Jarida La Nchi Yetu

Jarida La Nchi Yetu

NCHIJarida YETU la Mtandaoni Utamaduni, Sanaa na Michezo TOLEO NA.3 Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO TOLEO LA MACHI 2017 MWAKA WA FEDHA 2017-2018: BAJETI YA MAENDELEO JUU Miradi saba mikubwa ya kipaumbele kutekelezwa Lengo ni kufikia malengo ya Dira 2025 www.tanzania.go.tz i Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO Bodi ya Uhariri Mwenyekiti Dkt. Hassan Abbasi Mkurugenzi-Idara ya Habari-MAELEZO Wajumbe Zamaradi Kawawa Vincent Tiganya John Lukuwi Elias Malima Msanifu Jarida Hassan Silayo Huduma zitolewazo MAELEZO 1.Kuuza picha za Viongozi wa Taifa na matukio muhimu ya Serikali. 2.Kusajili Magazeti pamoja na Majarida 3.Kukodisha ukumbi kwa ajili ya mikutano na Waandishi wa Habari. 4.Rejea ya Magazeti na Picha za Zamani 5.Kupokea kero mbalimbali za wananchi. Jarida hili hutolewa na: Idara ya Habari-MAELEZO S.L.P 8031 Dar es Salaam-Tanzania Simu : (+255) 22 -2122771 Baruapepe:[email protected] Tovuti: www.maelezo.go.tz Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO ii TAHARIRI UJENZI BARABARA YA JUU UBUNGO MFANO WA MTAZAMO WA KIMAENDELEO WA JPM Miundombinu bora ni kichocheo cha maendeleo ya kiuchumi. Kwa kipindi kirefu jiji la Dar es Salaam limekuwa likikabiliwa na changamoto ya msongamano mkubwa wa magari kiasi kwamba watumishi wa Serikali na wananchi wengine kwa ujumla hutumia wastani wa saa 3 hadi 6 kwenda na kurudi kazini. Muda huu ni mwingi sana kuupoteza kila siku. Kwa hesabu za haraka huu ni muda mwingi kwa siku, kwa mwezi na hata kwa mwaka. Muda huu ungetumika katika uzalishaji, basi nchi yetu ingepiga hatua kubwa kiuchumi. Nia ya wazi ya Rais John Pombe Magufuli kuendeleza ujenzi wa barabara za juu (flyovers) inataraji kupunguza ama kuondoa changamoto hii.Tumeshuhudia hivi karibuni ujenzi wa barabara za juu katika eneo la Tazara ukiendelea ili kupunguza msongamano. Kuanza kwa ujenzi wa Ubungo nako kutakuwa ni hatua nyingine muhimu na ni wazi kuwa hizi ni juhudi kubwa za Serikali ya Awamu ya Tano katika kuboresha miundombinu ya jiji la kibiashara la Dar es Salaam ambazo hazina budi kupongezwa. Ujenzi huu ukikamilika, ule msongamano wa kila siku kwa magari yanayotoka maeneo ya jiji kama Buguruni, Uwanja wa Ndege na maeneo ya Gongo la Mboto, Temeke na Posta kuelekea Tazara hautakuwepo tena kwani kila njia itakuwa na eneo lake la kupishana magari bila kusubiriana. Hakika adha ya msongamano itapungua katika maeneo tajwa na hivyo kuharakisha usafirishaji na maendeleo kwa ujumla. Katika suala hili tumemsikia Rais Magufuli akisema kuwa mradi huo utasaidia kuondoa kero mbalimbali za msongamano, vifo na mambo mengine mengi yaliyokuwa yanakwamisha kutokana na foleni. “Msongamano ni tatizo. Tunataka suala la msongamano kulimaliza na kama si kulimaliza basi kulipunguza,” alieleza Rais Magufuli wakati wa uwekaji jiwe la msingi la ujenzi huo. Akiuelezea mradi huo, Rais Magufuli amesema ujenzi utachukua miezi 30 kukamilika na utagharimu jumla ya shilingi bilioni 188 ambapo kati ya hizo bilioni 186 zinazotolewa na Benki ya Dunia (WB) na zingine zitatolewa na serikali ya Tanzania. Aidha Fly-Over ya Ubungo itakuwa na ghorofa (njia) tatu: njia ya chini, ya kati na juu. Njia ya chini itakuwa ni ya Morogoro – Mjini Kati, Barabara ya juu itakuwa ni kwa ajili ya gari za Mwenge – Tabata huku njia ya kati itakuwa makutano kwa wanaohitaji kubadili njia. Ni matumaini yetu kuwa miradi hii mikubwa itawanufaisha wananchi wengi bila kujali vyama wala itikadi zao. Kwa kuwa pia jiji la Dar es Salaam litabadilika na kuvutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kutokana na kuondokana na msongamano wa magari hivyo kukuza