Obituary Media Release
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
Load more
Recommended publications
-
Online Document)
Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _________________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Tano – Tarehe 15 Mei, 2014 (Kikao Kilianza Saa tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, leo ni siku ya Alhamisi, kwa hiyo Kiongozi wa Kambi ya Upinzani hayupo hata ukikaa karibu hapo wewe siyo kiongozi. Kwa hiyo, nitaendelea na wengine kadiri walivyoleta, tunaanza na Mheshimiwa Eugen Mwaiposa. HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na :- NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA: Hotuba ya Makadirio ya Matumizi na Mapato ya Fedha ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2014/2015. NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI: Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MHE. NYAMBARI C. NYANGWINE (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA): Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka wa Fedha wa 2013/2014 na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. 1 Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) MHE. CYNTHIA H. NGOYE (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA): Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumuzi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. -
Human Rights, the Rule of Law, and the East African Court of Justice: Lawyers and the Emergence of a Weak Regional Field
HUMAN RIGHTS, THE RULE OF LAW, AND THE EAST AFRICAN COURT OF JUSTICE: LAWYERS AND THE EMERGENCE OF A WEAK REGIONAL FIELD Mihreteab Tsighe Taye* This article represents a first systematic attempt to trace the trajectory that follows the professionalization of a group of East African lawyers committed to the cause of a regional International Court (IC) inspired by the rule of law and human rights. It demonstrates how a group of lawyers participated in the struggle to define law and to construct the East African Court of Justice (EACJ) and build the field of human rights. Lawyers who participated in the creation of the EACJ became “experts” in regional law. This expertise was legitimised not only by the political and social capital deriving from their participation in the drafting of the EAC Treaty, as representatives of states or civil society groups, but also by the capital of knowledge and technical skill accumulated in the course of bringing forth and litigating cases in both the national and transnational spaces. Upon entering the regional IC, as either judges or litigators, these agents became interpreters of the EAC Treaty inspired by the respect for the rule of law and human rights. The article reports on data from field research in East Africa. This article starts with a discussion of the role of lawyers and civil society groups in the formation of the EACJ before analysing efforts to extend the jurisdiction of the EACJ to include human rights. It then examines the EACJ judges’ off-the-bench efforts at judicial empowerment before looking at how lawyers introduced their litigation experience from the national level to the EACJ. -
In Contemporary Zanzibar Marie-Aude Fouéré
Remembering the Dark Years (1964-1975) in Contemporary Zanzibar Marie-Aude Fouéré To cite this version: Marie-Aude Fouéré. Remembering the Dark Years (1964-1975) in Contemporary Zanzibar. Encoun- ters: The International Journal for the Study of Culture and Society, 2012, pp.113-126. halshs- 00856968 HAL Id: halshs-00856968 https://halshs.archives-ouvertes.fr/halshs-00856968 Submitted on 12 Apr 2017 HAL is a multi-disciplinary open access L’archive ouverte pluridisciplinaire HAL, est archive for the deposit and dissemination of sci- destinée au dépôt et à la diffusion de documents entific research documents, whether they are pub- scientifiques de niveau recherche, publiés ou non, lished or not. The documents may come from émanant des établissements d’enseignement et de teaching and research institutions in France or recherche français ou étrangers, des laboratoires abroad, or from public or private research centers. publics ou privés. Remembering the Dark Years (1964–1975) in Contemporary Zanzibar Marie-Aude Fouéré French Institute for Research in Africa (IFRA), Nairobi, Kenya In the islands of Zanzibar (Unguja and Pemba), the memories