Kamati Ya Uangalizi Wa Uchaguzi Tanzania Temco

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Kamati Ya Uangalizi Wa Uchaguzi Tanzania Temco KAMATI YA UANGALIZI WA UCHAGUZI TANZANIA TEMCO RIPOTI YA WATAZAMAJI WA UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA, 2015 MAY 2016 YALIYOMO YALIYOMO .......................................................................................................... I ORODHA YA MAJEDWALI .............................................................................. VI ORODHA YA VIELELEZO ............................................................................. VIII ORODHA YA VIAMBATANISHO ...................................................................... IX VIFUPISHO ......................................................................................................... X CHAPTER 1 MFUMO WA TEMCO WA UTAZAMAJI WA UCHAGUZI ............... 1 1.1 Usuli na Muktadha ............................................................................................................................ 1 1.2 Dira na Malengo ............................................................................................................................... 1 1.3 Upeo katika Utazamaji wa Chaguzi .................................................................................................. 2 1.4 Faida Zitokanazo na Utazamaji wa Chaguzi na Vigezo vyaTathmini .............................................. 4 1.5 Mfumo wa Utazamaji wa Uchaguzi Mkuu ....................................................................................... 5 1.6 Mpango wa Mgawanyo wa Vituo na Waangalizi ............................................................................. 9 1.7 Ripoti za Awali kuhusu Michakato ya Chaguzi .............................................................................. 10 1.8 Mbinu za Ukusanyaji wa Taarifa kuhusu Mwenendo wa Uchaguzi ............................................... 12 1.8.1 Utazamaji wa Kina katika Maeneo ya Uchaguzi ......................................................................... 12 1.8.2 Mahojiano .................................................................................................................................... 12 1.8.3 Mapitio na Marejeo ya Nyaraka Muhimu .................................................................................... 12 1.8.4 Matumizi ya TEHAMA ............................................................................................................... 13 1.8.5 Mitando ya Ushikiano na Mahusiano .......................................................................................... 16 1.9 Vigezo katika Kutathmini Chaguzi ................................................................................................. 18 1.10 Mtiririko na Maudhui ya Ripoti .................................................................................................... 19 1.11 Shukrani ........................................................................................................................................ 21 CHAPTER 2 MAZINGIRA YA KISIASA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU ......... 2 4 2.1 Utangulizi ........................................................................................................................................ 24 2.2 Serikali ya Umoja wa Kitaifa na Siasa za Uchaguzi Zanzibar ........................................................ 24 2.3 Utendaji wa Serikali ya Awamu ya Nne (2005-2015) .................................................................... 26 2.4 Chaguzi Ndogo na Chaguzi Ngazi Msingi 2014............................................................................. 31 2.5 Mchakato wa Katiba Mpya ............................................................................................................. 32 2.6 Migogoro na Makundi ya Ndani ya Vyama vya Siasa ................................................................... 36 2.7 Hali ya Uhodhi wa Chama Tawala Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 ........................................ 42 2.8 Hitimisho......................................................................................................................................... 42 CHAPTER 3 MIFUMO YA KISHERIA NA KITAASISI KWA UCHAGUZI WA MWAKA 2015 ..................................................................................................... 44 3.1 Utangulizi ........................................................................................................................................ 44 3.2 Mifumo ya Kisheria kwa Uchaguzi wa Mwaka 2015 ..................................................................... 44 3.2.1 Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ............................................................................ 44 3.2.2 Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ........................................................................................................ 45 3.2.3 Sheria ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa .................................................................................... 45 3.2.4 Sheria ya Gharama za Uchaguzi .................................................................................................. 46 3.2.5 Sheria ya Vyama vya Siasa .......................................................................................................... 46 3.2.6 Katiba ya Zanzibar ....................................................................................................................... 46 3.2.7 Athari za Mfumo wa Kisheria katika Uchaguzi wa Mwaka 2015 ............................................... 48 3.3 Vyombo vya Kusimamia Uchaguzi ................................................................................................ 49 3.3.1 Tume ya Taifa ya Uchaguzi ......................................................................................................... 