www.annuurpapers.co.tz au facebook:[email protected] Sauti ya Waislamu Mansour awaliza Waislam ISSN 0856 - 3861 Na. 1194 DHULQAAD 1436, IJUMAA , SEPTEMBA 11-17, 2015 BEI TShs 800/=, Kshs 50/= Tanganyika si Guantanamo ya kutesa Masheikh Maalim kumrejesha Sheikh Msellem Apokewa kwa Tala' al Badru 'Alayna, Pemba Msiwape kura wasiotaka maelewano - Moyo MAALIM Seif Sharif Hamad (kushoto) na Mhe Edward Lowassa. MAELFU ya wakazi wa Zanzibar waliohudhuria mkutanao wa uzinduzi wa kampeni za Urais, Ubunge na Uwakilishi wa UKAWA ulifanyika juzi Jumatano katika Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar. Makala AN-NUUR 2 DHULQAAD 1436, IJUMAA SEPTEMBA 11-17, 2015 Mafundisho ya Qur’an-Baqara: 150 wa masanamu, kwa sababu Ukweli kwa kuelewa kwa kuwa kwake ni mja; Mjumbe Isaya (AS) zinaashiria hiyo alizuiliwa kwa kipindi maumbile yake. anayetekeleza maamrisho ya kwamba matukio yatapita maalum kuelekea katika wala Ndiyo, ilikuwa hakika ya Mwenyezi Mungu mtukufu. kama yalivyopita kwa zake upande wa Al-Kaaba ili Al-Kaaba na uhusiano na Kama ambavyo Mtume sababu baadhi ya Mayahudi aonyeshe msimamo wake wa Mtume, isipokuwa ni kwamba (s.a.w.) kutokana na kuelekea walikuwa wanasema kwa thabiti na mkazo upande wa masuala ya kumpwekesha kwake katika swala yake kujengea juu ya ishara hizo masanamu. Mwenyezi Mungu ambayo upande wa msikiti katika “Hakika Qibla cha Mtume Kwa uhakika kuna ndiyo sababu ya kupelekwa swala aliwasha nuru ya anayekuja kitakuwa Makkah uhusiano imara kati ya hakika kwake, yalikuwa na umuhimu uongofu katika nyoyo za Ama Muhammad ataacha ya Ahmad na kati ya hakika mkubwa sana katika utukufu watu wengi katika Mayahudi, kuwa anaelekea katika swala ya Al-Kaaba, na alikuwa wa Al-Kaaba na kule kuwa mifano ya Abdillah Bin Salam, zake upande wa Baytul-Almu Mtume (s.a.w.) anahisi kwake ni Qibla cha swala, na inawezekana kwamba Qaddasi” Na maneno haya kufuatana na maumbile kwa sababu hiyo alielekea sifa ya Mtume huyu ilikuwa yanatoa mwangaza juu ya yake ambayo amemuumba Mtume (s.a.w.) wakati yuko imetajwa katika vitabu vyao. baadhi ya pande za maudhui juu yake Mwenyezi Mungu Makkah katika swala zake Kwa hali yoyote ile kwa haya. tokea tangu – jambo hilo na upande wa Msikiti wa mbali hakika walikuwepo baadhi ya “Na ili niitimize neema anapenda kuelekea upande na akaendelea juu ya utaratibu Mayahudi ambao waliongoka yangu juu yenu”. [Al-Baqarah Fethullah-Gulen wa Al-Kaaba na ana shauku huo muda mwingine huko kwenye Uislamu na baada ya 150] kubwa ya jambo hilo, na Madina vile vile. miezi 16 au 17 katika kuelekea Maana: kwa hakika NA popote kuelekea huko na kufanya Ama, Mayahudi kwa huko upande wa Msikiti wa kuelekea kwenu katika swala utakapokwenda shauku kumewekwa wazi na hakika wao, walianza kudai mbali makusudiwa yalitimia upande wa Msikiti wa mbali uelekeze uso wako Qur’an tukufu: kutokana na kuwa Qibla na haukubakia mikononi mwa kulikuwa ni neema isipokuwa “upande wa Msikiti mtukufu “Kwa hakika tunaona cha Waislamu ni upande wa watu hawa ushahidi wowote neema ya asili iliyokuwa na popote mtakapokuwa kugeukageuka kwa uso wako Msikiti wa mbali – kwamba ambao wanaweza kuutumia kubwa sana ilikuwa katika elekezeni nyuso zenu kuelekea mbinguni”. [Al- wao ndiyo asili na kwamba dhidi ya Waislamu. Maana