Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb.Na.EA.7/96/01/L/7 31 Desemba, 2020 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Chuo kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), The Institute of Judicial Administration (IJA), Chuo cha Maji (WI) The Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) , Chuo cha Bahari (DMI) na Shinyanga Urban Water Supply and Sewage Authority (SHUWASA) anapenda kuwataarifu waombaji kazi waliotuma maombi ya kujaza nafasi wazi za Taasisi hizo, kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 08 – 30 Januari, 2021 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- i. Usaili utafanyika kuanzia tarehe 08 - 30 Januari, 2021 kama ilivyoainishwa kwenye tangazo hili; ii. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa barakoa; iii. Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; iv. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria; v. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada nakuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji; 1 vi. Wasailiwa watakaowasilisha “Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati za matokeo za kidato cha IV na VI (form IV and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI; vii. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi; viii. Kila Msailiwa azingatie tarehe na mahali alipopangiwa kufanyia usaili; ix. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU na NECTA); x. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo, hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika; xi. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao halisi vya usajili pamoja na leseni za kufanyia kazi; na xii. Wasailiwa wote wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili. RATIBA YA USAILI TAREHE TAREHE YA TAREHE YA MAHALI PA MAHALI PA MAHALI PA YA USAILI USAILI WA NA TAASISI KADA USAILI WA USAILI WA USAILI WA USAILI WA WA ANA KWA MCHUJO VITENDO MCHUJO MAHOJIANO VITENDO ANA LIBRARY OFFICER II HAKUNA UDSM 09/01/2021 HAKUNA UDSM 11 /01/2021 NURSE II HAKUNA UDSM HAKUNA HAKUNA HAKUNA 11 /01/2021 LABORATORY HAKUNA ASSISTANT II (STRUCTURAL AND UDSM CONSTRUCTION HAKUNA HAKUNA HAKUNA 11 /01/2021 ENGINEERING CHUO KIKUU MASONRY) CHA DAR ES 1 SALAAM LABORATORY HAKUNA (UDSM) TECHNICIAN II (COLLEGE OF UDSM 09/01/2021 HAKUNA UDSM 11 /01/2021 ENGINEERING TECHNOLOGY) LABORATORY HAKUNA TECHNICIAN II (INSTITUTE OF UDSM MARINE SCIENCE) 09/01/2021 HAKUNA UDSM 11 /01/2021 2 TAREHE TAREHE YA TAREHE YA MAHALI PA MAHALI PA MAHALI PA YA USAILI USAILI WA NA TAASISI KADA USAILI WA USAILI WA USAILI WA USAILI WA WA ANA KWA MCHUJO VITENDO MCHUJO MAHOJIANO VITENDO ANA WORKSHOP HAKUNA INSTRUCTOR II UDSM UDSM (CIVIL 09/01/2021 HAKUNA 11 /01/2021 YOMBO 5 ENGINEERING) WORKSHOP HAKUNA INSTRUCTOR II UDSM UDSM (MECHANICAL 09/01/2021 HAKUNA 11 /01/2021 YOMBO 5 ENGINEERING) WORKSHOP HAKUNA INSTRUCTOR II (CHEMICAL AND UDSM HAKUNA HAKUNA HAKUNA 11 /01/2021 PROCESSING ENGINEERING) LABORATORY HAKUNA ENGINEER II (WATER UDSM UDSM 09/01/2021 HAKUNA 11 /01/2021 RESOURCES YOMBO 5 LABORATORY HAKUNA SCIENTIST II (FOOD UDS UDSM