Waraka Wa Spika Na. 01/2018 Wa Uteuzi Wa Wajumbe Wa Kamati Za Kudumu Za Bunge

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Waraka Wa Spika Na. 01/2018 Wa Uteuzi Wa Wajumbe Wa Kamati Za Kudumu Za Bunge JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA WAHESHIMIWA WABUNGE, WARAKA WA SPIKA NA. 01/2018 WA UTEUZI WA WAJUMBE WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE Ibara ya 96 ya Katibu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1977 imelipa uhalali Bunge Ia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuunda Kamati za Bunge za namna mbalimbali kadri itakavyoona inafaa kwa ajili ya utekelezaji bora wa madaraka yake. Aidha,Ibara hiyo imeweka wazi kwamba, Kanuni za Kudumu za Bunge zitafafanua muundo wa shughuli za Kamati za Bunge. Kwa msingi huo Kanuni ya 118 ya Kanuni za kudumu za Bunge,Toleo Ia Januari,2016 imeweka Kamati za Kudumu za Bunge zenye Muundo na Majukumu mbalimbali kama yanavyofafanuliwa katika Nyongeza ya Nane. Uteuzi wa wabunge kwenye Kamati mbalimbali umewekewa utaratibu katika Kanuni ya 116. Aidha, Kanuni ya116(7) inaweka utaratibu kwamba, ujumbe kwenye Kamati za Kudumu za Bunge utadumu mpaka mwisho wa Mkutano wa Kumi wa Bunge ambao ninusu ya kwanza ya maisha ya Bunge. Mtakumbuka kwamba, mnamo tarehe 21 Januari, 2016 kupitia waraka wangu Na.02/2016 nilifanya uteuzi wa ujumbe katika Kamati mbalimbali za Bunge. Kamati hizo zimetekeleza majukumu yake mpaka tarehe 9 Februari, 2018 ambapo ni mwisho wa Mkutano wa Kumi wa Bunge ambao unakamilisha nusu ya Uhai wa Bunge Ia Kumi na Moja. Hivyo,kwa mujibu wa Kanuni ya 116(7),kipindi hicho ndiyo ukomo wa ujumbe katika Kamati mlizokuwa mkifanya kazi. Hivyo, Kwa mamlaka niliyopewa na Kanuni ya 116(3) na kwa kuzingatia vigezo vilivyoanishwa katika Kanuni ya 116(5) nimefanya uteuzi mpya wa ujumbe katika Kamati za Kudumu za Bunge. Orodha ya namna mlivyopangwa katika Kamati mbalimbali imeambatishwa. Wajumbe wa kila Kamati wanawajibika kuchagua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti kwa mujibu wa Kanuni ya 116(10) kuwa viongozi wao. Job Yustino Ndugai, Mb SPIKA 12 Machi, 2018 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE 12 Machi, 2018 YALIYOMO 1.0 KAMATI ZISIZO ZA SEKTA ................................................................................................................... 2 1.1 Kamati ya Uongozi ................................................................................................................. 2 1.2 Kamati ya Kanuni za Bunge ................................................................................................... 3 1.3 Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ................................................................... 4 2.0 KAMATI ZA SEKTA……………………………………………………………………………………………………………………………5 2.1 Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira .......................................................................... 5 2.2 Kamati ya Katiba na Sheria .................................................................................................... 6 2.3 Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ........................................................................ 7 2.4 Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa ................................................................................ 8 2.5 Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii .......................................................................... 