yetu

LIMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA UHUSIANO CHA HALMASHAURI WA WILAYA YA CHATO www.chatodc.go.tz Email: [email protected] Miradi ya Kimkakati Kuongeza Kiwango cha Mapato ya Ndani ya Halmashauri

Vikundi Vyanufaika

Uk.11 na Mikopo ya 10% Uk.2

Baraza Lapitisha Bajeti ya Shilingi Bilioni 49 UK. 2

2 yetu Januari-Machi 2019 Miradi ya Kimkakati Kuongeza Kiwango cha Mapato ya Ndani

almashauri ya Wilaya ya Jumla ya fedha iliyotolewa kwa ya lengo la shilingi 2,266,934,000. Chato katika mwaka wa miradi hii miwili ilikuwa ni shilingi H Mkurugenzi Mtendaji wa Halmas- fedha 2018/2019 kwenye vipaum- 305,712,110. hauri ya Wilaya ya Chato Eliurd bele vyake ilipanga kuanzisha Kupitia miradi mipya hiyo ambayo Mwaiteleke amesema kuanza kwa miradi mipya ya kwa lengo la imeanza uzalishaji tangu mwezi miradi hiyo ni dalili ya kwamba kuongeza kiwango chake cha Machi 2019 Halmashauri ya Wilaya kwa mwaka 2018/2019 mapato mapato ya ndani ili kuweza lukidhi ya Chato inaelekea kupata ufum- yatakuwa ni zaidi ya asilimia 100. matarajio yake ya utoaji wa hudu- buzi wa tatizo la muda mrefu la ma kwa wananchi. “Pamoja na vyanzo vingine vya utoshelevu wa mapato ya ndani Halmashauri lakini kupitia miradi hii Kupitia maandiko mbalimbali yali- ya Halmashauri. ya kimakakati tunatarajia ma- pelekwa Ofisi ya Rais–TAMISEMI ti- Mwaka wa fedha 2017/2018 Hal- kusanyo yetu ya ndani yatakuwa mu ya Menejimenti ya Halmashauri mashauri ikupia vyanzo vya ndani ni zaidi ya mwaka uliopita kwa ki- ili ainisha miradi kadhaa ikiwemo hadi kufikia mwezi Juni 2018 wango kikubwa tu” alisema Mku- viwanda vikubwa na vya kati ili ilikusanya kiasi cha shilingi rugenzi Mtendaji. kuongeza uwezo wa Halmashauri 1,956,905,535.45 sawa na 90.65% kujitegemea kiichumi. Kwa mujibu wa meneja wa kiwan- ya lengo la 2,158,800,000. da cha matofali George Philipo Miradi ambayo ilifanikiwa na ku- Kwa mwaka wa fedha 2018/2019 amesema tofali moja la nchi 6 pata fedha ni kiwanda cha hadi kufikia tarehe 31 Machi 2019 kwa (uwiano wa mfuko mmoja ufatuaji wa Matofali kilichopo kijiji Halmashauri kupitia vyanzo vya tofali 40) kwa bei ya kiwandani cha Muungano na Uchapishaji uli- ndani imekusanya kiasi cha shilingi linauzwa shilingi 1100/=. opo kijiji cha Kitela kata ya Chato. 1,572,278,292.09 Sawa na 69.36%

Baraza Lapitisha Bajeti ya Shilingi Bilioni 49

araza la madiwani la Hal- wa mapato ya ndani. Mapato pamoja na kukamilisha mashauri ya Wilaya ya maboma yaliyopo katika mae- Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chato limepitisha bajeti neo mbalimbali ya vijiji. Wilaya ya Chato Mhe. Christian ya makadirio ya Mapato B Manunga amesema ni vyema Kwa mwaka wa fedha 2017/2018 na Matumizi kwa mwaka wa katika bajeti hii Halmashauri Halmashauri ilikadiria kukusanya fedha 2019/2012 ya kiasi cha ikajikita zaidi katika ukusanyaji wa shilingi 49,869,076,947 ambapo kiasi cha shilingi 52,184,131,192. kiasi cha shilingi 2,936,534,000 ni fedha ambazo zinatarajiwa ku- kusanywa na Halmashauri kutoka kwenye vyanzo vyake mbalimbali vya mapato. Akiwasilisha taarifa ya Mpango wa Maendeleo wa mwaka 2019/2020 Afisa Mipango wa Hal- mashauri ya Wilaya ya Chato Da- vid Sinyanya amesema bajeti hiyo imelenga kujenga uwezo wa kiutawala katika maeneo yote, pamoja na kuimarisha ukusanyaji