of violence and repression perpetrated by revolutionaries and the state from 1964 to 1975 have long been banished from the public space. The official narrative of the 1964 Revolution and the first phase of the post-revolutionary periodi developed and propagated by the Revolutionary Government of Zanzibar, through a control over the production, transmission, and circulation of ideas, combined with repressive measures against dissenting voices, led people to keep their memories private. The official injunction calling for silence did not bringabout a forgetting of the past, but rather contributed to the clandestine transmission and reconstruction of fragments of individual, familial, and community memories within private circles. -
Tanzania Human Rights Report 2008
Legal and Human Rights Centre Tanzania Human Rights Report 2008: Progress through Human Rights Funded By; Embassy of Finland Embassy of Norway Embassy of Sweden Ford Foundation Oxfam-Novib Trocaire Foundation for Civil Society i Tanzania Human Rights Report 2008 Editorial Board Francis Kiwanga (Adv.) Helen Kijo-Bisimba Prof. Chris Maina Peter Richard Shilamba Harold Sungusia Rodrick Maro Felista Mauya Researchers Godfrey Mpandikizi Stephen Axwesso Laetitia Petro Writers Clarence Kipobota Sarah Louw Publisher Legal and Human Rights Centre LHRC, April 2009 ISBN: 978-9987-432-74-5 ii Acknowledgements We would like to recognize the immense contribution of several individuals, institutions, governmental departments, and non-governmental organisations. The information they provided to us was invaluable to the preparation of this report. We are also grateful for the great work done by LHRC employees Laetitia Petro, Richard Shilamba, Godfrey Mpandikizi, Stephen Axwesso, Mashauri Jeremiah, Ally Mwashongo, Abuu Adballah and Charles Luther who facilitated the distribution, collection and analysis of information gathered from different areas of Tanzania. Our 131 field human rights monitors and paralegals also played an important role in preparing this report by providing us with current information about the human rights’ situation at the grass roots’ level. We greatly appreciate the assistance we received from the members of the editorial board, who are: Helen Kijo-Bisimba, Francis Kiwanga, Rodrick Maro, Felista Mauya, Professor Chris Maina Peter, and Harold Sungusia for their invaluable input on the content and form of this report. Their contributions helped us to create a better report. We would like to recognize the financial support we received from various partners to prepare and publish this report. -
FROM ANGLICANISM to AFRICAN SOCIALISM: the ANGLICAN CHURCH and UJAMAA in TANZANIA 1955-2005 by WILLIAM FABIAN MNDOLWA SN 2025109
FROM ANGLICANISM TO AFRICAN SOCIALISM: THE ANGLICAN CHURCH AND UJAMAA IN TANZANIA 1955-2005 By WILLIAM FABIAN MNDOLWA SN 202510976 S ubmitted in Fulfilment of the Academic Requirements for the D e g r e e o f DOCTOR OF PHILOSOPHY In the Subject of THE HISTORY OF CHRISTIANITY a t t h e SCHOOL OF RELIGION, PHILOSOPHY AND CLASSICS IN THE COLLEGE OF HUMANITIES UNIVERSITY OF KWAZULU - N A T A L (Pietermaritzburg Campus) SUPERVISOR PROF. PHILIPPE DENIS PIETERMARITZBURG November 2012 DECLARATION As required by University regulations, I hereby state unambiguously that this work has not been presented at any other University or any other institution of higher learning other than the University of KwaZulu-Natal, (Pietermaritzburg Campus) and that unless specifically indicated to the contrary within the text it is my original work. ------------------------------------------------------- WILLIAM FABIAN MNDOLWA SN 202510976 29 November 2012 As candidate supervisor I hereby approve this thesis for submission ------------------------------------------------------- PROFESSOR PHILIPPE DENIS 29 November 2012 i CERTIFICATION We the undersigned declare that we have abided by the School of Religion, Philosophy and Classics in the College of Humanities, University of KwaZulu- Natal‘s policy on language editing. We also declare that earlier forms of the dissertation have been retained should they be required. ------------------------------------------------------- GARY STUART DAVID LEONARD 29 November 2012 ------------------------------------------------------- WILLIAM FABIAN MNDOLWA SN 202510976 29 November 2012 ii DEDICATION This study is first dedicated to my dear wife Chenga-Frida, and my children Msagati- Katindi, Kauye-Prisna and Tahona who endured my absence during the research period of this study. Without their sacrifice, love and support I would not have been able to achieve this great task. -