9 2.6 Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii ...................................................................................... 10 2.7 Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji ....................................................................................... 11 2.8 Kamati ya Miundombinu ..................................................................................................... 12 2.9 Kamati ya Nishati na Madini ............................................................................................... 12 3.0 KAMATI ZA SEKTA MTAMBUKA…………………………………………………………………………………………………………3 3.1 Kamati ya Bajeti .................................................................................................................. 13 3.2 Kamati ya Masuala ya UKIMWI ........................................................................................... 14 3.3 Kamati ya Sheria Ndogo ...................................................................................................... 15 3.4 Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) ................................................................... 16 4.KAMATI ZINAZOSIMAMIA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA……………………………………………………………….17 4.1 Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) ..................................................................................... 17 4.2 Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) .................................................................... 18 i 1.0 KAMATI ZISIZO ZA SEKTA1 1.1 Kamati ya Uongozi 1. Mhe. Job Yustino Ndugai, Mb, (Spika) – Mwenyekiti 2. Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mb, (Naibu Spika) – Makamu Mwenyekiti 3. Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bunge au Mwakilishi wake 4. Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni au Mwakilishi wake 5. Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Mwakilishi wake 6. Mwenyekiti wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge 7. Mwenyekiti wa Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira 8. Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria 9. Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama 10. Mwenyekiti wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa 11. Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii 12. Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii 13. Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji 14. Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu 15. Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na Madini 16. Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti 17. Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya UKIMWI 18. Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria Ndogo 19. Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) 20. Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) 21. Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) 1Kamati zilizoanzishwa chini ya Kifungu cha 1 cha Nyongeza ya Nane ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 2 1.2 Kamati ya Kanuni za Bunge 1. Mhe. Job Yustino Ndugai, Mb – Spika 2. Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mb – Naibu Spika 3. Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni au Mwakilishi Wake 4. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, 5. Mhe. Andrew J. Chenge, Mb 6. Mhe. Magdalena H. Sakaya, Mb 7. Mhe. Salome Wycliffe Makamba, Mb 8. Mhe. Jasson S. Rweikiza,Mb 9. Mhe. Tundu Antiphas Lissu, Mb 10. Mhe. Rashid A. Abdallah, Mb 11. Mhe. Najima Murtaza Giga, Mb 12. Mhe. Ally Salleh Ally, Mb 13. Mhe. Mohamed Omari Mchengerwa, Mb 14. Mhe. Esther Michael Mmasi, Mb 15. Mhe. Sebastian Simon Kapufi, Mb 16. Mhe. Peter J. Serukamba, Mb 17. Mhe. Mussa Azzan Zungu, Mb 3 1.3 Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge 1. Mhe. Eng. Ramo M. Makani, Mb 2. Mhe. Margareth S. Sitta, Mb 3. Mhe. George M. Lubeleje, Mb 4. Mhe. Dkt. Suleiman A. Yussuf, Mb 5. Mhe. Dkt. Christine G. Ishengoma, Mb 6. Mhe. Adadi M. Rajab, Mb 7. Mhe. Almasi A. Maige, Mb 8. Mhe. Emmanuel A. Mwakasaka, Mb 9. Mhe. Ruth H. Molel, Mb 10. Mhe. Shamsi V. Nahodha, Mb 11. Mhe. Mariam N. Kisangi, Mb 12. Mhe. Abdallah A. Mtolea, Mb 13. Mhe. Allan Kiula, Mb 14. Mhe. Prosper Joseph Mbena, Mb 15. Mhe. Augustino Manyanda Masele, Mb 16. Mhe. Omar Mohamed Kigua, Mb 17. Mhe. Rose Kamili Sukum, Mb 4 2.0 KAMATI ZA SEKTA2 2.1 Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira 1. Mhe. Ahmed Ally Salum, Mb 2. Mhe. Hawa Subira Mwaifunga, Mb 3. Mhe. David Cecil Mwambe, Mb 4. Mhe. Balozi Dkt. Diodorus Buberwa Kamala, Mb 5. Mhe. Gimbi Dotto Masaba, Mb 6. Mhe. Jumanne Kibera Kishimba, Mb 7. Mhe. Lucy Thomas Mayenga, Mb 8. Mhe. Kiteto Zawadi Koshuma, Mb 9. Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, Mb 10. Mhe. Munde Tambwe Abdalah, Mb 11. Mhe. Omary Ahmad Badwel, Mb 12. Mhe. Khamis Ali Vuai, Mb 13. Mhe. Munira Mustafa Khatibu, Mb 14. Mhe. Salim Hassan Turky, Mb 15. Mhe. Shamsia Azizi Mtamba, Mb 16. Mhe. Silvester Francis Koka, Mb 17. Mhe. Ahmed Saddiq Suleiman, Mb 18. Mhe. Zainab Mdolwa Amiri, Mb 19. Mhe. Kanali (Mst.) Masoud Ali Khamis, Mb 20. Mhe. Josephine Johnson Genzabuke, Mb 21. Mhe. Gibson Blasius Meiseyeki, Mb 22. Mhe. Godbless Jonathan Lema, Mb 23. Mhe. Abdulaziz Mohamed Abood, Mb 24. Mhe. Muss Rashid Ntimizi, Mb 25. Mhe. Ahmed Juma Ngwali, Mb 26. Mhe. Mansoor Hirani Shanif, Mb 2 Kamati zilizoanzishwa Kifungu cha 5 (1) cha Nyongeza ya Nane ya Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la Januari, 2016 5 2.2 Kamati ya Katiba na Sheria 1. Mhe. Upendo Furaha Peneza, Mb 2. Mhe. Asha Abdullah Juma, Mb 3. Mhe. George Boniface Simbachawene, Mb 4. Mhe. Joseph Kizito Mhagama, Mb 5. Mhe. Makame Mashaka Foum, Mb 6. Mhe. Najma Murtaza Giga, Mb 7. Mhe. Amina Saleh Mollel, Mb 8. Mhe. Wanu Hafidh Amer, Mb 9. Mhe. Prof. Jumanne Abdallah Maghembe, Mb 10. Mhe. Dkt. Mathayo David Mathayo, Mb 11. Mhe. Nimrod Elirehemah Mkono, Mb 12. Mhe. Susan Peter Maselle, Mb 13. Mhe. Alfredina Apolinary Kahigi, Mb 14. Mhe. Lathifah Hassan Chande, Mb 15. Mhe. Saed Ahmed Kubenea, Mb 16. Mhe. Ally Abdulla Saleh, Mb 17. Mhe. Jacqueline Kandidus Ngonyani Msongozi, Mb 18. Mhe. Bupe Nelson Mwakang’ata, Mb 19. Mhe. Sixtus Raphael Mapunda, Mb 20. Mhe. Hassani Seleman Kaunje, Mb 21. Mhe. Yahaya Omary Massare, Mb 22. Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa, Mb 23. Mhe. Tundu Antiphas Mughwai Lissu, Mb 24. Mhe. Emmanuel A. Mwakasaka, Mb 25. Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro, Mb 6 2.3 Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama 1. Mhe. Almasi Athuman Maige, Mb 2. Mhe. Bonna Moses Kaluwa, Mb 3. Mhe. Cosato David Chumi, Mb 4. Mhe. Fakharia Shomari Khamis, Mb 5. Mhe. Mussa Azzan Zungu, Mb 6. Mhe. Eng.Gerson Hosea Lwenge, Mb 7. Mhe. Joseph Michael Mkundi, Mb 8. Mhe. Joram Ismael Hongoli, Mb 9. Mhe. Zacharia Paulo Issaay, Mb 10. Mhe. Shamsi Vuai Nahodha, Mb 11. Mhe. Mboni Mohamed Mhita, Mb 12. Mhe. Shally Joseph Raymond, Mb 13.
