Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

TOLEO 001 LA MTANDAONI OKTOBA, 2017

NDANI Uk. kuwa Mwenyeji Tamasha la 01 JAMAFEST 2019

Uk. Mhe. Juliana Shonza Naibu Waziri Mpya wa 03 Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo www.habari.go.tz Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

DAWATI LA UHARIRI

MSANIFU JARIDA Benedict J. Liwenga

WAANDISHI Lorietha Laurence Anitha Jonas Genofeva Matemu Shamimu Nyaki Eleuteri Mangi

WAANDAAJI Jarida hili limetolewa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Jengo la LAPF Mtaa wa Makole Uhindini S.L.P 25 DODOMA-TANZANIA Simu : 026-2322129 Faksi : 026-2322128 Barua Pepe:[email protected] Tovuti: www.habari.go.tz

i Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

YALIYOMO HABARI KURASA

Tanzania iko tayari kuwa Mwenyeji Tamasha la JAMAFEST 2019 ...... 1

Mhe. Juliana Shonza ateuliwa kuwa Naibu Waziri wa Habari ...... 3

Majadiliano ya Kanuni za Maudhui ya Utangazaji na Mitandao ya Kijamii ...... 5

Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Kimataifa Bagamoyo ...... 7

Mkandarasi Mpya wa Utoaji Tiketi Uwanja wa Taifa-...... 9

Tamasha la Utamaduni Tukuyu- ...... 11

Matumizi ya Kiswahili Fasaha kwa Watangazaji ...... 13

Naibu Waziri Shonza aahidi kusimamia Maadili ya Mtanzania ...... 14

Matukio mbalimbali katika Picha ...... 16

ii Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe: Tanzania iko Tayari kuwa Mwenyeji wa Tamasha la JAMAFEST 2019

mwaka 2017 ambapo wenyeji Waziri Mwakyembe aliezea Na. Benedict Liwenga kwa mwaka huu ilikuwa ni nchi kufurahishwa kwake kwa ya Uganda. kujionea ngoma mbalimbali aziri wa Habari, za kitamaduni toka kwa nchi Utamaduni, Sanaa na W Mhe. Mwakyembe alizipongeza wanachama ambazo zinaakisi Michezo. Mhe. Dkt. Harrison nchi Wanachama wa Jumuiya ya uhalisia wa utamaduni wa nchi Mwakyembe alisema kwamba, Afrika Mashariki (EAC) ambazo hizo, pia alifurahishwa na kwa Tanzania iko tayari kuwa wenyeji zilihudhuria tamasha hilo kwa kujionea bidhaa mbalimbali wa Tamasha la Utamaduni na ushirikiano wa hali ya juu katika adimu toka kwa nchi hizo, jambo Sanaa Afrika Mashariki maarufu kubadilishana uzoefu na ujuzi ambalo alisisitiza kwamba, kama JAMAFEST kwa mwaka juu ya masuala mbalimbali nchi wanachama hazinabudi 2019. yanayohusu utamaduni na kuendelea kushirikiana katika sanaa kwakuwa yameongeza kuzilinda tamaduni hizo na Kauli hiyo aliitoa Mjini Kampala mahusiano mapya ya karibu kuendelea kujifunza ujuzi nchini Uganda wakati wa baina ya nchi hizo. mbalimbali wa kazi za sanaa. Ufungaji wa Tamasha hilo kwa 1 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

nchi wanachama kujitahidi Dkt. John Pombe Magufuli. kushiriki pasipo kukosa wakiwa na bidhaa zao za kutosha huku Tamasha la JAMAFEST “Nilipotembelea Maonyesho ya akiwaahidi kuwa pindi wajapo lilianzishwa mwaka 2013 nchini Tamasha hili pale katika viwanja Tanzania watafurahia mambo Rwanda na baadhi ya Viongozi vya Kololo nilifurahi sana mengi na kujionea namna wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kujionea ngoma za kitamaduni Watanzania wanavyo chapa kazi ambapo kwa mwaka huu toka kwa vikundi mbalimbali vya kutokana na kaulimbiu ya ‘HAPA tamasha hilo limefanyika mjini nchi wanachama wa Jumuiya KAZI TU’ iliyoasisiwa na Rais wa Kampala nchini Uganda na yetu ya Afrika Mashariki, hakika Awamu ya Tano wa Jamhuri ya kwa mwaka 2019 linatarajiwa inapendeza sana, kwakweli Muungano wa Tanzania, Mhe. kufanyika nchini Tanzania. tuzidi kuzilinda tamaduni zetu na Kwakuwa mwaka 2019 ni mzunguko wa kushirikiana kwa karibu zaidi”, alisema Mhe. Mwakyembe. Tamasha kama hili niwaambie kwamba, Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji wa Akiongelea kuhusu suala la “Tamasha hili na nawakaribisheni kwa dhati Tanzania kukubali kuwa wenyeji wa Tamasha lijalo litakalofanyika kabisa mje kujionea nchi yetu na namna mwaka 2019, Dkt. Mwakyembe tunavyofanya kazi kwa bidii, lakini pia mje na alisema kwamba, Tanzania bidhaa nyingi zaidi kwa ajili ya kuwaonyesha iko tayari kuwa wenyeji katika Watanzania;- Dkt. Mwakyembe tamasha hilo lijalo na akazitaka ”