49 3.3.2 Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ................................................................................................... 53 3.4 Uhuru wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ................................... 55 3.5 Uhusiano kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ........................ 55 i 3.6 Uwekaji wa Mipaka ya Majimbo ya Uchaguzi ............................................................................... 56 3.7 Kulinda Kura na Shauri la “Mita 200” ............................................................................................ 57 3.8 Hitimisho na Mapendekezo ............................................................................................................ 58 3.8.1 Hitimisho...................................................................................................................................... 58 3.8.2 Mapendekezo ............................................................................................................................... 58 CHAPTER 4 UANDIKISHAJI WA WAPIGAKURA ............................................. 60 4.1 Utangulizi ........................................................................................................................................ 60 4.2 Uhalali wa Kuanzishwa kwa Teknolojia ya BVR........................................................................... 60 4.3 Mifumo ya Kitaasisi na Kisheria iliyoongoza Uandikishaji wa Wapigakura ................................. 62 4.4 Menejimenti ya Mchakato wa BVR ................................................................................................ 63 4.4.1 Rasilimali Watu ........................................................................................................................... 63 4.4.2 Utoshelevu wa Fedha, Vituo vya Uandikishaji na Vifaa vya BVR ............................................. 66 4.5 Elimu ya Mpigakura Wakati wa Uandikishaji ................................................................................ 72 4.6 Ukiukwaji wa Taratibu, Changamoto na Hatua Zilizochukuliwa ................................................... 73 4.6.1 Uandikishaji wa Wahamiaji Haramu na Wageni ......................................................................... 73 4.6.2 Utambuzi wa Alama za Vidole .................................................................................................... 74 4.6.3 Misururu Mirefu katika Vituo vya Kuandikisha Wapigakura ..................................................... 75 4.6.4 Malipo Haba kwa Waandikishaji wa Wapigakura ....................................................................... 75 4.6.5 Uwezo Mdogo wa Waandishi ...................................................................................................... 76 4.7 Makadirio na Idadi Halisi ya Walioandikishwa Kupiga Kura ........................................................ 76 4.8 Tathmini ya Jumla ya Zoezi la Uandikishaji Wapigakura .............................................................. 77 4.9 Hitimisho na Mapendekezo ............................................................................................................ 78 4.9.1 Hitimisho...................................................................................................................................... 78 4.9.2 Mapendekezo ............................................................................................................................... 79 CHAPTER 5 UTEUZI WA WAGOMBEA ............................................................. 80 5.1 Utangulizi ........................................................................................................................................ 80 5.2 Muktadha wa Kisheria na Utaratibu wa Vyama kufanya Uteuzi .................................................... 80 5.3 Uteuzi Ndani
Recommended publications
  • Hotuba Ya Mgeni Rasmi Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) Waziri Mkuu Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Katika Ufunguzi Wa Mkuta
    HOTUBA YA MGENI RASMI MHE. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB) WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO WA MWAKA WA WADAU WA LISHE, SEPTEMBA 10, 2019 Mheshimiwa Jenista Mhagama (Mb), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Mheshimiwa Ummy Mwalimu (Mb), Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Suleiman Jafo (Mb), Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI. Mheshimiwa Prof. Joyce Ndalichako (Mb), Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango (Mb), Waziri wa Fedha na Mipango. Mheshimiwa Japhet Hasunga (Mb), Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa Luhaga Mpina (Mb), Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mheshimiwa Innocent Bashungwa (Mb), Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Mheshimiwa Prof. Makame Mbarawa (Mb), Waziri wa Maji na Umwagiliaji. Mheshimiwa Doto Biteko (Mb), Waziri wa Madini, Waheshimiwa Manaibu Waziri na Makatibu Wakuu, Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Bilinith Mahenge; pamoja na viongozi wengine wa ngazi za Mkoa na Halmashauri mliopo, Waheshimiwa Wabunge na viongozi wa Vyama vya Siasa, Waheshimiwa Mabalozi wanaoziwakilisha nchi mbalimbali, Ndugu Viongozi waandamizi wa Idara, Taasisi, Wakala za Serikali, Wakuu wa Vyuo vya Elimu ya Juu, Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa, Wadau wa Maendeleo na Asasi za Kiraia, 1 Ndugu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, Ndugu Wageni Waalikwa, Waandishi wa habari na wadau wote wa Lishe, Mabibi na Mabwana. Habari za asubuhi Kwa mara nyingine tena nina furaha kubwa sana kujumuika na wadau wa lishe siku hii ya leo. Hii ni mara yangu ya tatu kuhudhuria mkutano wa mwaka wa wadau wa lishe nchini na hivyo nahisi kuwa mwanafamilia wa wadau waliohamasika katika masuala ya lishe.
