Sauti ya Siti Toleo la 37 ISSN 0856 - 230 X Agosti, 2015 Viti Maalum vyawagawa Watanzania Sauti ya Siti 1 SS No. 37 KIS.indd 1 9/14/2015 12:55:34 PM YALIYOMO Ukurasa Bukwimba: Niliitwa muuza baa, malaya, nikashinda jimbo ....... 5 Wanawake wanaweza kupata asilimia 50 kupitia majimbo ya uchaguzi? ..................................................................................................... 8 Ester Bulaya: Kujiamini kunaua uzalendo pofu wa wanaume.... 11 Siri ya mafanikio ya usawa wa kijinsia katika Uchaguzi Mkuu .............................................................................................................. 13 Wagombea urais wanawake wanaongezeka .................................. 15 Kwa nini Amina Salum Ali aligombea urais? .................................. 18 Viti Maalumu vyawagawa Watanzania .............................................. 21 Wanawake wanabaki nyuma katika nafasi za juu za uamuzi ........................................................................................................... 25 Vyombo vya habari vyabagua wagombea wanawake ................ 28 Senkoro: Serikali itoe ruzuku kwa wagombea wanawake ......... 31 Uwezekano wa Tanzania kupata Makamu wa Rais mwanamke .................................................................................................. 33 2 Sauti ya Siti SS No. 37 KIS.indd 2 9/14/2015 12:55:35 PM TAMWA TAHARIRI CCM imeonyesha njia, vyama vingine pia viunge mkono Sauti ya Siti wagombea wanawake ktoba 25 mwaka huu, Tanzania inafanya Mkurugenzi Mtendaji - TAMWA Edda Sanga Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na Omadiwani. Wahariri Kimsingi, uchaguzi ni kiashiria muhimu kwa ustawi wa demokrasia Deodatus Balile katika nchi yoyote ile duniani. Lilian Timbuka Mara zote, uchaguzi ulio huru na wa haki huimarisha amani, umoja Usanifu na uchumi wa nchi. Tayari tumeshashuhudia kuwa mara nyingi Gurnam Ajit baada ya uchaguzi, serikali mpya zinazoingia madarakani, huja na sera mpya kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Tanzania ilipata uhuru wake mwaka 1961 na tangu wakati huo, imekuwa ikifanya uchaguzi huru na wa haki. Mwaka 1965, Tanzania ilifuta mfumo wa vyama vingi na kuingia Chama cha Wanahabari Wanawake Tz katika mfumo wa chama kimoja. Mabadiliko hayo yaliingiza S. L. P 8981, Sinza - Mori, Dar es Salaam, Tanzania mfumo wa chama kushika hatamu, mgombea mmoja wa kiti cha Simu: +255 22 2772681 urais na wagombea wawili wa kiti cha ubunge na udiwani katika Nukushi:+ 255 22 2772681 kila jimbo au kata. Barua Pepe: [email protected] Chaguzi ziliendelea kuwa huru na za haki hadi mwaka 1992 wakati Ofisi za Zanzibar: mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa. Kwa bahati mbaya katika S. L. P 741, Tunguu, mifumo yote miwili ya chama kimoja na vyama vingi, dhana ya Zanzibar, Tanzania usawa wa kijinsia haikutekelezwa. Simu: +255 773 747 252 B. Pepe: [email protected] Kutokana na kusahaulika kwa suala hilo, wanawake walishiriki katika uchaguzi wakiwa wapiga kura tu na watazamaji wa Tovuti: www.tamwa.org wagombea wanaume. 