Jarida La Wizara Ya Habari Utamaduni Sanaa Na Michezo Uk. 03 Uk. 01

Jarida La Wizara Ya Habari Utamaduni Sanaa Na Michezo Uk. 03 Uk. 01

Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo TOLEO 001 LA MTANDAONI OKTOBA, 2017 NDANI Uk. TANZANIA kuwa Mwenyeji Tamasha la 01 JAMAFEST 2019 Uk. Mhe. Juliana Shonza Naibu Waziri Mpya wa 03 Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo www.habari.go.tz Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo DAWATI LA UHARIRI MSANIFU JARIDA Benedict J. Liwenga WAANDISHI Lorietha Laurence Anitha Jonas Genofeva Matemu Shamimu Nyaki Eleuteri Mangi WAANDAAJI Jarida hili limetolewa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Jengo la LAPF Mtaa wa Makole Uhindini S.L.P 25 DODOMA-TANZANIA Simu : 026-2322129 Faksi : 026-2322128 Barua Pepe:[email protected] Tovuti: www.habari.go.tz i Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo YALIYOMO HABARI KURASA Tanzania iko tayari kuwa Mwenyeji Tamasha la JAMAFEST 2019 ..................................................1 Mhe. Juliana Shonza ateuliwa kuwa Naibu Waziri wa Habari .........................................................3 Majadiliano ya Kanuni za Maudhui ya Utangazaji na Mitandao ya Kijamii ....................................5 Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Kimataifa Bagamoyo ..............................................................7 Mkandarasi Mpya wa Utoaji Tiketi Uwanja wa Taifa-Dar es Salaam................................................9 Tamasha la Utamaduni Tukuyu-Mbeya ............................................................................................11 Matumizi ya Kiswahili Fasaha kwa Watangazaji .............................................................................13 Naibu Waziri Shonza aahidi kusimamia Maadili ya Mtanzania ......................................................14 Matukio mbalimbali katika Picha .....................................................................................................16 ii Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe: Tanzania iko Tayari kuwa Mwenyeji wa Tamasha la JAMAFEST 2019 mwaka 2017 ambapo wenyeji Waziri Mwakyembe aliezea Na. Benedict Liwenga kwa mwaka huu ilikuwa ni nchi kufurahishwa kwake kwa ya Uganda. kujionea ngoma mbalimbali aziri wa Habari, za kitamaduni toka kwa nchi Utamaduni, Sanaa na W Mhe. Mwakyembe alizipongeza wanachama ambazo zinaakisi Michezo. Mhe. Dkt. Harrison nchi Wanachama wa Jumuiya ya uhalisia wa utamaduni wa nchi Mwakyembe alisema kwamba, Afrika Mashariki (EAC) ambazo hizo, pia alifurahishwa na kwa Tanzania iko tayari kuwa wenyeji zilihudhuria tamasha hilo kwa kujionea bidhaa mbalimbali wa Tamasha la Utamaduni na ushirikiano wa hali ya juu katika adimu toka kwa nchi hizo, jambo Sanaa Afrika Mashariki maarufu kubadilishana uzoefu na ujuzi ambalo alisisitiza kwamba, kama JAMAFEST kwa mwaka juu ya masuala mbalimbali nchi wanachama hazinabudi 2019. yanayohusu utamaduni na kuendelea kushirikiana katika sanaa kwakuwa yameongeza kuzilinda tamaduni hizo na Kauli hiyo aliitoa Mjini Kampala mahusiano mapya ya karibu kuendelea kujifunza ujuzi nchini Uganda wakati wa baina ya nchi hizo. mbalimbali wa kazi za sanaa. Ufungaji wa Tamasha hilo kwa 1 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo nchi wanachama kujitahidi Dkt. John Pombe Magufuli. kushiriki pasipo kukosa wakiwa na bidhaa zao za kutosha huku Tamasha la JAMAFEST “Nilipotembelea Maonyesho ya akiwaahidi kuwa pindi wajapo lilianzishwa mwaka 2013 nchini Tamasha hili