Ya Matokeo Ya Mtihani Wa Kumaliza Elimu Ya Msingi (Psle) 2017 Na Uchaguzi Wa Wanafunzi Watakaoingia Kidato Cha Kwanza Januari, 2018 Mkoa Wa Arusha
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
YA MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) 2017 NA UCHAGUZI WA WANAFUNZI WATAKAOINGIA KIDATO CHA KWANZA JANUARI, 2018 MKOA WA ARUSHA 1.0:UTANGULIZI Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2017 ulifanyika nchini kote tarehe 06 na 07, Septemba. Masomo yaliyotahiniwa ni; Kiswhili, English, Maarifa ya Jamii, Hisabati na Sayansi. Shule za Msingi zilizofanya Mtihani katika Mkoa wa Arusha ni 646 Kati ya shule hizo, shule za mfumo wa Kiingereza ni 139 na za mfumo wa Kiswahili ni 507. Watahiniwa waliosajiliwa ni 38,560 ambapo wavulana ni 18,693 na wasichana 19,867. Kati yao wanafunzi wenye ulemavu na mahitaji maalumu ni wavulana 34 na wasichana 23 jumla yao ni 57. 2.0 ; MAHUDHURIO YA WATAHINIWA Mahudhurio ya watahiniwa waliosajiliwa kufanya mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2017 ikilinganishwa na mwaka 2016 ni kama ilivyoanishwa katika jedwali Na.1 Jedwali Na. 1: Waliosajiliwa na kufanya Mtihani. MWAK JINSI WALIOSAJILIW WALIOFANY WASIOFANY % A A A A 2016 WAV 16,474 16,422 52 99.6 WAS 18,454 18,360 94 99.4 JUML 99. A 34,928 34,782 146 7 2017 WAV 18,693 18,562 131 99.5 1 WAS 19,867 19,744 123 99.4 JUML 99. A 38,560 38,306 254 4 Jedwali linaonesha kuwa kuna ongezeko la wanafunzi 3,500 waliosajiliwa na kufanya mtihani mwaka 2017 ikilinganishwa na wale waliosajiliwa na kufanya mtihani huo mwaka 2016. Ongezeko hili limetokana na kuongezeka kwa idadi ya shule. 2.1 Wanafunzi Walioandikishwa Darasa la kwanza na kumaliza Elimu ya Msingi. Eneo linalostahili kupewa umuhimu wa kipekee na Halmashauri zote na Mkoa kwa ujumla hasa kwenye Halmashauri za wafugaji ni idadi kubwa ya wanafunzi wanaoshindwa kukamilisha kipindi chao cha miaka saba shuleni baada ya kuandikishwa kuanza darasa la I. (Completion rate). Mfano kwa kipindi cha miaka 3 mfululizo takwimu za idadi ya wanafunzi walioanza darasa la kwanza ikilinganishwa na waliofanikiwa kumaliza darasa la saba kimkoa ni kama ifuatavyo: Jedwali Na.2. Walioandikishwa na waliomaliza Elimu ya Msingi. WALIOFANYA COMPLETIO MWAK WALIOANDIKISHW MWAK MTIHANI (PSLE) N RATE A A DRS I A WAV WAS JML WAV WAS JML 2009 20554 20564 41,11 2015 15868 18030 33,89 82% 8 8 2010 21474 21411 42,88 2016 16,42 18,36 34,78 81% 5 2 0 2 2011 22980 22703 45,68 2017 18,56 19,74 38,30 84% 3 2 4 6 2 Kwa takwimu hizi ni wazi kwamba kila Halmashauri ina wajibu wa kuhakikisha suala la utoro linadhibitiwa kwa kujiwekea mikakati endelevu na inayotekelezeka ili wastani wa 18% ya wanafunzi walioandikishwa shule waweze kukamilisha mzunguko wa elimu wa HALMASHA WALIOANZA DARASA LA WALIOSAJILIWA PSLE WALIOFANYA MTIHANI WASIOFANYA % URI KWANZA 2011 2017 2017 MTIHANI 2017 WAV WAS JML WAV WAS JML WAV WAS JML WA WAS JML V ARUSHA 22 23 45 99.4 DC 4479 4759 9238 3558 4118 