KIAMBATISHO

JAMHURI YA MUUNGANO WA BUNGE LA TANZANIA

MCHANGANUO WA WABUNGE KATIKA KAMATI MPYA ZA BUNGE LA KUMI NA MOJA (11) ______

21 JANUARI, 2016

ii

YALIYOMO

I. VIGEZO VILIVYOTUMIKA ...... 2 II. IDADI YA WAJUMBE WA KILA KAMATI KWA MCHANGANUO WA VYAMA ...... 3 III. KAMATI YA UONGOZI ...... 4 IV. KAMATI YA KANUNI ZA BUNGE ...... 5 V. KAMATI YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE ...... 7 VI. KAMATI YA MASUALA YA UKIMWI ...... 9 VII. KAMATI YA BAJETI ...... 11 VIII. KAMATI YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA ...... 13 IX. KAMATI YA KATIBA NA SHERIA ...... 15 X. KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA ...... 17 XI. KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII ...... 19 XII. KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII ...... 21 XIII. KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI ...... 23 XIV. KAMATI YA MIUNDOMBINU ...... 25 XV. KAMATI YA NISHATI NA MADINI ...... 27 XVI. KAMATI YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA ...... 29 XVII. KAMATI YA SHERIA NDOGO ...... 30 XVIII. KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC) ...... 33 XIX. KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) ...... 35 XX. KAMATI YA UWEKEZAJI WA MITAJI YA UMMA ...... 37

1

I. VIGEZO VILIVYOTUMIKA ______

[Kanuni ya 116(5)] ______

1. VIGEZO Vifuatavyo ni vigezo vilivyozingatiwa kuwapanga Wabunge katika Kamati za Kudumu za Bunge:- (a) Idadi ya Wabunge inayolingana kwa kila Kamati;

(b) Aina zote za Wabunge na kigezo cha asilimia ya kila aina ya Wabunge waliopo Bungeni, kwa kuzingatia pande za Muungano, jinsia na uwakilishi wa vyama;

(c) Matakwa ya Wabunge wenyewe kwa kujaza Fomu za maombi;

(d) Uzoefu au ujuzi wa Wabunge kuzingatia kazi na majukumu ya Kamati na uzoefu wa awali kielimu na kikazi.

2. MAMBO YA JUMLA (a) Orodha hii pia imejumuisha Wabunge ambao hawakuomba kupangiwa katika Kamati zozote na wale ambao wameomba Kamati moja moja tu.

(b) Spika, Naibu Spika, Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni au Mwakilishi wake, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Kiongozi wa Upinzani ni wajumbe wa Kamati ya Uongozi.

(c) Spika, Naibu Spika, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Kiongozi wa Upinzani ni wajumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge.

2

II. IDADI YA WAJUMBE WA KILA KAMATI KWA MCHANGANUO WA VYAMA

(a) KAMATI AMBAZO KILA MBUNGE NI MJUMBE KATIKA MOJAWAPO

NA. KAMATI CCM CHADEMA CUF NCCR ACT JUMLA 1. Masuala ya UKIMWI 12 5 6 0 0 23 2. Bajeti 15 5 2 0 0 22 3. Viwanda, Biashara na 13 8 2 0 0 23 Mazingira 4. Katiba na Sheria 15 4 3 0 1 23 5. Utawala na Serikali za Mitaa 18 2 2 1 0 23 6. Huduma na Maendeleo ya 13 6 3 0 0 22 Jamii 7. Ardhi, Maliasili na Utalii 15 5 3 0 0 23 8. Kilimo, Mifugo na Maji 15 7 1 0 0 23 9. Miundombinu 15 4 4 0 0 23 10. Nishati na Madini 15 4 4 0 0 23 11. Mambo ya Nje, Ulinzi na 16 5 2 0 0 23 Usalama 12. Sheria Ndogo 17 4 2 0 0 23 13. Hesabu za Serikali za Mitaa 16 4 2 0 0 22 (LAAC) 14. Hesabu za Serikali (PAC) 17 3 3 0 0 23 15. Uwekezaji wa Mitaji ya Umma 14 5 3 0 0 22 JUMLA 226 71 42 1 1 341

(b) KAMATI AMBAZO WAJUMBE WAKE NI MTAMBUKA

NA. KAMATI CCM CHADEMA CUF NCCR ACT JUMLA 1. Uongozi - - - - - 21 2. Kanuni za Bunge 11 3 2 0 0 16 3. Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge 9 3 3 0 0 15 JUMLA 20 6 5 0 0 52

3

III. KAMATI YA UONGOZI NA. JINA (Jimbo) CHAMA 1. Mhe. Job Yustino Ndugai, MB - Spika (KONGWA) CCM {Pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni za Bunge} 2. Mhe. Dkt. Tulia Ackson, MB – Naibu Spika

(KUTEULIWA) CCM {Pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni za Bunge} 3. Mhe. Majaliwa , MB – Waziri Mkuu1 CCM (RUANGWA) 4. Mhe. George Mcheche Masaju, MB [MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI (AG)] Ex - Officio {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kanuni} 5. Mhe. Freeman Aikael Mbowe, MB

