Veronika Nad
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
Load more
Recommended publications
-
Online Document)
Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _________________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Tano – Tarehe 15 Mei, 2014 (Kikao Kilianza Saa tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, leo ni siku ya Alhamisi, kwa hiyo Kiongozi wa Kambi ya Upinzani hayupo hata ukikaa karibu hapo wewe siyo kiongozi. Kwa hiyo, nitaendelea na wengine kadiri walivyoleta, tunaanza na Mheshimiwa Eugen Mwaiposa. HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na :- NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA: Hotuba ya Makadirio ya Matumizi na Mapato ya Fedha ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2014/2015. NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI: Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MHE. NYAMBARI C. NYANGWINE (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA): Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka wa Fedha wa 2013/2014 na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. 1 Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) MHE. CYNTHIA H. NGOYE (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA): Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumuzi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. -
Hotuba Ya Rais Wa Zanzibar Na Mwenyekiti Wa Baraza La Mapinduzi, Mhe
1 HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHE. DK. ALI MOHAMED SHEIN, KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR, UWANJA WA AMAAN TAREHE 12 JANUARI, 2014 Waheshimiwa Wageni wetu, Wakuu wa Nchi na Serikali na Mawaziri wa Nchi Rafiki mliohudhuria hapa leo, Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Dk. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais, Zanzibar; Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi, Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar; Mheshimiwa Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Dk. Salmin Amour Juma, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi; Mheshimiwa Dk. Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi; Viongozi Wakuu Wastaafu Mliohudhuria; Waheshimiwa Mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar; Mheshimiwa Mama Anne Makinda, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; 2 Mheshimiwa Pandu Ameir Kificho, Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar; Mheshimiwa Othman Chande Mohamed, Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Omar Othman Makungu, Jaji Mkuu wa Zanzibar; Waheshimiwa Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa; Mheshimiwa Abdalla Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi; Waheshimiwa Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa; Ndugu Wananchi, Mabibi na Mabwana; Assalaam Alaykum, Kwa unyenyekevu mkubwa, namshukuru Mwenyezi Mungu, Muumba Mbingu na Ardhi na vyote vilivyomo ndani yake, kwa kutujaalia uhai na uzima wa afya, tukaweza kukusanyika hapa leo kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ya tarehe 12 Januari, 1964. -
The Case of Tanzania
INFORMATION TO USERS This manuscript has been reproduced frommicrofilm the master. U M I films the text directly from the original or copy submitted. Thus, some thesis and dissertation copies are in typewriter face, while others may be from any type of computer printer. The quality of this reproduction is dependent upon the quality of the copy submitted. Broken or indistinct print, colored or poor quality illustrations and photographs, print bleedthrough, substandard margins, and improper alignment can adversely affect reproduction. In the unlikely event that the author did not send UMI a complete manuscript and there are missing pages, these will be noted. Also, if unauthorized copyright material had to be removed, a note will indicate the deletion. Oversize materials (e.g., maps, drawings, charts) are reproduced by sectioning the original, beginning at the upper left-hand comer and continuing from left to right in equal sections with small overlaps. Each original is also photographed in one exposure and is included in reduced form at the back of the book. Photographs included in the original manuscript have been reproduced xerographically in this copy. Higher quality 6" x 9" black and white photographic prints are available for any photographs or illustrations appearing in this copy for an additional charge. Contact UMI directly to order. A Bell & Howell Information Company 300 North Zeeb Road. Ann Arbor. Ml 48106-1346 USA 313/ 761-4700 800/521-0600 Reproduced with permission of the copyright owner. Further reproduction prohibited without permission. Reproduced with permission of the copyright owner. Further reproduction prohibited without permission. Order Number 9507836 War as a social trap: The case of Tanzania Francis, Joyce L., Ph.D. -
Python Challenge #1 in Python, We Can Use Lists To
