Political Handbook & NGO Calendar 2010
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb

Load more
Recommended publications
-
Nakala Ya Mtandao (Online Document) 1 BUNGE LA TANZANIA
Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ________________ MAJADILIANO YA BUNGE ________________________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Kumi na Tisa – Tarehe 27 Mei, 2014 (Mkutano Ulianza Saa tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA: Taarifa ya Mwaka na Hesabu za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha kwa Mwaka 2012/2013 (The Annual Report and Accounts of Arusha International Conference Centre for the Year 2012/2013). Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. NAIBU WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI: Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MHE. BETTY E. MACHANGU (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA): Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Maoni ya Kamati 1 Nakala ya Mtandao (Online Document) Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MHE. ABDULKARIM E.H. SHAH (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA): Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. -
Majadiliano Ya Bunge ______
NAKALA YA MTANDAO (ON LINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ___________ MAJADILIANO YA BUNGE ______________ BUNGE LA KUMI NA MOJA ___________ MKUTANO WA KWANZA Kikao cha Kwanza - Tarehe 17 Novemba, 2015 (Bunge lilianza Saa Tatu Asubuhi) DKT. THOMAS D. KASHILILAH - KATIBU WA BUNGE: Naomba tukae. TANGAZO LA RAIS LA KUITISHA MKUTANO WA BUNGE DKT. THOMAS D. KASHILILAH - KATIBU WA BUNGE: Waheshimiwa Wabunge, kwa mujibu wa masharti ya Katiba, Mkutano huu wa Kwanza unaanza kwa Rais kuuitisha. Naomba kuchukua nafasi hii kusoma Tangazo la Rais kama ambavyo tumelipokea. Tangazo la Serikali Na. 513 la tarehe 6 Novemba, 2015. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Sura ya Pili, hati iliyotolewa kwa mujibu wa Ibara ya 90(1). Hati ya Kuitisha Mkutano wa Bunge Jipya. KWA KUWA, Uchaguzi Mkuu ulifanyika tarehe 25 Oktoba, 2015 katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977; NA KWA KUWA, masharti ya Ibara ndogo ya kwanza ya Ibara ya 90 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, yanamtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuitisha Mkutano wa Bunge Jipya kabla ya kupita siku saba tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu; NA KWA KUWA, matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25 Oktoba, 2015 yalitangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi tarehe 29 Oktoba, 2015; HIVYO BASI, mimi John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mamlaka niliyonayo chini ya Ibara ya 90(1) ya 1 NAKALA YA MTANDAO (ON LINE DOCUMENT) Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, naitisha Mkutano wa Bunge Jipya la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ufanyike katika ukumbi wa Bunge uliopo Mjini Dodoma tarehe 17 Novemba, 2015 kuanzia saa tatu asubuhi. -
Conference Report
2 ND GOPAC GLOBAL CONFERENCE Arusha, Tanzania September 19-23, 2006 FINAL REPORT GLOBAL ORGANISATION OF PARLIAMENTARIANS AGAINST CORRUPTION: 2ND GLOBAL CONFERENCE Acknowledgements The Global Organisation of Parliamentarians Against Corruption wishes to thank the following organisations for their contributions to the 2nd Global Conference: Parliament of Tanzania African Parliamentarians Network Against Corruption (APNAC) Barrick Gold Canadian International Development Agency (CIDA) US Agency for International Development (USAID) World Bank Institute (WBI) Events Hosts Dr. Zainab A. Gama, MP, Chair, APNAC – Tanzania Arusha Regional Commissioner Col (Rtd). Samuel Ndomba H.E. Dr. Ali Mohamed Shein the Vice President of the United Republic of Tanzania Hosted by Hon. Samuel Sitta, MP – Speaker of the National Assembly Guest Speakers Deputy Barrister Emmanuel Akomaye, Economic and Financial Crimes Commission of Nigeria Doris Basler, Transparency International Hon. Ruth Kavuma, MP, Vice Chair, APNAC Uganda Mr. Paul Wolfowitz, President, World Bank (Taped message) Conference and Workshop Speakers Conference Chair: John Williams MP (Canada) Edward Doe Adjaho, MP (Ghana) Naser Al Sane, MP (Kuwait) Edgardo Angara, Senator (Philippines) Stella Cittadini, Senator (Argentina) Roy Cullen, MP (Canada) César Jauregui, Senator (Mexico) Edith Mastenbroek, MEP (Netherlands) J.T.K. Green-Harris, MP (Gambia) Mary King, Senator (Trinidad and Tobago) Omingo Magara, MP (Kenya) Augustine Ruzindana, Former MP (Uganda) Willibroad Slaa, MP (Tanzania) Navin Beekarry (IMF) Giovanni Gallo (UNODC) Scott Hubli (UNDP) Latifah Merican Cheong (World Bank) Carmen Lane (DAI) Luis Gerardo Villanueva, Former MP (Costa Murray Michel (Egmont Group and Rica) FATF) Patrick Moulette (IMF) Keith Schulz (USAID) Ingeborg Schwarz (IPU) Emiko Todoroki (WB) Frederick Stapenhurst (WBI) Stuart Yikona (WB) GOPAC wishes to thank the following individuals for their significant contribution to the conference and its administration: Canadian High Commission - Tanzania Parliament of Tanzania H.E. -
Parliamentary Oversight of Defense and Security: the Tanzania
PARLIAMENTARY OVERSIGHT OF DEFENCE AND SECURITY IN TANZANIA’S MULTIPARTY PARLIAMENT Mwesiga Baregu Introduction In 1992, the Parliament of the United Republic of Tanzania enacted the Political Parties Act, which reinstated multipartism in Tanzania’s politics. This was after nearly 30 years of constitutional single-party rule that was formally established in 1964, following a failed military coup attempt. The process of proscribing competing political parties and the muzzling of the autonomous civic organi- sations had, however, been evolving from the early days of independence under the aegis of the Tanganyika African National Union (TANU), which was bent on creating national unity to promote development. Rationalising this trend, Mwalimu Nyerere argued at the time that in order for the twin objectives of nation building and economic development to be effectively pursued and achieved “… there is as much need for unity as was required during the struggle for independence. Similarly there is no room for difference”.1 The country now has 14 registered political parties, five of which are variously represented in Parliament. During this period of single-party rule parliamentary business as a whole was dominated and manipulated by the ruling TANU party in the 1960s and its successor Chama Cha Mapinduzi (CCM) from the mid-1970s, until the advent of multipartism in 1992. This was also a time during which Julius Nyerere, the ‘Father of the Nation’, almost single handedly directed the affairs of state and party as president and chairman, respectively. It was particularly the time when the separation of powers and checks and balances between the executive, the judiciary and the legislature were quite tenuous under party supremacy, implementing a policy of ‘socialism and self-reliance’. -
Tanzania Human Rights Report 2008
Legal and Human Rights Centre Tanzania Human Rights Report 2008: Progress through Human Rights Funded By; Embassy of Finland Embassy of Norway Embassy of Sweden Ford Foundation Oxfam-Novib Trocaire Foundation for Civil Society i Tanzania Human Rights Report 2008 Editorial Board Francis Kiwanga (Adv.) Helen Kijo-Bisimba Prof. Chris Maina Peter Richard Shilamba Harold Sungusia Rodrick Maro Felista Mauya Researchers Godfrey Mpandikizi Stephen Axwesso Laetitia Petro Writers Clarence Kipobota Sarah Louw Publisher Legal and Human Rights Centre LHRC, April 2009 ISBN: 978-9987-432-74-5 ii Acknowledgements We would like to recognize the immense contribution of several individuals, institutions, governmental departments, and non-governmental organisations. The information they provided to us was invaluable to the preparation of this report. We are also grateful for the great work done by LHRC employees Laetitia Petro, Richard Shilamba, Godfrey Mpandikizi, Stephen Axwesso, Mashauri Jeremiah, Ally Mwashongo, Abuu Adballah and Charles Luther who facilitated the distribution, collection and analysis of information gathered from different areas of Tanzania. Our 131 field human rights monitors and paralegals also played an important role in preparing this report by providing us with current information about the human rights’ situation at the grass roots’ level. We greatly appreciate the assistance we received from the members of the editorial board, who are: Helen Kijo-Bisimba, Francis Kiwanga, Rodrick Maro, Felista Mauya, Professor Chris Maina Peter, and Harold Sungusia for their invaluable input on the content and form of this report. Their contributions helped us to create a better report. We would like to recognize the financial support we received from various partners to prepare and publish this report. -