(HAI) CHADEMA {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Bajeti pamoja na Kamati ya Kanuni za Bunge} 6. Mwenyekiti, Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge 7. Mwenyekiti, Kamati ya Masuala ya UKIMWI 8. Mwenyekiti, Kamati ya Bajeti

9. Mwenyekiti, Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira 10. Mwenyekiti, Kamati ya Katiba na Sheria

11. Mwenyekiti, Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa 12. Mwenyekiti, Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii 13. Mwenyekiti, Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii 14. Mwenyekiti, Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji 15. Mwenyekiti, Kamati ya Miundombinu 16. Mwenyekiti, Kamati ya Nishati na Madini

17. Mwenyekiti, Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama 18. Mwenyekiti Kamati ya Sheria Ndogo 19. Mwenyekiti, Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa

(LAAC) 20. Mwenyekiti, Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC)

21. Mwenyekiti Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma

1 Au Mwakilishi wake. 4

IV. KAMATI YA KANUNI ZA BUNGE

NA. JINA (Jimbo) CHAMA 1. Mhe. Job Yustino Ndugai, MB - Spika (KONGWA) CCM {Pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi} 2. Mhe. Dkt. Tulia Ackson, MB – Naibu Spika

(KUTEULIWA) CCM {Pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi} 3. Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni au Mwakilishi Wake {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Uongozi, Kamati CHADEMA ya Kanuni za Bunge na Kamati ya Bajeti}

4. Mhe. George Mcheche Masaju, MB [MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI (AG)] Ex - Officio {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Uongozi} 5. Mhe. Makame Kassim Makame, MB (MWERA) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Bajeti}

6. Mhe. Tundu Antipas Mughway Lissu, MB (SINGIDA MASHARIKI) {Pia ni Mjumbe wa Kamati CHADEMA ya Sheria Ndogo}

7. Mhe. Jasson Samson Rweikiza, MB

(BUKOBA VIJIJINI) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa} 8. Mhe. Ally Saleh Ally, MB (MALINDI) CUF {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Katiba na Sheria} 9. Mhe. Magdalena Hamis Sakaya, MB (KALIUA) CUF {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii}

5

10. Mhe. Salome Wycliff Makamba, MB

(VITI MAALUM) CHADEMA {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Sheria Ndogo} 11. Mhe. Dkt. Jasmine Tiisekwa Bunga, MB

(VITI MAALUM) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii} 12. Mhe. Zainab Athman Katimba, MB

(VITI MAALUM) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma} 13. Mhe. Balozi Adadi Mohamed Rajab, MB

(MUHEZA) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama} 14. Mhe. Dkt. Charles J. Tizeba, MB

(BUCHOSA) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii} 15. Mhe. Kangi , MB (MWIBARA) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya LAAC} 16. Mhe. Andrew John Chenge, MB

(BARIADI) CCM

{Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Sheria Ndogo}

6

V. KAMATI YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE

NA. JINA (Jimbo) CHAMA 1. Mhe. Rashid Ali Abdallah, MB (TUMBE) CUF {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Sheria Ndogo} 2. Mhe. Amina Nassoro Makilagi, MB

(VITI MAALUM) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa} 3. Mhe. Dkt. Christine Gabriel Ishengoma, MB

(VITI MAALUM) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji} 4. Mhe. Othman Omar Haji, MB

(GANDO) CUF {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma} 5. Mhe. Rose Kamili Sukum, MB (VITI MAALUM) CHADEMA {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa} 6. Mhe. George Malima Lubeleje, MB

(MPWAPWA) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa} 7. Mhe. Dkt. Suleiman Ally Yussuf, MB (MGOGONI) {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Hesabu CUF za Serikali za Mitaa} 8. Mhe. Susan Anselm Lyimo, MB (VITI MAALUM) CHADEMA {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii} 9. Mhe. Tunza Issa Malapo, MB

(VITI MAALUM) CHADEMA {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali} 10. Mhe. Kapteni Mst. George H. Mkuchika, MB

(NEWALA MJINI) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama} 7

11. Mhe. Dkt. Hadji Hussein Mponda, MB

(MALINYI) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali} 12. Mhe. Almas Athuman Maige, MB

(TABORA KASKAZINI) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Sheria Ndogo} 13. Mhe. Najma Murtaza Giga, MB

(VITI MAALUM) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Katiba na Sheria } 14. Mhe. Hafidh Ali Tahir, MB (DIMANI) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali} 15. Mhe. Innocent Sebba Bilakwate, MB (KYERWA) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utawala