UDSM 09/01/2021 HAKUNA 11 /01/2021 SCIENCE) YOMBO 5M LABORATORY HAKUNA SCIENTIST II UDSM HAKUNA HAKUNA HAKUNA 11 /01/2021 (MARINE) WAKALA WA ENGINEER II 16/01/2021 HAKUNA HAKUNA DUCE 18 /01/2021 TANROADS-DSM BARABARA 2 TANZANIA(TA TECHNICIAN II 16/01/2021 HAKUNA HAKUNA DUCE 18 /01/2021 TANROADS-DSM NROADS) MAMLAKA ASSISTANT DRUGS HAKUNA OFISI ZA YA DAWA NA INSPECTOR UDOM 11 /01/ SEKRETARIETI 3 VIFAA 09/01/2021 HAKUNA CBSL CAFÉ 2021 YA AJIRA TIBA(TMDA) THEATRE 1 DODOMA ASSISTANT HAKUNA LECTURER –HUMAN RESOURCES HAKUNA HAKUNA HAKUNA 11 /01/ 2021 MNMA THE MANAGEMENT MWALIMU ICT OFFICER II- CO-ICT NYERERE 4 PROGRAMMER KIJITONYA MEMORIAL 08/01/2021 09/01/2021 MNMA 11 /01/ 2021 MNMA ACADEMY(MN MA MA) PLANNING OFFICER HAKUNA II 08/01/2021 HAKUNA MNMA 11/01/ 2021 MNMA THE SUPPLIES HAKUNA INSTITUTE OF ASSISTANT II 5 JUDICIAL HAKUNA HAKUNA IJA 08/01/2021 IJA ADMINISTRAT ION (IJA) TUTOR II (ICT) HAKUNA THE WATER 16/01/2021 HAKUNA DUCE 18/01/2021 THE WATER INSTITUTE (WI) 6 INSTITUTE(WI) TUTOR (GEOLOGIST) HAKUNA THE WATER 16/01/2021 HAKUNA DUCE 18/01/2021 INSTITUTE(WI) 3 TAREHE TAREHE YA TAREHE YA MAHALI PA MAHALI PA MAHALI PA YA USAILI USAILI WA NA TAASISI KADA USAILI WA USAILI WA USAILI WA USAILI WA WA ANA KWA MCHUJO VITENDO MCHUJO MAHOJIANO VITENDO ANA INSTRUCTOR II HAKUNA THE WATER (MECHANICAL) 16/01/2021 HAKUNA DUCE 18/01/2021 INSTITUTE(WI) THE NELSON PLANNING OFFICER HAKUNA MANDELA II AFRICAN INSTITUTION 7 14/01/2021 HAKUNA NM-AIST 15/01/2021 NM-AIST OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (NM-AIST) DAR ES ASSISTANT HAKUNA SALAAM LECTURER 8 MARITIME HAKUNA HAKUNA DSM-DMI 08/01/2021 DSM-DMI INSTITUTE (DMI) PLANNING AND HAKUNA CONSTRUCTION 29/01/2021 HAKUNA SHUWASA ENGINEER II WATER SUPPLY HAKUNA VETA- SHINYANGA ENGINEER II 29/01/2021 HAKUNA SHINYANG URBAN A WATER WATER QUALITY HAKUNA VETA- 9 SUPPLY AND 30/01/2021 SHUWASA TECHNICIAN II 29/01/2021 HAKUNA SHINYANG SEWAGE A AUTHORITY (SHUWASA) MECHANICAL HAKUNA TECHNICIAN(MECHA TRONICS) II HAKUNA HAKUNA HAKUNA MWAJIRI: UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM (UDSM) KADA: LIBRARY OFFICER II TAREHE YA USAILI WA MCHUJO: 09 JANUARI, 2021 MUDA: SAA 01:00 ASUBUHI MAHALI: UDSM UKUMBI: YOMBO 5 TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO: 11 JANUARI, 2021 MUDA: SAA 1:00 KAMILI ASUBUHI MAHALI: UDSM NA JINA LA MWOMBAJI ANUANI NA JINA LA ANUANI MWOMBAJI 1 AIRIN JOHN KIMUYA P.O BOX 8861, 2 LUSINA VENANCE P.O BOX 9422, ROMBO, MUSHY KINONDONI, DAR KILIMANJARO ES SALAAM 3 ALISELE ALFRED P.O BOX 42067, 4 MARCELINA P.O BOX 119, MWIGANI TEMEKE, DAR ES MARCEL IRINGA , IRINGA SALAAM MUNSERY 4 NA JINA LA MWOMBAJI ANUANI NA JINA LA ANUANI MWOMBAJI 5 ANNA REMEN 6 MARGRETH P.O BOX 12882, MWANGA WILSON CHITEMA ILALA, DAR ES SALAAM 7 BEATUS PRIMIUS P.O BOX 31046, 8 MARIA MASUD P.O BOX 6420, KAMUGISHA UBUNGO, DAR ES MACHIBYA ILALA, DAR ES SALAAM SALAAM 9 BRUNO JOHN P.O BOX 1154, 10 MASOTA MOSHI MOSHI, KAZUNGU KILIMANJARO KAZUNGU 11 COSTANTINO P.O BOX 18032, 12 MAUMA JULIAS P.O BOX 71319, JOSEPHATH ILALA, DAR ES MAUMA UBUNGO, DAR ES MAHUNDI SALAAM SALAAM 13 DORIS GABRIEL 14 NEEMA