UTUMISHI News Toleo Na.11 Januari-Juni, 2020

“Nataka nchi ya watu wenye nidhamu, wanaopendana na wachapa kazi, kila atakayepewa kazi aitekeleze ipasavyo” Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa , Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli HABARI KWA UFUPI; Mawaziri wenye Sweden dhamana ya Utumishi na yaipongeza Utawala Bora Tanzania serikali ya Bara na Tanzania kwa wakutana kuzungumzia kufanya vizuri namna ya kuboresha katika mapambano utoaji wa huduma kwa dhidi ya Umma ...... uk.1 rushwa...... uk.4

Serikali kuwachukulia Rais Dkt. John hatua kali za Pombe Magufuli aagiza vijana wenye kinidhamu Watumishi Shahada ya kwanza watakaobainika waliohitimu mafunzo kujihusisha na rushwa ya JKT “Operesheni ya ngono...... uk.3 Magufuli” waajiriwe Serikalini...... uk.16 YALIYOMO uk.

1. Mawaziri wenye dhamana ya Utumishi na Utawala Bora Tanzania Bara na Zanzibar wakutana kuzungumzia namna CHUMBA CHA HABARI ya kuboresha utoaji wa huduma kwa Umma ...... 1-2 2. Serikali kuwachukulia hatua kali za kinidhamu Watumishi watakaobainika kujihusisha na rushwa ya ngono...... 3-4 Bodi ya Uhariri: 3. Sweden yaipongeza Tanzania kwa kufanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa...... 4-5 Dkt. Laurean Ndumbaro 4. Watumishi wa Umma watakiwa kufanya Dkt. Francis Michael kazi kwa kuzingatia weledi...... 6 Mary Mwakapenda 5. Taasisi za Umma zatakiwa kutekeleza mkakati James Mwanamyoto wa kitaifa dhidi ya rushwa ili kuboresha utoaji Happiness Shayo huduma kwa wananchi...... 7-8 Aaron Mrikaria 6. Taasisi za Umma nchini zatakiwa kuwapatia huduma ya usafiri Watumishi wa Umma wenye ulemavu...... 9 Dira 7. Watendaji serikalini watakiwa kufanya majadiliano na Vyama vya Wafanyakazi ili Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi kuimarisha ustawi wa watumishi...... 10 wa Umma na Utawala Bora kuwa Taasisi 8. Dkt. Ndumbaro amuelekeza DED Sengerema itakayowezesha kuwa na Utumishi wa kumfungulia mashtaka Bw. Boniventura Bwire aliyekuwa Umma uliotukuka kwa kutoa huduma bora mtumishi kwa kujipatia fedha kwa udanganyifu...... 11-12 kwa Umma na hivyo kuchangia katika 9. Ufuatiliaji na Tathmini serikalini ni chachu kukuza uchumi, kupunguza umaskini na ya utendaji kazi na uwajibikaji kwa kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania watumishi wa umma ...... 12-14 ifikapo mwaka 2025. 10. Taasisi za umma zapigwa marufuku kutumia kampuni binafsi katika masuala ya TEHAMA na badala yake zitumie Mamlaka ya Serikali Mtandao...... 14 Dhamira 11. Rais Dkt. John Pombe Magufuli aagiza vijana Kuhakikisha kuwa utumishi wa umma wenye Shahada ya kwanza waliohitimu mafunzo nchini unasimamiwa vizuri na kwa ufanisi ya JKT “Operesheni Magufuli” waajiriwe Serikalini...... 16-17 kupitia usimamizi wa rasilimaliwatu, mifumo na miundo ya kiutumishi 12. Miaka Minne ya JPM: Watumishi 2,940 wanufaika na ufadhili wa masomo nje ya nchi...... 18-19 13. Serikali yawasilisha Muswada Bungeni wa kuwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao ....20 14. Matukio katika picha...... 21-22

Jarida hili hutolewa na; Kitengo cha Mawasiliano Serikalini , Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, S.L.P 670, Dodoma, Barua Pepe:[email protected] Tovuti:www.utumishi.go.tz 1

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akifungua kikao kazi cha Mawaziri wenye dhamana ya masuala ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chenye lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi pamoja na kuimarisha muungano kilichofanyika jijini Dar es Salaam.

aziri wa Nchi, Kapt. (Mst), Mhe. George Naye, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, H. Mkuchika (Mb) amesema Ofisi ya Rais, Utumishi wa WMenejimenti ya pamoja na kujadili masuala Umma na Utawala Bora, Utumishi wa Umma na ya kuboresha huduma wa Serikali ya Mapinduzi Utawala Bora, Kapt. (Mst), pia kililenga kuimarisha ya Zanzibar Mhe. Haroun Mhe. George H. Mkuchika muungano ili kuwaenzi Ali Suleiman amesema (Mb) wa Serikali ya Jamhuri kwa vitendo waasisi wa wao kama mawaziri wenye ya Muungano wa Tanzania taifa letu Hayati Mwalimu dhamana ya Utumishi wa na Waziri wa Nchi, Ofisi Julius K. Nyerere na Sheikh Umma na Utawala Bora ya Rais, Utumishi wa Abeid Amani Karume. wanataka ushirikiano wa Umma na Utawala Bora taasisi zinazoshughulikia wa Serikali ya Mapinduzi Mhe. Mkuchika amefafanua masuala ya kiutumishi na ya Zanzibar, Mhe. Haroun kuwa, katika kikao utawala bora uendelezwe Ali Suleiman wamefanya kazi hicho wameweza kwa vitendo kwa ajili ya kikao kazi kujadili namna kubadilishana uzoefu wa manufaa ya wananchi. bora ya kuboresha utoaji namna ya kutoa huduma wa huduma kwa umma bora na kwa wakati kwa Mhe. Suleiman amesisitiza pamoja na kuimarisha wananchi wa pande kuwa, ushirikiano huu una Muungano ili uendelee zote mbili za muungano manufaa katika kuboresha kuwa na tija kwa wananchi. ambao ndio walengwa huduma zitolewazo na wakuu wa huduma taasisi za umma kwa Akifungua kikao kazi hicho, zinazotolewa na Serikali wananchi na una tija Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, ya Jamhuri ya Muungano katika kuongeza ufanisi Menejimenti ya Utumishi wa Tanzania na Serikali wa utendaji kazi wa wa Umma na Utawala Bora, ya Mapinduzi ya Zanzibar. Taasisi za Umma nchini. 2

