PORTS AUTHORITY

www.tanzaniaports.com | Bendera Tatu, S.L.P. 9184, Email: [email protected] Toleo Namba 24 2 - 8 Disemba, 2013 DOWUTA Tanga yaendesha Uk.3 Matumizi ya Mifumo Uk.5 Inawezekana hakuna linaloshin- Uk. 12 semina kwa Wanachama wake yaongeze tija-Massawe dikana: Kapteni Mwingamno Waganda waahidi kuendelea kutumia Bandari ya Dar

Na Peter Millanzi

aia wa Uganda wameahidi kuendelea kutumia Bandari ya Dar es Salaam kupitishia mizigo yao licha ya maneno na mipango ya kisisasa inayofanywa Rna washindani wa Bandari ya Dar es Salaam. Ahadi hiyo ilitolewa na Waganda katika maonyesho ya 21 ya kimataifa ya biashara yaliyofanyika nchini Uganda hivi karibuni ambapo Bandari ya Dar es Salaam ilishiriki. “Tunafahamu ushirikiano unaofanywa na baadhi ya viongozi wa nchi jirani, ili wananchi wa nchi hizi waitumie Bandari ya Mombasa lakini sisi tupo kibiashara zaidi kwani huwezi kutunza mayai yako kwenye kapu moja,” walisisitiza Waganda hao. Katika maonyesho hayo timu ya wataalam Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Dk. Ladislaus Komba (mwenye suti) wa Bandari ya Dar es akiwa na timu ya watendaji wa Bandari ya Dar es Salaam iliyoshiriki Salaam ikiongozwa na katika maonyesho ya kibiashara ya kimataifa ya 21 yaliyofanyika nchini Meneja Idara ya Makasha, Uganda hivi karibuni. Timu hiyo iliongozwa na Meneja Idara ya Makasha, Bw. Habel Mhanga, Bw. Habel Mhanga, (wa kwanza kutoka kulia). Inaendelea Uk. 2

1 Masoko

Inatoka Uk. 1 iliwahakikishia Waganda Timu hiyo kutoka Bandari katika biashara yake” alisisitiza kwamba Serikali ya Tanzania iliwafahamisha Waganda Dk. Komba. kwa kushirikiana na Mamlaka kwamba Mamlaka tayari ya Usimamizi wa Bandari imechukua hatua mbalimbali Aidha Dk. Komba alitoa rai Tanzania (TPA) pamoja na kukomesha wizi na upotevu wa kwa Mamlaka kuwekeza wadau wa Bandari wameboresha mizigo ya wateja. Timu hiyo katika kuitangaza Bandari ya huduma zinazotolewa na pia iliwahakikishia Waganda Dar es Salaam katika nchi Bandari ya Dar es Salaam. usalama wa mizigo inayopita ambazo zinatumia Bandari Moja ya maboresho hayo ni katika Bandari hii ambayo ni hiyo. “Wananchi wa nchi pamoja na utoaji huduma kwa kubwa kuliko zote nchini. zinazotumia Bandari ya Dar es kutumia mtandao wa kompyuta Salaam hawana taarifa sahihi badala ya kutumia nyaraka Wataalamu waliwafahamisha kuhusu uboreshwaji wa huduma za makaratasi. Utumiaji wa Waganda kwamba Bandari mnazotoa na Bandari kwa hiyo mtandao umeongeza ufanisi ya Dar es Salaam imeboresha naomba TPA iwekeze zaidi katika kupunguza muda wa uhudumiaji wa magari kutoka katika kuitangaza Bandari hii ili utoaji mizigo Bandarini. magari 343 kwa shifti mpaka kuwavutia watu wengi kupitishia magari 672 kwa shifti, jambo mizigo yao. Pia naiomba TPA Hatua nyingine ya maboresho ambalo limeivutia nchi ya ifungue ofisi katika nchi hizo ni utaratibu wa ulipiaji wa Zimbabwe kupitishia magari yao kwa lengo la kusogeza huduma mizigo Bandarini kupitia benki. katika Bandari ya Dar es Salaam. kwa wateja wa Bandari ya Dar es Utaratibu huu umeondosha Salaam” alimalizia Dk. Komba. mianya ya wizi kwa baadhi ya Kwa upande wa miundombinu mawakala wasio waaminifu timu hiyo imesema, Serikali ya kupata fursa ya kuwaibia wateja Tanzania imeendelea kuboresha wao na umeongeza mapato ya barabara kwa kiwango cha TPA hasa katika Bandari ya lami na kuzifanya kupitika Dar es Salaam. katika kipindi chote cha mwaka. Serikali inaendelea Kwa upande mwingine, TPA kufanya jitihada mbalimbali za kwa kushirikiana na wadau kuiboresha reli ya kati ili reli wake chini ya uratibu wa Ofisi itumike zaidi kuchukua mizigo TANGAZO ya Waziri Mkuu imeanzisha inayopitia katika Bandari ya Dar kituo kimoja cha kushughulikia es Salaam. Mhariri anakaribisha nyaraka mbalimbali za habari kuhusu matukio kuhudumia mizigo Bandarini Timu hiyo pia ilipata fursa ya mbalimbali kama vile cha One Stop Centre (OSC) kukutana na Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Dk. Ladislaus harusi za wafanyakazi, kwa nia ya kuwezesha Taasisi sherehe na matukio ya za Kiserikali zinazohusika na Komba ambaye alionyesha ukaguzi na udhibiti wa mizigo kufurahishwa na ushiriki wa ndani ya idara au vikundi inayoingizwa na kutoka nchini TPA katika maonyesho hayo. rasmi vya Mamlaka, kuwa katika ofisi moja ili Balozi alitoa wito kwa TPA na bonanza, mahafali na kuhudumia wateja kwa ufanisi wadau wa Bandari kuongeza matukio mengine. zaidi. Kituo hiki kilianzishwa kasi ya uboreshaji wa huduma kwa lengo la kuweka idara katika Bandari ya Dar es Wasiliana na Idara ya hizo pamoja ili kuharakisha Salaam ili kuwavutia wateja Mawasiliano Makao uhudumiaji wa mizigo, wengi zaidi. “Ukiboresha Makuu. taratibu za kuondosha mizigo huduma katika Bandari ya Dar Bandarini na hatimaye kuleta es Salaam Waganda wengi Piga Cisco 1002379: ufanisi na tija katika huduma watavutiwa kupitishia mizigo Makao Makuu zinazotolewa na Bandari. yao Dar es Salaam kwani hakuna mfanyabiashara anayetaka shida

