Jarida La Chato Yetu Januari-Machi 2019

Jarida La Chato Yetu Januari-Machi 2019

yetu LIMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA UHUSIANO CHA HALMASHAURI WA WILAYA YA CHATO www.chatodc.go.tz Email: [email protected] Miradi ya Kimkakati Kuongeza Kiwango cha Mapato ya Ndani ya Halmashauri Vikundi Vyanufaika Uk.11 na Mikopo ya 10% Uk.2 Baraza Lapitisha Bajeti ya Shilingi Bilioni 49 UK. 2 2 yetu Januari-Machi 2019 Miradi ya Kimkakati Kuongeza Kiwango cha Mapato ya Ndani almashauri ya Wilaya ya Jumla ya fedha iliyotolewa kwa ya lengo la shilingi 2,266,934,000. Chato katika mwaka wa miradi hii miwili ilikuwa ni shilingi H Mkurugenzi Mtendaji wa Halmas- fedha 2018/2019 kwenye vipaum- 305,712,110. hauri ya Wilaya ya Chato Eliurd bele vyake ilipanga kuanzisha Kupitia miradi mipya hiyo ambayo Mwaiteleke amesema kuanza kwa miradi mipya ya kwa lengo la imeanza uzalishaji tangu mwezi miradi hiyo ni dalili ya kwamba kuongeza kiwango chake cha Machi 2019 Halmashauri ya Wilaya kwa mwaka 2018/2019 mapato mapato ya ndani ili kuweza lukidhi ya Chato inaelekea kupata ufum- yatakuwa ni zaidi ya asilimia 100. matarajio yake ya utoaji wa hudu- buzi wa tatizo la muda mrefu la ma kwa wananchi. “Pamoja na vyanzo vingine vya utoshelevu wa mapato ya ndani Halmashauri lakini kupitia miradi hii Kupitia maandiko mbalimbali yali- ya Halmashauri. ya kimakakati tunatarajia ma- pelekwa Ofisi ya Rais–TAMISEMI ti- Mwaka wa fedha 2017/2018 Hal- kusanyo yetu ya ndani yatakuwa mu ya Menejimenti ya Halmashauri mashauri ikupia vyanzo vya ndani ni zaidi ya mwaka uliopita kwa ki- ili ainisha miradi kadhaa ikiwemo hadi kufikia mwezi Juni 2018 wango kikubwa tu” alisema Mku- viwanda vikubwa na vya kati ili ilikusanya kiasi cha shilingi rugenzi Mtendaji. kuongeza uwezo wa Halmashauri 1,956,905,535.45 sawa na 90.65% kujitegemea kiichumi. Kwa mujibu wa meneja wa kiwan- ya lengo la 2,158,800,000. da cha matofali George Philipo Miradi ambayo ilifanikiwa na ku- Kwa mwaka wa fedha 2018/2019 amesema tofali moja la nchi 6 pata fedha ni kiwanda cha hadi kufikia tarehe 31 Machi 2019 kwa (uwiano wa mfuko mmoja ufatuaji wa Matofali kilichopo kijiji Halmashauri kupitia vyanzo vya tofali 40) kwa bei ya kiwandani cha Muungano na Uchapishaji uli- ndani imekusanya kiasi cha shilingi linauzwa shilingi 1100/=. opo kijiji cha Kitela kata ya Chato. 1,572,278,292.09 Sawa na 69.36% Baraza Lapitisha Bajeti ya Shilingi Bilioni 49 araza la madiwani la Hal- wa mapato ya ndani. Mapato pamoja na kukamilisha mashauri ya Wilaya ya maboma yaliyopo katika mae- Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chato limepitisha bajeti neo mbalimbali ya vijiji. Wilaya ya Chato Mhe. Christian ya makadirio ya Mapato B Manunga amesema ni vyema Kwa mwaka wa fedha 2017/2018 na Matumizi kwa mwaka wa katika bajeti hii Halmashauri Halmashauri ilikadiria kukusanya fedha 2019/2012 ya kiasi cha ikajikita zaidi katika ukusanyaji wa shilingi 49,869,076,947 ambapo kiasi cha shilingi 52,184,131,192. kiasi cha shilingi 2,936,534,000 ni fedha ambazo zinatarajiwa ku- kusanywa na Halmashauri kutoka kwenye vyanzo vyake mbalimbali vya mapato. Akiwasilisha taarifa ya Mpango wa Maendeleo wa mwaka 2019/2020 Afisa Mipango wa Hal- mashauri ya Wilaya ya Chato Da- vid Sinyanya amesema bajeti hiyo imelenga kujenga uwezo wa kiutawala katika maeneo yote, pamoja na kuimarisha ukusanyaji 3 yetu Januari-Machi 2019 Mawaziri 8 Watua Kutatua Migogoro ya Ardhi Kwenye Hifadhi awaziri 8 wakiongozwa k u w a na Waziri wa Ardhi, kunahitajika M Nyumba na Maendeleo ardhi kubwa ya Makazi Mhe. William Lukuvi kwa ajili ya wamefika Wilayani Chato kwa len- uendelezaji wa go la kutatua migogoro ya rdhi mji huo