Ofisi Ya Taifa Ya Takwimu Wizara Ya Fedha Na Uchumi Dar Es Salaam
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Taifa ya Takwimu Wizara ya Fedha na Uchumi Dar Es Salaam Aprili, 2010 RAMANI YA TANZANIA MAKADIRIO YA IDADI YA WAPIGA KURA KWA MKOA, 2010 Yaliyomo Maelezo Ukurasa. Dibaji .......................................................................................................iii Muhtasari .......................................................................................................iv Jedwali Na 1: Idadi ya Watu kwa Eneo la Kilomita za Mraba na Makadirio ya Idadi ya Watu kwa Mkoa, 2010.........................1 Jedwali Na 2: Idadi ya Majimbo, Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura na Wapiga Kura Wapya kwa Mkoa, 2010 ............................2 Jedwali Na 3: Asilimia na Idadi ya Makadirio ya Wapiga Kura na Wapiga Kura Wapya kwa Mkoa, 2010.....................................4 Jedwali Na 4: Asilimia ya Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura na Wapiga Kura Wapya kwa Mkoa, 2010......................................5 Jedwali Na 5: Idadi ya Majimbo na Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura kwa Wilaya, 2010.....................................................8 Jedwali Na 6: Makadirio ya Idadi yaWapiga Kura Wapya kwa Wilaya, 2010 ................................................................................12 Jedwali Na 7: Makadirio ya Idadi yaWapiga Kura kwa Majimbo, 2010.............16 Jedwali Na 8: Asilimia na Idadi ya Makadirio ya Wapiga Kura kwa Majimbo, 2010..............................................................................................22 Jedwali Na 9: Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura kwa Kata, 2010...................34 Jedwali Na10: Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Wapya kwa kata, 2010............................................................................108 Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Orodha ya Maumbo Umbo Na 1: Idadi ya Majimbo kwa Mkoa, 2010................................................... 3 Umbo Na 2: Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura kwa Mkoa , 2010................................................................................................... 6 Umbo Na 3: Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Wapya kwa Mkoa, 2010 ....................................................................................... 7 Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Dibaji Kitabu cha Makadirio ya Idadi ya Wapiga kura, katika Majimbo ya Uchaguzi Tanzania Bara kwa mwaka 2010 ni moja kati ya taarifa nyingi zinazotolewa kutokana na uchambuzi wa taarifa za Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2002. Takwimu hizi zimetolewa katika ngazi ya Mkoa, Wilaya na Kata. Makadirio haya yametokana na Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika nchini mwaka 2002. Taarifa hii itawafaa sana Waheshimiwa Wabunge, Ofisi ya Bunge, Maafisa Mipango na wanaohusika na utayarishaji wa mipango ya maendeleo na uchumi katika maeneo mbali mbali. Taarifa hii, vilevile itaweza kusaidia Tume ya Taifa ya Uchaguzi kujua idadi halisi ya watu katika majimbo ya uchaguzi. Napenda kutumia nafasi hii kutoa shukrani kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mfuko wa Idadi ya Watu (UNFPA) kwa kuwezesha matayarisho na uchapaji wa kitabu hiki. Shukurani pia ziwaendee wataalamu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kwa msaada mkubwa wa kiufundi walioutoa wakati wa