Kwa muda mfupi, Yu alikuwa na hisia za ucheshi. alikuwa amechoka sana! Aliangalia mbele. Nyumbani , Lin alikuwa sahihi? Huenda anapaswa kumwita bado kulikuwa mbali. Hakupaswa kumpuuza Roho Baba ili amchukue kwenda nyumbani kabla mitaa Mtakatifu kwa sababu hoja ya kijinga. haijafurika maji. Lakini yeye na Baba walikuwa na Yu alisimama ili kusema ombi fupi. Hakuweza Mwite Baba malumbano jana usiku, na Yu alikuwa bado na hasi- kusikia sauti yake juu ya mvua na radi, lakini alijua ra. Hakutaka kumwomba Baba msaada. kwamba Baba wa Mbinguni angeweza kumsikia. Kama nitaendesha kwa nguvu, Yu aliifungua baiskeli yake na kusema kwahe- “Baba wa Mbinguni,” Yu aliomba. “Tafadhali nisai- Yu alifikiria, naweza kufika nyu- ri kwa Lin. Kama nitaendesha kwa nguvu, yeye die nifike nyumbani salama.” Alipomaliza, alihisi ngu- mbani kabla ya mitaa kufurika. alifikiria,naweza kufika nyumbani kabla mitaa vu ya kuendelea. haijafurika. Mwishowe, Yu aliweza kuiona nyumba yake kwe-

Na Julie Cornelius-Huang Aliendesha kwa bidii, lakini punde mikono yake nye kilima. Akihisi baridi, kuchoka, na kwa namna (Imetokana na hadithi ya kweli) ilikuwa baridi, nguo zake zilikuwa zimelowa, na aliku- fulani akiwa amepoteza kiatu, Yu alijikokota kupanda Mwandishi anaishi katika Utah, Marekani wa amechoka. Kwa mara nyingine, wazo likamjia la kilima. Alimwona Baba akimngojea . Baba aliki- “Changamkeni, kwa kuwa nitawaongoza” (Mafundisho kumwita Baba. Je hisia zilikuwa zimetoka kwa Roho mbia kushuka chini ya kilima kukutana naye, akirusha na Maagano 78:18). Mtakatifu? Wamisionari waliokuwa wamembatiza wali- maji wakati akikimbia. alitoka nje ya shule iliyosongamana kwenda njia sema kwamba Roho Mtakatifu angeweza kuwa mwo- Wakati Baba alipomfikia, aliweka mikono yake Yya watembea kwa miguu. Kichwa chake kilikuwa ngozo wake. Yu alitupa macho angani. Anga lilikuwa kumzunguka Yu. “Nilikuwa na wasi wasi sana!” Baba kimejaa ukweli wa hesabu kutoka darasa lake la baada la kijivu sana kiasi kwamba hakuweza kuona juu ya alisema. “Ulipaswa kunipigia simu!”

ya shule. Watu waliharakisha na miamvuli. Mabonge NA BILL YOUNG NA BILL YOUNG KIELELEZO KIELELEZO majengo. Lakini bado alikuwa amemkasirikia Baba. “Nilidhani tumekasirikiana,” Yu alisema. manene ya mvua yalikuwa yakianguka kwa kasi, na Yu alipuuzia hisia na kuendelea kuendesha. Maji “Sijawahi kukasirika na kuacha kukusaidia,” Baba mtaa ulikuwa umejaa maji. yalizidi kujaa kwamba wenye maduka walifunga alisema. Kisha akaichukua baiskeli ya Yu na kuisuku- Rafiki yake Yu, Lin, alitoka nje karibu maduka yao. Watu walihamisha vitu vyao kwenda ma hadi mwisho wa kilima. yake. “Unapaswa kumwita baba yako aje ghorofa za juu. Yu alimwona mama akiwasukuma Hata ngurumo za radi zikilia kati ya majengo mare- kukuchua,” Lin alisema. “Bwana Zhang watoto wake wawili kuvuka mafuriko katika boti fu na mvua kubwa ikianguka chini, hisia nzuri ilijaza anasema kuna mafuriko katika baadhi ndogo ya plastiki. moyo wa Yu. Alijisikia amani na usalama akiwa anam- ya sehemu za mji.” Maji sasa yalivuka vifundo vya miguu yake, Yu fuata Baba nyumbani. ● “Ninaweza kufika nyumbani mimi hakuweza tena kuendesha baiskeli yake. Alishuka mwenyewe.” na kusukuma. Labda alikuwa ame- “Lakini angalia hayo maji yote!” chelewa sana kumpigia Baba, Lin alisema, akionyesha maji na mvua ilikuwa bado yakitiririka kwa kasi ikinyesha. Ngurumo katika mfereji. ziliongezeka na radi “Baba yetu wa Mbinguni alijua kwamba katika maisha ikaangaza juu yake. ya mwili wenye kufa tungeka- Yu aliogopa. Na biliwa na changamoto. . . . Ili kutupa sisi nguvu katika mwili wenye kufa na mwongozo mtukufu, Yeye alimtoa Roho Mtakatifu.”

Mzee Ronald . Rasband wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili, “Acha Roho Mtakatifu Aongoze,” Liahona, Mei 2017, 93.

R14 Rafiki Oktoba 2020 R15