Online Document)

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Online Document) Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _________________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Tano – Tarehe 15 Mei, 2014 (Kikao Kilianza Saa tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, leo ni siku ya Alhamisi, kwa hiyo Kiongozi wa Kambi ya Upinzani hayupo hata ukikaa karibu hapo wewe siyo kiongozi. Kwa hiyo, nitaendelea na wengine kadiri walivyoleta, tunaanza na Mheshimiwa Eugen Mwaiposa. HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na :- NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA: Hotuba ya Makadirio ya Matumizi na Mapato ya Fedha ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2014/2015. NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI: Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MHE. NYAMBARI C. NYANGWINE (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA): Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka wa Fedha wa 2013/2014 na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. 1 Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) MHE. CYNTHIA H. NGOYE (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA): Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumuzi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MHE. RASHID ALI ABDALLAH – MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI JUU YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA: Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani juu ya Wizara ya Katiba na Sheria Kuhusu Makadirio, Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MHE. KHATIB SAID HAJI (K.n.y. MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI JUU YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI): Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Kuhusu Makadirio, Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MASWALI KWA WAZIRI MKUU SPIKA: Maswali kwa Waziri Mkuu kama nilivyoanza kusema, leo hatuna Kiongozi wa Kambi ya Upinzani ambaye kwa mujibu wa Kanuni anatakiwa kuanza. Kwa hiyo, nitamwita Mheshimiwa Eugen Mwaiposa. MHE. EUGEN E. MWAIPOSA: Mheshimiwa Spika, kwanza nishukuru kabisa kupata nafasi hii ya kumwuliza Mheshimiwa Waziri Mkuu swali kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Waziri Mkuu, mvua zilizonyesha nchini mwaka huu hasa kuanzia mwezi wa tatu zimeleta madhara makubwa sana katika baadhi ya Mikoa. Mfano mkoa wa Pwani, Dar es Salaam, Morogoro na kwingineko nchini. Kwanza niipongeze sana Serikali kwa kutumia TANROADS kwa jinsi ambavyo suala hili limeshughulikiwa hasa kuhakikisha kwamba wamerudisha mawasiliano kati ya Wilaya na Wilaya na Mikoa na Mikoa. Lakini Mheshimiwa Waziri Mkuu madhara makubwa mengine yametokea kati ya kata na Kata na vijiji na vijiji ambayo mpaka sasa ninavyoongea kwa baadhi ya kata na Kata hakuna mawasiliano kabisa. Mfano mdogo tu katika jimbo la Ukonga hakuna mawasiliano kati ya Kata ya Gongo la Mboto na Ulongoni, Kata ya Kivule na Msongola, Kata ya Ukonga na Gongo la Mboto. Lakini hata Kata ya Kitunda na Magole. Swali langu Mheshimiwa Waziri Mkuu. Je, Serikali ina mpango gani wa kuhakikisha kwamba inasaidia sasa mawasiliano haya kurudi katika ngazi hizo ili wananchi waweze kuendelea na shughuli zao za maendeleo? 