Print Media Monitoring Report

Total Page:16

File Type:pdf, Size:1020Kb

Print Media Monitoring Report Print Media Monitoring Report January – June 2013 Print Media Monitoring Report © Media Council of Tanzania, 2013 ISBN 978 - 9987 - 710 - 39 - 3 ii Media Council of Tanzania Contents Preface ......................................................................................... v Methodology ............................................................................. vi Abbreviations ........................................................................... vii Chapter One ............................................................................... 1 Ethical Performance ................................................................. 1 Presumption of innocence ....................................................... 1 Identifying victims of sexual violence ..................................... 2 Captions ....................................................................................... 3 Apology ....................................................................................... 3 Hate Speech ................................................................................. 3 Rapid Response Media Monitoring January-June, 2013 ........ 6 Appendix: Sampled articles ...................................................... 13 Chapter Two .............................................................................. 15 Gender Reporting ................................................................... 15 Gender- Based Violence (GBV) ................................................ 16 Female Genital Mutilation (FGM) ............................................ 17 Reproductive Health ................................................................. 17 Women Empowerment ............................................................. 18 Health .......................................................................................... 19 Girls’ Education ........................................................................ 19 Inheritance Law ......................................................................... 19 Pregnancy Precaution ................................................................ 20 Homosexuality ........................................................................... 20 Quantitative Analysis ............................................................... 21 Appendix: Sampled stories ...................................................... 25 Chapter Three ............................................................................. 27 Corruption Reporting ............................................................... 27 Qualitative Analysis ............................................................... 27 Balance and Fairness .................................................................. 28 Truth and Accuracy ................................................................... 28 News type ................................................................................... 29 Sources ......................................................................................... 29 Length of the stories .................................................................... 30 Coverage Areas ......................................................................... 31 Print Media Monitoring Report iii Page Placement .......................................................................... 31 Quantitative Analysis ............................................................... 31 Appendix: Sampled stories ...................................................... 33 Chapter Four ............................................................................... 35 Court Reporting ........................................................................ 35 Judgemental Headlines ............................................................ 35 Gender-Based Violence ............................................................. 36 Access to Courts ........................................................................ 36 Truth and Accuracy .................................................................... 37 Backgrounding of stories ........................................................... 37 Contempt of Court ..................................................................... 37 Sources ......................................................................................... 37 Photographs ................................................................................ 38 Coverage Areas .......................................................................... 38 Page Placement ........................................................................... 38 Quantitative Analysis ................................................................ 38 Appendix: Sampled articles ...................................................... 40 Chapter Five ............................................................................... 41 Constitution Reporting ............................................................ 41 Introduction ............................................................................... 41 Scope ........................................................................................... 41 Coverage ..................................................................................... 43 Pie chart ...................................................................................... 43 Types ............................................................................................ 43 Types of artcles .......................................................................... 