FRANK P.O BOX 78038, MALAKASIKI MBUYA ILALA, DAR ES SALAAM 15 DOROSELA P.O BOX 243, 16 NEEMA JOSEPH P.O BOX 291, MAXIMILIAN BUKOBA, KAGERA MUKASA NACHINGWEA, RUGAIGANISA LINDI 17 FAHARDIN ISSA 18 NELLY FLOWIN P.O BOX 278, MPINDA TEMBO ILALA, DAR ES SALAAM 19 FAUDHIA VUMILIA P.O BOX 9141, 20 OLIVER MICHAEL P.O BOX 108, KHALFAN ILALA, DAR ES MWENDA IRINGA , IRINGA SALAAM 21 FRED GEOFREY P.O BOX 32435, 22 OMARY ELIASA P.O BOX 842, HABIMANA KINONDONI, DAR NZOGO MBEYA, MBEYA ES SALAAM 23 FULKO SHANEL P.O BOX 76959, 24 PRAXEDA ABELA P.O BOX 2958, MHAGAMA ILALA, DAR ES PHILEMON ILALA, DAR ES SALAAM SALAAM 25 GEOFREY GASPER P.O BOX 11003, 26 RICHARD YUSUPH P.O BOX 801, HUNJA ILEMELA, MDOMO TABORA, TABORA MWANZA 5 NA JINA LA MWOMBAJI ANUANI NA JINA LA ANUANI MWOMBAJI 27 GODFREY KIMEI P.O BOX 40, 28 SADA ZUBERI P.O BOX 20576, FIDELIS ARUSHA, ARUSHA ATHUMANI ILALA, DAR ES SALAAM 29 GODWIN DOMINICK P.O BOX 54224, 30 SARA SIMON P.O BOX 8811, RUSHEKE ILALA, DAR ES MMARY MOSHI, SALAAM KILIMANJARO 31 GOODLUCK ANAELY P.O BOX 303, 32 SHAMSA P.O BOX 7313, TALAMI MOROGORO, ABDULKHERY ARUSHA, MOROGORO MRUMA ARUSHA 33 IBRAHIM NUHU 34 TATU SAIDI P.O BOX -4, ATHUMAN HAMISI SAME, KILIMANJARO 35 JANETH EDWARD P.O BOX 9, 36 URUSLA P.O BOX 42969, LAIZER MVOMERO, PROSPER TEMEKE, DAR ES MOROGORO MAPUNDA SALAAM 37 LULU OMARY P.O BOX 172, 38 VAILETH WILSON P.O BOX 132, KALINGA IRINGA , IRINGA GUGA BAGAMOYO, PWANI 39 LUPAKISYO P.O BOX 1816, 40 VERONICA FESTO P.O BOX 2048, , ROBERT MWAITEGE MBEYA, MFINGWA MOROGORO 41 LUSEKELO ALIPO P.O BOX 78392, SWILLA UBUNGO, DAR ES SALAAM 6 MWAJIRI: UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM (UDSM) KADA: NURSE II TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO: 11 JANUARI, 2021 MUDA: SAA 1:00 KAMILI ASUBUHI MAHALI: UDSM NA JINA LA MWOMBAJI ANUANI NA JINA LA ANUANI MWOMBAJI 1 ABINEL HERMAN P.O BOX 5819, 2 KULWA P.O BOX 3010, GOMBO UBUNGO, DAR ES MLONGWA MOSHI, SALAAM MJANJA KILIMANJARO 3 BIUTA GODWIN P.O BOX 303, 4 MHAMA P.O BOX 30041, SIWITI MOROGORO FAUSTINE KIBAHA, PWANI MUHAMA 5 BUGUZO IDDI P.O BOX 1060, 6 MOHAMEDI AKIDA P.O BOX 55945, NGUGUDE MOROGORO MOHAMEDI TEMEKE, DAR ES SALAAM 7 DANIEL TULWAY P.O BOX 3010, 8 NEEMA HASSAN P.O BOX 61331, GEGIONAS MOSHI, MWASHA TEMEKE, DAR ES KILIMANJARO SALAAM 9 HABIBU BAKARI P.O BOX 46343, 10 PIUS PAULI P.O BOX 16, CHUBWA TEMEKE, DAR ES MAPOLU KAHAMA, SALAAM SHINYANGA 11 HILTRUDA P.O BOX 258, 12 RAMADHANI P.O BOX 3010, BERNARD ASSENGA MBEYA OMAR MOSHI, RAMADHANI KILIMANJARO 13 IBRAHIM SHIJA 14 SHABANI SAIDI MARTINE SHABANI 15 IZACK IZACK P.O BOX 1946, 16 THEOPISTER P.O BOX 195, NGONYANI MOSHI, SADOCK LUZIMO KASULU, KILIMANJARO KIGOMA 7 NA JINA LA MWOMBAJI ANUANI NA JINA LA ANUANI MWOMBAJI 17 JOACHIM KARANI P.O BOX 5554, 18 XAVERY FOCUS P.O BOX 38118, JOACHIM
Recommended publications
  • Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Bunge La Tanzania
