Mansour Awaliza Waislam

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Mansour Awaliza Waislam www.annuurpapers.co.tz au facebook:[email protected] Sauti ya Waislamu Mansour awaliza Waislam ISSN 0856 - 3861 Na. 1194 DHULQAAD 1436, IJUMAA , SEPTEMBA 11-17, 2015 BEI TShs 800/=, Kshs 50/= Tanganyika si Guantanamo ya kutesa Masheikh Maalim kumrejesha Sheikh Msellem Apokewa kwa Tala' al Badru 'Alayna, Pemba Msiwape kura wasiotaka maelewano - Moyo MAALIM Seif Sharif Hamad (kushoto) na Mhe Edward Lowassa. MAELFU ya wakazi wa Zanzibar waliohudhuria mkutanao wa uzinduzi wa kampeni za Urais, Ubunge na Uwakilishi wa UKAWA ulifanyika juzi Jumatano katika Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar. Makala AN-NUUR 2 DHULQAAD 1436, IJUMAA SEPTEMBA 11-17, 2015 Mafundisho ya Qur’an-Baqara: 150 wa masanamu, kwa sababu Ukweli kwa kuelewa kwa kuwa kwake ni mja; Mjumbe Isaya (AS) zinaashiria hiyo alizuiliwa kwa kipindi maumbile yake. anayetekeleza maamrisho ya kwamba matukio yatapita maalum kuelekea katika wala Ndiyo, ilikuwa hakika ya Mwenyezi Mungu mtukufu. kama yalivyopita kwa zake upande wa Al-Kaaba ili Al-Kaaba na uhusiano na Kama ambavyo Mtume sababu baadhi ya Mayahudi aonyeshe msimamo wake wa Mtume, isipokuwa ni kwamba (s.a.w.) kutokana na kuelekea walikuwa wanasema kwa thabiti na mkazo upande wa masuala ya kumpwekesha kwake katika swala yake kujengea juu ya ishara hizo masanamu. Mwenyezi Mungu ambayo upande wa msikiti katika “Hakika Qibla cha Mtume Kwa uhakika kuna ndiyo sababu ya kupelekwa swala aliwasha nuru ya anayekuja kitakuwa Makkah uhusiano imara kati ya hakika kwake, yalikuwa na umuhimu uongofu katika nyoyo za Ama Muhammad ataacha ya Ahmad na kati ya hakika mkubwa sana katika utukufu watu wengi katika Mayahudi, kuwa anaelekea katika swala ya Al-Kaaba, na alikuwa wa Al-Kaaba na kule kuwa mifano ya Abdillah Bin Salam, zake upande wa Baytul-Almu Mtume (s.a.w.) anahisi kwake ni Qibla cha swala, na inawezekana kwamba Qaddasi” Na maneno haya kufuatana na maumbile kwa sababu hiyo alielekea sifa ya Mtume huyu ilikuwa yanatoa mwangaza juu ya yake ambayo amemuumba Mtume (s.a.w.) wakati yuko imetajwa katika vitabu vyao. baadhi ya pande za maudhui juu yake Mwenyezi Mungu Makkah katika swala zake Kwa hali yoyote ile kwa haya. tokea tangu – jambo hilo na upande wa Msikiti wa mbali hakika walikuwepo baadhi ya “Na ili niitimize neema anapenda kuelekea upande na akaendelea juu ya utaratibu Mayahudi ambao waliongoka yangu juu yenu”. [Al-Baqarah Fethullah-Gulen wa Al-Kaaba na ana shauku huo muda mwingine huko kwenye Uislamu na baada ya 150] kubwa ya jambo hilo, na Madina vile vile. miezi 16 au 17 katika kuelekea Maana: kwa hakika NA popote kuelekea huko na kufanya Ama, Mayahudi kwa huko upande wa Msikiti wa kuelekea kwenu katika swala utakapokwenda shauku kumewekwa wazi na hakika wao, walianza kudai mbali makusudiwa yalitimia upande wa Msikiti wa mbali uelekeze uso wako Qur’an tukufu: kutokana na kuwa Qibla na haukubakia mikononi mwa kulikuwa ni neema isipokuwa “upande wa Msikiti mtukufu “Kwa hakika tunaona cha Waislamu ni upande wa watu hawa ushahidi wowote neema ya asili iliyokuwa na popote mtakapokuwa kugeukageuka kwa uso wako Msikiti wa mbali – kwamba ambao wanaweza kuutumia kubwa sana ilikuwa katika elekezeni nyuso zenu kuelekea mbinguni”. [Al- wao ndiyo asili na kwamba dhidi ya Waislamu. Maana kukutana wapenzi. Maana upande wake tumefanya Baqarah 144] Waislamu wanawafuata hakukuwa ni jambo lililo kukutana kwa Mtume (s.a.w.) hivyo ili watu wasiwe na hoja Ama lengo la Mtume wao, ili wafanye kupitia katika uwezo wa Mushirikina – mwakilishi wa umma