Viti Maalum Vyawagawa Watanzania Sauti Ya Siti 1

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Viti Maalum Vyawagawa Watanzania Sauti Ya Siti 1 Sauti ya Siti Toleo la 37 ISSN 0856 - 230 X Agosti, 2015 Viti Maalum vyawagawa Watanzania Sauti ya Siti 1 SS No. 37 KIS.indd 1 9/14/2015 12:55:34 PM YALIYOMO Ukurasa Bukwimba: Niliitwa muuza baa, malaya, nikashinda jimbo ....... 5 Wanawake wanaweza kupata asilimia 50 kupitia majimbo ya uchaguzi? ..................................................................................................... 8 Ester Bulaya: Kujiamini kunaua uzalendo pofu wa wanaume.... 11 Siri ya mafanikio ya usawa wa kijinsia katika Uchaguzi Mkuu .............................................................................................................. 13 Wagombea urais wanawake wanaongezeka .................................. 15 Kwa nini Amina Salum Ali aligombea urais? .................................. 18 Viti Maalumu vyawagawa Watanzania .............................................. 21 Wanawake wanabaki nyuma katika nafasi za juu za uamuzi ........................................................................................................... 25 Vyombo vya habari vyabagua wagombea wanawake ................ 28 Senkoro: Serikali itoe ruzuku kwa wagombea wanawake ......... 31 Uwezekano wa Tanzania kupata Makamu wa Rais mwanamke .................................................................................................. 33 2 Sauti ya Siti SS No. 37 KIS.indd 2 9/14/2015 12:55:35 PM TAMWA TAHARIRI CCM imeonyesha njia, vyama vingine pia viunge mkono Sauti ya Siti wagombea wanawake ktoba 25 mwaka huu, Tanzania inafanya Mkurugenzi Mtendaji - TAMWA Edda Sanga Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na Omadiwani. Wahariri Kimsingi, uchaguzi ni kiashiria muhimu kwa ustawi wa demokrasia Deodatus Balile katika nchi yoyote ile duniani. Lilian Timbuka Mara zote, uchaguzi ulio huru na wa haki huimarisha amani, umoja Usanifu na uchumi wa nchi. Tayari tumeshashuhudia kuwa mara nyingi Gurnam Ajit baada ya uchaguzi, serikali mpya zinazoingia madarakani, huja na sera mpya kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Tanzania ilipata uhuru wake mwaka 1961 na tangu wakati huo, imekuwa ikifanya uchaguzi huru na wa haki. Mwaka 1965, Tanzania ilifuta mfumo wa vyama vingi na kuingia Chama cha Wanahabari Wanawake Tz katika mfumo wa chama kimoja. Mabadiliko hayo yaliingiza S. L. P 8981, Sinza - Mori, Dar es Salaam, Tanzania mfumo wa chama kushika hatamu, mgombea mmoja wa kiti cha Simu: +255 22 2772681 urais na wagombea wawili wa kiti cha ubunge na udiwani katika Nukushi:+ 255 22 2772681 kila jimbo au kata. Barua Pepe: [email protected] Chaguzi ziliendelea kuwa huru na za haki hadi mwaka 1992 wakati Ofisi za Zanzibar: mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa. Kwa bahati mbaya katika S. L. P 741, Tunguu, mifumo yote miwili ya chama kimoja na vyama vingi, dhana ya Zanzibar, Tanzania usawa wa kijinsia haikutekelezwa. Simu: +255 773 747 252 B. Pepe: [email protected] Kutokana na kusahaulika kwa suala hilo, wanawake walishiriki katika uchaguzi wakiwa wapiga kura tu na watazamaji wa Tovuti: www.tamwa.org wagombea wanaume. 