3 yetu Januari-Machi 2019 Mawaziri 8 Watua Kutatua Migogoro ya Ardhi Kwenye Hifadhi

awaziri 8 wakiongozwa k u w a na Waziri wa Ardhi, kunahitajika M Nyumba na Maendeleo ardhi kubwa ya Makazi Mhe. kwa ajili ya wamefika Wilayani Chato kwa len- uendelezaji wa go la kutatua migogoro ya rdhi mji huo iki- katika hifadhi za misitu. wemo ujenzi wa taasisi na Akitoa taarifa ya Wilaya kwa msa- maeneo ya fara huo, Mkuu wa Wilaya ya Cha- viwanda. to Mhandisi Mtemi Msafiri ames- ema kwa Wilaya ya Chato kata ya Akiongea na wananchi waliokusa- TAMISEMI Mhe. , Wa- Bwanga, Iparamasa, Buten- nyika shule ya sekondari Magufuli ziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Hamis gorumasa, Buziku, Nyarutembo, waziri Lukuvi amesema amesikiliza Kigwangala, Waziri wa Ulinzi na Kasenga na Bwongera zinao kero za wananchi wa Chato na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe, Husen wakazi wengi ambao wanafanya Bukombe kuhusiana na uhaba wa Mwinyi, Waziri wa Mifugo na Uvuvi shughuli za kiuchumi katika hifadhi ardhi na kuhaidi kufikisha kero hizo Mhe. Luhaga Mpina, Waziri wa Maji za misitu hiyo ikiwemo kilimo na kwa mhe. Rais wa Jamhuri ya Mhe. Profesa , ufugaji. Muungano wa . Naibu waziri wa Kilimo na naibu waziri ofisi ya Makamu wa Rais Amesema kutokana na ukuaji wa Mawaziri wengine walikuwepo anayeshughulikia Mazingira. miji inayopakana na hifadhi hu- kwenye msafara huo ni pamoja na susan kata ya Bwanga ni dhahiri Waziri wa nchi ofisi ya Rais-

Wanufaika TASAF 3 Wajikita Kwenye Ufugaji HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO

aadhi ya wanufaika mara kwa mara amekuwa wa mpango wa TASAF anauza na kununua mahitaji awamu ya tatu Wila- mengine ya familia kama vile y a n i C h a t o chakula. TANGAZO WANANCHI WOTE MNATANGAZIWA KUWA HALMASHAURI YA B WILAYA YA CHATO IMEANDAA MAENEO YA VIWANJA VIDOGO wameendelea kujiongezea Kupitia miradi hiyo ya ufugaji VYA KUJENGA VIBANDA KATIKA STENDI YA MUGANZA KWA kipato kwa kufuga aina mba- wanufaika hao wameomba AJILI YA KUJENGEWA MABANDA YANAYOZUNGUKA STENDI YA limbali za mifugo. MABASI KATIKA MJI WA MUGANZA kutembelewa na wataalamu WANANCHI WOTE WENYE NIA YA KUPATIWA VIWANJA VYA Baadhi ya wanufaika wames- wa mifugo kwa ajili ya ushauri KUJENGA VIBANDA HIVYO WANAJULISHWA KUWA KUANZIA TAREHE 01/04/2019 HADI 14/04/2019 FOMU ZA MAOMBI ema kupitia ufugaji wameona wa ufugaji bora pamoja na YA VIWANJA VYA KUJENGA VIBANDA HIVYO ZITATOLEWA OFISI ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO KWA GHA- ndio njia pekee ya kwao ku- utengenezaji wa mabanda RAMA YA TSHS 20,000/= jikwamua na hali ngumu ya imara kwa ajili ya mifugo yao. WATU WOTE WENYE NIA YA KUPATA VIWANJA VYA KUJENGA maisha ambayo walikuwa nayo VIBANDA KATIKA ENEO LA STENDI MUGANZA WANATAKIWA Wilaya ya Chato ina jumla ya KUJAZA FOMU HIZO NDANI YA MUDA ULIOONYESHWA kabla ya kuingia kwenye mpan- wanufaika wa Mpango wa TAS- KWENYE TANGAZO HILI, NA ENDAPO MWOMBAJI ATAFANIKI- go wa TASAF 3 wa kunusuru WA KUPATA KIWANJA CHA KUJENGA KIBANDA HICHO, ATAP- AF awamu ya tatu 7,666 Kati ASWA KULIPA TSHS 350,000/= KAMA DHAMANA YA KUPATIWA kaya masikini. KIWANJA CHA KUJENGA KIBANDA y a o w a n u f a i k a 1 0 0 0 WATU WOTE WATAKAOFANIKIWA KUPATA VIWANJA VYA KU- Bi Sugwa Bushuwandama mkazi Wamejikita kwenye miradi ya JENGA VIBANDA VYA STENDI, MARA BAADA YA MALIPO YA wa kijiji cha Mkungo kata ya ufugaji wa mbuzi, Kondoo, ku- DHAMANA WATAPASWA KUJAZA MIKATABA BAINA YAO NA HALMASHAURI YA WILAYA AMBAPO MIKATABA HIYO ITAAN- Bukome Wilayani hapa anase- ku, Bata, Nguruwe na Ng’ombe DAMANA NA MICHORO NA MASHARTI YA UJENZI WA VIBANDA HIVYO ma kupitia mpango wa TASAF 3 na baadhi wameanzisha bi- LIMETOLEWA NA , kwa kipato kidogo anachopata ashara ndogo ndogo kama njia OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI (W) hivi sasa anao mbuzi 12 ambao ya kujiongezea kipato cha kaya. HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO.

4 yetu Januari-Machi 2019 SIKU YA WANAWAKE DUNIANI; DC Awatahadhalisha Wanafunzi wa Kike kuhusu Mimba

erikali Wilayani Chato ime- sasa wanafunzi wa kike ukipata bani na mahali pa kazi. Amewa- onya tabia ya baadhi ya ujauzito na ukamficha aliyekupa taka wanawake kutoa taarifa S wanafunzi wa kike ku- ujauzito au ukimsaidia kutoroka kwenye vyombo vya dola hususan waficha wanaume wanaowapa tunakushitaki wewe mwenyewe” TAKUKURU. ujauzito pindi wanapofikishwa alisisitiza Mkuu wa Wilaya Kaulimbiu ya maadhimisho ya siku kwenye vyombo vya sheria. Katika hatua nyingine Mkuu wa ya wanawake duniani mwaka Onyo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Chato amewaasa 2019 ilikuwa “Badili fikra kufikia usa- Wilaya ya Chato Mhandisi Mtemi wanawake wote kutoa taarifa juu wa wa kijinsia na maendeleo en- Msafiri kwenye maadhimisho ya ya unyanyasaji na unyanyapaa delevu” siku ya wanawake duniani yali- wanaofanyiwa wanawake majum- yofanyika kiwilaya kata ya Nyamirembe.

Mkuu wa Wilaya amesema ku- mekuwa na tabia ya baadhi ya wanafunzi wa kike kuficha taarifa za waliowapa mimba na kusema kuwa kuanzia sasa serikali itakuwa inawachukulia hatua wenyewe kwani tatizo la mimba mashuleni limekithiri sana.