2 Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) WAZIRI MKUU: Mheshimiwa Spika, ni kweli anavyosema Mheshimiwa Eugen Mwaiposa tulipata madhara sehemu nyingi hapa nchini. Lakini Serikali imejitahidi sana kujaribu kurejesha hali ya kawaida na kuwezesha usafiri kuendelea kama kawaida. Lakini kwa upande wa Mkoa wa Dar es Salaam, ni kweli kuna baadhi ya Kata ambazo tumepata hilo tatizo, lakini tulipokuwa tumepata nafasi ya kuzungumza na Mkuu wa Mkoa jambo la kwanza nililosisitiza ni kwamba lazima Manispaa zitambue kwamba barabara hizo ziko chini ya himaya zao na ni jukumu lao la kwanza kuhakikisha wanasimamia utengenezaji wa madaraja hayo na za sehemu zile ambazo zimekatika. Nikamwambia vile vile kwamba upande wa Serikali tutakapokuwa tumepata maombi ya ziada kwa maana ya kwamba uwezo wenu umeishia mahali fulani, basi na sisi tutaangalia tuone namna ya kusaidia ili kurejesha hiyo hali ya mawasiliano. (Makofi) MHE. EUGEN E. MWAIPOSA: Mheshimiwa Spika, ahsante sana. Naomba nimwulize swali moja tu la nyongeza. Kwa kuwa Manispaa zetu nchini nyingi ikiwepo Manispaa ya Wilaya ya Ilala uwezo wake wa kifedha ni mdogo na kwa kuanzia tu walikuwa wametenga shilingi bilioni 1.5 ambazo hazikuweza kusaidia. Lakini kwa kuwa Manispaa hiyo hiyo ilileta maombi ya Shilingi bilioni 4.5 ili kuweza kupatiwa fedha kutoka kwenye Mfuko wa maafa. Je, suala hilo sasa limefikia wapi? WAZIRI MKUU: Mheshimiwa Spika, sina jibu la haraka haraka kwenye hilo eneo labda mpaka ni-check na Katibu Mkuu wangu ili tuweze kujua kama walifanikiwa kupata fedha kidogo au kiasi gani kwa ajili ya kurejesha mawasiliano ya barabara katika Jiji letu la Dar es Salaam. SPIKA: Niwaombe tena mnaouliza maswali naomba muwe very brief kusudi wote wafikiwe ama sivyo mtu akihutubia tu basi itakuwa muda hautoshi, Mheshimiwa Desderius John Mipata. MHE. DESDERIUS J. MIPATA: Mheshimiwa Spika, nakushukuru kwa kunipa nafasi. Mheshimiwa Waziri Mkuu, katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2010 Mheshimiwa Rais alitoa ahadi nyingi kwa wananchi na zilichukuliwa kama ni mkataba wa kuchaguliwa kwake ili akishachaguliwa aweze kutekeleza mambo mbalimbali hayo aliyokwishaahidi. Mfano ninautoa ni katika jimbo langu la Nkasi, Mheshimiwa Rais aliweza kuwaahidi wananchi kutengeneza barabara tatu zinazounganisha kanda mbili tofauti muhimu sana, Ukanda wa Mwambao na ukanda wa Ufipa ya Juu. Barabara hizi Halmashauri katika kuhakikisha kwamba inatekeleza ahadi ya Rais, chini ya uwezo wake, ilipendekeza barabara hizi ziweze kupandishwa hadhi jambo ambalo halijawezekana. Lakini pia yalitumwa maombi maalum chini ya mfuko wa dharura yenye thamani ya shilingi bilioni tatu lakini tumepata milioni mia nane tu kwa barabara Kanakala, Kitosi na Wampembe. Barabara ya Minde na Namanyere haijapata kitu chochote na muda uliobaki haunihakikishii kwamba inawezekana ahadi hii ikatekelezwa. (Makofi) Je, Serikali bado inawaaminisha wananchi kwamba ahadi zote za Mheshimiwa Rais zitatekelezwa kabla ya muda wa kipindi chake kwisha? WAZIRI MKUU: Mheshimiwa Spika, nia ni hiyo, dhamira ni hiyo, lakini kwa sehemu kubwa inategemea vilevile fedha ambayo inapatikana. Mliomba bilioni tatu mmepata milioni mia 3 Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) nane ni kweli haijafikiwa kiwango kinachotakiwa, lakini hiyo haina maana kwamba ahadi hiyo haitatekelezwa. Hata kule kutoa hicho kiasi cha fedha ni kuonyesha dhamira kwamba bado nia iko pale pale. (Makofi) Kwa hiyo, kama tumeshindwa kwenye mwaka wa fedha ambao unaishia Juni mwaka huu, lazima tuangalie uwezekano wa mwaka huu ambao utaishia Juni mwaka kesho, (2015). Kwa hiyo mimi nadhani tuendelee tu kukumbushana na sisi tutajitahidi kujaribu kutoa msukumo zaidi ili barabara hizo ziendelee kuhudumiwa na bahati nzuri ni barabara ambazo nazijua nimetembea kule wakati wa ziara zangu. Kwa hiyo, tukishirikiana naamini tunaweza tukasaidia tukapunguza ile kero. MHE. DESDERIUS J. MIPATA: Mheshimiwa Spika, nashukuru sana kwa majibu mazuri, nina swali moja la nyongeza. Pamoja na juhudi na ukweli alioueleza Mheshimiwa Waziri Mkuu juu ya azma ya Serikali kutekeleza ahadu za Mheshimiwa Rais. Lakini wapo watendaji ambao wanabeza juhudi za Waheshimiwa Wabunge, watendaji