Terehe 18 Novemba, 2015
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
NAKALA YA MTANDAO (INTERNET DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE _____________ MKUTANO WA KWANZA Kikao cha Pili – Terehe 18 Novemba, 2015 (Bunge Lilianza Saa 3.00 Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tukae. Waheshimiwa Wabunge, Kikao chetu ni cha Pili cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge, Katibu. NDG. CHARLES J. MLOKA - KATIBU MEZANI: Mheshimiwa Spika, Kiapo cha uaminifu kwa Wabunge wote. Kiapo kinaendelea. KIAPO CHA UAMINIFU KWA WABUNGE WOTE (Kiapo kinaendelea) SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tunaendelea na zoezi la kiapo. Naomba wale wote ambao majina yao yameorodheshwa kwenye Order Paper, kadri walivyoorodheshwa hapa wawe karibu ili zoezi letu liweze kwenda kwa haraka inavyowezekana, naomba ushirikiano wenu. Wabunge wafuatao waliapa Kiapo cha Uaminifu 168. Mhe. Sophia Mattayo Simba 169. Mhe. Munde Tambwe Abdallah 170. Mhe. Alex Raphael Gashaza 171. Mhe. Hafidh Ali Tahir 172. Mhe. Halima Abdallah Bulembo 173. Mhe. Halima James Mdee 174. Mhe. Eng. Hamad Yussuf Masauni 175. Mhe. Hamida Mohammed Abdallah 176. Mhe. Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla 1 NAKALA YA MTANDAO (INTERNET DOCUMENT) 177. Mhe. Hasna Sudi Katunda Mwilima 178. Mhe. Hassan Elias Masala 179. Mhe. Hassani Seleman Kaunje 180. Mhe. Hawa Abdulrahman Ghasia 181. Mhe. Hussein Nassor Amar 182. Mhe. Innocent Lugha Bashungwa 183. Mhe. Innocent Sebba Bilakwate 184. Mhe. Issa Ali Mangungu 185. Mhe. Jacquiline Ngonyani Msongozi 186. Mhe. James Francis Mbatia 187. Mhe. James Kinyasi Millya 188. Mhe. Janeth Zebedayo Mbene 189. Mhe. Dkt. Jasmine Tisekwa Bunga 190. Mhe. Jasson Samson Rweikiza 191. Mhe. John Wegesa Heche 192. Mhe. Joseph George Kakunda 193. Mhe. Joseph Michael Mkundi 194. Mhe. Josephat Sinkamba Kandege 195. Mhe. Josephine Johnson Genzabuke 196. Mhe. Josephine Tabitha Chagula 197. Mhe. Joyce Bitta Sokombi 198. Mhe. Joyce John Mukya 199. Mhe. Juliana Daniel Shonza 200. Mhe. Juma Kombo Hamad 201. Mhe. Juma Selemani Nkamia 202. Mhe. Prof. Jumanne Abdallah Maghembe 203. Mhe. Mwl. Kasuku Samson Bilago 204. Mhe. Katani Ahmad Katani 205. Mhe. Khadija Hassan Aboud 206. Mhe. Khadija Nassir Ali 207. Mhe. Khatib Said Haji 208. Mhe. Kunti Yusuph Majala 209. Mhe. Lathifah Hassan Chande 210. Mhe. Leah Jeremiah Komanya 211. Mhe. Leonidas Tutubert Gama 212. Mhe. Lolesia Jeremia Masele Bukwimba 213. Mhe. Lucy Simon Magereli 214. Mhe. Lucy Thomas Mayenga 215. Mhe. Luhaga Joelson Mpina 216. Mhe. Maida Hamad Abdallah 217. Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa 218. Mhe. Makame Mashaka Foum 219. Mhe. Magdalena Hamis Sakaya 220. Mhe. Saumu Heri Sakala 2 NAKALA YA MTANDAO (INTERNET DOCUMENT) 221. Mhe. Mariam Ditopile Mzuzuri 222. Mhe. Grace Sindato Kiwelu 223. Mhe. Mariam Nassoro Kisangi 224. Mhe. Martha Jachi Umbulla 225. Mhe. Martha Moses Mlata 226. Mhe. George Boniface Simbachawene 227. Mhe. Dkt. Mary Machuche Mwanjelwa 228. Mhe. Mary Pius Chatanda 229. Mhe. Mashimba Mashauri Ndaki 230. Mhe. Mwl. Marwa Ryoba Chacha 231. Mhe. Mbaraka Salim Bawazir 232. Mhe. Mbarouk Salim Ali 233. Mhe. Mboni Mohamed Mhita 234. Mhe. Dkt. Medard Matogolo Kalemani 235. Mhe. Riziki Said Lulida 236. Mhe. Mendrad Lutengano Kigola 237. Mhe. Mgeni Jadi Kadika 238. Mhe. Miza Bakari Haji 239. Mhe. Mohamed Juma Khatib 240. Mhe. Margaret Simwanza Sitta 241. Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa 242. Mhe. Moshi Selemani Kakoso 243. Mhe. Muhammed Amour Muhammed 244. Mhe. Mwl. Musa Ramadhan Sima 245. Mhe. Musa Rashid Ntimizi 246. Mhe. Mussa Azzan Zungu 247. Mhe. Hawa Subira Mwaifunga 248. Mhe. Mussa Bakari Mbarouk 249. Mhe. Musukuma Joseph Kasheku 250. Mhe. Mwanne Ismail Mchemba 251. Mhe. Mwantakaje Haji Juma 252. Mhe. Mwatum Dau Haji 253. Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu 254. Mhe. Mwita Mwikwabe Waitara 255. Mhe. Charles John Paul Mwijage 256. Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka 257. Mhe. Najma Murtaza Giga 258. Mhe. Nape Moses Nnauye 259. Mhe. Nassor Suleiman Omar 260. Mhe. Neema William Mgaya 261. Mhe. Nimrod Elirehema Mkono 262. Mhe. Njalu Daudi Silanga 263. Mhe. Omari Mohamed Kigua 264. Mhe. Omary Tebweta Mgumba 3 NAKALA YA MTANDAO (INTERNET DOCUMENT) 265. Mhe. Maria Ndila Kangoye 266. Mhe. Esther Nicholas Matiko 267. Mhe. Omary Ahmad Badwel 268. Mhe. Onesmo Koimerek Ole-Nangole 269. Mhe. Oran Manase Njeza 270. Mhe. Oscar Rwegasira Mukasa 271. Mhe. Othman Omar Haji 272. Mhe. Pascal Yohana Haonga 273. Mhe. Pauline Philipo Gekul 274. Mhe. Peter Joseph Serukamba 275. Mhe. Mch. Peter Simon Msigwa 276. Mhe. Philipo Augustino Mulugo 277. Mhe. Prosper Joseph Mbena 278. Mhe. Dkt. Pudenciana Wilfred Kikwembe 279. Mhe. Yussuf Kaiza Makame 280. Mhe. Qambalo Willy Qulwi 281. Mhe. Raisa Abdallah Mussa 282. Mhe. Lazaro Samuel Nyalandu 283. Mhe. Eng. Ramo Matala Makani 284. Mhe. Dkt. Raphael Masunga Chegeni 285. Mhe. Japhary Raphael Michael 286. Mhe. Rashid Abdallah Shangazi 287. Mhe. Rashid Ali Abdallah 288. Mhe. Rhoda Edward Kunchela 289. Mhe. Richard Phillip Mbogo 290. Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete 291. Mhe. Joshua Samwel Nassari 292. Mhe. Stephen Hillary Ngonyani 293. Mhe. Risala Said Kabongo 294. Mhe. Riziki Shahari Mngwali 295. Mhe. Rose Cyprian Tweve 296. Mhe. Rose Kamil Sukum 297. Mhe. Ruth Hiyob Mollel 298. Mhe. Dkt. Norman Adamson Sigalla King 299. Mhe. Sadifa Juma Khamis 300. Mhe. Salma Mohamed Mwassa 301. Mhe. Salome Wycliffe Makamba 302. Mhe. Salum Mwinyi Rehani 303. Mhe. Saul Henry Amon 304. Mhe. Savelina Silvanus Mwijage 305. Mhe. Sebastian Simon Kapufi 306. Mhe. Seif Khamis Said Gulamali 307. Mhe. Selemani Said Bungara 308. Mhe. Seleman Jumanne Zedi 4 NAKALA YA MTANDAO (INTERNET DOCUMENT) 309. Mhe. Silafu Jumbe Maufi 310. Mhe. Silvestry Francis Koka 311. Mhe. Selemani Said Jafo 312. Mhe. Sixtus Raphael Mapunda 313. Mhe. Sophia Hebron Mwakagenda 314. Mhe. William Vangimembe Lukuvi 315. Mhe. Sikudhani Yasini Chikambo 316. Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo 317. Mhe. Stanslaus Shing’oma Mabula 318. Mhe. Mahmoud Hassan Mgimwa 319. Mhe. Ikupa Stella Alex 320. Mhe. Subira Khamis Mgalu 321. Mhe. Suleiman Ahmed Saddiq SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tunaendelea na zoezi letu la Viapo vya Uaminifu. Nawashukuru sana wale wote ambao mmeweza kushiriki, wale ambao hawajapata nafasi tutafanya hivyo jioni ya leo. Naomba sana wale ambao wapo hapa mjini Dodoma ni vizuri wakaja jioni ili tuweze kumalizia zoezi letu. Baada ya maelezo hayo, naomba sasa nisitishe shughuli za Bunge hadi saa 11.00 jioni. (Saa 4.58 