    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA KUMI NA SITA NA KUMI NA SABA YATOKANAYO NA KIKAO CHA KUMI NA NNE (DAILY SUMMARY RECORD OF PROCEEDINGS) 21 NOVEMBA, 2014 MKUTANO WA KUMI NA SITA NA KUMI SABA KIKAO CHA KUMI NA NNE – 21 NOVEMBA, 2014 I. DUA Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu alisoma Dua saa 3.00 Asubuhi na kuliongoza Bunge. MAKATIBU MEZANI – i. Ndg. Asia Minja ii. Ndg. Joshua Chamwela II. MASWALI: Maswali yafuatayo yaliulizwa na wabunge:- 1. OFISI YA WAZIRI MKUU Swali Na. 161 – Mhe. Betty Eliezer Machangu [KNY: Mhe. Dkt. Cyril Chami] Nyongeza i. Mhe. Betty E. Machangu, mb ii. Mhe. Michael Lekule Laizer, mb iii. Mhe. Prof. Peter Msolla, mb Swali Na. 162 - Mhe. Richard Mganga Ndassa, mb Nyongeza (i) Mhe Richard Mganga Ndassa, mb Swali Na. 163 - Mhe. Anne Kilango Malecela, mb Nyongeza : i. Mhe. Anne Kilango Malecela, mb ii. Mhe. John John Mnyika, mb iii. Mhe. Mariam Nassor Kisangi iv. Mhe. Iddi Mohammed Azzan, mb 2 2. OFISI YA RAIS (UTUMISHI) Swali Na. 164 – Mhe. Ritta Enespher Kabati, mb Nyongeza i. Mhe. Ritta Enespher Kabati, mb ii. Mhe. Vita Rashid Kawawa, mb iii. Mhe. Mch. Reter Msingwa, mb 3. WIZARA YA UJENZI Swali Na. 165 – Mhe. Betty Eliezer Machangu, mb Nyongeza :- i. Mhe. Betty Eliezer Machangu, mb ii. Mhe. Halima James Mdee, mb iii. Mhe. Maryam Salum Msabaha, mb Swali Na. 166 – Mhe. Peter Simon Msingwa [KNY: Mhe. Joseph O. Mbilinyi] Nyongeza :- i. Mhe. Peter Simon Msigwa, Mb ii. Mhe. Assumpter Nshunju Mshama, Mb iii. Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa 4.
    [Show full text]
  • Tanzanian State
    THE PRICE WE PAY TARGETED FOR DISSENT BY THE TANZANIAN STATE Amnesty International is a global movement of more than 7 million people who campaign for a world where human rights are enjoyed by all. Our vision is for every person to enjoy all the rights enshrined in the Universal Declaration of Human Rights and other international human rights standards. We are independent of any government, political ideology, economic interest or religion and are funded mainly by our membership and public donations. © Amnesty International 2019 Except where otherwise noted, content in this document is licensed under a Creative Commons Cover photo: © Amnesty International (Illustration: Victor Ndula) (attribution, non-commercial, no derivatives, international 4.0) licence. https://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/4.0/legalcode For more information please visit the permissions page on our website: www.amnesty.org Where material is attributed to a copyright owner other than Amnesty International this material is not subject to the Creative Commons licence. First published in 2019 by Amnesty International Ltd Peter Benenson House, 1 Easton Street London WC1X 0DW, UK Index: AFR 56/0301/2019 Original language: English amnesty.org CONTENTS EXECUTIVE SUMMARY 6 METHODOLOGY 8 1. BACKGROUND 9 2. REPRESSION OF FREEDOM OF EXPRESSION AND INFORMATION 11 2.1 REPRESSIVE MEDIA LAW 11 2.2 FAILURE TO IMPLEMENT EAST AFRICAN COURT OF JUSTICE RULINGS 17 2.3 CURBING ONLINE EXPRESSION, CRIMINALIZATION AND ARBITRARY REGULATION 18 2.3.1 ENFORCEMENT OF THE CYBERCRIMES ACT 20 2.3.2 REGULATING BLOGGING 21 2.3.3 CYBERCAFÉ SURVEILLANCE 22 3. EXCESSIVE INTERFERENCE WITH FACT-CHECKING OFFICIAL STATISTICS 25 4.