8 Uk 4 Sauti ya Siti 3 SS No. 37 KIS.indd 3 9/14/2015 12:55:35 PM 7 Uk 3 Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza. Hii ina maana kuwa kama Dk. Magufuli atashinda urais, kwa CCM imeonyesha njia, mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kutakuwa na Makamu wa vyama vingine pia Rais mwanamke. TAMWA kwa kushirikiana na wanaharakati wengine wa jinsia viunge mkono na haki za binadamu wamekuwa wakipambana kuhakikisha kuwa wanawake wanashika nafasi za wagombea wanawake juu za utoaji wa uamuzi ikiwa ni pamoja na urais, umakamu wa rais na uwaziri mkuu. Dhana hiyo iliwanyima fursa ya Watangaza nia hao walikuwa ni kuchaguliwa katika ngazi za utoaji pamoja na Balozi Amina Salum Tuna imani kuwa huu ni mwanzo wa uamuzi ikiwamo ya urais, Ali, Dk. Mwele Malecela, Monica mzuri na tunatarajia kuwa vyama ubunge na udiwani. Tatizo kubwa Mbega, Dk. Asha-Rose Migiro, vingine vitaiga hatua hii ya hapa ni kuendelea kustawi kwa Ritta Ngowi, Hellen Elinawinga na kuwatambua wanawake ambao uzalendo pofu wa wanaume na Veronica Kazimoto. Dk. Migiro na wana uwezo wa kushika nafasi mfumo dume ambao umejengeka Balozi Amina walifika ngazi ya tatu kama hizi. zaidi katika nchi nyingi za Kiafrika bora. ambazo jamii yake inawaona Toleo hili la Sauti ya Siti ambalo wanaume ndiyo viongozi pekee wa Tunasema hatua ya wanawake linafadhiliwa na Ford Foundation, familia na jamii kwa ujumla. wawili kufikia kwenye kinyang’anyiro cha tatu bora linawapongeza wanawake ambao wamethubutu na kuwahamasisha Kutokana na jitihada za ni mafanikio makubwa kwa wengine kujitokeza kwa wingi wanaharakati wa masuala ya jinsia wanaharakati wa haki za binadamu kushiriki kuchagua na kuchaguliwa kutaka usawa, kilio chao kikaanza na jinsia. katika uchaguzi wa rais, wabunge kusikilizwa. Mwaka 1995, Serikali Pia, Dk. John Magufuli ambaye na madiwani. Hii inatokana na ya Tanzania ilianzisha viti maalumu alishinda katika vikao vya uteuzi imani kuwa wanawake wana uwezo vya ubunge na udiwani kama njia vya chama chake, alimteua Samia sawa na walionao wanaume. ya kuwajengea uwezo wanawake. Pia, ni mwaka huohuo, Rose Lugendo alikuwa mwanamke wa kwanza kutangaza nia ya kutaka kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya CCM. Mwaka 2005, idadi ya waliotangaza nia iliongezeka na kufikia watatu ambao ni Anna Senkoro (PPT-Maendeleo), Chiku Abwao na Maulida Komu kupitia CHADEMA. Hakuna ambaye alichaguliwa. Katika ngazi ya majimbo mwaka 2010 ni asilimia tisa tu ya wanawake walioshinda ubunge. Mwaka huu, idadi ya wanawake waliotangaza nia iliongezeka kwa chama tawala hadi kufikia saba. 4 Sauti ya Siti SS No. 37 KIS.indd 4 9/14/2015 12:55:35 PM Bukwimba: Niliitwa muuza baa, malaya, nikashinda jimbo Na Beatrice Bandawe waka 2009, Jimbo mdogo wa jimbo hilo kupitia vilisimamisha wagombea na la Busanda, CCM. kufanya idadi ya wagombea katika uchaguzi huo kuwa wanne. mkoani Geita M Ingawa wanawake wengi lilipoteza mbunge wake huogopa kuingia kwenye Bukwimba akiwa mwanamke kupitia Chama Cha uchaguzi wa jimbo kutokana pekee aliyejitosa katika uchaguzi Mapinduzi (CCM), Faustine huo, anasema kilichomfanya na mikikimikiki ya kupambana aingie kwenye kinyang’anyiro Lwilomba aliyefariki dunia na wanaume, Bukwimba alijipa hicho ni maombi ya wananchi nchini India alikokwenda ujasiri. kumtaka agombee. kwa ajili ya matibabu. “Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza “Mwanzo niliona kazi ya siasa Kwa taratibu za Sheria ya kugombea kupitia jimbo. Nilijipa ni ngumu, lakini nilipoamua ujasiri kuwa wanawake tunaweza nikasema sasa nakwenda Uchaguzi, mbunge anapofariki kugombea.” dunia, uchaguzi mdogo kama tukidhamiria,” anasema huitishwa kuchagua mwingine Bukwimba ambaye kipindi hicho Matokeo ya uchaguzi atakayewakilisha wananchi wa cha 2009 alikuwa na umri wa yalipotangazwa, anasema jimbo husika bungeni. miaka 38 tu. aliongoza kwa kupata kura 29,242 na mpinzani wake wa Katika uchaguzi huo, Chama Ni katika kipindi hicho, ndipo karibu kutoka CHADEMA alipata cha Demokrasia na Maendeleo kura 22,799 na hivyo kumzidi mwanamama Lolesia Bukwimba (CHADEMA), Chama cha (44), alipojitosa kwenye Wananchi (CUF) na Chama cha kwa kura 6,443. kinyang’anyiro