En-1589286206-Announcer JAN – JUNE 2019.Pdf
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
Load more
Recommended publications
-
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Bunge La Tanzania Mkutano Wa Tatu Yatokanayo Na Kikao Cha Arobaini Na Saba 21 Juni, 2016
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA TATU YATOKANAYO NA KIKAO CHA AROBAINI NA SABA 21 JUNI, 2016 MKUTANO WA TATU - YATOKANAYO NA KIKAO CHA AROBAINI NA SABA TAREHE 21 JUNI, 2016 I. DUA: Saa 3.00 Asubuhi Naibu Spika (Mhe. Dkt.Tulia Ackson) alisoma Dua na Kuongoza Bunge. Makatibu Mezani: 1. Ndg. Theonest Ruhilabake 2. Ndg. Zainab Issa Wabunge wa Kambi ya Upinzani walitoka nje ya ukumbi wa Bunge baada ya dua kusomwa na Mhe. Naibu Spika. II. MASWALI: Maswali yafuatayo yaliulizwa na Waheshimiwa Wabunge na kujibiwa na Serikali:- OFISI YA WAZIRI MKUU: Swali Na.399 – Mhe. Raphael Masunga Chegeni [kny. Mhe. Salome Makamba] Swali la nyongeza: (i) Mhe. Raphael Masunga Chegeni (ii) Mhe. Abdallah Hamisi Ulega (iii) Mhe. Joseph Kasheku Musukuma (iv) Mhe. Mariam Nassoro Kisangi OFISI YA RAIS (TAMISEMI): Swali Na.400 Mhe. Oran Manase Njeza Swali la nyongeza: (i) Mhe. Oran Manase Njeza (ii) Mhe. Desderius John Mipata (iii) Mhe. Goodluck Asaph Mlinga Swali Na.401 – Mhe. Boniventura Destery Kiswaga Swali la nyongeza: (i) Mhe. Boniventura Destery Kiswaga (ii) Mhe. Augustino Manyanda Maselle (iii) Mhe. Richard Mganga Ndassa (iv) Mhe. Dkt. Dalali Peter Kafumu Swali Na. 402 – Mhe. Fredy Atupele Mwakibete Swali la Nyongeza: (i) Mhe. Fredy Atupele Mwakibete (ii) Mhe. Njalu Daudi Silanga (iii) Mhe. Halima Abdallah Bulembo (iv) Mhe. Azza Hilal Hamad 2 WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI: Swali Na.403 – Mhe Joseph Kakunda. kny Mhe. Ally Saleh Ally Swali la nyongeza: (i) Mhe. Joseph George Kakunda (ii) Mhe. Mussa Azzan Zungu (iii) Mhe. Cosato David Chumi (iv) Mhe. -
Tarehe 3 Februari, 2021
NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA __________ MAJADILIANO YA BUNGE __________ MKUTANO WA PILI Kikao cha Pili – Tarehe 3 Februari, 2021 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Tukae. Katibu. NDG. RUTH MAKUNGU – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tunaanza na maswali Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mheshimiwa Cosato David Chumi, Mbunge wa Mafinga Mjini, sasa aulize swali lake. Na. 16 Ujenzi wa Barabara za Lami - Mji wa Mafinga MHE. COSATO D. CHUMI aliuliza:- Je, ni lini Serikali itaanza Ujenzi wa Barabara za lami na kufunga taa za barabarani katika Mji wa Mafinga chini ya Mpango wa Uendelezaji Miji nchini? NAIBU SPIKA: Mheshimiwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, majibu. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) NAIBU WAZIRI, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (MHE. DKT. FESTO J. DUGANGE) alijibu:- Mheshimiwa Naibu Spika, kwa kuwa ni mara yangu ya kwanza kusimama mbele ya Bunge lako Tukufu, kwanza naomba nichukue nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyenijalia mimi na Waheshimiwa Wabunge wote afya njema na kutuwezesha kuwa wawakilishi wa wananchi kupitia Bunge lako Tukufu. Mheshimiwa Naibu Spika, pili, naomba nichukue nafasi hii kumshukuru sana Mheshimiwa Rais, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa imani kubwa aliyonipa kwa kuniteua kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI. Namshukuru sana Mheshimiwa Rais. (Makofi) Mheshimiwa Naibu Spika, tatu, nawashukuru sana wananchi wa Jimbo la Wanging’ombe kwa kunichagua na kuchagua mafiga -