44 Length .......................................................................................... 44 Page Placement .......................................................................... 44 Sources .......................................................................................... 45 Themes ........................................................................................ 46 Constitutional Review Process ................................................ 47 Natural Resources ..................................................................... 47 Union .......................................................................................... 48 Governance ................................................................................ 48 Recommendations ..................................................................... 48 Conclusion ................................................................................. 49 Appendix: Sampled articles ...................................................... 40 iv Media Council of Tanzania Preface Print Media Monitoring is one of the core activities conducted under the Media Council of Tanzania’s annual work plans. It con- forms to the vision and mission of the Council, which was founded as a self-regulatory body with the express aim of creating an environment in which the media could contribute to the cre- ation of a more democratic and just society. The Council’s role is essentially to evaluate the media fraternity’s professional and ethical performance as stipulated in the 2010 Code of Ethics for Media Professionals in Tanzania drawn up by MCT. As a matter of routine, reports gathered from the monitoring process are shared out with stakeholders, including schools or fac- ulties of journalism and media practitioners. From a professional point of view, this is meant to make improvements in areas where there are problems with performance and consolidate areas where performance is good. The core focus as far as media monitoring is concerned has been, and continues to be, on performance with regard to media ethics and press freedom. The monitoring covers particular thematic areas, depending on circumstances, thus making the process change from time to time. During the period under review, MCT made daily monitoring of four more thematic areas: gender, corruption, the Constitution and court reporting. Print Media Monitoring Report: January - June 2013 v Methodology The monitoring involved reading newspaper articles critically and analyzing pictures and other illustrations, including cartoons. The findings were later posted to a special database from which to get statistical information for analysis. The monitoring team used the descriptive qualitative research method to analyze the data collected during the period under re- view to determine the strengths or weaknesses therein and see how best to intervene for improved performance in the future. The analysis of the data was guided by the need to see how the media fraternity adhered to the MCT’s 2010 Code of Ethics as well as similar codes drawn up by international media bodies to which Tanzania subscribes. Among other things, in its coding activities, the monitoring team looked at how news stories, features and other journalistic pieces and illustrative material (photos, cartoons, etc.) in various issues of several Tanzanian newspapers were sourced and placed. vi Media Council of Tanzania Abbreviations BAHAKITA – Baraza la Habari la Kiislamu Tanzania CBO’s – Community-Based Organizations CCM – Chama Cha Mapinduzi CHADEMA – Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CRP – Constitution Review Process EJAT – Excellency in Journalism Awards Tanzania EAM – Ethics and Arbitration Manager EPAs – Economic Partnership Agreements ES – Executive Secretary EU – European Union FGM – Female Genital Mutilation ITV – Independent Television MCT - Media Council of Tanzania NGOs – Non-Governmental Organizations NMB – National Microfinance Bank PCCB
Recommended publications
  • Online Document)
    NAKALA YA MTANDAO (ONLINE DOCUMENT) BUNGE LA TANZANIA ____________ MAJADILIANO YA BUNGE ____________ MKUTANO WA ISHIRINI Kikao cha Arobaini na Sita – Tarehe 8 Julai, 2015 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Mwenyekiti (Mhe. Mussa Z. Azzan) Alisoma Dua MASWALI NA MAJIBU MWENYEKITI: Waheshimiwa Wabunge, maswali na tunaanza na ofisi ya Waziri, Mheshimiwa Kayombo, kwa niaba yake Mheshimiwa Rage. Na. 321 Ofisi kwa ajili ya Tarafa-Mbinga MHE. ISMAIL A. RAGE (K.n.y. MHE. GAUDENCE C. KAYOMBO) aliuliza:- Wilaya ya Mbinga ina tarafa sita lakini tarafa zote hazina ofisi rasmi zilizojengwa:- Je, ni lini Serikali itajenga ofisi kwa Makatibu Tarafa? NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI) alijibu:- 1 NAKALA YA MTANDAO (ONLINE DOCUMENT) Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Gaudence Cassian Kayombo, Mbunge wa Mbinga Mashariki kama ifuatavyo:- Mheshimiwa Mwenyekiti, Mkoa wa Ruvuma una jumla ya tarafa 24 yaani Tunduru wako saba, Mbinga wana tarafa sita, Nyasa wana tarafa tatu, Namtumbo wana tarafa tatu na Songea wana tarafa tano. Ni kweli tarafa za Wilaya ya Mbinga hazina ofisi rasmi zilizojengwa na Serikali. Ujenzi wa hizo ofisi unafanyika kwa awamu kulingana na upatikanaji wa fedha. Kwa sasa Mkoa wa Ruvuma umeweka kipaumbele katika ujenzi wa ofisi nne za tarafa katika Wilaya ya Nyasa na Tunduru. Tarafa hizo ni Luhuhu (Lituhi-Nyasa), Ruhekei (Mbamba bay-Nyasa), Mpepo (Tinga-Nyasa) na Nampungu (Nandembo-Tunduru). Mheshimiwa Mwenyekiti, katika mwaka wa fedha wa 2014/2015, Mkoa ulitenga shilingi milioni mia tatu kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya Tarafa ya Luhuhu (Lituhi), Ruhekei (Mbamba bay), Mpepo (Tingi) na Nampungu (Nandembo).