na Serikali za Mitaa}

8

VI. KAMATI YA MASUALA YA UKIMWI NA. JINA CHAMA 1. Mhe. Muhammed Amour Muhammed, MB CUF (BUMBWINI) 2. Mhe. Juma Kombo Hamad, MB CUF (WINGWI) 3. Mhe. Mattar Ali Salum, MB CCM (SHAURIMOYO) 4. Mhe. Savelina Slyvanus Mwijage, MB CUF (VITI MAALUM) 5. Mhe. John Wegesa Heche, MB CHADEMA (TARIME VIJIJINI) 6. Mhe. Khalifa Mohammed Issa, MB CUF (MTAMBWE) 7. Mhe. Abdalla Haji Ali, MB CUF (KIWANI) 8. Mhe. Waitara Mwita Mwikwabe, MB CHADEMA (UKONGA) 9. Mhe. Rhoda Edward Kunchela, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 10. Mhe. Kanyasu Constantine John, MB CCM (GEITA MJINI) 11. Mhe. Hasna Sudi Katunda Mwilima, MB CCM (KIGOMA KUSINI) 12. Mhe. Khamis Yahya Machano, MB CCM (CHAANI) 13. Mhe. Sikudhani Yasini Chikambo, MB CCM (VITI MAALUM) 14. Mhe. Zuberi Mohamedi Kuchauka, MB CUF (LIWALE) 15. Mhe. Mgeni Jadi Kadika, MB CUF (VITI MAALUM) 16. Mhe. Hussein Nassor Amar, MB CCM (NYANG'HWALE) 17. Mhe. Richard Philip Mbogo, MB CCM (NSIMBO) 18. Mhe. Grace Victor Tendega, MB CHADEMA (VITI MAALUM)

9

19. Mhe. Elibariki Emmanuel Kingu, MB CCM (SINGIDA MAGHARIBI) 20. Mhe. Vuma Hole Augustine, MB CCM (KASULU VIJIJINI) 21. Mhe. Yahaya Omary Massare, MB CCM (MANYONI MAGHARIBI) 22. Mhe. John Peter Kadutu, MB CCM (ULYANKULU) 23. Mhe. Sophia Mattayo Simba, MB CCM (VITI MAALUM)

10

VII. KAMATI YA BAJETI

NA. JINA CHAMA 1. Mhe. Makame Kassim Makame, MB (MWERA) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge} 2. Mhe. Mendrad Lutengano Kigola, MB CCM (MUFINDI KUSINI) 3. Mhe. Janet Zebedayo Mbene, MB CCM (ILEJE) 4. Mhe. Ali Hassan Omari, MB CCM (JANGÓMBE) 5. Mhe. Jerome Bwanausi, MB CCM (LULINDI) 6. Mhe. Cecil David Mwambe, MB CHADEMA (NDANDA) 7. Mhe. Salma Mohamed Mwassa, MB CUF ((VITI MAALUM)) 8. Mhe. Hamida Mohamedi Abdallah, MB CCM (VITI MAALUM) 9. Mhe. Martha Jachi Umbulla, MB CCM (VITI MAALUM) 10. Mhe. Susana Chogisasi Mgonukulima, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 11. Mhe. Josephat , MB CCM (KALAMBO) 12. Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, MB CCM (KARAGWE) 13. Mhe. Juma Hamad Omar, MB CUF (OLE) 14. Mhe. Freeman Aikael Mbowe, MB (HAI) CHADEMA {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Uongozi na Kamati ya Kanuni za Bunge} 15. Mhe. David Ernest Silinde, MB CHADEMA (MOMBA) 16. Mhe. Subira Khamis Mgalu, MB CCM (VITI MAALUM) 17. Mhe. Mbaraka Kitwana Dau, MB CCM

11

(MAFIA) 18. Mhe. Maria Ndila Kangoye, MB CCM (VITI MAALUM) 19. Mhe. Susan Peter Maselle, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 20. Mhe. Hawa Abdulrahman Ghasia, MB CCM (MTWARA VIJIJINI) 21. Mhe. Augustino Manyanda Masele, MB CCM (MBOGWE) 22. Mhe. Flatei Gregory Massay, MB CCM (MBULU VIJIJINI)

12

VIII. KAMATI YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA

NA. JINA CHAMA 1. Mhe. Salim Hassan Turky, MB CCM (MPENDAE) 2. Mhe. Kalanga Julius Laizer, MB CHADEMA (MONDULI) 3. Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo, MB CCM (MASWA MASHARIKI) 4. Mhe. Dkt. Dalali Peter Kafumu, MB CCM (IGUNGA) 5. Mhe. Khatib Said Haji, MB CUF (KONDE) 6. Mhe. Tauhida Cassian Gallos, MB CCM (VITI MAALUM) 7. Mhe. Vicky Paschal Kamata, MB CCM (VITI MAALUM) 8. Mhe. Munira Mustafa Khatib, MB CCM (VITI MAALUM) 9. Mhe. Anthony Calist Komu, MB CHADEMA (MOSHI VIJIJINI) 10. Mhe. Godbless Jonathan Lema, MB CHADEMA (ARUSHA MJINI) 11. Mhe. Abdulaziz Mohamed Abood, MB CCM (MOROGORO MJINI) 12. Mhe. Lameck Okambo Aairo, MB CCM (RORYA) 13. Mhe. Hawa Subira Mwaifunga, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 14. Mhe. Balozi Dkt. Diodorus B. Kamala, MB CCM (NKENGE) 15. Mhe. Jesca David Kishoa, MB CHADEMA (VITI MAAALUM) 16. Mhe. Mbarouk Salim Ali, MB CUF (WETE) 17. Mhe. Mussa Ramadhani Sima, MB CCM (SINGIDA MJINI)