“naomba niwatangazie kuanzia Vijana Chato Wapata Elimu ya Kilimo cha Kisasa aidi ya Vijana 100 kutoka Mafunzo hayo yaliyofanyika kwa yogharamia mafunzo hayo pamo- maeneo mbalimbali ya muda wa siku 8 yanalenga ku- ja na ujenzi wa miundombinu ya Z Wilaya ya Chato wamen- wajengea uwezo vijana wa jinsia kujifunzia kwa kushirikiana na Hal- ufaika na mafunzo ya kilimo kwa zote ili waweze kujiendeleza kupitia mashauri ya Wilaya ya Chato. njia ya Kitalu nyumba sekta ya Kilimo. Amesema kwa kuanzia vijana hao (Greenhouse ) yanayotolewa na Akiongea na Afisa Habari wa Hal- wamepata elimu ya darasani na Wizara ya Kazi, Ajira na Walemavu. mashauri afisa wengine wamepata elimu ya ufun- kilimo anayeshu- di wa namna ya utengenezaji wa ghulika na mradi Kitalu nyumba. huo Edgar Kimario Mradi huo uliopo sekondari ya amesema vijana Chato mara baada ya kukamilika hao wamepata kwake vijana watakuwa wakipata mafunzo hayo elimu juu ya kilimo cha kisasa ikiwa ni sehemu kupitia kwa vijana waliopata ma- ya utekelezaji wa funzo kwa kushirikiana na idara ya agizo la Wizara Kilimo ya Halmashauri. husika ina-

5 yetu Januari-Machi 2019 Kituo cha Mabasi Muganza Chaanza Kujengwa

almashauri ya Wilaya ya Afisa Mipango wa Halmashauri ya eneo la kituo cha mabasi, kujenga Chato imeanza rasmi Wilaya ya Chato amesema kiasi jingo la abiria pamoja na choo kazi H ujenzi wa Kituo kipya cha shilingi milioni 66 kilichobaki ambazo zinaendelea kwa sasa na cha Mabasi kata ya Muganza. katafanya kazi ya kusawazisha inatarajiwa kukamilika mwezi Juni 2019 Fedha za ujenzi wa kituo hicho kipya zimetokana na mkopo wa Picha kushoto Shilingi Milioni 100 kutoka benki ya ni Wajumbe NMB tawi la Chato. wa kamati ya Uchumi, Ujen- Mradi huo ambao unajengwa kwa zi na Mazingi- kutumia vibarua (Force account) ra wakikagua umeanza tangu mwezi Februari maendeleo ya 2019 kwa kulipa fidia kiasi cha ujenzi wa kit- shilingi milioni 34 kwa wanancnchi uo cha mabasi waliokuwa wanamiliki eneo hilo cha Muganza lenye ukubwa wa ekari 4.

Rubondo Sekondari Kupunguza

Msongamano wa Wanafunzi Kigongo

ubondo sekondari ni shule ya vyoo, ofisi ya walimu na samani za mpya inayotarajiwa kufunguli- madarasa na ofisi ya walimu ambavyo wa hivi karibuni wilayani Chato vinatosheleza mahitaji ya kuanzisha shule R UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA kata ya Kigongo kijiji cha Kikumbaitale. mpya kijijini hapo. 2019 Kutokana na msongamano mkubwa wa Shule zingine ambazo zipo mbioni kuka- Ndugu mwananchi wanafunzi kwenye sekondari ya Kigongo milika na kuombewa usajili ni pamoja na na umbali kutoka Kikumbaitale na ma- Sekondari mpya ya Nyabugera iliyopo 2019 ni mwaka wa hali ilipo Shule ya sekondari Kigongo ni kata ya Muganza na Sekondari ya uchaguzi wa sababu ya kuanzisha shule hiyo. Minkoto iliyopo katika kata ya Minkoto Serikali za Mitaa ambayo tangu kuanzishwa kwake hai- Sekondari ya kata ya Kigongo kwa sasa kuwa na sekondari ya kata. Jitokeze kugombea ina jumla ya wanafunzi wa kidato cha katika ngazi kwanza hadi cha nne wapatao 1290. Kukamilika kwa usajili wa shule ya sek- mbalimbali na ondari Rubondo, Wilaya ya Chato itafiki- Kwa mujibu wa Afisa Elimu Sekondari sha shule za sekondari za serikali 26. kuchagua viongozi amesema shule hiyo tayari imeombewa wenye sifa katika usajili wizara ya Elimu, Sayansi na ngazi za Mitaa/ Teknolojia mara baada ya vigezo vya Vyumba vya madarasa na ofisi ya walimu shule ya awali vya ukaguzi kuwa vimekamilika sekondari Rubondo kwa ufadhili wa TANAPA Vijiji na Vitongoji vizuri.