    [Show full text]
  • Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Bunge La Tanzania
    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA KUMI NA SITA NA KUMI NA SABA YATOKANAYO NA KIKAO CHA KUMI NA NNE (DAILY SUMMARY RECORD OF PROCEEDINGS) 21 NOVEMBA, 2014 MKUTANO WA KUMI NA SITA NA KUMI SABA KIKAO CHA KUMI NA NNE – 21 NOVEMBA, 2014 I. DUA Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu alisoma Dua saa 3.00 Asubuhi na kuliongoza Bunge. MAKATIBU MEZANI – i. Ndg. Asia Minja ii. Ndg. Joshua Chamwela II. MASWALI: Maswali yafuatayo yaliulizwa na wabunge:- 1. OFISI YA WAZIRI MKUU Swali Na. 161 – Mhe. Betty Eliezer Machangu [KNY: Mhe. Dkt. Cyril Chami] Nyongeza i. Mhe. Betty E. Machangu, mb ii. Mhe. Michael Lekule Laizer, mb iii. Mhe. Prof. Peter Msolla, mb Swali Na. 162 - Mhe. Richard Mganga Ndassa, mb Nyongeza (i) Mhe Richard Mganga Ndassa, mb Swali Na. 163 - Mhe. Anne Kilango Malecela, mb Nyongeza : i. Mhe. Anne Kilango Malecela, mb ii. Mhe. John John Mnyika, mb iii. Mhe. Mariam Nassor Kisangi iv. Mhe. Iddi Mohammed Azzan, mb 2 2. OFISI YA RAIS (UTUMISHI) Swali Na. 164 – Mhe. Ritta Enespher Kabati, mb Nyongeza i. Mhe. Ritta Enespher Kabati, mb ii. Mhe. Vita Rashid Kawawa, mb iii. Mhe. Mch. Reter Msingwa, mb 3. WIZARA YA UJENZI Swali Na. 165 – Mhe. Betty Eliezer Machangu, mb Nyongeza :- i. Mhe. Betty Eliezer Machangu, mb ii. Mhe. Halima James Mdee, mb iii. Mhe. Maryam Salum Msabaha, mb Swali Na. 166 – Mhe. Peter Simon Msingwa [KNY: Mhe. Joseph O. Mbilinyi] Nyongeza :- i. Mhe. Peter Simon Msigwa, Mb ii. Mhe. Assumpter Nshunju Mshama, Mb iii. Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa 4.
    [Show full text]
  • Cabo Ligado Mediafax
    OBSERVATORY CONFLICT CONFLICT CABO LIGADO 14 May 2021 Cabo Ligado Monthly: April 2021 Cabo Ligado — or ‘connected cape’ — is a Mozambique conflict observatory launched by ACLED, Zitamar News, and Mediafax. VITAL STATS • ACLED records 20 organized political violence events in April, resulting in 45 reported fatalities • The vast majority of incidents and fatalities recorded took place in Palma district, where the contest for control of Palma town and outlying areas continued throughout the month • Other events took place in Pemba, Macomia, and Muidumbe districts VITAL TRENDS • Over a month after the initial insurgent attack on Palma town on 24 March, the area around the town is still under threat from insurgents, with clashes reported on 30 April and into May • Attacks on the Macomia coast also continued in May, targeting fishermen pursuing their livelihoods in the area IN THIS REPORT • Analysis of the Tanzania’s role in the Cabo Delgado conflict in the wake of late President John Pombe Magufuli’s death and Samia Suluhu Hassan’s ascension to the Tanzanian presidency Evaluation of child vulnerability in Cabo Delgado following the first confirmed sightings of children under arms in insurgent operations. • Update on international involvement in the Cabo Delgado conflict with a focus on the proposed Southern African Development Community intervention that leaked in April APRIL SITUATION SUMMARY April 2021 was a relatively quiet month in the Cabo Delgado conflict, as both sides appeared to pause to evaluate their positions following the insurgent occupation of Palma town that ran from 24 March to 4 April. From the government’s perspective, the occupation was a disaster.