2 DOWUTA DOWUTA Tanga yaendesha semina kwa Wanachama wake Na Cecilia Korassa

aimu Mkuu wa Bandari Tanga, Bw. Freddy Liundi amewapongeza viongozi Kwa DOWUTA Tawi la Tanga kwa kuandaa semina ya wafanyakazi. Akifungua semina hiyo ya siku kufikiwa na kuongeza pato la kuhakikisha wanachama mbili kwa niaba ya Mkuu huyo, Taifa.” wanapata uelewa wa Sheria Mhasibu wa Bandari ya Tanga DOWUTA ni kiungo muhimu za Kazi na kujua Kanuni na Bw. Tryphone Mtipi alisema, kati ya Uongozi na Wafanyakazi, Masharti ya Utumishi mahali “Hongereni sana kwa hili, huu ambapo pia chama hicho pa kazi, na litakuwa ni zoezi ni mfano mzuri wa kuigwa na hutumika kutoa msaada katika endelevu. Wanachama wengine Bandari nyingine.” kusimamia masuala mbalimbali watapatiwa mafunzo katika awamu nyingine kutokana na Ntipi amewapongeza viongozi yanayohusu wafanyakazi. Kwa ratiba ilivyopangwa. kwa kuifanya Bandari ya upande wake Mwenyekiti wa Tanga kuwa Kituo cha kwanza DOWUTA Tanga, Bw. Ali Akifunga semina hiyo Afisa kuendesha mafunzo hayo katika Sankole amesema wametimiza Mipango wa Bandari ya Tanga, Mamlaka. Ntipi amefafanua wajibu wao kwani katiba ya Bi. Moshi Mtambalike aliwaasa kuwa, “semina za aina hii ni DOWUTA inawataka kutoa wanachama hao kwa kusema, muhimu kwani hutoa uelewa mafunzo ya namna hiyo kwa “elimu mliyoipata iwafikie mzuri kwa wafanyakazi na wanachama ili watambue na wengine na mafunzo haya kupunguza migogoro kazini, wajibu wao. yawafanye mbadilike ili na migogoro ikipungua morali Semina hii imewahusisha tuweze kuongeza tija ndani ya ya kazi na tija huongezeka na wanachama 48 ambapo lengo Mamlaka.” kufanya malengo ya Mamlaka Inaendelea Uk. 4 la semina hiyo lilikuwa ni

Mwenyekiti wa DOWUTA Tanga Bw. Ali Sankole akizungumza jambo wakati wa semina ya wanachama wa DOWUTA tawi la Tanga. 3 DOWUTA/ Baraza

Inatoka Uk. 3 Mafunzo ya semina hiyo alitoa mafunzo ya Sheria Mpya Naye Kaimu Mkuu wa yalitolewa na Afisa Mfawidhi za Kazi, Sheria ya Ajira na Utumishi Bandari ya Tanga, Bi. Ofisi ya Tume ya Usuluhishi Mahusiano Kazini Na.6/2004 Theckla Malombe alitoa mada na Uamuzi Kanda ya Tanga, na Sheria ya Taasisi za Kazi Na. kuhusu Kanuni na Masharti ya Bw. Haji Kayugwa ambaye 7/2004. Utumishi mahali pa kazi. Interports Games sasa kutimua vumbi Disemba 9 Na Mwandishi Wetu

