Mkutano 22 Mkuu Wa 26 Mei Wa Wanahisa 2021

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Mkutano 22 Mkuu Wa 26 Mei Wa Wanahisa 2021 Mkutano 22 Mkuu wa 26 Mei wa Wanahisa 2021 Arusha International Conference Center (AICC) Ukumbi wa Simba 2 Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 Tumerahisisha Miamala Lipa bili zako kirahisi kupitia SimBanking PIGA AU PAKUA APP KWENYE Mkutano Mkuu wa 26Tunakusikiliza wa Wanahisa, 2021 3 YALIYOMO 05 TAARIFA YA MKUTANO MKUU 07 FOMU YA UWAKILISHI 15 DONDOO ZA MKUTANO 4 Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 Taarifa ya Mkutano Mwenyekiti na Wanahisa, Yah: Taarifa ya Mkutano Mkuu wa Ishirini na Sita Taarifa inatolewa kwamba Mkutano Mkuu wa Ishirini na Sita wa CRDB Bank Plc utafanyika siku ya Jumamosi tarehe 22 Mei 2021, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Ukumbi wa Simba, kuanzia saa tatu kamili (Saa 3.00) asubuhi kujadili dondoo zifuatazo: 1. Kufungua Mkutano. 2. Kuchagua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu. 3. Kuridhia Dondoo. 4. Kuthibitisha kumbukumbu za Mkutano Mkuu wa Ishirini na Tano uliopita. 5. Kujadili yatokanayo na kumbukumbu za Mkutano Mkuu wa Ishirini na Tano. 6. Kujadili na kupokea Taarifa ya Bodi ya Wakurugenzi na Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za mwaka 2020. 6.1.Taarifa ya Bodi ya Wakurugenzi. 6.2.Hesabu zilizokaguliwa kwa mwaka ulioishia tarehe 31 Disemba 2020. 6.3.Gawio kwa mwaka 2020. 7. Kuidhinisha Mabadiliko ya Katiba ya Benki - Azimio Maalum 8. Kuidhinisha ada ya Wakurugenzi. 9. Kuteua Wakaguzi wa Hesabu. 10. Kuchagua Wajumbe wa Bodi 10.1. Mjumbe mmoja wa Bodi atakayewakilisha kundi la wanahisa wenye hisa kati ya asilimia moja na kumi (1% na 10%). 10.2. Mjumbe mmoja wa Bodi atakaewakilisha kundi la wanahisa wenye hisa chini ya asilimia moja (1%). 11. Kujadili mapendekezo kutoka kwa Wanahisa. 12. Mengineyo kwa idhini ya Mwenyekiti. 13. Kupanga mahali na tarehe ya Mkutano ujao. 14. Kufunga Mkutano. MAELEZO 1. Daftari la Wanahisa litafungwa tarehe 14/05/2021 na litafunguliwa tena tarehe 15/05/2021. 2. Mapendekezo kutoka kwa wanahisa yatakayojadiliwa katika dondoo namba 10 yatumwe na yamfikie Katibu kabla ya Alhamisi tarehe 07/05/2021 saa 10.00 jioni. 3. Makabrasha ya Mkutano yatapatikana matawini na yanaweza kuchukuliwa kuanzia tarehe 10/05/2021, vinginevyo yatapatikana Arusha kwenye ukumbi wa mkutano tarehe 21 hadi 22 Mei 2021. Pia makabrasha ya mkutano mkuu yatapatikana kwenye tovuti ya benki kuanzia tarehe 10/05/2021 4. Wanahisa wanaotaka kuhudhuria Mkutano Mkuu watajigharamia usafiri na malazi. 5. Mkutano huu utaendeshwa kwa mifumo miwili, kutakuwa na baadhi ya wanahisa watakaohudhuria binafsi na baadhi watajiunga kwa njia ya mtandao. Maelezo yatatolewa namna ya kujiunga. Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 5 TAARIFA YA SEMINA KWA WANAHISA Taarifa inatolewa kwamba kutakuwa na Semina kwa Wanahisa itakayolenga kutoa elimu kuhusu “Ununuzi wa hisa kidigitali katika soko la hisa Ia Dar Es salaam”, “Uhamasishaji wa wanahisa kuchukua gawio lao”, “Umuhimu na Taratibu za Kuandaa wosia na mirathi”, “Uwekezaji Fedha kupitia huduma na bidhaa za benki’ na “Mabadiliko ya Katiba ya Benki”. Semina hiyo itafanyika Ijumaa, tarehe 21/05/2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Ukumbi wa Simba kuanzia saa 3.00 asubuhi. Kwa mawasiliano tumia anuani ifuatavyo: Katibu CRDB Bank Plc Office Accommodation Scheme- Mtaa wa Azikiwe, Ghorofa ya 4 S. L. P. 268 Dar-Es-Salaam Simu. na. 022 - 2114237, 2117442 - 7 - Fax na. 022 – 2131005 Namba ya kiganjani 0753 260 176 Namba ya WhatsApp 0767 757 215 Barua pepe – [email protected] KWA IDHINI YA BODI J. B. Rugambo KATIBU 19 Aprili, 2021 6 6 Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 Fomu ya Uwakilishi MKUTANO MKUU WA 26 WA WANAHISA 1. Mimi/Sisi__________________________________CDS A/C NO: _____________ nikiwa/tukiwa wanahisa wa Benki ya CRDB mwenye/wenye haki ya kupiga kura ninamteua /tunamteua: __________________________wa_______________________aniwakilishe/ atuwakilishe kuhudhuria, kuzungumza na kupiga kura kwa niaba yangu/yetu katika Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB utakaofanyika tarehe 22 Mei, 2021 na pale utakapoahirishwa. MUHIMU: a. Kifungu namba 138 cha Sheria ya Makampuni kinampa mamlaka mwanahisa kumteua mtu mwingine kuhudhuria, kupiga kura na kuzungumza kwa niaba yake katika Mkutano Mkuu wa wanahisa. Mwakilishi anayeteuliwa sio lazima awe mwanahisa. b. Ibara ya 59 ya Katiba ya Benki ya CRDB inaelekeza taarifa za uwakilishi wa mwanahisa kutumwa katika ofisi rasmi/ iliyosajiliwa ya Kampuni katika kipindi kisichopungua saa 72 kabla ya muda uliopangwa kwa ajili ya Mkutano. 2.Nimeweka/tumeweka alama “X” kuonesha ninavyotaka/tunavyotaka kura yangu/ yetu ipigwe kwenye maazimio yafuatayo: Na MAAZIMIO NDIYO HAPANA SIJAAMUA 1 Kupokea Taarifa ya Wakurugenzi. 2 Kupokea Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa kwa mwaka ulioshia tarehe 31 Desemba, 2020. 3 Gawio kwa Mwaka 2020 4 Kuidhinisha Mabadiliko ya Katiba ya Benki - Azimio Maalum linalohitaji 75% ya kura 5 Kuidhinisha ada ya Wakurugenzi 6 Kuteua Wakaguzi wa nje wa Hesabu. 7 Kupanga Mahali, Tarehe na Ukumbi wa Mkutano Mkuu ujao. Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 7 3. UCHAGUZI WA WAJUMBE WA BODI Kila mwanahisa atajaza sehemu moja tu kwa ajili ya uchaguzi. Sehemu A itajazwa na wanahisa wanaomiliki hisa chini ya asilimia moja (1%). Sehemu B itajazwa na wanahisa wanaomiliki hisa kati ya asilimia moja na kumi (1% - 10%). Ninamuelekeza/tunamuelekeza mwakilishi/wawakilishi wangu/wetu kupiga kura kama ifuatavyo: A. Kuchagua mgombea mmoja kati ya wafuatao kuwa mjumbe wa Bodi atakayewakilisha kundi la wanahisa wenye hisa chini ya asilimia moja na kumi (1%) (Weka alama “X” kwenye jina la mgombea unaemchagua kuwa Mjumbe wa Bodi) UCHAGUZI WA MJUMBE MMOJA WA BODI ATAKAYEWAKILISHA KUNDI LA WANAHISA WENYE HISA CHINI YA ASILIMIA MOJA (1%) NA Jina Kura i) Prof. Faustine Karrani Bee ii) Poniwoa Andrew Godlove Mbisse iii) Grace Philotea Joachim B Kuchagua mgombea mmoja kati ya wafuatao kuwa mjumbe wa Bodi atakayewakilisha kundi la wanahisa wenye hisa kati ya asilimia moja na kumi (1% - 10%) (Weka alama “X” kwenye jina la mgombea unaemchagua kuwa Mjumbe wa Bodi) UCHAGUZI WA MJUMBE MMOJA WA BODI ATAKAYEWAKILISHA KUNDI LA WANAHISA WENYE HISA KATI YA ASILIMIA MOJA NA KUMI (1 – 10 %) NA Jina Kura i) Rose Felix Metta ii) Gerald Paul Kasaato iii) Hilda Shenyagwa Noor Saini ya Mwanahisa ______________Namba ya Simu: _____________Barua Pepe: _________ 8 Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 WASIFU WA WAGOMBEA WA KUNDI LA WANAHISA CHINI YA ASILIMIA MOJA (SUMMARY OF CANDI- DATES’ CVs) Name/Age/Address Curent position Educational Work Experience Jina/Umri/Anuani Kazi ya Sasa Qualific tion Uzoefu Elimu/Taaluma 1 Name: PROF. 2019 to date 2001 -2007 2019 to date FAUSTINE Vice Chancellor PhD (Doctor of Vice Chancellor, KARRANI BEE and Professor, Literature and University of University of Philosophy) in Dodoma (UDOM) Address: P.O. Box Dodoma (UDOM) Development Moshi Co-operative 259, Dodoma Studies with University (MoCU) 2018 to date specialization in Age: 62 CRDB Bank Non- Rural Finance, 2015 – 2019 Executive Board University of South Vice Chancellor No. of Shares: Member. Africa (UNISA), 41,536 Pretoria 2014 – 2019 2020 to date Professor CDS A/c No: Kilimanjaro 1991 – 1992 572223 Cooperative Bank Master