UTUMISHI News Toleo Na.11 Januari-Juni, 2020 “Nataka nchi ya watu wenye nidhamu, wanaopendana na wachapa kazi, kila atakayepewa kazi aitekeleze ipasavyo” Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli HABARI KWA UFUPI; Mawaziri wenye Sweden dhamana ya Utumishi na yaipongeza Utawala Bora Tanzania serikali ya Bara na Zanzibar Tanzania kwa wakutana kuzungumzia kufanya vizuri namna ya kuboresha katika mapambano utoaji wa huduma kwa dhidi ya Umma ......uk.1 rushwa........uk.4 Serikali kuwachukulia Rais Dkt. John hatua kali za Pombe Magufuli aagiza vijana wenye kinidhamu Watumishi Shahada ya kwanza watakaobainika waliohitimu mafunzo kujihusisha na rushwa ya JKT “Operesheni ya ngono..........uk.3 Magufuli” waajiriwe Serikalini.........uk.16 YALIYOMO uk. 1. Mawaziri wenye dhamana ya Utumishi na Utawala Bora Tanzania Bara na Zanzibar wakutana kuzungumzia namna CHUMBA CHA HABARI ya kuboresha utoaji wa huduma kwa Umma ........1-2 2. Serikali kuwachukulia hatua kali za kinidhamu Watumishi watakaobainika kujihusisha na rushwa ya ngono..........3-4 Bodi ya Uhariri: 3. Sweden yaipongeza Tanzania kwa kufanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa...............4-5 Dkt. Laurean Ndumbaro 4. Watumishi wa Umma watakiwa kufanya Dkt. Francis Michael kazi kwa kuzingatia weledi.......6 Mary Mwakapenda 5. Taasisi za Umma zatakiwa kutekeleza mkakati James Mwanamyoto wa kitaifa dhidi ya rushwa ili kuboresha utoaji Happiness Shayo huduma kwa wananchi.......................7-8 Aaron Mrikaria 6. Taasisi za Umma nchini zatakiwa kuwapatia huduma ya usafiri Watumishi wa Umma wenye ulemavu......9 Dira 7. Watendaji serikalini watakiwa kufanya majadiliano na Vyama vya Wafanyakazi ili Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi kuimarisha ustawi wa watumishi.......................10 wa Umma na Utawala Bora kuwa Taasisi 8. Dkt. Ndumbaro amuelekeza DED Sengerema itakayowezesha kuwa na Utumishi wa kumfungulia mashtaka Bw. Boniventura Bwire aliyekuwa Umma uliotukuka kwa kutoa huduma bora mtumishi kwa kujipatia fedha kwa udanganyifu.........11-12 kwa Umma na hivyo kuchangia katika 9. Ufuatiliaji na Tathmini serikalini ni chachu kukuza uchumi, kupunguza umaskini na ya utendaji kazi na uwajibikaji kwa kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania watumishi wa umma .....................12-14 ifikapo mwaka 2025. 10. Taasisi za umma zapigwa marufuku kutumia kampuni binafsi katika masuala ya TEHAMA na badala yake zitumie Mamlaka ya Serikali Mtandao........14 Dhamira 11. Rais Dkt. John Pombe Magufuli aagiza vijana Kuhakikisha kuwa utumishi wa umma wenye Shahada ya kwanza waliohitimu mafunzo nchini unasimamiwa vizuri na kwa ufanisi ya JKT “Operesheni Magufuli” waajiriwe Serikalini.........................................................16-17 kupitia usimamizi wa rasilimaliwatu, mifumo na miundo ya kiutumishi 12. Miaka Minne ya JPM: Watumishi 2,940 wanufaika na ufadhili wa masomo nje ya nchi.............18-19 13. Serikali yawasilisha Muswada Bungeni wa kuwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao ....20 14. Matukio katika picha.............................................21-22 Jarida hili hutolewa na; Kitengo cha Mawasiliano Serikalini , Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, S.L.P 670, Dodoma, Barua Pepe:[email protected] Tovuti:www.utumishi.go.tz 1 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akifungua kikao kazi cha Mawaziri wenye dhamana ya masuala ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chenye lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi pamoja na kuimarisha muungano kilichofanyika jijini Dar es Salaam. aziri wa Nchi, Kapt. (Mst), Mhe. George Naye, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, H. Mkuchika (Mb) amesema Ofisi ya Rais, Utumishi wa WMenejimenti ya pamoja na kujadili masuala Umma na Utawala Bora, Utumishi wa Umma na ya kuboresha huduma wa Serikali ya Mapinduzi Utawala Bora, Kapt. (Mst), pia kililenga kuimarisha ya Zanzibar Mhe. Haroun Mhe. George H. Mkuchika muungano ili kuwaenzi Ali Suleiman amesema (Mb) wa Serikali ya Jamhuri kwa vitendo waasisi wa wao kama mawaziri wenye ya Muungano wa Tanzania taifa letu Hayati Mwalimu dhamana ya Utumishi wa na Waziri wa Nchi, Ofisi Julius K. Nyerere na Sheikh Umma na Utawala Bora ya Rais, Utumishi wa Abeid Amani Karume. wanataka ushirikiano wa Umma na Utawala Bora taasisi zinazoshughulikia wa Serikali ya Mapinduzi Mhe. Mkuchika amefafanua masuala ya kiutumishi na ya Zanzibar, Mhe. Haroun kuwa, katika kikao utawala bora uendelezwe Ali Suleiman wamefanya kazi hicho wameweza kwa vitendo kwa ajili ya kikao kazi kujadili namna kubadilishana uzoefu wa manufaa ya wananchi. bora ya kuboresha utoaji namna ya kutoa huduma wa huduma kwa umma bora na kwa wakati kwa Mhe. Suleiman amesisitiza pamoja na kuimarisha wananchi wa pande kuwa, ushirikiano huu una Muungano ili uendelee zote mbili za muungano manufaa katika kuboresha kuwa na tija kwa wananchi. ambao ndio walengwa huduma zitolewazo na wakuu wa huduma taasisi za umma kwa Akifungua kikao kazi hicho, zinazotolewa na Serikali wananchi na una tija Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, ya Jamhuri ya Muungano katika kuongeza ufanisi Menejimenti ya Utumishi wa Tanzania na Serikali wa utendaji kazi wa wa Umma na Utawala Bora, ya Mapinduzi ya Zanzibar. Taasisi za Umma nchini. 