    [Show full text]
  • New Unified Platform for Settling Work Disputes Soon: Labour Ministry
    1996 - 2021 SILVER JUBILEE YEAR Qatari banks Bottas takes pole see in asset for Portuguese growth: GP and denies KPMG Hamilton 100th Business | 13 Sport | 20 SUNDAY 2 MAY 2021 20 RAMADAN - 1442 VOLUME 26 NUMBER 8610 www.thepeninsula.qa 2 RIYALS International Workers’ Day this year coincides with the New unified platform for settling start of the implementation of the new and pioneering legislation that has strengthened the work environment that attracts workers, especially the work disputes soon: Labour Ministry legislations that facilitate the movement of workers QNA — DOHA International Workers’ Day is a workers. He said that the Min- in the national plan for vacci- between different employers and the non- tribute to all workers due to the istry is working in this regard nation against coronavirus and discriminatory minimum wage law for workers and The Ministry of Administrative interest they receive as partners to implement modern legis- the intensive efforts made by domestic workers. Development, Labour and in the development renaissance lation in accordance with the the state to provide free vacci- Social Affairs has announced in the State of Qatar, expressing highest standards through con- nation for all categories of H E Yousef bin Mohammed Al Othman Fakhroo the establishment of a unified deep gratitude and appreciation tinuous cooperation and coor- workers, he said. platform for complaints and to the workers who have helped dination with representatives He affirmed that the State disputes in the coming days. and continue to contribute to of employers and workers and will continue implementing The platform will allow the achievement of compre- various local and international measures to respond to the eco- employees and workers who hensive development.
    [Show full text]
  • Tanzanian State
    THE PRICE WE PAY TARGETED FOR DISSENT BY THE TANZANIAN STATE Amnesty International is a global movement of more than 7 million people who campaign for a world where human rights are enjoyed by all. Our vision is for every person to enjoy all the rights enshrined in the Universal Declaration of Human Rights and other international human rights standards. We are independent of any government, political ideology, economic interest or religion and are funded mainly by our membership and public donations. © Amnesty International 2019 Except where otherwise noted, content in this document is licensed under a Creative Commons Cover photo: © Amnesty International (Illustration: Victor Ndula) (attribution, non-commercial, no derivatives, international 4.0) licence. https://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/4.0/legalcode For more information please visit the permissions page on our website: www.amnesty.org Where material is attributed to a copyright owner other than Amnesty International this material is not subject to the Creative Commons licence. First published in 2019 by Amnesty International Ltd Peter Benenson House, 1 Easton Street London WC1X 0DW, UK Index: AFR 56/0301/2019 Original language: English amnesty.org CONTENTS EXECUTIVE SUMMARY 6 METHODOLOGY 8 1. BACKGROUND 9 2. REPRESSION OF FREEDOM OF EXPRESSION AND INFORMATION 11 2.1 REPRESSIVE MEDIA LAW 11 2.2 FAILURE TO IMPLEMENT EAST AFRICAN COURT OF JUSTICE RULINGS 17 2.3 CURBING ONLINE EXPRESSION, CRIMINALIZATION AND ARBITRARY REGULATION 18 2.3.1 ENFORCEMENT OF THE CYBERCRIMES ACT 20 2.3.2 REGULATING BLOGGING 21 2.3.3 CYBERCAFÉ SURVEILLANCE 22 3. EXCESSIVE INTERFERENCE WITH FACT-CHECKING OFFICIAL STATISTICS 25 4.