    [Show full text]
  • Tanzania Human Rights Report 2008
    Legal and Human Rights Centre Tanzania Human Rights Report 2008: Progress through Human Rights Funded By; Embassy of Finland Embassy of Norway Embassy of Sweden Ford Foundation Oxfam-Novib Trocaire Foundation for Civil Society i Tanzania Human Rights Report 2008 Editorial Board Francis Kiwanga (Adv.) Helen Kijo-Bisimba Prof. Chris Maina Peter Richard Shilamba Harold Sungusia Rodrick Maro Felista Mauya Researchers Godfrey Mpandikizi Stephen Axwesso Laetitia Petro Writers Clarence Kipobota Sarah Louw Publisher Legal and Human Rights Centre LHRC, April 2009 ISBN: 978-9987-432-74-5 ii Acknowledgements We would like to recognize the immense contribution of several individuals, institutions, governmental departments, and non-governmental organisations. The information they provided to us was invaluable to the preparation of this report. We are also grateful for the great work done by LHRC employees Laetitia Petro, Richard Shilamba, Godfrey Mpandikizi, Stephen Axwesso, Mashauri Jeremiah, Ally Mwashongo, Abuu Adballah and Charles Luther who facilitated the distribution, collection and analysis of information gathered from different areas of Tanzania. Our 131 field human rights monitors and paralegals also played an important role in preparing this report by providing us with current information about the human rights’ situation at the grass roots’ level. We greatly appreciate the assistance we received from the members of the editorial board, who are: Helen Kijo-Bisimba, Francis Kiwanga, Rodrick Maro, Felista Mauya, Professor Chris Maina Peter, and Harold Sungusia for their invaluable input on the content and form of this report. Their contributions helped us to create a better report. We would like to recognize the financial support we received from various partners to prepare and publish this report.
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge ______
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ___________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA NANE Kikao cha Thelathini na Tisa – Tarehe 2 AGOSTI, 2012 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) DUA Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati ifuatayo iliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI: Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa Mwaka wa Fedha 2012/2013. SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, naomba mzime vipasa sauti vyenu maana naona vinaingiliana. Ahsante Mheshimiwa Naibu Waziri, tunaingia hatua inayofuata. MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Leo ni siku ya Alhamisi lakini tulishatoa taarifa kwamba Waziri Mkuu yuko safarini kwa hiyo kama kawaida hatutakuwa na kipindi cha maswali hayo. Maswali ya kawaida yapo machache na atakayeuliza swali la kwanza ni Mheshimiwa Vita R. M. Kawawa. Na. 310 Fedha za Uendeshaji Shule za Msingi MHE. VITA R. M. KAWAWA aliuliza:- Kumekuwa na makato ya fedha za uendeshaji wa Shule za Msingi - Capitation bila taarifa hali inayofanya Walimu kuwa na hali ngumu ya uendeshaji wa shule hizo. Je, Serikali ina mipango gani ya kuhakikisha kuwa, fedha za Capitation zinatoloewa kama ilivyotarajiwa ili kupunguza matatizo wanayopata wazazi wa wanafunzi kwa kuchangia gharama za uendeshaji shule? NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (ELIMU) alijibu:- Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Vita Rashid Kawawa, Mbunge wa Namtumbo, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Spika, Serikali kupitia Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) imepanga kila mwanafunzi wa Shule ya Msingi kupata shilingi 10,000 kama fedha za uendeshaji wa shule (Capitation Grant) kwa mwaka.