pale katika viwanja Tanzania watafurahia mambo Rwanda na baadhi ya Viongozi vya Kololo nilifurahi sana mengi na kujionea namna wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kujionea ngoma za kitamaduni Watanzania wanavyo chapa kazi ambapo kwa mwaka huu toka kwa vikundi mbalimbali vya kutokana na kaulimbiu ya ‘HAPA tamasha hilo limefanyika mjini nchi wanachama wa Jumuiya KAZI TU’ iliyoasisiwa na Rais wa Kampala nchini Uganda na yetu ya Afrika Mashariki, hakika Awamu ya Tano wa Jamhuri ya kwa mwaka 2019 linatarajiwa inapendeza sana, kwakweli Muungano wa Tanzania, Mhe. kufanyika nchini Tanzania. tuzidi kuzilinda tamaduni zetu na Kwakuwa mwaka 2019 ni mzunguko wa kushirikiana kwa karibu zaidi”, alisema Mhe. Mwakyembe. Tamasha kama hili niwaambie kwamba, Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji wa Akiongelea kuhusu suala la “Tamasha hili na nawakaribisheni kwa dhati Tanzania kukubali kuwa wenyeji wa Tamasha lijalo litakalofanyika kabisa mje kujionea nchi yetu na namna mwaka 2019, Dkt. Mwakyembe tunavyofanya kazi kwa bidii, lakini pia mje na alisema kwamba, Tanzania bidhaa nyingi zaidi kwa ajili ya kuwaonyesha iko tayari kuwa wenyeji katika Watanzania;- Dkt. Mwakyembe tamasha hilo lijalo na akazitaka ” Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nuru Millao (kushoto) akipatiwa maelezo na Mjasiriamali wa Kitanzania kuhusu ubora wa nguo za Batiki wakati alipotembelea mabanda ya Watanzania katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki maarufu kama JAMAFEST 2017 lililofanyika Mjini Kampala nchini Uganda mapema Septemba mwaka huu. Inaendelea Uk. 2 21 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza ateuliwa kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Na. Mwandishi Wetu ais wa Jamhuri ya Muungano wa Dini, pamoja na viongozi wa Jaffo na Waziri Ofisi ya Rais, Rwa Tanzania, Mhe. Dkt. John vyama vya siasa. Menejimenti ya Utumishi wa Pombe Magufuli aliwaapisha Umma na Utawala Bora George Mawaziri saba, Manaibu Waziri Katika hafla hiyo, Mawaziri Mkuchika. 16 wa Wizara mbalimbali pamoja walioapishwa ni pamoja na na Katibu mpya wa Bunge hivi Waziri wa Wizara ya Mifugo na Nanaibu Mawaziri walioapishwa karibuni. Uvuvi, Luhaga Mpina, Wizara ni pamoja na Mhe. Juliana ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi D. Shonza ambaye ni Naibu Hafla hiyo ilifanyika Ikulu Jijini Isack Kamwelwe, Wizara ya Waziri wa Wizara ya Habari, Dar es Salaam na kuhudhuriwa Nishati Dk. Medard Kalemani, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Makamu wa Rais, Mhe.Samia Wizara ya Madini, Angellah Stella Alex Ikupa Sera wa Bunge, Suluhu Hassan, Waziri Mkuu, Kairuki, Wizara ya Maliasili Kazi, Ajira na Walemavu, William Mhe. Kassim Majaliwa, Mhe. Jaji na Utalii, Hamis Kigwangalla, Ole Nasha wa Wizara ya Elimu Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Wizara ya Kilimo Dk. Charles Sayansi na Teknolojia, Kangi Juma, Mhe. Spika wa Bunge Job Tizeba, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Lugola wa Ofisi ya Makamu wa Ndugai, Katibu Mkuu Kiongozi Rais, Tawala za Mikoa na Serikali Rais Mazingira na Muungano, Balozi Kijazi, Mawaziri, viongozi za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Elias John Kwandikwa wa 3 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza mara baada kumalizika kwa hafla ya kiapo Ikulu hivi karibuni Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan na wa pili kulia ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa. Ujenzi, pamoja na Mhandisi pia alimuapisha Bw. Stephen Hii