Majadiliano Ya Bunge ______
Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ____________ MKUTANO WA KUMI NA SITA Kikao cha Tano - Tarehe 15 Juni, 2004 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Pius Msekwa) Alisoma Dua MASWALI NA MAJIBU Na. 40 Uwekezaji kwa Utaratibu wa BOT MHE. DR. LAWRENCE M. GAMA aliuliza:- Kwa kuwa kwa muda mrefu Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ikizungumzia utaratibu wa uwekezaji hususan katika sekta ya miundombinu kwa utaratibu wa Build, Operate and Transfer ili kurahisisha maendeleo. Je, Serikali inaweza kuwavutia wawekezaji wowote chini ya utaratibu huo? WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UBINAFSISHAJI alijibu:- Mheshimiwa Spika, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Dr. Lawrence Gama, Mbunge wa Songea Mjini, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Spika, katika kikao cha Mkutano wa Kumi na Tano wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilichomaliza shughuli zake tarehe 23 Aprili, 2004, nilimjibu Mheshimiwa Philip Magani, Mbunge wa Ruangwa, ambaye alipenda kufahamu jinsi ya kuwavutia wawekezaji kwa njia ya Build, Operate and Transfer (BOT). Mheshimiwa Spika, katika kurejea jibu langu la msingi ni kuwa, utaratibu wa Build, Operate and Tranfer ni mbinu ambayo Serikali imeamua kuitumia kwa kutoa vivutio maalum ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje, kuwekeza katika miundombinu ili kuipa Serikali unafuu katika gharama za uwekezaji. Chini ya utaratibu huu wawekezaji binafsi huruhusiwa kujenga, kuendesha na hatimaye kukabidhi kwa 1 Serikali, miundombinu waliyojenga baada ya muda wa makubaliano kumalizika kwa kuingia mikataba na Serikali. Mheshimiwa Spika, mkataba wa namna hii humruhusu mwekezaji binafsi kutoza ushuru kwa watumiaji wote wa miundombinu aliyojenga kwa kuzingatia makubaliano ambayo yako kwenye mkataba na Serikali. -
Coversheet for Thesis in Sussex Research Online
A University of Sussex DPhil thesis Available online via Sussex Research Online: http://sro.sussex.ac.uk/ This thesis is protected by copyright which belongs to the author. This thesis cannot be reproduced or quoted extensively from without first obtaining permission in writing from the Author The content must not be changed in any way or sold commercially in any format or medium without the formal permission of the Author When referring to this work, full bibliographic details including the author, title, awarding institution and date of the thesis must be given Please visit Sussex Research Online for more information and further details Accountability and Clientelism in Dominant Party Politics: The Case of a Constituency Development Fund in Tanzania Machiko Tsubura Submitted for the Degree of Doctor of Philosophy in Development Studies University of Sussex January 2014 - ii - I hereby declare that this thesis has not been and will not be submitted in whole or in part to another University for the award of any other degree. Signature: ……………………………………… - iii - UNIVERSITY OF SUSSEX MACHIKO TSUBURA DOCTOR OF PHILOSOPHY IN DEVELOPMENT STUDIES ACCOUNTABILITY AND CLIENTELISM IN DOMINANT PARTY POLITICS: THE CASE OF A CONSTITUENCY DEVELOPMENT FUND IN TANZANIA SUMMARY This thesis examines the shifting nature of accountability and clientelism in dominant party politics in Tanzania through the analysis of the introduction of a Constituency Development Fund (CDF) in 2009. A CDF is a distinctive mechanism that channels a specific portion of the government budget to the constituencies of Members of Parliament (MPs) to finance local small-scale development projects which are primarily selected by MPs. -
Tanzania Human Rights Report 2016