Shule hii ambayo imejengwa kwa nguvu za wananchi na ufadhili wa TANAPA kupitia hifadhi ya Kisiwa cha Rubondo, kwa sasa shule hiyo ina vyumba 6 vya madara, matundu 10

6 HABARI KATIKA PICHA yetu Januari-Machi 2019

Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango wakiwa kwenye ziara ya Wajumbe wa kamati ya Fedha, wakiongea na wanafunzi wa kukagua ujenzi wa Nyumba sita za walimu shule ya sekondari Ile- sekondari ya Mnekezi ambao wamekuwa wakitumia maji ya mela zenye thamani ya shilingi milioni 152 kwa ufadhili wa TEA kisima ambayo si salama na badala yake watumie yale ya kisi- ma kilichochimbwa na serikali ambacho kipo maeneo hayohayo

Wajumbe wa Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira (hawapo Wajumbe wa Kamati ya Fedha wakikagua ujenzi wa madarasa 3 na pichani ) walipowatembelea Wafanyabiashara wasoko la kima- matundu 13 ya vyoo shule ya Msingi Mnekezi fedha za EP4R 2017 taifa la Kasenda kujua changamoto zinazowakabili

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa (wa Baadhi ya wakurugenzi, Makatibu Tawala wa Wilaya na katikati walio keti)akiwa kwenye picha ya pamoja na walimu wa shule ya Maafisa Mipango wa Halmashauri za mkoa wa Geita sekondari Jikomboe alipowatembelea wakati wa ziara yake kwa ajili ya walipofanya ziara wilayani hapa kwa lengo la kujifunza kuwapongeza kufuatia matokeo mazuri ya shule hiyo miradi mikakati iliyoanzishwa na Halmashauri ya Chato

7 HABARI KATIKA PICHA yetu Januari-Machi 2019

Waziri wa Afya, Mendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Walemavu Mhe. Ummy Mwalimu akiangalia mashine ya X-RAY iliyopo Mhe. Stela Ikupa (kushoto) akijadili jambo na baadhi ya katika hospitali ya Wilaya ya Chato wakati wa ziara ya siku walemavu wakati wa ziara yake Wilayani hapa mwezi Februari moja Wilayani hapa 2019

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Mhe.Christian Mkuu wa Wilaya ya Chato Eng. Mtemi Msafiri (wa katikati) Manunga (wa pili kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi na Wilaya na vikun- na viongozi wa baraza la watu wanaoishi na VVU Tanzania di vya wajasariamali vya walemavu mara baada ya kukabidhi waliponfanya kikao na umoja wa vijana waishio na VVU Wilaya ya Chato

Waziri wa Nishati na Mbunge wa Jimbo la Chato Mhe. Dkt. Medard Kale- Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Inmi Patterson(wa pili mani (mwenye miwani) akikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo kipya kutoka kushoto) akiwa na viongozi wa Wilaya ya Chato cha mabasi kinachojengwa kijiji cha Kahumo kata ya Muungano na kam- alipofanya ziara wilayani hapa yenye lengo la kujionea kiwango puni ya Mayanga Construction kwa gharama ya shilingi Bilioni 5.3 cha maambukizi hususan katika maeneo ya machimbo

8 yetu Januari-Machi 2019 Kamati ya Uchumi Yakagua Miradi, Washauri Soko la Kasenda liboreshwe

amati ya Uchumi, Ujenzi kimataifa la Kasenda amemwagi- ka soko hilo. na Mazingira ya Halmas- za Mkurugenzi Mtendaji kuhakikisha Mjumbe wa kamati Mhe. Phares hauri ya Wilaya ya Chato anatengeneza mazingira mazuri K Luhangija ambaye ni diwani wa imefanya ziara yenye lengo la katika soko hilo ikiwa ni pamoja na kata ya Ilyamchele amesema kukagua miradi mbalimbali ya kuziba mashimo yaliyopo katikati wamefurahishwa na miradi hu- maendeleo inayotekelezwa na ya soko hilo pamoja na utatuzi wa susan ule wa Ufyatuaji wa Matofali Halmashauri kwa mwaka wa fedha changamoto mbalimbali zi- na kuishauri timu ya Menejimenti 2018/2019. nazowakabili wafanyabiashara iweze kufyatua tofali zenye ubora kati- Baadhi ya wajumbe wa kamati lakini pia kwa gharama nafuu hiyo wameshauri kufanyike ma- Soko la Samaki la Kimataifa la Kasenda ili kila mwananchi na taasi- boresho ya haraka hususan si ziweze kununua tofali kwenye miradi ambayo hizo na mradi uwe imeanziswa kwa lengo endelevu. la kuongeza mapato Miradi mingine likiwemo soko la kima- iliyotembelewa na taifa la Kasenda kamati hiyo ni Mwenyekiti wa Halmas- pamoja na ujenzi wa kituo kipya cha hauri ya Wilaya ya Chato mabasi cha Muganza Mhe. Christian Manunga aki- pamoja na ujenzi wa wa kwenye mradi wa Soko la uwanja wa mpira wa miguu

