Mkutano Wa Kwanza
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA KWANZA YATOKANAYO NA KIKAO CHA KWANZA 17 NOVEMBA, 2015 MKUTANO WA KWANZA - YATOKANAYO NA KIKAO CHA KWANZA TAREHE 17 NOVEMBA, 2015 I. TANGAZO LA RAIS LA KUITISHA MKUTANO WA BUNGE: Kikao cha kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 11 kilianza saa 3.00 asubuhi kwa Katibu wa Bunge kusoma Tangazo la Rais la kuitisha Mkutanow a Bunge, ambalo ni Tangazo la Serikali Na. 513 la Tarehe 6 Novemba, 2015 kwa Mujibu wa Ibara ya 90(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. II. UCHAGUZI WA SPIKA: Kabla ya kuanza kwa Uchaguzi wa Spika, Katibu wa Bunge alimtaja Mhe. Andrew John Chenge ambaye ni Mbunge wa muda mrefu zaidi kuliko wabunge wengine kuwa Mwenyekiti wa Kikao cha Kumchagua Spika wa Bunge. Mwenyekiti wa Kikao alikalia kiti na kutoa maelezo mafupi, kisha akamkaribisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali atoe Hoja ya Kutengua Kanuni ya 143 ili kuruhusu wagombea wa nafasi ya Spika ambao sio wabunge waruhusiwe kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge. Hoja hii ilitolewa na kuungwa mkono. Mwenyekiti alimkaribisha Katibu wa Bunge kutoa maelezo ya Uchaguzi ambapo pamoja na mambo mengine aliwaita rasmi wagombea waliotimiza masharti husika kama ifuatavyo:- (i) Mhe. Peter Leonard Sarungi - ATFP (ii) Mhe. Hassan Kisabi Almas - NRA (iii) Mhe. Dkt. Godfrey Raphael Malisa - CCK (iv) Mhe. Job Yustino Ndugai - CCM (v) Mhe. Dkt. Goodluck Joseph Ole Medeye - CHADEMA (vi) Mhe. Richard Shedrack Lyimo - TLP (vii) Mhe. Hashim Spunda Rungwe - CHAUMA (viii) Mhe. Robert Alexander Kisinini - DP Baada ya maelezo hayo wagombea wote walijieleza mbele ya wabunge kwa dakika tatu kila mmoja na kuulizwa maswali kama ifuatavyo:- 1. Mhe. Peter Leonard Sarungi – alijieleza na kuulizwa maswali na Mhe. Livingstone Lusinde, Mhe. Abdallah Mtolea na Mhe. Mwita Mwikwabe Waitara. 2. Mhe. Hassan Kisabi Almas - alijieleza na kuulizwa maswali na Mhe. Hussein Nassor Omar na Mhe. Mch. Peter Simon Msigwa. 2 3. Mhe. Dkt. Godfrey Raphael Malisa – alijieleza na kuulizwa maswali na Mhe. Pauline Gekul, Mhe. Jenista Mhagama na Mhe. Albert Obama Ntabaliba. 4. Mhe. Job Yustino Ndugai– alijieleza na kuulizwa maswali na Mhe. Subira Mgalu, Mhe. Joseph Selasini na Mhe. Amina Mollel. 5. Mhe. Dkt. Goodluck Joseph Ole Medeye– alijieleza na kuulizwa maswali na Mhe. Hamidu Bobali, Mhe. Sabrina Hamza Sungura na Mhe. Selemani Jafo. 6. Mhe. Richard Shedrack Lyimo– alijieleza na kuulizwa maswali na Mhe. Stephen Ngonyani, Mhe. Esther Matiko na Mhe. Stella Manyanya. 