uchumi kwani muda mwingi utatumika katika shughuli za uzalishaji mali, mradi huu uungwe mkono na wapenda maendeleo wote. 1 Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO Inatoka Uk. 1 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Hodhi Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Masanja Kadogosa (wa tatu kutoka kulia waliokaa), akisaini Mkataba wa awamu ya kwanza ya ujenzi wa reli ya Kisasa (Standard Gauge) na wawakilishi wa Makampuni yatakayojenga reli hiyo jijini Dar es Salaam. sambamba na matakwa ya Ndege Tanzania, Ujenzi wa Awamu ya Pili ya Mpango wa Na Said Ameir Mitambo ya Kusindika Gesi Taifa wa Maendeleo 2016/17 Kimiminika Lindi, Uendelezaji – 2020/21 ambao unaelekeza erikali, katika mwaka wa wa Maeneo Maalum ya Serikali kutenga bajeti ya fedha ujao wa 2017/2018, Kiuchumi, Uanzishwaji wa S maendeleo kati ya asilimia imeongeza bajeti ya Shamba la Miwa na Kiwanda 30 na 40 ya bajeti yote. maendeleo kutoka shilingi cha Sukari Mkulazi; na bilioni 11,820.5 mwaka Ununuzi na Ukarabati wa Katika hotuba yake hiyo 2016/17 hadi shilingi bilioni Meli kwenye Maziwa Makuu. Waziri wa Fedha aliwaeleza 11,999.6 ambapo katika wabunge kuwa Serikali mwaka ujao wa fedha Serikali Dk. Mpango alifafanua imepanga kutekeleza imepanga kukusanya na kuwa katika uendelezaji wa miradi saba ya kipaumbele kutumia shilingi bilioni 31,699.7. Maeneo Maalum ya Kiuchumi, ambayo ni mahsusi kwa kuwa Kituo cha Biashara cha inatarajiwa kutoa matokeo Akiwasilisha Mapendekeko Kurasini kimetangazwa kwa makubwa kuendana ya Serikali ya Mpango wa wawekezaji tangu mwaka na malengo ya Dira ya Maendeleo wa Taifa na 2016 na eneo la Uwekezaji la Taifa ya Maendeleo 2025. ya Kiwango na Ukomo Bagamoyo lenye ekari 2,339.6 wa Bajeti ya Serikali kwa liko katika hatua mbali mbali Aliitaja kuwa ni Mradi mwaka wa fedha 2017/2018 za matayarisho huku ekari wa Makaa ya Mawe kwa wabunge, Waziri wa 110 kati ya hekta 2600 za Mchuchuma na Chuma Fedha na Mipango Dk. eneo Maalum la Uwekezaji la Liganga, Ujenzi wa Reli ya Philip Mpango alieleza kuwa Mtwara kwa ajili ya matumizi Kati na Kuboresha Shirika la kiwango hicho inakwenda ya bandari huru (Freeport InaendeleaInaendelea Uk.Uk.2 3 Jarida la Nchi Yetu 2016 “Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa na Ufisadi na TuimarisheLimeandaliwa Uchumi na wa Idara Viwanda ya Habari-MAELEZO kwa Maendeleo Yetu” 2 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Kiwango cha Ukomo wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha, 2017/18 ambapo imepanga kutumia Sh. Trilioni 31.6. Zone) na tayari maandalizi shughuli za Serikali Kuu trilioni 31.7 ikilinganishwa ya kuweka miundombinu, Makao Makuu Dodoma. na shilingi trilioni 29.5 ya hususan barabara, kwa mwaka wa fedha uliopita. eneo hilo yanaendelea. Waziri Dk. Mpango alieleza kuwa Mpango wa Maendeleo Dkt. Mpango alisisitiza Pamoja na miradi hiyo, Waziri wa Taifa wa Mwaka 2017/18 kuwa mapendekezo hayo wa Fedha aliongeza kuwa, ni wa pili katika kutekeleza ya kiwango na ukomo wa Serikali itaendelea kutekeleza Mpango wa Maendeleo Bajeti ya mwaka 2017/18 miradi mingine ya kipaumbele wa Taifa wa Miaka Mitano yana lengo la kuendeleza ikiwemo ujenzi wa Uchumi wa (2016/17 – 2020/21) na dhana mafanikio yaliyopatikana Viwanda ambao utahusisha yake kuu ni “Kujenga Uchumi katika kuondoa vikwazo uendelezaji wa Eneo la wa Viwanda ili kuchochea vya ukuaji wa uchumi na Viwanda, Kufungamanisha mageuzi ya kiuchumi na maendeleo ya viwanda. uchumi na maendeleo ya maendeleo ya watu”. Watu na Mazingira Wezeshi Waziri wa Fedha alibainisha ya Uendeshaji Biashara. Kuhusu ukomo wa bajeti, Dkt. kuwa Serikali, katika mwaka Mpango aliueleza mkutano