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nuru Millao (kushoto) akipatiwa maelezo na Mjasiriamali wa Kitanzania kuhusu ubora wa nguo za Batiki wakati alipotembelea mabanda ya Watanzania katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki maarufu kama JAMAFEST 2017 lililofanyika Mjini Kampala nchini Uganda mapema Septemba mwaka huu. Inaendelea Uk. 2 21 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Mhe. Juliana Shonza ateuliwa kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Habari

Na. Mwandishi Wetu ais wa Jamhuri ya Muungano wa Dini, pamoja na viongozi wa Jaffo na Waziri Ofisi ya Rais, Rwa Tanzania, Mhe. Dkt. John vyama vya siasa. Menejimenti ya Utumishi wa Pombe Magufuli aliwaapisha Umma na Utawala Bora George Mawaziri saba, Manaibu Waziri Katika hafla hiyo, Mawaziri Mkuchika. 16 wa Wizara mbalimbali pamoja walioapishwa ni pamoja na na Katibu mpya wa Bunge hivi Waziri wa Wizara ya Mifugo na Nanaibu Mawaziri walioapishwa karibuni. Uvuvi, , Wizara ni pamoja na Mhe. Juliana ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi D. Shonza ambaye ni Naibu Hafla hiyo ilifanyika Ikulu Jijini Isack Kamwelwe, Wizara ya Waziri wa Wizara ya Habari, Dar es Salaam na kuhudhuriwa Nishati Dk. Medard Kalemani, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Makamu wa Rais, Mhe.Samia Wizara ya Madini, Angellah Stella Alex Ikupa Sera wa Bunge, Suluhu Hassan, Waziri Mkuu, Kairuki, Wizara ya Maliasili Kazi, Ajira na Walemavu, William Mhe. , Mhe. Jaji na Utalii, Hamis Kigwangalla, Ole Nasha wa Wizara ya Elimu Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Wizara ya Kilimo Dk. Charles Sayansi na Teknolojia, Kangi Juma, Mhe. Spika wa Bunge Job Tizeba, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Lugola wa Ofisi ya Makamu wa Ndugai, Katibu Mkuu Kiongozi Rais, Tawala za Mikoa na Serikali Rais Mazingira na Muungano, Balozi Kijazi, Mawaziri, viongozi za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Elias John Kwandikwa wa 3 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza mara baada kumalizika kwa hafla ya kiapo Ikulu hivi karibuni Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu wa Rais, Mhe. na wa pili kulia ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa. Ujenzi, pamoja na Mhandisi pia alimuapisha Bw. Stephen Hii siyo mara ya kwanza kwa Atashasta Nditiye Naibu Waziri Kagaigai kuwa Katibu wa bunge Mhe. Rais Dkt. John Pombe wa Uchukuzi na Mawasiliano. ambaye amechukua nafasi Magufuli kufanya mabadiliko ya Dkt. Thomas D. Kashilila katika Baraza hilo tangu aingie Wengine walioapishwa ni Mawaziri na Manaibu Waziri madarakani mwaka 2015, alikuwa Dkt. Faustine. Ndugulile walioapishwa tayari wameanza kwani amekuwa akifanya Naibu Waziri Wizara ya Afya, majukumu yao mara moja baada mabadiliko madogo madogo Maendeleo ya Jamii, Jinsia, ya kumalizika kikao cha Baraza pale inapolazimu. Wazee na Watoto, Dkt. Mary la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Machuche Mwanjelwa Wizara mara baada ya kuapishwa kwao. ya Kilimo, Abdala Ulega Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Subira Mabadiliko ya Baraza la Hamis Mgalu Wizara ya Nishati, Mawaziri yameongeza idadi ya Haruni Nyongo Wizara ya Mawaziri kutoka 19 hadi 21, na Madini, Ngailonga Josephat Naibu Mawaziri kutoka 16 hadi Kashunga Wizara ya Maliasili na 21, ambapo iliyokuwa Wizara ya Utalii, Injinia Stella Manyanya Nishati na Madini imegawanywa Wizara ya Viwanda Biashara na na kuwa Wizara ya Nishati na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Uwekezaji, Josephati Kandenge Wizara ya Madini na iliyokuwa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe na George Kakunda Ofisi ya Wizara ya Kilimo, Mifugo na Magufuli akiagana na Mhe. Juliana Rais, Tawala za Mikoa na Uvuvi imegawanywa na kuwa Shonza mara baada ya kumuapisha Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Wizara ya Kilimo pamoja na kuwa Naibu Waziri wa Habari Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Utamaduni Sanaa na Michezo Ikulu, Dar es Salaam Katika hafla hiyo Rais Magufuli 4 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Majadiliano ya Kanuni za Maudhui ya Utangazaji na Mitandao ya Kijamii