7. Mhe. Hashim Spunda Rungwe– Hakuwepo. 8. Mhe. Robert Alexander Kisinini– alijieleza na kuulizwa maswali na Mhe. Juliana Shonza, Mhe. Ali Hassan Omar King na Mhe. Saum Sakala Baada ya wagombea kujieleza na kuulizwa maswali wabunge walihesabiwa, karatasi za kura zilisambazwa na zoezi la kupiga na kuhesabu kura lilifanyika kwa maelekezo ya msimamizi wa uchaguzi ambaye ni Katibu wa Bunge. Bunge lilisitishwa kwa dakika 30 ili kusubiri matokeo. MATOKEO YA UCHAGUZI WA SPIKA: Baada ya uhesabuji wa kura kukamilika, Bunge lilirejea na matokeo yalitangazwa kama ifuatavyo:- • Idadi ya wabunge kikatiba – 394 • Wabunge waliosajiliwa waliopo – 368 • Kura zilizopigwa – 365 • Kura zilizoharibika – 2 • Mhe. Godfrey Raphael Malisa – kura 0 • Mhe. Goodluck Joseph Ole-Medeye – kura 109 • Mhe. Hashim Spunda rungwe – Kura 0 • Mhe. Hassan Kisabi Almas – Kura 0 • Mhe. Job Yustino Ndugai – Kura 254 • Mhe. Peter Leonard Sarungi – Kura 0 • Mhe. Richard shadrack Lyimo – Kura 0 • Mhe. Robert Alexander Kisinini – Kura 0 MSHINDI – Mhe. Job Yustino Ndugai kwa asilimia 70 ya kura zote. Baada ya matokeo hayo, Mwenyekiti alitoa matangazo mafupi na kisha kuwakalibisha wagombea wengine kutoa maneo mafupi ya shukrani. 3 III. KIAPO CHA UAMINIFU NA KIAPO CHA SPIKA: Mhe. Job Yustino Ndugai, aliitwa mbele na kuapa kiapo cha uaminifu kama Mbunge na pia kiapo cha kuwa Spika wa Bung ela 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. IV. KUSTISHA BUNGE: Baada ya viapo vya Spika, Mwenyekiti alisitisha Bunge ili kutoa fursa kwa Spika kwenda kuvaa vazi rasmi na kisha kuingia ukumbi na kuanza kazi rasmi ya Uspika. V. WIMBO WA TAIFA NA DUA: Baada ya msafara wa Spika kuingia Bungeni wimbo wa Taifa uliimbwa na kisha Spika alisoma Dua na baadae kutoa maelezo mafupi ya shukrani. VI. KIAPO CHA UAMINIFU KWA WABUNGE: Wabunge wafuatao waliapishwa:- 1. Mhe. George Mcheche Masaju 2. Mhe. Adrew John Chenge 3. Mhe. Kabwe Zuber Ruyagwa Zitto 4. Mhe. Richard Mganga Ndassa 5. Mhe.Dkt. Mary Michael Nagu 6. Mhe. Dkt. Tulia Ackson 7. Mhe. Upendo Furaha Peneza VII. KUSITISHA BUNGE: Saa 7:34 Mchana Spika alisitisha Bunge hadi saa 11:00 Jioni VIII. BUNGE KUREJEA: Bunge lilirijea mnamo saa 11: 00 jioni na kuongozwa na SPIKA Wabunge wafuatao waliapishwa na Mhe. Spika:- 8. Mhe. Abbas Ali Hassan Mwinyi , Capt 9. Mhe. Abdallah Ally Mtolea 10. Mhe. Abdallah Haji Ali 11. Mhe. Abdallah Dadi Chikota 12. Mhe. Abdallaha Hamisi Ulega 4 13. Mhe. Abdul Aziz Mohammed