ichezo ya Bandari maarufu kuwa ni pamoja na mpira wa miguu, kama inter-ports games mpira wa pete, mpira wa kikapu, bao, Msasa imepangwa kufanyika kuvuta kamba na riadha. Disemba 9 hadi 13 mwaka huu jijini Mwaka jana michezo hii ilifanyika jijini Mwanza Dar es Salaam. Waraka uliotolewa na kwa mwaka huu wenyeji watakuwa ni kituo na Kaimu Mkurugenzi Mkuu na cha Dar es Salaam pamoja na Makao Makuu. kusambazwa kwa wakuu wa Idara, Wakuu wa vituo wameagizwa kuzingatia bajeti unabainisha michezo itakayofanyika iliyopangwa Katika michezo ya mwaka huu itakayojumuisha wanamichezo 421 kutoka vituo 5. MAFUNZO Timu zitakazoshiriki katika michezo hii pamoja na idadi ya wanamichezo katika mabano ni pamoja na Makao Makuu (87), Bandari ya Dar es Salaam (87), Tanga (87), Mtwara (87) na Bandari za Maziwa (73) na kufanya idadi ya wanamichezo wote kuwa ni 421. Wakati huohuo Uongozi umeagiza kuwa michezo hii ni kwa ajili ya wafanyakazi wa Mamlaka tu na wafanyakazi wa kituo kimoja hawataruhusiwa kuchezea kituo kingine. Idhini ya kila idara kupeleka washangiliaji imetolewa na wakuu wa Idara wameagizwa kuzingatia kwamba washangiliaji wote walioteuliwa mwaka jana Baadhi ya wanafunzi wanaosoma kozi ya Stashahada ya wasishiriki mwaka huu ili kuleta Shughuli za bandari na Uongozi (Diploma in Shipping and uwiano na mahusiano mema Port Management) katika bandari ya Tanga wakiwa katika katika kila Idara husika. majadiliano hivi karibuni. 4 Mafunzo Matumizi ya Mifumo yaongeze tija-Massawe

Na Peter Millanzi

aimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Awadhi Massawe amewataka washiriki wa mafunzo ya mifumo inayotumika kuhudumia Kmizigo na wateja kutumia mafunzo hayo katika kufanya kazi kwa ufanisi ili kuongeza tija ndani ya Bandari. Rai hiyo ilitolewa na Massawe kuboresha huduma kwa wateja Mmoja kati wa wakufunzi wa hivi karibuni kwa washiriki wake. mafunzo hayo alikuwa ni Bw. wa mafunzo ya mifumo Julius Malunde ambaye pia ni Massawe aliwaambia washiriki inayotumika katika Bandari Mkuu wa Idara ya TEHAMA hao ambao wengi wao ni ya Dar es Salaam. Aliwataka Bandari ya Dar es Salaam viongozi kwamba, wakielewa washiriki wa mafunzo hayo ambaye alitoa mafunzo juu mafunzo yanayotolewa itakuwa ambayo yamekuwa yanatolewa ya mfumo wa harbour view. vizuri kusimamia kazi za kwa awamu kwa makundi Malunde aliwafahamisha watu walio chini yao. Mifumo mbali mbali ya viongozi na washiriki hao kwamba harbour inayotumika katika utendaji wafanyakazi wa Bandari view ni mfumo unaohusika kazi kwa Bandari ya Dar es kufuatilia kwa makini mafunzo na taratibu zote zinazohusu Salaam ni pamoja harbour hayo ili kuilewa vizuri mifumo uingiaji na utokaji wa meli inayotumika katika Bandari ya view, cargo system na billsys. Dar es Salaam kwa lengo la Inaendelea Uk. 6

Kaimu Meneja wa Bandari, Bw. Awadhi Massawe (wa sita katikati), akiwa na washiriki wa mafunzo ya mifumo inayotumika kuwahudumia wateja na mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam. 5 Mafunzo/Tuzo

Inatoka Uk. 5 ya majimaji, magari, n.k. anazotakiwa kulipa Bandarini katika Bandari ya Dar es Pia mfumo huu unatumika kupitia benki za CRDB Ltd na Salaam. Mfumo huu ulianza kuhudumia mizigo iliyopo National Microfinance Bank kufanya kazi Juni mwaka 2010. katika Bandari kavu za makasha (NMB). na magari. Mkufunzi mwingine alikuwa Washiriki wa mafunzo hayo ni Bw. Rashid Mkinga ambaye Mfumo mwingine ambao waliishukuru Menejimenti aliwafundisha washiriki washiriki walipata fursa ya kwa kuwapatia fursa ya kuhusu cargo system. Mkinga kufundishwa ni billsys. Mfumo kujifunza mifumo mbalimbali aliwaambia washiriki kwamba huu ambao ulifundishwa inayotumika kuwahudumia cargo system ni mfumo na Rashid Mkinga kwa wateja katika Bandari ya Dar unaoshughulikia mizigo yote kushirikiana na Amir es Salaam. Aidha waliahidi inayoingia na kusafirishwa Mshangama unahusika katika kuitumia mifumo hiyo katika kupitia Bandari ya Dar es kuandaa gharama za malipo kazi zao za kila siku kwa kasi ya Salaam. Huu ni mfumo kwa huduma mbalimbali mpango wa Matokeo Makubwa ambao unahudumia mizigo zinazotolewa na Bandari ili Sasa (Big Results Now - BRN). mbalimbali kama vile makasha, kumwezesha mwenye mzigo mizigo mchanganyiko, mizigo kufahamu gharama halisi TPA mshindi Kitaifa tuzo ya Mlipa Kodi katika Sekta ya Usafirishaji • Yakabidhiwa tuzo katika kilele cha ‘Siku ya Mlipa Kodi’