Hii Ni Nakala Ya Mtandao (Online Document)
Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ________________ MAJADILIANO YA BUNGE _________________ MKUTANO WA KUMI NA MBILI Kikao cha Ishirini na Nne - Tarehe 15 Julai, 2003 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Juma J. Akukweti) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (UTUMISHI): Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi) kwa mwaka wa Fedha 2003/2004. MHE. RAMADHANI H. KHALIFAN (K.n.y. MHE. ATHUMANI S. M. JANGUO - MWENYEKITI WA KAMATI YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA): Taarifa ya Kamati ya Utawala, Katiba na Sheria kuhusu utekelezaji wa Ofisi ya Rais (Utumishi) katika mwaka uliopita, pamoja na maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Ofisi hiyo kwa mwaka 2003/2004. MASWALI NA MAJIBU Na. 229 Utoaji wa Vibali vya Kukata Miti ya Kuchoma Mkaa MHE. LEKULE M. LAIZER aliuliza:- Kwa kuwa Serikali za Vijiji zinajitahidi sana kulinda mazingira kwa kukataza watu wasikate miti kwa ajili ya kuchoma mkaa lakini baadhi ya Maafisa wa Wilaya hutoa vibali kwa watu kukata miti kwa ajili ya shughuli hiyo na wakati huo huo kuharibu misitu. Je, kwa nini utaratibu wa kutoa vibali kwa ajili ya shughuli hiyo usifanywe na wenye ardhi ambao ni Serikali za Vijiji badala ya kutolewa na Maafisa wa Wilaya? NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA alijibu:- Mheshimiwa Naibu Spika, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Lekula Laizer, Mbunge wa Longido, kama ifuatavyo:- 1 Mheshimiwa Naibu Spika, ni kweli kuwa Serikali za Vijiji zinajitahidi sana kulinda mazingira kwa kukataza watu wasikate miti hovyo kwa matumizi mbalimbali. -
Consequences for Women's Leadership
The Politics Behind Gender Quotas: Consequences for Women’s Leadership Equity in African Legislatures by Christie Marie Arendt B.A. in Interdisciplinary Studies in Social Science, May 2004, Michigan State University M.A. in International Affairs, May 2006, The George Washington University A Dissertation submitted to The Faculty of The Columbian College of Arts and Sciences of The George Washington University in partial fulfillment of the requirements for the degree of Doctor of Philosophy January 31, 2017 Dissertation directed by Kimberly J. Morgan Professor of Political Science and International Affairs The Columbian College of Arts and Sciences of The George Washington University certifies that Christie Marie Arendt has passed the Final Examination for the degree of Doctor of Philosophy as of December 16, 2016. This is the final and approved form of the dissertation. The Politics Behind Gender Quotas: Consequences for Women’s Leadership Equity in African Legislatures Christie Marie Arendt Dissertation Research Committee: Kimberly J. Morgan, Professor of Political Science and International Affairs, Dissertation Director Jennifer Brinkerhoff, Professor of International Affairs, International Business, and Public Policy & Public Administration Eric Kramon, Assistant Professor of Political Science and International Affairs, Committee Member ii © Copyright 2017 by Christie Marie Arendt All rights reserved iii Dedication To my parents, Anne and Steve Arendt, none of this was possible without your enduring love and support. iv Acknowledgments This dissertation benefitted from the encouragement and guidance of a number of people. As an alumna of The George Washington University’s Elliott School of International Affairs, I knew that GW would provide a perfect environment to pursue my doctoral studies. -
Issued by the Britain-Tanzania Society No 118 Sept 2017