cha uchaguzi Umoja wa Demokrasia (UDP), 8 Uk 6 Mbunge wa Jimbo la Busanda, Lolesia Bukwimba akiwahutubia wakazi wa kata ya Mgusu, jimboni humo wakati Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), alipotembelea Mkoa wa Geita, Juni, mwaka huu Sauti ya Siti 5 SS No. 37 KIS.indd 5 9/14/2015 12:55:35 PM 7 Uk 5 Bukwimba: Niliitwa muuza baa, malaya, nikashinda jimbo Wakati anaamua kugombea kukatisha tamaa na pia walisema “Vilevile, nilikuwa nikiwapa ile ubunge wa jimbo hilo, mume haiwezekani watawaliwe na kaulimbiu ya ‘unapomuelimisha wake alimpa ushirikiano mkubwa mwanamke. mwanamke, unaelimisha jamii na hiyo ilimtia moyo pia. nzima’,” anasema Bukwimba “Waliniita mimi muuza baa, na kuongeza kuwa wananchi “Kitendo cha kumshirikisha malaya na mengine mengi walihamasika na kumuelewa. mume wangu katika uamuzi ya kunikatisha tamaa, lakini wangu wa kugombea jimbo na nilisimama imara sikutetereshwa Rushwa kunikubalia kilinipa moyo na na maneno yao.” Wanawake wengi wanaogopa nikajiona naweza,” anasema. Anasema alipokuwa akisimama kupambana kwenye majimbo kwenye majukwaa ya kampeni kutokana na uzoefu kuwa kwenye Kabla ya kuingia kwenye siasa, kuomba kura, alikuwa hajitetei uchaguzi huo, wagombea hasa Bukwimba alikuwa anafanya kazi kwa kuwajibu wale waliokuwa wanaume wenye uwezo hutumia kwenye taasisi zisizo za kiserikali wakimtukana, badala yake fedha kununua wapiga kura. (NGO) na pia katika taasisi za aliwaeleza nia yake ya kifedha. kuwatumikia na kutoa mifano Bukwimba anasema wanawake ya wanawake waliofanya vizuri wanaonekana dhaifu kwa sababu Changamoto katika uongozi wa kitaifa na ya kuchukuliwa kuwa hawana Anasema jamii imezoea kuwaona kimataifa. uwezo wa kifedha kushindana na wanawake kuwa ni watu dhaifu wanaume. wasioweza kuongoza wanaume Aliwatajia wananchi hao kutokana na mila na desturi wanawake kama Anne Makinda, Hata hivyo, yeye aliweza zilizojengeka tangu enzi za ambaye ni Spika wa Bunge, kushawishi wapiga kura kwa mababu na mabibi. Dk. Asha-Rose Migiro, ambaye uzoefu wake wa kuzungumza alikuwa Naibu Katibu Mkuu na kutetea hoja zake, hali hiyo “Kuna ile dhana iliyojengeka kwa Umoja wa Mataifa na sasa ni Waziri ilimsaidia na hatimaye alifanikiwa baadhi ya wanaume kwamba wa Katiba na Sheria, Dk. Getrude kuchukua jimbo. mwanamke hawezi kuongoza Mongela, aliyekuwa Mbunge wanaume, hiyo ilikuwepo kwenye wa Ukerewe ambaye alifanya Mbali na kushinda kwenye jimbo jimbo nililokuwa nagombea,” maendeleo makubwa katika hilo, mwaka 2009 baada ya kifo anasema. jimbo hilo ambaye pia alishika
Recommended publications
  • Nakala Ya Mtandao (Online Document) 1 BUNGE LA TANZANIA
    Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ________________ MAJADILIANO YA BUNGE ________________________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Kumi na Tisa – Tarehe 27 Mei, 2014 (Mkutano Ulianza Saa tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA: Taarifa ya Mwaka na Hesabu za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha kwa Mwaka 2012/2013 (The Annual Report and Accounts of Arusha International Conference Centre for the Year 2012/2013). Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. NAIBU WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI: Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MHE. BETTY E. MACHANGU (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA): Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Maoni ya Kamati 1 Nakala ya Mtandao (Online Document) Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MHE. ABDULKARIM E.H. SHAH (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA): Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
    [Show full text]
