TANZANIA PORTS AUTHORITY www.tanzaniaports.com | Bendera Tatu, S.L.P. 9184, Dar es Salaam Email: [email protected] Toleo Namba 24 2 - 8 Disemba, 2013 DOWUTA Tanga yaendesha Uk.3 Matumizi ya Mifumo Uk.5 Inawezekana hakuna linaloshin- Uk. 12 semina kwa Wanachama wake yaongeze tija-Massawe dikana: Kapteni Mwingamno Waganda waahidi kuendelea kutumia Bandari ya Dar Na Peter Millanzi aia wa Uganda wameahidi kuendelea kutumia Bandari ya Dar es Salaam kupitishia mizigo yao licha ya maneno na mipango ya kisisasa inayofanywa Rna washindani wa Bandari ya Dar es Salaam. Ahadi hiyo ilitolewa na Waganda katika maonyesho ya 21 ya kimataifa ya biashara yaliyofanyika nchini Uganda hivi karibuni ambapo Bandari ya Dar es Salaam ilishiriki. “Tunafahamu ushirikiano unaofanywa na baadhi ya viongozi wa nchi jirani, ili wananchi wa nchi hizi waitumie Bandari ya Mombasa lakini sisi tupo kibiashara zaidi kwani huwezi kutunza mayai yako kwenye kapu moja,” walisisitiza Waganda hao. Katika maonyesho hayo timu ya wataalam Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Dk. Ladislaus Komba (mwenye suti) wa Bandari ya Dar es akiwa na timu ya watendaji wa Bandari ya Dar es Salaam iliyoshiriki Salaam ikiongozwa na katika maonyesho ya kibiashara ya kimataifa ya 21 yaliyofanyika nchini Meneja Idara ya Makasha, Uganda hivi karibuni. Timu hiyo iliongozwa na Meneja Idara ya Makasha, Bw. Habel Mhanga, Bw. Habel Mhanga, (wa kwanza kutoka kulia). Inaendelea Uk. 2 1 Masoko Inatoka Uk. 1 iliwahakikishia Waganda Timu hiyo kutoka Bandari katika biashara yake” alisisitiza kwamba Serikali ya Tanzania iliwafahamisha Waganda Dk. Komba. kwa kushirikiana na Mamlaka kwamba Mamlaka tayari ya Usimamizi wa Bandari imechukua hatua mbalimbali Aidha Dk. Komba alitoa rai Tanzania (TPA) pamoja na kukomesha wizi na upotevu wa kwa Mamlaka kuwekeza wadau wa Bandari wameboresha mizigo ya wateja. Timu hiyo katika kuitangaza Bandari ya huduma zinazotolewa na pia iliwahakikishia Waganda Dar es Salaam katika nchi Bandari ya Dar es Salaam. usalama wa mizigo inayopita ambazo zinatumia Bandari Moja ya maboresho hayo ni katika Bandari hii ambayo ni hiyo. “Wananchi wa nchi pamoja na utoaji huduma kwa kubwa kuliko zote nchini. zinazotumia Bandari ya Dar es kutumia mtandao wa kompyuta Salaam hawana taarifa sahihi badala ya kutumia nyaraka Wataalamu waliwafahamisha kuhusu uboreshwaji wa huduma za makaratasi. Utumiaji wa Waganda kwamba Bandari mnazotoa na Bandari kwa hiyo mtandao umeongeza ufanisi ya Dar es Salaam imeboresha naomba TPA iwekeze zaidi katika kupunguza muda wa uhudumiaji wa magari kutoka katika kuitangaza Bandari hii ili utoaji mizigo Bandarini. magari 343 kwa shifti mpaka kuwavutia watu wengi kupitishia magari 672 kwa shifti, jambo mizigo yao. Pia naiomba TPA Hatua nyingine ya maboresho ambalo limeivutia nchi ya ifungue ofisi katika nchi hizo ni utaratibu wa ulipiaji wa Zimbabwe kupitishia magari yao kwa lengo la kusogeza huduma mizigo Bandarini kupitia benki. katika Bandari ya Dar es Salaam. kwa wateja wa Bandari ya Dar es Utaratibu huu umeondosha Salaam” alimalizia Dk. Komba. mianya ya wizi kwa baadhi ya Kwa upande wa miundombinu mawakala wasio waaminifu timu hiyo imesema, Serikali ya kupata fursa ya kuwaibia wateja Tanzania imeendelea kuboresha wao na umeongeza mapato ya barabara kwa kiwango cha TPA hasa katika Bandari ya lami na kuzifanya kupitika Dar es Salaam. katika kipindi chote cha mwaka. Serikali inaendelea Kwa upande mwingine, TPA kufanya jitihada mbalimbali za kwa kushirikiana