Mkutano 22 Mkuu Wa 26 Mei Wa Wanahisa 2021

Mkutano 22 Mkuu Wa 26 Mei Wa Wanahisa 2021

Mkutano 22 Mkuu wa 26 Mei wa Wanahisa 2021 Arusha International Conference Center (AICC) Ukumbi wa Simba 2 Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 Tumerahisisha Miamala Lipa bili zako kirahisi kupitia SimBanking PIGA AU PAKUA APP KWENYE Mkutano Mkuu wa 26Tunakusikiliza wa Wanahisa, 2021 3 YALIYOMO 05 TAARIFA YA MKUTANO MKUU 07 FOMU YA UWAKILISHI 15 DONDOO ZA MKUTANO 4 Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 Taarifa ya Mkutano Mwenyekiti na Wanahisa, Yah: Taarifa ya Mkutano Mkuu wa Ishirini na Sita Taarifa inatolewa kwamba Mkutano Mkuu wa Ishirini na Sita wa CRDB Bank Plc utafanyika siku ya Jumamosi tarehe 22 Mei 2021, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Ukumbi wa Simba, kuanzia saa tatu kamili (Saa 3.00) asubuhi kujadili dondoo zifuatazo: 1. Kufungua Mkutano. 2. Kuchagua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu. 3. Kuridhia Dondoo. 4. Kuthibitisha kumbukumbu za Mkutano Mkuu wa Ishirini na Tano uliopita. 5. Kujadili yatokanayo na kumbukumbu za Mkutano Mkuu wa Ishirini na Tano. 6. Kujadili na kupokea Taarifa ya Bodi ya Wakurugenzi na Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za mwaka 2020. 6.1.Taarifa ya Bodi ya Wakurugenzi. 6.2.Hesabu zilizokaguliwa kwa mwaka ulioishia tarehe 31 Disemba 2020. 6.3.Gawio kwa mwaka 2020. 7. Kuidhinisha Mabadiliko ya Katiba ya Benki - Azimio Maalum 8. Kuidhinisha ada ya Wakurugenzi. 9. Kuteua Wakaguzi wa Hesabu. 10. Kuchagua Wajumbe wa Bodi 10.1. Mjumbe mmoja wa Bodi atakayewakilisha kundi la wanahisa wenye hisa kati ya asilimia moja na kumi (1% na 10%). 10.2. Mjumbe mmoja wa Bodi atakaewakilisha kundi la wanahisa wenye hisa chini ya asilimia moja (1%). 11. Kujadili mapendekezo kutoka kwa Wanahisa. 12. Mengineyo kwa idhini ya Mwenyekiti. 13. Kupanga mahali na tarehe ya Mkutano ujao. 14. Kufunga Mkutano. MAELEZO 1. Daftari la Wanahisa litafungwa tarehe 14/05/2021 na litafunguliwa tena tarehe 15/05/2021. 2. Mapendekezo kutoka kwa wanahisa yatakayojadiliwa katika dondoo namba 10 yatumwe na yamfikie Katibu kabla ya Alhamisi tarehe 07/05/2021 saa 10.00 jioni. 3. Makabrasha ya Mkutano yatapatikana matawini na yanaweza kuchukuliwa kuanzia tarehe 10/05/2021, vinginevyo yatapatikana Arusha kwenye ukumbi wa mkutano tarehe 21 hadi 22 Mei 2021. Pia makabrasha ya mkutano mkuu yatapatikana kwenye tovuti ya benki kuanzia tarehe 10/05/2021 4. Wanahisa wanaotaka kuhudhuria Mkutano Mkuu watajigharamia usafiri na malazi. 5. Mkutano huu utaendeshwa kwa mifumo miwili, kutakuwa na baadhi ya wanahisa watakaohudhuria binafsi na baadhi watajiunga kwa njia ya mtandao. Maelezo yatatolewa namna ya kujiunga. Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 5 TAARIFA YA SEMINA KWA WANAHISA Taarifa inatolewa kwamba kutakuwa na Semina kwa Wanahisa itakayolenga kutoa elimu kuhusu “Ununuzi wa hisa kidigitali katika soko la hisa Ia Dar Es salaam”, “Uhamasishaji wa wanahisa kuchukua gawio lao”, “Umuhimu na Taratibu za Kuandaa wosia na mirathi”, “Uwekezaji Fedha kupitia huduma na bidhaa za benki’ na “Mabadiliko ya Katiba ya Benki”. Semina hiyo itafanyika Ijumaa, tarehe 21/05/2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Ukumbi wa Simba kuanzia saa 3.00 asubuhi. Kwa mawasiliano tumia anuani ifuatavyo: Katibu CRDB Bank Plc Office Accommodation Scheme- Mtaa wa Azikiwe, Ghorofa ya 4 S. L. P. 268 Dar-Es-Salaam Simu. na. 022 - 2114237, 2117442 - 7 - Fax na. 022 – 2131005 Namba ya kiganjani 0753 260 176 Namba ya WhatsApp 0767 