Python Challenge #1 In Python, we can use lists to store related items together in a single place. Two examples are: tanzanian_election_years = [1995, 2000, 2005, 2010, 2015] tanzanian_presidents = [“John Magu uli!, “Ja"aya #i"$ete!, “%en&a'in M"apa!, ( “)li *assan M$inyi!, “Julius +yerere!] 1. On a computer or tablet, write a Python program that prints out each year that Tanzania has had a general election. In Python, you can loop over the items of a list like this: or ite' in list, - do so'ething $ith ite' 2. Using your answer for #1, change it slightly so that it only prints out the years in which Tanzania has had a general election after the year 1999. 3. Sometimes we want to work with two lists at the same time. Say we are given the following list of Tanzanian vice presidents: tanzanian_.ice_presidents = [“/a'ia /uluhu!, “Moha'ed 0hari1 %ilal!, ( “2'ar )li Ju'a!, “3leopa Msuya!, “)1oud Ju'1e!] and we want to match each vice president with the president he or she served with. We can use Python’s zip() function to do this. To illustrate how zip() works, type the following into your Python interpreter (note: don’t type the “>>>”, that is printed by the Python interpreter itself): 444 ruits = [“apple!, “grape!, “1lue1erry!] 444 colors = [“green!, “purple!, “1lue!] 444 zip5 ruits, colors6 [57apple8, 7green86, 57grape8, purple86, 571lue1erry8, 71lue86] Notice how Python matched each of the fruits in our first list with its corresponding color in the second list. The zip() function itself returns a list, which we can use in our own for loops. -
(Online Document) 1 BUNGE LA TANZANIA
Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _____________ MAJADILIANO YA BUNGE ______________ MKUTANO WA ISHIRINI Kikao cha Sita – Tarehe 18 Mei, 2015 (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe Anne S. Makinda) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, kutokana na maagizo yaliyotolewa humu wiki iliyopita kuhusu Hati za kuwasilisha Mezani. Kama kuna kundi lolote, Kamati, Serikali au Upinzani hawajaleta Hati hazisomwi. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais! Mheshimiwa Naibu Waziri! HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa mezani na:- NAIBU WAZIRI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO): Randama za Makadirio ya Matumizi kwa Ofisi ya Makamu wa Rais na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016. WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA: Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma) pamoja na (Utawala Bora) kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016. WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (MAHUSIANO NA URATIBU): Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016. MHE. JASSON S. RWEIKIZA - MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA: 1 Nakala ya Mtandao (Online Document) Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), (Utawala Bora na Mahusiano na Uratibu) kwa mwaka wa fedha 2014/2015 pamoja na maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016. MHE. ESTHER N. MATIKO - MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI KWA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, UTAWALA BORA NA MAHUSIANO NA URATIBU: Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni Kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Fedha kwa Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Utawala Bora na Mahusiano na Uratibu kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 SPIKA: Waheshimiwa Wabunge tunaanza maswali Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa Engineer Athumani Mfutakamba. -
Country Commercial Guide for U.S. Companies (2018)
Tanzania 2018 1 2018 Country Commercial Guide for U.S. Companies Table of Contents Doing Business in Tanzania ............................................................................................................................... 5 Market Overview .......................................................................................................................................................... 5 Market Challenges ....................................................................................................................................................... 6 Market Opportunities ................................................................................................................................................. 6 Market Entry Strategy ................................................................................................................................................ 6 Political and Economic Environment ............................................................................................................. 8 Selling U.S. Products and Services ................................................................................................................... 9 Using an Agent to Sell US Products and Services ................................................................................................ 9 Establishing an Office .................................................................................................................................................. 9 Direct Marketing ......................................................................................................................................................... -