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na Wamiliki, Wawakilishi wa Vyombo vya habari pamoja na watendaji mbalimbali wa Serikali katika Mkutano uliohusu majadiliano ya Kanuni za Maudhui ya Utangazaji na Mitandao ya Kijamii hivi karibu Jijini Dar es Salaam.

Na. Mwandishi Wetu Ole Gabriel amesema kuwa, na Televisheni na Kanuni za katika kufanya hivyo ni wajibu Maudhui Mtandaoni. erikali imesema kwamba, wa wadau wote kushirikiana Skasi kubwa ya maendeleo kutumia vyema maendeleo hayo “Ni wajibu wetu kama taifa ya teknolojia ya habari na ya teknolojia kwa ajili ya ustawi linalosimamia maadili na ambalo mawasiliano ambayo imeikumba wa jamii na maendeleo ya taifa. lingependa kudumisha amani na sekta ya habari inalazimu jamii mshikamano, kutunga kanuni kufanya maboresho ya mara Profesa Elisante aliyasema ambazo zitahakikisha kuwa kwa mara ya Sera na Kanuni ili hayo hivi karibuni wakati kunakuwa na matumizi mazuri, kuepusha matumizi mabaya ya akifungua Mkutano wa siku sahihi na salama ya maudhui vyombo vya habari. moja wa majadiliano miongoni ya mtandaoni”, alisema Profesa mwa wadau wa sekta ya habari Elisante. Katibu Mkuu wa Wizara ya kuhusu mapendekezo ya Kanuni Habari, Utamaduni, Sanaa za maudhui yanayorushwa na Aliwaambia washiriki wa na Michezo, Profesa Elisante vituo vya Utangazaji vya Redio mkutano huo kuwa, kuweka