    [Show full text]
  • Hii Ni Nakala Ya Mtandao (Online Document)
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) MAJADILIANO YA BUNGE _____________ MKUTANO WA KUMI NA SITA ______________ Kikao cha Thelathini na Tisa – Tarehe 27 Julai, 2009) (Kikao Kilianza Saa Tatu Asubuhi) DUA Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, kabla sijamwita anayeuliza swali la kwanza, karibuni tena baada ya mapumziko ya weekend, nadhani mna nguvu ya kutosha kwa ajili ya shughuli za wiki hii ya mwisho ya Bunge hili la 16. Swali la kwanza linaelekezwa Ofisi ya Waziri Mkuu na linauliza na Mheshimiwa Shoka, kwa niaba yake Mheshimiwa Khalifa. Na.281 Kiwanja kwa Ajili ya Kujenga Ofisi ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI MHE KHALIFA SULEIMAN KHALIFA (K.n.y. MHE. SHOKA KHAMIS JUMA) aliuliza:- Kwa kuwa Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI inakabiliwa na changamoto ya ufinyu wa Ofisi; na kwa kuwa Tume hiyo imepata fedha kutoka DANIDA kwa ajili ya kujenga jengo la Ofisi lakini inakabiliwa na tatizo kubwa la upatikanaji wa kiwanja:- Je, Serikali itasaidia vipi Tume hiyo kupata kiwanja cha kujenga Ofisi? WAZIRI WA NCHI, OFISI YA WAZIRI MKUU – SERA, URATIBU NA BUNGE alijibu:- Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Shoka Khamis Juma, Mbunge wa Micheweni kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Spika, tatizo la kiwanja cha kujenga Ofisi za TACAIDS limepatiwa ufumbuzi na ofisi yangu imewaonesha Maafisa wa DANIDA kiwanja hicho Ijumaa tarehe 17 Julai, 2009. Kiwanja hicho kipo Mtaa wa Luthuli Na. 73, Dar es Salaam ama kwa lugha nyingine Makutano ya Mtaa wa Samora na Luthuli. MHE. KHALIFA SULEIMAN KHALIFA: Mheshimiwa Spika, nakushukuru. Pamoja na majibu mazuri sana ya Mheshimiwa Waziri, naomba kumuuliza swali moja la nyongeza.
    [Show full text]
  • Coversheet for Thesis in Sussex Research Online
    A University of Sussex DPhil thesis Available online via Sussex Research Online: http://sro.sussex.ac.uk/ This thesis is protected by copyright which belongs to the author. This thesis cannot be reproduced or quoted extensively from without first obtaining permission in writing from the Author The content must not be changed in any way or sold commercially in any format or medium without the formal permission of the Author When referring to this work, full bibliographic details including the author, title, awarding institution and date of the thesis must be given Please visit Sussex Research Online for more information and further details Accountability and Clientelism in Dominant Party Politics: The Case of a Constituency Development Fund in Tanzania Machiko Tsubura Submitted for the Degree of Doctor of Philosophy in Development Studies University of Sussex January 2014 - ii - I hereby declare that this thesis has not been and will not be submitted in whole or in part to another University for the award of any other degree. Signature: ……………………………………… - iii - UNIVERSITY OF SUSSEX MACHIKO TSUBURA DOCTOR OF PHILOSOPHY IN DEVELOPMENT STUDIES ACCOUNTABILITY AND CLIENTELISM IN DOMINANT PARTY POLITICS: THE CASE OF A CONSTITUENCY DEVELOPMENT FUND IN TANZANIA SUMMARY This thesis examines the shifting nature of accountability and clientelism in dominant party politics in Tanzania through the analysis of the introduction of a Constituency Development Fund (CDF) in 2009. A CDF is a distinctive mechanism that channels a specific portion of the government budget to the constituencies of Members of Parliament (MPs) to finance local small-scale development projects which are primarily selected by MPs.