kukutana wapenzi. Maana upande wake tumefanya Baqarah 144] Waislamu wanawafuata hakukuwa ni jambo lililo kukutana kwa Mtume (s.a.w.) hivyo ili watu wasiwe na hoja Ama lengo la Mtume wao, ili wafanye kupitia katika uwezo wa Mushirikina – mwakilishi wa umma wa juu yenu, isipokuwa wale (s.a.w.) kutokana na maudhui hayo hoja kwa kusema: Kiislamu – na Al-Kaaba, na ambao wamefanya dhulma kugeuzageuza uso wake dini yao. Na lau angetaka “Nyinyi mnaelekea kutoka hapo kupanda baada miongoni mwao kwa hiyo kuelekea mbinguni, ni kutaka Mtume (s.a.w.) angekigeuza upande wa Al-Kaaba ambayo ya hapo kuelekea Sidrat msiwaogope na niogopeni kwake aweke, Mwenyezi Qibla akakielekeza kwenye imejazwa kwa masanamu Al-Mutaha ili afuzu kwa mimi, na ili niitimize neema Mungu mtukufu hukumu Al-Kaaba wakati wa kufika yetu ikiwa ni hivyo basi dini kuipata neema ya Mwenyezi yangu juu yenu na ili mpate mpya katika maudhui ya kwake tu Madina. yetu ndiyo asili”. Mungu uso kwa uso na hili kuongoka”. [Al-Baqarah kukibadilisha Qibla. Ndiyo Isipokuwa yeye hakuwa Na hakukuwezekana kwa linawezekana tu kwa kuelekea 150]. alikuwa anangojea khabari akifanya mambo kwa Mayahudi kusema: “Nyinyi upande wa Al-Kaaba. Na kutoka mbinguni. Kwa sababu matakwa yake na raghba mnaelekea kwenye Qibla cheo ni kama hivyo, atakuwa Baada ya kufika Mtume Mwenyezi Mungu mtukufu (s.a.w.) Madina na kuitukuza hiyo tunaona aya baada yake, bali alikuwa wakati chetu ikiwa ni hivyo, basi dini ametimiza neema yake na alipitisha muda wa miezi ya hapo na mwisho wake wote amefungamana na yetu ndiyo asili”. huo ni utukufu, ameuchagua 16 au 17 na hali ya kuwa inamfikishia habari njema Mwenyezi Mungu mwenye Katika mfano wa mazingira Mwenyezi Mungu kwa anaelekea katika swala zake kwa kusema: “Tutakuelekeza kufanya ikhlasi kwake katika kama haya, ilikuja amri utukufu huo umma huu upande wa Msikiti wa mbali. Qibla unachokiridhia”. [Al- kila jambo. Katika mambo ya Mwenyezi Mungu kwa ambao ameeneza juu yake Ilikuwa Al-Kaaba wakati huo Baqarah 144]. yake anangoja maamrisho kuelekea upande wa Msikiti neema zake. imejazwa masanamu (kama Jambo la wazi ni kwamba kutoka kwake, hali ya kuyapa mtukufu akauthibitisha (Imenukuliwa kutoka kawaida ya washirikina). ni vigumu kuifahamu hakika nguvu maamrisho hayo juu muungano kati ya dhati ya Kitabu: Miyangaza ya Qur’an Alipokuwa Mtume (s.a.w.) hii na haifahamu isipokuwa ya matakwa ya moyo wake Mtume (s.a.w.) na dhati ya katika mbingu ya hisia, amepelekwa kwa dini ya mtu kama Mtume (s.a.w.) kwani alikuwa ni mtu wa Al-Kaaba yenye kutukuzwa. cha Muhammad Fethullah kumpwekesha Mwenyezi ambaye alikuwa anauelewa kilele anayetazamia vipeo Kuna ishara nyingi katika Gullen kilichotafsiriwa Mungu na kutoonyesha uhusiano huu ulio imara kati vya mbali vya kibinadamu. Agano la Kale katika mambo kwa Kiswahili na Sheikh umuhimu wowote upande yake na kati ya Al-Kaaba. Isipokuwa yeye hakusahau yanayofungamana na Nabii Suleiman Amran Kilemile) Tanganyika si Guantanamo ya kutesa Masheikh Na Mwandishi Wetu ameyasema hayo katika wa mambo kwani hata yenye mamlaka kamili na wanadhalilishwa ndani ya uzinduzi wa kampeni za kwa Katiba na Sheria za Zanzibar yenye mamlaka nchi yao.” Alisema. ANGANYIKA sio kugombea urais Zanzibar sasa, Mahakama Kuu ya