5 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watendaji mbalimbali wa Wizara na Taasisi za Serikali mara baada ya kikao cha kujadili Kanuni za Maudhui ya Utangazaji na Mitandao ya Kijamii kilichofanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam. kanuni ni suala muhimu na “Ni kweli kwamba, teknolojia hii iliongeza muda wa siku saba kwa kuwakumbusha matumizi ya ina changamoto katika usimamizi wadau wa sekta ya Utangazaji mfumo wa habari mtandaoni lakini hakuna uhuru usio na na Mitandao kuwasilisha wakati mwingine umetumika mipaka. Kwa hiyo, imekuwa ni maoni yao kuboresha kanuni kupotosha jamii, kujenga chuki, wajibu wa kila nchi kutafakari zilizopendekezwa. kutoa habari za faragha za mahitaji na umuhimu wa kutoa watu binafsi au habari zilizoleta miongozo itakayosaidia jamii na Akifunga mkutano huo, Profesa sintofahamu miongoni mwa Taifa”, Alisema, Profesa Elisante. Elisante alisema kuwa, ni vyema jamii. wadau wakaitumia fursa hiyo Mapema akimkaribisha Katibu kuwasilisha maoni yao kwa Aliongeza kuwa, kufanyika kwa Mkuu, Mkurugenzi wa Idara maandishi ili kuboresha kanuni mkutano huo ni jambo muhimu ya Habari na Msemaji Mkuu hizo hatimaye Taifa kuwa na kwa kuwa washiriki watapata wa Serikali Dkt. Hassan kanuni bora kwa faida ya jamii fursa ya kujadili kanuni hizo Abassi aliwaeleza washiriki yote. ambazo baadhi zinadaiwa wa mkutano huo kwamba, kuwa zimepitwa na wakati na mkutano huo ni muhimu katika Aidha, Profesa Elisante pia haziendani na utendaji kazi historia ya maendeleo ya tasnia aliwashukuru washiriki kwa katika ushindani wa soko. ya habari nchini kwa kuwa kutoa maoni yao na kuahidi umelenga kuweka kanuni bora kuwa Serikali itayafanyia kazi Akiwa kama Mwenyekiti wa zitakazoratibu tasnia ya habari. maoni hayo. Mkutano huo, Profesa Elisante aliongeza kuwa, pamoja na “Tumeitana hapa kushauriana Alisisitiza kuwa, ni ukweli kuwa bado kumekuwepo na kuhusu kanuni hizi, hivyo hakuna kwamba, Vyombo vya habari mijadala mikali katika nchi haja ya kueneza wasiwasi kuwa vinafanya biashara na pia vina nyingi zikiwemo za Magharibi katika mitandao ya kijamii kuwa wajibu wa kuelimisha jamii, hivyo kuhusu uwekaji kanuni lakini Serikali imedhamiria kudhibiti vitu viwili havina budi kwenda ukweli unabaki kuwa nchi hizo Vyombo vya habari”, alsiema sambasamba bila kuathiri zimeweka Sheria na Kanuni Dkt. Abbassi. upande mwingine. zinazosimamia matumizi ya intaneti. Wakati huo huo, Serikali

6 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Kimataifa Bagamoyo ladhamiria kuleta tija kwa Wasanii ndani na nje ya Nchi Michezo, Mhe. Dkt. Harrison wasanii wetu na Taasisi yetu”, Mwakyembe wakati wa uzinduzi alisema Dkt. Mwakyembe. wa tamasha la 36 la Sanaa Na. Genofeva Matemu na Utamaduni la kimataifa Aidha, Mhe. Dkt. Mwakyembe Bagamoyo jana katika Taasisi aliipongeza Bodi, Menejimenti, odi ya Ushauri ya Taasisi hiyo mjini Bagomoyo. Wafanyakazi na Wanachuo wote Bya Sanaa na Utamaduni wa TaSUBa kwa kazi kubwa Bagamoyo (TaSUBa) imeagizwa “Tangu kuanzishwa kwa wanayoifanya kila mwaka ya kukaa na kufanya tathmini ya tamasha hili mwaka 1982, kuandaa na kuendesha Tamasha kina kuandaa mpango mkakati Tamasha limeendelea kuwa hilo kwa kipindi cha miongo mzuri wa namna ya kuliendesha kivutio kikubwa kwa Wasanii na mitatu na nusu mfululizo na Tamasha la Sanaa na Utamaduni wadau wa sanaa ndani na nje ya kuwataka kutembea kifua mbele ili liweze kuwa na tija zaidi kwa nchi na wananchi kwa ujumla, kwa rekodi hiyo iliyotukuka ndani wasanii na Taasisi kwa ujumla. hivyo ni vyema Bodi ya Ushauri na nje ya nchi. ya TaSUBa ikapanga mikakati Rai hiyo ilitolewa na Waziri wa yenye tija zaidi kwa maslahi ya Dkt. Mwakyembe alisema kuwa, Habari, Utamaduni, Sanaa na 7 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