13

18. Mhe. Anatropia Lwehikila Theonest, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 19. Mhe. Faida Mohammed Bakari, MB CCM (VITI MAALUM) 20. Mhe. Suleiman Masoud Nchambi, MB CCM (KISHAPU) 21. Mhe. Gimbi Dotto Masaba, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 22. Mhe. Ibrahim Hassanali Mohammedali, MB CCM (KIEMBESAMAKI) 23. Mhe. Joyce John Mukya, MB CHADEMA (VITI MAALUM)

14

IX. KAMATI YA KATIBA NA SHERIA

NA. JINA CHAMA 1. Mhe. Neema William Mgaya, MB CCM (VITI MAALUM) 2. Mhe. Ally Saleh Ally, MB

(MALINDI) CUF {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge} 3. Mhe. Dkt. Mathayo David Mathayo, MB CCM (SAME MAGHARIBI) 4. Mhe. Mboni Mohamed Mhita, MB CCM (HANDENI VIJIJINI) 5. Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa, MB CCM (RUFIJI) 6. Mhe. Taska Restituta Mbogo, MB CCM (VITI MAALUM) 7. Mhe. Makame Mashaka Foum, MB CCM (KIJINI) 8. Mhe. Seif Ungando Ally, MB CCM (KIBITI) 9. Mhe. Najma Murtaza Giga, MB

(VITI MAALUM) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge} 10. Mhe. Emmanuel Adamson Mwakasaka, MB CCM (TABORA MJINI) 11. Mhe. Nassor Suleiman Omar, MB CUF (ZIWANI) 12. Mhe. Saumu Heri Sakala, MB CUF (VITI MAALUM) 13. Mhe. Twahir Awesu Mohammed, MB CUF (MKOANI) 14. Mhe. Dkt. Godwin Aloyce Mollel, MB CHADEMA (SIHA) 15. Mhe. Asha Abdullah Juma, MB CCM (VITI MAALUM)

15

16. Mhe. Ajali Rashid Akbar, MB CCM (NEWALA VIJIJINI) 17. Mhe. Omary Ahmad Badwel, MB CCM (BAHI) 18. Mhe. Joseph Kizito Mhagama, MB CCM (MADABA) 19. Mhe. Riziki Shari Mngwali, MB CUF (VITI MAALUM) 20. Mhe. Joram Ismael Hongoli, MB CCM (LUPEMBE) 21. Mhe. Anna Joram Gidarya, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 22. Mhe. Gibson Blasius Meiseyeki, MB CHADEMA (ARUMERU MAGHARIBI) 23. Mhe. Rashid Abdallah Shangazi, MB CCM (MLALO)

16

X. KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA

NA. JINA CHAMA 1. Mhe. Khamis Ali Vuai, MB CCM (MKWAJUNI) 2. Mhe. Jasson Samson Rweikiza, MB (BUKOBA VIJIJINI) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge} 3. Mhe. Ruth Hiyobi Mollel, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 4. Mhe. Esther Alexander Mahawe, MB CCM (VITI MAALUM) 5. Mhe. Innocent Sebba Bilakwate, MB (KYERWA) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge} 6. Mhe. Zacharia Paulo Issaay, MB CCM (MBULU MJINI) 7. Mhe Hamad Salim Maalim, MB CUF (KOJANI) 8. Mhe. Mwanne Ismail Mchemba, MB CCM (VITI MAALUM) 9. Mhe. George Malima Lubeleje, MB

(MPWAPWA) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge} 10. Mhe. Azza Hillal Hamad, MB CCM (VITI MAALUM) 11. Mhe. Zaynab Matitu Vulu, MB CCM (VITI MAALUM) 12. Mhe. Sebastian Simon Kapufi, MB CCM (MPANDA MJINI) 13. Mhe. Josephine Tabitha Chagula, MB CCM (VITI MAALUM) 14. Mhe. Halima Ali Mohammed, MB CUF (VITI MAALUM) 15. Mhe. Angelina Adam Malembeka, MB CCM (VITI MAALUM)

17

16. Mhe. Dkt. Pudenciana Wilfred Kikwembe, MB CCM (KAVUU) 17. Mhe. Emmanuel Papian John, MB CCM (KITETO) 18. Mhe. Salum Khamis Salum, MB CCM (MEATU) 19. Mhe. Peter Ambrose Pacience Lijualikali, MB CHADEMA (KILOMBERO) 20. Mhe. Venance Methusela Mwamoto, MB CCM (KILOLO) 21. Mhe. Ahmed Juma Ngwali, MB CUF (WAWI) 22. Mhe. Mwantum Dau Haji, MB CCM (VITI MAALUM) 23. Mhe. Mariam Ditopile Mzuzuri, MB CCM (VITI MAALUM)

