Jarida La Nchi Yetu

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Jarida La Nchi Yetu NCHIJarida YETU la Mtandaoni Utamaduni, Sanaa na Michezo TOLEO NA.3 Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO TOLEO LA MACHI 2017 MWAKA WA FEDHA 2017-2018: BAJETI YA MAENDELEO JUU Miradi saba mikubwa ya kipaumbele kutekelezwa Lengo ni kufikia malengo ya Dira 2025 www.tanzania.go.tz i Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO Bodi ya Uhariri Mwenyekiti Dkt. Hassan Abbasi Mkurugenzi-Idara ya Habari-MAELEZO Wajumbe Zamaradi Kawawa Vincent Tiganya John Lukuwi Elias Malima Msanifu Jarida Hassan Silayo Huduma zitolewazo MAELEZO 1.Kuuza picha za Viongozi wa Taifa na matukio muhimu ya Serikali. 2.Kusajili Magazeti pamoja na Majarida 3.Kukodisha ukumbi kwa ajili ya mikutano na Waandishi wa Habari. 4.Rejea ya Magazeti na Picha za Zamani 5.Kupokea kero mbalimbali za wananchi. Jarida hili hutolewa na: Idara ya Habari-MAELEZO S.L.P 8031 Dar es Salaam-Tanzania Simu : (+255) 22 -2122771 Baruapepe:[email protected] Tovuti: www.maelezo.go.tz Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO ii TAHARIRI UJENZI BARABARA YA JUU UBUNGO MFANO WA MTAZAMO WA KIMAENDELEO WA JPM Miundombinu bora ni kichocheo cha maendeleo ya kiuchumi. Kwa kipindi kirefu jiji la Dar es Salaam limekuwa likikabiliwa na changamoto ya msongamano mkubwa wa magari kiasi kwamba watumishi wa Serikali na wananchi wengine kwa ujumla hutumia wastani wa saa 3 hadi 6 kwenda na kurudi kazini. Muda huu ni mwingi sana kuupoteza kila siku. Kwa hesabu za haraka huu ni muda mwingi kwa siku, kwa mwezi na hata kwa mwaka. Muda huu ungetumika katika uzalishaji, basi nchi yetu ingepiga hatua kubwa kiuchumi. Nia ya wazi ya Rais John Pombe Magufuli kuendeleza ujenzi wa barabara za juu (flyovers) inataraji kupunguza ama kuondoa changamoto hii.Tumeshuhudia hivi karibuni ujenzi wa barabara za juu katika eneo la Tazara ukiendelea ili kupunguza msongamano. Kuanza kwa ujenzi wa Ubungo nako kutakuwa ni hatua nyingine muhimu na ni wazi kuwa hizi ni juhudi kubwa za Serikali ya Awamu ya Tano katika kuboresha miundombinu ya jiji la kibiashara la Dar es Salaam ambazo hazina budi kupongezwa. Ujenzi huu ukikamilika, ule msongamano wa kila siku kwa magari yanayotoka maeneo ya jiji kama Buguruni, Uwanja wa Ndege na maeneo ya Gongo la Mboto, Temeke na Posta kuelekea Tazara hautakuwepo tena kwani kila njia itakuwa na eneo lake la kupishana magari bila kusubiriana. Hakika adha ya msongamano itapungua katika maeneo tajwa na hivyo kuharakisha usafirishaji na maendeleo kwa ujumla. Katika suala hili tumemsikia Rais Magufuli akisema kuwa mradi huo utasaidia kuondoa kero mbalimbali za msongamano, vifo na mambo mengine mengi yaliyokuwa yanakwamisha kutokana na foleni. “Msongamano ni tatizo. Tunataka suala la msongamano kulimaliza na kama si kulimaliza basi kulipunguza,” alieleza Rais Magufuli wakati wa uwekaji jiwe la msingi la ujenzi huo. Akiuelezea mradi huo, Rais Magufuli amesema ujenzi utachukua miezi 30 kukamilika na utagharimu jumla ya shilingi bilioni 188 ambapo kati ya hizo bilioni 186 zinazotolewa na Benki ya Dunia (WB) na zingine zitatolewa na serikali ya Tanzania. Aidha Fly-Over ya Ubungo itakuwa na ghorofa (njia) tatu: njia ya chini, ya kati na juu. Njia ya chini itakuwa ni ya Morogoro – Mjini Kati, Barabara ya juu itakuwa ni kwa ajili ya gari za Mwenge – Tabata huku njia ya kati itakuwa makutano kwa