Recommended publications
  • Globalization, National Economy and the Politics of Plunder in Tanzania's
    'Conducive environment' for development?: Globalization, national economy and the politics of plunder in Tanzania's mining industry Author: Tundu Lissu Date Written: 1 January 2004 Primary Category: Resource Extraction Document Origin: Lawyers Environmental Action Team Secondary Category: Eastern Region Source URL: http://www.leat.or.tz INTRODUCTION We live in a world transformed in ways that even the most brilliant of the 19th and early 20th century philosophers and political thinkers would find hard to recognize. The power and mobility of finance capital has created the conditions under which rapid scientific and technological change has taken place. This has in turn augmented this power and made it extremely difficult for the state to direct economic and social policy. Capital and foreign exchange controls have everywhere been scrapped; regulations which protected jobs, consumers and the environment; subsidies which benefited the lowest strata of both the urban and rural masses have all gone, as have trade restrictions meant to protect local industries and increase government revenue. These processes have now attained the sanctity of international law through the instrumentality of such institutions as the World Bank Group and WTO and its trade negotiation rounds that have produced GATS, TRIPs, etc. The frontiers of the state have indeed been rolled back. These processes have produced a massive growth in international trade, foreign direct investment flows and unprecedented wealth. Yet they have not led to general prosperity across the world, particularly in poor countries such as Tanzania. On the contrary, general impoverishment comes as an integral part of a global economic order in which an ever-shrinking arrogant officer class , to use the phrase of an eminent British author, lives in affluency.
    [Show full text]
  • 4 MEI, 2013 MREMA 1.Pmd
    4 MEI, 2013 BUNGE LA TANZANIA _____________ MAJADILIANO YA BUNGE _______________ MKUTANO WA KUMI NA MOJA Kikao cha Kumi na Nane - Tarehe 4 Mei, 2013 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge tukae. Waheshimiwa Wabunge Mkutano wa 11 unaendelea, kikao hiki ni cha 18. HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI:- Randama za Makadirio ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014. WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA: Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014. 1 4 MEI, 2013 MHE. OMAR R. NUNDU (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA): Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2012/2013 na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014. MHE. CHRISTOWAJA G. MTINDA (K.n.y. MHE. MCH. ISRAEL Y. NATSE - MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI WA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA:- Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014. HOJA ZA SERIKALI Makadirio ya Matumizi ya Serikali kwa Mwaka 2013/2014 Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA: Mheshimiwa Naibu Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kujadili na kupitisha Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa mwaka wa fedha 2013/2014.
    [Show full text]
  • TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2012: Transparency with Impunity?
    TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2012: Transparency with Impunity? TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2012: Transparency with Impunity? With Partial Support from a TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2012: Transparency with Impunity? ACKNOWLEDGEMENTS This review was compiled and edited by Tanzania Development Research Group (TADREG) under the supervision of the Steering Group of Policy Forum members, and has been financially supported in part by Water Aid in Tanzania and Policy Forum core funders. The cartoons were drawn by Adam Lutta Published 2013 For more information and to order copies of the review please contact: Policy Forum P.O Box 38486 Dar es Salaam Tel: +255 22 2780200 Website: www.policyforum.or.tz Email: [email protected] ISBN: 978-9987 -708-09-3 © Policy Forum The conclusions drawn and views expressed on the basis of the data and analysis presented in this review do not necessarily reflect those of Policy Forum. Every effort has been made to verify the accuracy of the information contained in this review, including allegations. Nevertheless, Policy Forum cannot guarantee the accuracy and completeness of the contents. Whereas any part of this review may be reproduced providing it is properly sourced, Policy Forum cannot accept responsibility for the consequences of its use for other purposes or in other contexts. Designed by: Jamana Printers b TANZANIA GOVERNANCE REVIEW 2012: Transparency with Impunity? TABLE OF CONTENTS POLICY FORUM’s OBJECTIVES .............................................................................................................