Hotuba Ya Waziri Wa Ulinzi Na Jeshi La Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt
HOTUBA YA WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA MHESHIMIWA DKT. HUSSEIN ALI MWINYI (MB) KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA WIZARA NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2016/17 1 2 UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa leo Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likubali kupokea, kujadili na kupitia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2016/17. 2. Mheshimiwa Spika, awali ya yote, naomba kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kulijalia Taifa letu na wananchi wake wote kwa kutuvusha salama katika mchakato wote wa uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2015. Watanzania tunayo kila sababu ya kujivunia kuwa Uchaguzi Mkuu huo ambao kikalenda ni wa tano tangu kurejeshwa kwa mfumo wa demokrasia ya Vyama vingi mwaka 1992, uliendeshwa na kuhitimishwa kwa amani, utulivu na mshikamano mkubwa kinyume na maadui wetu wa ndani na nje ya nchi waliotutabiria mabaya. Kwa muktadha huo, nachukua fursa hii kutoa pongezi kwa Serikali ya Awamu ya Nne chini ya Uongozi wa Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuendeleza misingi ya umoja, mshikamano na amani ya nchi yetu. Aidha, nawapongeza: aliyekuwa Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal; na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Kayanza Peter 1 Pinda kwa kusimamia utekelezaji mzuri wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2010-2015. Pia, nawapongeza Mhe. Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu, akisaidiana na Mhe. -
Towards Responsible Democratic Government
TOWARDS RESPONSIBLE DEMOCRATIC GOVERNMENT Executive Powers and Constitutional Practice in Tanzania 1962-1992 Jwani Timothy Mwaikusa Thesis Submitted to the University of London for the degree of Doctor of Philosophy 1995 Law Department School of Oriental and African Studies ProQuest Number: 11010551 All rights reserved INFORMATION TO ALL USERS The quality of this reproduction is dependent upon the quality of the copy submitted. In the unlikely event that the author did not send a com plete manuscript and there are missing pages, these will be noted. Also, if material had to be removed, a note will indicate the deletion. uest ProQuest 11010551 Published by ProQuest LLC(2018). Copyright of the Dissertation is held by the Author. All rights reserved. This work is protected against unauthorized copying under Title 17, United States C ode Microform Edition © ProQuest LLC. ProQuest LLC. 789 East Eisenhower Parkway P.O. Box 1346 Ann Arbor, Ml 48106- 1346 ABSTRACT With independence in 1961, the British system of Parliamentary government, incorporating the principle of responsible government, was formally adopted in Tanzania. But within only one year that system was discarded first, by adopting a Republican Constitution with an executive President in 1962, and then by adopting a one-party state system of government in 1965. The one-party system reached the height of prominence through the concept of "Party Supremacy", and dominated constitutional practice for a whole generation before giving way to demands for greater freedom and democracy through competitive politics in 1992. Throughout this time, however, the preambles to successive constitutions proclaimed that the government in Tanzania was responsible to a freely elected Parliament representative of the people. -
BTI 2016 | Tanzania Country Report
BTI 2016 | Tanzania Country Report Status Index 1-10 5.58 # 62 of 129 Political Transformation 1-10 6.15 # 59 of 129 Economic Transformation 1-10 5.00 # 80 of 129 Management Index 1-10 5.14 # 60 of 129 scale score rank trend This report is part of the Bertelsmann Stiftung’s Transformation Index (BTI) 2016. It covers the period from 1 February 2013 to 31 January 2015. The BTI assesses the transformation toward democracy and a market economy as well as the quality of political management in 129 countries. More on the BTI at http://www.bti-project.org. Please cite as follows: Bertelsmann Stiftung, BTI 2016 — Tanzania Country Report. Gütersloh: Bertelsmann Stiftung, 2016. This work is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 International License. BTI 2016 | Tanzania 2 Key Indicators Population M 51.8 HDI 0.488 GDP p.c., PPP $ 2591.2 Pop. growth1 % p.a. 3.2 HDI rank of 187 159 Gini Index 37.8 Life expectancy years 61.5 UN Education Index 0.426 Poverty3 % 76.1 Urban population % 30.9 Gender inequality2 0.553 Aid per capita $ 68.3 Sources (as of October 2015): The World Bank, World Development Indicators 2015 | UNDP, Human Development Report 2014. Footnotes: (1) Average annual growth rate. (2) Gender Inequality Index (GII). (3) Percentage of population living on less than $3.10 a day at 2011 international prices. Executive Summary During the period under review, some progress was achieved regarding democracy, social welfare and economic development. The country has a stable political system, dominated by the former state party Chama Cha Mapinduzi (CCM). -