Na Focus Mauki TPA ni mfano wa kuigwa na inashiriki kikamilifu katika kulipa kodi na kuchangia maendeleo Taifa. amlaka imepata ushindi Siku ya mlipa kodi ni tukio ambalo hufanyika wa kitaifa kwa kuwa mlipa mara moja kila mwaka kwa lengo la kuwatambua Mkodi mkubwa katika Sekta walipa kodi wakubwa hapa nchini. ya Usafirishaji. Tuzo hiyo imetolewa Tuzo hizo zimegawanyika katika makundi kwenye kilele cha Siku ya Mlipa Kodi tofauti ambapo kundi la kwanza ni la walipa kodi inayo inaratibiwa na Mamlaka ya wakubwa walipa kodi wa kitaifa ambapo TPA Mapato Tanzania (TRA). imeshinda katika sekta ya usafirishaji na walipa kodi wa kanda. Hafla ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika hivi Kundi jingine ni la walipa kodi wa mkoa, wilaya, karibuni jijini Dar es Salaam, zilihudhuriwa na wakala wa ushuru na forodha, tuzo ya Kamishna Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Billal Mkuu wa TRA pamoja na tuzo kwa kundi la ambaye aliambatana na Naibu Waziri wa Fedha, Taasisi zinazoisadia TRA kukusanya kodi kama Bibi Janeth Mbene na Mwenyekiti wa Bodi ya vile Jeshi la Polisi. TRA, Bw. Benard Mchovu pamoja na Kamishna Mkuu wa TRA, Bw. Harry Kilitlya. Kampuni zilizoshinda tuzo kama walipa kodi wakubwa wa jumla ni Kampuni ya Bia (TBL), TPA ilipata ushindi wa kitaifa kwa kuwa mlipa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) na Kampuni kodi mkubwa katika sekta ya usafirishaji. ya Vodacom Tanzania. Kampuni zilizoshinda Kupatikana kwa tuzo hii kunamaanisha kwamba Inaendelea Uk. 7 6 Tuzo/Ziara

Inatoka Uk. 6 Kwa upande wa Kampuni zilizoshinda katika katika kundi la Kitaifa ni pamoja na TBL, kundi la wakala wa ushuru na forodha ni pamoja Vodacom Tanzania, TPC Moshi, NMB, ASB na Freight Fowarders, Ballore African Logistics Tanzania, TANAPA, TPA, PAN African Energy, Tanzania na Mechanised Cargo Systems. Geita Gold Mines na Estim Construction. Ziara ya Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza katika Bandari ya Dar es Salaam

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Madeni Kipande (wapili kulia) akielezea miradi ya Bandari kwa Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza, Mhe. Justine Greening (watatu kushoto).

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. (watatu kulia) akielezea jambo kwa Waziri wa Maendeleo ya Inaendelea Uk. 7 Kimataifa wa Uingereza, Mhe. Justine Greening (wapili kulia). 7 Matukio mbalimbali katika picha

Waziri Mkuu, Mh. , Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Afisa Ulinzi na Usalama Bandari ya Tanga, Bw. William Banney akitoa maelezo Mh. Chiku Gallawa, (wa pili kushoto) pamoja na watumishi wa kwa Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi Baharini, Kapteni King Chilagi na Mamlaka ya Bandari Tanga wakifurahia jambo, wakati Waziri Mhandisi Chalamila wote kutoka SUMATRA wakati walipotembelea Bandari ya Mkuu alipotembelea banda la Bandari Tanga katika maonyesho ya Tanga kufanya ukaguzi. Kushoto ni Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa TPA, Bi. uwekezaji mkoa wa Tanga. Cecilia Korassa. Kambi ya makapera yapoteza wanachama wake maarufu

Bwana na Bibi harusi, Hemedi Kyomile wa Bandari ya Tanga na Bibi Harusi Hanifa Mwinyi wa Kitengo cha Magari Bandari ya Dar Amina Mahmoud Ally wa Makao Makuu wakiwa na nyuso es Salaam akitia saini cheti cha ndoa huku mumewe Jese Nkungu za furaha mara baada ya kufunga ndoa nyumbani kwa Bibi akishuhudia mara baada ya kufunga ndoa katika msikiti wa Hidarusi harusi maeneo ya kota za Bandari na baadae kufuatiwa na uliopo Kijichi Mgeninani hivi karibuni. 8 sherehe iliyofanyika ukumbi wa Danken uliopo Mikocheni. Matukio mbalimbali katika picha