iki- katika hifadhi za misitu. wemo ujenzi wa taasisi na Akitoa taarifa ya Wilaya kwa msa- maeneo ya fara huo, Mkuu wa Wilaya ya Cha- viwanda. to Mhandisi Mtemi Msafiri ames- ema kwa Wilaya ya Chato kata ya Akiongea na wananchi waliokusa- TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo, Wa- Bwanga, Iparamasa, Buten- nyika shule ya sekondari Magufuli ziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Hamis gorumasa, Buziku, Nyarutembo, waziri Lukuvi amesema amesikiliza Kigwangala, Waziri wa Ulinzi na Kasenga na Bwongera zinao kero za wananchi wa Chato na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe, Husen wakazi wengi ambao wanafanya Bukombe kuhusiana na uhaba wa Mwinyi, Waziri wa Mifugo na Uvuvi shughuli za kiuchumi katika hifadhi ardhi na kuhaidi kufikisha kero hizo Mhe. Luhaga Mpina, Waziri wa Maji za misitu hiyo ikiwemo kilimo na kwa mhe. Rais wa Jamhuri ya Mhe. Profesa Makame Mbarawa, ufugaji. Muungano wa Tanzania. Naibu waziri wa Kilimo na naibu waziri ofisi ya Makamu wa Rais Amesema kutokana na ukuaji wa Mawaziri wengine walikuwepo anayeshughulikia Mazingira. miji inayopakana na hifadhi hu- kwenye msafara huo ni pamoja na susan kata ya Bwanga ni dhahiri Waziri wa nchi ofisi ya Rais- Wanufaika TASAF 3 Wajikita Kwenye Ufugaji HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO aadhi ya wanufaika mara kwa mara amekuwa wa mpango wa TASAF anauza na kununua mahitaji awamu ya tatu Wila- mengine ya familia kama vile y a n i C h a t o chakula. TANGAZO WANANCHI WOTE MNATANGAZIWA KUWA HALMASHAURI YA B WILAYA YA CHATO IMEANDAA MAENEO YA VIWANJA VIDOGO wameendelea kujiongezea Kupitia miradi hiyo ya ufugaji VYA KUJENGA VIBANDA KATIKA STENDI YA MUGANZA KWA kipato kwa kufuga aina mba- wanufaika hao wameomba AJILI YA KUJENGEWA MABANDA YANAYOZUNGUKA STENDI YA limbali za mifugo. MABASI KATIKA MJI WA MUGANZA kutembelewa na wataalamu WANANCHI WOTE WENYE NIA YA KUPATIWA VIWANJA VYA Baadhi ya wanufaika wames- wa mifugo kwa ajili ya ushauri KUJENGA VIBANDA HIVYO WANAJULISHWA KUWA KUANZIA TAREHE 01/04/2019 HADI 14/04/2019 FOMU ZA MAOMBI ema kupitia ufugaji wameona wa ufugaji bora pamoja na YA VIWANJA VYA KUJENGA VIBANDA HIVYO ZITATOLEWA OFISI ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO KWA GHA- ndio njia pekee ya kwao ku- utengenezaji wa mabanda RAMA YA TSHS 20,000/= jikwamua na hali ngumu ya imara kwa ajili ya mifugo yao. WATU WOTE WENYE NIA YA KUPATA VIWANJA VYA KUJENGA maisha ambayo walikuwa nayo VIBANDA KATIKA ENEO LA STENDI MUGANZA WANATAKIWA Wilaya ya Chato ina jumla ya KUJAZA FOMU HIZO NDANI YA MUDA ULIOONYESHWA kabla ya kuingia kwenye mpan- wanufaika wa Mpango wa TAS- KWENYE TANGAZO HILI, NA ENDAPO MWOMBAJI ATAFANIKI- go wa TASAF 3 wa kunusuru WA KUPATA KIWANJA CHA KUJENGA KIBANDA HICHO, ATAP- AF awamu ya tatu 7,666 Kati ASWA KULIPA TSHS 350,000/= KAMA DHAMANA YA KUPATIWA kaya masikini. KIWANJA CHA KUJENGA KIBANDA y a o w a n u f a i k a 1 0 0 0 WATU WOTE WATAKAOFANIKIWA KUPATA VIWANJA VYA KU- Bi Sugwa Bushuwandama mkazi Wamejikita kwenye miradi ya JENGA VIBANDA VYA STENDI, MARA BAADA YA MALIPO YA wa kijiji cha Mkungo kata ya ufugaji wa mbuzi, Kondoo, ku- DHAMANA WATAPASWA KUJAZA MIKATABA BAINA YAO NA HALMASHAURI YA WILAYA AMBAPO MIKATABA HIYO ITAAN- Bukome Wilayani hapa anase- ku, Bata, Nguruwe na Ng’ombe DAMANA NA MICHORO NA MASHARTI YA UJENZI WA VIBANDA HIVYO ma kupitia mpango wa TASAF 3 na baadhi wameanzisha bi- LIMETOLEWA NA , kwa kipato kidogo anachopata ashara ndogo ndogo kama njia OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI (W) hivi sasa anao mbuzi 12 ambao ya kujiongezea kipato cha kaya. HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO. 4 yetu Januari-Machi 