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Mohammed Aboud akichangia hoja wakati wa kikao kazi cha Mawaziri wenye dhamana ya masuala ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chenye lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi pamoja na kuimarisha muungano, kilichofanyika jijini Dar es Salaam. iliyojengwa katika kikao bora kwa wananchi. Mhe. Suleiman amewataka kazi hicho inaimarishwa ili wajumbe wa kikao hicho, utekelezaji wake uwe wa Masuala yaliyojadiliwa kuhakikisha misingi vitendo na uweze kuwa katika kikao kazi hicho madhubuti ya kiutendaji chachu ya kutoa huduma ni; kudumisha ushirikiano katika masuala ya Ajira, Serikali Mtandao, Udhibiti wa rushwa, Usimamizi wa Maadili ya Viongozi, Mafunzo kwa Watumishi wa Umma, Utekelezaji wa Programu ya Maboresho ya Utumishi wa Umma, Maadhimisho ya Siku ya Utumishi wa Umma, Uandaaji wa Miundo na Mifumo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Haroun Ali Suleiman wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar akizungumza katika ya Taasisi na Utawala kikao kazi cha Mawaziri wenye dhamana ya masuala ya Utumishi wa Umma Bora kwa ujumla. na Utawala Bora wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chenye lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi pamoja na kuimarisha Muungano kilichofanyika jijini Dar es Salaam. 3 Serikali kuwachukulia hatua kali za kinidhamu Watumishi watakaobainika kujihusisha na rushwa ya ngono erikali haitosita kuwachukulia hatua Skali za kinidhamu Watumishi wa Umma watakaobainika kujihusisha na rushwa ya ngono katika maeneo yao ya kazi, kwani kitendo hicho kinadhalilisha na kushusha hadhi ya utumishi wa umma nchini.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst.), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) wakati wa kikao kazi chake Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi na Watumishi wa Umma wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. wa Halmashauri ya Wilaya Mkuchika (Mb) akizungumza na Watumishi wa Umma wilayani ya Tunduru kilichofanyika Tunduru wakati wa kikao kazi chake na watumishi hao chenye wilayani humo kwa lengo lengo la kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika wilayani humo. la kuhimiza uwajibikaji. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mhe. Julius Mtatiro “Inakuwaje Mwalimu nchini, ambaye alituhumiwa Mhe. Mkuchika ametoa kauli unaepaswa kuwa mfano na kubainika kuwaomba hiyo kufuatia baadhi ya bora wa kuigwa kimaadili rushwa ya ngono wanafunzi Walimu wa shule za msingi unataka rushwa ya ngono kwa wa kike ili waweze kufaulu wilayani Tunduru kushikiliwa mwanafunzi, kitendo hicho mitihani yao kwa upendeleo. na vyombo vya dola kwa kinamuathiri mwanafunzi kujihusisha na vitendo vya husika kitaaluma na “Wanafunzi wa kike wa chuo rushwa ya ngono jambo kisaikolojia,”Mhe. hicho waliandika barua ya ambalo halileti taswira nzuri Mkuchika amefafanua. malalamiko kwenye ofisi kwa umma, ikizingatiwa yangu na baada ya kuwahoji kuwa Walimu wana jukumu Mhe. Mkuchika ameongeza na kufanya uchunguzi wa kina la kuwalea wanafunzi kuwa, hivi karibuni ofisi yake kwa kushirikiana na vyombo katika maadili mema. imesitisha ajira ya Mhadhiri vya dola ikabainika kuwa ni mmoja wa chuo kikuu kweli hivyo akafukuzwa kazi,” Mhe. Mkuchika ameeleza.

Baadhi ya Watumishi wa Umma wilayani Tunduru wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha waziri huyo na watumishi hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika wilayani humo 4 Mhe.Mkuchika chake vibaya ili kujinufaisha Hayati Mwalimu Julius K. amewatahadharisha na rushwa ya ngono. Nyerere hadi Awamu hii ya Watumishi wa Umma Tano, inayoongozwa na Mhe. nchini kuwa Taasisi ya Aidha, Mhe. Mkuchika Dkt. John Pombe Magufuli Kuzuia na Kupambana na amesema nchi yetu ambaye amejipambanua Rushwa (TAKUKURU) iko imebahatika kuwa na viongozi kwa vitendo kwa kuanzisha kazini na ina utayari wa wenye utashi wa kupambana Mahakama ya Mafisadi kumshughulikia mtumishi na rushwa kuanzia Awamu na Wahujumu Uchumi. yeyote atakayetumia cheo ya Kwanza ya Baba wa Taifa,

Sweden yaipongeza Tanzania kwa kufanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa erikali ya wananchi limepewa Sweden kipaumbele kwani Simeipongeza wananchi wote Serikali ya Jamhuri wanahitaji huduma ya Muungano wa sawa bila ubaguzi Tanzania chini wa aina yoyote. ya uongozi wa Rais, Mhe. Dkt. Kwa upande wake, John Pombe Naibu Waziri, Ofisi Joseph Magufuli ya Rais, Menejimenti kwa kuongoza ya Utumishi wa nchi ikizingatia Umma na Utawala utawala bora Bora, Mhe. Dkt. Mary hususani katika Mwanjelwa (Mb) mapambano ameishukuru Serikali dhidi ya rushwa. ya Sweden kwa kutambua juhudi Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Pongezi hizo na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) na Balozi wa zinazofanywa na zimetolewa na Sweden nchini Tanzania, Mhe. Anders Sjoberg wakionyesha zawadi Serikali ya Awamu ya Balozi wa Sweden ya ramani ya Afrika yenye nembo ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tano kwenye eneo nchini Tanzania, Tanzania baada ya Balozi huyo kukabidhiwa zawadi hiyo na Naibu la utawala bora. Mhe. Anders Waziri kuonyesha ushirikiano mwema baina ya Tanzania na Sweden katika masuala ya utumishi wa umma wakati Balozi alipotembelea Sjoberg alipokuwa chuoni hapo kwa lengo la kubadilishana uzoefu kuhusu masuala “ Tunaishukuru akiwasilisha ya Utumishi wa Umma kwa nchi za Sweden na Tanzania. Serikali ya mada kuhusu Sweden kwa uzoefu wa nchi yake katika masuala ya kutambua jitihada za Serikali ya Awamu utumishi wa umma kwa wanafunzi na ya Tano kuimarisha utawala bora watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma nchini hasa katika mapambano dhidi ya Tanzania (TPSC) Kampasi ya Dar es Salaam. rushwa,” Mhe. Dkt. Mwanjelwa amesema.