THRDC's Report on the Situation of Human Rights Defenders in Tanzania
THE 2018 REPORT ON THE SITUATION OF HUMAN RIGHTS DEFENDERS AND CIVIC SPACE IN TANZANIA RESEARCHERS ADVOCATES JONES SENDODO, DEOGRATIAS BWIRE, LEOPOLD MOSHA WRITERS ADVOCATES JONES SENDODO, DEOGRATIAS BWIRE, LEOPOLD MOSHA EDITORS PILI MTAMBALIKE ONESMO OLENGURUMWA The 2018 Report on the Situation of Human Rights Tanzania Human Rights Defenders Coalition Defenders and Civic Space in Tanzania ii [THRDC] Table of Contents ABREVIATIONS vi LIST OF STATUTES AND INTERNATIONAL INSTRUMENTS vii ACKNOWLEDGMENT ix PREFACE x VISION, MISSION, VALUES xi THE OVERAL GOAL OF THE THRDC xii EXECUTIVE SUMMARY xiii Chapter One 1 GENERAL INTRODUCTION 1 1.0 Introduction 1 1.1 Protection Mechanisms for Human Rights Defenders 3 1.1.1 Legal Protection Mechanism at International Level 4 1.1.2 Legal Protection Mechanism at Regional Level 7 1.1.3 Legal Protection Mechanism at the National Level 11 1.1.4 Challenges with Both International and Regional Protection Mechanisms for HRDS 13 1.2 Non Legal Protection mechanism 13 1.2.1 Non Legal Protection mechanism at International level 14 1.2.2 Non Legal Protection Mechanism at Regional level 15 1.2.3 Protection Mechanism at National Level 16 Chapter Two 20 VIOLATIONS COMMITTED AGAINST HUMAN RIGHTS DEFENDERS 20 2.0 Overview of the Chapter 20 2.1 Violations Committed against Human Rights Defenders in 2018 21 2.1.1 Arrests and Prosecution against HRDs in 2018 Other Strategic Litigation Cases for HRDs in Tanzania 21 2.2 Physical violence, Attacks, and Torture 30 2.2.1 Pastoralists Land Rights Defenders and the Situation in -
Tarehe 7 Februari, 2017
NAKALA YA MTANDAO (ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA __________ MAJADILIANO YA BUNGE ____________ MKUTANO WA SITA Kikao cha Saba – Tarehe 7 Februari, 2017 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Tukae. Katibu. NDG. RAMADHAN ISSA ABDALLAH – KATIBU MEZANI: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na: MHE. PROF. NORMAN A. S. KING – MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU: Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kwa kipindi cha kuanzia Januari, 2016 hadi Januari, 2017. MHE. DOTO M. BITEKO -MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI: Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kwa kipindi cha kuanzia Januari 2016 hadi Januari 2017. NAIBU SPIKA: Ahsante. Katibu! NDG. RAMADHAN ISSA ABDALLAH – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tunaendelea na maswali, Ofisi ya Rais - TAMISEMI. Mheshimiwa Najma Murtaza Giga, Mbunge wa Viti Maalum, sasa aulize swali lake. Na. 69 Tatizo la Ulevi MHE. NAJMA MURTAZA GIGA aliuliza:- 1 NAKALA YA MTANDAO (ONLINE DOCUMENT) Ulevi wa kupita kiasi hasa wa pombe za kienyeji umekuwa na athari kubwa za kiafya na kiakili kwa Watanzania wenye tabia ya ulevi wa kukithiri:- Je, Serikali imejipanga vipi kukabiliana na tatizo hilo hasa ikizingatiwa kuwa Sheria ya Vileo ya mwaka 1969 ni ya zamani sana kiasi kwamba inawezekana kabisa haikidhi mabadiliko ya hali halisi ya vileo kwa wakati huu. NAIBUWAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA alijibu:- Mheshimiwa Naibu Spika, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Najma Murtaza Giga, Mbunge wa Viti Maalum, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Naibu Spika, pombe za kienyeji zimeainishwa katika Kifungu cha pili (2) cha tafsiri katika Sheria ya Vileo, Sura ya 77. -