Tanzania Human Rights Report 2016 LEGAL AND HUMAN RIGHTS CENTRE & ZANZIBAR LEGAL SERVICES CENTRE NOT FOR SALE Tanzania Human Rights Report - 2016 Mainland and Zanzibar - i - Tanzania Human Rights Report 2016 Part One: Tanzania Mainland - Legal and Human Rights Centre (LHRC) Part Two: Zanzibar - Zanzibar Legal Services Centre (ZLSC) - ii - Tanzania Human Rights Report 2016 Publishers Legal and Human Rights Centre Justice Lugakingira House, Kijitonyama P. O. Box 75254, Dar es Salaam, Tanzania Tel: +255222773038/48, Fax: +255222773037 Email: [email protected] Website: www.humanrights.or.tz & Zanzibar Legal Services Centre P. O. Box 3360, Zanzibar, Tanzania Tel: +2552422384 Fax: +255242234495 Email: [email protected] Website: www.zlsc.or.tz Partners The Embassy of Sweden The Embassy of Norway Oxfam Rosa Luxemburg UN Women Open Society Initiatives for Eastern Africa Design & Layout Albert Rodrick Maro Munyetti ISBN: 978-9987-740-30-7 © LHRC & ZLSC 2017 - iii - Tanzania Human Rights Report 2016 Editorial Board - Part One Dr. Helen Kijo-Bisimba Adv. Imelda Urio Ms. Felista Mauya Adv. Anna Henga Researchers/Writers Paul Mikongoti Fundikila Wazambi - iv - Tanzania Human Rights Report 2016 About LHRC The Legal and Human Rights Centre (LHRC) is a private, autonomous, voluntary non- Governmental, non-partisan and non-profit sharing organization envisioning a just and equitable society. It has a mission of empowering the people of Tanzania, so as to promote, reinforce and safeguard human rights and good governance in the country. The broad objective is to create legal and human rights awareness among the public and in particular the underprivileged section of the society through legal and civic education, advocacy linked with legal aid provision, research and human rights monitoring. -
MKUTANO WA SABA Kikao Cha Thelathini Na Tisa – Tarehe 1 Juni
NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA SABA Kikao cha Thelathini na Tisa – Tarehe 1 Juni, 2017 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge tukae, Katibu. NDG. RAMADHANI ISSA ABDALLAH – KATIBU MEZANI: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI: Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa fedha 2017/ 2018. MHE. CATHERINE V. MAGIGE (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI): Taarifa ya Kamati ya Nishati na Madini kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa fedha 2016/2017 pamoja na maoni ya Kamati juu ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2017/2018. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) MHE. ESTHER N. MATIKO (K.n.y. MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI KWA WIZARA YA NISHATI NA MADINI): Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani kuhusu Wizara ya Nishati na Madini juu ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2017/2018. NDG. RAMADHANI ISSA ABDALLAH – KATIBU MEZANI: MASWALI KWA WAZIRI MKUU NAIBU SPIKA: Maswali kwa Waziri Mkuu. Mheshimiwa Waziri Mkuu tutaanza na Mheshimiwa Devotha Mathew Minja. MHE. DEVOTHA M. MINJA: Mheshimiwa Naibu Spika, nakushukuru kwa kunipa nafasi. Mheshimiwa Waziri Mkuu, kwa kuwa ni sera ya Serikali kuboresha kilimo hapa nchini, ikizingatiwa kwamba kilimo kinatoa ajira kwa Watanzania kwa zaidi ya asilimia 80 na kilimo kimekuwa kikihudumia Watanzania kwa maana ya kujitosheleza kwa chakula, lakini kwa kuwa pia ni sera Serikali iliamua kuja na mikakati ya kuboresha sekta ya kilimo ikiwa ni pamoja na kutoa majukumu kwa mawakala wa pembejeo hapa nchini ili waweze kutoa huduma hizo za pembejeo kwa wakulima wetu hapa nchini. -
Consequences for Women's Leadership
The Politics Behind Gender Quotas: Consequences for Women’s Leadership Equity in African Legislatures by Christie Marie Arendt B.A. in Interdisciplinary Studies in Social Science, May 2004, Michigan State University M.A. in International Affairs, May 2006, The George Washington University A Dissertation submitted to The Faculty of The Columbian College of Arts and Sciences of The George Washington University in partial fulfillment of the requirements for the degree of Doctor of Philosophy January 31, 2017 Dissertation directed by Kimberly J. Morgan Professor of Political Science and International Affairs The Columbian College of Arts and Sciences of The George Washington University certifies that Christie Marie Arendt has passed the Final Examination for the degree of Doctor of Philosophy as of