Balozi Sjoberg amesema, katika nchi yao Aidha, katika eneo la uwajibikaji, Mhe. tatizo la rushwa halipo kabisa kwani Serikali Dkt. Mwanjelwa ametumia fursa hiyo iliongoza vyema mapambano dhidi ya rushwa, kuwasisitiza Watumishi wa Umma nchini hivyo ameipongeza Serikali ya Awamu ya Tano kuwahudumia wananchi vizuri na kwa wakati ya Tanzania inavyoendesha vizuri mapambano kama Serikali inavyosisitiza kila mara. dhidi ya rushwa kwa ajili ya maslahi ya umma na maendeleo ya taifa kwa ujumla. “Ukiwa Mtumishi wa Umma, tambua wazi kuwa wewe ndio injini kwani wananchi Katika mada yake, Mhe. Balozi Sjoberg wanahitaji huduma bora kutoka kwako, amefafanua kuwa, nchini Sweden suala hivyo unatakiwa muda wote uwahudumie la Watumishi wa Umma kuwajibika kwa wananchi kwa uadilifu na bila ubaguzi wa aina 5

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe. Anders Sjoberg wakishuhudia jinsi mashine ya kupiga chapa inavyofanya kazi mara baada ya Balozi kutembelea Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kwa lengo la kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya Utumishi wa Umma kwa nchi za Sweden na Tanzania. Wa kwanza kulia ni Mtendaji Mkuu na Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Dkt. Emmanuel Shindika mbili zimekuwa na uhusiano mzuri tangu utawala wa Serikali ya Awamu ya Kwanza na uhusiano huo umeendelea kushamiri hadi sasa kwenye utawala wa Serikali ya Awamu ya Tano.

“Uhusiano kati ya Sweden na Tanzania umeanza tangu mwaka 1970 walipojenga Chuo cha Utumishi wa Umma Tawi la Tabora kwa asilimia 80 na bado tumeendelea kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala na uhusiano mzuri,” Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe. Mhe. Dkt. Mwanjelwa Anders Sjoberg wakicheza wimbo unaosifu utendaji kazi wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia Awamu ya Kwanza mpaka sasa wa kwaya ya Chuo ameongeza. cha Utumishi wa Umma Tanzania wakati Balozi alipotembelea chuoni kwa lengo la kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya Utumishi wa Umma kwa nchi za Sweden Mhe. Balozi Sjoberg na Tanzania. Kushoto kwa Balozi ni Kaimu Katibu Mkuu Utumishi, Bw. Mick Kiliba. alitembelea Chuo cha yoyote,” Mhe. Dkt. Mwanjelwa amesisitiza. Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kwa lengo la kubadilishana Kuhusu uhusiano uliopo kati ya Sweden na uzoefu kuhusu masuala ya Utumishi wa Tanzania, Mhe, Mwanjelwa amesema Nchi hizo Umma kwa nchi za Sweden na Tanzania. 6 Watumishi wa Umma watakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia weledi

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara na Kilombero wakati wa ziara yake ya kikazi wilayani humo yenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma nchini.

atumishi wa Umma wanaofanya kazi gharama zao kufuata huduma wilayani na makao makuu ya Halmashauri za kupoteza muda wao, tusiwaache waondoke WWilaya nchini wametakiwa kutofanya bila kupata huduma inayostahili, ” kazi kwa mazoea na badala yake wafanye amesema Dkt. Ndumbaro. kazi kwa kuzingatia weledi, ili waweze kutoa huduma bora kwa wananchi wanaowahudumia Aidha Dkt. Ndumbaro amewashauri Watumishi na watumishi wenzao wanaotoka wanaotaka kusoma shahada ya pili wabobee pembezoni kufuata huduma wilayani. katika fani zinazoendana na shahada ya kwanza kwakuwa shahada ya kwanza ndio msingi wa Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu, Ofisi taaluma walizonazo, na endapo mtumishi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, atajiendeleza kwa kuchukua shahada ya pili Dkt. Laurean Ndumbaro wakati akizungumza tofauti na ya kwanza atakuwa amejiendeleza na Watumishi wa Halmashauri za Wilaya katika kada tofauti hivyo kukosa fursa ya ya Kilombero,Ifakara Mji na Malinyi kwa kubadilishiwa cheo (recategorization) na kukosa nyakati tofauti, ikiwa ni sehemu ya ziara sifa ya kupata kibali cha mshahara binafsi. yake ya kikazi yenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma nchini. Dkt. Ndumbaro amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri za Wilaya ya Kilombero, Dkt. Ndumbaro amewasisitiza Watumishi Ifakara Mji na Malinyi kuhimiza uwajibikaji, hao, kuhakikisha wanawahudumia vizuri ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Waziri Watumishi wa Umma wanaotoka kwenye kata, Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tarafa na vijiji ili nao waweze kuwahudumia Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) aliyemtaka vizuri wananchi katika maeneo yao ya kazi. kuchunguza weledi wa utendaji kazi wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi pamoja “Hatuna budi kuwahudumia ipasavyo na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo. wananchi na watumishi wanaotumia 7 Taasisi za umma zatakiwa kutekeleza mkakati wa taifa dhidi ya rushwa ili kuboresha utoaji huduma kwa wananchi wa Haki, ufanisi, uwazi na uwajibikaji Maliasili na wa utoaji huduma katika sekta Utalii, Madini, za Umma na sekta Binafsi, Nishati, ufanisi katika utekelezaji wa Mafuta na mikakati ya mapambano dhidi Gesi, Afya, ya rushwa, kuzijengea uwezo Elimu na taasisi simamizi za masuala Ardhi ambapo ya Utawala Bora na kuwa na mkakati huo Uongozi wa Kisiasa madhubuti unatekelezwa unaoshiriki kwa dhati katika katika ngazi mapambano dhidi ya rushwa. za Kijiji/Mtaa, Kata, Tarafa, Mhe. Mkuchika amesema, Wilaya,Mkoa Mkakati huo wa Taifa Dhidi na Taifa. ya Rushwa ulizinduliwa rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya tarehe 10 Desemba, 2016 na Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), ‘‘Kila taasisi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akifungua Kongamano inatakiwa Muungano wa Tanzania, Mhe. la Kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, kuwa na kwenye katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa jijini Dodoma. Kamati ya Maadhimisho ya Siku ya Kusimamia Maadili na Haki za Binadamu. aasisi za Umma nchini Uadilifu ili kuweza zimetakiwa kusimamia kusimamia ipasavyo Naye Mwakilishi wa Shirika utekelezaji wa Mkakati T utekelezaji wa mkakati la Mendeleo la Umoja wa wa Taifa Dhidi ya Rushwa na wa taifa dhidi ya rushwa,’’ Mataifa (UNDP), Bw. Paul Mpangokazi wake ikiwa ni Mhe. Mkuchika amesisitiza. Wilson Mlemya amesema pamoja na kuhakikisha kila kuwa mapambano dhidi ya taasisi inakuwa na Kamati Mhe, Mkuchika ameongeza rushwa yanahitaji nguvu ya Kusimamia Uadilifu ili kuwa,malengo makuu ya ya pamoja kati ya serikali kudhibiti vitendo vya rushwa mkakati huo ni kuimarisha na wananchi ili kufikia na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Agizo hilo limetolewa jijini Dodoma na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst.) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) wakati akifungua kongamano la kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni jijini Dodoma.

Mheshimiwa Mkuchika amesema utekelezaji wa Baadhi ya viongozi wa Taasisi mbalimbali za Umma wakimsikiliza Mkakati huo umejikita kwenye Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na sekta za kimkakati zikiwemo Utawala Bora, Kapt. (Mst.) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) wakati za Manunuzi ya Umma, akifungua Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Ukusanyaji wa Mapato, Utoaji Binadamu, katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa jijini Dodoma. 8 maendeleo yaliyokusudiwa.