2 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Mohammed Aboud akichangia hoja wakati wa kikao kazi cha Mawaziri wenye dhamana ya masuala ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chenye lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi pamoja na kuimarisha muungano, kilichofanyika jijini Dar es Salaam. iliyojengwa katika kikao bora kwa wananchi. Mhe. Suleiman amewataka kazi hicho inaimarishwa ili wajumbe wa kikao hicho, utekelezaji wake uwe wa Masuala yaliyojadiliwa kuhakikisha misingi vitendo na uweze kuwa katika kikao kazi hicho madhubuti ya kiutendaji chachu ya kutoa huduma ni; kudumisha ushirikiano katika masuala ya Ajira, Serikali Mtandao, Udhibiti wa rushwa, Usimamizi wa Maadili ya Viongozi, Mafunzo kwa Watumishi wa Umma, Utekelezaji wa Programu ya Maboresho ya Utumishi wa Umma, Maadhimisho ya Siku ya Utumishi wa Umma, Uandaaji wa Miundo na Mifumo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Haroun Ali Suleiman wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar akizungumza katika ya Taasisi na Utawala kikao kazi cha Mawaziri wenye dhamana ya masuala ya Utumishi wa Umma Bora kwa ujumla. na Utawala Bora wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chenye lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi pamoja na kuimarisha Muungano kilichofanyika jijini Dar es Salaam. 3 Serikali kuwachukulia hatua kali za kinidhamu Watumishi watakaobainika kujihusisha na rushwa ya ngono erikali haitosita kuwachukulia hatua Skali za kinidhamu Watumishi wa Umma watakaobainika kujihusisha na rushwa ya ngono katika maeneo yao ya kazi, kwani kitendo hicho kinadhalilisha na kushusha hadhi ya utumishi wa umma nchini. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst.), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) wakati wa kikao kazi chake Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi na Watumishi wa Umma wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. wa Halmashauri ya Wilaya Mkuchika (Mb) akizungumza na Watumishi wa Umma wilayani ya Tunduru kilichofanyika Tunduru wakati wa kikao kazi chake na watumishi hao chenye wilayani humo kwa lengo lengo la kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika wilayani humo. la kuhimiza uwajibikaji. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mhe. Julius Mtatiro “Inakuwaje Mwalimu nchini, ambaye alituhumiwa Mhe. Mkuchika ametoa kauli unaepaswa kuwa mfano na kubainika kuwaomba hiyo kufuatia baadhi ya bora wa kuigwa kimaadili rushwa ya ngono wanafunzi Walimu wa shule za msingi unataka rushwa ya ngono kwa wa kike ili waweze kufaulu wilayani Tunduru kushikiliwa mwanafunzi, kitendo hicho mitihani yao kwa upendeleo. na vyombo vya dola kwa kinamuathiri mwanafunzi kujihusisha na vitendo vya husika kitaaluma na “Wanafunzi wa kike wa chuo rushwa ya ngono jambo kisaikolojia,”Mhe. hicho waliandika barua ya ambalo halileti taswira nzuri Mkuchika amefafanua. malalamiko kwenye ofisi kwa umma, ikizingatiwa yangu na baada ya kuwahoji kuwa Walimu wana jukumu Mhe. Mkuchika ameongeza na kufanya uchunguzi wa kina la kuwalea wanafunzi kuwa, hivi karibuni ofisi yake kwa kushirikiana na vyombo katika maadili mema. imesitisha ajira ya Mhadhiri vya dola ikabainika kuwa ni mmoja wa chuo kikuu kweli hivyo akafukuzwa kazi,” Mhe. Mkuchika ameeleza. Baadhi ya Watumishi wa Umma wilayani Tunduru wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha waziri huyo na watumishi hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika wilayani humo 4 Mhe.Mkuchika chake vibaya ili kujinufaisha Hayati Mwalimu Julius K. amewatahadharisha na rushwa ya ngono. Nyerere hadi Awamu hii ya Watumishi wa Umma Tano, inayoongozwa na Mhe. nchini kuwa Taasisi ya Aidha, Mhe. Mkuchika Dkt. John Pombe Magufuli Kuzuia na Kupambana na amesema nchi yetu ambaye amejipambanua Rushwa (TAKUKURU) iko imebahatika kuwa na viongozi kwa vitendo kwa kuanzisha kazini na ina utayari wa wenye utashi wa kupambana Mahakama ya Mafisadi kumshughulikia mtumishi
Details
-
File Typepdf
-
Upload Time-
-
Content LanguagesEnglish
-
Upload UserAnonymous/Not logged-in
-
File Pages25 Page
-
File Size-