Annual Report 2013/14 Highlights
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
Load more
Recommended publications
-
Majadiliano Ya Bunge ___Mkutano Wa Kumi Na Moja
NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA KUMI NA MOJA Kikao cha Kumi na Saba– Tarehe 25 Aprili, 2018 (Bunge Lilianza Saa 3:00 Asubuhi) D U A Mwenyekiti (Mhe. Mussa A. Zungu) Alisoma Dua MWENYEKITI: Katibu. NDG. JOSHUA CHAMWELA – KATIBU WA MEZANI: HATI ZA KUWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO: Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2018/2019. NAIBU WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI: Taarifa ya Mwaka ya Mamlaka ya Usimazi wa Udhibiti wa Nishati na Maji kwa Mwaka unaoishia tarehe 30 Juni 2017 [The Annual Report of Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) for the Year Ended 30th June, 2017]. MWENYEKITI: ahsante, Katibu. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) MASWALI NA MAJIBU MWENYEKITI: Waheshimiwa Wabunge tunaanza na maswali yetu ya kawaida, tunaanza Ofisi ya Waziri Mkuu, Mheshimiwa Ussi Salum Pondeza Mbunge wa Chumbuni, kwa niaba ya Mheshimiwa Machano. Na. 135 Kuwakamata Wafanyabiashara Wakubwa wa Dawa za Kulevya MHE. MACHANO OTHMAN SAID (K.n.y. MHE. USSI SALUM PONDEZA) aliuliza:- Je, ni lini Serikali itachukua hatua dhidi ya wauzaji wakubwa wa dawa za kulevya wanaoingiza na kuuza badala ya kuakamata waathirika ambao wanahitaji misaada na ushauri nasaha wa kuachana na matumizi ya dawa hizo? NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, SERA, BUNGE, KAZI, AJIRA VIJANA NA WENYE ULEMAVU (MHE. ANTONY P. MAVUNDE) alijibu:- Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu naomba kujibu swali la Mheshimiwa Ussi Salum Pondeza, Mbunge wa Chumbuni kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali imejipanga na inaendelea kukabiliana na wafanyabiashara wakubwa na wadogo wa dawa za kulevya ambao wote wanasababisha madhara kwa jamii kwa kufanya biashara hiyo. -
Two Ideas for Cash on Delivery Aid for Education in Tanzania: a Briefing Note Nancy Birdsall, Rita Perakis and William Savedoff1
Two ideas for Cash on Delivery Aid for Education in Tanzania: A Briefing Note Nancy Birdsall, Rita Perakis and William Savedoff1 Introduction This note outlines two possible ways for Tanzania and its development partners to implement a new foreign aid mechanism, Cash on Delivery Aid (COD Aid),2 that puts greater attention on outcomes and country ownership. Based on our research, the Government of Tanzania is in a good position to request support for its education sector in the form of a COD Aid agreement. The ideas presented here are meant to serve as a starting point for discussions in the hope that they might facilitate the design and implementation of such pilots. I. COD Aid for increased learning in primary education (early grades) Background In the past decade Tanzania has made tremendous strides in expanding primary and secondary schooling, and is on track to achieve the education Millennium Development Goal. However, assessments of school age children indicate alarmingly low levels of learning in Tanzania’s public primary schools. A majority of students cannot pass an assessment of basic literacy and numeracy – in Kiswahili, English and arithmetic, at the Standard II level. 3 For instance, 71.7 percent of Standard III students could not read a basic story in Kiswahili in 2011 (see table below). 1 This note is based on a visit to Tanzania from March 12 to 16, 2012, in collaboration with CGD partner Twaweza. It reflects discussions and inputs from a wide range of actors from government, civil society, universities and think tanks who were kind enough to take the time to meet with us. -
Land Tenure Reforms and Investment in Tanzania
LAND TENURE REFORMS AND INVESTMENT IN TANZANIA Suzana Sylivester M.A. (Economics) Dissertation University of Dar es Salaam September, 2013 LAND TENURE REFORMS AND INVESTMENT IN TANZANIA By Suzana Sylivester A Dissertation Submitted in (Partial) Fulfillment of the Requirements for the Degree of Master of Arts (Economics) of the University of Dar es Salaam University of Dar es Salaam September, 2013 i CERTIFICATION The undersigned certifies that he has read and hereby recommends for the acceptance by the University of Dar es Salaam a dissertation entitled: Land Tenure Reforms and Investment in Tanzania, in partial fulfillment for the degree of Masters of Arts (Economics) of the University of Dar es Salaam. ……………………………………………… Dr. Razack B. Lokina (Supervisor) Date: ………………………………….. ii DECLARATION AND COPYRIGHT I, Sylivester Suzana, declare that this dissertation is my own original work and that it has not been presented and will not be presented to any other university for a similar or any other degree award. Signature ………………………………………….. This thesis is copyright material protected under the Berne Convention, the copyright Act 1999 and other International and national enactments, in that behalf on intellectual property. It may not be produced by any means, in full or in part, except for short extracts in fair dealings, for research or private study, critical scholarly review or discourse with an acknowledgement, without the written permission of Director of Postgraduate Studies, on behalf of both the author and the University of Dar es Salaam. iii ACKNOWLEDGEMENT I would like to give my special thanks to Almighty God for the Gift of life. My study has been successful by his Grace “I will glorify his name” This study could not have been written without the help of so many people and institutions, beginning with the UDSM-Sida Natural Resources and Governance Program, Department of Economics and EFD-Tanzania for their financial support. -
Annual Report 2016
ECONOMIC AND SOCIAL RESEARCH FOUNDATION (ESRF) Annual Report 2016 Economic and Social Research Foundation (ESRF) 51 Uporoto Street, off Ali Hassan Mwinyi Road P.O. Box 31226, Dar es Salaam, Tanzania Tel: (255-22) 2926084-9 Fax: (255-22) 2926083 E-mail: [email protected] Website: www.esrftz.org ESRF Managed Websites: (Tanzania Online): www.tzonline.org Tanzania Knowledge Network (TAKNET): www.taknet.ortz ESRF ANNUAL REPORT 2016 i TABLE OF CONTENTS LIST OF ABBREVIATIONS .................................................................................................v ACKNOWLEDGEMENT .....................................................................................................vi NOTE FROM THE EXECUTIVE DIRECTOR.......................................................................1 1. INTRODUCTION ..........................................................................................................4 1.1 About the Economic and Social Research Foundation ......................................... 5 1.2 The Mandate of ESRF ........................................................................................................ 5 1.3 ESRF’s Strategic Objectives .............................................................................................. 6 1.4 Country Context in 2016 .................................................................................................. 6 2. THE MEDIUM TERM STRATEGIC PLAN 2016-2020 .............................................8 2.1 Inclusive growth, employment and industrialization ............................................. -
Unlikely Allies? the Intersections of Conservation and Extraction in Tanzania
Unlikely Allies? The Intersections of Conservation and Extraction in Tanzania Devin Holterman A DISSERTATION SUBMITTED TO THE FACULTY OF GRADUATE STUDIES IN PARTIAL FULFILLMENT OF THE REQUIREMENTS FOR THE DEGREE OF DOCTOR OF PHILOSOPHY Graduate Program in Geography York University Toronto, Ontario October 2020 © Devin Holterman, 2020 Abstract Tanzania is largely considered the epicenter of the Second Poaching Crisis, having experienced dramatic declines in wildlife populations, in particular elephants. In response, the country has established a new (para)military wildlife authority, enhanced international partnerships and projects aimed at curbing illegal elephant killings, and embarked on widespread anti-poaching operations as part of the country’s so-called “war on poaching.” Attuned to these characteristics of green militarization and the conditions of biodiversity crisis in Tanzania, this dissertation examines the emergence of anti-poaching partnerships between conservation and extractive industry actors. Based on 11 months of research in Tanzania, focusing specifically on the Selous Game Reserve, I illustrate that mainstream state and non-state conservation efforts, under the conditions of biodiversity crisis, enable the expansion of the mining, oil and gas industries. Building on this argument, the dissertation offers three contributions to political ecological and broader critical geographical scholarship. First, I show how Tanzania’s categorization of the poacher as an “economic saboteur” who threatens the national economy forms one aspect of a broader economic rationale directing the country’s increasingly militarized approach to conservation. Such an economic rationale, utilized by both state and non-state conservation actors, authorizes controversial partnerships with the extractive industries. Second, I show how Tanzania’s militarization of conservation is enabled in part by extractive industry actors who, in addition to securing access to its desired mineral deposits, temporarily “fix” the broader social and political crises facing the industry. -