wa juu yenu, isipokuwa wale (s.a.w.) kutokana na maudhui hayo hoja kwa kusema: Kiislamu – na Al-Kaaba, na ambao wamefanya dhulma kugeuzageuza uso wake dini yao. Na lau angetaka “Nyinyi mnaelekea kutoka hapo kupanda baada miongoni mwao kwa hiyo kuelekea mbinguni, ni kutaka Mtume (s.a.w.) angekigeuza upande wa Al-Kaaba ambayo ya hapo kuelekea Sidrat msiwaogope na niogopeni kwake aweke, Mwenyezi Qibla akakielekeza kwenye imejazwa kwa masanamu Al-Mutaha ili afuzu kwa mimi, na ili niitimize neema Mungu mtukufu hukumu Al-Kaaba wakati wa kufika yetu ikiwa ni hivyo basi dini kuipata neema ya Mwenyezi yangu juu yenu na ili mpate mpya katika maudhui ya kwake tu Madina. yetu ndiyo asili”. Mungu uso kwa uso na hili kuongoka”. [Al-Baqarah kukibadilisha Qibla. Ndiyo Isipokuwa yeye hakuwa Na hakukuwezekana kwa linawezekana tu kwa kuelekea 150]. alikuwa anangojea khabari akifanya mambo kwa Mayahudi kusema: “Nyinyi upande wa Al-Kaaba. Na kutoka mbinguni. Kwa sababu matakwa yake na raghba mnaelekea kwenye Qibla cheo ni kama hivyo, atakuwa Baada ya kufika Mtume Mwenyezi Mungu mtukufu (s.a.w.) Madina na kuitukuza hiyo tunaona aya baada yake, bali alikuwa wakati chetu ikiwa ni hivyo, basi dini ametimiza neema yake na alipitisha muda wa miezi ya hapo na mwisho wake wote amefungamana na yetu ndiyo asili”. huo ni utukufu, ameuchagua 16 au 17 na hali ya kuwa inamfikishia habari njema Mwenyezi Mungu mwenye Katika mfano wa mazingira Mwenyezi Mungu kwa anaelekea katika swala zake kwa kusema: “Tutakuelekeza kufanya ikhlasi kwake katika kama haya, ilikuja amri utukufu huo umma huu upande wa Msikiti wa mbali. Qibla unachokiridhia”. [Al- kila jambo. Katika mambo ya Mwenyezi Mungu kwa ambao ameeneza juu yake Ilikuwa Al-Kaaba wakati huo Baqarah 144]. yake anangoja maamrisho kuelekea upande wa Msikiti neema zake. imejazwa masanamu (kama Jambo la wazi ni kwamba kutoka kwake, hali ya kuyapa mtukufu akauthibitisha (Imenukuliwa kutoka kawaida ya washirikina). ni vigumu kuifahamu hakika nguvu maamrisho hayo juu muungano kati ya dhati ya Kitabu: Miyangaza ya Qur’an Alipokuwa Mtume (s.a.w.) hii na haifahamu isipokuwa ya matakwa ya moyo wake Mtume (s.a.w.) na dhati ya katika mbingu ya hisia, amepelekwa kwa dini ya mtu kama Mtume (s.a.w.) kwani alikuwa ni mtu wa Al-Kaaba yenye kutukuzwa. cha Muhammad Fethullah kumpwekesha Mwenyezi ambaye alikuwa anauelewa kilele anayetazamia vipeo Kuna ishara nyingi katika Gullen kilichotafsiriwa Mungu na kutoonyesha uhusiano huu ulio imara kati vya mbali vya kibinadamu. Agano la Kale katika mambo kwa Kiswahili na Sheikh umuhimu wowote upande yake na kati ya Al-Kaaba. Isipokuwa yeye hakusahau yanayofungamana na Nabii Suleiman Amran Kilemile) Tanganyika si Guantanamo ya kutesa Masheikh Na Mwandishi Wetu ameyasema hayo katika wa mambo kwani hata yenye mamlaka kamili na wanadhalilishwa ndani ya uzinduzi wa kampeni za kwa Katiba na Sheria za Zanzibar yenye mamlaka nchi yao.” Alisema. ANGANYIKA sio kugombea urais Zanzibar sasa, Mahakama Kuu ya kamili, zikiunganishwa na Kwa upande wake Mzee Guantanamo ya kupitia chama cha CUF. Zanzibar ina hadhi sawa serikali ya muungano. Hassan Nassor Moyo kutesea Masheikh na Mkutanao huo ulifanyika na ile ya Tanganyika. “Kama mtanichagua kitu amewataka Wazanzibar Twatuhumiwa wa ugaidi. juzi Jumatano katika Akashangaa inakuwaje cha kwanza, nawaahidi wasifanye kosa kuwapa Amesema hayo Uwanja wa Demokrasia, serikali ya Zanzibar, wananchi wa Zanzibar kura watu wasiotaka mgombea urais kupitia Kibanda Maiti, Zanzibar. inayojinadi kuwa ina ni kupata serikali ya maelewano. CUF, Mheshimiwa Maalim Akitumia msemo ule Rais, kufikia