Tanzanian Affairs Issued by the Britain-Tanzania Society No 118 Sept 2017 Mining Sector - The Mineral Sands Export Saga Challenge to Schooling Ban for Pregnant Girls Key “Escrow” Suspects Arrested Roger Nellist: THE MINERAL SANDS EXPORT SAGA Tanzania’s mining sector in difficulty - the background As reported in TA117, in March the government took the controversial step of banning the export of mineral concentrates and ores for metallic minerals such as gold, copper, nickel and silver. Later the same month, President Magufuli had intervened personally, ordering the seizure at Dar port of 277 containers of mineral sands destined for export mainly from two gold mines operated by Acacia Mining (Tanzania’s largest gold-producer), and asserted: “There is no country being robbed of its mineral wealth like Tanzania”. Samples were taken from the sands for analysis. Several foreign mining companies were immediately affected by the export ban but local miners and other entities also expressed concerns. In April, Magufuli established two expert teams to report to him quickly on different aspects of the mineral sand exports. Since then the saga has intensified, triggering an avalanche of robust follow-up actions by government – including more sackings and contentious new legislation. Tanzania is variably listed as Africa’s third or fourth largest gold- producing country so, unsurprisingly, the saga has generated much news coverage and comment, both in Tanzania and abroad. There have been headlines like: “Industrial-scale plunder of Tanzania’s mineral wealth by multinational companies”, “Probe team unearths massive thievery in mineral sand exports”, “Tanzania has been losing trillions of shillings in revenue” and “Tanzania’s Acacia spat shows deepening battle with business”. -
2010 Human Rights Report: Tanzania Page 1 of 30
2010 Human Rights Report: Tanzania Page 1 of 30 Home » Under Secretary for Democracy and Global Affairs » Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor » Releases » Human Rights Reports » 2010 Country Reports on Human Rights Practices » Africa » Tanzania 2010 Human Rights Report: Tanzania BUREAU OF DEMOCRACY, HUMAN RIGHTS, AND LABOR 2010 Country Reports on Human Rights Practices April 8, 2011 The United Republic of Tanzania, with a population of 41 million, is a multiparty republic consisting of the mainland and the semiautonomous Zanzibar archipelago, whose main islands are Unguja and Pemba. The union is headed by a president who is also the head of government; its unicameral legislative body is the National Assembly (parliament). Zanzibar, although part of the union government, has its own president, court system, and legislature, and exercises considerable autonomy. Tanzania held its fourth multiparty general elections on October 31, in which voters on both Tanzania mainland and Zanzibar elected a union president and their respective representatives in the union legislature. President Kikwete, the incumbent Chama cha Mapinduzi (CCM) candidate, was reelected union president with 61.7 percent of the vote. The national elections were generally peaceful, but there were several protests in urban areas associated with the slow pace of reporting election results. In Zanzibar the October elections proceeded peacefully after a power-sharing agreement was reached between the ruling CCM party and the opposition Civic United Front (CUF). In a July 31 referendum, Zanzibaris voted to amend the constitution to allow for a unity government. In October the Zanzibar electorate elected Ali Mohamed Shein, the immediate past union vice president, as president of Zanzibar with 50.1 percent of the vote and also elected members of its House of Representatives. -
Tarehe 21 Mei, 2015
Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA ISHIRINI Kikao cha Tisa – Tarehe 21 Mei, 2015 (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua TAARIFA YA SPIKA SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, kwa mujibu wa Kanuni ya 33(1) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la 2013; tarehe 15 Mei, 2015 nilitoa taarifa kwamba Miswada tisa ya Sheria ya Serikali iliyopitishwa katika Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge ilikwishapata kibali cha Mheshimiwa Rais na kuwa Sheria za nchi. Kwa taarifa hii ya leo, napenda kuliarifu Bunge hili Tukufu kwamba Miswada mitano iliyokuwa imebaki nayo imekwishapata kibali cha Mheshimiwa Rais na kuwa sheria ziitazwo:- Ya kwanza, Sheria ya Udhibiti na Usimamizi wa Dawa za Kulevya ya Mwaka 2015 (The Drug Control and Enforcement Act, 2015) Na. 5 ya Mwaka 2015. Ya pili, Sheria ya Usimamizi wa Maafa ya Mwaka 2015, (The Disaster Management Act, 2015) Na. 7 ya Mwaka 2015. Ya tatu, Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Uhamiaji ya Mwaka 2015 (The Immigration Amendment Act, 2015) Na. 8 ya Mwaka 2015. Ya nne, Sheria ya Usimamizi wa Kodi ya Mwaka 2015, (The Tax Administration Act, 2015) Na. 10 ya Mwaka 2015 na; Ya Tano, Sheria ya Bajeti ya Mwaka 2015 (The Budget Act) Na. 11 ya Mwaka 2015. 