“Rasilimali nyingi zinazopotea katika njia za rushwa zikiweza kuzuiliwa zitaleta maendeleo kwa wananchi katika sekta za elimu, afya na miundombinu kwa ujumla wake,” Bw. Mlemya amesisitiza.

Kwa upande wake, Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Mhe. Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji (Mst.) Harold R. Nsekela Mhe. Jaji (Mst.) Harold R. Nsekela akizungumza wakati wa amesema kuwa Maadhimisho Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, ya Siku ya Maadili na Haki katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa jijini Dodoma. za Binadamu ni muhimu kwa sababu yanatoa fursa kwa Taifa kujitathmini kama limefanya juhudi za kutosha katika kuhakikisha maadili yanazingatiwa, vitendo vya rushwa vimepungua, uwajibikaji umeongezeka na misingi ya Utawala Bora inazingatiwa.

Kongamano la Siku ya Maadili na Haki za Binadamu hufanyika Desemba 10 ya kila mwaka ambapo kwa mwaka Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na huu, limehudhuriwa na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb)(katikati mstari wa Makatibu na Naibu Makatibu mbele) na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Wakuu wa Wizara, Wakuu wa Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) (wa tatu kutoka kulia mstari wa mbele) wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Taasisi Taasisi za Serikali, Viongozi za Umma, baada ya ufunguzi wa Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Maadili wa Serikali Wastaafu na na Haki za Binadamu, katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa jijini Dodoma. Watumishi wa Umma kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiteta jambo na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) kabla ya kufungua Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa jijini Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, Dkt. Moses Kusiluka. 9 Taasisi za umma nchini zatakiwa kuwapatia huduma ya usafiri Watumishi wa Umma wenye ulemavu

Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa akijibu maswali Bungeni jijini Dodoma.

erikali imezitaka Taasisi za Umma nchini vya usafiri, lengo likiwa ni kuwawezesha kuhakikisha zinatatua changamoto kutekeleza majukumu yao kikamilifu. Sya huduma ya usafiri kwa Watumishi wa Umma wenye Ulemavu ili waweze Mhe. Dkt. Mwanjelwa ameongeza kuwa, kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi. Waajiri ambao hawatekelezi Mwongozo huo, wanakiuka maelekezo ya Serikali Wito huo umetolewa na Naibu Waziri, Ofisi ya kwa kuwanyima stahiki Watumishi Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na wenye ulemavu, hivyo wakibainika Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) watachukuliwa hatua za kinidhamu kwa kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, mujibu wa taratibu za kiutumishi zilizopo. Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. Serikali kupitia Mfumo wa Ufuatiliaji na wakati akijibu swali la Mhe. Amina S. Mollel Tathmini imejipanga kufanya Ufuatiliaji (Mb) (Viti Maalum) aliyetaka kujua Serikali wa utekelezaji wa Mwongozo huo ili ina mpango gani wa kuwapatia huduma ya uweze kufanya kazi kama ilivyokusudiwa. usafiri Watumishi wa Umma wenye Ulemavu. Aidha, Dkt. Mwanjelwa amewakumbusha Mhe. Dkt. Mwanjelwa amesema kuwa, ili Waajiri kutoa kipaumbele cha mikopo ya kufanikisha azma hiyo ya Serikali, Taasisi vyombo vya usafiri kwa Watumishi wa Umma za Umma zinatakiwa kutekeleza miongozo Wenye Ulemavu wanaokidhi vigezo vya inayotolewa ikiwa ni pamoja na Mwongozo kukopesheka ikiwa ni utekelezaji wa Waraka wa Huduma kwa Watumishi wa Umma Wenye wa Watumishi wa Serikali Na.3 wenye Kumb. Ulemavu wa mwaka 2008 unaoelekeza Na. C/AC.7/228/01/16 wa Juni 30, 2011 Waajiri kuwapatia huduma ya usafiri au unaotoa Utaratibu wa Kukopesha Fedha kulipia gharama za mafuta ya kwenda na Taslimu Watumishi wa Serikali kwa ajili kurudi kazini kwa Watumishi wa Umma ya kununulia Magari au Pikipiki pamoja na wenye Ulemavu ambao wana vyombo binafsi Matengenezo ya Magari na Pikipiki hizo. 10 Watendaji Serikalini watakiwa kufanya majadiliano na vyama vya wafanyakazi kwa ajili ya ustawi wa Watumishi atendaji fursa ya kujadili Sheria katika Taasisi ya Uwezeshaji wa Mfuko Wza Umma wa PSSSF, mabadiliko wametakiwa kuwa na mbalimbali ya Sheria za utaratibu wa kukutana na Utumishi wa Umma na vyama vya wafanyakazi kujadili utekelezaji wa na kujadiliana Mikataba ya Utendaji changamoto mbalimbali Kazi Serikalini pamoja zinazowakabili watumishi na Miundo ya Utumishi kwa ajili ya manufaa na ya Maendeleo ya Kada ya ustawi wa Watumishi Ustawi wa Jamii ambayo wa Umma nchini. ilikuwa na changamoto. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Wito huo umetolewa na Kapt. (Mst.), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) Dkt. Ndumbaro Waziri wa Nchi, Ofisi ya ametumia fursa hiyo Rais, Menejimenti ya Utumishi watumishi kujua haki zao. kumpongeza Mhe. Mkuchika wa Umma na Utawala Bora, kwa kufanya kazi kwa bidii, Kapt. (Mst), Mhe. George Aidha, Mhe. Mkuchika ufanisi mkubwa na kutoa H. Mkuchika (Mb) wakati amewasisitiza Watumishi wa maelekezo yanayosaidia akifungua rasmi Mkutano Umma nchini kufanya kazi kutatua changamoto na kero wa Baraza Kuu la Nne la kwa uadilifu na kuwa tayari za utumishi wa umma pamoja Wafanyakazi katika Utumishi kufanya kazi mahali popote na kushughulikia maslahi wa Umma Tanzania Bara kwa ajili ya kuwatumikia ya Watumishi wa Umma. uliofanyika jijini Dodoma. wananchi kwani wananchi wanalipa kodi na wana Naye, Makamu Mwenyekiti wa Mhe. Mkuchika amesema, haki ya kupata watumishi Baraza hilo, Bi. Leah Ulaya ushirikishwaji wa Vyama vya watakaowahudumia. akitoa shukrani kwa niaba Wafanyakazi katika masuala ya wajumbe baada ya Mhe. yanayohusu maslahi ya Awali, akimkaribisha Mhe. Mkuchika kufungua mkutano Watumishi wa Umma utasaidia Mkuchika kufungua mkutano huo, amemhakikishia kuepuka migogoro isiyokuwa wa baraza hilo, Mwenyekiti wa kuwa baraza litayafanyia ya lazima baina ya Serikali Baraza ambaye ni Katibu Mkuu, kazi ushauri alioutoa na na Vyama vya Wafanyakazi. Ofisi ya Rais, Menejimenti litasimama imara kushauri ya Utumishi wa Umma, Dkt. vema ili kuiwezesha Ofisi Pia Mhe. Mkuchika Laurean Ndumbaro amesema ya Rais, Utumishi amewataka wajumbe wa kutekeleza majukumu baraza hilo kuishauri Serikali yake kwa ufanisi. katika masuala ya kiutumishi yanayohitaji maboresho Serikali inatambua kwa manufaa ya utumishi umuhimu wa kuwa na wa umma na maendeleo uhusiano mzuri kati ya taifa kwa ujumla. yake na Vyama vya Wafanyakazi ndio maana Sanjali na hilo, Mhe. imetunga Sheria ya Mkuchika amewataka Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Baraza Majadiliano ya pamoja wajumbe hao kuhakikisha Kuu la Nne la Wafanyakazi katika Utumishi katika Utumishi wa wanawafahamisha watumishi wa Umma Tanzania Bara wakimsikiliza Umma SURA 105 ambayo kuhusu marekebisho Mhe. George Mkuchika (hayupo pichani) inaunda Mabaraza mbalimbali yaliyofanyika ya Wafanyakazi katika Sheria ya Utumishi mkutano huo pamoja na katika Utumishi wa Umma. wa Umma ili kuwasaidia mambo mengine ulijadili 11 Dkt. Ndumbaro amuelekeza DED Sengerema kumfungulia mashtaka Bw. Boniventura Bwire aliyekuwa mtumishi kwa kujipatia fedha kwa udanganyifu