    [Show full text]
  • 1458125471-Hs-6-8-20
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge Mkutano Wa Kumi Na Mbili
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ______________ MAJADILIANO YA BUNGE ______________ MKUTANO WA KUMI NA MBILI Kikao cha Kumi na Tano – Tarehe 1 Julai, 2008 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Samuel J. Sitta) Alisoma Dua MASWALI NA MAJIBU Na. 132 Kuimarisha Ulinzi na Usalama Jiji Dar es Salaam MHE. CHARLES N. KEENJA : Kwa kuwa, Serikali ya Awamu ya Nne imechukua hatua madhubuti za kuimarisha Ulinzi na Usalama kwenye Jiji la Dar es Salaam kwa kuligawa Jiji kwenye Mikoa na Wilaya za Ki-ulinzi ; na kwa kuwa, hatua hiyo haikwenda sanjari na ile ya kuigawa Mikoa ya Kiutawala:- (a) Je, ni lini Serikali itachukua hatua za kuligawa eneo la Jiji la Dar es Salaam kwenye Mkoa/Wilaya zinazokwenda sanjari na zile za Ulinzi na Usalama ? (b) Je, Serikali haioni kwamba Viongozi kwenye eneo lenye hadhi zinazotofautiana kunaleta matatizo ya ushirikiano na mawasiliano hatimaye kukwamisha utendaji kazi ? (c) Kwa kuwa, zaidi ya 10% ya wananchi wa Tanzania wanaishi Dar es Salaam. Je, Serikali haioni kwamba sasa ni wakati muafaka wa kuweka utaratibu mzuri zaidi wa Uongozi kwenye Jiji hilo ? NAIBU WAZIRI, OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA alijibu:- 1 Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu naomba kujibu swali la Mheshimiwa Charles Keenja, Mbunge wa Ubungo, lenye sehemu (a), (b) na (c) kama ifuatavyo:- (a) Mheshimiwa Spika, ni kweli kuwa katika hatua za kuimarisha Ulinzi na Usalama kwenye Jiji la Dar es Salaam Serikali iliamua kuligawa eneo katika ngazi ya Mikoa ambapo Wilaya zote tatu za Kinondoni, Temeke na Ilala ni Mikoa ya Kiulinzi na ngazi ya Mkoa kupewa hadhi ya Kanda Maalum ya Ulinzi na Usalama.
    [Show full text]
  • Case of Railway Concession in Tanzania
    Lund University Lund University Master of International Development and Management June, 2009 PERFORMANCE OF THE CONTRACTUAL ARRANGEMENTS OF PUBLIC-PRIVATE PARTNERSHIPS: CASE OF RAILWAY CONCESSION IN TANZANIA. Author: Alexander Shlyk Supervisor: Ellen Hillbom Table of Contents: List of Abbreviations................................................................................................. 2 Abstract..................................................................................................................... 3 1. Introduction........................................................................................................... 4 1.1. The Aim ......................................................................................................... 5 1.2. Outline of the Thesis....................................................................................... 6 2. Background........................................................................................................... 7 2.1. Tanzania: Political Transformations................................................................ 7 2.2. Tanzania: Privatization Agenda. ..................................................................... 9 2.3. Transport Corridors in East Africa. ............................................................... 10 3. Theory................................................................................................................. 13 3.1. PPP: a Particular Kind of a Contractual Arrangement. .................................. 13 3.2.
    [Show full text]
  • TANZANIA OIL and GAS ALMANAC TANZANIA OIL and GAS ALMANAC Print Edition June 2015
    TANZANIA OIL AND GAS ALMANAC TANZANIA TANZANIA OIL AND GAS ALMANAC Print edition June 2015 A Reference Guide published by the Friedrich-Ebert-Stiftung Tanzania and OpenOil Tanzania Oil and Gas Almanac A Reference Guide published by the Friedrich-Ebert-Stiftung Tanzania and OpenOil EDITORIAL Abdallah Katunzi – Chief Editor Marius Siebert – Deputy Editor PUBLISHED BY Friedrich-Ebert-Stiftung P.O Box 4472 Mwai Kibaki Road Plot No. 397 Dar es Salaam, Tanzania Telephone: 255-22-2668575/2668786 Email: [email protected] PRINTED BY FGD Tanzania Ltd P.O. Box 40331 Dar es Salaam Disclaimer While all efforts have been made to ensure that the information contained in this book has been obtained from reliable sources, FES (Tanzania) bears no responsibility for oversights or omissions. ©Friedrich-Ebert-Stiftung, 2015 ISBN: 978-9987-483-36-5 A commercial resale of this publication is strictly prohibited unless the Friedrich-Ebert-Stiftung gives explicit and written approval beforehand. PREFACE With an estimated gas reserve of more than 55 trillion cubic feet (Tcf), Tanzania readies itself to join the gas economy. Large multinational oil companies are currently exploring natural gas and oil in various parts of Tanzania – both offshore and onshore. Despite these huge discoveries, there is little publicly available information on natural gas on a wide range of issues. Consequently, the Friedrich-Ebert-Stiftung (FES), Tanzania, with the technical support of OpenOil– a Berlin based organisation – created the Tanzania Oil and Gas Almanac as a living database for publicly available information around the country’s Oil and Gas sector. It has been created to significantly increase the stock of information available in local contexts among extractive stakeholders including civil society organizations, government, journalists and companies.