Towards Responsible Democratic Government
TOWARDS RESPONSIBLE DEMOCRATIC GOVERNMENT Executive Powers and Constitutional Practice in Tanzania 1962-1992 Jwani Timothy Mwaikusa Thesis Submitted to the University of London for the degree of Doctor of Philosophy 1995 Law Department School of Oriental and African Studies ProQuest Number: 11010551 All rights reserved INFORMATION TO ALL USERS The quality of this reproduction is dependent upon the quality of the copy submitted. In the unlikely event that the author did not send a com plete manuscript and there are missing pages, these will be noted. Also, if material had to be removed, a note will indicate the deletion. uest ProQuest 11010551 Published by ProQuest LLC(2018). Copyright of the Dissertation is held by the Author. All rights reserved. This work is protected against unauthorized copying under Title 17, United States C ode Microform Edition © ProQuest LLC. ProQuest LLC. 789 East Eisenhower Parkway P.O. Box 1346 Ann Arbor, Ml 48106- 1346 ABSTRACT With independence in 1961, the British system of Parliamentary government, incorporating the principle of responsible government, was formally adopted in Tanzania. But within only one year that system was discarded first, by adopting a Republican Constitution with an executive President in 1962, and then by adopting a one-party state system of government in 1965. The one-party system reached the height of prominence through the concept of "Party Supremacy", and dominated constitutional practice for a whole generation before giving way to demands for greater freedom and democracy through competitive politics in 1992. Throughout this time, however, the preambles to successive constitutions proclaimed that the government in Tanzania was responsible to a freely elected Parliament representative of the people. -
Tarehe 7 Februari, 2017
NAKALA YA MTANDAO (ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA __________ MAJADILIANO YA BUNGE ____________ MKUTANO WA SITA Kikao cha Saba – Tarehe 7 Februari, 2017 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Dkt. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Tukae. Katibu. NDG. RAMADHAN ISSA ABDALLAH – KATIBU MEZANI: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na: MHE. PROF. NORMAN A. S. KING – MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU: Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kwa kipindi cha kuanzia Januari, 2016 hadi Januari, 2017. MHE. DOTO M. BITEKO -MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI: Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kwa kipindi cha kuanzia Januari 2016 hadi Januari 2017. NAIBU SPIKA: Ahsante. Katibu! NDG. RAMADHAN ISSA ABDALLAH – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tunaendelea na maswali, Ofisi ya Rais - TAMISEMI. Mheshimiwa Najma Murtaza Giga, Mbunge wa Viti Maalum, sasa aulize swali lake. Na. 69 Tatizo la Ulevi MHE. NAJMA MURTAZA GIGA aliuliza:- 1 NAKALA YA MTANDAO (ONLINE DOCUMENT) Ulevi wa kupita kiasi hasa wa pombe za kienyeji umekuwa na athari kubwa za kiafya na kiakili kwa Watanzania wenye tabia ya ulevi wa kukithiri:- Je, Serikali imejipanga vipi kukabiliana na tatizo hilo hasa ikizingatiwa kuwa Sheria ya Vileo ya mwaka 1969 ni ya zamani sana kiasi kwamba inawezekana kabisa haikidhi mabadiliko ya hali halisi ya vileo kwa wakati huu. NAIBUWAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA alijibu:- Mheshimiwa Naibu Spika, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Najma Murtaza Giga, Mbunge wa Viti Maalum, kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Naibu Spika, pombe za kienyeji zimeainishwa katika Kifungu cha pili (2) cha tafsiri katika Sheria ya Vileo, Sura ya 77. -
Tarehe 12 Aprili, 2021
NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Saba – Tarehe 12 Aprili, 2021 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tukae. Waheshimiwa Wabunge, tunaendelea na Mkutano wetu wa Tatu, leo ni Kikao cha Saba. Natumaini mlikuwa na weekend njema Waheshimiwa Wabunge, ingawaje weekend ilikuwa na mambo yake hii. Jana nilimtafuta Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba kwa mambo yetu haya ya Bunge kuhusiana na uchangiaji wa Mpango wa Maendeleo akaniambia Mheshimiwa Spika tafadhali niache. Aah! Sasa nakuacha kuna nini tena? Anasema nina stress. Kumbe matokeo ya juzi yamempa stress. (Makofi/Kicheko) Pole sana Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba, na Wanayanga wote poleni sana. Taarifa tulizonazo ni kwamba wachezaji wana njaa, hali yao kidogo, maana yake wamelegealegea hivi. Kwa hiyo Waheshimiwa Wabunge baadaye tunaweza tukafanya mchango kidogo tuwasaidie Yanga ili wachezaji… (Kicheko) Katibu, tuendelee. (Kicheko) NDG. EMMANUEL MPANDA – KATIBU MEZANI: 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU (SERA, BUNGE, KAZI, AJIRA NA VIJANA) (MHE. PASCHAL P. KATAMBI): Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2021/2022. NAIBU SPIKA: Ahsante sana Mheshimiwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu. Katibu! NDG. EMMANUEL MPANDA – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Swali la kwanza linaelekea TAMISEMI na litaulizwa na Mheshimiwa Jacqueline Ngonyani Msongozi, Mbunge kutoka kule Ruvuma. Na. 49 Hitaji la Vituo vya Afya – Tunduru MHE. JACQUELINE N. MSONGOZI aliuliza:- Je, Serikali ina mpango gani wa kujenga vituo vya afya katika Kata za Tinginya, Muhimba, Kalulu, Mindu, Nalasi Magharibi na Nalasi Mashariki Wilayani Tunduru? SPIKA: Majibu ya Serikali kuhusu ujenzi wa vituo vya afya Ruvuma na nchi nzima, Mheshimiwa Naibu Waziri TAMISEMI, Mheshimiwa David Silinde, tafadhali. -
Tarehe 24 Mei, 2021
NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA TATU Kikao cha Thelathini na Tano – Tarehe 24 Mei, 2021 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tukae. Waheshimiwa Wabunge, Asalam alaykum. WABUNGE FULANI: Waalaykumu s-salam SPIKA: Bwana Yesu Asifiwe. WABUNGE FULANI: Ameen. SPIKA: Kama mnavyojua wiki iliyopita tulipata msiba wa kuondokewa na ndugu yetu, rafiki yetu, Mbunge mwenzetu, Mheshimiwa Khatib Said Haji, Mbunge wa Konde. Tulipata nafasi ya kupumzika siku ile ya msiba kama ambavyo Kanuni zetu zinaelekeza lakini pia tulifanya maandalizi ya mazishi na baadhi yenu mliweza kushiriki kule Pemba, tunawashukuru sana. Kwa niaba ya Bunge, napenda kutoa salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na kwa Watanzania 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) kwa msiba huu mkubwa ambao tumeupata wa ndugu yetu. Alikuwa ni Mbunge mahiri sana aliyelichangamsha Bunge na aliyekuwa akiongea hoja zenye mashiko lakini kama ambavyo Bwana alitoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe. WABUNGE FULANI: Ameen. SPIKA: Napenda kutoa taarifa kwa Waheshimiwa Wabunge kwamba Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya mabadiliko kama mnavyofahamu tayari na katika mabadiliko kadhaa mojawapo ambalo amelifanya ni la Katibu wa Bunge. Aliyekuwa Katibu wetu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai sasa ni Mheshimiwa Stephen Kagaigai, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na badala yake ameteuliwa Ndg. Nenelwa Mwihambi kuwa Katibu mpya wa Bunge. Naomba nimtambulishe mbele yenu sasa Katibu mpya, ahsante sana. (Makofi/Vigelegele) Kama mnavyofahamu Bunge letu lilianza zamani sana. Hivi Makatibu, Bunge lilianza mwaka gani? NDG. NENELWA J. MWIHAMBI, ndc - KATIBU WA BUNGE: Mwaka 1926. -
Wizara Ya Kilimo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ___________ WIZARA YA KILIMO HOTUBA YA WAZIRI WA KILIMO, MHESHIMIWA PROF. ADOLF FAUSTINE MKENDA (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA KILIMO KWA MWAKA 2021/2022 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim M. Majaliwa akishuhudia Nzige wa Jangwani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, walioangamizwa kwa sumu katika Kijiji cha Engaruka Wilaya alipotembelea shamba la mbegu ya miwa mkoani Morogoro ya Monduli alipotembelea maeneo yaliyovamiwa na nzige. KIMEPIGWA CHAPA NA IDARA YA KUPIGACHAPA YA SERIKALI-DODOMA-TANZANIA MEI, 2021 DODOMA HOTUBA YA WAZIRI WA KILIMO, MHESHIMIWA PROF. ADOLF FAUSTINE MKENDA (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA KILIMO KWA MWAKA 2021/2022 i ii Mhe. Prof. Adolf Faustine Mkenda (Mb.) Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Mohamed Bashe (Mb.) Naibu Waziri - Kilimo Bw. Andrew Wilson Massawe Prof. Siza Donald Tumbo Katibu Mkuu - Kilimo Naibu Katibu Mkuu - Kilimo i i YALIYOMO ............................................................................................ i VIFUPISHO VYA MANENO ............................................................... vii 1. UTANGULIZI ...................................................................................... 1 2. MCHANGO WA KILIMO KATIKA UCHUMI ................................. 7 3. HALI YA CHAKULA, UMWAGILIAJI NA USHIRIKA ................. 8 3.1 Hali ya Chakula ............................................................... 8 3.2 Umwagiliaji ..................................................................... -
1 Bunge La Tanzania
NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA KUMI Kikao cha Tano – Tarehe 5 Februari, 2018 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Tulia Ackson) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa tukae, Katibu. NDG. STEPHEN KAGAIGAI – KATIBU WA BUNGE: KIAPO CHA UAMINIFU Mhe. Dkt. Adelardus Lubango Kilangi NAIBU SPIKA: Katibu! NDG. STEPHEN KAGAIGAI – KATIBU MEZANI: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa mezani na:- MHE. MOSHI S. KAKOSO - K.n.y MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU: Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuhusu shughuli za Kamati kwa mwaka 2017. 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) MHE. INNOCENT L. BASHUNGWA - K.n.y MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI: Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuhusu shughuli za kamati kwa mwaka 2017. NAIBU SPIKA: Katibu! NDG. STEPHEN KAGAIGAI – KATIBU MEZANI: MASWALI NA MAJIBU Na. 55 Changamoto Zinazowakabili Walemavu MHE. OSCAR R. MUKASA aliuliza:- Watanzania wenye ulemavu wanakabiliwa na kero mbalimbali za kimaisha ikiwemo ukosefu wa ajira kama ilivyo kwa Watanzania wengine, aidha, zipo changamoto za jumla kama vile kijana mwenye ulemavu wa ngozi asiye na ajira ana changamoto ya mahitaji ya kujikimu na pia ana changamoto za kipekee za mahitaji ya kiafya na kiusalama. Je, Serikali inatoa kauli gani kuhusu umuhimu wa kuwatazama vijana wenye ulemavu mbalimbali kwa namna ya pekee na kama zipo sera na mikakati ya kiujumla kwa vijana wote nchini? NAIBU SPIKA: Ofisi ya Waziri Mkuu sijui nani anayejibu maswali. NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, WATU WENYE ULEMAVU: Mheshimiwa Naibu Spika, niko hapa. -
Tanzania Institutional Diagnostic
TANZANIA INSTITUTIONAL DIAGNOSTIC TANZANIA INSTITUTIONAL DIAGNOSTIC François Bourguignon, Editor Paris School of Economics Sam Wangwe, Editor DAIMA Associates September 2018 Introduction – Tanzania Institutional Diagnostic About Economic Development & Institutions Institutions matter for growth and inclusive development. But despite increasing awareness of the importance of institutions on economic outcomes, there is little evidence on how positive institutional change can be achieved. The Economic Development and Institutions – EDI – research programme aims to fill this knowledge gap by working with some of the finest economic thinkers and social scientists across the globe. The programme was launched in 2015 and will run until 2021. It is made up of four parallel research activities: path-finding papers, institutional diagnostic, coordinated randomised control trials, and case studies. The programme is funded with UK aid from the UK government. For more information see http://edi.opml.co.uk. © Economic Development & Institutions 2 Introduction – Tanzania Institutional Diagnostic Introduction 'Institutions matter' 'Institutions matter' became a motto among international organisations in the late 1990s, when it became clear that the so-called 'Washington Consensus' and its emphasis on markets was not generating the growth and development that was expected. The slogan could be interpreted in different ways. It sounded a note of disappointment for those liberalist reformers, sometimes jokingly called the 'marketeers', who promoted the generalised shift to market mechanisms and the pre-eminence of private actors in developing countries at the time of the development crisis of the 1980s. Giving more space to the market was perhaps a good idea from a theoretical point of view. Practically, however, it was another story.