C:\Users\User\Desktop\KAZI ZOTE
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
Load more
Recommended publications
-
Nakala Ya Mtandao (Online Document) 1 BUNGE LA TANZANIA
Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ________________ MAJADILIANO YA BUNGE ________________________ MKUTANO WA KUMI NA TANO Kikao cha Kumi na Tisa – Tarehe 27 Mei, 2014 (Mkutano Ulianza Saa tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Job Y. Ndugai) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA: Taarifa ya Mwaka na Hesabu za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha kwa Mwaka 2012/2013 (The Annual Report and Accounts of Arusha International Conference Centre for the Year 2012/2013). Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. NAIBU WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI: Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MHE. BETTY E. MACHANGU (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA): Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Maoni ya Kamati 1 Nakala ya Mtandao (Online Document) Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. MHE. ABDULKARIM E.H. SHAH (K.n.y. MWENYEKITI WA KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA): Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. -
Issued by the Britain-Tanzania Society No 112 Sept - Dec 2015
Tanzanian Affairs Issued by the Britain-Tanzania Society No 112 Sept - Dec 2015 ELECTION EDITION: MAGUFULI vs LOWASSA Profiles of Key Candidates Petroleum Bills Ruaha’s “Missing” Elephants ta112 - final.indd 1 8/25/2015 12:04:37 PM David Brewin: SURPRISING CHANGES ON THE POLITICAL SCENE As the elections approached, during the last two weeks of July and the first two weeks of August 2015, Tanzanians witnessed some very dra- matic changes on the political scene. Some sections of the media were even calling the events “Tanzania’s Tsunami!” President Kikwete addessing the CCM congress in Dodoma What happened? A summary 1. In July as all the political parties were having difficulty in choosing their candidates for the presidency, the ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) party decided to steal a march on the others by bringing forward their own selection process and forcing the other parties to do the same. 2. It seemed as though almost everyone who is anyone wanted to become president. A total of no less than 42 CCM leaders, an unprec- edented number, registered their desire to be the party’s presidential candidate. They included former prime ministers and ministers and many other prominent CCM officials. 3. Meanwhile, members of the CCM hierarchy were gathering in cover photos: CCM presidential candidate, John Magufuli (left), and CHADEMA / UKAWA candidate, Edward Lowassa (right). ta112 - final.indd 2 8/25/2015 12:04:37 PM Surprising Changes on the Political Scene 3 Dodoma to begin the lengthy and highly competitive selection process. 4. The person who appeared to have the best chance of winning for the CCM was former Prime Minister Edward Lowassa MP, who was popular in the party and had been campaigning hard. -
Majadiliano Ya Bunge ______
NAKALA YA MTANDAO (ON LINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ___________ MAJADILIANO YA BUNGE ______________ BUNGE LA KUMI NA MOJA ___________ MKUTANO WA KWANZA Kikao cha Kwanza - Tarehe 17 Novemba, 2015 (Bunge lilianza Saa Tatu Asubuhi) DKT. THOMAS D. KASHILILAH - KATIBU WA BUNGE: Naomba tukae. TANGAZO LA RAIS LA KUITISHA MKUTANO WA BUNGE DKT. THOMAS D. KASHILILAH - KATIBU WA BUNGE: Waheshimiwa Wabunge, kwa mujibu wa masharti ya Katiba, Mkutano huu wa Kwanza unaanza kwa Rais kuuitisha. Naomba kuchukua nafasi hii kusoma Tangazo la Rais kama ambavyo tumelipokea. Tangazo la Serikali Na. 513 la tarehe 6 Novemba, 2015. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Sura ya Pili, hati iliyotolewa kwa mujibu wa Ibara ya 90(1). Hati ya Kuitisha Mkutano wa Bunge Jipya. KWA KUWA, Uchaguzi Mkuu ulifanyika tarehe 25 Oktoba, 2015 katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977; NA KWA KUWA, masharti ya Ibara ndogo ya kwanza ya Ibara ya 90 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, yanamtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuitisha Mkutano wa Bunge Jipya kabla ya kupita siku saba tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu; NA KWA KUWA, matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25 Oktoba, 2015 yalitangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi tarehe 29 Oktoba, 2015; HIVYO BASI, mimi John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mamlaka niliyonayo chini ya Ibara ya 90(1) ya 1 NAKALA YA MTANDAO (ON LINE DOCUMENT) Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, naitisha Mkutano wa Bunge Jipya la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ufanyike katika ukumbi wa Bunge uliopo Mjini Dodoma tarehe 17 Novemba, 2015 kuanzia saa tatu asubuhi. -
Ruaha Journal of Business, Economics and Management Sciences, Vol.1, Issue 1, 2018 Ms Hadija Matimbwa , Faculty of Business and Management Science, RUCU Iii
RUAHA JOURNAL of Business, Economics and Management Sciences Faculty of Business and Management Sciences Vol 1, Issue 1, 2018 A. Editorial Board i. Executive Secretarial Members Chairman: Dr. Alex Juma Ochumbo, Dean Faculty of Business and Management Sciences, RUCU Chief Editor: Prof. Robert Mabele, Faculty of Business and Management Sciences, RUCU Managing Editor: Dr.Venance Ndalichako, Faculty of Business and Management Sciences, RUCU Business Manager: Dr. Alberto Gabriel Ndekwa, Faculty of Business and Management Science, RUCU Secretary to the Board: Ms. Hawa Jumanne,Faculty of Business and Management Science, RUCU ii. Members of the Editorial Board Dr. Dominicus Kasilo, Faculty of Business and Management Science, RUCU Bishop Dr. Edward Johnson Mwaikali,Bishop of Mbeya, Formerly with RUCU Dr. Theobard Kipilimba, Faculty of Business and Management Science, RUCU Dr. Esther Ikasu, Faculty of Business and Management Science, RUCU ii Ruaha Journal of Business, Economics and Management Sciences, Vol.1, Issue 1, 2018 Ms Hadija Matimbwa , Faculty of Business and Management Science, RUCU iii. Associate Editors Prof. Enock Wicketye Iringa University,Tanzania. Dr. Enery Challu University of Dar es Dr. Ernest Abayo Makerere University, Uganda. Dr. Vicent Leyaro University of Dar es Salaam Dr. Hawa Tundui Mzumbe University, Tanzania. B. Editorial Note Ruaha Journal of Business, Economics and Management Sciences would like to wish all our esteemed readers on this first appearance A HAPPY NEW YEAR. We shall be appearing twice a year January and July. We hope you will be able to help us fulfill this pledge by feeding us with journal articles, book reviews and other such journal writings and stand ready to read from cover to cover all our issues. -
2019 Tanzania in Figures
2019 Tanzania in Figures The United Republic of Tanzania 2019 TANZANIA IN FIGURES National Bureau of Statistics Dodoma June 2020 H. E. Dr. John Pombe Joseph Magufuli President of the United Republic of Tanzania “Statistics are very vital in the development of any country particularly when they are of good quality since they enable government to understand the needs of its people, set goals and formulate development programmes and monitor their implementation” H.E. Dr. John Pombe Joseph Magufuli the President of the United Republic of Tanzania at the foundation stone-laying ceremony for the new NBS offices in Dodoma December, 2017. What is the importance of statistics in your daily life? “Statistical information is very important as it helps a person to do things in an organizational way with greater precision unlike when one does not have. In my business, for example, statistics help me know where