  • Open Government Partnership 2015 Africa Regional Meeting Hosted by the Government of Tanzania
    Open Government Partnership 2015 Africa Regional Meeting Hosted by the Government of Tanzania Julius Nyerere International Convention Centre, Dar es Salaam May 20 – 21, 2015 PROGRAM Wednesday, May 20 7:30 – 9:00 Registration | Outside Ruaha Hall 9:00 – 11:00 Opening Plenary | Ruaha Hall Moderator: Maria Sarungi (Tanzania) Video presentation on OGP in Tanzania • Message from Government of South Africa, Co-Chair of OGP Steering Committee TBC • Remarks by Aidan Eyakuze, Twaweza (Tanzania) • Remarks by George H. Mkuchika, Minister of State, Good Governance (Tanzania) • Keynote Speech by Dr. Jakaya Kikwete, President of the United Republic of Tanzania • Vote of Thanks by Andrew Tehmeh, Deputy Minister of Information, Cultural Affairs and Tourism (Liberia) 11:00 – 11:30 Coffee Break | Lobby 11:30 – 1:00 High-Level Panel: Enhancing Accountability Through Open | Ruaha Hall Governance Panel discussion with government and civil society representatives on the progress, ongoing challenges and ways forward. Moderators: Hon. Mathias Chikawe, Minister for Home Affairs and Aidan Eyakuze (Tanzania) Speakers: • Vitus Adaboo Azeem, Ghana Integrity Initiative (GII) (Ghana) • Wezi Kayira, Permanent Secretary of Good Governance, Office of the President and Cabinet (Malawi) • Mukelani Dimba, OGP Steering Committee Meeting, Open Democracy Advice Centre (South Africa) • Khadija Sesay, Director of Open Government Initiative (Sierra Leone) 1:00 – 2:00 Lunch | Meru Hall 2:00 – 3:30 Breakout Session 1 The Open Gov Guide: A Resource to Build Stronger | Udzungwa Room Commitments An overview of the guide which highlights practical, measurable, specific and actionable 1 steps that governments can, and are taking across a range cross-cutting and focus areas.
    [Show full text]
  • Issued by the Britain-Tanzania Society No 112 Sept - Dec 2015
    Tanzanian Affairs Issued by the Britain-Tanzania Society No 112 Sept - Dec 2015 ELECTION EDITION: MAGUFULI vs LOWASSA Profiles of Key Candidates Petroleum Bills Ruaha’s “Missing” Elephants ta112 - final.indd 1 8/25/2015 12:04:37 PM David Brewin: SURPRISING CHANGES ON THE POLITICAL SCENE As the elections approached, during the last two weeks of July and the first two weeks of August 2015, Tanzanians witnessed some very dra- matic changes on the political scene. Some sections of the media were even calling the events “Tanzania’s Tsunami!” President Kikwete addessing the CCM congress in Dodoma What happened? A summary 1. In July as all the political parties were having difficulty in choosing their candidates for the presidency, the ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) party decided to steal a march on the others by bringing forward their own selection process and forcing the other parties to do the same. 2. It seemed as though almost everyone who is anyone wanted to become president. A total of no less than 42 CCM leaders, an unprec- edented number, registered their desire to be the party’s presidential candidate. They included former prime ministers and ministers and many other prominent CCM officials. 3. Meanwhile, members of the CCM hierarchy were gathering in cover photos: CCM presidential candidate, John Magufuli (left), and CHADEMA / UKAWA candidate, Edward Lowassa (right). ta112 - final.indd 2 8/25/2015 12:04:37 PM Surprising Changes on the Political Scene 3 Dodoma to begin the lengthy and highly competitive selection process. 4. The person who appeared to have the best chance of winning for the CCM was former Prime Minister Edward Lowassa MP, who was popular in the party and had been campaigning hard.