wanaohitaji kubadili njia. Ni matumaini yetu kuwa miradi hii mikubwa itawanufaisha wananchi wengi bila kujali vyama wala itikadi zao. Kwa kuwa pia jiji la Dar es Salaam litabadilika na kuvutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kutokana na kuondokana na msongamano wa magari hivyo kukuza uchumi kwani muda mwingi utatumika katika shughuli za uzalishaji mali, mradi huu uungwe mkono na wapenda maendeleo wote. 1 Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO Inatoka Uk. 1 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Hodhi Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Masanja Kadogosa (wa tatu kutoka kulia waliokaa), akisaini Mkataba wa awamu ya kwanza ya ujenzi wa reli ya Kisasa (Standard Gauge) na wawakilishi wa Makampuni yatakayojenga reli hiyo jijini Dar es Salaam. sambamba na matakwa ya Ndege Tanzania, Ujenzi wa Awamu ya Pili ya Mpango wa Na Said Ameir Mitambo ya Kusindika Gesi Taifa wa Maendeleo 2016/17 Kimiminika Lindi, Uendelezaji – 2020/21 ambao unaelekeza erikali, katika mwaka wa wa Maeneo Maalum ya Serikali kutenga bajeti ya fedha ujao wa 2017/2018, Kiuchumi, Uanzishwaji wa S maendeleo kati ya asilimia imeongeza bajeti ya Shamba la Miwa na Kiwanda 30 na 40 ya bajeti yote. maendeleo kutoka shilingi cha Sukari Mkulazi; na bilioni 11,820.5 mwaka Ununuzi na Ukarabati wa Katika hotuba yake hiyo 2016/17 hadi shilingi bilioni Meli kwenye Maziwa Makuu. Waziri wa Fedha aliwaeleza 11,999.6 ambapo katika wabunge kuwa Serikali mwaka ujao wa fedha Serikali Dk. Mpango alifafanua imepanga kutekeleza imepanga kukusanya na kuwa katika uendelezaji wa miradi saba ya kipaumbele kutumia shilingi bilioni 31,699.7. Maeneo Maalum ya Kiuchumi, ambayo ni mahsusi kwa kuwa Kituo cha Biashara cha inatarajiwa kutoa matokeo Akiwasilisha Mapendekeko Kurasini kimetangazwa kwa makubwa kuendana ya Serikali ya Mpango wa wawekezaji tangu mwaka na malengo ya Dira ya Maendeleo wa Taifa na 2016 na eneo la Uwekezaji la Taifa ya Maendeleo 2025. ya Kiwango na Ukomo Bagamoyo lenye ekari 2,339.6 wa Bajeti ya Serikali kwa liko katika hatua mbali mbali Aliitaja kuwa ni Mradi mwaka wa fedha 2017/2018 za matayarisho huku ekari wa Makaa ya Mawe kwa wabunge, Waziri wa 110 kati ya hekta 2600 za Mchuchuma na Chuma Fedha na Mipango Dk. eneo Maalum la Uwekezaji la Liganga, Ujenzi wa Reli ya Philip Mpango alieleza kuwa Mtwara kwa ajili ya matumizi Kati na Kuboresha Shirika la kiwango hicho inakwenda ya bandari huru (Freeport InaendeleaInaendelea Uk.Uk.2 3 Jarida la Nchi Yetu 2016 “Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa na Ufisadi na TuimarisheLimeandaliwa Uchumi na wa Idara Viwanda ya Habari-MAELEZO kwa Maendeleo Yetu” 2 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Kiwango cha Ukomo wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha, 2017/18 ambapo imepanga kutumia Sh. Trilioni 31.6. Zone) na tayari maandalizi shughuli za Serikali Kuu trilioni 31.7 ikilinganishwa ya kuweka miundombinu, Makao Makuu Dodoma. na shilingi trilioni 29.5 ya hususan barabara, kwa mwaka wa fedha uliopita. eneo hilo yanaendelea. Waziri Dk. Mpango alieleza kuwa Mpango wa Maendeleo Dkt. Mpango alisisitiza Pamoja na miradi hiyo, Waziri wa Taifa wa Mwaka 2017/18 kuwa mapendekezo hayo wa Fedha aliongeza kuwa, ni wa pili katika kutekeleza ya kiwango na ukomo wa Serikali itaendelea kutekeleza Mpango wa Maendeleo Bajeti ya mwaka 2017/18 miradi mingine ya