in 2009 – 2014 Limited (KCBL) Development Associate Non-Executive Studies – Professor, Moshi Board Member. Agriculture and University College Rural Development, of Co-operative and The Institute of Business Studies Social Studies in The Hague, 2004 – 2009 Senior Netherlands Lecturer, Moshi University College 1985 – 1988 of Co-operative and Bachelor in Business Studies Economics – Agriculture and 1988 – 2004 Rural Development, Worked at Co- University of Dar es operative College Salaam (UDSM) Moshi, in various capacities, rising in 1990 -2020 ranks from Tutor II Made various to Senior Lecturer. publications on Social transformation, Economics, Commerce, Management, Developing Domestic Agricultural Markets, Microfinance, and Cooperatives. Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 9 Name/Age/Address Curent position Educational Work Experience Jina/Umri/Anuani Kazi ya Sasa Qualific tion Uzoefu Elimu/Taaluma 2 Name: PONIWOA 2020 to date 2012 Mwalimu ANDREW Independent Certified Risk Commercial Bank GODLOVE MBISSE Consultant in Analyst, Plc Address: P. O. Box Business International 2019 – 2020 60420, Management Academy of Head, Risk Dar es Salaam Policy Plan Business and Management & (BCMP) and Financial Compliance Age: 44 Continuity. Management Department (IABFM) No. of Shares: 3,825 June – December 2009 2019 CDS A/c No: ACPA, National Ag. Head of Internal 148003 Board of Audit Accountants and Auditors (NBAA) January – June 2019 Head, Risk 1999 – 2002 Management & Bachelor (Hons) of Compliance Commerce Department and (Finance), Ag. Secretary to the University of Dar es Board of Directors Salaam (UDSM) 2016 – 2018 Head, Risk Management & Compliance Department 2006 – 2016 Azania Bank Ltd - Worked in various capacities, rising in ranks from Principal Internal Auditor to Manager, Risk Management & Compliance Unit. 2002 – 2006 Auditor in Charge, KPMG Tanzania. 10 Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 Name/Age/Address Curent position Educational Work Experience Jina/Umri/Anuani Kazi ya Sasa Qualific tion Uzoefu Elimu/Taaluma 3 Name: GRACE 2015 to date 2009 – 2010 2013 – 2015 PHILOTEA Managing Partner, Masters in Head of Risk, JOACHIM Joachim and International Governance & Jacobs Attorneys Commercial Law Credit Legal, Address: P.O. (LLM), University of Stanbic Bank Box 3979, 2019 to date Kent, Canterbury- Tanzania Dar es Salaam Strategis Insurance UK Tanzania Limited
Recommended publications
  • Online Document)
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _________________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Tano – Tarehe 15 Mei, 2014 (Kikao Kilianza Saa tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, leo ni siku ya Alhamisi, kwa hiyo Kiongozi wa Kambi ya Upinzani hayupo hata ukikaa karibu hapo wewe siyo kiongozi. Kwa hiyo, nitaendelea na wengine kadiri walivyoleta, tunaanza na Mheshimiwa Eugen Mwaiposa. HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na :- NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA: Hotuba ya Makadirio ya Matumizi na Mapato ya Fedha ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2014/2015. NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI: Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MHE. NYAMBARI C. NYANGWINE (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA): Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka wa Fedha wa 2013/2014 na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. 1 Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) MHE. CYNTHIA H. NGOYE (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA): Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumuzi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