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge ______
    NAKALA YA MTANDAO (ON LINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ___________ MAJADILIANO YA BUNGE ______________ BUNGE LA KUMI NA MOJA ___________ MKUTANO WA KWANZA Kikao cha Kwanza - Tarehe 17 Novemba, 2015 (Bunge lilianza Saa Tatu Asubuhi) DKT. THOMAS D. KASHILILAH - KATIBU WA BUNGE: Naomba tukae. TANGAZO LA RAIS LA KUITISHA MKUTANO WA BUNGE DKT. THOMAS D. KASHILILAH - KATIBU WA BUNGE: Waheshimiwa Wabunge, kwa mujibu wa masharti ya Katiba, Mkutano huu wa Kwanza unaanza kwa Rais kuuitisha. Naomba kuchukua nafasi hii kusoma Tangazo la Rais kama ambavyo tumelipokea. Tangazo la Serikali Na. 513 la tarehe 6 Novemba, 2015. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Sura ya Pili, hati iliyotolewa kwa mujibu wa Ibara ya 90(1). Hati ya Kuitisha Mkutano wa Bunge Jipya. KWA KUWA, Uchaguzi Mkuu ulifanyika tarehe 25 Oktoba, 2015 katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977; NA KWA KUWA, masharti ya Ibara ndogo ya kwanza ya Ibara ya 90 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, yanamtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuitisha Mkutano wa Bunge Jipya kabla ya kupita siku saba tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu; NA KWA KUWA, matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25 Oktoba, 2015 yalitangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi tarehe 29 Oktoba, 2015; HIVYO BASI, mimi John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mamlaka niliyonayo chini ya Ibara ya 90(1) ya 1 NAKALA YA MTANDAO (ON LINE DOCUMENT) Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, naitisha Mkutano wa Bunge Jipya la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ufanyike katika ukumbi wa Bunge uliopo Mjini Dodoma tarehe 17 Novemba, 2015 kuanzia saa tatu asubuhi.
    [Show full text]
  • Issued by the Britain-Tanzania Society No 114 May - Aug 2016
    Tanzanian Affairs Issued by the Britain-Tanzania Society No 114 May - Aug 2016 Magufuli’s “Cleansing” Operation Zanzibar Election Re-run Nyerere Bridge Opens David Brewin: MAGUFULI’S “CLEANSING” OPERATION President Magufuli helps clean the street outside State House in Dec 2015 (photo State House) The seemingly tireless new President Magufuli of Tanzania has started his term of office with a number of spectacular measures most of which are not only proving extremely popular in Tanzania but also attracting interest in other East African countries and beyond. It could be described as a huge ‘cleansing’ operation in which the main features include: a drive to eliminate corruption (in response to widespread demands from the electorate during the November 2015 elections); a cutting out of elements of low priority in the expenditure of government funds; and a better work ethic amongst government employees. The President has changed so many policies and practices since tak- ing office in November 2015 that it is difficult for a small journal like ‘Tanzanian Affairs’ to cover them adequately. He is, of course, operat- ing through, and with the help of ministers, regional commissioners and cover photo: The new Nyerere Bridge in Dar es Salaam (see Transport) Magufuli’s “Cleansing” Operation 3 others, who have been either kept on or brought in as replacements for those removed in various purges of existing personnel. Changes under the new President The following is a list of some of the President’s changes. Some were not carried out by him directly but by subordinates. It is clear however where the inspiration for them came from.