kipaumbele wa Taifa wa Miaka Mitano yana lengo la kuendeleza ikiwemo ujenzi wa Uchumi wa (2016/17 – 2020/21) na dhana mafanikio yaliyopatikana Viwanda ambao utahusisha yake kuu ni “Kujenga Uchumi katika kuondoa vikwazo uendelezaji wa Eneo la wa Viwanda ili kuchochea vya ukuaji wa uchumi na Viwanda, Kufungamanisha mageuzi ya kiuchumi na maendeleo ya viwanda. uchumi na maendeleo ya maendeleo ya watu”. Watu na Mazingira Wezeshi Waziri wa Fedha alibainisha ya Uendeshaji Biashara. Kuhusu ukomo wa bajeti, Dkt. kuwa Serikali, katika mwaka Mpango aliueleza mkutano ujao wa fedha, inakusudia Miradi mingine ni uimarishaji huo wa Bunge ambao kuongeza mapato ya ndani wa mitaji na kutumia benki ulikuwa chini ya uenyekiti wa hadi kufikia asilimia 15.9 ya za ndani za maendeleo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Pato la Taifa ili kupunguza kama vyombo vya kupanua na kuhudhuriwa pia na Spika nakisi katika bajeti yake. upatikanaji wa mikopo ya Job Ndugai na Naibu Spika muda mrefu na nafuu kwa Dk. Tulia Ackson kuwa Serikali wawekezaji; na kuhamishia inapendekeza bajeti ya shilingi “Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa na Ufisadi na 3 TuimarisheLimeandaliwa Uchumi na Idara wa ya Viwanda Habari-MAELEZO kwa Maendeleo Yetu” Barabara za Juu Ubungo Kugharimu Shilingi Bilioni 188.71. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakifunua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi katika mradi wa ujenzi wa Barabara za Juu katika makutano ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Kulia ni Mke wa Rais Magufuli Mama Janeth Magufuli. Na. Immaculate Makilika usafirishaji na kuchochea Mradi huu ni sehemu ya mapinduzi ya viwanda, uboreshaji wa usafiri jijini Dar es ambapo ujenzi huo utasaidia ais wa Jamhuri ya Salaam yaani Dar es Salaam kutatua msongamano wa RMuungano wa Tanzania urban transport improvement magari katika barabara za Dkt. John Pombe Magufuli, project, utakaogharimiwa Morogoro, Sam Nujoma na kwa kushirikiana na Rais kwa mkopo kutoka Benki Mandela na kuwapatia ajira wa Benki ya Dunia Dkt. ya Dunia na mchango wakazi wa maeneo ya jirani” Jim Yong Kim hivi karibuni wa Serikali ya Tanzania. wameweka jiwe la msingi Naye Rais wa Benki ya Dunia la ujenzi wa barabara za Mh. Rais anasema mradi Dkt. Jim Yong Kim anasema juu (Ubungo interchange), huo utahusisha pia awamu mradi huo wa mabasi katika makutano ya Ubungo ya tatu na ya nne ya ujenzi yaendayo haraka ni mfano yaliyopo barabara ya wa miundombinu ya mabasi mzuri wa ushirikiano wa Serikali, Morogoro jijini Dar es Salaam. yaendayo haraka (bus rapid Sekta binafsi, na Benki ya transit- BRT), katika barabara Dunia itaendelea kushirikiana Mradi huo ambao ya Nyerere kutoka katikati na Tanzania katika miradi utagharimu takribani shilingi ya jiji la Dar es Salaam hadi mbalimbali ili kuboresha bilioni 188.71 unaotarajiwa Gongo la Mboto na barabara maisha ya wananchi pamoja kukamilika ifikapo Septemba ya Bagamoyo kutoka na kukuza uchumi wa nchi. 2019 ambapo takribani katikati ya jiji hadi Tegeta. magari 65,000 yatatumia Sambamba na hilo, Dkt. Kim barabara hizo zenye lengo Akizungumza wakati wa amepongeza utendaji wa la kupunguza msongamano uzinduzi huo, Rais Magufuli Rais Magufuli na kusema kuwa wa magari katika barabara anasema Serikali inalenga Benki ya Dunia imefurahishwa za Morogoro, Nelson kuboresha miundombinu kuona maendeleo mazuri Mandela na Sam Nujoma.