1 BUNGE LA TANZANIA ___MAJADILIANO YA BUNGE ___MKUTANO WA KUMI NA SABA Kikao Cha Nne – Tarehe 8 Novemba, 20
NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA KUMI NA SABA Kikao cha Nne – Tarehe 8 Novemba, 2019 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Mwenyekiti (Mhe. Andrew J. Chenge) Alisoma Dua MWENYEKITI: Waheshimiwa Wabunge tukae. Katibu. NDG. NEEMA MSANGI – KATIBU MEZANI: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa mezani na:- NAIBU WAZIRI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA MAZINGIRA): Taarifa ya Tatu ya Hali ya Mazingira Nchini (State of the Environment Report, 3). NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO: Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma kwa mwaka wa fedha 2018/2019 (The Annual Performance Evaluation Report on Public Procurement Regulatory Authority for the Financial Year 2018/2019). 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) MWENYEKITI: Ahsante sana. Katibu. NDG. NEEMA MSANGI – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU MWENYEKITI: Swali letu la kwanza linaelekezwa Ofisi ya Rais – TAMISEMI. Linaulizwa na Mheshimiwa Justin Joseph Monko, Mbunge wa Singida Kaskazini. Na. 40 Kuwa na Uchaguzi Mdogo wa Serikali za Mitaa MHE. JUSTIN J. MONKO aliuliza:- Inapotokea Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa/Kijiji amefariki au kupoteza sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Mtaa au Kijiji husika huongozwa na Kaimu Mwenyekiti:- Je, kwa nini Serikali haioni umuhimu wa kuwepo uchaguzi mdogo kama ilivyo kwa Madiwani na Wabunge? MWENYEKITI: Ahsante. Majibu kwa swali hilo, Mheshimiwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mheshimiwa Waitara. NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA -
MKUTANO WA KUMI NA TISA Kikao Cha Arobaini Na Sita
NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA KUMI NA TISA Kikao cha Arobaini na Sita – Tarehe 15 Juni, 2020 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge tukae, tunaendelea na Mkutano wetu wa 19, Kikao cha 46, bado kimoja tu cha kesho. Katibu! NDG. STEPHEN KAGAIGAI – KATIBU WA BUNGE: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa mezani na: NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO: Maelezo ya Waziri wa Fedha na Mipango kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2020 (The Finance Bill, 2020). Muhtasari wa Tamko la Sera ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 (Monetary Policy Statement for the Financial Year 2020/2021). MHE. ALBERT N. OBAMA - K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI:Maoni ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2020 (The Finance Bill, 2020). 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) MHE. RHODA E. KUNCHELA - K.n.y. MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KWA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO: Maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu Muswada wa Sheria ya fedha wa mwaka 2020 (The Finance Bill, 2020). MHE. DKT. TULIA ACKSON - MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KANUNI ZA BUNGE: Azimio la Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge kuhusu Marekebisho ya Kanuni za Bunge SPIKA: Asante sana Mheshimiwa Naibu Spika, Katibu MASWALI NA MAJIBU (Maswali yafuatayo yameulizwa na kujibiwa kwa njia ya mtandao) Na. 426 Migogoro ya Mipaka MHE. -