    [Show full text]
  • Tarehe 4 Aprili, 2019
    NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ________ MAJADILIANO YA BUNGE _________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Tatu – Tarehe 4 Aprili, 2019 (Bunge Lilianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, naomba tukae. Leo ni kikao cha tatu cha Mkutano wetu wa Kumi na Tano. Katibu! NDG. STEPHEN KAGAIGAI – KATIBU WA BUNGE: HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI: Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA NCHI, OFISI YA WAZIRI MKUU, SERA, BUNGE, AJIRA, KAZI VIJANA NA WAZEE NA WENYE ULEMAVU: Taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2019/2020. MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA - MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA: Taarifa 1 NAKALA MTANDAO(ONLINE DOCUMENT) ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2019/2020. MHE. HASNA S.K. MWILIMA (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI): Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kuhusu utekelezaji wa Bajeti ya Mfuko wa Bunge kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mfuko huo kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020. MHE. DKT. JASMINE T. BUNGA - MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI: Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI kuhusu utekelezaji wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu (Tume ya Uratibu na Udhibiti wa UKIMWI) kwa mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge ______
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _________________ MAJADILIANO YA BUNGE _________________ MKUTANO WA ISHIRINI Kikao cha Ishirini na Tisa - Tarehe 13 Julai, 2010 (Mkutano ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Mwenyekiti (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati ZifuataZo Ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI (MHE. OMAR YUSSUF MZEE): Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Fedha na Uchumi kwa Mwaka wa Fedha, 2010/2011. Taarifa ya Mwaka na Hesabu zilizikaguliwa za Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wkaguzi Tanzania kwa Mwaka wa Fedha ulioishia tarehe 30 Juni, 2009 [The Annual Report and Audit Accounts of The National Board of Accountants and Auditors (NBAA) Tanzania for the Financial Year ended 30th June, 2009]. MHE. ABDALLAH O. KIGODA, MWENYEKITI WA KAMATI YA FEDHA NA UCHUMI: Taarifa ya Kamati ya Fedha na Uchumi Kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Fedha na Uchumi kwa Mwaka wa Fedha 2009/2010 pamoja na maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2010/2011. MHE. KABWE ZUBERI ZITTO - MSEMAJI WA UPINZANI KWA WIZARA YA FEDHA NA UCHUMI): Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani kuhusu Makadiro ya Matumizi ya Wizara ya Fedha na Uchumi kwa Mwaka wa Fedha 2010/2011. 1 NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA MIUNDOMBINU: Taarifa ya Mwaka na Hesabu zilizokaguliwa za Bodi ya Mfuko wa Barabara kwa mwaka wa 2006/2007 na 2007/2008 [The Annual Report and Audited Accounts of The Roads Fund Board for the Financial Years 2006/2007 and 2007/2008). MASWALI NA MAJIBU Na.
    [Show full text]
  • Speech by the President of the United Republic Of
    SPEECH BY THE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, HIS EXCELLENCY BENJAMIN WILLIAM MKAPA, AT THE CELEBRATIONS MARKING THE 40TH ANNIVERSARY OF THE INDEPENDENCE OF TANZANIA MAINLAND, NATIONAL STADIUM, DAR ES SALAAM, 9 DECEMBER 2001 Your Excellency Daniel Toroitich arap Moi, President of the Republic of Kenya; Your Excellency Yoweri Kaguta Museveni, President of the Republic of Uganda; Honourable Dr. Ali Mohamed Shein, Vice-President of the United Republic of Tanzania; Honourable Amani Abeid Karume, President of the Revolutionary Government of Zanzibar; Honourable Frederick T. Sumaye, MP, Prime Minister; Honourable Justice Barnabas Samatta, Chief Justice of Tanzania; Honourable Shamsi Vuai Nahodha, Chief Minister of the Revolutionary Government of Zanzibar; Honourable Mama Maria Nyerere; Honourable Mama Fatma Karume; Honourable Chairmen, Vice-Chairmen and Leaders of Political Parties; Honourable Pandu Ameir Kificho, Speaker of the Zanzibar House of Representatives; Honourable Hamid Mahmoud, Chief Justice of Zanzibar; Honourable Retired Prime Ministers; Honourable Ministers and Members of Parliament; Excellencies High Commissioners and Ambassadors; Honourable Elders from the Independence Struggle; Distinguished Guests; Ladies and Gentlemen. My Fellow Citizens, We are today marking 40 years of our independence, the independence of Tanzania Mainland, then known as Tanganyika. We have just seen some of the Tanzanians who were born at the time of our independence. They are adults now. But they have no first hand experience of what it was like to live under colonialism. They only read about it, or are informed by those who lived through that experience. On a day like this, therefore, we need to remind ourselves of what our independence really means.