I can get raw materials, get to know the number of my customers and help me prepare products accordingly. Indeed, the numbers show the trend of my business which allows me to predict the future. My customers are both locals and foreigners who yearly visit the region. In June every year, I gather information from various institutions which receive foreign visitors here in Dodoma. With estimated number of visitors in hand, it gives me ample time to prepare products for my clients’ satisfaction. In terms of my daily life, Statistics help me in understanding my daily household needs hence make proper expenditures.” Mr. Kulwa James Zimba, Artist, Sixth street Dodoma.”. What is the importance of statistics in your daily life? “Statistical Data is useful for development at family as well as national level because without statistics one cannot plan and implement development plans properly. -
Zanzibar Human Rights Report 2015 by Zlsc
Zanzibar Human Rights Report 2015 TransformIfanye Justicehaki IweInto shaukuPassion Zanzibar Legal Services Centre i Funded by: Embassy of Sweden, Embassy of Finland The Embassy of Norway, Ford Foundation, and Open Society Initiatives for Eastern Africa, Publisher Zanzibar Legal Services Centre P.O.Box 3360,Zanzibar Tanzania Tel:+25524 2452936 Fax:+255 24 2334495 E-mail: [email protected] Website:www.zlsc.or.tz ZLSC May 2016 ii ZANZIBAR HUMAN RIGHTS REPORT 2015 Editorial Board Prof. Chris Maina Peter Mrs. Josefrieda Pereira Ms. Salma Haji Saadat Mr. Daudi Othman Kondo Ms. Harusi Miraji Mpatani Writers Dr. Moh’d Makame Mr. Mzee Mustafa Zanzibar Legal Services Centre @ ZLSC 2015 i ACKNOWLEDGEMENTS Zanzibar Legal Services Centre is indebted to a number of individuals for the support and cooperation during collection, compilation and writing of the 10th Human Rights Report (Zanzibar Chapter). The contribution received makes this report a worthy and authoritative document in academic institutions, judiciary, government ministries and other departments, legislature and educative material to general public at large. The preparation involved several stages and in every stage different stakeholders were involved. The ZLSC appreciate the readiness and eager motive to fill in human rights opinion survey questionnaires. The information received was quite useful in grasping grassroots information relevant to this report. ZLSC extend their gratitude to it’s all Programme officers especially Adv. Thabit Abdulla Juma and Adv. Saida Amour Abdallah who worked hard on completion of this report. Further positive criticism and collections made by editorial board of the report are highly appreciated and valued. Without their value contributions this report would have jeopardised its quality and relevance to the general public. -
Country Technical Note on Indigenous Peoples' Issues
Country Technical Note on Indigenous Peoples’ Issues United Republic of Tanzania Country Technical Notes on Indigenous Peoples’ Issues THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Submitted by: IWGIA Date: June 2012 Disclaimer The opinions expressed in this publication are those of the authors and do not necessarily represent those of the International Fund for Agricultural Development (IFAD). The designations employed and the presentation of material in this publication do not imply the expression of any opinion whatsoever on the part of IFAD concerning the legal status of any country, territory, city or area or of its authorities, or concerning the delimitation of its frontiers or boundaries. The designations ‗developed‘ and ‗developing‘ countries are intended for statistical convenience and do not necessarily express a judgment about the stage reached by a particular country or area in the development process. All rights reserved Acronyms and abbreviations ACHPR African Commission on Human and Peoples‘ Rights ASDS Agricultural Sector Development Strategy AU African Union AWF African Wildlife Fund CBO Community Based Organization CCM Chama Cha Mapinduzi (Party of the Revolution) CELEP Coalition of European Lobbies for Eastern African Pastoralism CPS Country Partnership Strategy (World Bank) COSOP Country Strategic Opportunities Paper (IFAD) CWIP Core Welfare Indicator Questionnaire DDC District Development Corporation FAO Food and Agricultural Organization FBO Faith Based Organization FGM Female Genital Mutilation FYDP Five Year Development Plan -