mahali pa muungano yenye serikali “Nawaomba Seif Shariff Hamad. ule wa Mheshimiwa kuidharau hata Mahakama tatu… Zanzibar kuwa Wazanzibari mnaopenda Na kwa maana hiyo, Lowassa, Maalim Seif Kuu yake kiasi cha kaucha na mamlaka kamili amani, kura mtilieni atahakikisha kuwa amesema, serikali ya CCM watu wake kunyakuliwa na kurejesha rasimu ya Maalim Seif.” kanuni za Utawala Bora imeifanya Tanganyika ni kwenda kuhukumiwa na Jaji Warioba’’ amesema “Viongozi wote Zanzibar zinatumika kukomesha Guantanamo ya kutesea Mahakama za Tanganyika. Maalim. wasiotaka maelewano ‘Guantanamo’ hizo za Masheikh na akaahidi Akasisitiza kuwa Katika jumla ya mambo msiwape kura zenu.” kidhalimu. kuwa katika mambo ya Masheikh waliowekwa aliyosisitiza Maalim Seif ni Alisema na kusisitiza Maalim Seif Shariff mwanzo kufanya akiingia rumande Bara pamoja na lile la utawala Mzee Moyo huku Hamad amesisitiza jambo madarakani, ni kukomesha watarudishwa na kama bora ambapo alisema kuwa akishangiliwa kwa nguvu. hilo, ambalo limekuwa mtindo huo wa kunyakua wana tuhuma za kujibu, mtindo wa janjaweed, Akiwa Kada mkongwe likisemwa na kukaririwa Masheikh na Wazanzibari basi watafikishwa katika watu wanaovaa soksi wa CCM, Mzee Moyo na mgombea urais kupitia kwenda kuwatesa Bara. mahakama za Zanzibar. usoni kuficha nyuso zao amekuwa akisisitiza CHADEMA, Edward Hiyo ni mara ya Akasisitiza kuwa, ili wakapiga watu, mwisho kuwa huu ni wakati kwa Lowassa. kwanza kwa Maalim kuweka mambo sawa ya wao ni Oktiba 25. Wazanzibari kusahau Akasema kuwa, viongozi Seif kugusia suala la kimuungano na kuondoa Akasema, anataka yaliyopita, wafute siasa wa sasa wa serikali ya Masheikh wa Zanzibar mkanganyiko ulioko hivi kuijenga Zanzibar yenye za chuki, bali walete CCM wameiuza Zanzibar toka walipokamatwa na sasa, kama wataingia amani ambapo mwananchi maelewano ili kujenga kwa Bara hali inayopelekea kupelekwa rumande katika madarakani, watarejesha atakuwa akitembea kifua Zanzibar yenye mamlaka hata kudharauliwa kwa magereza za Bara zaidi ya Rasimu ya Katiba ya Jaji mbele bila ya hofu. kamili na maendeleo ya Mahakama Kuu ya miaka miwili sasa. Warioba ambayo ndiyo “Mambo ya watu kuvaa kweli. Zanzibar. Alisema, hilo ni yenye maoni ya wananchi. soksi usoni wanapiga watu Kwa mtizamo huo, Mgombea huyo suala jepesi, linalohitaji Na kwamba watapigania mwisho Oktoba 25, siwezi alifanya kazi kubwa wa Urais, Zanzibar, tu uzalendo na uelewa kurejea kwa Tanganyika kukubali Wazanzibari Inaendelea Uk. 3 Habari AN-NUUR 3 DHULQAAD
Recommended publications
  • Nakala Ya Mtandao (Online Document) 1 BUNGE LA TANZANIA
    Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ________________ MAJADILIANO YA BUNGE ________________________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Kumi na Tisa – Tarehe 27 Mei, 2014 (Mkutano Ulianza Saa tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA: Taarifa ya Mwaka na Hesabu za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha kwa Mwaka 2012/2013 (The Annual Report and Accounts of Arusha International Conference Centre for the Year 2012/2013). Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. NAIBU WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI: Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MHE. BETTY E. MACHANGU (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA): Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Maoni ya Kamati 1 Nakala ya Mtandao (Online Document) Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MHE. ABDULKARIM E.H. SHAH (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA): Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.