1 Nakala ya Mtandao (Online Document) Kwa hiyo, Waheshimiwa sasa hii ni Miswada ya kisheria. (Makofi) HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa na:- SPIKA: Waheshimiwa Wabunge hati za kuwasilisha mezani, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi! Mheshimiwa Naibu Waziri! NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI: Randama za Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2015/2016. -
Tanzania Media Women`S Association 2016-2020
TAMWA STRATEGIC PLAN 2016-2020 TANZANIA MEDIA WOMEN`S ASSOCIATION STRATEGIC PLAN 2016-2020 P.O.BOX 8981 Tel +255222772681, Fax +255222772681 E-mail: [email protected] or [email protected] Sinza-Mori, Kijitonyama, Dar es Salaam Zanzibar Office P.O Box 741, TunguuZanzibar, Cell:: +255 773 747252 Email:[email protected] i TAMWA STRATEGIC PLAN 2016-2020 TABLE OF CONTENTS LIST OF ABBREVIATIONS ------------------------------------------------------------------------------------ viv FOREWORD ------------------------------------------------------------------------------------------------------ iv ACKNOWLEDGEMENT ---------------------------------------------------------------------------------------- vii EXECUTIVE SUMMARY ------------------------------------------------------------------------------------- vivii TAMWA --------------------------------------------------------------------------------------------------1 CHAPTER ONE: INTRODUCTION ---------------------------------------------------------------------------- 4 1.1 PURSPOSE OF THE PLAN --------------------------------------------------------------------------------- 4 1.2 METHODOLOGY -------------------------------------------------------------------------------------------- 4 1.3 PLAN LAYOUT ----------------------------------------------------------------------------------------------- 5 CHAPTER TWO: SITUATION ANALYSIS --------------------------------------------------------------------- 6 2.1 PERFORMANCE REVIEW ---------------------------------------------------------------------------------- -
MKUTANO WA ISHIRINI Kikao Cha Kumi Na Sita
Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _________________ MAJADILIANO YA BUNGE _________________ MKUTANO WA ISHIRINI Kikao cha Kumi na Sita - Tarehe 25 Juni, 2010 (Mkutano ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI: Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA: Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Katiba na Sheria kwa Mwaka 2010/2011. MHE. GEORGE M. LUBELEJE - MWENYEKITI WA KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA: Taarifa ya Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka wa Fedha 2009/2010 pamoja na maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2010/2011. MHE. SHOKA KHAMIS JUMA (K.n.y. MHE. FATUMA MUSSA MAGHIMBI - MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI KUHUSU WIZARA YA KATIBA NA SHERIA): Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani Kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka wa Fedha 2010/2011. NAIBU WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA, NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI: Randama ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2010/2011. 1 NAIBU WAZIRI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI: Randama ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kwa Mwaka wa Fedha 2010/2011. MASWALI NA MAJIBU Na. 111 Walimu kuondoka bila ruhusa katika vituo vya Kazi MHE. SULEIMAN O. KUMCHAYA aliuliza:- Kwa kuwa kuna baadhi ya walimu ambao huamua kuondoka katika vituo vyao vya kazi bila sababu maalum na hivyo kuongeza uhaba wa walimu katika shule zetu:- Je, Serikali inatoa kauli na adhabu gani kwa walimu hawa ili tabia hii isiendelee kujenga mizizi? WAZIRI WA NCHI, OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI) alijibu:- Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu naomba kujibu swali la Mheshimiwa Suleiman Omar Kumchaya, Mbunge wa Lulindi, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Spika, walimu kama walivyo watumishi wengine wa umma wanapaswa kuwepo kwenye vituo vyao vya kazi wakati wote.