matayarisho ya kitabu hiki. Napenda kutoa shukrani za pekee kwa wafuatao kwa kushiriki katika utayarishaji na uandishi wa kijitabu hiki:- Prof. I. Ngalinda, Prof. M.J. Mbonile, Bw. N. Mbalilaki, Bw. I. Ruyobya, Bi. A. Chuma, Bw J. Mwaisemba, Bw David Danda na Bw Adolf Kinyero. Nakaribisha maoni yoyote kuhusu kitabu hiki pamoja na taarifa nyingine zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu. Maoni hayo yapelekwe kwa Mkurugenzi Mkuu, Ofisi ya Taifa ya Takwimu, S.L.P 796 Dar es Salaam, Barua pepe [email protected] . au Tovuti www.nbs.go.tz Albina A. Chuwa Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dar es Salaam Aprili, 2010 Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Muhtasari Kijitabu hiki kinatoa Takwimu za idadi ya wapiga kura katika majimbo ya uchaguzi Tanzania Bara kwa mwaka 2010. Takwimu hizi zimetolewa kwa Mkoa, Wilaya, Jimbo la Uchaguzi na Kata. Makadirio ya Idadi ya wapiga kura imezingatia idadi ya watu wenye umri wa miaka 18 na zaidi. Aidha, wapiga kura wapya ni wale wenye umri wa miaka 18 – 22. Inakadiriwa kuwa mwaka 2010 Tanzania Bara utakuwa na wapiga kura 20,445,725 . kati ya hao wapiga kura wapya ni 4,425,246 . Tanzania bara una jumla ya majimbo 182, Mkoa za Mwanza una idadi kubwa ya majimbo 13 katika Wilaya ya Geita, ina majimbo matatu, huku wilaya za Magu, Kwimba na Sengerema zina majimbo mawili kila moja, wilaya za Ukerewe, Nyamagana, misungwi na Ilemela zikiwa na jimbo moja moja. Asilimia ya watu wenye umri wa kupiga kura za wabunge katika mwaka 2010 inatofautiana kutoka jimbo moja la uchaguzi hadi jingine. Mkoa wa Dar Es Salaam una asilimia kubwa zaidi ya watu wenye umri wa kupiga kura (8.7 %) na mkoa wa Lindi una asilimia ndogo zaidi ya watu wenye umri wa kupiga kura (2.5%). Asilimia ya watu wanaostahili kupiga kura za wabunge inatofautiana kutoka wilaya hadi wilaya. Wilaya ya Mafia mkoa wa Pwani ina asilimia ndogo ya watu wanaostahili kupiga kura za Wabunge (0.12%) na wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es salaam ina asilimia kubwa zaidi ya wapiga kura za wabunge (3.9%) . Jimbo la Ukonga katika wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar Es Salaam linakadiriwa kuwa na idadi kubwa ya watu (366,495) na jimbo la uchaguzi la Mafia lililoko wilaya ya Mafia mkoa wa Pwani linakadiriwa kuwa na idadi ndogo ya watu (25,049). Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Jedwali Na 1: Idadi ya Watu kwa Eneo la Kilomita za Mraba na Makadirio ya Idadi ya Watu kwa Mkoa, 2010 Makadirio ya Idadi Idadi ya Watu Eneo la Kilomita ya Watu Mwaka Kwa Eneo la Mkoa za Mraba 2010 Kilomita Mraba Dodoma 42,385 2,111,764 50 Arusha 38,743 1,664,780 43 Kilimanjaro 13,219 1,635,870 124 Tanga 28,131 1,966,909 70 Morogoro 68,758 2,115,275 31 Pwani 31,676 1,062,574 34 Dar Es Salaam 1,631 3,118,133 1912 Lindi 66,222 923,608 14 Mtwara 17,804 1,323,567 74 Ruvuma 64,228 1,375,017 21 Iringa 60,992 1,737,382 28 Mbeya 58,782 2,662,156 45 Singida 49,093 1,367,481 28 Tabora 77,569 2,349,374 30 Rukwa 68,207 1,503,184 22 Kigoma 40,204 1,814,158 45 Shinyanga 50,850 3,841,787 76 Kagera 29,990 2,563,870 85 Mwanza 19,404 3,566,263 184 Mara 21,540 1,822,866 85 Manyara 45,762 1,388,295 30 Jumla 895,189 41,914,313 47 Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Jedwali Na 2: Idadi ya Majimbo, Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura na Wapiga Kura Wapya kwa Mkoa, 2010 Idadi ya Wapiga kura Wapiga kura Wapya Idadi ya Mkoa Majimbo Jumla Me Ke Jumla Me Ke Dodoma 9 1,032,372 491,901 540,471 209,476 106,767 102,709 