Recommended publications
  • Tarehe 30 Machi, 2021
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Kwanza – Tarehe 30 Machi, 2021 (Bunge lilianza Saa Tatu Asubuhi) WIMBO WA TAIFA NA WIMBO WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (Hapa Kwaya ya Bunge iliimba Wimbo wa Taifa na Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tukae. Katibu. NDG. STEPHEN KAGAIGAI – KATIBU WA BUNGE: TAARIFA YA SPIKA NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, nitaleta kwenu Taarifa ya Mheshimiwa Spika, Mheshimiwa Job Yustino Ndugai. Waheshimiwa Wabunge, kama ambavyo wote tunafahamu aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli alifariki dunia tarehe 17 Machi, 2021 katika Hospitali ya Mzena, Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) Waheshimiwa Wabunge, kufuatia msiba huo wananchi wa Tanzania walipata fursa ya kutoa heshima za mwisho kama ifuatavyo; tarehe 20 hadi 21 Machi, 2021 Mkoani Dar es Salaam, tarehe 22 Machi, 2021 Mkoani Dodoma ambapo pia ilifanyika hafla ya kitaifa. Tarehe 23 Machi, 2021 ilikuwa Zanzibar na tarehe 24 Machi, 2021 ilikuwa mkoani Mwanza. Waheshimiwa Wabunge, nazisikia kelele sina hakika kama wote tuko pamoja kwenye jambo hili zito lililolipata Taifa letu. Tarehe 25 hadi 26 mkoani Geita na Chato. Waheshimiwa Wabunge, mazishi ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli yalifanyika siku ya Ijumaa tarehe 26 Machi, 2021 nyumbani kwake Chato, Mkoani Geita. Waheshimiwa Wabunge, kwa kuwa leo ni siku ya kwanza kwa Bunge hili kukutana tangu ulipotokea msiba huo naomba Waheshimiwa Wabunge tusimame kwa dakika moja ili kumkumbuka mpendwa wetu.
    [Show full text]
  • Tanzania Budget Speech 2021
    THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA SPEECH BY THE MINISTER FOR FINANCE AND PLANNING, HON. DR. MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU (MP), PRESENTING TO THE NATIONAL ASSEMBLY, THE ESTIMATES OF GOVERNMENT REVENUE AND EXPENDITURE 10thJune2021 Dodoma 0 “I urge businessmen to pay taxes. It is neither right nor fair for them to evade taxes. Evading taxes will make our Government fail to provide essential services for the people. Our hospitals will run out of medicines that may lead to deaths, Government employees will not get salaries and other statutory benefits and students will be denied fee free education which is granted to them” Her Excellency Samia Suluhu Hassan The President of the United Republic of Tanzania 14th May 2021 1 I. INTRODUCTION 1. Honourable Speaker, I beg to move that your esteemed House resolves to receive, debate and approve the Government’s Revenue and Expenditure Estimates for the financial year 2021/22. This speech presents the first national budget of the Sixth Phase Government under the leadership of Her Excellency Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania. The Estimates of the Government Revenue and Expenditure are submitted to your esteemed House in accordance with Article 137 of the Constitution of the United Republic of Tanzania of 1977; Section 23 (3) of the Budget Act, CAP 439; and Article 124 (4) of the Standing Orders of Parliament, June 2020 Edition. 2. Honourable Speaker, together with this speech, I submit four volumes of budget books: Volume I provides Revenue Estimates; Volume II provides Recurrent Expenditure Estimates for Ministries, Independent Departments and Agencies; Volume III covers Recurrent Expenditure Estimates for Regional Secretariats and Local Government Authorities; and Volume IV is for Development Expenditure 2 Estimates for Ministries, Independent Departments, Agencies, Regional (ii (MPRU) Reserves Marine (i) follows: as shall be distribution percentage The Act.