lengo la Tamasha hilo ni pamoja na kutunza na kuenzi sanaa na utamaduni wa mtanzania, kutengeneza jukwaa ambalo wanafunzi wa TaSUBa wanalitumia kupima kiwango chao cha umahiri katika sanaa kwa mwaka, kukutanisha watu wa tamaduni mbalimbali kutoka sehemu tofauti Duniani ili kuonyesha utajiri wao wa sanaa na utamaduni, pamoja na kutengeneza jukwaa ambalo ni kiungo cha kujenga mahusiano ya wasanii wa ndani na nje ya nchi kupitia maonyesho ya sanaa na kubadilishana uzoefu na uwezo katika kuendeleza tasnia ya sanaa. wakiuonyesha katika na Utamaduni la Kimataifa la Kwa upande wake Mtendaji kushirikiana na taasisi hiyo katika Bagamoyo lililokuwa na kauli Mkuu wa Taasisi ya Sanaa kuendeleza na kuthamini sanaa mbiu isemayo “Sanaa na na Utamaduni Bagamoyo na utamaduni wa mtanzania. Utamaduni katika kupiga (TaSUBa) Dkt. Herbert Makoye vita madawa ya kulevya” alisema kwamba, taasisi yake Naye Chifu wa Unyanyembe lilishirikisha wasanii kutoka inajivunia mafanikio makubwa na Mwenyekiti wa Chama Kenya, Ufaransa, Uingereza, wanayoendelea kuyapata kupitia cha Machifu Tanzania, Mhe. Zimbabwe na Visiwa vya Mayyote tamasha hilo kwani kwa sasa Msagati Fundikira aliwapongeza na lilihudhuriwa na Mabalozi tamasha linajumuisha wasanii watendaji wa TaSUBa kwa kutoa mbalimbali akiwemo Balozi wa wa ndani na nje ya nchi pamoja wataalam wazuri katika fani Malawi, Balozi wa Palestina, na wanafunzi waliosoma katika ya sanaa na utamaduni kwani Balozi wa Uholanzi pamoja na taasisi hiyo miaka ya nyuma na kwa kufanya hivyo wamekua wawakilishi kutoka Ubalozi wa waliopo mafunzoni. wakiendeleza na kudumisha Zambia, Saudi Arabia, Msumbiji, utamaduni wa mtanzania kwa Japan, Ujerumani, Marekani, Dkt. Makoye aliwashukuru vizazi vya leo. India, Urusi na Angola. wakazi wa Bagamoyo kwa ushirikiano ambao wamekua Tamasha hilo la 36 la Sanaa 8 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Dkt. Harrison Mwakyembe: “Nataka Mkandarasi Mpya wa Kutoa Tiketi Uwanja wa Taifa” wakati alipotembelea Uwanja wa inasababishwa na urataibu Na. Benedict Liwenga Mpira wa Miguu wa Nangwanda mbovu wa utoaji tiketi. ili kujionea miundombinu ya aziri wa Habari, Utamaduni, uwanja huo ikiwemo baadhi Akiongea na Uongozi wa Uwanja WSanaa na Michezo, Mhe. ya changamoto zinazozikabili huo wa Nangwanda Mkoani Dkt. Harrison Mwakyembe kiwanja hicho. hapo alisema kwamba, kwakuwa alisema kwamba, pindi Uwanja sasa Uwanja wa Taifa uko katika wa Taifa Dar es Salaam Dkt. Mwakyembe alisema ukarabati, pindi utakapokamilika utakapokamilia kufanyiwa kwamba, kumekuwa na Mkandarasi mpya lazima ukarabati atahakikisha changamoto ya kutofahamika apatikane ili pindi mtu anunuapo anapatikana Mkandarasi Mpya idadi kamili ya watu tiketi yake iendane na kiti chake mwenye vigezo na ambaye wanaoingia ndani ya uwanja atakachokaa na sio vinginevyo ataleta mabadiliko hususani hali inayopelekea watu kukaa kwakuwa kwa kufanya hivyo katika utoaji tiketi kulingana na ovyo katika sehemu zisizo kutasaidia kuboresha sura za namba za viti vilivyopo ndani ya rasmi na wengine kulundikana viwanja nchini. Uwanja huo. nje ya uwanja wakati pesa za viingilio wamelipia ambapo “Napenda kusisitiza suala Kauli hiyo aliitoa Mkoani Mtwara ameweka wazi kuwa hali hiyo hili kuwa, ntahitaji apatikane