-
Na Namba Ya Prem Jina La Mwanafunzi Shule Atokayo 1
ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 WILAYA YA TEMEKE - WASICHANA A.UFAULU MZURI ZAIDI SHULE YA SEKONDARI KILAKALA - BWENI NA NAMBA YA PREM JINA LA MWANAFUNZI SHULE ATOKAYO 1 20140978513 GIFT JUMANNE MWAMBE SACRED HEART SHULE YA SEKONDARI MSALATO - BWENI NA NAMBA YA PREM JINA LA MWANAFUNZI SHULE ATOKAYO 1 20141212460 IQRA SUPHIAN MBWANA ASSWIDDIQ 2 20141196774 HADIJA SAMNDERE ABDALLAH KIZUIANI SHULE YA SEKONDARI TABORA WAS - BWENI NA NAMBA YA PREM JINA LA MWANAFUNZI SHULE ATOKAYO 1 20140161890 JANETH JASSON RWIZA HOLY CROSS 2 20140142894 CATHERINE JACKSON MUGYABUSO HOLY CROSS 3 20140158817 MARTHA FREDRICK KIULA KAMO 4 20141283912 VANESSA ARISTIDES MSOKA JOYLAND B.UFUNDI BWENI SHULE YA SEKONDARI MTWARA UFUNDI - BWENI NA NAMBA YA PREM JINA LA MWANAFUNZI SHULE ATOKAYO 1 20140246791 PRINCESSREBECA ALOYCE MOSHA SHALOM 2 20140293569 SUZAN DIOCRES PETER MWANGAZA ENG. MED. SHULE YA SEKONDARI TANGA UFUNDI - BWENI NA NAMBA YA PREM JINA LA MWANAFUNZI SHULE ATOKAYO 1 20140271585 FATUMA IBRAHIMU NASSORO SOKOINE 2 20141282072 ALAWIA ASHIRI KIBWANGA KIBURUGWA 3 20140813416 LUCY MARTIN NDEU MGULANI C.BWENI KAWAIDA SHULE YA SEKONDARI KAZIMA - BWENI NA NAMBA YA PREM JINA LA MWANAFUNZI SHULE ATOKAYO 1 20141358656 ASHURA ISSA NGULANGWA NZASA 2 20140961580 SHUFAA HAMADI TAMBARA UKOMBOZI 3 20140801607 NAIMA RAZACK MCHALAGANYA TAIFA 4 20140437650 HALIMA HASHIMU MPEGEA RUVUMA SHULE YA SEKONDARI LOWASSA- BWENI NA NAMBA YA PREM JINA LA MWANAFUNZI SHULE ATOKAYO 1 20141303924 RAHMA ALLY KWAKWADU MBANDE SHULE YA SEKONDARI LUGOBA- -
Kitabu Cha Kumbukumbu Za Wabunge
BUNGE LA TANZANIA ____________ KITABU CHA KUMBUKUMBU ZA WABUNGE BUNGE LA KUMI NA MBILI Toleo la Nne - Agosti, 2021 1 SEHEMU YA KWANZA UTANGULIZI Bunge limekuwepo toka tupate Uhuru mwaka 1961 na kabla ya Uhuru kuanzia mwaka 1926. Wabunge nao wameendelea kuwepo kwa vipindi tofauti na kwa idadi inayobadilika kila wakati wakitekeleza wajibu wao muhimu wa kutunga sheria na kuisimamia Serikali kwa niaba ya wananchi kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Bunge lilipoanza mwaka 1926, Wabunge walikuwa ishirini na moja (21) na mwaka 1961 ulipopatikana Uhuru Wabunge waliongezeka kufikia themanini (80) na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 idadi ya Wabunge iliongezeka na kufikia Wabunge 357. Hata hivyo, baada ya Tume ya Uchaguzi kuona umuhimu wa kuongeza idadi ya majimbo kutokana na sababu mbalimbali sasa hivi idadi ya Wabunge ni 393. Kitabu hiki cha Kumbukumbu za Wabunge kimegawanyika katika Sehemu kuu Kumi na Nne. Katika sehemu hizo, kitabu kimeorodhesha Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na anuani zao, namba zao simu za mkononi na majimbo au aina ya uwakilishi wao Bungeni chini ya picha zao ili kurahisisha mawasiliano. Katika mchanganuo wa kila sehemu, Sehemu ya Kwanza ni Utangulizi. Aidha, Wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge ambao ndio wasimamizi wa shughuli za Bunge wameorodheshwa katika Sehemu ya Pili ya kitabu hiki ikifuatiwa na Uongozi wa Ofisi ya Bunge katika Sehemu ya Tatu. 2 Sehemu ya Nne imeorodhesha Wabunge wote wa Majimbo wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mikoa ikifuatiwa na Sehemu ya Tano ambayo imeorodhesha Wabunge wote wa Viti Maalum kulingana na uwakilishi wa vyama vyao Bungeni ikianzia na Chama cha Mapinduzi (CCM) na ikifuatiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Sehemu ya Sita imeorodhesha Wabunge kupitia nafasi ya Kuteuliwa na Rais na Sehemu ya Saba itaorodhesha Wabunge kutoka Baraza la Wawakilishi. -