    [Show full text]
  • Hii Ni Nakala Ya Mtandao (Online Document)
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA NNE Kikao cha Ishirini na Nne – Tarehe 18 Julai, 2006 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, kabla sijamwita muuliza swali la kwanza nina matangazo kuhusu wageni, kwanza wale vijana wanafunzi kutoka shule ya sekondari, naona tangazo halisomeki vizuri, naomba tu wanafunzi na walimu msimame ili Waheshimiwa Wabunge waweze kuwatambua. Tunafurahi sana walimu na wanafunzi wa shule zetu za hapa nchini Tanzania mnapokuja hapa Bungeni kujionea wenyewe demokrasia ya nchi yetu inavyofanya kazi. Karibuni sana. Wapo Makatibu 26 wa UWT, ambao wamekuja kwenye Semina ya Utetezi na Ushawishi kwa Harakati za Wanawake inayofanyika Dodoma CCT wale pale mkono wangu wakulia karibuni sana kina mama tunawatakia mema katika semina yenu, ili ilete mafanikio na ipige hatua mbele katika kumkomboa mwanamke wa Tanzania, ahsanteni sana. Hawa ni wageni ambao tumetaarifiwa na Mheshimiwa Shamsa Selengia Mwangunga, Naibu Waziri wa Maji. Wageni wengine nitawatamka kadri nitakavyopata taarifa, kwa sababu wamechelewa kuleta taarifa. Na. 223 Barabara Toka KIA – Mererani MHE. DORA H. MUSHI aliuliza:- Kwa kuwa, Mererani ni Controlled Area na ipo kwenye mpango wa Special Economic Zone na kwa kuwa Tanzanite ni madini pekee duniani yanayochimbwa huko Mererani na inajulikana kote ulimwenguni kutokana na madini hayo, lakini barabara inayotoka KIA kwenda Mererani ni mbaya sana
    [Show full text]
  • Tanzania: Freedom of Expression in Peril
    Tanzania: Freedom of Expression in Peril Joint Situation Note August 2017 / N° 698a August Cover photo: A man reads on March 23, 2017 in Arusha, northern Tanzania, the local English-written daily newspaper «The Citizen», whose front title refers to the sacking of Tanzanian information Minister after he criticised an ally of the president. Tanzania’s President, aka «The Bulldozer» sacked his Minister for Information, Culture and Sports, after he criticised an ally of the president: the Dar es Salaam Regional Commissioner who had stormed into a television station accompanied by armed men. © STRINGER / AFP FIDH and LHRC Joint Situation Note – August 1, 2017 - 1 TABLE OF CONTENTS Introduction..........................................................................................................................2 I. Dissenting voices have become targets of the authorities..........................................5 II. Human Rights Defenders and ordinary citizens are also in the sights of the authorities...........................................................................................................................10 Recommendations.............................................................................................................12 Annex I – Analysis: Tools for repression: the Media Services Act and the Cybercrimes Act.................................................................................................................13 Annex II – List of journalists and human rights defenders harassed..........................17
    [Show full text]
  • Tanzania Human Rights Report 2016
    Tanzania Human Rights Report 2016 LEGAL AND HUMAN RIGHTS CENTRE & ZANZIBAR LEGAL SERVICES CENTRE NOT FOR SALE Tanzania Human Rights Report - 2016 Mainland and Zanzibar - i - Tanzania Human Rights Report 2016 Part One: Tanzania Mainland - Legal and Human Rights Centre (LHRC) Part Two: Zanzibar - Zanzibar Legal Services Centre (ZLSC) - ii - Tanzania Human Rights Report 2016 Publishers Legal and Human Rights Centre Justice Lugakingira House, Kijitonyama P. O. Box 75254, Dar es Salaam, Tanzania Tel: +255222773038/48, Fax: +255222773037 Email: [email protected] Website: www.humanrights.or.tz & Zanzibar Legal Services Centre P. O. Box 3360, Zanzibar, Tanzania Tel: +2552422384 Fax: +255242234495 Email: [email protected] Website: www.zlsc.or.tz Partners The Embassy of Sweden The Embassy of Norway Oxfam Rosa Luxemburg UN Women Open Society Initiatives for Eastern Africa Design & Layout Albert Rodrick Maro Munyetti ISBN: 978-9987-740-30-7 © LHRC & ZLSC 2017 - iii - Tanzania Human Rights Report 2016 Editorial Board - Part One Dr. Helen Kijo-Bisimba Adv. Imelda Urio Ms. Felista Mauya Adv. Anna Henga Researchers/Writers Paul Mikongoti Fundikila Wazambi - iv - Tanzania Human Rights Report 2016 About LHRC The Legal and Human Rights Centre (LHRC) is a private, autonomous, voluntary non- Governmental, non-partisan and non-profit sharing organization envisioning a just and equitable society. It has a mission of empowering the people of Tanzania, so as to promote, reinforce and safeguard human rights and good governance in the country. The broad objective is to create legal and human rights awareness among the public and in particular the underprivileged section of the society through legal and civic education, advocacy linked with legal aid provision, research and human rights monitoring.