    [Show full text]
  • Obituary Media Release
    P.O. Box 899, Dodoma, Tanzania Tel: +255 (0) 262321437/2324574 Fax: +255 (0) 262324565 Email: [email protected] Archbishop: The Most Rev. Dr. Maimbo F.W. Mndolwa, General Secretary: The Rev. Can. Dr Mecka Ogunde OBITUARY MEDIA RELEASE The Archbishop and all Bishops of the Anglican Church of Tanzania are expressing their sympathy in regard to the death of the fourth Registrar of Anglican Church of Tanzania, the late retired Chief Justice, General Brigadier, Rev. Can. Judge Augustino S. L. Ramadhani. 1 BIOGRAPHY OF THE LATE GENERAL BRIGADIER, RETIRED CHIEF JUSTICE, JUDGE, REV. CAN. JUDGE AUGUSTINO S. L. RAMADHANI, THE FORTH ACT REGISTRAR 1. BIRTH The late Rev. Can. Judge Augustino Ramadhani was born at Kisima Majongoo, Zanzibar on 28th Dec 1945 (Last days of the second world war). He was the second born in the family of eight children (4 Girls and 4 Boys) of the late Mwalimu Matthew Douglas Ramadhani and Mwalimu Bridget Ann Constance Masoud. 2. CHURCH’S LIFE Augustino was born and raised up in a Christian family despite the facts of the family names that are mixture of both Islam and Christian background. As a Christian he played several roles in the church from the local church to provincial (national) level. At the parish level he was a good chorister, as well as pianist. He is the author of several books and articles. Even after joining military service he continued to serve in the church as secretary for the parish of St Alban in Dar es Salaam. In 2000 he was appointed to be the 4th Provincial Registrar of the Anglican Church of Tanzania (ACT) since the inauguration of the Province in 1970 , the position that he held for seven years until 2007 when he resigned after being appointed as the Chief Justice of Tanzania 25th July 2007 at All Saints Cathedral in the Diocese of Mpwapwa he was honored to be a Lay Canon.
    [Show full text]
  • Human Rights, the Rule of Law, and the East African Court of Justice: Lawyers and the Emergence of a Weak Regional Field
    HUMAN RIGHTS, THE RULE OF LAW, AND THE EAST AFRICAN COURT OF JUSTICE: LAWYERS AND THE EMERGENCE OF A WEAK REGIONAL FIELD Mihreteab Tsighe Taye* This article represents a first systematic attempt to trace the trajectory that follows the professionalization of a group of East African lawyers committed to the cause of a regional International Court (IC) inspired by the rule of law and human rights. It demonstrates how a group of lawyers participated in the struggle to define law and to construct the East African Court of Justice (EACJ) and build the field of human rights. Lawyers who participated in the creation of the EACJ became “experts” in regional law. This expertise was legitimised not only by the political and social capital deriving from their participation in the drafting of the EAC Treaty, as representatives of states or civil society groups, but also by the capital of knowledge and technical skill accumulated in the course of bringing forth and litigating cases in both the national and transnational spaces. Upon entering the regional IC, as either judges or litigators, these agents became interpreters of the EAC Treaty inspired by the respect for the rule of law and human rights. The article reports on data from field research in East Africa. This article starts with a discussion of the role of lawyers and civil society groups in the formation of the EACJ before analysing efforts to extend the jurisdiction of the EACJ to include human rights. It then examines the EACJ judges’ off-the-bench efforts at judicial empowerment before looking at how lawyers introduced their litigation experience from the national level to the EACJ.