Optimising Learning, Education and Publishing in Africa: the Language Factor
Optimising Learning, Education and Publishing in Africa: The Language Factor A Review and Analysis of Theory and Practice in Mother-Tongue and Bilingual Education in sub-Saharan Africa Edited by Adama Ouane and Christine Glanz 3 Optimising Learning, Education and Publishing in Africa: The Language Factor A Review and Analysis of Theory and Practice in Mother-Tongue and Bilingual Education in sub-Saharan Africa Edited by Adama Ouane and Christine Glanz words on a journey learn from the past Published jointly by the UNESCO Institute for Lifelong Learning (UIL), Feldbrunnenstrasse 58, 20148 Hamburg, Germany and the Association for the Development of Education in Africa (ADEA) / African Development Bank, P.O. Box 323, 1002, Tunis Belvédère, Tunisia © June 2011 UIL/ADEA All rights reserved. Reproduction and dissemination of material from this information product for educational or other non-commercial purposes are authorised without any prior written permission from the copyright holders provided that the source is fully acknowledged. Reproduction of material from this information product for resale or other commercial purposes is prohibited without written permission from the copyright holders. Applications for such permission should be addressed to the Head of Publication, UIL, Feldbrunnenstrasse 58, D-20148 Hamburg, Germany (e-mail: [email protected]) or ADEA / African Development Bank, P.O. Box 323, 1002, Tunis Belvédère, Tunisia (e-mail: [email protected]). ISBN 978-92-820-1170-6 The choice and the presentation of the facts contained in this book and the opinions expressed herein are not necessarily those of UNESCO or ADEA and represent no commitment on the part of the Organisations. -
Volume 7 1980 Issue 18
Number 18 Contents May-August 1980 Editorial Working Group Editorial: The Prospects for Chris Allen Zimbabwe 1 Carolyn Baylies Dianne Bolton Lionel Cliffe Supply, Control & Organisation Robin Cohen of African Labour in Rhodesia Erica Flegg Luke Malaba 7 Duncan Innes Peter Lawrence Barry Munslow The People's Mood: The Voice Penelope Roberts of a Guerilla Poet Morris Szeftel Mbulelo Mzamane 29 Gavin Williams Editorial Staff Nationalist Politics in Zimbabwe: Doris Burgess The 1980 Elections & Beyond Judith Mohan Lionel Cliffe, Joshua Mpofu & Overseas Editors Barry Munslow 44 Cairo: Shahida El Baz Copenhagen: Roger Leys Kampala: Mahmood Mamdani The Prospects for Socialist Maputo: Ruth First Transition in Zimbabwe Stockholm: Bhagavan 'Peter Yates' 68 Toronto: Jonathan Barker, John Saul Washington: Meredeth Turshen Zaria: Bjorn Beckman Briefings Contributing Editors Zimbabwe after Independence 89 Basil Davidson Sam Geza Southern Africa's Strategies for Thomas Hodgkin Disengaging from South Africa Charles Kallu-Kalumiya Mustafa Khogali Angola — 1980 Colin Leys Robert Van Lierop Archie Mafeje The Constellations of Southern Prexy Nesbitt African states: A New Claude Meillassoux Strategic Offensive by Ken Post South Africa Subscriptions (3 issues) UK & Africa Debates 106 Individual £4.00 Institutions £8.00 The Settler Mode of Production: Elsewhere The Rhodesian Case Individuals £4.50 Institutions £10.00 Imperialism & Settler Capital: Students £3.00 (payable in sterling only) Friends or Foes Airmail extra Europe £2.50 Walter Rodney: A Biography Zone A £3.00 Zone B £4.00 and Bibliography 132 Zone C £4.50 Single copies Current Africana 138 Individuals £1.50/$4.00 Institutions £3.00/$8.00 Map: Land Apportionment in Zimbabwe 28 Note: Please add $2 for each non- sterling cheque Zimbabwe Distribution: Issues of the Giro no. -