ujao wa fedha, inakusudia Miradi mingine ni uimarishaji huo wa Bunge ambao kuongeza mapato ya ndani wa mitaji na kutumia benki ulikuwa chini ya uenyekiti wa hadi kufikia asilimia 15.9 ya za ndani za maendeleo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Pato la Taifa ili kupunguza kama vyombo vya kupanua na kuhudhuriwa pia na Spika nakisi katika bajeti yake. upatikanaji wa mikopo ya Job Ndugai na Naibu Spika muda mrefu na nafuu kwa Dk. Tulia Ackson kuwa Serikali wawekezaji; na kuhamishia inapendekeza bajeti ya shilingi “Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa na Ufisadi na 3 TuimarisheLimeandaliwa Uchumi na Idara wa ya Viwanda Habari-MAELEZO kwa Maendeleo Yetu” Barabara za Juu Ubungo Kugharimu Shilingi Bilioni 188.71. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakifunua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi katika mradi wa ujenzi wa Barabara za Juu katika makutano ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Kulia ni Mke wa Rais Magufuli Mama Janeth Magufuli. Na. Immaculate Makilika usafirishaji na kuchochea Mradi huu ni sehemu ya mapinduzi ya viwanda, uboreshaji wa usafiri jijini Dar es ambapo ujenzi huo utasaidia ais wa Jamhuri ya Salaam yaani Dar es Salaam kutatua msongamano wa RMuungano wa Tanzania urban transport improvement magari katika barabara za Dkt. John Pombe Magufuli, project, utakaogharimiwa Morogoro, Sam Nujoma na kwa kushirikiana na Rais kwa mkopo kutoka Benki Mandela na kuwapatia ajira wa Benki ya Dunia Dkt. ya Dunia na mchango wakazi wa maeneo ya jirani” Jim Yong Kim hivi karibuni wa Serikali ya Tanzania. wameweka jiwe la msingi Naye Rais wa Benki ya Dunia la ujenzi wa barabara za Mh. Rais anasema mradi Dkt. Jim Yong Kim anasema juu (Ubungo interchange), huo utahusisha pia awamu mradi huo wa mabasi katika makutano ya Ubungo ya tatu na ya nne ya ujenzi yaendayo haraka ni mfano yaliyopo barabara ya wa miundombinu ya mabasi mzuri wa ushirikiano wa Serikali, Morogoro jijini Dar es Salaam. yaendayo haraka (bus rapid Sekta binafsi, na Benki ya transit- BRT), katika barabara Dunia itaendelea kushirikiana Mradi huo ambao ya Nyerere kutoka katikati na Tanzania katika miradi utagharimu takribani shilingi ya jiji la Dar es Salaam hadi mbalimbali ili kuboresha bilioni 188.71 unaotarajiwa Gongo la Mboto na barabara maisha ya wananchi pamoja kukamilika ifikapo Septemba ya Bagamoyo kutoka na kukuza uchumi wa nchi. 2019 ambapo takribani katikati ya jiji hadi Tegeta. magari 65,000 yatatumia Sambamba na hilo, Dkt. Kim barabara hizo zenye lengo Akizungumza wakati wa amepongeza utendaji wa la kupunguza msongamano uzinduzi huo, Rais Magufuli Rais Magufuli na kusema kuwa wa magari katika barabara anasema Serikali inalenga Benki ya Dunia imefurahishwa za Morogoro, Nelson kuboresha miundombinu kuona maendeleo mazuri Mandela na Sam Nujoma.

View Full Text

Details

  • File Type
    pdf
  • Upload Time
    -
  • Content Languages
    English
  • Upload User
    Anonymous/Not logged-in
  • File Pages
    19 Page
  • File Size
    -

Download

Channel Download Status
Express Download Enable

Copyright

We respect the copyrights and intellectual property rights of all users. All uploaded documents are either original works of the uploader or authorized works of the rightful owners.

  • Not to be reproduced or distributed without explicit permission.
  • Not used for commercial purposes outside of approved use cases.
  • Not used to infringe on the rights of the original creators.
  • If you believe any content infringes your copyright, please contact us immediately.

Support

For help with questions, suggestions, or problems, please contact us