    [Show full text]
  • MKUTANO WA TATU Kikao Cha Hamsini Na Sita
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Hamsini na Sita – Tarehe 22 Juni, 2021 (Bunge Lilianza saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, naomba tukae. Waheshimiwa tunaendelea na Mkutano wetu wa Tatu, leo ni Kikao cha Hamsini na Sita na kabla hatujaendelea nitumie nafasi hii kuwashukuru sana wasaidizi wangu wote wakiongozwa na Mheshimiwa Naibu Spika, Mheshimiwa David Kihenzile, Mheshimiwa Zungu na Mheshimiwa Najma kwa kazi nzuri ambayo wameifanya wiki nzima kutuendeshea mjadala wetu wa bajeti. (Makofi) Sasa leo hapa ndio siku ya maamuzi ambayo kila Mbunge anapaswa kuwa humu ndani, kwa Mbunge ambaye Spika hana taarifa yake na hatapiga kura hapa leo hilo la kwake yeye. (Makofi) Katibu. NDG. NENELWA MWIHAMBI – KATIBU WA BUNGE: MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Maswali na tunaanza na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, swali la Mheshimiwa Deus Clement Sangu, Mbunge wa Kwela. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) Na. 465 Ujenzi wa Makao Makuu ya Halmashauri Katika Mji wa Laela MHE. DEUS C. SANGU aliuliza:- Je, ni lini Serikali itakamilisha ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Halmashauri ya Sumbawanga katika Mji wa Laela baada ya agizo la Serikali la kuhamisha Makao Makuu? SPIKA: Majibu ya swali hilo muhimu la watu wa Kwela, Mheshimiwa Naibu Waziri - TAMISEMI, Mheshimiwa Dkt. Festo Dugange tafadhali. NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (MHE. DKT. FESTO J. DUGANGE) alijibu:- Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -TAMISEMI, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Deus Clement Sangu, Mbunge wa Jimbo la Kwela kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Spika, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga ni miongoni mwa Halmashauri 30 zilizohamia kwenye maeneo mapya ya utawala mwaka 2019.
    [Show full text]
  • Hii Ni Nakala Ya Mtandao (Online Document) 1
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ___________ MAJADILIANO YA BUNGE _____________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Kwanza – Tarehe 6 Mei, 2014 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) WIMBO WA TAIFA (Hapa Wabunge Waliimba Wimbo wa Taifa) D U A Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua KIAPO CHA UTII Wajumbe wafuatao waliapa Kiapo cha Utii na kukaa katika nafasi zao Bungeni:- Mhe. Godfrey William Mgimwa Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete TAARIFA YA SPIKA SPIKA: Ninapenda kuchukua nafasi hii, kuwapongeza Mheshimiwa Godfrey Mgimwa na Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete, kwa kuchaguliwa na kujiunga na sisi katika Bunge hili. Tunaamini kwamba, tutapata ushirikiano unaostahili. (Makofi) Waheshimiwa Wabunge, katika Mkutano wa Kumi na Nne, Bunge lilipitisha Miswada ya Sheria minne iitwayo; Muswada wa Sheria wa GEPF ya Mfuko wa Mafao ya Wastaafu wa Mwaka 2013 (The GEPF Retirement Benefit Fund Bill, 2013); Muswada Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Namba Tatu wa Mwaka 2013 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Number Three Bill, 2013); Muswada Sheria ya Kura ya Maoni (The Referendum Bill, 2013); na Muswada wa Sheria ya Marekebisho Kodi ya Ushuru wa Mwaka 2013 (The Excise Management and Tariffs (Ammendment Bill), 2013). Kwa Taarifa hii, ninapenda kuliarifu Bunge hili Tukufu kwamba, Miswada hiyo imekwishapata kibali cha Mheshimiwa Rais na kuwa Sheria za nchi ziitwazo; Sheria ya Kwanza ni Sheria ya GEPF ya Mafao ya Mfuko wa Mafao ya Wastaafu Namba Saba ya Mwaka 2013 (The GEPF Retirement Benefit Fund Act Number Seven of 2013); Sheria ya pili ni Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Namba Nane ya Mwaka 2013 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Number Three Act Number 8 of 2013); Sheria ya Tatu ni Sheria ya Kura ya Maoni Namba Kumi ya Mwaka 2013 (The Referendum Act Number 10 of 2013); na Sheria ya nne ni 1 Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) Sheria ya Marekebisho ya Kodi ya Ushuru Namba Kumi na Moja ya Mwaka 2013 (The Excise Management and Tariff Amendment Act Number 11 of 2013).