na viongozi wa Serikali wanaobeza juhudi ya Waheshimiwa Wabunge nikiwemo mimi katika kipindi nilichokaa hapa cha miaka mitatu na nusu. Barabara hizi nimezisemea sana, nimeandika barua Ofisini kwako, nimeweza kwenda Ofisi ya TAMISEMI kumwona Katibu Mkuu. Jitihada zote nilizozifanya ziliwezesha kupata kiasi kidogo tu cha fedha hizo, lakini wako viongozi na watendaji wa Serikali wanaobeza juhudi zangu. Je, Serikali ina kauli gani juu ya watendaji wanaobeza juhudi za viongozi waliochaguliwa na wananchi kama mimi. (Makofi) WAZIRI MKUU: Mheshimiwa Spika, ni dhahiri ni vigumu kwangu kulisemea kwa uhakika kwa sababu sina hakika ni viongozi gani wanaobeza au wanaoona kwamba hufanyi kazi yako vizuri. Lakini mimi nadhani kubwa wewe ni Mbunge, jukumu lako unalifahamu. Hayo mengine yanaweza yakasemwa lakini wewe tekeleza wajibu wako, watu wako wata-appreciate hao wengine wanaobeza ukipata nafasi basi ninong‟oneze tuone ni akina nani, wanabeza kwa misingi gani, tuweze vile vile kuwashughulikia. SPIKA: Shughuli nzito kabisa, Mheshimiwa Dkt. Antony Mbassa. MHE. DKT. ANTONY G. MBASSA: Mheshimiwa Spika, nakushukuru kwa kunipa nafasi nami nipate kumwuliza Mheshimiwa Waziri Mkuu swali asubuhi ya leo. Mheshimiwa Waziri Mkuu katika Mkutano wa kumi na nne mwaka jana nilipata kusimama hapa na kuongea kero ya wananchi wanaoishi katika Kata ya Kaniha, kijiji cha Kaniha na Kijiji cha Mpago ambao walikuwa wanasumbuliwa kwamba wanaishi ndani ya hifadhi. Lakini nashukuru kwa maelekezo yako uliyoyatoa na timu ya wataalam uliyotuma iende kufanya kazi japo haijafika kule lakini walau wanapata unafuu japo leo tena katika vyombo vya habari imejitokeza watu wanabeza sisi tunawatetea wananchi inaonekana hakuna kazi tunayoifanya. Mheshimiwa Waziri Mkuu, wananchi hawa pamoja na kilimo wanachoshughulika nacho lakini ni wafugaji wa nyuki. Mwaka jana wamesumbuka sana kupata kibali cha kwenda kurina asali yao. Hata mwaka huu dalili hizo zinajitokeza. Nini kauli yako Mheshimiwa Waziri Mkuu kuhusu wananchi
Recommended publications
  • Obituary Media Release
    P.O. Box 899, Dodoma, Tanzania Tel: +255 (0) 262321437/2324574 Fax: +255 (0) 262324565 Email: [email protected] Archbishop: The Most Rev. Dr. Maimbo F.W. Mndolwa, General Secretary: The Rev. Can. Dr Mecka Ogunde OBITUARY MEDIA RELEASE The Archbishop and all Bishops of the Anglican Church of Tanzania are expressing their sympathy in regard to the death of the fourth Registrar of Anglican Church of Tanzania, the late retired Chief Justice, General Brigadier, Rev. Can. Judge Augustino S. L. Ramadhani. 1 BIOGRAPHY OF THE LATE GENERAL BRIGADIER, RETIRED CHIEF JUSTICE, JUDGE, REV. CAN. JUDGE AUGUSTINO S. L. RAMADHANI, THE FORTH ACT REGISTRAR 1. BIRTH The late Rev. Can. Judge Augustino Ramadhani was born at Kisima Majongoo, Zanzibar on 28th Dec 1945 (Last days of the second world war). He was the second born in the family of eight children (4 Girls and 4 Boys) of the late Mwalimu Matthew Douglas Ramadhani and Mwalimu Bridget Ann Constance Masoud. 2. CHURCH’S LIFE Augustino was born and raised up in a Christian family despite the facts of the family names that are mixture of both Islam and Christian background. As a Christian he played several roles in the church from the local church to provincial (national) level. At the parish level he was a good chorister, as well as pianist. He is the author of several books and articles. Even after joining military service he continued to serve in the church as secretary for the parish of St Alban in Dar es Salaam. In 2000 he was appointed to be the 4th Provincial Registrar of the Anglican Church of Tanzania (ACT) since the inauguration of the Province in 1970 , the position that he held for seven years until 2007 when he resigned after being appointed as the Chief Justice of Tanzania 25th July 2007 at All Saints Cathedral in the Diocese of Mpwapwa he was honored to be a Lay Canon.