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akisoma moja ya nyaraka za aliyekuwa mtumishi wa umma, Bw. Boniventura Bwire ambaye alifanya udanganyifu ili kujipatia fedha za Serikali kinyume na taratibu za kiutumishi. atibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti baada ya kugundulika kuwa na Stashahada ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean ya Juu ya Uhasibu ya kughushi (advanced KNdumbaro amemuagiza Mkurugenzi Diploma) ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE). Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Bw. Boniface M. Magesa kwa Dkt. Ndumbaro amefafanua kuwa, kushirikiana na Mkuu wa Polisi Wilaya mtumishi huyo alighushi barua za (OCD) kumtafuta popote alipo aliyekuwa Katibu Mkuu TAMISEMI na kufanikiwa mtumishi wa umma Bw. Boniventura Bwire kuhamia katika Halmashauri za Wilaya ya na kumfikisha katika vyombo vya dola Ukerewe, Bariadi na hatimaye Sengerema. kwa kosa la kujipatia fedha za Serikali kwa udanganyifu katika kipindi cha miaka “Kwa miaka nane Bw. Bwire amekuwa nane licha ya kufukuzwa kazi mwaka 2011. akifanya kazi Serikalini akiwa sio mtumishi wa umma halali baada ya kufukuzwa kazi Dkt. Ndumbaro ametoa maelekezo hayo na kuondolewa kwenye orodha ya malipo wilayani Sengerema, wakati wa kikao kazi ya mishahara, na katika halmashauri zote chake na watumishi wa halmashauri hiyo chenye alizohamia amekuwa akijitambulisha kama lengo la kusikiliza changamoto za kiutumishi Afisa Mapato na kufanya kazi hiyo na zinazowakabili na kuzitatua, ikiwa ni pamoja hatimaye kujilipa, hivyo kujipatia fedha na kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao. kwa njia ya udanganyifu,” amesema Dkt. Ndumbaro. Dkt. Ndumbaro ameeleza kuwa, Bw. Bwire alikuwa Mweka Hazina wa Halmashauri ya Dkt. Ndumbaro ameongeza kuwa, baada ya Wilaya ya Korogwe mpaka mwaka 2011 kabla ya mtumishi huyo kuhamia Sengerema, Mkurugenzi kufukuzwa kazi mwaka 2012 na mwajiri wake Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya 12

Baadhi ya Watumishi wa Umma wilayani Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi Sengerema wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) alipokuwa (hawapo pichani) wakati wa ziara yake ya kikazi akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao. ya kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao. Mkurugenzi (CMA) badala ya Tume ya Utumishi wa wa Idara ya Umma ambayo ndio mamlaka yake ya rufaa. Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini, Ofisi ya Sanjali na hayo, Dkt. Ndumbaro amesema, Rais, Menejimenti atawasiliana na Katibu Mkuu TAMISEMI ili ya Utumishi wa afanye uchunguzi na kumtaka kumchukulia Umma na Utawala hatua stahiki mtumishi wa TAMISEMI Bora, Kamishna atakayebainika kumsaidia Bw. Bwire Msaidizi wa Polisi, Bw. kufanikisha azma yake ya kuiibia Serikali. Ibrahimu Mahumi akitoa ufafanuzi Dkt. Ndumbaro amehitimisha kwamba, wa masuala ya mambo yote aliyoyafanya Bw. Boniventura kiutumishi. Bwire tangu mwaka 2011 hadi sasa ni Sengerema batili kwani si mtumishi wa umma halali kutokana na umakini wake aliweza kubaini kuwa, baada ya kufukuzwa kazi, na hakuwahi mtumishi huyo anatumia cheti cha kidato cha kukata rufaa kwenye mamlaka stahiki, nne ambacho si chake hivyo akamfukuza kazi. hivyo kutokana na makosa yake kuwa ni ya jinai ameelekeza suala la mtumishi huyo Dkt. Ndumbaro amesema, Mtumishi huyo liwasilishwe Jeshi la Polisi na Taasisi ya baada ya kufukuzwa kazi aliwasilisha rufaa Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa yake kimakosa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi uchunguzi na kulifikisha mahakamani haraka iwezekanavyo ili Sheria ichukue mkondo wake. Ufuatiliaji na tathmini serikalini ni chachu ya utendaji kazi na uwajibikaji kwa Watumishi wa umma atumizi sahihi ya Hayo yamesemwa na Naibu wadau ya siku mbili yenye Mfumo wa Ufuatiliaji Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, lengo la kuwajengea uwezo Mna Tathmini Serikalini Menejimenti ya Utumishi wa Ufuatiliaji na Tathmini yanaongeza uwajibikaji na wa Umma na Utawala Bora, watendaji wa Serikali kuboresha utendaji kazi Dkt. Francis Michael kwa yaliyofanyika jijini Dodoma. wa viongozi na Watumishi niaba ya Katibu Mkuu, Ofisi wa Umma nchini hivyo ya Rais, Menejimenti ya Dkt. Michael amesema, kuwa na mchango katika Utumishi wa Umma, Dkt. kutokana na umuhimu wa maendeleo ya utumishi wa Laurean Ndumbaro wakati Mfumo wa Ufuatiliaji na umma na taifa kwa ujumla. akifungua mafunzo ya Tathmini katika kuboresha 13

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Nolasco Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Kipanda akitoa neno la utangulizi kabla ya ufunguzi Bora, Dkt. Francis Michael akifungua mafunzo wa mafunzo ya Ufuatiliaji na Tathmini jijini Dodoma ya Ufuatiliaji na Tathmini jijini Dodoma. nidhamu ya utendaji kazi Serikalini, kuna haja ya mfumo huo kuwepo kisheria ili utekelezwe kwa mujibu wa sheria katika Taasisi zote za umma nchini.