Abood 14. Mhe. Aeshi Khalfan Hilary 15. Mhe. Agnes Mathew Marwa 16. Mhe. Adadi Mohamed Rajab, Balozi 17. Mhe. Ahmed Ally Salum 18. Mhe. Ahmed Juma Ngwali 19. Mhe. Aisharose Ndogholi Matembe 20. Mhe. Ajali Rashid Akbar 21. Mhe. Ahmed Mabkhut Shabiby 22. Mhe. Aida Joseph Khenan 23. Mhe. Albert Obama Ntabaliba 24. Mhe. Ali Hassan Omar King 25. Mhe. Ali Salim Khamis 26. Mhe. Allan Joseph Kiula 27. Mhe. Ally Mohammed Keissy 28. Mhe. Ally Seleh Ally 29. Mhe. Amina Nassoro makilagi 30. Mhe. Amina Saleh Mollel 31. Mhe. Anastazia James Wambura 32. Mhe. Anatropia Lwehikila theonest 33. Mhe. Angelina Adam Malembeka 34. Mhe. Angelina Sylvester Lubala Mabula 35. Mhe. Angellah Jasmine Kairuki 36. Mhe. Anna Joram Gidarya 37. Mhe. Anna Richard Lupembe 38. Mhe. Antony Calist Komu 39. Mhe. Antony Peter Mavunde 40. Mhe. Asha Abdallh Juma 41. Mhe. Asha Mshimba Jecha 42. Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji 43. Mhe. Eng. Atashasta Justus Nditiye 44. Mhe. Atupele Fredy Mwakibete 5 45. Mhe. Ally Seif Ungando 46. Mhe. Augustino Vuma Holle 47. Mhe. Augustino Manyanda Masele 48. Mhe. Azza Hillal Hamad 49. Mhe. Almas Athuman Maige 50. Mhe. Anna Kajumulo Tibaijuka, Prof 51. Mhe. Bahati Ali Abeid 52. Mhe. Bhagwanji Maganlal Meinsuria 53. Mhe. Boniphace Mwita Getere 54. Mhe. Boniventura Destery Kiswaga 55. Mhe. Bupe Nelson Mwakang’ata 56. Mhe. Bernadetha Kasabago Mushashu 57. Mhe. Bonnah Moses Kaluwa 58. Mhe. Catherine Valentine Magige 59. Mhe. Cecil David Mwambe 60. Mhe. Cecilia Daniel Paresso 61. Mhe. Charles Muhangwa Kitwanga 62. Mhe. Conchesta Leonce Rwamlaza 63. Mhe. Cosato David Chumi 64. Mhe. Dkt. Christine Gabriel Ishengoma 65. Mhe. Constantine John Kanyasu 66. Mhe. Dkt. Charles John Tizeba 67. Mhe. Dkt. Dalaly peter Kafumu 68. Mhe. Dkt. David Mathayo David 69. Mhe. Daniel Edward Mtuka. 70. Mhe. Dau Mbaraka Kitwana 71. Mhe. Daimu Iddi Mpakate 72. Mhe. David Ernest Silinde 73. Mhe. Deo Kasenyenda Sanga 74. Mhe. Desderius John Mipata 75. Mhe. Devotha Mathew Minja 76. Mhe. Dkt. Diodorus Buberwa Kamala, Balozi 6 77. Mhe. Doto Mashaka Biteko 78. Mhe. Dunstan Luka Kitandula 79. Mhe. Daniel Nicodemus Nsanzugwanko 80. Mhe. Edward Franz Mwalongo 81. Mhe. Edwin Amandus Ngonyani 82. Mhe. Edwin Mgante Sannda 83. Mhe. Elias John Kwandikwa 84. Mhe. Elibariki Immanuel Kingu 85. Mhe. Dkt. Elly Marco Macha 86. Mhe. Ester Amos Bulaya 87. Mhe. Emmanuel Adamson Mwakasaka 88. Mhe. Emmanuel Papian John 89. Mhe. Ester Alexender Mahawe 90. Mhe. Ester Lukago Midimu 91. Mhe. Ezekiel