2019 SIKU YA WANAWAKE DUNIANI; DC Awatahadhalisha Wanafunzi wa Kike kuhusu Mimba erikali Wilayani Chato ime- sasa wanafunzi wa kike ukipata bani na mahali pa kazi. Amewa- onya tabia ya baadhi ya ujauzito na ukamficha aliyekupa taka wanawake kutoa taarifa S wanafunzi wa kike ku- ujauzito au ukimsaidia kutoroka kwenye vyombo vya dola hususan waficha wanaume wanaowapa tunakushitaki wewe mwenyewe” TAKUKURU. ujauzito pindi wanapofikishwa alisisitiza Mkuu wa Wilaya Kaulimbiu ya maadhimisho ya siku kwenye vyombo vya sheria. Katika hatua nyingine Mkuu wa ya wanawake duniani mwaka Onyo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Chato amewaasa 2019 ilikuwa “Badili fikra kufikia usa- Wilaya ya Chato Mhandisi Mtemi wanawake wote kutoa taarifa juu wa wa kijinsia na maendeleo en- Msafiri kwenye maadhimisho ya ya unyanyasaji na unyanyapaa delevu” siku ya wanawake duniani yali- wanaofanyiwa wanawake majum- yofanyika kiwilaya kata ya Nyamirembe. Mkuu wa Wilaya amesema ku- mekuwa na tabia ya baadhi ya wanafunzi wa kike kuficha taarifa za waliowapa mimba na kusema kuwa kuanzia sasa serikali itakuwa inawachukulia hatua wenyewe kwani tatizo la mimba mashuleni limekithiri sana. “naomba niwatangazie kuanzia Vijana Chato Wapata Elimu ya Kilimo cha Kisasa aidi ya Vijana 100 kutoka Mafunzo hayo yaliyofanyika kwa yogharamia mafunzo hayo pamo- maeneo mbalimbali ya muda wa siku 8 yanalenga ku- ja na ujenzi wa miundombinu ya Z Wilaya ya Chato wamen- wajengea uwezo vijana wa jinsia kujifunzia kwa kushirikiana na Hal- ufaika na mafunzo ya kilimo kwa zote ili waweze kujiendeleza kupitia mashauri ya Wilaya ya Chato. njia ya Kitalu nyumba sekta ya Kilimo. Amesema kwa kuanzia vijana hao (Greenhouse ) yanayotolewa na Akiongea na Afisa Habari wa Hal- wamepata elimu ya darasani na Wizara ya Kazi, Ajira na Walemavu. mashauri afisa wengine wamepata elimu ya ufun- kilimo anayeshu- di wa namna ya utengenezaji wa ghulika na mradi Kitalu nyumba. huo Edgar Kimario Mradi huo uliopo sekondari ya amesema vijana Chato mara baada ya kukamilika hao wamepata kwake vijana watakuwa wakipata mafunzo hayo elimu juu ya kilimo cha kisasa ikiwa ni sehemu kupitia kwa vijana waliopata ma- ya utekelezaji wa funzo kwa kushirikiana na idara ya agizo la Wizara Kilimo ya Halmashauri. husika ina- 5 yetu Januari-Machi 2019 Kituo cha Mabasi Muganza Chaanza Kujengwa almashauri ya Wilaya ya Afisa Mipango wa Halmashauri ya eneo la kituo cha mabasi, kujenga Chato imeanza rasmi Wilaya ya Chato amesema kiasi jingo la abiria pamoja na choo kazi H ujenzi wa Kituo kipya cha shilingi milioni 66 kilichobaki ambazo zinaendelea kwa sasa na cha Mabasi kata ya Muganza. katafanya kazi ya kusawazisha inatarajiwa kukamilika mwezi Juni 2019 Fedha za ujenzi wa kituo hicho kipya zimetokana na mkopo wa Picha kushoto Shilingi Milioni 100 kutoka benki ya ni Wajumbe NMB tawi la Chato.

View Full Text

Details

  • File Type
    pdf
  • Upload Time
    -
  • Content Languages
    English
  • Upload User
    Anonymous/Not logged-in
  • File Pages
    12 Page
  • File Size
    -

Download

Channel Download Status
Express Download Enable

Copyright

We respect the copyrights and intellectual property rights of all users. All uploaded documents are either original works of the uploader or authorized works of the rightful owners.

  • Not to be reproduced or distributed without explicit permission.
  • Not used for commercial purposes outside of approved use cases.
  • Not used to infringe on the rights of the original creators.
  • If you believe any content infringes your copyright, please contact us immediately.

Support

For help with questions, suggestions, or problems, please contact us