    [Show full text]
  • Hotuba Ya Rais Wa Zanzibar Na Mwenyekiti Wa Baraza La Mapinduzi, Mhe
    1 HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHE. DK. ALI MOHAMED SHEIN, KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR, UWANJA WA AMAAN TAREHE 12 JANUARI, 2014 Waheshimiwa Wageni wetu, Wakuu wa Nchi na Serikali na Mawaziri wa Nchi Rafiki mliohudhuria hapa leo, Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Dk. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais, Zanzibar; Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi, Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar; Mheshimiwa Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Dk. Salmin Amour Juma, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi; Mheshimiwa Dk. Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi; Viongozi Wakuu Wastaafu Mliohudhuria; Waheshimiwa Mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar; Mheshimiwa Mama Anne Makinda, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; 2 Mheshimiwa Pandu Ameir Kificho, Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar; Mheshimiwa Othman Chande Mohamed, Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Omar Othman Makungu, Jaji Mkuu wa Zanzibar; Waheshimiwa Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa; Mheshimiwa Abdalla Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi; Waheshimiwa Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa; Ndugu Wananchi, Mabibi na Mabwana; Assalaam Alaykum, Kwa unyenyekevu mkubwa, namshukuru Mwenyezi Mungu, Muumba Mbingu na Ardhi na vyote vilivyomo ndani yake, kwa kutujaalia uhai na uzima wa afya, tukaweza kukusanyika hapa leo kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ya tarehe 12 Januari, 1964.
    [Show full text]
  • Human Rights, the Rule of Law, and the East African Court of Justice: Lawyers and the Emergence of a Weak Regional Field
    HUMAN RIGHTS, THE RULE OF LAW, AND THE EAST AFRICAN COURT OF JUSTICE: LAWYERS AND THE EMERGENCE OF A WEAK REGIONAL FIELD Mihreteab Tsighe Taye* This article represents a first systematic attempt to trace the trajectory that follows the professionalization of a group of East African lawyers committed to the cause of a regional International Court (IC) inspired by the rule of law and human rights. It demonstrates how a group of lawyers participated in the struggle to define law and to construct the East African Court of Justice (EACJ) and build the field of human rights. Lawyers who participated in the creation of the EACJ became “experts” in regional law. This expertise was legitimised not only by the political and social capital deriving from their participation in the drafting of the EAC Treaty, as representatives of states or civil society groups, but also by the capital of knowledge and technical skill accumulated in the course of bringing forth and litigating cases in both the national and transnational spaces. Upon entering the regional IC, as either judges or litigators, these agents became interpreters of the EAC Treaty inspired by the respect for the rule of law and human rights. The article reports on data from field research in East Africa. This article starts with a discussion of the role of lawyers and civil society groups in the formation of the EACJ before analysing efforts to extend the jurisdiction of the EACJ to include human rights. It then examines the EACJ judges’ off-the-bench efforts at judicial empowerment before looking at how lawyers introduced their litigation experience from the national level to the EACJ.