757 215 Barua pepe – [email protected] KWA IDHINI YA BODI J. B. Rugambo KATIBU 19 Aprili, 2021 6 6 Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 Fomu ya Uwakilishi MKUTANO MKUU WA 26 WA WANAHISA 1. Mimi/Sisi__________________________________CDS A/C NO: _____________ nikiwa/tukiwa wanahisa wa Benki ya CRDB mwenye/wenye haki ya kupiga kura ninamteua /tunamteua: __________________________wa_______________________aniwakilishe/ atuwakilishe kuhudhuria, kuzungumza na kupiga kura kwa niaba yangu/yetu katika Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB utakaofanyika tarehe 22 Mei, 2021 na pale utakapoahirishwa. MUHIMU: a. Kifungu namba 138 cha Sheria ya Makampuni kinampa mamlaka mwanahisa kumteua mtu mwingine kuhudhuria, kupiga kura na kuzungumza kwa niaba yake katika Mkutano Mkuu wa wanahisa. Mwakilishi anayeteuliwa sio lazima awe mwanahisa. b. Ibara ya 59 ya Katiba ya Benki ya CRDB inaelekeza taarifa za uwakilishi wa mwanahisa kutumwa katika ofisi rasmi/ iliyosajiliwa ya Kampuni katika kipindi kisichopungua saa 72 kabla ya muda uliopangwa kwa ajili ya Mkutano. 2.Nimeweka/tumeweka alama “X” kuonesha ninavyotaka/tunavyotaka kura yangu/ yetu ipigwe kwenye maazimio yafuatayo: Na MAAZIMIO NDIYO HAPANA SIJAAMUA 1 Kupokea Taarifa ya Wakurugenzi. 2 Kupokea Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa kwa mwaka ulioshia tarehe 31 Desemba, 2020. 3 Gawio kwa Mwaka 2020 4 Kuidhinisha Mabadiliko ya Katiba ya Benki - Azimio Maalum linalohitaji 75% ya kura 5 Kuidhinisha ada ya Wakurugenzi 6 Kuteua Wakaguzi wa nje wa Hesabu. 7 Kupanga Mahali, Tarehe na Ukumbi wa Mkutano Mkuu ujao. Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 7 3. UCHAGUZI WA WAJUMBE WA BODI Kila mwanahisa atajaza sehemu moja tu kwa ajili ya uchaguzi. Sehemu A itajazwa na wanahisa wanaomiliki hisa chini ya asilimia moja (1%). Sehemu B itajazwa na wanahisa wanaomiliki hisa kati ya asilimia moja na kumi (1% - 10%). Ninamuelekeza/tunamuelekeza mwakilishi/wawakilishi wangu/wetu kupiga kura kama ifuatavyo: A. Kuchagua mgombea mmoja kati ya wafuatao kuwa mjumbe wa Bodi atakayewakilisha kundi la wanahisa wenye hisa chini ya asilimia moja na kumi (1%) (Weka alama “X” kwenye jina la mgombea unaemchagua kuwa Mjumbe wa Bodi) UCHAGUZI WA MJUMBE MMOJA WA BODI ATAKAYEWAKILISHA KUNDI LA WANAHISA WENYE HISA CHINI YA ASILIMIA MOJA (1%) NA Jina Kura i) Prof. Faustine Karrani Bee ii) Poniwoa Andrew Godlove Mbisse iii) Grace Philotea Joachim B Kuchagua mgombea mmoja kati ya wafuatao kuwa mjumbe wa Bodi atakayewakilisha kundi la wanahisa wenye hisa kati ya asilimia moja na kumi (1% - 10%) (Weka alama “X” kwenye jina la mgombea unaemchagua kuwa Mjumbe wa Bodi) UCHAGUZI WA MJUMBE MMOJA WA BODI ATAKAYEWAKILISHA KUNDI LA WANAHISA WENYE HISA KATI YA ASILIMIA MOJA NA KUMI (1 – 10 %) NA Jina Kura i) Rose Felix Metta ii) Gerald Paul Kasaato iii) Hilda Shenyagwa Noor Saini ya Mwanahisa ______________Namba ya Simu: _____________Barua Pepe: _________ 8 Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 WASIFU WA WAGOMBEA WA KUNDI LA WANAHISA CHINI YA ASILIMIA MOJA (SUMMARY OF CANDI- DATES’ CVs) Name/Age/Address Curent position Educational Work Experience Jina/Umri/Anuani Kazi ya Sasa Qualific tion Uzoefu Elimu/Taaluma 1 Name: PROF. 2019 to date 2001 -2007 2019 to date FAUSTINE Vice Chancellor PhD (Doctor of Vice Chancellor, KARRANI BEE and Professor, Literature and University of University of Philosophy) in Dodoma (UDOM) Address: P.O. Box Dodoma (UDOM) Development Moshi Co-operative 259, Dodoma Studies with University (MoCU) 