8 Uk 4 Sauti ya Siti 3 SS No. 37 KIS.indd 3 9/14/2015 12:55:35 PM 7 Uk 3 Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza. Hii ina maana kuwa kama Dk. Magufuli atashinda urais, kwa CCM imeonyesha njia, mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kutakuwa na Makamu wa vyama vingine pia Rais mwanamke. TAMWA kwa kushirikiana na wanaharakati wengine wa jinsia viunge mkono na haki za binadamu wamekuwa wakipambana kuhakikisha kuwa wanawake wanashika nafasi za wagombea wanawake juu za utoaji wa uamuzi ikiwa ni pamoja na urais, umakamu wa rais na uwaziri mkuu. Dhana hiyo iliwanyima fursa ya Watangaza nia hao walikuwa ni kuchaguliwa katika ngazi za utoaji pamoja na Balozi Amina Salum Tuna imani kuwa huu ni mwanzo wa uamuzi ikiwamo ya urais, Ali, Dk. Mwele Malecela, Monica mzuri na tunatarajia kuwa vyama ubunge na udiwani. Tatizo kubwa Mbega, Dk. Asha-Rose Migiro, vingine vitaiga hatua hii ya hapa ni kuendelea kustawi kwa Ritta Ngowi, Hellen Elinawinga na kuwatambua wanawake ambao uzalendo pofu wa wanaume na Veronica Kazimoto. Dk. Migiro na wana uwezo wa kushika nafasi mfumo dume ambao umejengeka Balozi Amina walifika ngazi ya tatu kama hizi. zaidi katika nchi nyingi za Kiafrika bora. ambazo jamii yake inawaona Toleo hili la Sauti ya Siti ambalo wanaume ndiyo viongozi pekee wa Tunasema hatua ya wanawake linafadhiliwa na Ford Foundation, familia na jamii kwa ujumla. wawili kufikia kwenye kinyang’anyiro cha tatu bora linawapongeza wanawake ambao wamethubutu na kuwahamasisha Kutokana na jitihada za ni mafanikio makubwa kwa wengine kujitokeza kwa wingi wanaharakati wa masuala ya jinsia wanaharakati wa haki za binadamu kushiriki kuchagua na kuchaguliwa kutaka usawa, kilio chao kikaanza na jinsia. katika uchaguzi wa rais, wabunge kusikilizwa. Mwaka 1995, Serikali Pia, Dk. John Magufuli ambaye na madiwani. Hii inatokana na ya Tanzania ilianzisha viti maalumu alishinda katika vikao vya uteuzi imani kuwa wanawake wana uwezo vya ubunge na udiwani kama njia vya chama chake, alimteua Samia sawa na walionao wanaume. ya kuwajengea uwezo wanawake. Pia, ni mwaka huohuo, Rose Lugendo alikuwa mwanamke wa kwanza kutangaza nia ya kutaka kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya CCM. Mwaka 2005, idadi ya waliotangaza nia iliongezeka na kufikia watatu ambao ni Anna Senkoro (PPT-Maendeleo), Chiku Abwao na Maulida Komu kupitia CHADEMA. Hakuna ambaye alichaguliwa. Katika ngazi ya majimbo mwaka 2010 ni asilimia tisa tu ya wanawake walioshinda ubunge. Mwaka huu, idadi ya wanawake waliotangaza nia iliongezeka kwa chama tawala hadi kufikia saba. 4 Sauti ya Siti SS No. 37 KIS.indd 4 9/14/2015 12:55:35 PM Bukwimba: Niliitwa muuza baa, malaya, nikashinda jimbo Na Beatrice Bandawe waka 2009, Jimbo mdogo wa jimbo hilo kupitia vilisimamisha wagombea na la Busanda, CCM. kufanya idadi ya wagombea katika uchaguzi huo kuwa wanne. mkoani Geita M Ingawa wanawake wengi lilipoteza mbunge wake huogopa kuingia kwenye Bukwimba akiwa mwanamke kupitia Chama Cha uchaguzi wa jimbo kutokana pekee aliyejitosa katika uchaguzi Mapinduzi (CCM), Faustine huo, anasema kilichomfanya na mikikimikiki ya kupambana aingie kwenye kinyang’anyiro Lwilomba aliyefariki dunia na wanaume, Bukwimba alijipa hicho ni maombi ya wananchi nchini India alikokwenda ujasiri. kumtaka agombee. kwa ajili ya matibabu. “Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza “Mwanzo niliona kazi ya siasa Kwa taratibu za Sheria ya kugombea kupitia jimbo. Nilijipa ni ngumu, lakini nilipoamua ujasiri kuwa wanawake tunaweza