    [Show full text]
  • In Contemporary Zanzibar Marie-Aude Fouéré
    Remembering the Dark Years (1964-1975) in Contemporary Zanzibar Marie-Aude Fouéré To cite this version: Marie-Aude Fouéré. Remembering the Dark Years (1964-1975) in Contemporary Zanzibar. Encoun- ters: The International Journal for the Study of Culture and Society, 2012, pp.113-126. halshs- 00856968 HAL Id: halshs-00856968 https://halshs.archives-ouvertes.fr/halshs-00856968 Submitted on 12 Apr 2017 HAL is a multi-disciplinary open access L’archive ouverte pluridisciplinaire HAL, est archive for the deposit and dissemination of sci- destinée au dépôt et à la diffusion de documents entific research documents, whether they are pub- scientifiques de niveau recherche, publiés ou non, lished or not. The documents may come from émanant des établissements d’enseignement et de teaching and research institutions in France or recherche français ou étrangers, des laboratoires abroad, or from public or private research centers. publics ou privés. Remembering the Dark Years (1964–1975) in Contemporary Zanzibar Marie-Aude Fouéré French Institute for Research in Africa (IFRA), Nairobi, Kenya In the islands of Zanzibar (Unguja and Pemba), the memories of violence and repression perpetrated by revolutionaries and the state from 1964 to 1975 have long been banished from the public space. The official narrative of the 1964 Revolution and the first phase of the post-revolutionary periodi developed and propagated by the Revolutionary Government of Zanzibar, through a control over the production, transmission, and circulation of ideas, combined with repressive measures against dissenting voices, led people to keep their memories private. The official injunction calling for silence did not bringabout a forgetting of the past, but rather contributed to the clandestine transmission and reconstruction of fragments of individual, familial, and community memories within private circles.
    [Show full text]
  • Tanzania Human Rights Report 2008
    Legal and Human Rights Centre Tanzania Human Rights Report 2008: Progress through Human Rights Funded By; Embassy of Finland Embassy of Norway Embassy of Sweden Ford Foundation Oxfam-Novib Trocaire Foundation for Civil Society i Tanzania Human Rights Report 2008 Editorial Board Francis Kiwanga (Adv.) Helen Kijo-Bisimba Prof. Chris Maina Peter Richard Shilamba Harold Sungusia Rodrick Maro Felista Mauya Researchers Godfrey Mpandikizi Stephen Axwesso Laetitia Petro Writers Clarence Kipobota Sarah Louw Publisher Legal and Human Rights Centre LHRC, April 2009 ISBN: 978-9987-432-74-5 ii Acknowledgements We would like to recognize the immense contribution of several individuals, institutions, governmental departments, and non-governmental organisations. The information they provided to us was invaluable to the preparation of this report. We are also grateful for the great work done by LHRC employees Laetitia Petro, Richard Shilamba, Godfrey Mpandikizi, Stephen Axwesso, Mashauri Jeremiah, Ally Mwashongo, Abuu Adballah and Charles Luther who facilitated the distribution, collection and analysis of information gathered from different areas of Tanzania. Our 131 field human rights monitors and paralegals also played an important role in preparing this report by providing us with current information about the human rights’ situation at the grass roots’ level. We greatly appreciate the assistance we received from the members of the editorial board, who are: Helen Kijo-Bisimba, Francis Kiwanga, Rodrick Maro, Felista Mauya, Professor Chris Maina Peter, and Harold Sungusia for their invaluable input on the content and form of this report. Their contributions helped us to create a better report. We would like to recognize the financial support we received from various partners to prepare and publish this report.