    [Show full text]
  • In Contemporary Zanzibar Marie-Aude Fouéré
    Remembering the Dark Years (1964-1975) in Contemporary Zanzibar Marie-Aude Fouéré To cite this version: Marie-Aude Fouéré. Remembering the Dark Years (1964-1975) in Contemporary Zanzibar. Encoun- ters: The International Journal for the Study of Culture and Society, 2012, pp.113-126. halshs- 00856968 HAL Id: halshs-00856968 https://halshs.archives-ouvertes.fr/halshs-00856968 Submitted on 12 Apr 2017 HAL is a multi-disciplinary open access L’archive ouverte pluridisciplinaire HAL, est archive for the deposit and dissemination of sci- destinée au dépôt et à la diffusion de documents entific research documents, whether they are pub- scientifiques de niveau recherche, publiés ou non, lished or not. The documents may come from émanant des établissements d’enseignement et de teaching and research institutions in France or recherche français ou étrangers, des laboratoires abroad, or from public or private research centers. publics ou privés. Remembering the Dark Years (1964–1975) in Contemporary Zanzibar Marie-Aude Fouéré French Institute for Research in Africa (IFRA), Nairobi, Kenya In the islands of Zanzibar (Unguja and Pemba), the memories of violence and repression perpetrated by revolutionaries and the state from 1964 to 1975 have long been banished from the public space. The official narrative of the 1964 Revolution and the first phase of the post-revolutionary periodi developed and propagated by the Revolutionary Government of Zanzibar, through a control over the production, transmission, and circulation of ideas, combined with repressive measures against dissenting voices, led people to keep their memories private. The official injunction calling for silence did not bringabout a forgetting of the past, but rather contributed to the clandestine transmission and reconstruction of fragments of individual, familial, and community memories within private circles.
    [Show full text]
  • Tanzania Human Rights Report 2008
    Legal and Human Rights Centre Tanzania Human Rights Report 2008: Progress through Human Rights Funded By; Embassy of Finland Embassy of Norway Embassy of Sweden Ford Foundation Oxfam-Novib Trocaire Foundation for Civil Society i Tanzania Human Rights Report 2008 Editorial Board Francis Kiwanga (Adv.) Helen Kijo-Bisimba Prof. Chris Maina Peter Richard Shilamba Harold Sungusia Rodrick Maro Felista Mauya Researchers Godfrey Mpandikizi Stephen Axwesso Laetitia Petro Writers Clarence Kipobota Sarah Louw Publisher Legal and Human Rights Centre LHRC, April 2009 ISBN: 978-9987-432-74-5 ii Acknowledgements We would like to recognize the immense contribution of several individuals, institutions, governmental departments, and non-governmental organisations. The information they provided to us was invaluable to the preparation of this report. We are also grateful for the great work done by LHRC employees Laetitia Petro, Richard Shilamba, Godfrey Mpandikizi, Stephen Axwesso, Mashauri Jeremiah, Ally Mwashongo, Abuu Adballah and Charles Luther who facilitated the distribution, collection and analysis of information gathered from different areas of Tanzania. Our 131 field human rights monitors and paralegals also played an important role in preparing this report by providing us with current information about the human rights’ situation at the grass roots’ level. We greatly appreciate the assistance we received from the members of the editorial board, who are: Helen Kijo-Bisimba, Francis Kiwanga, Rodrick Maro, Felista Mauya, Professor Chris Maina Peter, and Harold Sungusia for their invaluable input on the content and form of this report. Their contributions helped us to create a better report. We would like to recognize the financial support we received from various partners to prepare and publish this report.