nikasema sasa nakwenda Uchaguzi, mbunge anapofariki kugombea.” dunia, uchaguzi mdogo kama tukidhamiria,” anasema huitishwa kuchagua mwingine Bukwimba ambaye kipindi hicho Matokeo ya uchaguzi atakayewakilisha wananchi wa cha 2009 alikuwa na umri wa yalipotangazwa, anasema jimbo husika bungeni. miaka 38 tu. aliongoza kwa kupata kura 29,242 na mpinzani wake wa Katika uchaguzi huo, Chama Ni katika kipindi hicho, ndipo karibu kutoka CHADEMA alipata cha Demokrasia na Maendeleo kura 22,799 na hivyo kumzidi mwanamama Lolesia Bukwimba (CHADEMA), Chama cha (44), alipojitosa kwenye Wananchi (CUF) na Chama cha kwa kura 6,443. kinyang’anyiro cha uchaguzi Umoja wa Demokrasia (UDP), 8 Uk 6 Mbunge wa Jimbo la Busanda, Lolesia Bukwimba akiwahutubia wakazi wa kata ya Mgusu, jimboni humo wakati Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), alipotembelea Mkoa wa Geita, Juni, mwaka huu Sauti ya Siti 5 SS No. 37 KIS.indd 5 9/14/2015 12:55:35 PM 7 Uk 5 Bukwimba: Niliitwa muuza baa, malaya, nikashinda jimbo Wakati anaamua kugombea kukatisha tamaa na pia walisema “Vilevile, nilikuwa nikiwapa ile ubunge wa jimbo hilo, mume haiwezekani watawaliwe na kaulimbiu ya ‘unapomuelimisha wake alimpa ushirikiano mkubwa mwanamke. mwanamke, unaelimisha jamii na hiyo ilimtia moyo pia. nzima’,” anasema Bukwimba “Waliniita mimi muuza baa, na kuongeza kuwa wananchi “Kitendo cha kumshirikisha malaya na mengine mengi walihamasika na kumuelewa. mume wangu katika uamuzi ya kunikatisha tamaa, lakini wangu wa kugombea jimbo na nilisimama imara sikutetereshwa Rushwa kunikubalia kilinipa moyo na na maneno yao.” Wanawake wengi wanaogopa nikajiona naweza,” anasema. Anasema alipokuwa akisimama kupambana kwenye majimbo kwenye majukwaa ya kampeni kutokana na uzoefu kuwa kwenye Kabla ya kuingia kwenye siasa, kuomba kura, alikuwa hajitetei uchaguzi huo, wagombea hasa Bukwimba alikuwa anafanya kazi kwa kuwajibu wale waliokuwa wanaume wenye uwezo hutumia kwenye taasisi zisizo za kiserikali wakimtukana, badala yake fedha kununua wapiga kura. (NGO) na pia katika taasisi za aliwaeleza nia yake ya kifedha. kuwatumikia na kutoa mifano Bukwimba anasema wanawake ya wanawake waliofanya vizuri wanaonekana dhaifu kwa sababu Changamoto katika uongozi wa kitaifa na ya kuchukuliwa kuwa hawana Anasema jamii imezoea kuwaona kimataifa. uwezo wa kifedha kushindana na wanawake kuwa ni watu dhaifu wanaume. wasioweza kuongoza wanaume Aliwatajia wananchi hao kutokana na mila na desturi wanawake kama Anne Makinda, Hata hivyo, yeye aliweza zilizojengeka tangu enzi za ambaye ni Spika wa Bunge, kushawishi wapiga kura kwa mababu na mabibi. Dk. Asha-Rose Migiro, ambaye uzoefu wake wa kuzungumza alikuwa Naibu Katibu Mkuu na kutetea hoja zake, hali hiyo “Kuna ile dhana iliyojengeka kwa Umoja wa Mataifa na sasa ni Waziri ilimsaidia na hatimaye alifanikiwa baadhi ya wanaume kwamba wa Katiba na Sheria, Dk. Getrude kuchukua jimbo. mwanamke hawezi kuongoza Mongela, aliyekuwa Mbunge wanaume, hiyo ilikuwepo kwenye wa Ukerewe ambaye alifanya Mbali na kushinda kwenye jimbo jimbo nililokuwa nagombea,” maendeleo makubwa katika hilo, mwaka 2009 baada ya kifo anasema. jimbo hilo ambaye pia alishika
Details
-
File Typepdf
-
Upload Time-
-
Content LanguagesEnglish
-
Upload UserAnonymous/Not logged-in
-
File Pages35 Page
-
File Size-