Muhtasari Wa Hotuba Ya Waziri Wa Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto, Mhe
MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, MHE. DKT. DOROTHY GWAJIMA (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2021/22. UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge lako Tukufu, iliyochambua Bajeti ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ninaomba kutoa hoja Bunge lako likubali kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Wizara yangu kwa mwaka 2020/21 na Vipaumbele vyake kwa mwaka 2021/22. Aidha, ninaliomba Bunge lako Tukufu likubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Kawaida pamoja na Miradi ya Maendeleo ya Wizara kwa mwaka 2021/22. 2. Mheshimiwa Spika, Namshukuru Mungu kuniwezesha kusimama mbele ya Bunge lako Tukufu na kuwasilisha hotuba yangu. Aidha, kwa masikitiko makubwa, natoa pole kwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Spika, Waheshimiwa Wabunge Wote, Chama Cha Mapinduzi pamoja na Watanzania wote kwa kuondokewa na mpendwa wetu, Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 3. Mheshimiwa Spika, Vilevile, natoa pole kwa Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuondokewa na Viongozi Wakuu, Hayati Benjamin William Mkapa, aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maalim Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, na Balozi Mhandisi John Herbert Kijazi, aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Kazi ya Mungu haina makosa, Mwenyezi Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi. 4. Mheshimiwa Spika, Vilevile, naomba kutoa pole kwako, Bunge lako Tukufu, familia na wananchi wa Mkoa wa Manyara kwa kifo cha Mheshimiwa Martha Umbulla, Mbunge wa Viti Maalum (CCM). -
MKUTANO WA 18 TAREHE 5 FEBRUARI, 2015 MREMA 1.Pmd
5 FEBRUARI, 2015 BUNGE LA TANZANIA _________________ MAJADILIANO YA BUNGE __________________ MKUTANO WA KUMI NA NANE Kikao cha Tisa – Tarehe 5 Februari, 2015 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua MASWALI KWA WAZIRI MKUU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, leo sijamwona. Kwa hiyo tunaendelea na Maswali kwa Waziri Mkuu na atakayeanza ni Mheshimiwa Murtaza A. Mangungu. MHE. MURTAZA A. MANGUNGU: Mheshimiwa Spika, nashukuru. Mheshimiwa Waziri Mkuu, kwa vipindi tofauti vya Bunge Mheshimiwa Peter Msigwa, Mheshimiwa Mussa Zungu na hata Mheshimiwa Murtaza A. Mangungu wamekuwa wakiuliza swali kuhusiana na manyanyaso wanayoyapata wafanyabiashara Wadogo Wadogo pamoja na Mamalishe. Kwa kipindi hicho chote umekuwa ukitoa maagizo na maelekezo, inavyoonekana mamlaka zinazosimamia hili jambo haziko tayari kutii amri yako. 1 5 FEBRUARI, 2015 Je, unawaambia nini Watanzania na Bunge hili kwa ujumla? WAZIRI MKUU: Mheshimiwa Spika, naomba nimjibu Mheshimiwa Murtaza Mangungu swali lake kama ifuatavyo:- Suala hili la vijana wetu ambao tunawajua kama Wamachinga, kwanza nataka nikiri kwamba ni suala kubwa na ni tatizo kubwa na si la Jiji la Dar es Salaam tu, bali lipo karibu katika miji mingi. Kwa hiyo, ni jambo ambalo lazima twende nalo kwa kiwango ambacho tutakuwa na uhakika kwamba tunalipatia ufumbuzi wa kudumu. Kwa hiyo, ni kweli kwamba mara kadhaa kuna maelekezo yametolewa yakatekelezwa sehemu na sehemu nyingine hayakutekelezwa kikamilifu kulingana na mazingira ya jambo lenyewe lilivyo. Lakini dhamira ya kutaka kumaliza tatizo hili la Wamachinga bado ipo palepale na kwa bahati nzuri umeuliza wakati mzuri kwa sababu jana tu nimepata taarifa ambayo nimeandikiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI ambayo wanaleta mapendekezo kwangu juu ya utaratibu ambao wanafikiri unaweza ukatatua tatizo hili ambalo lipo sehemu nyingi.