Halmashauri Ya Wilaya Ya Longido Kumb. Na. Hw/Long/T
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO Barua zote ziandikwe kwa S.L.P 84 Mkurugenzi Mtendaji Wilaya. LONGIDO, Simu No. 027-2539603/2 MKOA WA ARUSHA. Fax: No. 027 -2539603 Unapojibu tafadhali taja: KUMB. NA. HW/LONG/T/23 16/08/2017 Mh. Mwenyekiti, Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Longido. YAH: TAARIFA YA UTEKELEZAJI SHUGHULI ZA HALMASHAURI KWA MWAKA2016/ 2017 ELIMU MSINGI Katika kipindi cha mwaka 2016/2017 Idara imefanya mambo yafuatayo: 1. Kufuatilia ukamilishwaji wa miundombinu inayoendelea shuleni. 2. Kutoa mafunzo ya kuwajengea uwezo walimu. Uendeshaji wa mtihani wa MOCK – Mkoa kwa darasa la VII-2017 3. Kusimamia na kufuatilia zoezi la upigaji picha kwa wanafunzi wa darasa VII. 4. Uandaaji na ukusanyaji wa Takwimu za uandikishaji na kuziingiza kwenye mfumo 5. Kutoa huduma ya afya kwa wanafunzi shuleni. 6. Uendeshaji wa michezo ya UMITASHUMTA ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa. 7. Kufuatilia utendaji kazi wa walimu na utoaji wa taaluma shuleni. 8. Kufuatilia mashauri ya kinidhamu kwa walimu. TAARIFA YA UTEKELEZAJI 2016/2017 ELIMU MSINGI SHUGHULI/MI MPANGO UTEKELEZAJI % YA FEDHA FEDHA % YA MAONI/CHANGAMOT RADI /LENGO UTEKEL ZILIZ ZILIZOTU MATUMIZI O EZAJI OPAN MIKA GWA Kufatilia Kuboresha Miradi ya ujenzi wa 85% Kushidwa kuitembelea ukamilishwaji wa mazingira ya vyumba vya madarasa miradi kwa wakati miundombinu kufundishia na (Ranch-5, Oltepes-2) iko kutokana Idara kukosa inayoendela kujifunzia. katika hatua mbalimbali fedha za ufuatiliaji shuleni. za ujenzi. (Diesel). Nyumba 2 za walimu s/m Olmotii na madarasa Naborsot vimekamilika. Kutoa mafunzo Kuimarisha uwezo Walimu 20 wa somo la 100% - Namna ya kuweza ya kuwajengea wa kiutendaji kwa hisabati wamepatiwa kuwajengea uwezo uwezo walimu. walimu. mafunzo yaliyofadhiliwa walimu wengi zaidi na Chama Cha Walimu kutokana na ufinyu wa kwa kushirikiana na bajeti. H/W Uendeshaji wa Kufanya tathimini Mtihani umefanyika 100% - - Kutokuwa na fedha mtihani wa MOCK ya maendeleo yao vizuri kama uendeshaji wa mitihani – Mkoa kwa kitaaluma kabla ulivyopangwa (tar.6-7 hiyo (Mock). darasa la VII- ya kufanya juni 2017).Jumla ya 2017. mtihani wa shule 43 zenye jumla ya kuhitimu Elimu ya wanafunzi 1763 Msingi mwezi Sept zimefanya mtihani huo. 2017. Kusimamia na Kuwatambua Wanafunanzi (1763) 100% - - -Utoro kwa baadhiya kufuatilia zoezi la watahiniwa wa wanaostahili kufanya wanafunzi umeathiri upigaji picha wanaotarajiwa mtihani wamepigwa zoezi kwa kulifanya kwa wanafunzi kufanya mtihani picha kwa ajili ya lichukue muda mrefu wa darasa VII wa wa kuhitimu kwaandalia TSM9. kuwafuatilia. Elimu ya Msingi kwa 2017. Uandaaji na Kupata takwimu Zoezi limefanyika vizuri 100% Zoezi kuchukua muda 2 ukusaji wa halisi za na kukamilika kwa mrefu kutokana na Takwimu za wanafunzi wote wakati. Jumla ya mfumo (network) uandikishaji na shuleni. wanafunzi 21,826 kwa kutokuwa imara. kuziingiza kwenye shule za serikali na mfumo. wanafunzi 1,349 kwa shule za binafsi wameingizwa kwenye mfumo SHUGHULI/ MPANGO /LENGO UTEKELEZAJI % YA FEDHA FEDHA % YA MAONI/CHANGAM MIRADI UTEKELEZA ZILIZOPAN ZILIZOTUMI MATUMI OTO JI GWA KA ZI Kutoa huduma Kutoa dawa za kinga Watoto 22,732 kati ya 92% 33,504,780.00 33,504,780.00 100% Zoezi hili limefanywa ya afya kwa ya minyoo na 24,393 wamepatiwa kwa ushirikiano kati ya wanafunzi kichocho kwa dawa, zoezi Idara za Elimu, Afya