Afisa Ulinzi na Usalama Bandari ya Tanga, Bw. William Banney akitoa maelezo Beki mshambuliji wa timu ya TPA Makao Makuu, Damian kwa Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi Baharini, Kapteni King Chilagi na Mkumbukwa akiwekewa kizingiti na mlinzi wa Timu ya NSSF, Ally Mhandisi Chalamila wote kutoka SUMATRA wakati walipotembelea Bandari ya Biki wakati wa mchezo wa Bonanza la kujipima nguvu uliochezwa Tanga kufanya ukaguzi. Kushoto ni Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa TPA, Bi. katika uwanja wa Chuo cha Uhasibu hivi karibuni. Timu hizo Cecilia Korassa. zilifungana magoli 4-4. Kambi ya makapera yapoteza wanachama wake maarufu

Bibi Harusi Hanifa Mwinyi wa Kitengo cha Magari Bandari ya Dar Bwana na Bibi harusi, Michael Kachele wa Bandari ya Dar es Salaam na mke es Salaam akitia saini cheti cha ndoa huku mumewe Jese Nkungu wake Pendo Elias wakiwa katika picha pamoja na Meneja wa Bandari, Bw. Awadh akishuhudia mara baada ya kufunga ndoa katika msikiti wa Hidarusi Massawe (katikati) pamoja wafanyazi wengine wa Bandari hiyo. uliopo Kijichi Mgeninani hivi karibuni. Mhariri anawapongeza maharusi wote na kuwatakia maisha mema ya ndoa 9 ISPS/Huduma Bandari Tanga yakidhi viwango vya ISPS miaka mitano mfululizo

Na Cecilia Korassa

andari ya Tanga imetajwa kukidhi viwango na vigezo vya ISPS mara baada ya kutembelewa na Wakaguzi kutoka SUMATRA hivi karibuni B kwa ajili ya kukagua Ulinzi na Usalama. Hayo yalisemwa na Afisa Ukaguzi huo hufanyika mara Msajili wa Meli Tanzania, Ulinzi na Usalama Bandari ya mbili kila mwaka ili kuhakikisha Kapteni King Chiragi Tanga Bw. William Banney hivi Bandari nchini zinakuwa akishirikiana na Meneja karibuni. “Bandari ya Tanga salama. Maafisa Ukaguzi wa wa Usalama Majini kutoka imepata cheti cha kukidhi Ulinzi na Usalama wa ISPS Code SUMATRA, Mhandisi Eddyson viwango vya Ulinzi na Usalama kutoka SUMATRA walifanya Chalamila. Kwa kawaida wa Kimataifa (ISPS Code) ukaguzi huo na kujionea hatua ukaguzi huu hufanyika kabla ya kwa miaka mitano mfululizo mbalimbali zilizofikiwa katika ukaguzi unaofanywa na IMO na kuifanya Bandari yetu kuwa kuhakikisha kuwa Bandari ya katika Bandari za Tanzania ili moja ya Bandari zinazokidhi Tanga ni salama. kuona kama zina kidhi viwango vya Kiusalama Kimataifa. viwango vya Kimataifa,” Ukaguzi huu ulifanywa na amesema Banney. Tujiandae Mkataba wa Huduma kwa Mteja unakuja, kubadilika ni lazima…

Na Janeth Ruzangi Akizungumza hivi karibuni katika semina shirikishi iliyoandaliwa na Mamlaka kwa amlaka imejipanga kutoa wafanyakazi ili kuelewa madhumuni ya huduma bora zaidi kwa kuanzisha Mkataba huo na kuchangia ipasavyo Mwateja wake kwa kuanzisha katika kuandaa, Kaimu Naibu Mkurugenzi Mkuu Mkataba wa Huduma kwa Mteja Bw. Clemence Kiloyavaha aliwataka wanasemina kushiriki kikamilifu katika kuchangia uundaji wa utakaozingatia viwango vya huduma Mkataba huo ambao mwisho wa siku utekelezaji kama vitakavyokuwa vimeanishwa wake utamhusu kila mfanyakazi wa Mamlaka katika mkataba huo. katika kutoa huduma bora na kwa ufanisi kwa wateja. Inaendelea Uk. 11 10 Huduma

Inatoka Uk. 10

Wajumbe wakimsikiliza mtoa mada, Meneja Masoko, Bw. Suleiman Zanangwa katika semina ya Mkataba wa Huduma kwa Mteja kupitia mpango wa Matokeo Makubwa Sasa. Semina hiyo ilifanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Zimamoto na Usalama Bandari ya Dar es Salaam.

