi kutoa Jarida la Wizara ya Nishati, Mwanamani Kidaya Wizara. Tulikuwa tukitoa Jarida la S.L.P. 2494 – Dodoma (Kaimu Kamishna wa Wizara ya Nishati na Madini lililokuwa Barua Pepe: nishatinewsbulletin@nishati. Petroli na Gesi) likifahamika kama MEM News Bulletin. go.tz Veronica Simba (Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini) Katunika Ki-nishati Waandishi Veronica Simba Teresia Mhagama Zuena Msuya Wasiliana nasi kwa simu namba +255-26-2322018 Nukushi: +255-26-2320148 au Fika Ofisi ya Mawasiliano Barabara ya Kikuyu, S.L.P. 2494, 40474 Dodoma NewsBulletin HABARI ZA NISHATI | Aprili 1 - 30, 2019 HABARI 4 Waziri wa Nishati, azindua Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na kutoa maelekezo Na Teresia Mhagama - Dodoma ebruari 16, mwaka huu, Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, alizindua Bodi mpya ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), na kutoa maelekezo mbalimbali kwa Bodi hiyo yatakayopelekea kazi ya usambazaji umeme Fvijijini kufanyika kwa kasi na ufanisi. Kikao cha Waziri na Bodi hiyo kilifanyika jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu pamoja na viongozi wengine wa Wizara akiwemo Katibu Mkuu, Dkt. Hamisi Mwinyimvua, Kaimu Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga, Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Raphael Nombo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Amos Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ambayo imezinduliwa na Maganga na watendaji wengine kutoka wizara Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani. na REA. Akizungumza na Bodi hiyo, Dkt Kalemani Waziri wa Nishati, Dkt alieleza sababu mbalimbali za kuvunjwa Medard Kalemani (katikati) kwa Bodi iliyopita Novemba 12, 2018 kuwa akizungumza wakati wa ni kushindwa kutekeleza majukumu yake uzinduzi wa Bodi mpya ya ipasavyo na kushindwa kusimamia vizuri Wakala wa Nishati Vijijini Wakala wa Nishati Vijijini. “Leo tunawakabidhi majukumu yenu (REA). Katika kikao hicho pia lakini suala la msingi ni kuwatumikia walihudhuria Watendaji wa wananchi kwani tunawajibika kwao hivyo Wizara ya Nishati na Wakala yaliyotokea kwenye Bodi iliyopita, yasitokee wa Nishati Vijijini (REA). kwenye Bodi yenu”, alisema Dkt Kalemani. Kushoto kwa Waziri ni Naibu Alitaja majukumu ya Bodi hiyo kuwa ni kusimamia Wakala wa Nishati Vijijini ili Waziri wa Nishati, Subira utekeleze majukumu yake kwa ufanisi na Mgalu. weledi na kusimamia shughuli za Wakala ili zifanyike kwa malengo na Dira ya Serikali ya kusambaza umeme katika vijiji vyote nchini. utekelezaji wa kusambaza umeme katika vijiji, Dkt John Pombe Magufuli kumteua Bw. Aliongeza kuwa, majukumu mengine ya vitongoji na miradi mbalimbali ya kijamii Michael Nyagoga kuwa Mwenyekiti wa Bodi Bodi hiyo ni kusimamia Fedha za Mfuko wa na kuwasimamia ipasavyo wakandarasi hiyo Februari 14, 2019. Nishati Vijijini ili tija yake ionekane na kuitaka wa umeme vijijini ili kazi zao ziende kwa Wajumbe wa Bodi hiyo ni Oswald Bodi hiyo kutokuwa chanzo cha migogoro haraka kwani wengi wao