Swahili Language Handbook. By- Polome, Edgar C
. .4:,t114,11001116.115,W.i., ,..0:126611115...A 10100010L.- R E P O R T RESUMES ED 012 888 AL 000 150 SWAHILI LANGUAGE HANDBOOK. BY- POLOME, EDGAR C. CENTER FOR APPLIED LINGUISTICS,WASHINGTON, D.C. REPORT NUMBER BR -5 -1242 PUB DATE 67 CONTRACT OEC -2 -14 -042 EDRS PRICE MF-41.00 HC...$10.00 250F. DESCRIPTORS- *SWAHILI, *GRAMMAR, *PHONOLOGY,*DIALECT STUDIES, *AREA STUDIES, DIACHRONIC LINGUISTICS,LITERATURE, DESCRIPTIVE LINGUISTICS, SOCIOCULTURAL PATTERNS,CREOLES, PIDGINS, AFRICAN CULTURE, EAST AFRICA,CONGO THIS INTRODUCTION TO THE STRUCTURE ANDBACKGROUND OF THE SWAHILI LANGUAGE WAS WRITTEN FOR THE NON- SPECIALIST. ALTHOUGH THE LINGUISTIC TERMINOLOGY USED IN THEDESCRIPTION OF THE LANGUAGE ASSUMES THE READER HAS HAD SOMETRAINING IN LINGUISTICS, THIS HANDBOOK PROVIDES BASICLINGUISTIC AND SOCIOLINGUISTIC INFORMATION FOR STUDENTSOF AFRICAN CULTURE AND INTLRMEDIATE OR ADVANCED SWAHILILANGUAGE STUDENTS AS WELL AS FOR LINGUISTS. IN AN INTRODUCTIONTO THE PRESENT LANGUAGE SITUATION, THIS HANDBOOK EXPLAINSTHE DISTRIBUTION AND USE OF SWAHILI AS A LINGUA FRANCA,AS A PIDGIN, AND AS A MOTHER. LANGUAGE AND EXPLAINS PRESENTUSAGE THROUGH A BRIEF HISTORY OF THE LANGUAGE. DIALECTS OF SWAHILIARE DISCUSSED AND RELATED LANGUAGES MENTIONED WHENRELEVANT TO SWAHILI STRUCTURE. ALTHOUGH THE AUTHOR PLACES GREATESTEMPHASIS ON THE STRUCTURE OF THE LANGUAGE (PHONOLOGY,MORPHOLOGY, DERIVATION, INFLECTION, COMPLEX STRUCTURES,SYNTAX, AND VOCABULARY), HE INCLUDES CHAPTERS ON THEWRITING SYSTEM AND SWAHILI LITERATURE. OF SPECIAL INTERESTTO LANGUAGE TEACHERS IS A CHAPTER EXAMINING SPECIFIC POINTSOF CONTRAST BETWEEN SWAHILI AND ENGLISH. THIS HANDBOOK ISALSO AVAILABLE FOR $4.50 FROM THE OFFICE OF INFORMATIONAND PUBLICATIONS, CENTER FOR APPLIED LINGUISTICS, 1717MASSACHUSETTS AVE., W.W.I WASHINGTON, D.C., 20036. (JD) viArz.1.24, voi rA-4.2 co co OE- - I (N1 v-4 LU SWAHILILANGUAGEHANDBOOK EDGAR C.POLOME U.S. -
Tarehe 16 Aprili, 2019
NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Kumi na Moja – Tarehe 16 Aprili, 2019 (Bunge lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Mwenyekiti (Mhe. Mussa A. Zungu) Alisoma Dua MWENYEKITI: Tukae. Katibu. NDG. ATHUMAN B. HUSSEIN – KATIBU MEZANI: HATI ZA KUWASILISHA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA: Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2019/2020. NAIBU WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA: Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwa mwaka wa fedha 2019/2020. MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA (MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA): Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Makamu 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) wa Rais (Muungano) kwa mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2019/2020. MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA (MHE. KANALI (MST) MASOUD ALI KHAMIS): Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) kwa mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2019/2020. MHE. LATHIFAH H. CHANDE (K.n.y. MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI KWA OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA - MHE. -