    [Show full text]
  • Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Bunge La Tanzania
    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA KUMI NA SITA NA KUMI NA SABA YATOKANAYO NA KIKAO CHA KUMI NA NNE (DAILY SUMMARY RECORD OF PROCEEDINGS) 21 NOVEMBA, 2014 MKUTANO WA KUMI NA SITA NA KUMI SABA KIKAO CHA KUMI NA NNE – 21 NOVEMBA, 2014 I. DUA Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu alisoma Dua saa 3.00 Asubuhi na kuliongoza Bunge. MAKATIBU MEZANI – i. Ndg. Asia Minja ii. Ndg. Joshua Chamwela II. MASWALI: Maswali yafuatayo yaliulizwa na wabunge:- 1. OFISI YA WAZIRI MKUU Swali Na. 161 – Mhe. Betty Eliezer Machangu [KNY: Mhe. Dkt. Cyril Chami] Nyongeza i. Mhe. Betty E. Machangu, mb ii. Mhe. Michael Lekule Laizer, mb iii. Mhe. Prof. Peter Msolla, mb Swali Na. 162 - Mhe. Richard Mganga Ndassa, mb Nyongeza (i) Mhe Richard Mganga Ndassa, mb Swali Na. 163 - Mhe. Anne Kilango Malecela, mb Nyongeza : i. Mhe. Anne Kilango Malecela, mb ii. Mhe. John John Mnyika, mb iii. Mhe. Mariam Nassor Kisangi iv. Mhe. Iddi Mohammed Azzan, mb 2 2. OFISI YA RAIS (UTUMISHI) Swali Na. 164 – Mhe. Ritta Enespher Kabati, mb Nyongeza i. Mhe. Ritta Enespher Kabati, mb ii. Mhe. Vita Rashid Kawawa, mb iii. Mhe. Mch. Reter Msingwa, mb 3. WIZARA YA UJENZI Swali Na. 165 – Mhe. Betty Eliezer Machangu, mb Nyongeza :- i. Mhe. Betty Eliezer Machangu, mb ii. Mhe. Halima James Mdee, mb iii. Mhe. Maryam Salum Msabaha, mb Swali Na. 166 – Mhe. Peter Simon Msingwa [KNY: Mhe. Joseph O. Mbilinyi] Nyongeza :- i. Mhe. Peter Simon Msigwa, Mb ii. Mhe. Assumpter Nshunju Mshama, Mb iii. Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa 4.
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge ______
    NAKALA YA MTANDAO (ON LINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ___________ MAJADILIANO YA BUNGE ______________ BUNGE LA KUMI NA MOJA ___________ MKUTANO WA KWANZA Kikao cha Kwanza - Tarehe 17 Novemba, 2015 (Bunge lilianza Saa Tatu Asubuhi) DKT. THOMAS D. KASHILILAH - KATIBU WA BUNGE: Naomba tukae. TANGAZO LA RAIS LA KUITISHA MKUTANO WA BUNGE DKT. THOMAS D. KASHILILAH - KATIBU WA BUNGE: Waheshimiwa Wabunge, kwa mujibu wa masharti ya Katiba, Mkutano huu wa Kwanza unaanza kwa Rais kuuitisha. Naomba kuchukua nafasi hii kusoma Tangazo la Rais kama ambavyo tumelipokea. Tangazo la Serikali Na. 513 la tarehe 6 Novemba, 2015. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Sura ya Pili, hati iliyotolewa kwa mujibu wa Ibara ya 90(1). Hati ya Kuitisha Mkutano wa Bunge Jipya. KWA KUWA, Uchaguzi Mkuu ulifanyika tarehe 25 Oktoba, 2015 katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977; NA KWA KUWA, masharti ya Ibara ndogo ya kwanza ya Ibara ya 90 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, yanamtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuitisha Mkutano wa Bunge Jipya kabla ya kupita siku saba tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu; NA KWA KUWA, matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25 Oktoba, 2015 yalitangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi tarehe 29 Oktoba, 2015; HIVYO BASI, mimi John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mamlaka niliyonayo chini ya Ibara ya 90(1) ya 1 NAKALA YA MTANDAO (ON LINE DOCUMENT) Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, naitisha Mkutano wa Bunge Jipya la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ufanyike katika ukumbi wa Bunge uliopo Mjini Dodoma tarehe 17 Novemba, 2015 kuanzia saa tatu asubuhi.