    [Show full text]
  • Volume 28 2001 Issue 88
    Africa^ |*REVIEWOF n ^ Political Economy EDITORS The Review of African Political Economy (ROAPE) is published quarterly by Carfax Chris Allen, Jan Burgess and Morris Szeftel Publishing Company for the ROAPE international collective. Now 28 years old, ROAPE is a fully BOOK REVIEWS refereed journal covering all aspects of African political economy. ROAPE has always involved Ray Bush, Roy Love and Giles Mohan the readership in shaping the journal's coverage, welcoming contributions from grassroots organi- sations, women's organisations, trade unions and EDITORIAL WORKING GROUP political groups. The journal is unique in the Chris Allen, Carolyn Baylies, Sarah Bracking, comprehensiveness of its bibliographic referenc- Lynne Brydon, Janet Bujra, Jan Burgess, Ray Bush, ing, information monitoring, statistical documen- Carolyne Dennis, Graham Harrison, Jon Knox, tation and coverage of work-in-progress. Roy Love, Giles Mohan, Colin Murray, Mike Powell, Marcus Power, David Simon, Colin Editorial correspondence, including manuscripts Stoneman, Morris Szeftel, Tina Wallace, A. B. for submission, should be sent to Jan Burgess, Zack-Williams. ROAPE Publications Ltd., P.O. Box 678, Sheffield SI 1BF, UK. Tel: 44 +(0)114 267-6880; Fax 44 + (0)114 267-6881; e-mail: [email protected]. CONTRIBUTING EDITORS Africa: Rok Ajulu (Grahamstown), Yusuf Advertising: USA/Canada: The Advertising Bangura (Zaria), Billy Cobbett (Johannesburg), Manager, PCG, 875 Massachusetts Avenue, Suite Antonieta Coelho (Luanda), Bill Freund 81, Cambridge MA 02139, USA. EU/Rest of the (Durban), Jibril Ibrahim (Zaria), Amadina World: The Advertising Manager, Taylor & Lihamba (Dar es Salaam), Trevor Parfitt (Cairo), Francis, P.O. Box 25, Abingdon, Oxon., OX14 3UE, Lloyd Sachikonye (Harare). UK. Tel: +44 (0)1235 401 000; Fax: +44 (0)1235 401 550.
    [Show full text]
  • Hii Ni Nakala Ya Mtandao (Online Document)
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ___________ MKUTANO WA NNE Kikao cha Ishirini na Nne – Tarehe 18 Julai, 2006 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua MASWALI NA MAJIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, kabla sijamwita muuliza swali la kwanza nina matangazo kuhusu wageni, kwanza wale vijana wanafunzi kutoka shule ya sekondari, naona tangazo halisomeki vizuri, naomba tu wanafunzi na walimu msimame ili Waheshimiwa Wabunge waweze kuwatambua. Tunafurahi sana walimu na wanafunzi wa shule zetu za hapa nchini Tanzania mnapokuja hapa Bungeni kujionea wenyewe demokrasia ya nchi yetu inavyofanya kazi. Karibuni sana. Wapo Makatibu 26 wa UWT, ambao wamekuja kwenye Semina ya Utetezi na Ushawishi kwa Harakati za Wanawake inayofanyika Dodoma CCT wale pale mkono wangu wakulia karibuni sana kina mama tunawatakia mema katika semina yenu, ili ilete mafanikio na ipige hatua mbele katika kumkomboa mwanamke wa Tanzania, ahsanteni sana. Hawa ni wageni ambao tumetaarifiwa na Mheshimiwa Shamsa Selengia Mwangunga, Naibu Waziri wa Maji. Wageni wengine nitawatamka kadri nitakavyopata taarifa, kwa sababu wamechelewa kuleta taarifa. Na. 223 Barabara Toka KIA – Mererani MHE. DORA H. MUSHI aliuliza:- Kwa kuwa, Mererani ni Controlled Area na ipo kwenye mpango wa Special Economic Zone na kwa kuwa Tanzanite ni madini pekee duniani yanayochimbwa huko Mererani na inajulikana kote ulimwenguni kutokana na madini hayo, lakini barabara inayotoka KIA kwenda Mererani ni mbaya sana
    [Show full text]
  • Tanzania Human Development Report 2014 United Republic of Tanzania Economic Transformation for Human Development Tanzania Human Development Report 2014