Alisema huduma bora kwa mteja ni kigezo Serikali ya Tanzania katika miaka ya hivi karibuni kimojawapo cha kuongeza biashara ya Mamlaka iliridhia kuanzisha utaratibu huu ili kuweka kwakuwa vigezo vitakavyowekwa ni vile ufanisi katika utoaji wa huduma zake kwa vitakavyoendana na kufanya kazi kwa ufanisi wananchi na tayari Wizara na Taasisi mbalimbali na kwa wakati muafaka huduma ambayo mteja za Serikali zimejiwekea utaratibu huu ikiwa ni yoyote ataridhika nayo na kuendelea kutumia pamoja na Wizara ya Uchukuzi. Bandari za Mamlaka na hivyo kuongeza mapato. Akiongea katika semina ya wafanyakazi juu ya Kiloyavaha aliongeza kusema kwamba Mpango uanzishaji wa Mkataba kwa Mteja Mkurugenzi wa Serikali wa Matokeo Makubwa Sasa unaitaka Msaidizi wa Rasilimali Watu kutoka Wizara Mamlaka kuwa na Mkataba wa Huduma kwa ya Uchukuzi, Bibi Judith Ndaba aliwataka Mteja ikiwa ni kigezo kimojawapo cha kufikia wafanyakazi kujiwekea viwango vya utendaji malengo yaliyopo katika Mpango huo. ambavyo vitakuwa halisia kwani kwa kushindwa kuvifikia itakuwa ni kukiuka makubalinao ambapo Mteja anaweza kudai fidia mahakamani kwa kutumia mkataba huo. Semina hiyo ambayo ilifanyika katika ukumbi wa Zimamoto Bandari ya Dar es Salaam pamoja na mambo mengine wanasemina waliridhia kwa pamoja kwamba wakati umefika kwa Mamlaka kuboresha utendaji wake na wafanyakazi kubadilika katika mtazamo mzima wa kufanya kazi na kutoa huduma bora. Lengo la Mamlaka ni kuendelea kutoa Wajumbe kutoka Idara Mbalimbali wakimsikiliza kwa makini semina hii kwa makundi mbalimbali mtoa mada. ya wafanyakazi ikiwa ni pamoja na Inaendelea Uk. 11 Menejimenti na Wafanyakazi. 11 Mv. Cubango Inawezekana hakuna linaloshindikana: Kapteni Mwingamno • Sasa meli kubwa za mita 249 kutia nanga Bandari ya Dar

Na Focus Mauki

wa mara ya kwanza katika historia ya Bandari ya Dar es Salaam, tumeshuhudia meli kubwa na ya kisasa aina ya Mv. Cubango yenye urefu Kwa mita 249 ikitia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam. Ujio wa majaribio wa meli meli zenye ukubwa wa aina ya Miradi kama hii inagharimu hii yenye uwezo wa kubeba Mv. Cubango kutia nanga katika kiwango kikubwa cha fedha kontena 4,500, ulibeba habari Bandari zenye kina kifupi. na inapaswa kuwa endelevu katika vyombo mbalimbali vya kutokana na kwamba Bandari Ukweli ni kwamba Bandari ya habari hapa nchini ambapo nyingi zipo katika mkondo wa Dar es Salaam kama zilivyo nyingi ziliiandika kuwa ni tukio maji na sio Bandari asili yaani Bandari nyingine hasa zilizopo la kihistoria na litakaloleta ‘natural port.’ unafuu katika uchumi wa nchi katika baadhi ya nchi za Afrika huku nyingine zikisomeka zinakumbana na changamoto Kutokana na changamoto kama kuwa Bandari ya Dar es Salaam ya ufinyu wa bajeti ili kuongeza hii nchi za Afrika Magharibi sasa itaongeza kiwango cha kina cha maji pamoja na njia ya zenye Bandari ziliamua kuhudumia shehena ya mzigo kuingilia meli. kuangalia njia mbadala ya na kuleta unafuu katika uchumi wa nchi. Pamoja na yote, ujio wa Mv. Cubango umeacha maswali kadhaa katika vichwa vya wadau ambapo swali mojawapo limekuwa ni uwezo wa Bandari ya Dar es Salaam kuhudumia meli kubwa za aina hii. Baadhi ya wadau wamenukuliwa wakisema kuwa ni jambo lisilowezekana, kwa misingi kwamba ukubwa wa meli kama Mv. Cubango hauendani na kina cha maji kilichopo katika Bandari ya Dar es Salaam. Wengi wamekuwa wakijiuliza swali kama hilo bila kufahamu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (kulia) akimpongeza Kapteni, Abdul Mwingamno mara baada ya kufanikiwa kuingiza meli kwamba katika dunia ya sasa ya Maersk Cubango katika Bandari ya Dar es Salaam. ipo teknolojia inayowezesha