98 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Mkandarasi atakaetoa tiketi changamoto za uwanja huo katika Viongozi wa Juu wa Chama cha kulingana na siti atakayokaa Mapinduzi (CCM) ili waweze kushirikiana kwa pamoja kuona namna mtazamaji wa mpira, kwasababu ya kuzitatua baadhi ya changamoto hizo. kumekuwa na kero kubwa katika utoaji tiketi hapo mwanzo jambo Uwanja wa Nagwanda ulianzishwa miaka ya 1980 ambapo awali ambalo halileti sura nzuri kwa ulikuwa ukiitwa jina la Uwanja wa Umoja Mtwara na baadaye jamii”, alisema Dkt. Mwakyembe. kupewa jina la Uwanja wa Nagwanda lililotokana na jina la mtu maarufu wakati huo. Aliongeza kuwa, Watanzania hawanabudi kuiga mifano ya nchi nyingine ambazo zimejidhatiti “Napenda kusisitiza kuwa, nitahitaji katika masuala ya utoaji tiketi apatikane Mkandarasi atakaetoa tiketi wakati wa michezo. kulingana na siti atakayokaa mtazamaji Sambamba na hayo, Waziri wa mpira, kwasababu kumekuwa na kero Mwakyembe aliupongeza kubwa katika utoaji tiketi hapo mwanzo uongozi wa uwanja huo kwa jambo ambalo halileti sura nzuri kwa jamii” kazi kubwa wanayoifanya ya kuutunza uwanja wa Nangwanda -DKT. HARRISON MWAKYEMBE Dkt. Harrison Mwakyembe: huku akiaihidi kuzifikisha “Nataka Mkandarasi Mpya wa Kutoa Tiketi Uwanja wa Taifa”

10 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Tamasha la Utamaduni Tukuyu chachu ya kukuza na kuendeleza Utamaduni nchini sanaa yao ili waweze kujijengea Na. Eleuteri Mangi Tukuyu Mkoani Mbeya wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Ngoma jina na kutambulika ndani na nje atibu Mkuu wa Wizara ya za Jadi linaloratibiwa na Taasisi ya nchi. KHabari, Utamaduni, Sanaa ya Tulia Trust inayoongozwa na Michezo Prof. Elisante Ole na Naibu Spika wa Bunge “Vijana muendelee kuthamini Gabriel amewataka Watanzania la Jamhuri ya Muungano wa utamaduni wetu, tusiposimamia, kuenzi na kuimarisha Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kuwekeza na kuthamini utamaduni wao ili kuepukana inayojishughulisha na masuala utamaduni wetu, utamaduni wa na chamgamoto ya utamaduni ya kukuza na kuendeleza nchi za Magharibi utawachukua kutoka nchi za magharibi utamaduni nchini. vijana wetu na kuacha tunu yetu unaoletwa ukuaji wa sayansi na ya asili tangu enzi za babu zetu”, teknolojia. Prof. Elisante aliwahakikishia alisema Prof. Elisante vijana kuwa kuwekeza mahali Prof. Elisante aliitoa kauli hiyo salama, hivyo waendelee kukuza Prof. Elisante aliwahakikishia 11 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

pia waandaaji wa tamasha hilo kuwa, Serikali ipo pamoja nao na kuwataka wapanue wigo wa tamasha hilo ili liweze kuwa na matawi na kuwafikia watu wengi zaidi nchi nzima.

Akifungua tamasha hilo, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya , Mhe. Amos Makala alisema kwamba, tamasha hilo limekuwa kichocheo cha kukuza na kuendeleza utamaduni wa Mtanzania hatua inayoongeza fursa ya ajira kwa vijana mkoani Mbeya.

“Utamaduni ukitumika vizuri una Ackson alisema kuwa, tamasha Bagamoyo (TaSUBa) na mwaka fursa nyingi kwa vijana katika hilo linafanyika kwa mara ya pili huu walishapeleka vijana 27 na maeneo mbalimbali ikiwemo ambapo mwaka huu limekuwa kupatiwa ujuzi utakaowasaidia tasnia ya sanaa ambayo na wigo mpana kwa kushirikisha kufanya shughuli zao kwa tija. itawasaidia vijana kujipatia ajira vikundi vya ngoma kutoka hatua inayowasaidia kuinua maeneo mbalimbali nchini. Tamasha hilo linahusisha mikoa kipato chao na uchumi wa taifa” mbalimbali ikiwemo Mwanza, alisema Mkuu huyo wa Mkoa. Kuhusu manufaa ya tamasha Lindi, Katavi, Dodoma, Kagera, hilo, Dkt. Tulia alisema kuwa, Tanga, Mtwara, Kigoma na Kwa upande wake Mwasisi wa mwaka jana taasisi hiyo ilipeleka wenyeji mkoa wa Mbeya. Taasisi ya Tulia Trust ambaye vijana 20 kupata mafunzo pia ni Naibu Spika wa Bunge ya kitaalamu kwenye fani ya la Jamhuri ya Muungano wa sanaa na utamaduni katika Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Taasisi ya Sanaa na Utamaduni

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi ya DVD kutoka kwa Mchungaji Damian Matipa wa Kanisa la Uponyaji Mbeya Mjini yenye nyimbo za kumpongeza Naibu Spika kwa kazi anazofanya.