    [Show full text]
  • Conference Report
    2 ND GOPAC GLOBAL CONFERENCE Arusha, Tanzania September 19-23, 2006 FINAL REPORT GLOBAL ORGANISATION OF PARLIAMENTARIANS AGAINST CORRUPTION: 2ND GLOBAL CONFERENCE Acknowledgements The Global Organisation of Parliamentarians Against Corruption wishes to thank the following organisations for their contributions to the 2nd Global Conference: Parliament of Tanzania African Parliamentarians Network Against Corruption (APNAC) Barrick Gold Canadian International Development Agency (CIDA) US Agency for International Development (USAID) World Bank Institute (WBI) Events Hosts Dr. Zainab A. Gama, MP, Chair, APNAC – Tanzania Arusha Regional Commissioner Col (Rtd). Samuel Ndomba H.E. Dr. Ali Mohamed Shein the Vice President of the United Republic of Tanzania Hosted by Hon. Samuel Sitta, MP – Speaker of the National Assembly Guest Speakers Deputy Barrister Emmanuel Akomaye, Economic and Financial Crimes Commission of Nigeria Doris Basler, Transparency International Hon. Ruth Kavuma, MP, Vice Chair, APNAC Uganda Mr. Paul Wolfowitz, President, World Bank (Taped message) Conference and Workshop Speakers Conference Chair: John Williams MP (Canada) Edward Doe Adjaho, MP (Ghana) Naser Al Sane, MP (Kuwait) Edgardo Angara, Senator (Philippines) Stella Cittadini, Senator (Argentina) Roy Cullen, MP (Canada) César Jauregui, Senator (Mexico) Edith Mastenbroek, MEP (Netherlands) J.T.K. Green-Harris, MP (Gambia) Mary King, Senator (Trinidad and Tobago) Omingo Magara, MP (Kenya) Augustine Ruzindana, Former MP (Uganda) Willibroad Slaa, MP (Tanzania) Navin Beekarry (IMF) Giovanni Gallo (UNODC) Scott Hubli (UNDP) Latifah Merican Cheong (World Bank) Carmen Lane (DAI) Luis Gerardo Villanueva, Former MP (Costa Murray Michel (Egmont Group and Rica) FATF) Patrick Moulette (IMF) Keith Schulz (USAID) Ingeborg Schwarz (IPU) Emiko Todoroki (WB) Frederick Stapenhurst (WBI) Stuart Yikona (WB) GOPAC wishes to thank the following individuals for their significant contribution to the conference and its administration: Canadian High Commission - Tanzania Parliament of Tanzania H.E.
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge ______
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _________________ MAJADILIANO YA BUNGE _____________________ MKUTANO WA KUMI Kikao cha Saba – Tarehe 6 Februari, 2008 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, kabla sijamwita Katibu kwa orodha ya shughuli za leo, ninapenda kwanza nimpongeze Corporal Fauster. Napenda niwafahamisheni, ni mara ya kwanza katika historia ya Bunge letu Spika kutanguliwa na Sergeant-At-Arms ambaye ni mwanamke. Tulikwishasema awali Bunge hili litaendeshwa kwa viwango na viwango ni pamoja na kuzingatia jinsia. Hakuna kazi ambazo ni za wanaume tu peke yao. Ahsante sana Corporal Fauster. (Makofi) Waheshimiwa Wabunge, nimerejea, nimesitisha safari ya Marekani. Nalazimika kutoa maelezo kwa sababu ya maneno mengi tu. Safari ile kwenda kule ilipangwa kwa kuzingatia mambo mawili :- Moja, ni umuhimu tu wake. Wenzetu Amerika, wiki ya pili ya Mwezi Februari kila mwaka mihimili yote mitatu ya Dola wanakaa pamoja kwa mlo wa asubuhi, inaitwa National Prayer Breakfast. Pamoja na mambo mengi yatakayofanyika, Rais wao ataongea pale kwenye Prayers Breakfast. Lakini wanawatambua baadhi ya viongozi mashuhuri ambao wana ushirikiano mwema nao. Mimi kama Spika wa Bunge hili, nilialikwa kwa msingi huo. Kwa hiyo, hoja kwamba labda ningeweza kumtuma mtu mwingine, haipo kwa sababu ni mwaliko wa heshima kwa jina. (Makofi) La pili ni kwamba, nikitazama ratiba na Kanuni ya 24 ya Bunge, ilikuwa ni kwamba Miswada inaendelea na kwa hiyo, nilidhani mambo mengine kama vile taarifa za Kamati yangekuja kama ilivyo kawaida katika wiki ya mwisho, na mimi nilikuwa narudi Ijumaa asubuhi. Kwa hiyo, yote yangewezekana. Sasa hilo lilishindikana, niliwaarifu wenyeji wetu kule Marekani na wamesikitika, lakini wamesema kama wanasiasa, wameelewa,kwa sababu niliwaeleza mazingira ambayo yalinifanya nisiende.