    Tanzania Human Development Report 2014 United Republic of Tanzania Economic Transformation for Human Development Tanzania Human Development Report 2014 Economic Transformation for Human Development United Republic of Tanzania Implementing Partner Tanzania Human Development Report 2014 Economic Transformation for Human Development Copyright © 2015 Published by Economic and Social Research Foundation 51 Uporoto Street (Off Ali Hassan Mwinyi Road), Ursino Estates P.O Box 31226, Dar es Salaam, Tanzania Tel: (+255) 22 2926084, 2926085, 2926086, 2926087, 2926088, 2926089, 2926090 Mobile: +255-754 780133, +255-655 780233 Fax: +255-22 2926083 Emails: [email protected] OR [email protected] Website: http://www.esrf.or.tz, http://www.thdr.or.tz United Nations Development Programme Tanzania Office 182 Mzinga way, Off Msasani Road Oysterbay P. O. Box 9182, Dar-Es-Salaam, Tanzania Tel (+255) 22 2112576 +255 686 036 436 UNDP Resident Representative & UN Resident Coordinator Office: Tel: +255 686 036 436 +255 686 036 436 UNDP Country Director Office: Tel: +255 0686 036 475 +255 0686 036 475 Email: [email protected] Website: http://www.tz.undp.org Government of the United Republic of Tanzania Ministry of Finance, P. O. Box 9111, Dar es salaam. Phone: +255 22 2111174-6. Fax: +255 22 2110326 Website: http://www.mof.go.tz All rights reserved, no parts of this publication may be reproduced, stored in a retrieval system or transmitted, in any form or by any means, electronic, mechanical, photocopying, recording or otherwise without prior written permission ISBN: 978-9987-770-00-7 Artistic design of the cover by Mr. Haji Chilonga La petitie Galerie Oysterbay Shopping Centre Toure Drive-Masaki P.O.
    [Show full text]
  • Speech by the Minister for Finance Hon
    SPEECH BY THE MINISTER FOR FINANCE HON. BASIL P. MRAMBA (MP.), INTRODUCING TO THE NATIONAL ASSEMBLY THE ESTIMATES OF GOVERNMENT REVENUE AND EXPENDITURE FOR THE FINANCIAL YEAR 2003/2004 ON 12TH JUNE, 2003 INTRODUCTION: 1. Mr. Speaker, I beg to move that this esteemed House now resolves to debate and approve Government proposals for Revenue and Expenditure estimates for the Financial Year 2003/04. The Government budget has been consolidated into four volumes. Volume one presents revenue estimates, volumes two and three contain recurrent expenditure estimates for ministries, government departments, and regions, including urban and district councils. The fourth volume contains the development expenditure estimates for the ministries, government departments, regions, and councils. In addition, there is the 2003/04 Finance Bill. 2. Mr. Speaker, before I table the 2003/04 budget, allow me to express my appreciation to all those who participated in the preparation and finalization of this 1 budget in various ways. In particular, I would like to thank the Finance and Economic Committee of the Parliament and all other Committees, for keenly scrutinizing the budget estimates with a high standard of professionalism. The invaluable advice offered by these committees greatly assisted in finalizing the budget proposal being presented today. 3. Mr. Speaker, the budget preparation process involved consultations with a broad range of stakeholders, both within and outside the Government. Let me take this opportunity to thank the staff of various ministries, independent government departments, regions, councils, non-governmental organizations, the private sector, national and international organizations for their invaluable contributions to the preparation and finalisation of this budget.