na wadau kuiboresha reli ya kati ili reli wake chini ya uratibu wa Ofisi itumike zaidi kuchukua mizigo TANGAZO ya Waziri Mkuu imeanzisha inayopitia katika Bandari ya Dar kituo kimoja cha kushughulikia es Salaam. Mhariri anakaribisha nyaraka mbalimbali za habari kuhusu matukio kuhudumia mizigo Bandarini Timu hiyo pia ilipata fursa ya mbalimbali kama vile cha One Stop Centre (OSC) kukutana na Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Dk. Ladislaus harusi za wafanyakazi, kwa nia ya kuwezesha Taasisi sherehe na matukio ya za Kiserikali zinazohusika na Komba ambaye alionyesha ukaguzi na udhibiti wa mizigo kufurahishwa na ushiriki wa ndani ya idara au vikundi inayoingizwa na kutoka nchini TPA katika maonyesho hayo. rasmi vya Mamlaka, kuwa katika ofisi moja ili Balozi alitoa wito kwa TPA na bonanza, mahafali na kuhudumia wateja kwa ufanisi wadau wa Bandari kuongeza matukio mengine. zaidi. Kituo hiki kilianzishwa kasi ya uboreshaji wa huduma kwa lengo la kuweka idara katika Bandari ya Dar es Wasiliana na Idara ya hizo pamoja ili kuharakisha Salaam ili kuwavutia wateja Mawasiliano Makao uhudumiaji wa mizigo, wengi zaidi. “Ukiboresha Makuu. taratibu za kuondosha mizigo huduma katika Bandari ya Dar Bandarini na hatimaye kuleta es Salaam Waganda wengi Piga Cisco 1002379: ufanisi na tija katika huduma watavutiwa kupitishia mizigo Makao Makuu zinazotolewa na Bandari. yao Dar es Salaam kwani hakuna mfanyabiashara anayetaka shida 2 DOWUTA DOWUTA Tanga yaendesha semina kwa Wanachama wake Na Cecilia Korassa aimu Mkuu wa Bandari Tanga, Bw. Freddy Liundi amewapongeza viongozi Kwa DOWUTA Tawi la Tanga kwa kuandaa semina ya wafanyakazi. Akifungua semina hiyo ya siku kufikiwa na kuongeza pato la kuhakikisha wanachama mbili kwa niaba ya Mkuu huyo, Taifa.” wanapata uelewa wa Sheria Mhasibu wa Bandari ya Tanga DOWUTA ni kiungo muhimu za Kazi na kujua Kanuni na Bw. Tryphone Mtipi alisema, kati ya Uongozi na Wafanyakazi, Masharti ya Utumishi mahali “Hongereni sana kwa hili, huu ambapo pia chama hicho pa kazi, na litakuwa ni zoezi ni mfano mzuri wa kuigwa na hutumika kutoa msaada katika endelevu. Wanachama wengine Bandari nyingine.” kusimamia masuala mbalimbali watapatiwa mafunzo katika awamu nyingine kutokana na Ntipi amewapongeza viongozi yanayohusu wafanyakazi. Kwa ratiba ilivyopangwa. kwa kuifanya Bandari ya upande wake Mwenyekiti wa Tanga kuwa Kituo cha kwanza DOWUTA Tanga, Bw. Ali Akifunga semina hiyo Afisa kuendesha mafunzo hayo katika Sankole amesema wametimiza Mipango wa Bandari ya Tanga, Mamlaka. Ntipi amefafanua wajibu wao kwani katiba ya Bi. Moshi Mtambalike aliwaasa kuwa, “semina za aina hii ni DOWUTA inawataka kutoa wanachama hao kwa kusema, muhimu kwani hutoa uelewa mafunzo ya namna hiyo kwa “elimu mliyoipata iwafikie mzuri kwa wafanyakazi na wanachama ili watambue na wengine na mafunzo haya kupunguza migogoro kazini, wajibu wao. yawafanye mbadilike ili na migogoro ikipungua morali Semina hii imewahusisha tuweze kuongeza tija ndani ya ya kazi na tija huongezeka na wanachama 48 ambapo lengo Mamlaka.” kufanya malengo ya Mamlaka Inaendelea Uk. 4 la semina hiyo lilikuwa ni Mwenyekiti wa DOWUTA Tanga Bw. Ali Sankole akizungumza jambo wakati wa semina ya wanachama wa DOWUTA tawi la Tanga. 