    [Show full text]
  • Tanzanian State
    THE PRICE WE PAY TARGETED FOR DISSENT BY THE TANZANIAN STATE Amnesty International is a global movement of more than 7 million people who campaign for a world where human rights are enjoyed by all. Our vision is for every person to enjoy all the rights enshrined in the Universal Declaration of Human Rights and other international human rights standards. We are independent of any government, political ideology, economic interest or religion and are funded mainly by our membership and public donations. © Amnesty International 2019 Except where otherwise noted, content in this document is licensed under a Creative Commons Cover photo: © Amnesty International (Illustration: Victor Ndula) (attribution, non-commercial, no derivatives, international 4.0) licence. https://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/4.0/legalcode For more information please visit the permissions page on our website: www.amnesty.org Where material is attributed to a copyright owner other than Amnesty International this material is not subject to the Creative Commons licence. First published in 2019 by Amnesty International Ltd Peter Benenson House, 1 Easton Street London WC1X 0DW, UK Index: AFR 56/0301/2019 Original language: English amnesty.org CONTENTS EXECUTIVE SUMMARY 6 METHODOLOGY 8 1. BACKGROUND 9 2. REPRESSION OF FREEDOM OF EXPRESSION AND INFORMATION 11 2.1 REPRESSIVE MEDIA LAW 11 2.2 FAILURE TO IMPLEMENT EAST AFRICAN COURT OF JUSTICE RULINGS 17 2.3 CURBING ONLINE EXPRESSION, CRIMINALIZATION AND ARBITRARY REGULATION 18 2.3.1 ENFORCEMENT OF THE CYBERCRIMES ACT 20 2.3.2 REGULATING BLOGGING 21 2.3.3 CYBERCAFÉ SURVEILLANCE 22 3. EXCESSIVE INTERFERENCE WITH FACT-CHECKING OFFICIAL STATISTICS 25 4.
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge ______
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE _________________ MKUTANO WA KUMI NA NANE Kikao cha Kumi na Tatu – Tarehe 10 Februari, 2010 (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI (MHE. OMAR YUSSUF MZEE): Taarifa ya Mwaka na Hesabu za Benki ya Posta Tanzania, kwa Mwaka 2008 [The Annual Report and Accounts of The Tanzania Postal Bank for the Year 2008]. The Mid-Term Review of the Monetary Policy Statement of The Bank of Tanzania for the Year 2009/2010. MWENYEKITI WA KAMATI YA NISHATI NA MADINI: Taarifa ya Kamati ya Nishati na Madini juu ya Taarifa ya Serikali Kuhusu Ubinafsishwaji wa Mgodi wa Kiwira. Taarifa ya Kamati ya Nishati na Madini Kuhusu Taarifa ya Serikali ya Utekelezaji wa Azimio la Bunge Kuhusu Mchakato wa Zabuni ya Kuzalisha Umeme wa Dharura Ulioipa Ushindi Kampuni ya Richmond Development Company LLC. Houston Texas - Marekani Mwaka 2006. MWENYEKITI WA KAMATI YA MIUNDOMBINU: Taarifa ya Kamati ya Miundombinu Kuhusu Taarifa ya Serikali ya Utekelzaji wa Azimio la Bunge Kuhusu Uendeshaji Usioridhisha wa Shirika la Reli Tanzania uliofanywa na Kampuni ya RITES ya India. 1 Taarifa ya Kamati ya Miundombinu Kuhusu Taarifa ya Serikali ya Utekelezaji wa Azimio la Bunge Kuhusu Utendaji wa Kazi Usioridhisha wa Kampuni ya TICTS. MASWALI NA MAJIBU Na. 145 Usimamizi wa Ukaguzi wa Fedha za Halmashauri MHE. HERBERT J. MNTANGI aliuliza:- Kwa kuwa, kiasi cha fedha kinachopelekwa katika Halmashauri za Wilaya, Manispaa na Jiji ni kikubwa na kinahitaji usimamizi wa ziada:- Kwa kuwa kitengo cha ukaguzi wa ndani kipo chini ya Mkurugenzi Mtendaji.