    [Show full text]
  • Consequences for Women's Leadership
    The Politics Behind Gender Quotas: Consequences for Women’s Leadership Equity in African Legislatures by Christie Marie Arendt B.A. in Interdisciplinary Studies in Social Science, May 2004, Michigan State University M.A. in International Affairs, May 2006, The George Washington University A Dissertation submitted to The Faculty of The Columbian College of Arts and Sciences of The George Washington University in partial fulfillment of the requirements for the degree of Doctor of Philosophy January 31, 2017 Dissertation directed by Kimberly J. Morgan Professor of Political Science and International Affairs The Columbian College of Arts and Sciences of The George Washington University certifies that Christie Marie Arendt has passed the Final Examination for the degree of Doctor of Philosophy as of December 16, 2016. This is the final and approved form of the dissertation. The Politics Behind Gender Quotas: Consequences for Women’s Leadership Equity in African Legislatures Christie Marie Arendt Dissertation Research Committee: Kimberly J. Morgan, Professor of Political Science and International Affairs, Dissertation Director Jennifer Brinkerhoff, Professor of International Affairs, International Business, and Public Policy & Public Administration Eric Kramon, Assistant Professor of Political Science and International Affairs, Committee Member ii © Copyright 2017 by Christie Marie Arendt All rights reserved iii Dedication To my parents, Anne and Steve Arendt, none of this was possible without your enduring love and support. iv Acknowledgments This dissertation benefitted from the encouragement and guidance of a number of people. As an alumna of The George Washington University’s Elliott School of International Affairs, I knew that GW would provide a perfect environment to pursue my doctoral studies.
    [Show full text]
  • Tanzania Comoros
    COUNTRY REPORT Tanzania Comoros May 2000 The Economist Intelligence Unit 15 Regent St, London SW1Y 4LR United Kingdom The Economist Intelligence Unit The Economist Intelligence Unit is a specialist publisher serving companies establishing and managing operations across national borders. For over 50 years it has been a source of information on business developments, economic and political trends, government regulations and corporate practice worldwide. The EIU delivers its information in four ways: through our digital portfolio, where our latest analysis is updated daily; through printed subscription products ranging from newsletters to annual reference works; through research reports; and by organising conferences and roundtables. The firm is a member of The Economist Group. London New York Hong Kong The Economist Intelligence Unit The Economist Intelligence Unit The Economist Intelligence Unit 15 Regent St The Economist Building 25/F, Dah Sing Financial Centre London 111 West 57th Street 108 Gloucester Road SW1Y 4LR New York Wanchai United Kingdom NY 10019, US Hong Kong Tel: (44.20) 7830 1000 Tel: (1.212) 554 0600 Tel: (852) 2802 7288 Fax: (44.20) 7499 9767 Fax: (1.212) 586 1181/2 Fax: (852) 2802 7638 E-mail: [email protected] E-mail: [email protected] E-mail: [email protected] Website: http://www.eiu.com Electronic delivery This publication can be viewed by subscribing online at http://store.eiu.com/brdes.html Reports are also available in various other electronic formats, such as CD-ROM, Lotus Notes, on-line databases and as direct feeds to corporate intranets. For further information, please contact your nearest Economist Intelligence Unit office London: Jan Frost Tel: (44.20) 7830 1183 Fax: (44.20) 7830 1023 New York: Alexander Bateman Tel: (1.212) 554 0643 Fax: (1.212) 586 1181 Hong Kong: Amy Ha Tel: (852) 2802 7288/2585 3888 Fax: (852) 2802 7720/7638 Copyright © 2000 The Economist Intelligence Unit Limited.
    [Show full text]