Arusha 7 831,827 404,205 427,622 157,083 79,313 77,770 Kilimanjaro 9 912,542 433,117 479,425 198,638 99,923 98,715 Tanga 11 1,031,239 487,479 543,760 215,371 109,607 105,764 Morogoro 10 1,122,583 556,325 566,258 212,276 107,438 104,838 Pwani 9 562,373 274,746 287,627 103,375 53,213 50,162 D'Salaam 7 1,786,290 903,772 882,518 252,143 121,503 130,640 Lindi 8 508,193 238,854 269,339 169,704 83,037 86,667 Mtwara 7 731,444 337,845 393,599 354,875 167,081 187,794 Ruvuma 6 710,579 341,971 368,608 137,906 68,675 69,231 Iringa 11 921,054 429,315 491,739 200,914 100,379 100,535 Mbeya 11 1,275,389 600,507 674,882 258,049 127,866 130,183 Singida 7 668,697 319,047 349,650 145,771 74,427 71,344 Tabora 9 1,000,091 485,084 515,007 208,192 106,015 102,177 Rukwa 7 668,817 321,264 347,553 145,433 72,299 73,134 Kigoma 7 768,797 352,858 415,939 170,977 84,878 86,099 Shinyanga 11 1,650,632 787,945 862,687 359,476 179,200 180,276 Kagera 10 1,155,770 564,660 591,110 249,312 126,160 123,152 Mwanza 13 1,659,641 815,313 844,328 365,918 182,892 183,026 Mara 7 813,330 376,482 436,848 182,393 91,626 90,767 Manyara 6 634,065 325,380 308,685 127,964 66,054 61,910 Jumla 182 20,445,725 9,848,070 10,597,655 4,425,246 2,208,353 2,216,893 Asilimia 100.0 48.2 51.8 100.0 49.9 50.1 Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Umbo Na 1: Idadi ya Majimbo kwa Mkoa, 2010 Mkoa wa Mwanza unaongoza kwa idadi kubwa ya majimbo ya uchaguzi wa wabunge ukifuatwa na Shinyanga, Mbeya, Iringa,na Tanga na mkoa wa mwisho ni Kusini Unguja. Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Jedwali Na 3: Asilimia na Idadi ya Makadirio ya Wapiga Kura na Wapiga Kura Wapya kwa Mkoa, 2010 Asilimia Asilimia Idadi ya Wapiga Mkoa Wapiga Kura Me Ke Kura Wapya Me Ke Dodoma 1,032,372 47.6 52.4 209,476 51.0 49.0 Arusha 831,827 48.6 51.4 157,083 50.5 49.5 Kilimanjaro 912,542 47.5 52.5 198,638 50.3 49.7 Tanga 1,031,239 47.3 52.7 215,371 50.9 49.1 Morogoro 1,122,583 49.6 50.4 212,276 50.6 49.4 Pwani 562,373 48.9 51.1 103,375 51.5 48.5 D'Salaam 1,786,290 50.6 49.4 252,143 48.2 51.8 Lindi 508,193 47.0 53.0 169,704 48.9 51.1 Mtwara 731,444 46.2 53.8 354,875 47.1 52.9 Ruvuma 710,579 48.1 51.9 137,906 49.8 50.2 Iringa 921,054 46.6 53.4 200,914 50.0 50.0 Mbeya 1,275,389 47.1 52.9 258,049 49.6 50.4 Singida 668,697 47.7 52.3 145,771 51.1 48.9 Tabora 1,000,091 48.5 51.5 208,192 50.9 49.1 Rukwa 668,817 48.0 52.0 145,433 49.7 50.3 Kigoma 768,797 45.9 54.1 170,977 49.6 50.4 Shinyanga 1,650,632 47.7 52.3 359,476 49.9 50.1 Kagera 1,155,770 48.9 51.1 249,312 50.6 49.4 Mwanza 1,659,641 49.1 50.9 365,918 50.0 50.0 Mara 813,330 46.3 53.7 182,393 50.2 49.8 Manyara 634,065 51.3 48.7 127,964 51.6 48.4 Jumla 20,445,725 48.2 51.8 4,425,246 49.9 50.1 Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Jedwali Na 4: Asilimia ya Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura na Wapiga Kura Wapya kwa Mkoa, 2010 Asilimia Mkoa Wapiga Kura Wapiga Kura Wapya Dodoma 5.0 4.7 Arusha 4.1 3.5 Kilimanjaro 4.5 4.5 Tanga 5.0 4.9 Morogoro 5.5 4.8 Pwani 2.8 2.3 D'Salaam 8.7 5.7 Lindi 2.5 3.8 Mtwara 3.6 8.0 Ruvuma 3.5 3.1 Iringa 4.5 4.5 Mbeya 6.2 5.8 Singida 3.3 3.3 Tabora 4.9 4.7 Rukwa 3.3 3.3 Kigoma 3.8 3.9 Shinyanga 8.1 8.1 Kagera 5.7 5.6 Mwanza 8.1 8.3 Mara 4.0 4.1 Manyara 3.1 2.9 Jumla 100.0 100.0 Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura Tanzania Bara, 2010 Umbo Na 2: Makadirio ya Idadi ya Wapiga Kura kwa Mkoa, 2010 Mkoa wa Dar Es Salaam unaongoza kuwa na idadi ya Wapiga Kura wengi ukifuatiwa na Mwanza, Shinyanga na mkoa wa mwisho ni Lindi.