12 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Waandishi wa Habari na Watangazaji watakiwa kutumia Kiswahili fasaha

Na. Shamimu Nyaki Kiswahili ili kukitangaza na muda wa ukomo uliotolewa kukiendeleza kama adhma ya kumalizika kulingana na Sheria erikali imewataka Waandishi Serikali inavyosema. ya Habari ya mwaka 2016 Swa Habari na Watangazaji inavyosema. kutumia Lugha ya Kiswahili kwa “Nyie ni Mabalozi wa lugha ufasaha wanapofikisha ujumbe yetu ya Kiswahili kwa kuwa Akizungumzia Sekta ya kwa hadhira na kuzingatia mnakitumia kila siku katika Sanaa na Utamaduni, Dkt. kuwa Kiswahili ndio lugha kufikisha ujumbe kwa hadhira Mwakyembe alieleza kuwa, inayotambulisha Taifa letu. yenu, hivyo mnapaswa kukitumia Serikali inaendelea kuandaa kwa ufasaha kuleta maana Sera nzuri itakayoleta matokeo Hayo yalisemwa na Waziri wa ambayo mmeikusudia”. Alisema chanya kwa Wasanii kupitia Habari, Utamaduni, Sanaa na Dkt. Mwakyembe. kazi zao hususani suala la wizi Michezo, Mhe. Dkt. Harrison wa kazi hizo pamoja na kuwa Mwakyembe alipotembelea Aidha, amewataka waandishi na Hati Miliki ya kazi zao kwa Kituo cha Redio cha Times FM na watangazaji ambao bado kushirikiana na COSOTA. ambapo amewataka Waandishi hawakizi vigezo vya kuwa na Watangazaji kuzingatia katika tasnia hiyo kwenda Kwa upande wake Meneja Utamaduni wa nchi yetu hasa shule kuongeza elimu na ujuzi wa Vipindi wa Redio hiyo, Bw. matumizi sahihi ya lugha ya unaotakiwa katika fani hiyo kabla Amani Missana alisema kuwa, 13 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

redio hiyo inashiriki kikamilifu katika kuhamasisha Watanzania kuunga mkono Sera ya Tanzania ya Viwanda kupitia vipindi mbalimbali ikiwemo kipindi cha “Hatua Tatu” kinachorushwa kila siku za wiki asubuhi.

Hata hivyo, ameishukuru Serikali kwa ushirikiano inaowapatia katika kutekeleza wajibu wao wa kuwaelimisha na kuwaburudisha wananchi na kuahidi kuendelea kufanya hivyo kwa uzalendo bila kuvunja Sheria ya kanuni za Utangazaji na uandaaji wa vipindi vyenye kutoa mtazamo chanya kwa wananchi. Naibu Waziri Shonza aahidi kusimamia maadili ya Mtanzania Waandishi wa Habari na Watangazaji watakiwa kutumia Kiswahili fasaha

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (wa pili kushoto) akiongea na baadhi ya Viongozi wa Wizara hiyo akiwemo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kushoto) mara baada ya kuwasili ofisini mjini Dodoma. aW kwanza kulia ni aliyekuwa Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Anastazia Wambura.

14 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

Na. Eleuteri Mangi

aibu Waziri wa Habari, NUtamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza ameahidi kushirikiana na Watendaji wa Wizara, wadau pamoja na wananchi kwa ujumla kusimamia maadili ya Mtanzania ili kuendelea kuwa na taifa bora.