TUNATEKELEZA

Mpya wa Kituo cha Afya Bwanga Baada ya Ukarabati 500,000,00/=Gharama za Mradi = 500,000,000/=

Kituo kinahudumia wananchi 200 kwa siku

Zaidi ya wananchi 60,000 wanakitegemea kituo

9 yetu Januari-Machi 2019 Nyambogo na Idoeselo Kunufaika na Madarasa, Madawati na Vyoo

hule ya Msingi Nyambongo kupitia ubalozi wake nchini Tanza- husika. iliyopo kata ya Ilemela na nia kwa kuwezesha upatikanaji wa Fedha hizo zinatarajiwa kujenga Idoselo ya kata ya Ka- miundombinu hiyo mipya katika S vyumba vitatu vya madarasa, chwamba wilayani hapa zinataraj- shule husika na kusema kiasi hicho matundu ya vyoo na madawati ia kunufaika na miundombinu cha shilingi milioni 196 kitasaidia katika kila darasa litakalo jengwa mipya kutokana na serikali ya kuboresha taaluma katika shule katika shule hizo. Japan kufadhili ujenzi wa Vyumba Balozi wa Japan nchini Tan- vya madarasa, samani na matun- zania Shinichi Goto (wa pili du ya vyoo katika shule hizo. kutoka kulia) wakikabidhia- Akiongea katika Hafla ya kutia saini na nyaraka za makubaliano mkataba wa makubaliano ya ujen- za ufadhili wa ujenzi wa miundombinu ya elimu kati- zi huo uliofanyika hivi karibuni kati- ka shule za Nyambogo na ka ofisi za ubalozi wa Japan jijini Idoselo na Mkurugenzi Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Mtendaji wa Halmashauri ya Wila- ya Wilaya ya Chato Eliurd ya ya Chato Eliurd Mwaiteleke Maiteleke (kushoto) jijini ameshukuru serikali ya Japan Dar es salaam Kuelekea Uchaguzi TAKUKURU Yawapiga Msasa Wenye Ulemavu

aasisi ya Kuzuia na na wamekuwa wakishiriki katika ma amesema mafunzo hayo ya- Kupambana na Rushwa shughuli mbalimbali za miradi ya metolewa kutokana na viziwi T (TAKUKURU) Wilayani Cha- maendeleo pasipo kujua kwa kina wengi kutokufahamu namna ya to imetoa elimu juu ya kupambana madhara yatokanayo na rushwa. kupambana na rushwa sababu na rushwa katika sekta mbalimbali ambayo imepelekea baadhi yao Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya kwa watu wenye ulemavu waliopo kuchagua hata viongozi wasio na Chato Vangsada Mkalimoto ames- Wilayani hapa. sifa katika chaguzi mbalimbali. ema TAKUKURU imeamua kutoa Akifungua semina hiyo Seleman semina kwa kundi hilo kutokana na Justine Lupande ambaye ni mlem- Tajiri kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya wao kundi hilo kuwa sehemu ya avu wa viuongo amesema kutoka- ya Chato amesema, kundi la watu mapambano ya rushwa kwenye na na elimu hiyo waliyopata ita- wenye ulemavu ni mhimu kutoka- jamii kwani ni kundi mojawapo wasaidia kupambana na rushwa na na wao kuwa sehemu ya jamiii ambalo limekuwa likiatirika na rush- hususan katika kipindi hiki cha wa kupitia kuelekea kwenye uchaguzi wa maeneo mba- serikali za mitaa. l i m b a l i Mafunzo hayo ya siku moja wanayojihu- yalilenga kuwajengea uwezo sisha nayo. walemavu wa namna ya kupam- Kwa upande bana na rushwa hususan kwenye wake katibu miradi ya maendeleo, chaguzi za wa Taasisi ya kisiasa, elimu ya uraia katika Maendeleo ya upatikanaji wa haki, maeneo ya Viziwi Tanzania kutolea huduma mbalimbali, haki (TAMAVITA) za raia mbele ya jeshi la polisi. Calvin Mnye-