kamili, zikiunganishwa na Kwa upande wake Mzee Guantanamo ya kupitia chama cha CUF. Zanzibar ina hadhi sawa serikali ya muungano. Hassan Nassor Moyo kutesea Masheikh na Mkutanao huo ulifanyika na ile ya Tanganyika. “Kama mtanichagua kitu amewataka Wazanzibar Twatuhumiwa wa ugaidi. juzi Jumatano katika Akashangaa inakuwaje cha kwanza, nawaahidi wasifanye kosa kuwapa Amesema hayo Uwanja wa Demokrasia, serikali ya Zanzibar, wananchi wa Zanzibar kura watu wasiotaka mgombea urais kupitia Kibanda Maiti, Zanzibar. inayojinadi kuwa ina ni kupata serikali ya maelewano. CUF, Mheshimiwa Maalim Akitumia msemo ule Rais, kufikia mahali pa muungano yenye serikali “Nawaomba Seif Shariff Hamad. ule wa Mheshimiwa kuidharau hata Mahakama tatu… Zanzibar kuwa Wazanzibari mnaopenda Na kwa maana hiyo, Lowassa, Maalim Seif Kuu yake kiasi cha kaucha na mamlaka kamili amani, kura mtilieni atahakikisha kuwa amesema, serikali ya CCM watu wake kunyakuliwa na kurejesha rasimu ya Maalim Seif.” kanuni za Utawala Bora imeifanya Tanganyika ni kwenda kuhukumiwa na Jaji Warioba’’ amesema “Viongozi wote Zanzibar zinatumika kukomesha Guantanamo ya kutesea Mahakama za Tanganyika. Maalim. wasiotaka maelewano ‘Guantanamo’ hizo za Masheikh na akaahidi Akasisitiza kuwa Katika jumla ya mambo msiwape kura zenu.” kidhalimu. kuwa katika mambo ya Masheikh waliowekwa aliyosisitiza Maalim Seif ni Alisema na kusisitiza Maalim Seif Shariff mwanzo kufanya akiingia rumande Bara pamoja na lile la utawala Mzee Moyo huku Hamad amesisitiza jambo madarakani, ni kukomesha watarudishwa na kama bora ambapo alisema kuwa akishangiliwa kwa nguvu. hilo, ambalo limekuwa mtindo huo wa kunyakua wana tuhuma za kujibu, mtindo wa janjaweed, Akiwa Kada mkongwe likisemwa na kukaririwa Masheikh na Wazanzibari basi watafikishwa katika watu wanaovaa soksi wa CCM, Mzee Moyo na mgombea urais kupitia kwenda kuwatesa Bara. mahakama za Zanzibar. usoni kuficha nyuso zao amekuwa akisisitiza CHADEMA, Edward Hiyo ni mara ya Akasisitiza kuwa, ili wakapiga watu, mwisho kuwa huu ni wakati kwa Lowassa. kwanza kwa Maalim kuweka mambo sawa ya wao ni Oktiba 25. Wazanzibari kusahau Akasema kuwa, viongozi Seif kugusia suala la kimuungano na kuondoa Akasema, anataka yaliyopita, wafute siasa wa sasa wa serikali ya Masheikh wa Zanzibar mkanganyiko ulioko hivi kuijenga Zanzibar yenye za chuki, bali walete CCM wameiuza Zanzibar toka walipokamatwa na sasa, kama wataingia amani ambapo mwananchi maelewano ili kujenga kwa Bara hali inayopelekea kupelekwa rumande katika madarakani, watarejesha atakuwa akitembea kifua Zanzibar yenye mamlaka hata kudharauliwa kwa magereza za Bara zaidi ya Rasimu ya Katiba ya Jaji mbele bila ya hofu. kamili na maendeleo ya Mahakama Kuu ya miaka miwili sasa. Warioba ambayo ndiyo “Mambo ya watu kuvaa kweli. Zanzibar. Alisema, hilo ni yenye maoni ya wananchi. soksi usoni wanapiga watu Kwa mtizamo huo, Mgombea huyo suala jepesi, linalohitaji Na kwamba watapigania mwisho Oktoba 25, siwezi alifanya kazi kubwa wa Urais, Zanzibar, tu uzalendo na uelewa kurejea kwa Tanganyika kukubali Wazanzibari Inaendelea Uk. 3 Habari AN-NUUR 3 DHULQAAD
Details
-
File Typepdf
-
Upload Time-
-
Content LanguagesEnglish
-
Upload UserAnonymous/Not logged-in
-
File Pages20 Page
-
File Size-