12 Mv. Cubango

Vessel. Kapteni Mwingamno anasema hii ni mara ya kwanza kwa meli za muundo wa Wafmax kutia nanga katika Bandari ya Afrika Mashariki. Anabainisha kwamba meli hizi za Wafmax vessel zimeundwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa ambayo inaziwezesha kutia nanga katika Bandari kama ya Dar es Salaam bila kujali changamoto ya kina cha maji kilichopo kwani zimeundwa kwa kuziwezesha kuelea katika eneo kubwa la maji na kuzifanya kutuama katika kina kifupi tofauti na meli za muundo wa zamani. Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Awadhi Massawe akiwa katika picha ya pamoja na manahodha walioingiza meli ya Maersk Kutokana na Uongozi wa Cubango. Mamlaka kujali wateja wake kuziwezesha kupokea meli kufanya biashara na kuamua na kuona umuhimu wa kupokea kubwa zitakazo kuwa na uwezo kutengeneza aina ya muundo meli kubwa walikutana na wa kutia nanga katika Bandari wa meli unaofahamika kama kupitia upya zuio la kuingiza zake zenye kina kifupi. ‘West Africa Maximum Size, au meli za Maersk Wafmax katika (Wafmax Vessel),” anabainisha Bandari ya Dar es Salaam “Nchi zenye Bandari huko Kapteni Mwingamno. ambazo kwa kawaida zinakuwa Afrika Magharibi ziliwasiliana na urefu unaozidi kiwango na watengenezaji wa meli Mv. Cubango ambayo ilitia kinachoruhusiwa. ambao waliipokea changamoto nanga katika Bandari ya Dar es ya kina kifupi cha maji na Salaam hivi karibuni ni mfano Ili kuthibitisha mapungufu kuiona kuwa ni fursa ya mzuri wa teknolojia ya Wafmax yaliyopo katika Bandari ya Dar es Salaam na kutafuta ufumbuzi wa changamoto hiyo, Uongozi wa Mamlaka iliwatuma Kapteni Kasuga na Kapteni Mwingamno kwenda Lagos Nigeria kujionea meli za Maersk Wafmax zinavyofanya kazi. Mara baada ya ziara hiyo iliyofanyika katika Bandari ya Kisiwa cha Tin Can jijini Lagos Nigeria, ilikubalika kwamba Maersk ishauriwe kuleta meli zenye muundo wa Wafmax ikiwa katika viwango vilevile vilivyokutwa Nigeria kwa ajili ya kufanya majaribio katika Bandari ya Dar es Salaam. Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Awadhi Massawe akimpongeza Kapteni Abdul Mwingamno. Inaendelea Uk. 14

13 Mafunzo/Mv. Cubango Bandari College Tanga kutoa Stashahada ya Uongozi wa Bandari

Na Bashiru Ramadhani Chuo Cha Bandari kituo cha Tanga kimeanzisha mafunzo ya Stashahada ya Uongozi wa shughuli za Bandari, hatua ambayo itawapa fursa wafanyakazi wa Bandari ya Tanga na wakazi wa mkoa huo kujiendeleza kielimu. Afisa Rasilimali Watu Mafunzo, kupitia nyenzo mbalimbali uwezo wa kufanya kazi Bi. Moni Jarufu amesema zinazopatikana ndani ya kuendana na mabailiko ya kila kozi hiyo inatarajiwa kuanza Mamlaka hivyo na wanafunzi siku. mwanzoni mwa Novemba wataweza kujifunza na kupata mwaka huu na itakamilika Aprili mwakani. “Hii ni mara ya kwanza kwa mafunzo haya kuanzishwa katika kituo cha Bandari ya Tanga hivyo nawashauri wafanyakazi kuchangamkia fursa hii mapema ili kuongeza ufanisi na ujuzi katika kazi zenu,” amefafanua Jarufu. Jarufu ameongeza kwamba lengo la kuanzishwa kwa Stashahada hiyo katika kituo cha Tanga ni kuwafikia walengwa wengi zaidi kwani wapo wengi wanao kosa fursa hii kutokana na majukumu mbalimbali waliyonayo. Wanafunzi wa kozi ya “Diploma in Shipping & Port Management) Mafunzo yatatolewa kwa Tanga, wakiwa darasani hivi karibuni. njia ya nadharia na vitendo

Inatoka Uk. 13 Hapo ndipo tuliposhuhudia meli ya Mv Cubango Kapteni Mwingamno anamalizia kwa kusema, ilitia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam kwa “tumejiridhisha kwamba meli kubwa za aina majaribio ambayo yalifanikiwa kwa kiwango ya Wafmax na zinazofanana na hizo zinaweza kikubwa. Lengo la majaribio hayo ilikuwa ni kufanya biashara na Bandari ya Dar es Salaam. kuona namna gani Mamlaka inaweza kuboresha Kwa kuzingatia mambo mbalimbali ya kitalaamu njia ya kuingilia meli katika Bandari ya Dar na mabadiliko ya Teknolojia. Baada ya zoezi es Salaam bila ya kutumia gharama kubwa ya hilo kufanikiwa bado tunaangalia uwezekano wa kuongezea kina cha maji, ikiwa ni pamoja na kuingiza meli kubwa zaidi ya hiyo ili kuendana kuona namna bora ya kuhudumia meli kubwa ili na ushindani wa soko,” anamalizia kusema kuwa kuwavutia wateja wengi zaidi katika ukanda huu. ni jambo linalowezekana.