10 yetu Januari-Machi 2019 Waziri Mwalimu avutiwa na Ukarabati Hospitali ya Wilaya

aziri wa afya, ya Wilaya ya Vituo vya afya. Maendeleo ya Katika hatua nyingine Waziri Jamii, Jinsia, W Mwalimu ameupongeza Wazee na Watoto Ummy uogozi wa Hospitali kwa ku- Mwalimu amesifu utoaji wa karabati majengo yaliyopo huduma bora katika hospitali hospitalini kwa kutumia fedha ya Wilaya Chato na ameu- za RBF kiasi cha shilingi milioni agiza uongozi kutenga 65 ambapo amesema chumba maalumu kwa ajili ukarabati huo umependeze- ya wagonjwa wa dharula ili sha mwonekano hata ku- kuokoa mamia ya watu am- wafanya wagonjwa wajiskie bao wamekuwa wakipata vizuri kutonana na mandhari ajali mbalimbali na chumba nzuri iliyopo hospitalini hapo. cha uangalizi wa watoto wa- changa mahututi ili kupun- “hata mgonjwa akija akiona guza vifo vya watoto. hospitali kuna rangi nzuri hata ugonjwa unaanza kupungua Waziri Mwalimu ameyasema na mimi nimefurahi sana hayo hivi karibuni wakati wa hata wafadhili wetu wakiona ziara yake ya siku moja ali- watafurahi pia” alisema wa- yoifanya katika Wilayah ii ziri Mwalimu kwa lengo la kujionea utoaji wa huduma katika hospitali Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha afya kata ya Muganza

Picha hapo juu ni mwonekano wa kitakuwa na jengo la upasuaji, na wodi ya akina mama . baadhi ya majengo ya kituo cha wodi wa wazazi, chumba cha Kituo hicho cha afya ambacho Afya cha kata ya Muganza. Kituo maiti, jengo la Maabara na nyum- kinatarajiwa kukamilika mwezi Mei hiki kinajengwa kwa gharama ya ba 2 za watumishi ambapo kwa 2019 kitasaidia zaidi ya wananchi elfu 40 wa kata za Muganza, shilingi milioni 400 zilizotolewa na kutumia njia ya vibarua Halmas- Bwongera na maeneo jirani na ka- serikali kupitia ofisi ya Rais hauri imeongeza majengo men- ta hizo. TAMISEMI. Kituo hiki cha afya gine mawili likiwemo la kufua nguo

11 yetu Januari-Machi 2019 Mwenge wa Uhuru 2019 Wilayani Chato Tar. 2 Mei wenge wa Uhuru kutembelea klabu ya wapinga mabanda ya kupinga madawa ya utakimbizwa Wilayani rushwa shule ya msingi Nyabilezi. kulevya katika eneo la mkesha Chato tarehe 2 Mei Buseresere na tarehe 3 Mei Miradi mingine itakayopitiwa na 2019. Mwenge utakabidhiwa Wilayani M Mwenge wa Uhuru 2019 ni pamoja Bukombe. Mwenge wa Uhuru 2019 uta- na kuzindua kisima pokelwa wilayani Chato siku kirefu cha maji kijiji Alhamis tarehe 2 Mei katika viwan- cha Busaka kata ya ja vya shule ya msingi Ichwankima Bwera, kutoa ukitokea wilayani Biharamulo. mikopo kwa vikundi vya wenye ulemavu, Ukiwa Wilayani hapa Mwenge wa vijana na wana- uhuru unatarajiwa kuweka jiwe la wake pamoja na Msingi kwenye ujenzi wa nyumba kutembelea maban- sita za walimu sekondari ya Ilemela, da ya upimaji UKIM- kuzindua barabara ya lami Chato WI, Malaria, Uchan- mjini, kuweka jiwe la msingi la ujenzi Nyumba sita za walimu sekondari ya Ilemela ambazo giaji wa damu na wa kituo cha afya cha Bwina, zitawekewa jiwe la msingi na mwenge wa uhuru 2019 Vikundi 21 Vyanufaika na Mikopo ya Mikopo Isiyo na Riba