    [Show full text]
  • And National Economy
    NORDIC WEEK UNITED REPUBLIC OF TANZANIA VICE PRESIDENT’S OFFICE ENVIRONMENT WEEK HIGH LEVEL SYMPOSIUM ON CLIMATE CHANGE, ENVIRONMENT AND NATIONAL ECONOMY 1 June, 2018 H.E. The Vice President of the Republic of Tanzania, Hon. Samia Suluhu Hassan planting a tree in a natural forest reserve established by the late Father of the Nation Mwl. Julius Kambarage Nyerere. This tree planting ceremony happened during the climax of the World Environment Day nationally commemortated in Butiama, 2017. HIGH LEVEL SYMPOSIUM ON CLIMATE CHANGE, ENVIRONMENT AND NATIONAL ECONOMY STATEMENT OF THE MINISTER OF STATE, UNION AFFAIRS AND ENVIRONMENT On 5th of June 2018, Tanzania will join other countries in the world to mark the World Environment Day (WED). This day was officiated in the first United Nations meeting on environment in Sweden in 1972, where a resolution was passed to mark it as World Environment Day to be globally celebrated each year. This year, the celebrations are being observed at the international level in New Delhi, India guided by the global theme “Beat Plastic Pollution”. The theme aims at promoting initiatives to discourage environmental degradation and pollution caused by plastic waste and plastic by-products. At the National Level, we mark WED in Dar es Salaam where city residents and all Tanzanian will have the opportunity to be informed and sensitized on how to combat the environmental challenges that impact Dar es Salaam and the country in general resulting into catastrophes particularly floods; pollution; coastline erosion along the Indian ocean coast and destruction of marine environment; and forest degradation due to the ever increasing consumption of charcoal particularly by residents in urban centres.
    [Show full text]
  • Online Document)
    NAKALA YA MTANDAO (ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA KUMI NA NANE Kikao cha Sita – Tarehe 4 Februari, 2020 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Mwenyekiti (Mhe. Najma Murtaza Giga) Alisoma Dua MWENYEKITI: Waheshimiwa tukae. Katibu tunaendelea Waheshimiwa Wabunge na Mkutano wetu wa Kumi na Nane, kikao cha leo ni kikao cha tano, Katibu NDG. RAMADHANI ISSA ABDALLAH – KATIBU MEZANI: HATI ZA KUWASILISHA MEZANI Hati Zifuatazi Ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA NCHI, OFISI YA WAZIRI MKUU, SERA, BUNGE, KAZI, AJIRA, VIJANA NA WENYE ULEMAVU: Taarifa ya Matoleo ya Gazeti la Serikali pamoja na Nyongeza zake yaliyochapishwa tangu Mkutano wa Bunge uliopita kama ifuatavyo:- (i) Toleo Namba 46 la tarehe 8 Novemba, 2019 (ii) Toleo Namba 47 la tarehe 15 Novemba, 2019 (iii) Toleo Namba 48 la tarehe 22 Novemba, 2019 (iv) Toleo Namba 49 la tarehe 29 Novemba, 2019 (v) Toleo Namba 51 la tarehe 13 Desemba, 2019 (vi) Toleo Namba 52 la tarehe 20 Desemba, 2019 (vii) Toleo Namba 53 la tarehe 27 Desemba, 2019 (viii) Toleo Namba 1 la tarehe 3 Januari, 2020 (ix) Toleo Namba 2 la terehe 10 Januari, 2020 (x) Toleo Namba 3 la tarehe 17 Januari, 2020 (xi) Toleo Namba 4 la terehe 24 Januari, 2020 MHE. JASSON S. RWEIKIZA – MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA: Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za MItaa kuhuus shughuli za Kamati hii kwa Mwaka 2019. MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA – MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE KATIBA NA SHERIA: Taarifa ya Kmaati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria kuhusu shughuli zilizotekelezwa na Kamati hiyo kwa kipindi cha kuanzia Februari, 2019 hadi Januari, 2020.