Mhe. Shonza aliyasema hayo wakati alipowasili katika ofisi za Wizara hiyo mapema wiki hii mjini Dodoma, ambapo alipokelewa na Waziri mwenye dhamana, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. viongozi wa Wizara pamoja na Juliana Shonza (kushoto) akipokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa watumishi wa Wizara. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Nuru Millao “Wizara hii ni muhimu sana kwa (kulia) mara baada ya kuwasili ofisini mjini Dodoma. kuwa inajenga taswira ya Taifa kupitia sekta zake ambazo ni Naye aliyekuwa Naibu Waziri Naibu Waziri nakukabidhi kijiti Habari, Utamaduni, Sanaa na wa Wizara hiyo, Mhe. Anastazia endelea na safari, endelea Michezo, hivyo nitahakikisha Wambura amempongeza Naibu kuwatumikia Watanzania kama tunashirikiana kwa karibu katika Waziri Shonza kwa kuteuliwa ambavyo ilani ya Chama Tawala kuwatumikia wananchi “, alisema kushika wadhifa huo na pia inavyoeleza”, alisema Mhe. Mhe. Shonza. amemshukuru Mhe. Rais wa Wambura. Jamhuri ya Muungano wa Aliongeza kusema kuwa, Tanzania, Dkt. John Pombe Kwa upande wake Waziri wa atahakikisha suala la maadili Magufuli kwa kumuamini Habari, Utamaduni, Sanaa na bora kwa jamii linazingatiwa ili kuwatumikia Watanzania. Michezo, Mhe. Dkt. Harrison kuendelea kujenga taifa imara Mwakyembe amemuahidi Naibu kwa kuzingatia mavazi yenye Akizungumzia utendaji kazi, Waziri Shonza ushirikiano wa heshima na nyimbo zenye Mhe. Wambura ameufananisha hali na mali katika kuwahudumia kujenga. utumishi wa umma kama wananchi kupitia sekta za chombo cha usafiri ambapo Habari, Utamaduni, Sanaa na Mhe. Shonza alisisitiza kwamba, abiria hushuka kituo mara baada Michezo. ni wajibu wetu kama watumishi wa ya kufika na dereva kuendelea “Wizara Umma kuhakikisha tunatekeleza na safari. hii ni muhimu Ilani ya Chama Tawala ambacho sana kwa kuwa inajenga kiliahidi kuwatumikia watanzania “Mhe.Waziri, viongozi wenzangu taswira ya taifa kupitia sekta zake” ili kuhakikisha kuwa, malengo ya na ndugu zangu watumishi wa -; Mhe.Shonza Serikali yanafikiwa kwa wakati. Wizara, mimi nimefika kituoni, 15 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe akishiriki matembezi ya mapambano Mhe. Juliana Shonza akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri dhidi ya Saratani ya matiti kwa wanawake yaliyofanyika hivi ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli karibuni Jijini Dar es Salaam. hivi karibuni Ikulu Jijijni Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akipokelewa na familia ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Michezo, Mhe. Juliana Shonza mara baada ya Mhandisi. James Kilaba ili kujadili Kanuni za Maudhui kumuapisha hivi karibuni Ikulu Jijijni Dar es Salaam. ya Utangazaji katika Redio na Tevelisheni, na Kanuni za Maudhui mtandaoni hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akionyesha picha Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na Wamiliki, yake iliyochorwa na Mjasiriamali aliyebobea masuala Wawakilishi wa Vyombo vya habari pamoja na watendaji ya sanaa ya uchoraji wakati alipotembelea Tamasha la mbalimbali wa Serikali katika Mkutano wa majadiliano ya Sanaa na Utamaduni la Kimataifa la 36 Bagamoyo. Kanuni za Maudhui ya Utangazaji na Mitandao ya Kijamii 16 Jijini Dar es Salaam. Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Harrison Mwakyembe (kulia) akipewa maelezo yanayohusu Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akipewa maelezo Mashujaa wa Ukombozi waliopigana vita nchini Msumbiji na Mtangazaji wa Vipindi yanayohusu namna vipindi wakati alipotembelea Makaburi ya Mashujaa hao eneo la vinavyoendeshwa ndani ya Studio ra Redio ya Naliendele Mkoani Mtwara. Times FM iliyopo Jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (aliyevaa mashuka ya Harrison Mwakyembe akiangalia ngoma ya kitamaduni toka Kimasai) akiongea na washiriki wa tamasha la Ngoma za jadi kwa Kikundi cha Sanaa na Utamaduni cha Taasisi ya Sanaa linaloratibiwa na Taasisi ya Tulia Trust leo wilayani Tukuyu na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) wakati wa Tamasha la mkoani Mbeya. Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson. Sanaa na Utamaduni Afrika Mashariki (JAMAFEST), Uganda.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na wadau mbalimbali Juliana Shonza akiongea na wadau wa Riadha Tanzania wa sekta ya Utamaduni kuhusu Tamasha ya Usiku wa wakati alipokutana nao kwa lengo la kujitambulisha na Kitendawili kilichofanyika Jijini Dar es Salaam kufahamu namna wanavyofanya kazi ikiwemo kutambua siku za hivi karibuni 17 changamoto zao hivi karibuni Jijini Dar es Salaam. www.habari.go.tz