umla ya vikundi 21 vya vija- vizuri kwa mwaka huu wa fedha na, Wanawake na fedha ambazo zitatolewa zitakuwa walemavu kutoka maeneo ni milioni 220 ambapo hadi sasa J mbalimbali ya Halmashauri jumla ya shilingi milioni 84 zimekwi- ya Wilaya ya Chato vimenufaika sha tolewa kwa vikundi mbalimbali na mikopo isyokuwa na riba inayo- vilivyopo wilayani hapa. tolewa na Halmashauri kupitia fedha za mapato ya ndani ya Hal- Mwezi Julai 2018 Halmashauri ya mashauri. i w e z e k u - Wilaya ya Chato ilitoa milioni 45 rahisisha upelekaji wa maendeleo kwa vikundi 27 vya vijana, wana- Akikabidhi mikopo hiyo yenye tha- kwa wananchi wake. wake na walemavu. mani ya shilingi milioni 39 Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhandisi Mtemi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmas- Halmashauri ya Wilaya ya Chato Msafiri Simeon amevishauri vikundi hauri ya Wilaya ya Chato Eliurd ina vikundi 763 vilivyosajiliwa am- hvyo kutumia kwa uangalifu fedha Mwaiteleke amesema fedha izo bavyo vinakadiriwa kuwa na hizo ili badae vikopeshwe tena zinazotolewa na Halmashauri ni wanachama 11,445. fedha zaidi ya hizo walizo- fedha za mapato ya ndani na kopeshwa kwa awamu hii. ukusanyaji wa mapato ukienda Picha ya Kwanza hapo juu Mkuu wa Katibu wa UWT Wilaya ya Chato Wilaya ya Chato Mhandisi Mtemi Cecilia Ismail amesema vikundi vil- Msafiri akikabidhi nakala ya ivyopata mikopo kwa awamu hiyo uthibitisho wa malipo kwa vinapaswa kujitahidi kutumia fedha mwakilishi wa kikundi cha hizo kwa malengo ambayo walemavu kata ya Nyarutembo wamejiwekea na kuongeza kus- ema kuwa wanavikundi hao katika Boniphace Thomas na picha kazi zao wanatakiwa kuwa maba- kushoto ni viongozi wa Wilaya lozi wazuri katika ulipaji wa kodi na wakiwa kwenye picha ya pamoja na kuwashawishi watanzania wengine wanavikundi walionufaika na wapende kulipa kodi ili serikali mikopo

12

yetu Uwanja wa Mpira Chato Mambo ni Moto Huu Ndio Mwonekano wa Hali halisi ya uwanja hadi sasa Sehemu ya kuchezea mpira kukamilika mwezi Juni 2019

aendeleo ya uwanja Hivi sasa kazi ya kukuza nyasi Uwanja huu uliopo kata ya Muun- Mkubwa na wa kis- kwenye eneo la kuchezea unaen- gano kijiji cha Mlimani unajengwa asa Wilayani Chato delea sambamba na ung’oaji wa kwa ufadhili wa Benki ya CRDB am- M umepamba moto magugu. bao walitoa zawadi kwa Wilaya mara baada ya nyasi zilizopandwa Chato kupitia kwa Mhe. Rais John Kwa mujibu wa mtaalamu wa nyasi uwanjani hapo kuanza kuota hivyo Pombe Magufuli alipokuwa anasema itachukua takribani miezi kuleta matumaini mapya kwa anazindua tawi jipya la benki hiyo 2 kutoka sasa ili sehemu ya ku- wanamichezo wa Chato. mwezi Machi mwaka 2018. chezea ikamilike.

Katibu wa UWT Wilaya ya Chato ndugu Cecilia Ismail akijumuika kucheza na kikundi cha Mwagazege kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani yaliyofanyika kiwilaya kata ya Nyamirembe