    [Show full text]
  • Conference Report
    2 ND GOPAC GLOBAL CONFERENCE Arusha, Tanzania September 19-23, 2006 FINAL REPORT GLOBAL ORGANISATION OF PARLIAMENTARIANS AGAINST CORRUPTION: 2ND GLOBAL CONFERENCE Acknowledgements The Global Organisation of Parliamentarians Against Corruption wishes to thank the following organisations for their contributions to the 2nd Global Conference: Parliament of Tanzania African Parliamentarians Network Against Corruption (APNAC) Barrick Gold Canadian International Development Agency (CIDA) US Agency for International Development (USAID) World Bank Institute (WBI) Events Hosts Dr. Zainab A. Gama, MP, Chair, APNAC – Tanzania Arusha Regional Commissioner Col (Rtd). Samuel Ndomba H.E. Dr. Ali Mohamed Shein the Vice President of the United Republic of Tanzania Hosted by Hon. Samuel Sitta, MP – Speaker of the National Assembly Guest Speakers Deputy Barrister Emmanuel Akomaye, Economic and Financial Crimes Commission of Nigeria Doris Basler, Transparency International Hon. Ruth Kavuma, MP, Vice Chair, APNAC Uganda Mr. Paul Wolfowitz, President, World Bank (Taped message) Conference and Workshop Speakers Conference Chair: John Williams MP (Canada) Edward Doe Adjaho, MP (Ghana) Naser Al Sane, MP (Kuwait) Edgardo Angara, Senator (Philippines) Stella Cittadini, Senator (Argentina) Roy Cullen, MP (Canada) César Jauregui, Senator (Mexico) Edith Mastenbroek, MEP (Netherlands) J.T.K. Green-Harris, MP (Gambia) Mary King, Senator (Trinidad and Tobago) Omingo Magara, MP (Kenya) Augustine Ruzindana, Former MP (Uganda) Willibroad Slaa, MP (Tanzania) Navin Beekarry (IMF) Giovanni Gallo (UNODC) Scott Hubli (UNDP) Latifah Merican Cheong (World Bank) Carmen Lane (DAI) Luis Gerardo Villanueva, Former MP (Costa Murray Michel (Egmont Group and Rica) FATF) Patrick Moulette (IMF) Keith Schulz (USAID) Ingeborg Schwarz (IPU) Emiko Todoroki (WB) Frederick Stapenhurst (WBI) Stuart Yikona (WB) GOPAC wishes to thank the following individuals for their significant contribution to the conference and its administration: Canadian High Commission - Tanzania Parliament of Tanzania H.E.
    [Show full text]
  • Bunge Newsletter
    BungeNe ewsletter Issue No 008 June 2013 New Budget Cycle Shows Relavance For the first time in recent Tanzania history the engage the government and influence it make sev- Parliament has managed to pass the next financial eral tangible changes in its initial budget proposals. year budget before the onset of that particular year. This has been made possible by the Budget Commit- This has been made possi- tee, another new innovation by Speaker Makinda. ble by adoption of new budget cycle. Under the old cycle, it was not possible to influence According to the new budget cycle, the Parliament the government to make changes in budgetary allo- starts discussing the budget in April as opposed to cations. That was because the main budget was read, old cycle where debate on the new budget started on debated and passed before the sectoral plans. After June and ends in the first or second week of August. the main budget was passed, it was impossible for the MPs and government to make changes in the When the decision was taken to implement the new sectoral budgets since they were supposed to reflect budget cycle and Speaker Anne Makinda announced the main budget which had already been passed. the new modalities many people, including Mem- bers of Parliament, were skeptical. Many stakehold- These and many other changes have been made possi- ers were not so sure that the new cycle would work. ble through the five components implemented under the Parliament five years development plan. “Govern- But Ms Makinda has managed to prove the doubt- ment and Budget Oversight and Accountability is one ers wrong.