    [Show full text]
  • Python Challenge #1 in Python, We Can Use Lists To
    Python Challenge #1 In Python, we can use lists to store related items together in a single place. Two examples are: tanzanian_election_years = [1995, 2000, 2005, 2010, 2015] tanzanian_presidents = [“John Magu uli!, “Ja"aya #i"$ete!, “%en&a'in M"apa!, ( “)li *assan M$inyi!, “Julius +yerere!] 1. On a computer or tablet, write a Python program that prints out each year that Tanzania has had a general election. In Python, you can loop over the items of a list like this: or ite' in list, - do so'ething $ith ite' 2. Using your answer for #1, change it slightly so that it only prints out the years in which Tanzania has had a general election after the year 1999. 3. Sometimes we want to work with two lists at the same time. Say we are given the following list of Tanzanian vice presidents: tanzanian_.ice_presidents = [“/a'ia /uluhu!, “Moha'ed 0hari1 %ilal!, ( “2'ar )li Ju'a!, “3leopa Msuya!, “)1oud Ju'1e!] and we want to match each vice president with the president he or she served with. We can use Python’s zip() function to do this. To illustrate how zip() works, type the following into your Python interpreter (note: don’t type the “>>>”, that is printed by the Python interpreter itself): 444 ruits = [“apple!, “grape!, “1lue1erry!] 444 colors = [“green!, “purple!, “1lue!] 444 zip5 ruits, colors6 [57apple8, 7green86, 57grape8, purple86, 571lue1erry8, 71lue86] Notice how Python matched each of the fruits in our first list with its corresponding color in the second list. The zip() function itself returns a list, which we can use in our own for loops.
    [Show full text]
  • FROM ANGLICANISM to AFRICAN SOCIALISM: the ANGLICAN CHURCH and UJAMAA in TANZANIA 1955-2005 by WILLIAM FABIAN MNDOLWA SN 2025109
    FROM ANGLICANISM TO AFRICAN SOCIALISM: THE ANGLICAN CHURCH AND UJAMAA IN TANZANIA 1955-2005 By WILLIAM FABIAN MNDOLWA SN 202510976 S ubmitted in Fulfilment of the Academic Requirements for the D e g r e e o f DOCTOR OF PHILOSOPHY In the Subject of THE HISTORY OF CHRISTIANITY a t t h e SCHOOL OF RELIGION, PHILOSOPHY AND CLASSICS IN THE COLLEGE OF HUMANITIES UNIVERSITY OF KWAZULU - N A T A L (Pietermaritzburg Campus) SUPERVISOR PROF. PHILIPPE DENIS PIETERMARITZBURG November 2012 DECLARATION As required by University regulations, I hereby state unambiguously that this work has not been presented at any other University or any other institution of higher learning other than the University of KwaZulu-Natal, (Pietermaritzburg Campus) and that unless specifically indicated to the contrary within the text it is my original work. ------------------------------------------------------- WILLIAM FABIAN MNDOLWA SN 202510976 29 November 2012 As candidate supervisor I hereby approve this thesis for submission ------------------------------------------------------- PROFESSOR PHILIPPE DENIS 29 November 2012 i CERTIFICATION We the undersigned declare that we have abided by the School of Religion, Philosophy and Classics in the College of Humanities, University of KwaZulu- Natal‘s policy on language editing. We also declare that earlier forms of the dissertation have been retained should they be required. ------------------------------------------------------- GARY STUART DAVID LEONARD 29 November 2012 ------------------------------------------------------- WILLIAM FABIAN MNDOLWA SN 202510976 29 November 2012 ii DEDICATION This study is first dedicated to my dear wife Chenga-Frida, and my children Msagati- Katindi, Kauye-Prisna and Tahona who endured my absence during the research period of this study. Without their sacrifice, love and support I would not have been able to achieve this great task.