Dkt. Michael amefafanua kuwa, pamoja na kuanzisha sehemu za Ufuatiliaji na Tathmini kwenye Wizara, Idara Zinazojitegemea, Sekretarieti za Mikoa na Mkurugenzi wa “Centre for Learning on Evaluation and Results Mamlaka za Serikali za Mitaa, CLEAR-AA” kutoka Chuo cha Witwatersrand nchini Afrika Kusini, Prof. ni muhimu kwa viongozi wenye Dugan Fraser akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya Ufuatiliaji dhamana kuwa na utashi wa na Tathmini watendaji wa Serikali yaliyofanyika jijini Dodoma. kisiasa katika kujenga Mfumo wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathmini ili kuongeza uwajibikaji serikalini.

Dkt. Michael ameongeza kuwa, Mfumo wa Ufuatiliaji na Tathmini unatakiwa umguse mtumishi mmoja mmoja na taasisi kwa ujumla ambapo watumishi na taasisi hawana budi kuonyesha matokeo chanya kulingana na rasilimali zilizopo na kwa upande mwingine, wananchi wana haki ya kuiwajibisha Serikali kwa kuitaka ionyeshe matokeo Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya wadau ya siku mbili chanya katika utekelezaji yenye lengo la kuwajengea uwezo wa Ufuatiliaji na Tathmini wa miradi mbalimbali. watendaji wa Serikali wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Kwa upande wake, Mkurugenzi Francis Michael (hayupo pichani) yaliyofanyika jijini Dodoma. 14 wa “Centre for Learning na kusababisha taarifa kunatokana na jitihada on Evaluation and Results zilizopatikana kutokuwa zinazofanywa na Serikali CLEAR-AA” kutoka Chuo cha na mchango tarajiwa za kuwajengea uwezo wa Witwatersrand nchini Afrika katika kufanya maamuzi. kiutendaji wataalamu wake Kusini, Prof. Dugan Fraser wa ufuatiliaji na tathmini, amesema, kituo hicho kipo Prof. Fraser ameweka bayana hivyo amewataka wataalamu tayari kushirikiana na Serikali kuwa nchi isiyotumia Mfumo hao kutumia fursa hiyo katika kuwezesha matumizi wa Ufuatiliaji na Tathmini kuongeza ujuzi ili wawe na sahihi ya Mfumo wa Ufuatiliaji katika utekelezaji wa miradi tija kwa maendeleo ya taifa. na Tathmini yatakayosaidia yake husababisha kuwa na sera kuboresha uwajibikaji, mbovu, wananchi kutopata Semina hiyo iliyokuwa na utoaji wa huduma bora, haki ya kuishauri serikali au lengo la kuwajengea uwezo kurahisisha upatikanaji kutoa maoni juu ya utekelezaji wataalamu wa Ufuatiliaji wa taarifa kwa wakati na wa miradi hiyo, na serikali na Tathmini ilihudhuriwa na kuimarisha Utawala Bora kwa husika kutekeleza programu wadau kutoka katika Wizara, ajili ya maendeleo ya Taifa. za maendeleo bila ufanisi. Idara Zinazojitegemea, Sekretarieti za Mikoa na Aidha, Prof. Fraser Naye, Kaimu Mkurugenzi Mamlaka za Serikali za Mitaa, amesikitishwa na baadhi ya wa Idara ya Uchambuzi na Mahakama, Bunge, Tanzania watendaji wanaotumia muda Ushauri wa Kazi, Ofisi ya Rais, Evaluation Association mrefu kufanya ufuatiliaji Menejimenti ya Utumishi wa (TanEA) na washirika wa utekelezaji wa miradi Umma na Utawala Bora, Bw. kutoka Afrika Kusini. mbalimbali na kutoa taarifa Nolasco Kipanda amesema za miradi hiyo kwa kuchelewa kufanyika kwa semina hiyo Taasisi za umma zapigwa marufuku kutumia kampuni binafsi katika masuala ya TEHAMA na badala yake zitumie Mamlaka ya Serikali Mtandao erikali imepiga marufuku Taasisi Sza Umma nchini kutumia fedha za Serikali kuzilipa taasisi binafsi ili kupatiwa huduma ambazo pia zinazotolewa na Mamlaka ya Serikali Mtandao.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) ametoa agizo hilo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Watumishi wa Umma Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na watumishi wa na waajiri Serikalini, Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo wakati wa kikao kazi chake na watumishi wakati wa kikao kazi hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao wilayani humo. chake na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo 15

Baadhi ya Watumishi wa Umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha waziri huyo na watumishi hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao wilayani humo.

“Kama Serikali ina chombo chenye uwezo na weledi wa kutosha wa kutoa huduma za TEHAMA ikiwemo mifumo ya kielektroniki ya utoaji huduma, ni nini kinachoshinikiza Taasisi za Umma kuendelea kuomba kupatiwa huduma hiyo na kampuni za watu binafsi?,” Mhe. Mkuchika alihoji. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akifafanua masuala ya kiutumishi kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi chake ya TEHAMA. na watumishi hao kilichofanyika wilayani humo kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji. Mhe. Mkuchika kilichofanyika wilayani humo kwa lengo la alihitimisha ziara ya kikazi mkoani Ruvuma kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao. iliyokuwa na lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma, ikiwa ni pamoja Mhe. Mkuchika amefafanua kuwa, Serikali na kukagua utekelezaji wa Mpango wa imebadili Wakala ya Serikali Mtandao kuwa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF) mkoani humo. Mamlaka kwa sababu hivi sasa ina wataalamu wa kutosha wa TEHAMA hivyo hakuna ulazima wa kuilipa kampuni binafsi ili kupata huduma 16 Rais Dkt. John Pombe Magufuli aagiza vijana wenye Shahada ya kwanza waliohitimu mafunzo ya JKT “Operesheni Magufuli” waajiriwe Serikalini