    [Show full text]
  • GNRC Fourth Forum Report 16Th – 18Th June 2012 Dar Es Salaam, Tanzania
    GNRC Fourth Forum Report 16th – 18th June 2012 Dar es Salaam, Tanzania Ending Poverty, Enriching Children: INSPIRE. ACT. CHANGE. 3 Produced by: GNRC Fourth Forum Secretariat and GNRC Africa Published by: Arigatou International October 2012 Arigatou International Headquarters 3-3-3 Yoyogi, Shibuya-ku, Tokyo, Japan 151-0053 Tel: +81-3-3370-5396 Fax: +81-3-3370-7749 Email: [email protected] Websites: www.gnrc.net, www.arigatouinternational.org GNRC Fourth Forum Report “The Child’s Name is Today” We are guilty of many errors and faults, But our worst crime is abandoning the children, neglecting the fountain of life. Many things we need can wait, The Child cannot. Right now is the time bones are being formed, Blood is being made, senses are being developed. To the Child we cannot answer “Tomorrow,” The Child’s name is Today. (Chilean poet, Gabriela Mistral) Spread Photo Foreword Introduction Africa was honored to host the Fourth Forum of The Fourth Forum of the Global Network of the Global Network of Religions for Children. Four Religions for Children (GNRC) was held from 16th hundred and seventy (470) participants gathered - 18th June 2012 in Dar es Salaam, Tanzania, under in the historic city of Dar es Salaam, Tanzania, the theme of “Ending Poverty, Enriching Children: th th from 16 – 18 June 2012, and together, addressed INSPIRE. ACT. CHANGE.” Four hundred and the three most distressing challenges that have seventy (470) participants from 64 different become the major causes of poverty—corruption countries around the world, including 49 children and poor governance; war and violence and and young people, engaged in spirited discussions unequal distribution of resources.
    [Show full text]
  • 07-12-07 Guide to Women Leaders in the U
    2007 – 2008 Guide to Senior-Level Women Leaders in International Affairs in the U.S. and Abroad (As of 07/24/2007) The Women's Foreign Policy Group (WFPG) is an independent, nonpartisan, nonprofit, educational membership organization that promotes global engagement and the leadership, visibility and participation of women in international affairs. To learn more about the WFPG please visit our website at www.wfpg.org. Table of Contents Women Foreign Ministers 2 Senior-Level U.S. Women in International Affairs 4 Department of State Department of Defense Department of Labor Department of Commerce Senior-Level Women in the United Nations System 8 Women Ambassadors from the United States 11 Women Ambassadors to the United States 14 Women Ambassadors to the United Nations 16 Senior-Level Women Officials in the Organization of American States 17 Women Heads of State 19 - 1 - Women Foreign Ministers (Listed in Alphabetical Order by Country) Principality of Andorra Meritxell Mateu i Pi Republic of Austria Ursula Plassnik Barbados Dame Billie Miller Belize Lisa M. Shoman Republic of Burundi Antoinette Batumubwira Republic of Croatia Kolinda Grabar-Kitarovic Republic of Ecuador Maria Fernanda Espinoza Hellenic Republic (Greece) Theodora Bakoyannis Republic of Guinea-Bissau Maria da Conceicao Nobre Cabral Republic of Hungary Kinga Goncz Republic of Iceland Ingibjorg Solrun Gisladottir State of Israel Tzipi Livni Principality of Liechtenstein Rita Kieber-Beck Republic of Malawi Joyce Banda - 2 - United Mexican States Patricia Espinosa Republic of Mozambique Alcinda Abreu State of Nepal Sahana Pradhan Federal Republic of Nigeria Joy Ogwu Republic of Poland Anna Fotyga Republic of South Africa Nkosazana Dlamini-Zuma Republic of Suriname Lygia Kraag-Keteldijk United States of America Condoleezza Rice - 3 - Senior-Level U.S.