    [Show full text]
  • Issued by the Britain-Tanzania Society No 107 Jan - Apr 2014
    Tanzanian Affairs Text 1 Issued by the Britain-Tanzania Society No 107 Jan - Apr 2014 British Aid - New Direction Mandela and Tanzania Chadema’s Crisis Transport in Dar es Salaam Visiting Kilwa Kisiwani AN APOLOGY-TO RICHARD BEATTY OBE Publishing an obituary of someone who is very much alive is the kind of nightmare editors greatly fear. I have been editing Tanzanian Affairs for 28 years and this is the only time that this has happened. When I realised what had happened I did what governments do when they are in trouble. We launched an investigation! Firstly, I came to the conclusion that this document must have passed through my hands at some stage – at present we are juggling with about 80 different stories for our next issue – but my memory is not what it used to be and I can’t remember. Another quite plausible pos- sibility has been suggested. Someone might have sent us an article about your OBE award in the hope that we would publish it and the document might have got into the wrong file i.e. OBIT file instead of OBE file. But we still really don’t know how it happened. I hope you have already received short apologies from members of our editorial team. We have removed the obituary from our online edition. I am feeling very guilty about the distress that this has caused and must add my apologies as humbly as I can. Am relieved to hear from you that there has also been lots of mirth about it. I have found your exhilarating twitter column (@afrenv – highly recommended reading) and realise how much the world would have been a poorer place if the worst had happened.
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge ______
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _______________ MAJADILIANO YA BUNGE _______________ MKUTANO WA KUMI NA TATU Kikao cha Tatu – Tarehe 30 Oktoba, 2008 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua MASWALI KWA WAZIRI MKUU NAIBU SPIKA: Waheshimiwa Wabunge kama kawaida yetu siku ya Alhamisi kazi zetu zinaanza kwa maswali kwa Waziri Mkuu kwa muda wa dakika 30. Kwa hiyo Mheshimiwa Waziri Mkuu mwulizaji wa swali la kwanza leo ni Mheshimiwa Mzee John Samwel Malecela. MHE. JOHN S. MALECELA: Mheshimiwa Naibu Spika, napenda kukushukuru kwa kunipa nafasi ya kuuliza swali la kwanza. Mheshimiwa Waziri Mkuu hivi sasa kuna tatizo la uandikishaji wa vijiji vipya, vijiji ambavyo zamani vilikuwa kama vitongoji lakini sasa vimekuwa vijiji vingi na vikubwa na pia kuna tatizo la ugawaji wa kata. Sasa mambo yote haya yanashughulikiwa na TAMISEMI. Je, Serikali haingeona uwezekano wa kukasimu madaraka ya uandikishaji wa vijiji yaende kwenye Halmashauri za Wilaya na suala la uandikishaji wa ugawaji wa kata liende kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, kwa hiyo kuondoa msongamano ambao sasa hivi uko TAMISEMI kiasi kwamba viko vijiji ambavyo vimependekezwa na Halmashauri zaidi ya miaka 10 iliyopita lakini mpaka sasa hakuna kilichofanyika? WAZIRI MKUU: Mheshimiwa Naibu Spika, naomba nimjibu Mheshimiwa Mzee Malecela swali lake zuri sana kama ifuatavyo. Mheshimiwa Naibu Spika, sababu ya kuendeleza utaratibu huu wa kutaka jambo hili liwe linaamuliwa katika ngazi hii ni kwamba kuna masuala ya kifedha ambayo yanaendana sambamba na uanzishwaji wa vijiji, kata na maeneo mengine mapya. Kwa hiyo, kwa msingi huo Serikali bado inaona ni vizuri uamuzi kama huo ukaendelea kubaki 1 mikononi mwetu ili hilo liweze kuwa ni jambo ambalo linatu-guide katika kuamua vijiji vingapi safari hii turuhusu itakuwa na component ya Watendaji na kata ngapi kwa sababu utaongeza mambo mengine ndani ya kata.