December 16, 2016. This is the final and approved form of the dissertation. The Politics Behind Gender Quotas: Consequences for Women’s Leadership Equity in African Legislatures Christie Marie Arendt Dissertation Research Committee: Kimberly J. Morgan, Professor of Political Science and International Affairs, Dissertation Director Jennifer Brinkerhoff, Professor of International Affairs, International Business, and Public Policy & Public Administration Eric Kramon, Assistant Professor of Political Science and International Affairs, Committee Member ii © Copyright 2017 by Christie Marie Arendt All rights reserved iii Dedication To my parents, Anne and Steve Arendt, none of this was possible without your enduring love and support. iv Acknowledgments This dissertation benefitted from the encouragement and guidance of a number of people. As an alumna of The George Washington University’s Elliott School of International Affairs, I knew that GW would provide a perfect environment to pursue my doctoral studies. -
Accountable Government in Africa Perspectives from Public Law and Political Studies
C M Y CM MY CY CMY K Accountable Government in Africa Perspectives from public law and political studies EDITORS DANWOOD M. CHIRWA LIA NIJZINK United Nations University Press TOKYO • NEW YORK • PARIS Accountable Government in Africa: Perspectives from public law and political studies First Published 2013 Print published in 2012 in South Africa by UCT Press An imprint of Juta and Company Ltd First Floor Sunclare Building 21 Dreyer Street Claremont, 7708 South Africa www.uctpress.co.za © 2012 UCT Press Published in 2012 in North America, Europe and Asia by United Nations University Press United Nations University, 53-70, Jingumae 5-chome, Shibuya-ku, Tokyo 150-8925, Japan Tel: +81-3-5467-1212 Fax: +81-3-3406-7345 E-mail: [email protected] General enquiries: [email protected] http://www.unu.edu United Nations University Office at the United Nations, New York 2 United Nations Plaza, Room DC2-2062, New York, NY 10017, USA Tel: +1-212-963-6387 Fax: +1-212-371-9454 E-mail: [email protected] United Nations University Press is the publishing division of the United Nations University. The views expressed in this publication are those of the authors and do not necessarily reflect the views of the publishers. ISBN 978-1-91989-537-6 (Parent) ISBN 978-1-92054-163-7 (WebPDF) ISBN 978-92-808-1205-3 (North America, Europe and South East Asia) Library of Congress Cataloging-in-Publication Data Accountable government in Africa : perspectives from public law and political studies / editors: Danwood M. Chirwa, Lia Nijzink. p. cm. Includes bibliographical references and index. -
Majadiliano Ya Bunge ______
Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ____________ MKUTANO WA NANE Kikao cha Kumi na Nne – Tarehe 2 Julai, 2007 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Mhe. Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI. Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA): Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma) kwa Mwaka wa Fedha 2007/2008. MWENYEKITI WA KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA: Taarifa ya Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala kuhusu Utekelezaji wa Ofisi ya Rais (Ikulu na Menejimenti ya Utumishi wa Umma) kwa Mwaka wa Fedha 2006/2007 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2007/2008. SPIKA: Nakushangaa Mwenyekiti George Malima Lubeleje, umenunanuna na hali jana Waziri Mkuu alikuwa katika Jimbo lako. (Kicheko/Makofi) MSEMAJI WA KAMBI YA UPINZANI OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA (MHE. SHOKA KHAMIS JUMA): Maoni ya Kambi ya Upinzani kuhusu Utekelezaji wa Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma) kwa mwaka wa Fedha uliopita, pamoja na Maoni ya Upinzani kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Ofisi hiyo kwa mwaka 2007/2008 1 MASWALI NA MAJIBU Na. 116 Majengo Yaliyokuwa ya Wapigania Uhuru Kongwa MHE. HAFIDH ALI TAHIR aliuliza: - Kwa kuwa Tanzania imesifika na inaendelea kusifika kwa kusimamia Amani na kujitolea mhanga katika kupigania uhuru wa nchi za Kusini mwa Afrika; na kwa kuwa eneo la Kongwa, Mkoani Dodoma ni sehemu iliyotumika kuwahifadhi wapigania