shuleni. wanafunzi wote limeendeshwa kwa na Wizara ya Afya kuanzia umri wa ushirikiano na Idara Jinsia na Watoto miaka 5-14. ya Afya. Kunyunyuzia dawa ya Shule za Sinya, Zoezi hili limefadhiliwa kuua wadudu Longido na na Mhisani (CASEC) (kunguni) kwa shule Ketumbeine - - - kwa kushirikiana na za bweni zimepatiwa huduma Halmashauri. hii. Uhamasishaji na Shule 43 za msingi ufuatiliaji wa zimetembelewa na - - - -do- matumizi sahihi ya elimu imetolewa vyoo shuleni. Uhamasishaji wa Magodoro 354 uchangaji wa yamepatikana kutoka mgodoro kwa shule kwa wadau ya Msingi Sinya. mbalimbali. -do- Uhamasishaji - - - umefanywa kwa ushirikiano kati ya H/W na kamati ya 3 ulinzi na Usalam 1. Kusambaza vifaa vya Vifaa vya kujifunzia 100% Vifaa vimetolewa na ufundishaji /ujifunzaji kwa wanafunzi wenye Wizara ya Elimu kwa wanafunzi mahitaji maalum - - - (WEMU) wenye mahitaji vimesambazwa kwa maalum. shule ya msingi Longido na Sekondari ya Longido SECTA SHUGHULI/MI MPANGO UTEKELEZAJI % YA FEDHA FEDHA % YA MAONI/CHANGA RADI /LENGO UTEKELEZ ZILIZOPANG ZILIZOTUMI MATUMIZ MOTO AJI WA KA I Uendeshaji wa Kushiriki Kuibua vipaji 85% 14,981,910.00 9,742,820.00 65% -Kushidwa kupeleka michezo ya mashindano ya katika michezo washiriki wengi UMITASHUMTA. UMITASHUMT mbalimbali, ngazi ya Mkoa A ngazi ya kuitambua na kutokana na uhaba Kata hadi Taifa kuviendeleza. wa fedha. kuanzia mwezi April-Juni 2017 Kufuatilia Kufuatilia Kata za 45% 252,000 (dizel) 252,000 100% Ziara inaendelea utendaji kazi Taaluma Tingatinga, (dizel) kwa kata zilizobaki kwa walimu Shuleni Sinya, Ketumbeine Longido, Gelai Merugoi na Matale zimetembelewa. Kuatilia Kuimarisha Mashauri ya 100% 3,360,000 - - Taratibu za mashauri ya nidhamu ya walimu 8 kuwarejeshwa kinidhamu kazi kwa yamefanyiwa watumishi hao walimu watumishi kwa maamuzi kwao zimekamilika. kuzingatia haki na wajibu IDARA YA UJENZI 4 Idara ya Ujenzi pamoja majukumu mengine katika kipindi cha mwaka 2016/2017 ilitekeleza shughuli zifuatazo:- i. Kusimamia matengenezo ya Miradi ya barabara mwaka wa fedha 2016/2017. ii. Kuandaa gharama za ujenzi wa Kituo cha afya Ketumbeine. iii. Kusimamia ujenzi wa soko la Mifugo katika kijiji cha Eworendeke. iv. Kusimamia ujenzi wa Jengo la X-Ray kituo cha Afya Longido. i. Matengenezo ya barabara:- Kazi za matengenezo ya barabara kwa mwaka wa fedha 2016/2017 zilisaininiwa mnamo tarehe 18/04/2017 ambapo mikataba ilianza kutekelezwa rasmi mnamo tarehe 01/05/2017,Wakandarasi wote walioshinda zabuni walielekezwa kutekeleza miradi kwa kuzingatia mkataba, aidha wakandarasi wote watano walianza utekelezaji wa miradi ndani ya muda waliopewa. Hadi hivi sasa wakandarasi bado wanaendelea na kazi ambapo malipo yenye jumla ya Tsh 334,756,697.00 hadi kufikia tarehe 30 June 2017,yamefanyika, Aidha fedha kiasi cha Tsh 232,306,699.42 Bado kilikuwa hakijapokelewa hata hivyo halmashauri ilipokea barua yenye Kumbukumbu Na.CA.228/235/01 ya tarehe 29/06/2017 ikiwa na maelekezo ya kusitisha Malipo kwa shughuli zinazoendelea vile vile kurudisha fedha zote za Miradi ya barabara katika akaunti ya Road Fund hii ni kutokana na Uanzishwaji wa Taasisi ya Wakala wa barabara Mijini na vijijini ambayo ndiyo itakuwa na wajibu wa kuratibu na kusimamia shughuli zote za barabara ndani ya Wilaya ya Longido. ii. Ofisi ya Mtendaji Ketumbeine waliwasilisha maombi ya kuandaliwa gharama za ujenzi wa Kituo cha Afya ili kutafuta Michango ya ujenzi kwa Wadau mbalimbali,Ofisi ya Mhandisi