    [Show full text]
  • (Online Document) 1 BUNGE LA TANZANIA
    Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _____________ MAJADILIANO YA BUNGE ______________ MKUTANO WA ISHIRINI Kikao cha Sita – Tarehe 18 Mei, 2015 (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe Anne S. Makinda) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, kutokana na maagizo yaliyotolewa humu wiki iliyopita kuhusu Hati za kuwasilisha Mezani. Kama kuna kundi lolote, Kamati, Serikali au Upinzani hawajaleta Hati hazisomwi. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais! Mheshimiwa Naibu Waziri! HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa mezani na:- NAIBU WAZIRI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO): Randama za Makadirio ya Matumizi kwa Ofisi ya Makamu wa Rais na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016. WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA: Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma) pamoja na (Utawala Bora) kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016. WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (MAHUSIANO NA URATIBU): Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016. MHE. JASSON S. RWEIKIZA - MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA: 1 Nakala ya Mtandao (Online Document) Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), (Utawala Bora na Mahusiano na Uratibu) kwa mwaka wa fedha 2014/2015 pamoja na maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016. MHE. ESTHER N. MATIKO - MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI KWA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, UTAWALA BORA NA MAHUSIANO NA URATIBU: Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni Kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Fedha kwa Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Utawala Bora na Mahusiano na Uratibu kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 SPIKA: Waheshimiwa Wabunge tunaanza maswali Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa Engineer Athumani Mfutakamba.
    [Show full text]
  • Hotuba Ya Waziri Wa Ulinzi Na Jeshi La Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt
    HOTUBA YA WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA MHESHIMIWA DKT. HUSSEIN ALI MWINYI (MB) KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA WIZARA NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2016/17 1 2 UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa leo Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likubali kupokea, kujadili na kupitia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2016/17. 2. Mheshimiwa Spika, awali ya yote, naomba kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kulijalia Taifa letu na wananchi wake wote kwa kutuvusha salama katika mchakato wote wa uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2015. Watanzania tunayo kila sababu ya kujivunia kuwa Uchaguzi Mkuu huo ambao kikalenda ni wa tano tangu kurejeshwa kwa mfumo wa demokrasia ya Vyama vingi mwaka 1992, uliendeshwa na kuhitimishwa kwa amani, utulivu na mshikamano mkubwa kinyume na maadui wetu wa ndani na nje ya nchi waliotutabiria mabaya. Kwa muktadha huo, nachukua fursa hii kutoa pongezi kwa Serikali ya Awamu ya Nne chini ya Uongozi wa Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuendeleza misingi ya umoja, mshikamano na amani ya nchi yetu. Aidha, nawapongeza: aliyekuwa Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal; na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Kayanza Peter 1 Pinda kwa kusimamia utekelezaji mzuri wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2010-2015. Pia, nawapongeza Mhe. Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu, akisaidiana na Mhe.
    [Show full text]
  • Hii Ni Nakala Ya Mtandao (Online Document)
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ________________ MAJADILIANO YA BUNGE _________________ MKUTANO WA KUMI NA MBILI Kikao cha Ishirini na Nne - Tarehe 15 Julai, 2003 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Juma J. Akukweti) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (UTUMISHI): Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi) kwa mwaka wa Fedha 2003/2004. MHE. RAMADHANI H. KHALIFAN (K.n.y. MHE. ATHUMANI S. M. JANGUO - MWENYEKITI WA KAMATI YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA): Taarifa ya Kamati ya Utawala, Katiba na Sheria kuhusu utekelezaji wa Ofisi ya Rais (Utumishi) katika mwaka uliopita, pamoja na maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Ofisi hiyo kwa mwaka 2003/2004. MASWALI NA MAJIBU Na. 229 Utoaji wa Vibali vya Kukata Miti ya Kuchoma Mkaa MHE. LEKULE M. LAIZER aliuliza:- Kwa kuwa Serikali za Vijiji zinajitahidi sana kulinda mazingira kwa kukataza watu wasikate miti kwa ajili ya kuchoma mkaa lakini baadhi ya Maafisa wa Wilaya hutoa vibali kwa watu kukata miti kwa ajili ya shughuli hiyo na wakati huo huo kuharibu misitu. Je, kwa nini utaratibu wa kutoa vibali kwa ajili ya shughuli hiyo usifanywe na wenye ardhi ambao ni Serikali za Vijiji badala ya kutolewa na Maafisa wa Wilaya? NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA alijibu:- Mheshimiwa Naibu Spika, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Lekula Laizer, Mbunge wa Longido, kama ifuatavyo:- 1 Mheshimiwa Naibu Spika, ni kweli kuwa Serikali za Vijiji zinajitahidi sana kulinda mazingira kwa kukataza watu wasikate miti hovyo kwa matumizi mbalimbali.