    [Show full text]
  • Media Watch October, 2020
    March/April, 2012 Waliomeremeta Issue No. 197 October, 2020 EJAT 2019 The overall winners News News News New faces on Guide on MCT gets another MCT Governing Demographic Clean Audit Board Dividend Certificate Page 5 Page 16 Page 25 MCT, WINNER OF 2003 IPI FREE MEDIA PIONEER EDITORIAL AWARD Flexibility, freedom crucial for media s the country was headed to the general election on October 28, 2020 media coverage for all parties and contenders if anything was not equitable. There was a section of the media which covered Athe ruling party through and through, another section covered major opposition on and off. The smaller parties were somehow covered during the initial stages of the electoral campaigns but as the days got close to the polling day they were relegated to obscurity. The initial impression was that the media would strive to provide equitable coverage but it appeared that those parties with political muscle were having the lion’s share. Headlines of mainstream media and main items of Editorial Board broadcast media were full of pledges mainly of the ruling Kajubi Mukajanga party with the other parties mainly covered on social media MCT and were only given prominence in mainstream media in the EXECUTIVE SECRETARY event of intra-party bickering. Given the operational conditions where some media outlets were suspended on claims of flouting regulations David Mbulumi especially related to election coverage, the extra zeal to be PROGRAMME MANAGER careful coupled with a degree of fear resulted in self-censorship. Hamis Mzee It is unfortunate that the media had to operate in this EDITOR situation which was not a leveled playing field.
    [Show full text]
  • Jarida La Wizara Ya Habari Utamaduni Sanaa Na Michezo Uk. 03 Uk. 01
    Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo TOLEO 001 LA MTANDAONI OKTOBA, 2017 NDANI Uk. TANZANIA kuwa Mwenyeji Tamasha la 01 JAMAFEST 2019 Uk. Mhe. Juliana Shonza Naibu Waziri Mpya wa 03 Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo www.habari.go.tz Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo DAWATI LA UHARIRI MSANIFU JARIDA Benedict J. Liwenga WAANDISHI Lorietha Laurence Anitha Jonas Genofeva Matemu Shamimu Nyaki Eleuteri Mangi WAANDAAJI Jarida hili limetolewa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Jengo la LAPF Mtaa wa Makole Uhindini S.L.P 25 DODOMA-TANZANIA Simu : 026-2322129 Faksi : 026-2322128 Barua Pepe:[email protected] Tovuti: www.habari.go.tz i Jarida la Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo YALIYOMO HABARI KURASA Tanzania iko tayari kuwa Mwenyeji Tamasha la JAMAFEST 2019 ..................................................1 Mhe. Juliana Shonza ateuliwa kuwa Naibu Waziri wa Habari .........................................................3 Majadiliano ya Kanuni za Maudhui ya Utangazaji na Mitandao ya Kijamii ....................................5 Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Kimataifa Bagamoyo ..............................................................7 Mkandarasi Mpya wa Utoaji Tiketi Uwanja wa Taifa-Dar es Salaam................................................9 Tamasha la Utamaduni Tukuyu-Mbeya ............................................................................................11 Matumizi ya Kiswahili Fasaha kwa Watangazaji .............................................................................13
    [Show full text]
  • Issued by the Britain-Tanzania Society No 106 Sept - Dec 2013
    Tanzanian Affairs Text 1 Issued by the Britain-Tanzania Society No 106 Sept - Dec 2013 The Race for the State House President Obama’s Visit Surprises in Draft Constitution Tanzania in a Turbulent World Shangaa - Art Surprising the US Newspaper cover featuring twelve people said to be eying the Presidency. cover photo: Shirt celebrating the visit of President Obama to Tanzania. New cover design - we are trying a new printer who offers full colour. Comments welcome, and please send photos for future covers to [email protected] David Brewin: THE RACE FOR STATE HOUSE Americans usually start campaigning for the next election contest almost immediately after the completion of the previous one. Tanzania seems to be moving in the same direction. Although the elections are not due until late 2015, those aspirants who are considering standing for the top job are beginning to quietly mobilise their support. Speculation is now rife in political circles on the issue of who will succeed President Kikwete. Unlike some of his opposite numbers in other states, notably Zimbabwe, he is expected to comply with the law and retire at the end of his second term as all his predecessors have done. A number of prominent figures are expected to compete in the elections. One factor which could become crucial is a long established ‘under- standing’ that, if the president is a Muslim, as is President Kikwete, his successor should be a Christian. President Nyerere was a Catholic, former President Mwinyi is a Muslim and President Mkapa is also a Catholic. As both the Christian presidents have been Catholics the large Protestant community might be wondering when its time will come.
    [Show full text]