    [Show full text]
  • FROM ANGLICANISM to AFRICAN SOCIALISM: the ANGLICAN CHURCH and UJAMAA in TANZANIA 1955-2005 by WILLIAM FABIAN MNDOLWA SN 2025109
    FROM ANGLICANISM TO AFRICAN SOCIALISM: THE ANGLICAN CHURCH AND UJAMAA IN TANZANIA 1955-2005 By WILLIAM FABIAN MNDOLWA SN 202510976 S ubmitted in Fulfilment of the Academic Requirements for the D e g r e e o f DOCTOR OF PHILOSOPHY In the Subject of THE HISTORY OF CHRISTIANITY a t t h e SCHOOL OF RELIGION, PHILOSOPHY AND CLASSICS IN THE COLLEGE OF HUMANITIES UNIVERSITY OF KWAZULU - N A T A L (Pietermaritzburg Campus) SUPERVISOR PROF. PHILIPPE DENIS PIETERMARITZBURG November 2012 DECLARATION As required by University regulations, I hereby state unambiguously that this work has not been presented at any other University or any other institution of higher learning other than the University of KwaZulu-Natal, (Pietermaritzburg Campus) and that unless specifically indicated to the contrary within the text it is my original work. ------------------------------------------------------- WILLIAM FABIAN MNDOLWA SN 202510976 29 November 2012 As candidate supervisor I hereby approve this thesis for submission ------------------------------------------------------- PROFESSOR PHILIPPE DENIS 29 November 2012 i CERTIFICATION We the undersigned declare that we have abided by the School of Religion, Philosophy and Classics in the College of Humanities, University of KwaZulu- Natal‘s policy on language editing. We also declare that earlier forms of the dissertation have been retained should they be required. ------------------------------------------------------- GARY STUART DAVID LEONARD 29 November 2012 ------------------------------------------------------- WILLIAM FABIAN MNDOLWA SN 202510976 29 November 2012 ii DEDICATION This study is first dedicated to my dear wife Chenga-Frida, and my children Msagati- Katindi, Kauye-Prisna and Tahona who endured my absence during the research period of this study. Without their sacrifice, love and support I would not have been able to achieve this great task.
    [Show full text]
  • Hii Ni Nakala Ya Mtandao (Online Document)
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ________________ MAJADILIANO YA BUNGE _________________ MKUTANO WA KUMI NA MBILI Kikao cha Ishirini na Nne - Tarehe 15 Julai, 2003 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Juma J. Akukweti) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (UTUMISHI): Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi) kwa mwaka wa Fedha 2003/2004. MHE. RAMADHANI H. KHALIFAN (K.n.y. MHE. ATHUMANI S. M. JANGUO - MWENYEKITI WA KAMATI YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA): Taarifa ya Kamati ya Utawala, Katiba na Sheria kuhusu utekelezaji wa Ofisi ya Rais (Utumishi) katika mwaka uliopita, pamoja na maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Ofisi hiyo kwa mwaka 2003/2004. MASWALI NA MAJIBU Na. 229 Utoaji wa Vibali vya Kukata Miti ya Kuchoma Mkaa MHE. LEKULE M. LAIZER aliuliza:- Kwa kuwa Serikali za Vijiji zinajitahidi sana kulinda mazingira kwa kukataza watu wasikate miti kwa ajili ya kuchoma mkaa lakini baadhi ya Maafisa wa Wilaya hutoa vibali kwa watu kukata miti kwa ajili ya shughuli hiyo na wakati huo huo kuharibu misitu. Je, kwa nini utaratibu wa kutoa vibali kwa ajili ya shughuli hiyo usifanywe na wenye ardhi ambao ni Serikali za Vijiji badala ya kutolewa na Maafisa wa Wilaya? NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA alijibu:- Mheshimiwa Naibu Spika, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Lekula Laizer, Mbunge wa Longido, kama ifuatavyo:- 1 Mheshimiwa Naibu Spika, ni kweli kuwa Serikali za Vijiji zinajitahidi sana kulinda mazingira kwa kukataza watu wasikate miti hovyo kwa matumizi mbalimbali.