    [Show full text]
  • Tanzania Human Rights Report 2008
    Legal and Human Rights Centre Tanzania Human Rights Report 2008: Progress through Human Rights Funded By; Embassy of Finland Embassy of Norway Embassy of Sweden Ford Foundation Oxfam-Novib Trocaire Foundation for Civil Society i Tanzania Human Rights Report 2008 Editorial Board Francis Kiwanga (Adv.) Helen Kijo-Bisimba Prof. Chris Maina Peter Richard Shilamba Harold Sungusia Rodrick Maro Felista Mauya Researchers Godfrey Mpandikizi Stephen Axwesso Laetitia Petro Writers Clarence Kipobota Sarah Louw Publisher Legal and Human Rights Centre LHRC, April 2009 ISBN: 978-9987-432-74-5 ii Acknowledgements We would like to recognize the immense contribution of several individuals, institutions, governmental departments, and non-governmental organisations. The information they provided to us was invaluable to the preparation of this report. We are also grateful for the great work done by LHRC employees Laetitia Petro, Richard Shilamba, Godfrey Mpandikizi, Stephen Axwesso, Mashauri Jeremiah, Ally Mwashongo, Abuu Adballah and Charles Luther who facilitated the distribution, collection and analysis of information gathered from different areas of Tanzania. Our 131 field human rights monitors and paralegals also played an important role in preparing this report by providing us with current information about the human rights’ situation at the grass roots’ level. We greatly appreciate the assistance we received from the members of the editorial board, who are: Helen Kijo-Bisimba, Francis Kiwanga, Rodrick Maro, Felista Mauya, Professor Chris Maina Peter, and Harold Sungusia for their invaluable input on the content and form of this report. Their contributions helped us to create a better report. We would like to recognize the financial support we received from various partners to prepare and publish this report.
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge ______
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ___________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA NANE Kikao cha Thelathini na Tisa – Tarehe 2 AGOSTI, 2012 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) DUA Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati ifuatayo iliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI: Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa Mwaka wa Fedha 2012/2013. SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, naomba mzime vipasa sauti vyenu maana naona vinaingiliana. Ahsante Mheshimiwa Naibu Waziri, tunaingia hatua inayofuata. MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Leo ni siku ya Alhamisi lakini tulishatoa taarifa kwamba Waziri Mkuu yuko safarini kwa hiyo kama kawaida hatutakuwa na kipindi cha maswali hayo. Maswali ya kawaida yapo machache na atakayeuliza swali la kwanza ni Mheshimiwa Vita R. M. Kawawa. Na. 310 Fedha za Uendeshaji Shule za Msingi MHE. VITA R. M. KAWAWA aliuliza:- Kumekuwa na makato ya fedha za uendeshaji wa Shule za Msingi - Capitation bila taarifa hali inayofanya Walimu kuwa na hali ngumu ya uendeshaji wa shule hizo. Je, Serikali ina mipango gani ya kuhakikisha kuwa, fedha za Capitation zinatoloewa kama ilivyotarajiwa ili kupunguza matatizo wanayopata wazazi wa wanafunzi kwa kuchangia gharama za uendeshaji shule? NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (ELIMU) alijibu:- Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Vita Rashid Kawawa, Mbunge wa Namtumbo, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Spika, Serikali kupitia Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) imepanga kila mwanafunzi wa Shule ya Msingi kupata shilingi 10,000 kama fedha za uendeshaji wa shule (Capitation Grant) kwa mwaka.