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge ______
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE _________________ MKUTANO WA KUMI NA NANE Kikao cha Kumi na Tatu – Tarehe 10 Februari, 2010 (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI (MHE. OMAR YUSSUF MZEE): Taarifa ya Mwaka na Hesabu za Benki ya Posta Tanzania, kwa Mwaka 2008 [The Annual Report and Accounts of The Tanzania Postal Bank for the Year 2008]. The Mid-Term Review of the Monetary Policy Statement of The Bank of Tanzania for the Year 2009/2010. MWENYEKITI WA KAMATI YA NISHATI NA MADINI: Taarifa ya Kamati ya Nishati na Madini juu ya Taarifa ya Serikali Kuhusu Ubinafsishwaji wa Mgodi wa Kiwira. Taarifa ya Kamati ya Nishati na Madini Kuhusu Taarifa ya Serikali ya Utekelezaji wa Azimio la Bunge Kuhusu Mchakato wa Zabuni ya Kuzalisha Umeme wa Dharura Ulioipa Ushindi Kampuni ya Richmond Development Company LLC. Houston Texas - Marekani Mwaka 2006. MWENYEKITI WA KAMATI YA MIUNDOMBINU: Taarifa ya Kamati ya Miundombinu Kuhusu Taarifa ya Serikali ya Utekelzaji wa Azimio la Bunge Kuhusu Uendeshaji Usioridhisha wa Shirika la Reli Tanzania uliofanywa na Kampuni ya RITES ya India. 1 Taarifa ya Kamati ya Miundombinu Kuhusu Taarifa ya Serikali ya Utekelezaji wa Azimio la Bunge Kuhusu Utendaji wa Kazi Usioridhisha wa Kampuni ya TICTS. MASWALI NA MAJIBU Na. 145 Usimamizi wa Ukaguzi wa Fedha za Halmashauri MHE. HERBERT J. MNTANGI aliuliza:- Kwa kuwa, kiasi cha fedha kinachopelekwa katika Halmashauri za Wilaya, Manispaa na Jiji ni kikubwa na kinahitaji usimamizi wa ziada:- Kwa kuwa kitengo cha ukaguzi wa ndani kipo chini ya Mkurugenzi Mtendaji.
    [Show full text]
  • MAJADILIANO YA BUNGE ___MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao Cha Thelathini Na Sita
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA _________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Thelathini na Sita – Tarehe 27 Mei, 2019 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, nawaomba tukae. Waheshimiwa Wabunge tunaendelea na Mkutano wetu wa 15, leo ni Kikao cha 36. Katibu! NDG. STEPHEN KAGAIGAI – KATIBU WA BUNGE: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA NISHATI: Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2019/2020. NAIBU WAZIRI WA MADINI: Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2019/2020. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) MHE. CATHERINE V. MAGIGE - K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI) Taarifa ya Kamati ya Nishati na Madini Kuhusu utekelezaji na Majukumu ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020. MHE. TUNZA I. MALAPO - K.n.y. MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU WIZARA YA MADINI: Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni juu ya Wizara ya Madini kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020. SPIKA: Ahsante sana Mheshimiwa Tunza Malapo, tunakushukuru. Katibu! NDG. STEPHEN KAGAIGAI – KATIBU WA BUNGE: MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Tunaanza na TAMISEMI, swali la kwanza litaulizwa na Mheshimiwa Azza Hilal, Mbunge wa Viti Maalum - Shinyanga.
    [Show full text]
  • MKUTANO WA TATU Kikao Cha Hamsini Na Sita
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Hamsini na Sita – Tarehe 22 Juni, 2021 (Bunge Lilianza saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, naomba tukae. Waheshimiwa tunaendelea na Mkutano wetu wa Tatu, leo ni Kikao cha Hamsini na Sita na kabla hatujaendelea nitumie nafasi hii kuwashukuru sana wasaidizi wangu wote wakiongozwa na Mheshimiwa Naibu Spika, Mheshimiwa David Kihenzile, Mheshimiwa Zungu na Mheshimiwa Najma kwa kazi nzuri ambayo wameifanya wiki nzima kutuendeshea mjadala wetu wa bajeti. (Makofi) Sasa leo hapa ndio siku ya maamuzi ambayo kila Mbunge anapaswa kuwa humu ndani, kwa Mbunge ambaye Spika hana taarifa yake na hatapiga kura hapa leo hilo la kwake yeye. (Makofi) Katibu. NDG. NENELWA MWIHAMBI – KATIBU WA BUNGE: MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Maswali na tunaanza na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, swali la Mheshimiwa Deus Clement Sangu, Mbunge wa Kwela. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) Na. 465 Ujenzi wa Makao Makuu ya Halmashauri Katika Mji wa Laela MHE. DEUS C. SANGU aliuliza:- Je, ni lini Serikali itakamilisha ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Halmashauri ya Sumbawanga katika Mji wa Laela baada ya agizo la Serikali la kuhamisha Makao Makuu? SPIKA: Majibu ya swali hilo muhimu la watu wa Kwela, Mheshimiwa Naibu Waziri - TAMISEMI, Mheshimiwa Dkt. Festo Dugange tafadhali. NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (MHE. DKT. FESTO J. DUGANGE) alijibu:- Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -TAMISEMI, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Deus Clement Sangu, Mbunge wa Jimbo la Kwela kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Spika, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga ni miongoni mwa Halmashauri 30 zilizohamia kwenye maeneo mapya ya utawala mwaka 2019.