18

XI. KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII

NA. JINA CHAMA 1. Mhe. Hussein Mohamed Bashe, MB CCM (NZEGA MJINI) 2. Mhe. Dkt. Charles J. Tizeba, MB (BUCHOSA) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge} 3. Mhe. , MB CCM (URAMBO MASHARIKI) 4. Mhe. Joseph Osmund Mbilinyi, MB CHADEMA (MBEYA MJINI) 5. Mhe. Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile, MB CCM (KIGAMBONI) 6. Mhe. Kasuku Samson Bilago, MB CHADEMA (BUYUNGU) 7. Mhe. Dkt. Raphael Masunga Chegeni, MB CCM (BUSEGA) 8. Mhe. Peter Joseph Serukamba, MB CCM (KIGOMA KASKAZINI) 9. Mhe. Dkt. Elly Marko Macha, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 10. Mhe. Lucia Ursula Michael Mlowe, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 11. Mhe. Risala Saidi Kabongo, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 12. Mhe. Dkt. Jasmine Tiisekwa Bunga, MB CCM (VITI MAALUM) {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kanuni} 13. Mhe. Jacqueline Ngonyani Msongozi, MB CCM (VITI MAALUM) 14. Mhe. Susan Anselm Lyimo, MB (VITI MAALUM) CHADEMA {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge}

19

15. Mhe. Stephen Julius Masele, MB CCM (SHINYANGA MJINI) 16. Mhe. Mussa Azzan Zungu, MB (ILALA) CCM

17. Mhe. Juma Selemani Nkamia, MB CCM (CHEMBA) 18. Mhe. Seleman Said Bungara, MB CUF (KILWA KUSINI) 19. Mhe. Kabwe Zuberi Zitto, MB ACT (KIGOMA MJINI) 20. Mhe. Lazaro Samwel Nyalandu, MB CCM (SINGIDA KASKAZINI) 21. Mhe. Josephine Johnson Genzabuke, MB CCM (VITI MAALUM) 22. Mhe. Saed Ahmed Kubenea, MB CHADEMA (UBUNGO)

20

XII. KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII

NA. JINA CHAMA 1. Mhe. Zainabu Nuhu Mwamwindi, MB CCM (VITI MAALUM)

2. Mhe. Bernadeta Kasabago Mushashu, MB CCM (VITI MAALUM) 3. Mhe. Magdalena Hamis Sakaya, MB

(KALIUA) CUF {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge} 4. Mhe. Silafu Jumbe Maufi, MB CCM (VITI MAALUM) 5. Mhe. Dkt. Mary Machuche Mwanjelwa, MB CCM (VITI MAALUM) 6. Mhe. Atashasta Justus Nditiye, MB CCM (MUHAMBWE) 7. Mhe. Boniphace Mwita Getere, MB CCM (BUNDA) 8. Mhe. Yussuf Salim Hussein, MB CUF (CHAMBANI) 9. Mhe. Devotha Mathew Minja, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 10. Mhe. Pauline Philipo Gekul, MB CHADEMA (BABATI MJINI) 11. Mhe. Kunti Yusuph Majala, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 12. Mhe. Joshua Samwel Nassari, MB CHADEMA (ARUMERU MASHARIKI) 13. Mhe. Kemirembe Julius Lwota, MB CCM (VITI MAALUM) 14. Mhe. Yussuf Haji Khamis, MB CUF (NUNGWI) 15. Mhe. Sixtus Raphael Mapunda, MB CCM (MBINGA MJINI) 16. Mhe. Jaffar Sanya Jussa, MB CCM (PAJE) 17. Mhe. Khalifa Salim Suleimani, Mb CCM (TUNGUU)

21

18. Mhe. Mary Pius Chatanda, MB CCM (KOROGWE MJINI) 19. Mhe. Philipo Augustino Mulugo, MB CCM (SONGWE) 20. Mhe. Wilfred Muganyizi Lwakatare, MB CHADEMA (BUKOBA MJINI) 21. Mhe. Shabani Omari Shekilindi, MB CCM (LUSHOTO) 22. Mhe. Musukuma Joseph Kasheku, MB CCM (GEITA) 23. Mhe. Hamoud Abuu Jumaa, MB CCM (KIBAHA VIJIJINI)

22

XIII. KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI

NA. JINA CHAMA 1. Mhe. Jitu Virajlal Soni, MB CCM (BABATI VIJIJINI) 2. Mhe. Dkt. Immaculate Sware Semesi, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 3. Mhe. Dkt. Christine G. Ishengoma, MB

(VITI MAALUM) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge} 4. Mhe. Mahmoud H. Mgimwa, MB CCM (MUFINDI KASKAZINI) 5. Mhe. Salum Mwinyi Rehani, MB CCM (UZINI) 6. Mhe. Khadija Hassan Abood, MB CCM (VITI MAALUM) 7. Mhe. Marwa Ryoba Chacha, MB CHADEMA (SERENGETI) 8. Mhe. Ndaki Mashauri Mashimba, MB CCM (MASWA MAGHARIBI) 9. Mhe. Onesmo Koimerek Ole Nangole, MB CHADEMA (LONGIDO) 10. Mhe. Dkt. Mary Michael Nagu, MB CCM (HANANG) 11. Mhe. John John Mnyika, MB CHADEMA (KIBAMBA) 12. Mhe. Hamidu Hassan Bobali, MB CUF (MCHINGA) 13. Mhe. James Kinyasi Millya, MB CHADEMA (SIMANJIRO) 14. Mhe. Njalu Daudi Silanga, MB CCM (ITILIMA) 15. Mhe. Paschal Yohana Haonga, MB CHADEMA (MBOZI) 16. Mhe. Nimrod Elirehemah Mkono, MB CCM (BUTIAMA)