    [Show full text]
  • Single-Party Rule in a Multiparty Age: Tanzania in Comparative Perspective
    SINGLE-PARTY RULE IN A MULTIPARTY AGE: TANZANIA IN COMPARATIVE PERSPECTIVE A Dissertation Submitted to the Temple University Graduate Board in Partial Fulfillment of the Requirement of the Degree DOCTOR OF PHILOSOPHY by Richard L. Whitehead August, 2009 © by Richard L. Whitehead 2009 All Rights Reserved ii ABSTRACT Title: Single-Party Rule in a Multiparty Age: Tanzania in Comparative Perspective Candidate's Name: Richard L. Whitehead Degree: Doctor of Philosophy Temple University, 2009 Doctoral Advisory Committee Chair: Richard Deeg As international pressure for multiparty reforms swept Africa during the early 1990s, long- time incumbent, such as UNIP in Zambia, KANU in Kenya, and the MCP in Malawi, were simultaneously challenged by widespread domestic demands for multiparty reforms. Only ten years later, after succumbing to reform demands, many long-time incumbents were out of office after holding competitive multiparty elections. My research seeks an explanation for why this pattern did not emerge in Tanzanian, where the domestic push for multiparty change was weak, and, despite the occurrence of three multiparty elections, the CCM continues to win with sizable election margins. As identified in research on semi-authoritarian rule, the post-reform pattern for incumbency maintenance in countries like Togo, Gabon, and Cameroon included strong doses of repression, manipulation and patronage as tactics for surviving in office under to multiparty elections. Comparatively speaking however, governance by the CCM did not fit the typical post-Cold-War semi-authoritarian pattern of governance either. In Tanzania, coercion and manipulation appears less rampant, while patronage, as a constant across nearly every African regime, cannot explain the overwhelming mass support the CCM continues to enjoy today.
    [Show full text]
  • MKUTANO WA KUMI NA TISA Kikao Cha Arobaini Na Sita
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA KUMI NA TISA Kikao cha Arobaini na Sita – Tarehe 15 Juni, 2020 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge tukae, tunaendelea na Mkutano wetu wa 19, Kikao cha 46, bado kimoja tu cha kesho. Katibu! NDG. STEPHEN KAGAIGAI – KATIBU WA BUNGE: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa mezani na: NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO: Maelezo ya Waziri wa Fedha na Mipango kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2020 (The Finance Bill, 2020). Muhtasari wa Tamko la Sera ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 (Monetary Policy Statement for the Financial Year 2020/2021). MHE. ALBERT N. OBAMA - K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI:Maoni ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2020 (The Finance Bill, 2020). 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) MHE. RHODA E. KUNCHELA - K.n.y. MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KWA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO: Maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu Muswada wa Sheria ya fedha wa mwaka 2020 (The Finance Bill, 2020). MHE. DKT. TULIA ACKSON - MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KANUNI ZA BUNGE: Azimio la Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge kuhusu Marekebisho ya Kanuni za Bunge SPIKA: Asante sana Mheshimiwa Naibu Spika, Katibu MASWALI NA MAJIBU (Maswali yafuatayo yameulizwa na kujibiwa kwa njia ya mtandao) Na. 426 Migogoro ya Mipaka MHE.
    [Show full text]
  • 1 Hotuba Ya Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais Wa
    1 HOTUBA YA MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BAADA YA KULA KIAPO CHA URAIS, TAREHE 18 MACHI, 2021. Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Prof. Ibrahim Hamis Juma, Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mheshimiwa Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Bashiru Ali Kakurwa, Katibu Mkuu Kiongozi, 2 Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili; Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne; Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Ndugu Viongozi wa Dini, Viongozi wa Vyama vya Siasa; Ndugu Waandishi wa Habari; Mabibi na Mabwana. Asalaam Aleikum, Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo. Ndugu Watanzania wenzangu, Si siku nzuri sana kwangu ya kuhutubia Taifa maana nimeelemewa na kidonda kikubwa kwenye moyo wangu na mzigo mzito mabegani mwangu. Kiapo nilichokula leo ni 3 tofauti na viapo vyote nilivyowahi kula katika maisha yangu. Tofauti na viapo vya awali ambavyo nilivila kwa faraja, nderemo, vifijo na bashasha tele. Leo nimekula kiapo cha juu kabisa katika nchi yetu adhimu Tanzania nikiwa na majonzi tele na nchi ikiwa imetandwa na wingu jeusi la simanzi kubwa. Nimekula kiapo katika siku ya maombolezo. Kwa ajili hiyo, mtaniwia radhi kuwa nitaongea kwa uchache na kwa ufupi. Tutatafuta wasaa hapo baadae tusemezane, tukumbushane na tuwekane sawa juu ya mambo mengi yanayohusu Taifa letu, mustakabali wake na matarajio yetu ya siku za usoni. Mniruhusu basi leo niseme maneno machache sana. Mtakumbuka tarehe 17 Machi 2021 (Juzi) nikiwa Tanga nilipata fursa ya kulihutubia Taifa katika hali ya udharura sana.