    [Show full text]
  • Hii Ni Nakala Ya Mtandao (Online Document)
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) MAJADILIANO YA BUNGE _____________ MKUTANO WA KUMI NA SITA ______________ Kikao cha Thelathini na Tisa – Tarehe 27 Julai, 2009) (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) DUA Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, kabla sijamwita anayeuliza swali la kwanza, karibuni tena baada ya mapumziko ya weekend, nadhani mna nguvu ya kutosha kwa ajili ya shughuli za wiki hii ya mwisho ya Bunge hili la 16. Swali la kwanza linaelekezwa Ofisi ya Waziri Mkuu na linauliza na Mheshimiwa Shoka, kwa niaba yake Mheshimiwa Khalifa. Na.281 Kiwanja kwa Ajili ya Kujenga Ofisi ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI MHE KHALIFA SULEIMAN KHALIFA (K.n.y. MHE. SHOKA KHAMIS JUMA) aliuliza:- Kwa kuwa Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI inakabiliwa na changamoto ya ufinyu wa Ofisi; na kwa kuwa Tume hiyo imepata fedha kutoka DANIDA kwa ajili ya kujenga jengo la Ofisi lakini inakabiliwa na tatizo kubwa la upatikanaji wa kiwanja:- Je, Serikali itasaidia vipi Tume hiyo kupata kiwanja cha kujenga Ofisi? WAZIRI WA NCHI, OFISI YA WAZIRI MKUU – SERA, URATIBU NA BUNGE alijibu:- Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Shoka Khamis Juma, Mbunge wa Micheweni kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Spika, tatizo la kiwanja cha kujenga Ofisi za TACAIDS limepatiwa ufumbuzi na ofisi yangu imewaonesha Maafisa wa DANIDA kiwanja hicho Ijumaa tarehe 17 Julai, 2009. Kiwanja hicho kipo Mtaa wa Luthuli Na. 73, Dar es Salaam ama kwa lugha nyingine Makutano ya Mtaa wa Samora na Luthuli. MHE. KHALIFA SULEIMAN KHALIFA: Mheshimiwa Spika, nakushukuru. Pamoja na majibu mazuri sana ya Mheshimiwa Waziri, naomba kumuuliza swali moja la nyongeza.
    [Show full text]
  • Did They Perform? Assessing fi Ve Years of Bunge 2005-2010
    Policy Brief: TZ.11/2010E Did they perform? Assessing fi ve years of Bunge 2005-2010 1. Introducti on On July 16th 2010, following the completi on of the 20th session of the Bunge, the President of Tanzania dissolved the 9th Parliament. This event marked the end of the term for Members of Parliament who were elected during the 2005 general electi ons. Now that the last session has been completed it allows us to look back and to consider how MPs performed during their tenure. Did they parti cipate acti vely and represent their consti tuencies by asking questi ons and making interventi ons, or were they silent backbenchers? The Bunge is the Supreme Legislature of Tanzania. The Bunge grants money for running the administrati on and oversees government programs and plans. The Bunge oversees the acti ons of the Executi ve and serves as watchdog to ensure that government is accountable to its citi zens. To achieve all this, Members of Parliament pass laws, authorize taxati on and scruti nize government policies including proposal for expenditure; and debate major issues of the day. For the Bunge to eff ecti vely carry out its oversight role, acti ve parti cipati on by Members of Parliament is criti cal. MPs can be acti ve by making three kinds of interventi ons: they can ask basic questi ons, they can ask supplementary questi ons and they can make contributi ons during debates. This brief follows earlier briefs, the last of which was released in August 2010. It presents seven facts on the performance of MPs, including rati ng who were the most acti ve and least acti ve MPs.
    [Show full text]
  • Coversheet for Thesis in Sussex Research Online
    A University of Sussex DPhil thesis Available online via Sussex Research Online: http://sro.sussex.ac.uk/ This thesis is protected by copyright which belongs to the author. This thesis cannot be reproduced or quoted extensively from without first obtaining permission in writing from the Author The content must not be changed in any way or sold commercially in any format or medium without the formal permission of the Author When referring to this work, full bibliographic details including the author, title, awarding institution and date of the thesis must be given Please visit Sussex Research Online for more information and further details Accountability and Clientelism in Dominant Party Politics: The Case of a Constituency Development Fund in Tanzania Machiko Tsubura Submitted for the Degree of Doctor of Philosophy in Development Studies University of Sussex January 2014 - ii - I hereby declare that this thesis has not been and will not be submitted in whole or in part to another University for the award of any other degree. Signature: ……………………………………… - iii - UNIVERSITY OF SUSSEX MACHIKO TSUBURA DOCTOR OF PHILOSOPHY IN DEVELOPMENT STUDIES ACCOUNTABILITY AND CLIENTELISM IN DOMINANT PARTY POLITICS: THE CASE OF A CONSTITUENCY DEVELOPMENT FUND IN TANZANIA SUMMARY This thesis examines the shifting nature of accountability and clientelism in dominant party politics in Tanzania through the analysis of the introduction of a Constituency Development Fund (CDF) in 2009. A CDF is a distinctive mechanism that channels a specific portion of the government budget to the constituencies of Members of Parliament (MPs) to finance local small-scale development projects which are primarily selected by MPs.
    [Show full text]