23

17. Mhe. Maida Hamadi Abdallah, MB CCM (VITI MAALUM) 18. Mhe. Salim Mbaraku Bawazir, MB CCM (KILOSA) 19. Mhe. Deo Kasenyenda Sanga, MB CCM (MAKAMBAKO) 20. Mhe. Abdallah Hamisi Ulega, MB CCM (MKURANGA) 21. Mhe. Ameir Haji Timbe, MB CCM (MAKUNDUCHI) 22. Mhe. Daniel Nicodemus Nsanzugwanko, MB CCM (KASULU MJINI) 23. Mhe. Upendo Furaha Peneza, MB CHADEMA (VITI MAALUM)

24

XIV. KAMATI YA MIUNDOMBINU

NA. JINA CHAMA 1. Mhe. Mizar Bakari Haji, MB CUF (VITI MAALUM) 2. Mhe. Abbas Ali Hassan Mwinyi, MB CCM (FUONI) 3. Mhe. Asha Mshimba Jecha, MB CCM (VITI MAALUM) 4. Mhe. Mansoor Shanif Hirani, MB CCM (KWIMBA) 5. Mhe. Saul Henry Amon, MB CCM (RUNGWE) 6. Mhe. Ahmed Mabkhut Shabiby, MB CCM (GAIRO) 7. Mhe. Quambalo Willy Qulwi, MB CHADEMA (KARATU) 8. Mhe. Anna Richard Lupembe, MB CCM (VITI MAALUM) 9. Mhe. Hawa Mchafu Chakoma, MB CCM (VITI MAALUM) 10. Mhe. Halima Abdallah Bulembo, MB CCM (VITI MAALUM) 11. Mhe. Khadija Salum Ally Al-Qassym, MB CUF (VITI MAALUM) 12. Mhe. James Francis Mbatia, MB NCCR (VUNJO) 13. Mhe. Zubeda Hassan Sakuru, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 14. Mhe. Bhagwanji Maganlal Meisuria, MB CCM (CHWAKA)

15. Mhe. Moshi Selemani Kakoso, MB CCM (MPANDA VIJIJINI) 16. Mhe. Lathifah Hassan Chande, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 17. Mhe. Mary Deo Muro, MB CHADEMA (VITI MAALUM)

25

18. Mhe. Mussa Rashid Ntimizi, MB CCM (IGALULA) 19. Mhe. Dua William Nkurua, MB CCM (NANYUMBU) 20. Mhe. Omar , MB CCM (HANDENI MJINI) 21. Mhe. Dkt. Norman Adamson Sigalla King, MB CCM (MAKETE) 22. Mhe. Raphael Japhary Michael, MB CHADEMA (MOSHI MJINI) 23. Mhe. Chuachua Mohamed Rashid, MB (MASASI MJINI) CCM

26

XV. KAMATI YA NISHATI NA MADINI

NA. JINA CHAMA 1. Mhe. Ussi Salum Pondeza, MB CCM (CHUMBUNI) 2. Mhe. Joyce Bitta Sokombi, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 3. Mhe. Mohamed Juma Khatib, MB CUF (CHONGA) 4. Mhe. Bahati Ali Abeid, MB CCM (MAHONDA) 5. Mhe. Susan Limbweni Kiwanga, MB CHADEMA (MLIMBA) 6. Mhe. Maulid Said Abdallah Mtulia, MB CUF (KINONDONI) 7. Mhe. Ally Mohamed Keissy, MB CCM (NKASI KASKAZINI) 8. Mhe. Vedastus Mathayo Manyinyi, MB CCM (MUSOMA MJINI) 9. Mhe. Yussuf Kaiza Makame, MB CUF (CHAKECHAKE) 10. Mhe. Katani Ahmadi Katani, MB CUF (TANDAHIMBA) 11. Mhe. Zainab Mussa Bakar, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 12. Mhe. Haroon Mulla Pirmohamed, MB CCM (MBARALI) 13. Mhe. Bupe Nelson Mwakang’ata, MB CCM (VITI MAALUM) 14. Mhe. Doto Mashaka Biteko, MB CCM (BUKOMBE) 15. Mhe. Martha Moses Mlata, MB CCM (VITI MAALUM) 16. Mhe. Mwantakaje Haji Juma, MB CCM (BUBUBU) 17. Mhe. Daimu Iddi Mpakate, MB CCM (TUNDURU KUSINI)

27

18. Mhe. Desderius John Mipata, MB CCM (NKASI KUSINI) 19. Mhe. Maryam Salum Msabaha, MB CHADEMA (VITI MAALUM)

20. Mhe. Deogratius Ngalawa, MB CCM (LUDEWA) 21. Mhe. Catherine Valentine Magige, MB CCM (VITI MAALUM) 22. Mhe. Oscar Rwegasira Mukasa, MB CCM (BIHARAMULO MAGHARIBI) 23. Mhe. Stella Ikupa Alex, MB CCM (VITI MAALUM)