3 DOWUTA/ Baraza Inatoka Uk. 3 Mafunzo ya semina hiyo alitoa mafunzo ya Sheria Mpya Naye Kaimu Mkuu wa yalitolewa na Afisa Mfawidhi za Kazi, Sheria ya Ajira na Utumishi Bandari ya Tanga, Bi. Ofisi ya Tume ya Usuluhishi Mahusiano Kazini Na.6/2004 Theckla Malombe alitoa mada na Uamuzi Kanda ya Tanga, na Sheria ya Taasisi za Kazi Na. kuhusu Kanuni na Masharti ya Bw. Haji Kayugwa ambaye 7/2004. Utumishi mahali pa kazi. Interports Games sasa kutimua vumbi Disemba 9 Na Mwandishi Wetu ichezo ya Bandari maarufu kuwa ni pamoja na mpira wa miguu, kama inter-ports games mpira wa pete, mpira wa kikapu, bao, Msasa imepangwa kufanyika kuvuta kamba na riadha. Disemba 9 hadi 13 mwaka huu jijini Mwaka jana michezo hii ilifanyika jijini Mwanza Dar es Salaam. Waraka uliotolewa na kwa mwaka huu wenyeji watakuwa ni kituo na Kaimu Mkurugenzi Mkuu na cha Dar es Salaam pamoja na Makao Makuu. kusambazwa kwa wakuu wa Idara, Wakuu wa vituo wameagizwa kuzingatia bajeti unabainisha michezo itakayofanyika iliyopangwa Katika michezo ya mwaka huu itakayojumuisha wanamichezo 421 kutoka vituo 5. MAFUNZO Timu zitakazoshiriki katika michezo hii pamoja na idadi ya wanamichezo katika mabano ni pamoja na Makao Makuu (87), Bandari ya Dar es Salaam (87), Tanga (87), Mtwara (87) na Bandari za Maziwa (73) na kufanya idadi ya wanamichezo wote kuwa ni 421. Wakati huohuo Uongozi umeagiza kuwa michezo hii ni kwa ajili ya wafanyakazi wa Mamlaka tu na wafanyakazi wa kituo kimoja hawataruhusiwa kuchezea kituo kingine. Idhini ya kila idara kupeleka washangiliaji imetolewa na wakuu wa Idara wameagizwa kuzingatia kwamba washangiliaji wote walioteuliwa mwaka jana Baadhi ya wanafunzi wanaosoma kozi ya Stashahada ya wasishiriki mwaka huu ili kuleta Shughuli za bandari na Uongozi (Diploma in Shipping and uwiano na mahusiano mema Port Management) katika bandari ya Tanga wakiwa katika katika kila Idara husika. majadiliano hivi karibuni. 4 Mafunzo Matumizi ya Mifumo yaongeze tija-Massawe Na Peter Millanzi aimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Awadhi Massawe amewataka washiriki wa mafunzo ya mifumo inayotumika kuhudumia Kmizigo na wateja kutumia mafunzo hayo katika kufanya kazi kwa ufanisi ili kuongeza tija ndani ya Bandari. Rai hiyo ilitolewa na Massawe kuboresha huduma kwa wateja Mmoja kati wa wakufunzi wa hivi karibuni kwa washiriki wake. mafunzo hayo alikuwa ni Bw. wa mafunzo ya mifumo Julius Malunde ambaye pia ni Massawe aliwaambia washiriki inayotumika katika Bandari Mkuu wa Idara ya TEHAMA hao ambao wengi wao ni ya Dar es Salaam. Aliwataka Bandari ya Dar es Salaam viongozi kwamba, wakielewa washiriki wa mafunzo hayo ambaye alitoa mafunzo juu mafunzo yanayotolewa itakuwa ambayo yamekuwa yanatolewa ya mfumo wa harbour view. vizuri kusimamia kazi za kwa awamu kwa makundi Malunde aliwafahamisha watu walio chini yao. Mifumo mbali mbali ya viongozi na washiriki hao kwamba harbour inayotumika katika utendaji wafanyakazi wa Bandari view ni mfumo unaohusika kazi kwa Bandari ya Dar es kufuatilia kwa makini mafunzo na taratibu zote zinazohusu Salaam ni pamoja harbour hayo ili kuilewa vizuri mifumo uingiaji na utokaji wa meli inayotumika katika Bandari ya view, cargo system na billsys. Dar es Salaam kwa lengo la Inaendelea Uk. 6 Kaimu Meneja wa Bandari, Bw. Awadhi Massawe (wa sita katikati), akiwa na washiriki wa mafunzo ya mifumo inayotumika kuwahudumia wateja na mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam. 5 Mafunzo/Tuzo Inatoka Uk. 5 ya majimaji, magari, n.k. anazotakiwa kulipa Bandarini katika Bandari ya Dar es Pia mfumo huu unatumika kupitia benki za CRDB Ltd na Salaam.
Details
-
File Typepdf
-
Upload Time-
-
Content LanguagesEnglish
-
Upload UserAnonymous/Not logged-in
-
File Pages16 Page
-
File Size-