    [Show full text]
  • Veronika Nad
    2015 ARBEITSPAPIER – WORKING PAPER 164 Veronika Nad Father of the Nation Tanzania’s Independence Jubilee and the Nyerere Myth ARBEITSPAPIERE DES INSTITUTS FÜR ETHNOLOGIE UND AFRIKASTUDIEN WORKING PAPERS OF THE DEPARTMENT OF ANTHROPOLOGY AND AFRICAN STUDIES AP IFEAS 164/2015 Herausgegeben von / The Working Papers are edited by: Institut für Ethnologie und Afrikastudien, Johannes Gutenberg-Universität, Forum 6, D-55099 Mainz, Germany. Tel. +49-6131-3923720; Email: [email protected]; http://www.ifeas.uni-mainz.de http://www.ifeas.uni-mainz.de/92.php Geschäftsführende Herausgeberin / Managing Editor: Konstanze N’Guessan ([email protected]) Copyright remains with the author. Zitierhinweis / Please cite as: Veronika Nad (2015): Father of the Nation. Tanzania’s Independence Jubilee and the Nyerere Myth. Arbeitspapiere des Instituts für Ethnologie und Afrikastudien der Johannes Gutenberg-Universität Mainz (Working Papers of the Department of Anthropology and African Studies of the Johannes Gutenberg University Mainz) 164. Veronika Nad: Father of the Nation: Tanzania’s Independence Jubilee and the Nyerere Myth. Zusammenfassung Im Dezember 2011 feierte die Nation Tansania den 50. Jahrestag der Unabhängigkeit des tansanischen Festlands von britischer Kolonialherrschaft. Dabei offenbarte sich im Zuge der Inszenierung nationaler Symbole und Narrative, dass insbesondere der nationale Gründervater und erste Präsident ein wichtiges nationales Bezugsmerkmal auf verschiedenen Ebenen darstellt, obwohl dieser im kollektiven Gedächtnis über lange Jahre in Ungnade gefallen war. Die vorliegende Arbeit erörtert, wie sich die „Rückkehr“ Nyereres auf die politischen Bühnen des Landes seit seinem Tod im Jahr 1999 in Form eines nationalen Symbols vollzogen hat, und wie seine Person und politisches Vermächtnis im Kontext der Unabhängigkeitsfeiern 2011 erinnert wurden.
    [Show full text]
  • Consequences for Women's Leadership
    The Politics Behind Gender Quotas: Consequences for Women’s Leadership Equity in African Legislatures by Christie Marie Arendt B.A. in Interdisciplinary Studies in Social Science, May 2004, Michigan State University M.A. in International Affairs, May 2006, The George Washington University A Dissertation submitted to The Faculty of The Columbian College of Arts and Sciences of The George Washington University in partial fulfillment of the requirements for the degree of Doctor of Philosophy January 31, 2017 Dissertation directed by Kimberly J. Morgan Professor of Political Science and International Affairs The Columbian College of Arts and Sciences of The George Washington University certifies that Christie Marie Arendt has passed the Final Examination for the degree of Doctor of Philosophy as of December 16, 2016. This is the final and approved form of the dissertation. The Politics Behind Gender Quotas: Consequences for Women’s Leadership Equity in African Legislatures Christie Marie Arendt Dissertation Research Committee: Kimberly J. Morgan, Professor of Political Science and International Affairs, Dissertation Director Jennifer Brinkerhoff, Professor of International Affairs, International Business, and Public Policy & Public Administration Eric Kramon, Assistant Professor of Political Science and International Affairs, Committee Member ii © Copyright 2017 by Christie Marie Arendt All rights reserved iii Dedication To my parents, Anne and Steve Arendt, none of this was possible without your enduring love and support. iv Acknowledgments This dissertation benefitted from the encouragement and guidance of a number of people. As an alumna of The George Washington University’s Elliott School of International Affairs, I knew that GW would provide a perfect environment to pursue my doctoral studies.
    [Show full text]