Magolyo Maige 92. Mhe. Esther Michael Mmasi 93. Mhe. Isack Aloyce Kamwele ,Eng. 94. Mhe. Faida Mohammed Bakar 95. Mhe. Fakharia Shomar Khamis 96. Mhe. Fatma Hassan Toufiq 97. Mhe. Faustine Engelbert Ndugulile, Dkt. 98. Mhe. Felister Aloyce Bura 99. Mhe. Flatei Gregory Massay 100. Mhe. Frank George Mwakajoka 101. Mhe. George Huruma Mkuchika, Capt Mst. 102. Mhe. George Malima Lubeleje 103. Mhe. Gerson Hosea Lwenge, Eng. 104. Mhe. Gibson Blasius Ole-Meiseyeki 105. Mhe. Gimbi Dotto Masaba 106. Mhe. Godfrey William Mgimwa 107. Mhe. Godwin Oloyce Mollel, Dkt. 108. Mhe. Grace Victor Tendega 7 109. Mhe. Hadija Salum Ally 110. Mhe. Haji Ameir Haji 111. Mhe. Dkt.Hadji Hussein Mponda 112. Mhe. Haji Khatib Kai 113. Mhe. Halima Ali Mohammed 114. Mhe. Harisson George Mwakyembe, Dkt. 115. Mhe. Hamad Salim Maalim 116. Mhe. Hamidu Hassan Bobali 117. Mhe. Hamoud Abuu Jumaa 118. Mhe. Haroon Mulla Pirmohamed 119. Mhe. Hussein Ali Mwinyi, Dkt. 120. Mhe. Hussein Mohamed Bashe 121. Mhe. Hawa Mchafu Chakoma 122. Mhe. Ibrahim Hassanali Mohammedali 123. Mhe. Ignas Aloyce Malocha 124. Mhe. Dkt.Immaculate Sware Semesi 125. Mhe. Innocent Sebba Bilakwate 126. Mhe. Jamal Kassim Ali 127. Mhe. Jaffari Sanya Jussa 128. Mhe. Japhet Ngailonga Hasunga 129. Mhe. January Yusuf Makamba 130. Mhe. Jenista Joakim Mhagama 131. Mhe. Jesca David Kishoa 132. Mhe. Joel Mwaka Makanyaga 133. Mhe. John Peter Kadutu 134. Mhe. Joseph Osmund Mbilinyi 135. Mhe. Joram Ismael Hongoli 136. Mhe. Joseph Kizito Mhagama 137. Mhe. Joseph Leonard Haule 138. Mhe. Joseph Roman Selasini 139. Mhe. Julius Kalanga Laizer 140. Mhe. Juma Hamad Omar 8 141. Mhe. Juma Othman Hija 142. Mhe. Jumaa Hamidu Aweso 143. Mhe. Jumanne Kibera Kishimba 144. Mhe. Jumanne Shukuru Kawambwa, Dkt. 145. Mhe. Kangi Alphaxard Lugola 146. Mhe. Kemilembe Julius Lwota 147. Mhe. Khalifa Mohammed Issa 148. Mhe. Khalifa Salim Suleiman 149. Mhe. Khamis Ali Vuai 150. Mhe. Khamis Mtumwa Ali 151. Mhe. Khamis Yahaya Machano 152. Mhe. Kiteto Zawadi Koshuma 153. Mhe. Lameck Okambo Airo 154. Mhe. Lucia Michael Mlowe 155. Mhe. Maftaha Abdallah Nachuma 156. Mhe. Makame Kassim Makame 157. Mhe. Mansoor Shanif Hirani 158. Mhe. Martin Mtonda Msuha 159. Mhe. Mary Deo Muro 160. Mhe. Maryam Salum Msabaha 161. Mhe. Masoud Abdallah Salim 162. Mhe. Masoud Ali Khamis, Canal Mst. 163. Mhe. Mattar Ali Salum 164. Mhe. Maulid Said Abdallah Mtulia 165. Mhe. Mussa Hassan Mussa 166. Mhe. Saada Mkuya Salum 167. Mhe. Tundu Antiphas Mughwai Lissu 168. Mhe. Zubeda Hassan Sakuru 9 IX.