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) ofisini kwake Mtumba, jijini Dodoma kuhusu ajira kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa “Operesheni Magufuli” na masuala mbalimbali ya kiutumishi. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael. ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameelekeza Magufuli ameagiza wapatiwe ajira,’’ Dkt. Rvijana wote wenye elimu ya Shahada Ndumbaro amesisitiza. ya Kwanza waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) “Operesheni Magufuli” Dkt. Ndumbaro ametaja sifa za vijana kuajiriwa katika taasisi mbalimbali za serikali. waliohitimu JKT wanaotakiwa kuajiriwa kuwa ni lazima wawe wametumikia kwa kipindi Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti kisichopungua miaka miwili na kwamba ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean wanatakiwa kuwasilisha taarifa zao binafsi, Ndumbaro alisema hayo wakati wa mkutano vyeti vya elimu, taaluma na vyeti vya na Waandishi wa Habari uliofanyika ofisini kuhitimu mafunzo ya JKT katika Ofisi ya Rais, kwake eneo la Mtumba jijini Dodoma. Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kupitia barua pepe ya [email protected]. “Serikali imekuwa ikiwajengea vijana uadilifu, umoja, mshikamano, moyo wa Aidha, Dkt. Ndumbaro amewaasa waajiri kujitolea, moyo wa uzalendo, nidhamu wanaowarejesha makazini Watumishi wa na ari ya kupenda kufanya kazi kwa Umma walioghushi vyeti vya elimu na kuwaingiza kwenye mafunzo ya Jeshi taaluma kwa visingizio kwamba waliondolewa la Kujenda Taifa, hivyo kwa kutambua kimakosa au waliajiriwa kabla ya tarehe 20 mchango wao, Rais wa Jamhuri ya Mei, 2001 kwa sifa ya Elimu ya Darasa la Saba. 17

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na Waandishi wa Habari ofisini kwake Mtumba, jijini Dodoma kuhusu ajira kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa “Operesheni Magufuli” na masuala mbalimbali ya kiutumishi. taarifa za uongo Ofisi ya Rais-Utumishi ili kuwapandisha vyeo watumishi kwa lengo la kuwanufaisha baadhi yao bila kuwa na sifa au vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria na Kanuni zinazosimamia Utumishi wa Umma.

“Ofisi yangu itaendelea kuwachukulia hatua stahiki waajiri watakaobainika kufanya udanganyifu kwa madhumuni ya kuipotosha Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ili iweze kutoa vibali vya kuwapandisha Baadhi ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Katibu vyeo watumishi isivyostahili,” Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Ndumbaro amefafanua. Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) wakati wa mkutano uliofanyika ofisini kwake Mtumba, jijini Dodoma. Dkt. Ndumbaro amewaagiza Maafisa Utumishi nchini kufanya kazi kwa “Serikali haitosita kumchukulia hatua weledi kwa kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu mwajiri yeyote atakayekiuka maelekezo za Utumishi wa Umma badala ya kuwa halali yaliyotolewa na Serikali kuhusiana na chanzo cha kero na matatizo ya kiutumishi. hatua zilizochukuliwa dhidi ya watumishi walioghushi vyeti,” Dkt. Ndumbaro amesema. Mkutano kati ya Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Akizungumzia suala la udanganyifu na Laurean Ndumbaro na waandishi wa habari upendeleo katika upandishwaji vyeo, ulikuwa na lengo la kuuhabarisha umma Dkt. Ndumbaro amesema kuwa ofisi yake juu ya masuala mbalimbali ya kiutumishi. imebaini baadhi ya waajiri kuwasilisha 18

• Viongozi 4,209 wapatiwa mafunzo ya kiutendaji

Sehemu ya Watanzania waliopata ufadhili wa kusoma Shahada za Uzamili nchini Japani wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi wakati wa hafla ya kuwaaga iliyofanyika jijini Dar esSalaam. erikali ya Jamhuri ya Muungano wa Sekta za kimkakati za Taifa zilizopewa Tanzania kupitia Ofisi ya Rais, Menejimenti kipaumbele katika ufadhili wa masomo hayo Sya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ni Kilimo, Maendeleo ya Jamii, Menejimenti ya kwa kushirikiana na wadau wa Maendeleo Rasilimaliwatu, Afya ya Jamii, Nishati na Madini, imefadhili watumishi 2,940 kusoma nje ya Elimu, TEHAMA, Menejimenti ya Maliasili, nchi katika kipindi cha miaka minne ya uongozi Menejimenti ya Mazingira na Rasilimaliwatu. wa Rais, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli. Sekta nyingine zilizopewa kipaumbele ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Maendeleo ya Miundombinu, Menejimenti Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro ya Rasilimali Fedha, Uwezeshaji wa amesema kuwa mafunzo hayo ya muda Wanawake kupitia Ujasiriamali, Mawasiliano mfupi na mrefu yamesaidia kuwajengea na Uandishi wa Habari na Menejimenti uwezo na ufanisi wa kiutendaji Watumishi ya Mamlaka za Serikali za Mitaa. wa Umma katika sekta mbalimbali ambazo ni vipaumbele vya maendeleo kwa Taifa na pia Wadau wa Maendeleo walioshirikiana na yameboresha utoaji huduma kwa wananchi. Serikali ya Tanzania kufadhili mafunzo hayo ni Serikali ya India, Japan, Jamhuri “Ili kupata matokeo chanya kwenye ya Korea, Australia, Uholanzi, Singapore, sekta za kimkakati za Taifa ni muhimu Misri na Jamhuri ya Watu wa China. kutumia rasilimaliwatu yenye ujuzi wa kutosha kwa kuwa ndiyo injini ya maendeleo,” Dkt. Ndumbaro alifafanua. 19

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza katika hafla ya kuwaaga Watanzania waliopata ufadhili wa masomo nchini Japan iliyofanyika jijini Dar esSalaam.