siyo mara ya kwanza kwa Atashasta Nditiye Naibu Waziri Kagaigai kuwa Katibu wa bunge Mhe. Rais Dkt. John Pombe wa Uchukuzi na Mawasiliano. ambaye amechukua nafasi Magufuli kufanya mabadiliko ya Dkt. Thomas D. Kashilila katika Baraza hilo tangu aingie Wengine walioapishwa ni Mawaziri na Manaibu Waziri madarakani mwaka 2015, alikuwa Dkt. Faustine. Ndugulile walioapishwa tayari wameanza kwani amekuwa akifanya Naibu Waziri Wizara ya Afya, majukumu yao mara moja baada mabadiliko madogo madogo Maendeleo ya Jamii, Jinsia, ya kumalizika kikao cha Baraza pale inapolazimu. Wazee na Watoto, Dkt. Mary la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Machuche Mwanjelwa Wizara mara baada ya kuapishwa kwao. ya Kilimo, Abdala Ulega Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Subira Mabadiliko ya Baraza la Hamis Mgalu Wizara ya Nishati, Mawaziri yameongeza idadi ya Haruni Nyongo Wizara ya Mawaziri kutoka 19 hadi 21, na Madini, Ngailonga Josephat Naibu Mawaziri kutoka 16 hadi Kashunga Wizara ya Maliasili na 21, ambapo iliyokuwa Wizara ya Utalii, Injinia Stella Manyanya Nishati na Madini imegawanywa Wizara ya Viwanda Biashara na na kuwa Wizara ya Nishati na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Uwekezaji, Josephati Kandenge Wizara ya Madini na iliyokuwa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe na George Kakunda Ofisi ya Wizara ya Kilimo, Mifugo na Magufuli akiagana na Mhe. Juliana Rais, Tawala za Mikoa na Uvuvi imegawanywa na kuwa Shonza mara baada ya kumuapisha Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Wizara ya Kilimo pamoja na kuwa Naibu Waziri wa Habari Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Utamaduni Sanaa na Michezo Ikulu, Dar es Salaam Katika hafla hiyo Rais Magufuli 4 Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Majadiliano ya Kanuni za Maudhui ya Utangazaji na Mitandao ya Kijamii Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na Wamiliki, Wawakilishi wa Vyombo vya habari pamoja na watendaji mbalimbali wa Serikali katika Mkutano uliohusu majadiliano ya Kanuni za Maudhui ya Utangazaji na Mitandao ya Kijamii hivi karibu Jijini Dar es Salaam. Na. Mwandishi Wetu Ole Gabriel amesema kuwa, na Televisheni na Kanuni za katika kufanya hivyo ni wajibu Maudhui Mtandaoni. erikali imesema kwamba, wa wadau wote kushirikiana Skasi kubwa ya maendeleo kutumia vyema maendeleo hayo “Ni wajibu wetu kama taifa ya teknolojia ya habari na ya teknolojia kwa ajili ya ustawi linalosimamia maadili na ambalo mawasiliano ambayo imeikumba wa jamii na maendeleo ya taifa. lingependa kudumisha amani na sekta ya habari inalazimu jamii mshikamano, kutunga kanuni kufanya maboresho ya mara Profesa Elisante aliyasema ambazo zitahakikisha

View Full Text

Details

  • File Type
    pdf
  • Upload Time
    -
  • Content Languages
    English
  • Upload User
    Anonymous/Not logged-in
  • File Pages
    21 Page
  • File Size
    -

Download

Channel Download Status
Express Download Enable

Copyright

We respect the copyrights and intellectual property rights of all users. All uploaded documents are either original works of the uploader or authorized works of the rightful owners.

  • Not to be reproduced or distributed without explicit permission.
  • Not used for commercial purposes outside of approved use cases.
  • Not used to infringe on the rights of the original creators.
  • If you believe any content infringes your copyright, please contact us immediately.

Support

For help with questions, suggestions, or problems, please contact us