28

XVI. KAMATI YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA

NA. JINA CHAMA 1. Mhe. Mussa Hassan Mussa, MB CCM (AMANI) 2. Mhe. Dunstan Luka Kitandula, MB CCM (MKINGA) 3. Mhe. Lucy Simon Magereli, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 4. Mhe. Prosper Joseph Mbena, MB CCM (MOROGORO KUSINI) 5. Mhe. Kiswaga Boniventura Desteri, MB CCM (MAGU) 6. Mhe. Haji Khatib Kai, MB CUF (MICHEWENI) 7. Mhe. Bonnah Moses Kaluwa, MB CCM (SEGEREA) 8. Mhe. Jumanne Kibera Kishimba, MB CCM (KAHAMA MJINI) 9. Mhe. Rose Cyprian Tweve, MB CCM (VITI MAALUM) 10. Mhe. Balozi Adadi Mohamed Rajab, MB

(MUHEZA) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge} 11. Mhe. Sophia Hebron Mwakagenda, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 12. Mhe. Cecilia Daniel Paresso, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 13. Mhe. Allan Joseph Kiula, MB CCM (IRAMBA MASHARIKI) 14. Mhe. Juliana Daniel Shonza, MB CCM (VITI MAALUM) 15. Mhe. Joel Mwaka Makanyaga, MB CCM (CHILONWA) 16. Mhe. Joseph Roman Selasini, MB CHADEMA (ROMBO) 17. Mhe. Kanali Mst. Masoud Ali Khamis, MB CCM (MFENESINI)

29

18. Mhe. Kapteni Mst. George H. Mkuchika, MB (NEWALA MJINI) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge} 19. Mhe. Cosato David Chumi, MB CCM (MAFINGA MJINI) 20. Mhe. Mch. Peter Simon Msigwa, MB CHADEMA (IRINGA MJINI) 21. Mhe. Masoud Abdalla Salim, MB CUF (MTAMBILE) 22. Mhe. Shally Josepha Raymond, MB CCM (VITI MAALUM) 23. Mhe. Sylvestry Francis Koka, MB CCM (KIBAHA MJINI)

XVII. KAMATI YA SHERIA NDOGO 30

NA. JINA CHAMA 1. Mhe. Abdallah Ally Mtolea, MB CUF (TEMEKE) 2. Mhe. Omary Tebweta Mgumba, MB CCM (MOROGORO KUSINI MASHARIKI) 3. Mhe. Halima James Mdee, MB CHADEMA (KAWE) 4. Mhe. William Mganga Ngeleja, MB CCM (SENGEREMA) 5. Mhe. Tundu Antipas Mughway Lissu, MB (SINGIDA MASHARIKI) CHADEMA

{Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kanuni} 6. Mhe. Daniel Edward Mtuka, MB CCM (MANYONI MASHARIKI) 7. Mhe. Rashid Ali Abdallah, MB (TUMBE) CUF {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge} 8. Mhe. Aida Joseph Khenani, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 9. Mhe. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka, MB CCM (MULEBA KUSINI) 10. Mhe. Esther Michael Mmasi, MB CCM (VITI MAALUM) 11. Mhe. Salome Wycliff Makamba, MB (VITI MAALUM) CHADEMA {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge} 12. Mhe. Ridhiwan , MB CCM (CHALINZE) 13. Mhe. Hassani Seleman Kaunje, MB CCM (LINDI MJINI) 14. Mhe. Sadifa Juma Khamis, MB CCM (DONGE) 15. Mhe. Khamis Mtumwa Ali, MB CCM (KIWENGWA) 16. Mhe. Hassan Elias Masala, MB CCM (NACHINGWEA) 17. Mhe. Leonidas Tutubert Gama, MB CCM 31

(SONGEA MJINI) 18. Mhe. Almas Athuman Maige, MB (TABORA KASKAZINI) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge} 19. Mhe. Mlinga Goodluck Asaph, MB CCM (ULANGA) 20. Mhe. Andrew John Chenge, MB CCM (BARIADI)

21. Mhe. Atupele Fredy Mwakibete, MB CCM (BUSOKELO) 22. Mhe. Kiteto Zawadi Koshuma, MB CCM (VITI MAALUM)

23. Mhe. Lucy Thomas Mayenga, MB CCM (VITI MAALUM)

32

XVIII. KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC)

NA. JINA CHAMA 1. Mhe. Suleiman Ahmed Saddiq, MB CCM (MVOMERO) 2. Mhe. Martin Mtonda Msuha, MB CCM (MBINGA VIJIJINI) 3. Mhe. Dkt. Suleiman Ally Yussuf, MB

(MGOGONI) CUF {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge} 4. Mhe. Rose Kamili Sukum, MB (VITI MAALUM) CHADEMA {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge} 5. Mhe. Leah Jeremiah Komanya, MB CCM (VITI MAALUM) 6. Mhe. Abdallah Dadi Chikota, MB CCM (NANYAMBA) 7. Mhe. Conchesta Leonce Rwamlaza, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 8. Mhe. Vedasto Edgar Ngombale, MB CUF (KILWA KASKAZINI) 9. Mhe. Amina Nassoro Makilagi, MB