    [Show full text]
  • Anti-Corruption in Tanzania: a Political Settlements Analysis Antonio Andreoni1
    Working Paper 001 Anti-Corruption in Tanzania: A political settlements analysis Antonio Andreoni1 Revised version October 2017 1 SOAS, University of London Email: [email protected] Anti-Corruption in Tanzania: A political settlements analysis Contents Executive summary 4 Acknowledgments 5 1. Introduction 6 2. Major sectors and drivers of growth in Tanzania 9 3. Political settlement and political corruption in Tanzania 19 3.1. The Nyerere developmental state and the deep roots of clientelistic networks in Tanzania (1961-1985) 21 3.2. Privatisation, multi-partitism and corruption: the weakening of the dominant party under Mwinyi (1985-1995) 23 3.3. The Mkapa reforms and the response to corruption of a weak dominant party (1995-2005) 26 3.4. Grand corruption and competitive clientelism under Kikwete (2005-2015) 28 3.5. The “bulldozer” or the “builder”? The vulnerability of the authoritarian coalition and the potential developmental state under Magufuli 32 3.6. Tanzania Political Settlement evolution and scenario analysis 42 4. Anti-corruption framework and corruption evidence in Tanzania. 45 4.1. The legal and institutional anti-corruption framework 45 4.2. Corruption evidence and types of corruption 46 5. Strategic opportunities for anti-corruption evidence (ACE) strategies in Tanzania 52 6. References 57 Figures Figure 1: World Governance Indicators, Tanzania and comparators, 2005-2015 6 Figure 2: Most problematic factors for doing business in Tanzania, 2015 7 Figure 3: Tanzania and comparators: Real GDP Growth benchmarking 9 Figure 4:
    [Show full text]
  • 1 Hotuba Ya Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Baada Ya Kula Kiapo Cha Urais, Tarehe 18 Ma
    1 HOTUBA YA MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BAADA YA KULA KIAPO CHA URAIS, TAREHE 18 MACHI, 2021. Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Prof. Ibrahim Hamis Juma, Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mheshimiwa Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Bashiru Ali Kakurwa, Katibu Mkuu Kiongozi, 2 Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili; Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne; Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Ndugu Viongozi wa Dini, Viongozi wa Vyama vya Siasa; Ndugu Waandishi wa Habari; Mabibi na Mabwana. Asalaam Aleikum, Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo. Ndugu Watanzania wenzangu, Si siku nzuri sana kwangu ya kuhutubia Taifa maana nimeelemewa na kidonda kikubwa kwenye moyo wangu na mzigo mzito mabegani mwangu. Kiapo nilichokula leo ni 3 tofauti na viapo vyote nilivyowahi kula katika maisha yangu. Tofauti na viapo vya awali ambavyo nilivila kwa faraja, nderemo, vifijo na bashasha tele. Leo nimekula kiapo cha juu kabisa katika nchi yetu adhimu Tanzania nikiwa na majonzi tele na nchi ikiwa imetandwa na wingu jeusi la simanzi kubwa. Nimekula kiapo katika siku ya maombolezo. Kwa ajili hiyo, mtaniwia radhi kuwa nitaongea kwa uchache na kwa ufupi. Tutatafuta wasaa hapo baadae tusemezane, tukumbushane na tuwekane sawa juu ya mambo mengi yanayohusu Taifa letu, mustakabali wake na matarajio yetu ya siku za usoni. Mniruhusu basi leo niseme maneno machache sana. Mtakumbuka tarehe 17 Machi 2021 (Juzi) nikiwa Tanga nilipata fursa ya kulihutubia Taifa katika hali ya udharura sana.