Viongozi 4,209 wapatiwa mafunzo ya kiutendaji li kuhakikisha Serikali ina viongozi bora ya Kimataifa, Kikanda na Kitaifa ilifanyika wanaofanya kazi kwa ufanisi, jumla ya kwa lengo la kubadilishana taarifa, maarifa, viongozi 4,209 wamepatiwa mafunzo ya uzoefu, changamoto na kuongeza uelewa kiutendaji katika maeneo ya Mawasiliano wa masuala ya Uongozi na Maendeleo Fanisi, Uandaaji na Usimamizi wa Mpango Endelevu. Jumla ya Viongozi 2,430 walishiriki Mkakati, Majadiliano ya Mikataba, Uongozi kutoka Tanzania na Nchi mbalimbali. wa Kimkakati, Mawasiliano na Diplomasia katika Majadiliano, Maadili, Utawala Bora. Mada zilzojadiliwa katika mikutano hiyo ni pamoja na Namna ya Kuendeleza Biashara Aidha, mafunzo hayo pia yalijikita katika Barani Afrika; Sera zinazohusu Mabadiliko ya Uwajibikaji, Michakato ya Sera, Mitazamo na Tabia Nchi; Kukuza Uwekezaji katika Sekta Dira, Huduma kwa Wateja, Kiongozi Muadilifu ya Misitu; Mafunzo kwa Viongozi wa Sasa na na Uongozi Binafsi na wenye Maadili, Majukumu wa Kizazi cha Baadae; Nafasi ya Mashirika na Mipaka, Masuala ya Itifaki, Usalama na ya Umma katika Utekelezaji wa Mpango wa Ulinzi wa Taifa, Utawala Binafsi, Ununuzi katka Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano; Sekta ya Umma, Hisia na Uhusiano wenye Tija Uhuru wa Nchi, Demokrasia na Maendeleo kati ya Viongozi Watendaji na Viongozi wa ya Jamii Afrika; na Mikakati ya Tanzania Kisiasa, na Stashahada ya Uzamili ya Uongozi katika Kuelekea kwenye Uchumi wa Viwanda; (Postgraduate Diploma in Leadership). Mada nyingine zilihusu Amani na Usalama Hatua nyingine iliyochukuliwa na Serikali kwa Afrika Jumuishi na Endelevu; Masuala kuhakikisha viongozi wa umma wanafanya kazi ya Jinsia kutoka kwenye Nadharia Kuelekea kwa ufanisi zaidi ni kuwakutanisha viongozi Kwenye Vitendo; Namna ya Kujenga Uchumi hao na viongozi kutoka nchi mbalimbali Endelevu kwa Kutumia Rasilimali kwa Ufanisi; kupitia Makongamano yanayotumika kujadili Maboresho katika Sekta ya Umma na Ugatuaji mada mbalimbali za kuboresha utendaji kazi. wa Madaraka; Harakati za Kujikomboa Kiuchumi kwa Bara la Afrika; Kukuza na Makongamano hayo yaliratibiwa na Taasisi Kuimarisha Uongozi na Viongozi Tanzania; ya UONGOZI ambapo jumla ya Mikutano 20 na Rasilimali za Asili na Ujenzi wa Viwanda. 20 Serikali yawasilisha Muswada Bungeni wa kuwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst.) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na Wataalam wa ndani wa TEHAMA (hawapo pichani) waliotengeneza Mfumo mpya wa Taarifa Shirikishi za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) na Mfumo wa Wazi wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Kieletroniki (eOPRAS) ambayo inatarajiwa kukamilika hivi karibuni. erikali ya Jamhuri ya Muungano wa kuwezesha ukusanyaji wa mapato Serikalini. Tanzania, imewasilisha Muswada Bungeni Swa kutungwa kwa Sheria ya Serikali Mhe. Mkuchika ameongeza kuwa, Serikali Mtandao ya mwaka 2019 (e-Government imejiandaa na inaendelea kuwajengea Act, 2019) ambayo itawezesha kuundwa kwa uwezo wataalam wake wa TEHAMA nje Mamlaka ya Serikali Mtandao yenye jukumu la ya nchi ili kuwa na hazina ya kutosha ya kuratibu, kusimamia na kuendeleza Serikali wataalam wabobevu katika eneo la TEHAMA. Mtandao kwa mujibu wa Sera, Sheria, Kanuni, Viwango na Miongozo ya TEHAMA iliyopo. Mhe. Mkuchika ameainisha kuwa, anajisikia fahari kushuhudia wataalam wa ndani Hayo yalisemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya wakitengeneza Mfumo mpya wa Taarifa Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Shirikishi za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) na Utawala Bora, Kapt. (Mst.) Mhe. George na Mfumo wa Wazi wa Tathmini ya Utendaji H. Mkuchika (Mb) alipofanya ziara ya Kazi wa Kieletroniki (eOPRAS) ambayo kikazi katika Wakala ya Serikali Mtandao ili iko katika hatua za mwisho kukamilika. kukagua utendaji kazi wa wakala hiyo na kujionea Mfumo mpya wa Taarifa Shirikishi za Sanjali na hayo, Mhe. Mkuchika ameridhishwa Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) na Mfumo na utendaji kazi wa Kituo cha Utafiti, wa Wazi wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ubunifu na Maendeleo ya Mifumo ya Serikali Kieletroniki (eOPRAS) ambayo imetengenezwa Mtandao (eGOVRIDC) kilichojengwa na na Wakala hiyo kupitia wataalam wa ndani. Serikali jijini Dodoma kwa ajili ya kuongeza kasi ya ukuaji wa Serikali Mtandao nchini. Mhe. Mkuchika amefafanua kuwa, azma ya Serikali kuwasilisha Muswada Bungeni Utekelezaji wa Serikali Mtandao wa kubadili Wakala ya Serikali Mtandao (e-Government) katika kipindi cha kuanzia kuwa Mamlaka ni kuwa na chombo thabiti mwaka 2012 hadi 2019 umeongeza ufanisi kitakazowezesha mifumo ya TEHAMA katika utendaji kazi, umepunguza gharama za Serikalini kufanya kazi kwa pamoja, kubana utendaji na kuboresha utoaji wa huduma kwa matumizi katika utengenezaji wa Mifumo ya umma kwa urahisi, haraka na gharama nafuu. TEHAMA kwa kutumia wataalam wa ndani na 21 MATUKIO KATIKA PICHA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst.) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mhe. (Mb) wakifuatilia ufunguzi wa mkutano Mkuu wa 39 wa SADC uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti Utumishi na Utawala Bora wakiwa katika picha ya Utumishi wa Umma, ACP Ibrahim Mahumi akiwa ya pamoja baada ya uzinduzi wa Kampeni ya katika picha ya pamoja na Kamishna wa Tume ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia uliofanyika Maadili na Kuzuia Rushwa nchini Kenya, Bibi Rose kitaifa katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Mghoi Machaira mara baada ya kikao kilichofanyika Ofisi ya Rais Utumishi, Mtumba, jijini Dodoma. Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Watu Wenye Ulemavu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Philibert Kawemama akifungua mkutano kuhusu ushawishi na utetezi wa masuala ya watu wenye ulemavu katika ngazi ya wizara uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Rais- Utumishi na Utawala Bora jijini Dodoma. Kulia kwake ni Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Utawala, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Bi. Mwanaheri Cheyo. 22 MATUKIO KATIKA PICHA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao, Dkt. Jabir Bakari akiwaeleza Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa jinsi mifumo ya TEHAMA inavyorahisisha utendaji kazi Serikalini katika ziara ya kikazi ya kamati hiyo ofisini kwake jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst.) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) (wa pili kutoka kushoto mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa baada ya kamati hiyo kuhitimisha ziara ya kikazi katika ofisi za Mamlaka ya Serikali Mtandao jijini Dodoma. Wengine ni watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA).

Msaidizi wa Kumbukumbu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Godfrey Kajuna Afisa Utumishi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Denis akimhudumia mteja Bw.Sanford Ngowi kutoka Mapunda akimhudumia mteja Bi.Magreth Kiruma kutoka Tume ya Madini alipowasili ofisi za masijala Shule ya Sekondari Butimba iliyoko jijini Mwanza. kuwasilisha barua za ofisi ya Tume hiyo. utumishitz utumishitz Ofisi ya Rais Utumishi OfisiyaRais_utumishi2019 Ofisi ya Rais Utumishi

Tovuti:www.utumishi.go.tz