7676 3537 4094 7631 ARUSHA 16 16 32 99.7 JIJI 5285 5384 10669 5173 5432 10605 5161 5417 10578 KARATU 3055 3223 6278 2468 2832 5300 2441 2814 5255 26 16 42 98.7 LONGIDO 1377 1162 2539 940 823 1763 931 819 1750 9 4 13 97.0 MERU 3858 4000 7858 3496 3803 7299 3463 3765 7228 35 36 71 99.0 MONDULI 2252 2123 4375 1510 1561 3071 1506 1546 3052 4 15 19 99.3 NGORONG 26 10 36 98.7 ORO 2674 2052 4726 1548 1298 2846 1523 1289 2812 JUMLA 22980 22703 45683 18693 19867 38560 18562 19744 38306 138 120 258 99.3 miakasaba. Aidha mchanganuo kwa kila Halmashauri kwa walioanza darasa la kwanza mwaka 2011 na kuhitimu Elimu ya Msingi mwaka 2017 imechanganuliwa kwenye Jedwali Na; 3: Walioandikishwa na kufanya Mtihani Kihalmashauri 3.0: MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) 2017 3.1: Ufaulu kwa Ujumla; Ufaulu wa jumla wa watahiniwa waliofanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya msingi (PSLE) 2017 ikilinganishwa na mwaka 2016 ni kama ilivyoainishwa katika jedwali namba 4: 3 Jedwali Na. 4: Ufaulu kwa Madaraja: JUMLA YA WALIOFAULU WENYE MWAKA JINSI WALIOFANYA (GREDI A-C) % (GREDI D- % NAMBA % E) 2016 WAV 16,422 99.7 12,583 77.58 3,839 22.42 WAS 18,360 99.9 14,401 3,959 JML 34,782 99.7 26,984 7,798 2017 WAV 18,562 99.3 14,215 77.34 4,346 22.66 WAS 19,744 99.4 15,409 4,336 JML 38,306 99.4 29,624 8,682 Idadi ya watahiniwa waliofaulu Mtihani huo kwa kupata daraja A hadi C (alama 250 – 100) ni 29,624 (Wav 14,215 na was 15,409) sawa na silimia 77.34 ya watahiniwa waliofanya Mtihani. Watahiniwa 8,682 (wav 4,346 na was 4,336) sawa na asilimia 22.66 ya wanafunzi waliofanya mtihani wamepata daraja D hadi E- alama kati ya 99 – 0, hivyo kukosa sifa ya kuchaguliwa kujiunga na masomo kidato cha kwanza mwaka, 2018 katika Shule za Serikali. Ufaulu wa mwaka 2017 umepungua kwa 0.24% ikilinganishwa na ufaulu wa mwaka 2016 ambapo ulikuwa 77.58%. Hata hivyo kuna ongezeko kwenye wastani wa alama za ufaulu ikilinganishwa na mwaka jana. Mwaka 2016 wastani wa alama za ufaulu ulikuwa ni 127.68 lakini mwaka huu wa 2017 wastani wa ufaulu umepanda na kufikia alama 128.25. Aidha, asilimia ya ufaulu wa wanafunzi kwa miaka mitano mfululizo kuanzia mwaka 2013 ni kama inavyofafanuliwa kwenye kielelezo mhimili kifuatacho. 4 Asilimia ya ufaulu kwa kila Halmashauri kwa miaka mitatu mfululizo imeainishwa kwenye Jedwali namba 4 hapa chini. Jedwali Na. 5: Ufaulu kwa Halmashauri NA HALMASHAURI ASILIMIA YA UFAULU ONGEZ KUSHUKA % 2015 2016 2017 EKO % 1 ARUSHA 90.05 86.36 71.88 - 14.48 2 ARUSHA JIJI 92.71 92.46 92.52 - 0.06 3 KARATU 65.00 65,34 69.25 3.94 - 4 LONGIDO 68.76 56.36 74.00 17.64 - 5 MERU 67.52 65.46 75.00 9.54 - 6 MONDULI 70.61 71.72 69.86 - 1.86 7 NGORONGORO 73.45 67.41 69.29 - 1.88 MKOA 79.67 77.58 77.34 - 0.24 5 3.2: Ufaulu Kimadaraja; Ufaulu wa wanafunzi katika madaraja ya A-C umeongezeka kutoka wanafunzi 26,984 mwaka 2016 hadi wanafunzi 29,624 mwaka 2017. Halmashauri iliyoongoza kwa kuwa na wanafunzi waliopata daraja “A” ni Arusha Jiji kwa kuwa na watahiniwa 880 (8.37%). Halmashauri iliyo na watahiniwa wachache waliopata daraja ‘A” ni Longido kwa idadi ya watahiniwa 32. Aidha, Halmashauri iliyoongoza kwa kuwa na watahiniwa waliopata daraja “E” ambalo ni la mwisho kwa ufaulu ni Karatu kwa kuwa na wanafunzi 166 na Halmashauri yenye wanafunzi wachache waliopata daraja “ E” ni Arusha Jiji yenye wanafunzi 17 waliopata daraja “ E” 6 Jedwali Na.6 (a) Madaraja ya Ufaulu; A B C D E H/ W WAV WAS JML WAV WAS JML WAV WAS JML WAV WAS JML WAV WAS JML ARUSHA 137 104 241 633 650 1283 1741 2220 3961 960 1067 2027 65 54 119 ARUSHA (J) 481 399 880 1797 1896 3693 2468 2746 5214 402 372 774 13 4 17 KARATU 63 42 105 538 524 1062 1060 1412 2472 665 785 1450 115 51 166 LONGIDO 17 15 32 324 298 622 337 305 642 191 162 353 62 39 101 MERU 118 90 208 533 568 1101 1873 2239 4112 889 842 1731 50 26 76 MONDULI 26 9 35 161 130 291 900 906 1806 386 471 857 33 30 63 NGORONGORO 26 25 51 445 344 789 537 487 1024 412 374 786 103 59 162 JUMLA 868 684 1552 4431 4410 8841 8916 10315 19231 3905 4073 7978 441 263 704 7 3.3. Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum. Katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2017, jumla ya wanafunzi 57 waliosajiliwa na kufanya mtihani, walikuwa ni wanafunzi wenye mahitaji maalumu. Wanafunzi hao walikuwa ni; ulemavu wa Viungo (29), Ukiziwi (13), uoni hafifu (Albino) (13), na Wasioona (2). Kati ya waliofanya mtihani, waliofaulu ni 33. Wanafunzi wote waliofaulu wamepangiwa kwenda kwenye shule za bweni zenye miundombinu inayowawezesha kusoma bila ya kuathiriwa na changamoto za ulemavu walionao. Jedwali Na.6: (b) Wanafunzi wenye Ulemavu S/N H/W WALIOSAJILIWA WALIOFANYA WALIOFAULU % WAV WAS JML WAV WAS JML WAV WAS JML 1 ARUSHA DC 4 3 7 4 3 7 2 0 2 28 2 ARUSHA JIJI 11 9 20 11 9 20 9 10 19 95 3 KARATU 2 24 2 24 1 0125 4 LONGIDO 2 0 2 2 0 2 2 0 2 100 5 MERU 4 8 12 4 8 12 2 4 6 50 6 MONDULI 3 0 3 3 0 3 0 0 0 0 7 NGORONGORO 8 1 9 8 1 9 3 0 3 33 JUMLA 34 23 57 34 23 57 19 14 33 58 3.4. Nafasi za Halmashauri na Mkoa Kitaifa; Nafasi za Halmashauri na Mkoa kitaifa inaonesha kwamba Mkoa umepanda kwa nafasi moja ikilinganishwa na matokeo ya mwaka 2016. Hata hivyo zipo Halmashuri zilizopanda na zilizoshuka kama ilivyoainishwa kwenye jedwali namba saba hapa chini. 8 Jedwali na. 7: Nafasi ya Mkoa na Halmashauri Kitaifa; S/N NAFASI NAFASI KITAIFA NAFASI NAFASI KWA MWAKA MWAKA ZA ZA MKOA 2016 2017 KUPANDA KUSHUKA HALMASHAURI 2017 LGA 184 LGA 184 1 ARUSHA DC 4 18 91 - 73 2 ARUSHA JIJI 1 3 3 - - 3 KARATU 6 120 112 8 - 4 LONGIDO 3 159 77 82 - 5 MERU 2 119 72 47 - 6 MONDULI 5 87 106 - 19 7 NGORONGORO 7 108 132 - 24 MKOA 8/26 7/26 1 - 3.5: WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI Matokeo ya mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2017 yameonyesha kuwa, mwanafunzi wa kwanza kwa wavulana na wasichana ni Mvulana ambaye ametoka Halmashauri ya Jiji la Arusha katika Shule ya Msingi UHURU PEAK.