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge ______
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _________________ MAJADILIANO YA BUNGE _________________ MKUTANO WA ISHIRINI Kikao cha Ishirini na Saba - Tarehe 9 Julai, 2010 (Mkutano ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Anna S. Makinda) Alisoma Dua HATI ZlLIZOWASILISHWA MEZANI: Hati Zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI: Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Nishati na Madini kwa Mwaka wa Fedha, 2010/2011. MHE. WILLIAM H. SHELLUKINDO - MWENYEKITI WA KAMATI YA NISHATI NA MADINI: Taarifa ya Kamati ya ya Nishati na Madini Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka wa Fedha 2009/2010 Pamoja na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2010/2011. MHE.SAVELINA S. MWIJAGE (K.n.y. MSEMAJI MKUU WA KAMATI YA UPINZANI KUHUSU WIZARA YA NISHATI NA MADINI): Taarifa ya Msemaji wa Mkuu wa Kambi ya Upinzani Kuhusu Makadiro ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka wa Fedha 2010/2011. NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI (MHE. MWANTUMU BAKARI MAHIZA): 1 Randama za Makadiro ya Matumizi ya Wizara ya Elimu na Mfunzo ya Ufundi kwa Mwaka wa Fedha 2010/2011. NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI (MHE. OMAR YUSSUF MZEE): Taarifa ya Majumuisho ya Mpango Mkakati wa Kujibu Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Hesabu za Wizara, Idara za Serikali na Mikoa kwa Mwaka wa Fedha 2008/2009. MASWALI NA MAJIBU Na. 191 Kuhusu Barabara ya Makutupa Bumila Jimbo la Mpwapwa MHE. GEOREGE M.
    [Show full text]
  • Issued by the Britain-Tanzania Society No 106 Sept - Dec 2013
    Tanzanian Affairs Text 1 Issued by the Britain-Tanzania Society No 106 Sept - Dec 2013 The Race for the State House President Obama’s Visit Surprises in Draft Constitution Tanzania in a Turbulent World Shangaa - Art Surprising the US Newspaper cover featuring twelve people said to be eying the Presidency. cover photo: Shirt celebrating the visit of President Obama to Tanzania. New cover design - we are trying a new printer who offers full colour. Comments welcome, and please send photos for future covers to [email protected] David Brewin: THE RACE FOR STATE HOUSE Americans usually start campaigning for the next election contest almost immediately after the completion of the previous one. Tanzania seems to be moving in the same direction. Although the elections are not due until late 2015, those aspirants who are considering standing for the top job are beginning to quietly mobilise their support. Speculation is now rife in political circles on the issue of who will succeed President Kikwete. Unlike some of his opposite numbers in other states, notably Zimbabwe, he is expected to comply with the law and retire at the end of his second term as all his predecessors have done. A number of prominent figures are expected to compete in the elections. One factor which could become crucial is a long established ‘under- standing’ that, if the president is a Muslim, as is President Kikwete, his successor should be a Christian. President Nyerere was a Catholic, former President Mwinyi is a Muslim and President Mkapa is also a Catholic. As both the Christian presidents have been Catholics the large Protestant community might be wondering when its time will come.