    [Show full text]
  • Tarehe 4 Februari, 2013
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE _____________ MKUTANO WA KUMI Kikao cha Tano – Tarehe 4 Februari, 2013 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) DUA Naibu Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua MASWALI NA MAJIBU Na. 53 Hospitali ya Wilaya ya Nyang’hwale Kupatiwa Watumishi MHE. JOSEPHINE T. CHAGULLA aliuliza:- Hospitali ya Karumwa ambayo ni ya Wilaya mpya ya Nyang’hwale haina watumishi wa kutosha kwani ina daktari mmoja, Manesi watatu na mtaalam mmoja wa Maabara:- Je, Serikali ina mpango gani wa kupeleka watumishi wa kutosha katika hospitali hiyo? 1 NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (ELIMU) alijibu:- Mheshimiwa Naibu Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Josephine Tabitha Chagulla, Mbunge wa Viti Maalum, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Naibu Spika, ni kweli kwamba Kituo cha Afya, Karumwa kilichoko katika Wilaya mpya ya Nyang’hwale kina Daktari mmoja, Manesi watatu na Mtaalam mmoja wa maabara. Kutokana na tatizo la upungufu wa watumishi wa sekta ya afya kuwepo katika hospitali, vituo vya afya na Zahanati zote nchini kikiwemo kituo cha afya Karumwa, Serikali imechukua jitihada za makusudi kuhakikisha kuwa udhahili wa wanafunzi wanaojiunga na fani za Udaktari na Uuguzi unaongezeka katika vyuo vikuu na vyuo vya ngazi ya Diploma na cheti. Aidha, Serikali imerejesha kada za chini za afya zilizokuwa zimefutwa. Mheshimiwa Naibu Spika, pamoja na jitihada hizo, hivi sasa Serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inawapanga wahitimu wa fani za afya moja kwa moja katika vituo vya kazi baada ya kibali kutolewa na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
    [Show full text]
  • Tanzania Human Rights Report 2008
    Legal and Human Rights Centre Tanzania Human Rights Report 2008: Progress through Human Rights Funded By; Embassy of Finland Embassy of Norway Embassy of Sweden Ford Foundation Oxfam-Novib Trocaire Foundation for Civil Society i Tanzania Human Rights Report 2008 Editorial Board Francis Kiwanga (Adv.) Helen Kijo-Bisimba Prof. Chris Maina Peter Richard Shilamba Harold Sungusia Rodrick Maro Felista Mauya Researchers Godfrey Mpandikizi Stephen Axwesso Laetitia Petro Writers Clarence Kipobota Sarah Louw Publisher Legal and Human Rights Centre LHRC, April 2009 ISBN: 978-9987-432-74-5 ii Acknowledgements We would like to recognize the immense contribution of several individuals, institutions, governmental departments, and non-governmental organisations. The information they provided to us was invaluable to the preparation of this report. We are also grateful for the great work done by LHRC employees Laetitia Petro, Richard Shilamba, Godfrey Mpandikizi, Stephen Axwesso, Mashauri Jeremiah, Ally Mwashongo, Abuu Adballah and Charles Luther who facilitated the distribution, collection and analysis of information gathered from different areas of Tanzania. Our 131 field human rights monitors and paralegals also played an important role in preparing this report by providing us with current information about the human rights’ situation at the grass roots’ level. We greatly appreciate the assistance we received from the members of the editorial board, who are: Helen Kijo-Bisimba, Francis Kiwanga, Rodrick Maro, Felista Mauya, Professor Chris Maina Peter, and Harold Sungusia for their invaluable input on the content and form of this report. Their contributions helped us to create a better report. We would like to recognize the financial support we received from various partners to prepare and publish this report.
    [Show full text]