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Bunge La Tanzania
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA KUMI NA MBILI YATOKANAYO NA KIKAO CHA TANO 10 SEPTEMBA, 2018 MKUTANO WA KUMI NA MBILI KIKAO CHA TANO – TAREHE 10 SEPTEMBA, 2018 I. DUA: Saa 3:00 asubuhi Mhe. Job Y. Ndugai (Spika) alisoma Dua na kuongoza Kikao cha Bunge. MAKATIBU MEZANI: 1. Ndg. Stephen Kagaigai 2. Ndg. Asia Minja 3. Ndg. Joshua Chamwela 4. Ndg. Mossy Lukuvi 5. Ndg. Pamela Pallangyo II. HATI ZA KUWASILISHA MEZANI: Wafuatao waliwasilisha Mezani hati zifuatazo:- WAZIRI MKUU: Taarifa ya Mwaka ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi kwa Mwaka 2015/2016 (The Annual Report of Workers Compensation Fund for the Year 2015/2016). Taarifa ya Matoleo ya Gazeti la Serikali pamoja na Nyongeza zake yaliyochapishwa tangu Mkutano wa Bunge uliopita kama ifuatavyo:- 1. Toleo Na. 13 la tarehe 30 Machi, 2018; 2. Toleo Na. 14 la tarehe 06, Aprili, 2018; 3. Toleo Na. 15 la tarehe 13, Aprili, 2018; 4. Toleo Na. 16 la tarehe 20, Aprili, 2018; 5. Toleo Na. 17 la tarehe 27, Aprili, 2018; 6. Toleo Na. 18 la tarehe 04, Mei, 2018; 7. Toleo Na. 19 la tarehe 11, Mei, 2018; 8. Toleo Na. 20 la tarehe 18, Mei, 2018; 1 9. Toleo Na. 21 la tarehe 25, Mei, 2018; 10. Toleo Na. 22 la tarehe 01 Juni, 2018; 11. Toleo Na. 23 la tarehe 08 Juni, 2018; 12. Toleo Na. 24 la tarehe 15 Juni, 2018; 13. Toleo Na. 25 la tarehe 22 Juni, 2018; 14. Toleo Na. 26 la tarehe 29 Juni, 2018; 15. Toleo Na. 27 la tarehe 06 Julai, 2018; 16. -
Evidence from Indian Microfinance Institutions 11 Dharmendra S
Editor-in-Chief V.K. Kumar Dean & Director, GITAM School of International Business GITAM University Associate Editors Radha Raghuramapatruni GITAM School of International Business GITAM University Shahazadi Begum Shaik GITAM School of International Business GITAM University Chinmaya Behara GITAM School of International Business GITAM University Editorial Advisory Board V.L. Rao GITAM School of International Business GITAM University G.P. Sharma Indian Institute of Foreign Trade New Delhi Pithamber R. Polsani RightSkill HCS Bengaluru Global Vistas : A biannual journal of the School comprising papers on important contemporary themes in international economics and business; updates on international trade and business; practitioners’ perspectives; Book Reviews & Abstracts; CEO Interviews; and summaries of best Summer Project Reports of our students. The papers are generally non-technical and related to policy issues and business oriented. The updates are from various national and international organizations on varied themes and issues of current interest. The views expressed are those of the authors themselves and not of the School. Call for Papers : Industry analysts, policy makers, academicians and others interested in the themes mentioned above are welcome to send us papers / book reviews. The papers / book reviews may be emailed to : [email protected] Subscription Information : Global Vistas (ISSN 0975-2110) is a biannual publication. Volume-1 July 2015 Global Vistas CONTENTS Page No. 1. Impact of Inventory Management on the Profitability of Listed Cement 01 Companies in Tanzania Srinivas Madishetti 2. Determinants of Profitability: Evidence from Indian Microfinance Institutions 11 Dharmendra S. Mistry 3. Attitude of Academicians towards Stock Markets: Awareness & 18 Investment Pattern Ajay Kumar Patel Parul Bhatia 4.