    [Show full text]
  • Majadiliano Ya Bunge Mkutano Wa Kumi Na Mbili
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _______________ MAJADILIANO YA BUNGE _______________ MKUTANO WA KUMI NA MBILI Kikao cha Arobaini na Saba – Tarehe 18 Agosti, 2008 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Naibu Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati zifuatazo ziliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA: Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2008/2009. MHE. WILSON M. MASILINGI - MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA: Taarifa ya Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kuhusu utekelezaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha uliopita, pamoja na maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2008/2009. MHE. SAVELINA S. MWIJAGE (K.n.y. MHE. MASOUD ABDALLAH SALIM - MSEMAJI WA KAMBI YA UPINZANI WA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA): 1 Taarifa ya Msemaji wa Kambi ya Upinzani kuhusu utekelezaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga kwa Mwaka wa Fedha uliopita, pamoja na maoni ya Upinzani kuhusu Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2008/2009. MASWALI NA MAJIBU Na. 407 Malipo ya Watendaji Katika Uandikishaji wa Wapiga Kura MHE. SIJAPATA F. NKAYAMBA aliuliza:- Kwa kuwa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura lilianzishwa nchini kote na Walimu pamoja na watendaji ndio waliohusika katika zoezi la uandikishaji na kwa kuwa kazi ilifanyika kwa mwezi mmoja lakini malipo yalitolewa nusu (laki nne tu) na kwa kuwa baadhi
    [Show full text]
  • Hii Ni Nakala Ya Mtandao (Online Document)
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA _________________ MAJADILIANO YA BUNGE _________________ MKUTANO WA NNE Kikao cha Arobaini – Tarehe 4 Agosti, 2011 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Spika (Mhe. Anne S. Makinda) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati ifuatayo iliwasilishwa Mezani na:- NAIBU WAZIRI WA KAZI NA AJIRA: Randama ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Kazi na Ajira kwa Mwaka wa Fedha 2011/2012. SPIKA: Waheshimiwa Wabunge, kwa mujibu wa Kanuni ya 38, Waziri Mkuu anaweza kuulizwa maswali na Mbunge yeyote ambaye atazingatia masharti kuhusu maswali ya Bunge pamoja na mwongozo uliowekwa na Nyongeza ya 6 ya Kanuni hii. Maswali atakayoulizwa Waziri Mkuu, hayatakuwa na taarifa ya awali kama maswali yenyewe. Kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu kitakuwa ni Siku ya Alhamisi kwa dakika 30, lakini chini ya kifungu kidogo cha (4) kinasema, Waziri Mkuu anaweza kutumia kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu, kutoa taarifa au ufafanuzi kuhusu suala lolote linalohusiana na shughuli za Serikali na lenye maslahi kwa umma, kwa muda usiozidi dakika kumi ikifuatiwa na maswali kwa Wabunge kwa dakika 20 kuhusu taarifa yoyote na maswali mengine ya Serikali. Kwa hiyo, ninamuita Waziri Mkuu. WAZIRI MKUU: Mheshimiwa Spika, ninaomba nikushukuru sana kwa kunipa fursa hii ili niweze kutoa taarifa fupi kwa mujibu wa Kanuni uliyoieleza sasa hivi. Taarifa hiyo ni matokeo ya mjadala wa Bajeti ya Uchukuzi, ambayo ilikuwa na mambo mengi. Nimeona nitumie fursa hii niweze kutoa ufafanuzi wa mambo yafuatayo:- Awali ya yote, ninapenda kutumia fursa hii kumshukuru sana Mheshimiwa Peter Serukamba, Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu na Mheshimiwa Mhonga Said Ruhwanya, Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani kwa Wizara ya Uchukuzi na Waheshimiwa Wabunge wote, waliochangia kwa maandishi na kwa kuzungumza kwenye majadiliano ya Wizara hii ya Uchukuzi yanayoendelea hapa Bungeni.
    [Show full text]
  • Hii Ni Nakala Ya Mtandao (Online Document)
    Hii ni Nakala ya Mtandao (Online Document) BUNGE LA TANZANIA ___________________ MAJADILIANO YA BUNGE ____________________ MKUTANO WA NNE Kikao cha Thelathini na Nne – Tarehe 27 Julai, 2011 (Mkutano Ulianza Saa Tatu Asubuhi) D U A Mwenyekiti (Mhe. Sylvester Massele Mabumba) Alisoma Dua HATI ZILIZOWASILISHWA MEZANI Hati Zifuatazo Ziliwasilishwa Mezani na:- WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI: Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha, 2011/2012. NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI: Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi kwa Mwaka wa Fedha, 2011/2012. MWENYEKITI WA KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI: Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji Kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Maendeleo ya Kilimo na Uvuvi kwa Mwaka 2010/2011 Pamoja na Maoni ya Kamati Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2011/2012. MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI KUHUSU WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI: Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani juu ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2011/2012. MASWALI NA WAJIBU Na. 312 Kuimarisha Barabara ya Mpopera – Mkarongo – Kipatimu MHE. MURTAZA A. MANGUNGU aliuliza:- Kata ya Kandawale ni kisiwa ambapo mvua zinanyesha na hakuna daraja kwenye Mto Matandu la kuunganisha Njinjo na Kandawale. 1 Je, Serikali i na mpango gani wa kuimarisha barabara ya Wilaya ya Mpopera – Mkarongo – Kipatimu ambapo Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa iliomba fedha za ziada kwa ajili ya hiyo miaka sita iliyopita.
    [Show full text]