    [Show full text]
  • Consequences for Women's Leadership
    The Politics Behind Gender Quotas: Consequences for Women’s Leadership Equity in African Legislatures by Christie Marie Arendt B.A. in Interdisciplinary Studies in Social Science, May 2004, Michigan State University M.A. in International Affairs, May 2006, The George Washington University A Dissertation submitted to The Faculty of The Columbian College of Arts and Sciences of The George Washington University in partial fulfillment of the requirements for the degree of Doctor of Philosophy January 31, 2017 Dissertation directed by Kimberly J. Morgan Professor of Political Science and International Affairs The Columbian College of Arts and Sciences of The George Washington University certifies that Christie Marie Arendt has passed the Final Examination for the degree of Doctor of Philosophy as of December 16, 2016. This is the final and approved form of the dissertation. The Politics Behind Gender Quotas: Consequences for Women’s Leadership Equity in African Legislatures Christie Marie Arendt Dissertation Research Committee: Kimberly J. Morgan, Professor of Political Science and International Affairs, Dissertation Director Jennifer Brinkerhoff, Professor of International Affairs, International Business, and Public Policy & Public Administration Eric Kramon, Assistant Professor of Political Science and International Affairs, Committee Member ii © Copyright 2017 by Christie Marie Arendt All rights reserved iii Dedication To my parents, Anne and Steve Arendt, none of this was possible without your enduring love and support. iv Acknowledgments This dissertation benefitted from the encouragement and guidance of a number of people. As an alumna of The George Washington University’s Elliott School of International Affairs, I knew that GW would provide a perfect environment to pursue my doctoral studies.
    [Show full text]
  • Issued by the Britain-Tanzania Society No 118 Sept 2017
    Tanzanian Affairs Issued by the Britain-Tanzania Society No 118 Sept 2017 Mining Sector - The Mineral Sands Export Saga Challenge to Schooling Ban for Pregnant Girls Key “Escrow” Suspects Arrested Roger Nellist: THE MINERAL SANDS EXPORT SAGA Tanzania’s mining sector in difficulty - the background As reported in TA117, in March the government took the controversial step of banning the export of mineral concentrates and ores for metallic minerals such as gold, copper, nickel and silver. Later the same month, President Magufuli had intervened personally, ordering the seizure at Dar port of 277 containers of mineral sands destined for export mainly from two gold mines operated by Acacia Mining (Tanzania’s largest gold-producer), and asserted: “There is no country being robbed of its mineral wealth like Tanzania”. Samples were taken from the sands for analysis. Several foreign mining companies were immediately affected by the export ban but local miners and other entities also expressed concerns. In April, Magufuli established two expert teams to report to him quickly on different aspects of the mineral sand exports. Since then the saga has intensified, triggering an avalanche of robust follow-up actions by government – including more sackings and contentious new legislation. Tanzania is variably listed as Africa’s third or fourth largest gold- producing country so, unsurprisingly, the saga has generated much news coverage and comment, both in Tanzania and abroad. There have been headlines like: “Industrial-scale plunder of Tanzania’s mineral wealth by multinational companies”, “Probe team unearths massive thievery in mineral sand exports”, “Tanzania has been losing trillions of shillings in revenue” and “Tanzania’s Acacia spat shows deepening battle with business”.
    [Show full text]
  • 2010 Human Rights Report: Tanzania Page 1 of 30
    2010 Human Rights Report: Tanzania Page 1 of 30 Home » Under Secretary for Democracy and Global Affairs » Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor » Releases » Human Rights Reports » 2010 Country Reports on Human Rights Practices » Africa » Tanzania 2010 Human Rights Report: Tanzania BUREAU OF DEMOCRACY, HUMAN RIGHTS, AND LABOR 2010 Country Reports on Human Rights Practices April 8, 2011 The United Republic of Tanzania, with a population of 41 million, is a multiparty republic consisting of the mainland and the semiautonomous Zanzibar archipelago, whose main islands are Unguja and Pemba. The union is headed by a president who is also the head of government; its unicameral legislative body is the National Assembly (parliament). Zanzibar, although part of the union government, has its own president, court system, and legislature, and exercises considerable autonomy. Tanzania held its fourth multiparty general elections on October 31, in which voters on both Tanzania mainland and Zanzibar elected a union president and their respective representatives in the union legislature. President Kikwete, the incumbent Chama cha Mapinduzi (CCM) candidate, was reelected union president with 61.7 percent of the vote. The national elections were generally peaceful, but there were several protests in urban areas associated with the slow pace of reporting election results. In Zanzibar the October elections proceeded peacefully after a power-sharing agreement was reached between the ruling CCM party and the opposition Civic United Front (CUF). In a July 31 referendum, Zanzibaris voted to amend the constitution to allow for a unity government. In October the Zanzibar electorate elected Ali Mohamed Shein, the immediate past union vice president, as president of Zanzibar with 50.1 percent of the vote and also elected members of its House of Representatives.