14 JIC Ziara Dawa ya Bandari bubu na biashara haramu Tanga kupatikana Na Bashiru Ramadhani na Moni Jarufu haramu na dawa za kulevya. “Hatuwezi kuruhusu Bandari ya Tanga kuwa gulio la walanguzi, aziri wa Uchukuzi, Dk. wasafirishaji wa dawa za kulevya, wakwepa ushuru na wahamiaji haramu,” amefafanua Harrison Mwakyembe Waziri. ameahidi kufanyia kazi W Wakati huohuo Waziri amemtaka Mkuu wa Ulinzi tatizo la Bandari bubu katika Mkoa wa Bandari ya Tanga kuimarisha ulinzi katika wa Tanga zinazoisababishia Serikali Bandari pamoja na maeneo yanayozunguka hasara kwa kupoteza mapato ya nchi. Bandari kwa kuongeza idadi ya walinzi. Dk. Mwakyembe amesema hayo wakati Naye Kaimu Mkuu wa Bandari ya Tanga, alipokutana na Wadau na Wafanyabiashara Bw. Freddy Liundi amemweleza Waziri kuwa Mkoani Tanga pamoja na Viongozi wa Bandari katika mwezi wa Oktoba jumla ya makontena hiyo hivi karibuni. 823 yalingia Bandarini ambapo kati ya hayo makontena 638 yalikaguliwa kwa kutumia “Natambua uwepo wa Bandari bubu 49 hapa mashine maalumu ‘scanner’. Tanga hivyo naahidi kulifanyia kazi jambo hili mara moja kwani uwepo wa Bandari bubu unapoteza mapato ya nchi na kuikosesha Mamlaka mapato.” Dk. Mwakyembe ametoa angalizo kwa Wafanyabiashara wa Mkoa wa Tanga kuwa watapoteza fedha zao wasipokuwa makini kwa kutumia Bandari bubu zilizopo katika Mkoa wa Tanga kwa visingizio vyovyote vile. Kwa upande mwingine Dk. Mwakyembe amewataka watendaji wa Jeshi la Polisi, mawakala wa ushuru pamoja na watendaji wa Bandari kuacha mara moja vitendo vya wizi na udokozi Bandarini kwani kwa kufanya hivyo wanaweza kupoteza kazi na kushtakiwa. Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akitoa maelezo kwa Mkuu wa Ulinzi na Usalama, Bw. Lazaro Twange (katikati) wakati Waziri pia amewakemea vikali Waziri alipotembelea Bandari ya Tanga hivi karibuni. Kulia ni Mwenyekiti watendaji wote na kuwaasa wa Bodi ya TPA Prof. Joseph Msambichaka. kuacha kupitisha bidhaa haramu, ikiwemo wahamiaji 15 Malenga

MATOKEO

La mgambo likilia, Jiandae kuna jambo Kasuga aso majivuno,Kwa kazi kama umeme Kwenye mwito elekea, Hata kama kwa vikumbo Kapteni Mwingamno, Meli kubwa ndo KIDUME Mbelembele jongelea, Upate sikia mambo Liundi Tanga mfano, Ntipi poti sihame Kwa MATOKEO MAKUBWA, SASA Kwa MATOKEO MAKUBWA, SASA natushikamane natushikamane

Dola imeelekeza, Vipaumbele vitatu Kichama ndo usiseme, Chala makao makuu Dar es Salaam kwanza, ndio kioo cha watu Mkangara si msemi, Poti matawi ya juu Yafuatia Mwanza, Kigoma ndio ya tatu Msoma wetu umeme, Katibu aso makuu Kwa MATOKEO MAKUBWA, SASA Kwa MATOKEO MAKUBWA, SASA natushikamane natushikamane

Wakubwa wameagizwa, Watujuze bila kimbembe Sankole si mchanga, Kwa hoja hawezekani Bandari tumeingizwa, Kwenye mpango kabambe Komba kubwa la miranga, Muingiapo vitani Uchumi upate kuzwa, Kimataifa tutambe Maeda awachunga, Ipatikane amani Kwa MATOKEO MAKUBWA, SASA Kwa MATOKEO MAKUBWA SASA natushikamane natushikamane

Mpango umependekeza, Vipaumbele vichache Kwa wana Bandari wote, Penga ndo limepulizwa Ambavyo tutaviweza, Twende navyo hachehache Tuyaonyeshe mapote, Mchezo unavyochezwa Tumekubali twaweza, Chanzo cha moto cheche Tushikamaneni wote, Mcheza kwao HUTUZWA Kwa MATOKEO MAKUBWA, SASA Kwa MATOKEO MAKUBWA, SASA natushikamane natushikamane

Mpango haututishi, Bandari wapo wasomi Mdikang’andu (Ngoshi Ja Mbazi) Gawile wa utumishi, Massawe yeye mchumi Tanga Port Control Tower Ruzangi na waandishi, Korassa ndio sisemi Simu 0784/0715390684 Kwa MATOKEO MAKUBWA, SASA Tanga natushikamane “Matokeo Makubwa Sasa” BANDARI BILA Inawezekana, Timiza UKIMWI wajibu wako sasa INAWEZEKANA

16