(VITI MAALUM) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge} 10. Mhe. Mariam Nassoro Kisangi, MB CCM (VITI MAALUM) 11. Mhe. Godfrey , MB CCM (KALENGA) 12. Mhe. Grace Sindato Kiwelu, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 13. Mhe. Alex Raphael Gashaza, MB CCM (NGARA) 14. Mhe. Victor Kilasile Mwambalaswa, MB CCM (LUPA) 15. Mhe. Saada Mkuya Salum, MB CCM (WELEZO)

33

16. Mhe. Kangi Alphaxard Lugola, MB CCM (MWIBARA) 17. Mhe. Edward Franz Mwalongo, MB CCM (NJOMBE MJINI) 18. Mhe. Seif Khamis Said Gulamali, MB CCM (MANONGA) 19. Mhe. Ignas Aloyce Malocha, MB CCM (KWELA) 20. Mhe. Aysharose Ndogholi Matembe, MB CCM (VITI MAALUM) 21. Mhe. Joseph Michael Mkundi, MB CHADEMA (UKEREWE) 22. Mhe. Mangungu Ali Issa, MB CCM (MBAGALA)

34

XIX. KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC)

NA. JINA CHAMA 1. Mhe. Esther Lukago Midimu, MB CCM (VITI MAALUM) 2. Mhe. Aeshi Khalfan Hilary, MB CCM (SUMBAWANGA MJINI) 3. Mhe. Khadija Nassir Ali, MB CCM (VITI MAALUM) 4. Mhe. Omar Mohamed Kigua, MB CCM (KILINDI) 5. Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka, MB CHADEMA (SAME MASHARIKI) 6. Mhe. Hafidh Ali Tahir, MB CCM (DIMANI) 7. Mhe. Stanslaus Shing’oma Mabula, MB CCM (NYAMAGANA) 8. Mhe. Jumaa Hamidu Aweso, MB CCM (PANGANI) 9. Mhe. Mussa Bakari Mbarouk, MB CUF (TANGA MJINI) 10. Mhe. Livingstone Joseph Lusinde, MB CCM (MTERA) 11. Mhe. Dkt. Hadji Hussein Mponda, MB

(MALINYI) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge} 12. Mhe. Raisa Abdalla Mussa, MB CUF (VITI MAALUM) 13. Mhe. Dkt. Shukuru. Kawambwa, MB CCM (BAGAMOYO) 14. Mhe. Fakharia Shomari Khamis, MB CCM (VITI MAALUM) 15. Mhe. Ezekiel Magolyo Maige, MB CCM (MSALALA) 16. Mhe. Munde Abdallah Tambwe, MB CCM (VITI MAALUM)

35

17. Mhe. Felister Aloyce Bura, MB CCM (VITI MAALUM) 18. Mhe. Japhet Ngailonga Hasunga, MB CCM (VWAWA) 19. Mhe. Yosefa Ferdinand Komba, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 20. Mhe. Ahmed Ally Salum, MB CCM (SOLWA) 21. Mhe. Tunza Issa Malapo, MB

(VITI MAALUM) CHADEMA {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge} 22. Mhe. Ali Salim Khamis, MB CUF (MWANAKWEREKWE) 23. Mhe. Jamal Kassim Ali, MB CCM (MAGOMENI)

36

XX. KAMATI YA UWEKEZAJI WA MITAJI YA UMMA NA. JINA CHAMA 1. Mhe. Esther Nicholas Matiko, MB CHADEMA (TARIME MJINI) 2. Mhe. Joseph Leonard Haule, MB CHADEMA (MIKUMI) 3. Mhe. Sabreena Hamza Sungura, MB CHADEMA (VITI MAALUM) 4. Mhe. Sannda Edwin Mgante, MB CCM (KONDOA MJINI) 5. Mhe. Joseph George Kakunda, MB CCM (SIKONGE) 6. Mhe. Fatma Hassan Toufiq, MB CCM (VITI MAALUM) 7. Mhe. Othman Omar Haji, MB (GANDO) CUF {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge} 8. Mhe. Amina Saleh Mollel, MB CCM (VITI MAALUM) 9. Mhe. Selemani Jumanne Zeddy, MB CCM (BUKENE) 10. Mhe. Juma Othman Hija, MB CCM (TUMBATU) 11. Mhe. Stephen Hilary Ngonyani, MB CCM (KOROGWE VIJIJINI) 12. Mhe. Zainab Athman Katimba, MB (VITI MAALUM) CCM {Pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge} 13. Mhe. Maftah Abdallah Nachuma, MB CUF (MTWARA MJINI) 14. Mhe. Oran Manase Njeza, MB CCM (MBEYA VIJIJINI) 15. Mhe. Frank George Mwakajoka, MB CHADEMA (TUNDUMA MJINI) 16. Mhe. Albert Obama Ntabaliba, MB CCM (BUHIGWE) 17. Mhe. Richard Mganga Ndasa, MB CCM

37

(SUMVE) 18. Mhe. Elias John Kwandikwa CCM (USHETU) 19. Mhe. Lolesia Jeremiah Bukwimba, MB CCM (BUSANDA) 20. Mhe. Agnes Mathew Marwa, MB CCM (VITI MAALUM) 21. Mhe. Esther Amos Bulaya, MB CHADEMA (BUNDA MJINI) 22. Mhe. Riziki Said Lulida, MB CUF (VITI MAALUM)

38