2018 to date specialization in Age: 62 CRDB Bank Non- Rural Finance, 2015 – 2019 Executive Board University of South Vice Chancellor No. of Shares: Member. Africa (UNISA), 41,536 Pretoria 2014 – 2019 2020 to date Professor CDS A/c No: Kilimanjaro 1991 – 1992 572223 Cooperative Bank Master in 2009 – 2014 Limited (KCBL) Development Associate Non-Executive Studies – Professor, Moshi Board Member. Agriculture and University College Rural Development, of Co-operative and The Institute of Business Studies Social Studies in The Hague, 2004 – 2009 Senior Netherlands Lecturer, Moshi University College 1985 – 1988 of Co-operative and Bachelor in Business Studies Economics – Agriculture and 1988 – 2004 Rural Development, Worked at Co- University of Dar es operative College Salaam (UDSM) Moshi, in various capacities, rising in 1990 -2020 ranks from Tutor II Made various to Senior Lecturer. publications on Social transformation, Economics, Commerce, Management, Developing Domestic Agricultural Markets, Microfinance, and Cooperatives. Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 9 Name/Age/Address Curent position Educational Work Experience Jina/Umri/Anuani Kazi ya Sasa Qualific tion Uzoefu Elimu/Taaluma 2 Name: PONIWOA 2020 to date 2012 Mwalimu ANDREW Independent Certified Risk Commercial Bank GODLOVE MBISSE Consultant in Analyst, Plc Address: P. O. Box Business International 2019 – 2020 60420, Management Academy of Head, Risk Dar es Salaam Policy Plan Business and Management & (BCMP) and Financial Compliance Age: 44 Continuity. Management Department (IABFM) No. of Shares: 3,825 June – December 2009 2019 CDS A/c No: ACPA, National Ag. Head of Internal 148003 Board of Audit Accountants and Auditors (NBAA) January – June 2019 Head, Risk 1999 – 2002 Management & Bachelor (Hons) of Compliance Commerce Department and (Finance), Ag. Secretary to the University of Dar es Board of Directors Salaam (UDSM) 2016 – 2018 Head, Risk Management & Compliance Department 2006 – 2016 Azania Bank Ltd - Worked in various capacities, rising in ranks from Principal Internal Auditor to Manager, Risk Management & Compliance Unit. 2002 – 2006 Auditor in Charge, KPMG Tanzania. 10 Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa, 2021 Name/Age/Address Curent position Educational Work Experience Jina/Umri/Anuani Kazi ya Sasa Qualific tion Uzoefu Elimu/Taaluma 3 Name: GRACE 2015 to date 2009 – 2010 2013 – 2015 PHILOTEA Managing Partner, Masters in Head of Risk, JOACHIM Joachim and International Governance & Jacobs Attorneys Commercial Law Credit Legal, Address: P.O. (LLM), University of Stanbic Bank Box 3979, 2019 to date Kent, Canterbury- Tanzania Dar es Salaam Strategis Insurance UK Tanzania Limited

View Full Text

Details

  • File Type
    pdf
  • Upload Time
    -
  • Content Languages
    English
  • Upload User
    Anonymous/Not logged-in
  • File Pages
    67 Page
  • File Size
    -

Download

Channel Download Status
Express Download Enable

Copyright

We respect the copyrights and intellectual property rights of all users. All uploaded documents are either original works of the uploader or authorized works of the rightful owners.

  • Not to be reproduced or distributed without explicit permission.
  • Not used for commercial purposes outside of approved use cases.
  • Not used to infringe on the rights of the original creators.
  • If you believe any content infringes your copyright, please contact us immediately.

Support

For help with questions, suggestions, or problems, please contact us