    [Show full text]
  • Tarehe 21 Mei, 2015
    Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA ISHIRINI Kikao cha Tisa – Tarehe 21 Mei, 2015 (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua TAARIFA YA SPIKA SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, kwa mujibu wa Kanuni ya 33(1) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la 2013; tarehe 15 Mei, 2015 nilitoa taarifa kwamba Miswada tisa ya Sheria ya Serikali iliyopitishwa katika Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge ilikwishapata kibali cha Mheshimiwa Rais na kuwa Sheria za nchi. Kwa taarifa hii ya leo, napenda kuliarifu Bunge hili Tukufu kwamba Miswada mitano iliyokuwa imebaki nayo imekwishapata kibali cha Mheshimiwa Rais na kuwa sheria ziitazwo:- Ya kwanza, Sheria ya Udhibiti na Usimamizi wa Dawa za Kulevya ya Mwaka 2015 (The Drug Control and Enforcement Act, 2015) Na. 5 ya Mwaka 2015. Ya pili, Sheria ya Usimamizi wa Maafa ya Mwaka 2015, (The Disaster Management Act, 2015) Na. 7 ya Mwaka 2015. Ya tatu, Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Uhamiaji ya Mwaka 2015 (The Immigration Amendment Act, 2015) Na. 8 ya Mwaka 2015. Ya nne, Sheria ya Usimamizi wa Kodi ya Mwaka 2015, (The Tax Administration Act, 2015) Na. 10 ya Mwaka 2015 na; Ya Tano, Sheria ya Bajeti ya Mwaka 2015 (The Budget Act) Na. 11 ya Mwaka 2015. 1 Nakala ya Mtandao (Online Document) Kwa hiyo, Waheshimiwa sasa hii ni Miswada ya kisheria. (Makofi) HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa na:- SPIKA: Waheshimiwa Wabunge hati za kuwasilisha mezani, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi! Mheshimiwa Naibu Waziri! NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI: Randama za Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2015/2016.
    [Show full text]
  • Tanzania Media Women`S Association 2016-2020
    TAMWA STRATEGIC PLAN 2016-2020 TANZANIA MEDIA WOMEN`S ASSOCIATION STRATEGIC PLAN 2016-2020 P.O.BOX 8981 Tel +255222772681, Fax +255222772681 E-mail: [email protected] or [email protected] Sinza-Mori, Kijitonyama, Dar es Salaam Zanzibar Office P.O Box 741, TunguuZanzibar, Cell:: +255 773 747252 Email:[email protected] i TAMWA STRATEGIC PLAN 2016-2020 TABLE OF CONTENTS LIST OF ABBREVIATIONS ------------------------------------------------------------------------------------ viv FOREWORD ------------------------------------------------------------------------------------------------------ iv ACKNOWLEDGEMENT ---------------------------------------------------------------------------------------- vii EXECUTIVE SUMMARY ------------------------------------------------------------------------------------- vivii TAMWA --------------------------------------------------------------------------------------------------1 CHAPTER ONE: INTRODUCTION ---------------------------------------------------------------------------- 4 1.1 PURSPOSE OF THE PLAN --------------------------------------------------------------------------------- 4 1.2 METHODOLOGY -------------------------------------------------------------------------------------------- 4 1.3 PLAN LAYOUT ----------------------------------------------------------------------------------------------- 5 CHAPTER TWO: SITUATION ANALYSIS --------------------------------------------------------------------- 6 2.1 PERFORMANCE REVIEW ----------------------------------------------------------------------------------
    [Show full text]