ilitembelea eneo la ujenzi na kuandaa Makisio ya ujenzi wa Jengo la OPD yenye jumla ya Tsh 242,022,530.00 iii. Idara imeendelea na usimamizi wa Mradi wa Soko la Mifugo Eworendeke (MIVARF) ambapo katika kipindi cha April-June Majengo yote yalikuwa katika hatua ya umaliziaji (Finishing) Hivi sasa Mkandarasi anaendelea na ujenzi wa mashimo ya maji taka,uwekaji wa mfumo wa umeme,na Ujenzi wa mazizi ya Mifugo pamoja na uchimbaji wa Maji unatarajiwa kuanza wiki ya kwanza ya mwezi Agosti. iv. Idara imesimamia ujenzi wa Jengo la X-Ray ambapo hivi sasa Jengo limekwishapauliwa fundi anaendelea na kazi ya kufitisha madirisha na Milango. Changamoto: ➢ Uhaba wa Maji katika maeneo ya utekelezaji wa Miradi hali inayoweza kupelekea miradi kutokukamilika kwa wakati. ➢ Uhaba wa watumishi katika idara ya ujenzi. ➢ Uhaba wa vitendea kazi [Mchanganuo wa miradi: Tazama kiambatisho ‘A’; Kurasa zinazofuata] 5 KIAMBATISHO: ‘A’ % % YA FEDHA YA FEDHA FEDHA MIRADI/ UTEK ILIYOIDH MA CHANGA MPANGO/LENGO UTEKELEZAJI ILIYOTOLEW ILIYOTUMIKA SHUGHULI ELE INI TU MOTO/ MAONI A HADI SASA ZAJI SHWA MI ZI 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Matengenezo • Kuweka ya kawaida Changarawe • Changarawe barabara ya 585m3 barabara zimewekwa Longido - ya Kitumbeine mita za ujazo Lesing'ita – Jct- 3880. Mairouwa,ma G.Lumbwa,1800 • Barabara tengenezo ya m3 barabara ya zimechongwa sehemu Longido- mchongo korofi Lesing’ita- mwepesi barabara ya Mairouwa na umbali wa Lesing’ita 1495 m3 kilomita 21.5 Mundarara barabara ya • Barabara -Uhaba wa maji katika na ujenzi wa Lesing’ita - zimechongwa eneo la utekelezaji wa Gabions Mundarara. mchongo mradi. 200,610,62 daraja la • Kuchonga mkubwa 80% 124,487,320.72 100,497,930.00 50 -Kuchelewa kwa fedha 0 Mundarara. mchongo (Heavy za mradi kutoka Road mwepesi (Light grading) Fund. grading) umbali umbali wa wa km 20.5 kilometa 8 barabara ya • Mitaro ya Longido- kutolea maji Lesing’ita- imechimbwa Mairouwa na Km 1 barabara ya Kitumbeine Jct- G.Lumbwa. • Kujenga mitaro ya kutolea maji barabarani 6 • Kujengea Gabions kingo za mto Daraja la Mundarara 84m3. • Kujaza kifusi na kujengea Gabions eneo korofi eneo la Ortinga. • Kuchonga barabara mchongo mkubwa km 5.5 barabara ya Longido- Lesing’ita - Mairouwa • • Kuchimba mifereji ya kutolea maji barabarani. • Kujenga Culvat mita 9. • Kuzibua kalvati 4 zilizoziba Matengenezo • Kuchonga • Barabara ya muda barabara imechongwa maalum mchongo urefu wa barabara ya Mkubwa km 5.5 kilometa 5.5 Mairouwa • Kuweka • Kifusi -Uhaba wa maji katika Sinonik. changarawe kimewekwa eneo la utekelezaji wa ujazo wa mita za barabarani mradi. 110,856,28 ujazo 3325. chenye ujazo 80 109,716,950.70 85,229,630.00 77 -Kuchelewa kwa fedha 0.00 • Kuchimba mitaro wa mita za za mradi kutoka Road ya kutolea maji ujazo 3325. Fund. barabarani mita • Ujenzi wa 900 kalvati • Kujenga culverts unaendelea. zenye urefu jumla mita 41. 7 • Kuchonga • Barabara Matengenezo barabara imechongwa ya muda mchongo mchongo maalum mkubwa urefu wa mkubwa urefu barabara ya km 15.5 wa kilomita Mairouwa • Kuweka 15.5 -Uhaba wa maji katika Matale changarawe • Changarawe eneo la utekelezaji wa Emurtoto barabarani mita imewekwa mradi. 175,825,19 za ujazo 5204. urefu wa 75 144,249,355.70 119,762,035.00 68 -Kuchelewa kwa fedha 2.00 • Kujenga Drift kilometa 6 za mradi kutoka Road (Kivuko) urefu wa • Ujenzi wa drift Fund. ukubwa wa na kazi 30x5.5 nyingine bado • Kuchimba mitaro zinaendelea.