asubuhi Bunge lilisitishwa hadi saa 11.00 jioni) (Saa 11.00 jioni Bunge lilirudia) SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, tukae. Katibu! NDG. THEONIST RUHILABAKE - KATIBU MEZANI: Kiapo cha uaminifu kwa Wabunge wote. kiapo kinaendelea. SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, kiapo kinaendelea. Nichukue nafasi hii kabla hatujaanza, niwakumbushe Waheshimiwa Wabunge wote na hasa wageni, unapoingia kwenye ukumbi wa Bunge ni muhimu sana kupitia hii karatasi inayoitwa Order Paper na hasa asubuhi ili kuweza kujua shughuli za siku hiyo zikoje, zimepangwa vipi na ipi inakuja baada ya nyingine. Nimeona wengi wanasahau wanaingia bila karatasi hii, inakuwa si rahisi kufuatilia nini kinachoendelea. Naomba sasa tuendelee na kiapo. Wabunge wafuatao waliapa Kiapo cha Uaminifu 322. Mhe. Dkt. Suleiman Ally Yussuf 323. Mhe. Susan Anselm Jerome Lyimo 5 NAKALA YA MTANDAO (INTERNET DOCUMENT) 324. Mhe. Susan Limbweni Kiwanga 325. Mhe. Suzana Chogisasi Mgonokulima 326. Mhe. Dkt. Susan Alphonce Kolimba 327. Mhe. Susanne Peter Maselle 328. Mhe. Prof Sospeter Mwijarubi Muhongo 329. Mhe. Taska Restituta Mbogo 330. Mhe. Tunza Issa Malapo 331. Mhe. Twahir Awesu Mohammed 332. Mhe. Peter Ambrose Paciens Lijualikali 333. Mhe. Ussi Salum Pondeza Amjadi 334. Mhe. Vedasto Edgar Ngombale 335. Mhe. Vedastus Mathayo Manyinyi 336. Mhe. Venance Methusalah Mwamoto 337. Mhe. Vicky Paschal Kamata 338. Mhe. Saed Ahmed Kubenea 339. Mhe. Munira Mustapha Khatibu 340. Mhe. Livingstone Joseph Lusinde 341. Mhe. Stephen Julius Masele 342. Mhe. Victor Kilasile Mwambalaswa 343. Mhe. Wilfred Muganyizi Lwakatare 344. Mhe. Ummy Ally Mwalimu 345. Mhe. William Mganga Ngeleja 346. Mhe. John John Mnyika 347. Mhe. William Dua Nkurua 348. Mhe. William Tate Olenasha 349. Mhe. Yahaya Omary Massare 350. Mhe. Tauhida Cassian Gallos 351. Mhe. Jitu Vrajlal Soni 352. Mhe. Yussuf Haji Khamis 353. Mhe. Yussuf Salim Hussein 354. Mhe. Zacharia Paulo Issaay 355. Mhe. Zainab Athumani Katimba 356. Mhe. Shally Joseph Raymond 357. Mhe. Zainab Mussa Bakar 358. Mhe. Zainab Nuhu Mwamwindi 359. Mhe. Yosepher Ferdinand Komba 360. Mhe. Zaynab Matitu Vullu 361. Mhe. Zuberi Mohamedi Kuchauka 362. Mhe. Eng. Stella Martin Manyanya 363. Mhe. Freeman Aikael Mbowe 364. Mhe. Salum Khamis Salum 365. Mhe. Salim Hassan Turky 366. Mhe. Sabreena Hamza Sungura 367. Mhe. Jerome Dismas Bwanausi 6 NAKALA YA MTANDAO (INTERNET DOCUMENT) SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, kufuatana na orodha niliyokuwa nayo leo, wale wote waliokuwepo Bungeni tumeshawaita na tumewaapisha, lakini endapo kuna Mheshimiwa Mbunge yeyote ambaye jina lake limerukwa kwa namna moja au nyingine, tunayo nafasi na fursa ya kumuapisha, asimame alipo ili Makatibu wachukue jina lake, inaonekana hakuna. Waheshimiwa Wabunge, kuna mtu amechukua begi la CRDB lisilokuwa lake, kama yupo humu ndani amuone Mbunge mwenzetu Mheshimiwa Japhet Hasunga. Waheshimiwa Wabunge, tunawakumbusha kurejesha zile Fomu za Maelezo Binafsi na fomu nyingine ambazo mmepewa kama za kuchagua Kamati, mzirudishe haraka ofisini kwa sababu kuna kazi maalum ya kufanya kutokana na fomu hizo. Tunaomba mzingatie sana suala hilo la kurejesha zile fomu zote mlizopewa. Mheshimiwa Dkt. Hamisi Kigwangalla anawakumbusha Wabunge wote ambao ni wanamichezo kuwa maandalizi ya mashindano ya Mabunge