    [Show full text]
  • Hii Ni Nakala Ya Mtandao (Online Document)
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ___________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA KUMI NA MBILI Kikao cha Ishirini na Tano - Tarehe 16 Julai, 2003 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Pius Msekwa) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA ELIMU YA JUU: Hotuba ya Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu kwa Mwaka wa Fedha 2003/2004. MHE. MARGARETH A. MKANGA (k.n.y. MHE. OMAR S. KWAANGW’ - MWENYEKITI WA KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII): Taarifa ya Kamati ya Huduma za Jamii kuhusu utekelezaji wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu katika mwaka uliopita, pamoja na maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2003/2004. MASWALI NA MAJIBU Na. 239 Majimbo ya Uchaguzi MHE. JAMES P. MUSALIKA (k.n.y. MHE. DR. WILLIAM F. SHIJA) aliuliza:- Kwa kuwa baadhi ya Majimbo ya Uchaguzi ni makubwa sana kijiografia na kwa wingi wa watu; je, Serikali itashauriana na Tume ya Uchaguzi ili kuongeza Majimbo ya Uchaguzi katika baadhi ya maeneo nchini katika Uchaguzi wa mwaka 2005? WAZIRI WA NCHI, OFISI YA WAZIRI MKUU (MHE. MUHAMMED SEIF KHATIB) alijibu:- Mheshimiwa Spika, kabla ya kujibu swali la Mheshimiwa Dr. William Shija, Mbunge wa Sengerema, naomba kutoa maelezo yafuatayo:- Mheshimiwa Spika, lilipokuwa linajibiwa swali la Mheshimiwa Ireneus Ngwatura, Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi na pia swali la Mheshimiwa Sophia Simba, Mbunge wa Viti Maalum, CCM 1 katika Mikutano ya Saba na Kumi na Moja sawia ya Bungeni, nilieleza kwamba, kwa mujibu wa Ibara ya 75(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungao wa Tanzania 1977, Jamhuri ya Muungano inaweza kugawanywa katika Majimbo ya Uchaguzi kwa idadi na namna itakavyoamuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada ya kupata kibali cha Mheshimiwa Rais.
    [Show full text]
  • Parliamentary Strengthening and the Paris Principles: Tanzania Case Study
    Parliamentary Strengthening and the Paris Principles Tanzania case study January 2009 Dr. Anthony Tsekpo (Parliamentary Centre) and Dr. Alan Hudson (ODI) * Disclaimer: The views presented in this paper are those of the authors and do not necessarily represent the views of DFID or CIDA, whose financial support for this research is nevertheless gratefully acknowledged. Overseas Development Institute 111 Westminster Bridge Road London SE1 7JD UK Tel: +44 (0)20 7922 0300 Fax: +44 (0)20 7922 0399 www.odi.org.uk i Parliamentary strengthening and the Paris Principles: Tanzania case study Acknowledgements We would like to thank all of the people who have shared with us their insights and expertise on the workings of the Parliament of Tanzania and about the range of parliamentary strengthening activities that take place in Tanzania. In particular, we would like to thank those Honourable Members of Parliament who took the time to meet with us, along with members of the Secretariat and staff members from a number of Development Partners and from some of the key civil society organisations that are engaged in parliamentary strengthening work. Our hope is that this report will prove useful to these people and others as they continue their efforts to enhance the effectiveness of Tanzania’s Parliament. In addition, we gratefully acknowledge the financial support provided by the UK’s Department for International Development (DFID) and the Canadian International Development Agency (CIDA). ii Parliamentary strengthening and the Paris Principles: Tanzania
    [Show full text]
  • Country Report Tanzania
    ODA Parliamentary Oversight Project Country Report and Data Analysis United Republic of Tanzania December 2012 © Geoffrey R.D. Underhill, Research Fellow, Amsterdam Institute for International Development and Professor of International Governance, University of Amsterdam © Sarah Hardus, Amsterdam Institute for Social Science Research, University of Amsterdam 2 About AIID About Awepa The Amsterdam Institute for International The Association of European Parliamentarians with Development (AIID) is a joint initiative of the Africa (AWEPA) works in partnership with African Universiteit van Amsterdam (UvA) and the Vrije parliaments to strengthen parliamentary Universiteit Amsterdam (VU). Both universities democracy in Africa, keep Africa high on the have a long history and an outstanding political agenda in Europe, and facilitate African- reputation in scientific education and research European parliamentary dialogue. in a broad range of disciplines. AIID was Strong parliaments lie at the heart of Africa's long- founded in 2000 by the two universities as a term development; they serve as the arbiters of network linking their best experts in peace, stability and prosperity. AWEPA strives to international development and to engage in strengthen African parliaments and promote policy debates. human dignity. For 25 years, AWEPA has served as a unique tool for complex democratisation AIID’s mission is laid down in its official operations, from Southern Sudan to South Africa. mission statement: The pillars that support AWEPA's mission “The Amsterdam Institute for International include: Development (AIID) aims at a comprehensive understanding of international development, A membership base of more than 1500 with a special emphasis on the reduction of former and current parliamentarians, poverty in developing countries and transition from the European Parliament and almost economies.
    [Show full text]