Politics, Decolonisation, and the Cold War in Dar Es Salaam C
A Thesis Submitted for the Degree of PhD at the University of Warwick Permanent WRAP URL: http://wrap.warwick.ac.uk/87426 Copyright and reuse: This thesis is made available online and is protected by original copyright. Please scroll down to view the document itself. Please refer to the repository record for this item for information to help you to cite it. Our policy information is available from the repository home page. For more information, please contact the WRAP Team at: [email protected] warwick.ac.uk/lib-publications Politics, decolonisation, and the Cold War in Dar es Salaam c. 1965-72 by George Roberts A thesis submitted in fulfilment of the requirements for the degree of Doctor of Philosophy in History University of Warwick, Department of History, September 2016 Politics, decolonisation, and the Cold War in Dar es Salaam, c. 1965-72 Acknowledgements 4 Summary 5 Abbreviations and acronyms 6 Maps 8 Introduction 10 Rethinking the Cold War and decolonisation 12 The ‘Cold War city’ 16 Tanzanian history and the shadow of Julius Nyerere 20 A note on the sources 24 1 – From uhuru to Arusha: Tanzania and the world, 1961-67 34 Nyerere’s foreign policy 34 The Zanzibar Revolution 36 The Dar es Salaam mutiny 38 The creation of Tanzania 40 The foreign policy crises of 1964-65 43 The turn to Beijing 47 Revisiting the Arusha Declaration 50 The June 1967 government reshuffle 54 Oscar Kambona’s flight into exile 56 Conclusion 58 2 – Karibu Dar es Salaam: the political geography of a Cold War city 60 Dar es Salaam 61 Spaces 62 News 67 Propaganda -
Thesis Law 2019 Lihiru Victoria.Pdf
Participatory Constitutional Reforms vs. Realization of Equal Representation of Men and Women in the Parliaments: A Study of Kenya, Rwanda and Tanzania By Victoria Melkisedeck Lihiru- LHRVIC001/1555440 Thesis Submitted for the Degree of DOCTOR OF PHILOSOPHYTown in the Department of Public Law, Faculty of Law of the UNIVERSITY OF CAPE TOWN. August 2019Cape of University Supervisor: Associate Professor Waheeda Amien The copyright of this thesis vests in the author. No quotation from it or information derived from it is to be published without full acknowledgementTown of the source. The thesis is to be used for private study or non- commercial research purposes only. Cape Published by the University ofof Cape Town (UCT) in terms of the non-exclusive license granted to UCT by the author. University COPYRIGHT The copyright of this thesis vests in the author. No quotation from it or information derived from it is to be published without full acknowledgement of the source. The thesis is to be used for private study or noncommercial research purposes only. Published by the University of Cape Town (UCT) in terms of the non-exclusive license granted to UCT by the author. i DECLARATION I, Victoria Melkisedeck Lihiru, hereby declare that the work on which this thesis is based is my original work (except where acknowledgments indicate otherwise) and that neither the whole work nor any part of it has been, is being, or is to be submitted for another degree in this or any other university. I authorise the university to reproduce for the purpose of research either the whole or any portion of the contents in any manner whatsoever. -
Hotuba Ya Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda(MB) Kuhusu Bajeti Ya Ofisi Ya Waziri Mkuu Na Ofisi Ya Bunge Kwa Mwaka 2014/2015 Tuesday, 06 May 2014 00:00
Hotuba ya Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda(MB) kuhusu Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2014/2015 Tuesday, 06 May 2014 00:00 HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2014/2015 UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba, kutokana na Taarifa zilizowasilishwa katika Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Kamati ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Kamati ya Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na kujadili Taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Kazi za Serikali kwa mwaka 2013/2014 na Mwelekeo kwa Mwaka 2014/2015. Aidha, naliomba Bunge lako Tukufu likubali kupitisha Makadirio ya Matumizi ya Fedha ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Taasisi zilizo chini yake pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2014/2015. 2. Mheshimiwa Spika, awali ya yote na kwa masikitiko makubwa naomba nichukue fursa hii kutoa salamu za pole kwako na kwa Bunge lako Tukufu kwa kuondokewa na wabunge wawili, Mheshimiwa William Augustao Mgimwa, aliyekuwa Mbunge wa Kalenga, aliyefariki tarehe 01 Januari, 2014 na Mheshimiwa Saidi Ramadhani Bwanamdogo, aliyekuwa Mbunge wa Chalinze, ambaye alifariki tarehe 22 Januari 2014. Aidha, niwape pole Wananchi wa Mkoa wa Mara kwa kifo cha Mheshimiwa John Gabriel Tupa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo, kilichotokea tarehe 25 Machi 2014, na kwa Wananchi wa Wilaya ya Urambo kwa kifo cha Mheshimiwa Anna Magowa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya hiyo, kilichotokea tarehe 24 Septemba 2013.