    [Show full text]
  • MKUTANO WA KUMI NA TISA Kikao Cha Arobaini Na Saba – Tareh
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA __________ MAJADILIANO YA BUNGE _______________ MKUTANO WA KUMI NA TISA Kikao cha Arobaini na Saba – Tarehe 16 Juni, 2020 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tukae. Katibu. NDG. STEPHEN KAGAIGAI – KATIBU WA BUNGE: TAARIFA YA SPIKA NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, nilete kwenu Taarifa ya Mheshimiwa Spika. Waheshimiwa Wabunge, kwa mujibu wa Ibara ya 91(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kanuni ya 30(1) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016, napenda kuwajulisha kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, leo hii atalihutubia Bunge katika kuhitimisha uhai wa Bunge hili la Kumi na Moja ambalo shughuli zake zitafungwa leo. (Makofi) Waheshimiwa Wabunge, kwa muktadha huo tutaruhusu ili wageni wetu waweze kuingia. Kwa sababu hiyo, na mimi hapa nitaahirisha Bunge baada ya muda mfupi ili tuweze kutoa fursa hiyo na Mheshimiwa Rais pia kuingia humu ndani. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) Baada ya kusema hayo niwaombe wote mtulie, msitoke humu ndani nitakapositisha shughuli za Bunge kwa muda mfupi, kwa hiyo kila mtu abaki sehemu yake tusiendelee kuzunguka kwa sababu viongozi wanaanza kuingia sasa. Baada ya kusema hayo Waheshimiwa Wabunge, nasitisha shughuli za Bunge mpaka muda mfupi ujao. (Saa 3.02 Asubuhi Bunge lilisitishwa kwa muda mfupi) NDG. PATSON SOBHA - OFISA WA BUNGE: Waheshimiwa Wabunge, msafara ambao unatanguliwa na Mpambe wa Bunge lakini unaongozwa na Mwenyekiti wa Bunge, Mheshimiwa Najma Murtaza Giga unaelekea ndani. Mheshimiwa Najma Murtaza Giga anafuatiwa na Mheshimiwa Profesa Ibrahim Hamis Juma, Jaji Mkuu wa Tanzania, akifuatiwa na Mheshimiwa Omar Othman Makungu, Jaji Mkuu wa Zanzibar na Makatibu Mezani Ndugu Joshua Chamwela na Ndugu Asia Minja.
    [Show full text]
  • Issued by the Britain-Tanzania Society No 129 May 2021
    Tanzanian Affairs Issued by the Britain-Tanzania Society No 129 May 2021 Tanzania Bids Farewell to President Magufuli Introducing President Samia Suluhu Hassan Ben Taylor: TANZANIA BIDS FAREWELL TO PRESIDENT MAGUFULI Top - large crowds view the funeral cortege near Mwanza. Below - President Magufuli’s coffin is carried into the National Stadium. Cover shows President Samia Suluhu Hassan being sworn in on March 19th. Tanzania Bids Farewell to President Magufuli 3 President John Pombe Magufuli has died, at the age of 61. He is succeeded by his Vice President, Samia Suluhu Hassan, the country’s first female President, who was sworn in on March 19th, 2021. “This is a time to bury our differences, and be one as a nation,” she said in her inaugural address as leader. The months of March and April 2021 were a rollercoaster ride for Tanzania. From a few days after the last public appearance of President John Pombe Magufuli on February 27th, to the first State of the Nation address to parliament of President Samia Suluhu Hassan on April 22nd, the nation was beset with a chaotic mix of rumours, tension, drama, mourning and, for some, elation. The full details of what happened during some critical episodes remain uncertain at this time, and may well continue to be disputed by historians and others for many years to come. The most important facts are known: that President Magufuli passed away, five months into his second term in office, and that his Vice President, Samia Suluhu Hassan, is the new President of Tanzania. The uncertainty remains in many of the details of how this took place.
    [Show full text]
  • Mkutano Wa Tatu
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Kumi na Tano – Tarehe 22 Aprili, 2021 (Bunge Lilianza saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Mkutano wetu wa Tatu unaendelea, leo ni Kikao cha Kumi na Tano. Katibu. NDG. BAKARI KISHOMA – KATIBU MEZANI: HATI ZA KUWASILISHA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS (MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA): Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) kwa mwaka wa fedha 2021/2022. MHE. ANGELINA A. MALEMBEKA K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA: Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) kwa mwaka wa fedha 2020/2021 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) SPIKA: Ahsante sana Mheshimiwa Malembeka, tunakushukuru sana. Katibu. NDG. BAKARI KISHOMA – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU Na. 124 Kupandisha Hadhi Kituo cha Afya Kinesi - Rorya MHE. JAFARI W. CHEGE aliuliza:- Je, ni lini Kituo cha Afya Kinesi kitapandishwa hadhi na kuwa Hospitali kamili kutokana na kituo hicho kuhudumia wananchi zaidi ya vijiji 27 katika Jimbo la Rorya? NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (MHE. DKT. FESTO J. DUGANGE) alijibu:- Mheshimiwa Spika, nakushukuru, na kwa niaba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI naomba kujibu swali la Mheshimiwa Jafari Wambura Chege, Mbunge wa Rorya kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Spika, Serikali imeendelea kuboresha huduma za afya katika Wilaya ya Rorya katika mwaka wa fedha 2018/2019 Serikali ilipatia Halmashauri ya Wilaya ya Rorya shilingi bilioni 1.5 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ambapo tayari ujenzi wa majengo saba ya awali umekamilika na huduma za wagonjwa wa nje zinatolewa.
    [Show full text]