Melody Mwaka Huu Zanzibar Huenda Ikawa Mbaya Zaidi Kauli Ya Waziri Mathias Chikawe… Bundi Kalia Juu Ya Nyumba Mchana
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
Sauti ya Waislamu Tamko la Masheikh kuhusu Mahakama ya Kadhi ISSN 0856 - 3861 Na. 1163 RABIUL THANI 1436, IJUMAA , FEBRUARI 6 - 12, 2015 BEI TShs 500/=, Kshs 50/= Uk.16 Mkurugenzi TAMPRO afunguliwa kesi ya ugaidi Asimamishwa kizimbani na mkewe Ombi la dhamana kwa mkewe lakwama Watuhumiwa walalamika kukosa hewa Melody mwaka huu Zanzibar huenda ikawa mbaya zaidi Kauli ya Waziri Mathias Chikawe… Bundi kalia juu ya nyumba mchana Picha Juu, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TAMPRO, Ustadhi Haruna Mussa Lugeye. Chini Waziri wa Mambo ya Ndani, Mheshimiwa Mathias mkewe Bi. Mwajumbe Wendu Chikawe. Soma Uk. 10. Bakari. Kura ya Maoni…. Hatari tupu kwa Zanzibar Vereje wa-Bara wapige kura! Ya nini hadaa na janja yote hii… Kuinyima Zanzibari sauti ya kuamua? Soma Uk. 13 AN-NUUR 2 Tahariri RABIUL THANI 1436, IJUMAA FEBRUARI 6 - 12, 2015 mfuko wako. wanataaluma wa zinazotoa mwanya kwa AN-NUUR Kuna tetesi kwamba ndani ya Jeshi la Polisi askari wetu kudhulumu S.L.P. 55105, Simu: +022 2400786 hata faini za vyombo wenye fani mbalimbali. haki za watu badala ya Cel: 0784 370 208, 0713 110 148, 0755 260 087 , DSM. vya moto barabarani Programu iliidhinishwa kulinda usalama wa www.annuurpapers.co.tz E-mail: [email protected] watu. Ofisi zetu zipo: Manzese Tip Top (Notification) nazo zipo rasmi na Baraza la Usangi House (Jengo dogo), barabara ya Morogoro, D'Salaam halisi na za kughushi. Mawaziri tarehe Tunafahamu kuwa jeshi ni chombo cha dola Lakini hakuna wa 31.03.2012 na kuifanya cha kudhibiti wakorofi, kuchunguza licha ya itambulike rasmi kama wahuni na wahalifu. tetesi hizo kusambaa kila mojawapo ya Programu Tunajua kuwa ni lazima kona. za Maboresho ya Sekta chombo hicho kitumie Jeshi la Polisi lijisafishe Watu wamejeruhiwa ya Umma yanayoendelea nguvu na zana kutekeleza kwa vipigo bila hatia. hapa nchini. wajibu wake wake huo. MALALAMIKO Pamoja na kutolewa Wapo waliopoteza Baadhi ya sababu za Lakini pia tunafahamu kuhusu utendaji taarifa hizo za kitafiti, maisha yao, wapo kufanya maboresho kuwa chombo hiki usioridhisha wa jeshi bado serikali imepiga walioharibiwa mali zao, ndani ya Jeshi la Polisi lazima kitumie letu la polisi yamekuwa kimya. yote hayo ni matokeo ya zilikuwa ni pamoja utaalam, kuzingatia mengi. Raia wa kawaida Baadhi ya kinachodaiwa kuwa ni na kubadilika na sheria na kanuni ndio ambao wamekuwa polisi wamekuwa uozo ndani ya jeshi hilo. kuongezeka kwa aina, katika kukabiliana na wakilalamika zaidi, likilalamikiwa kwa Tunakumbuka mwaka mbinu na idadi ya wahalifu hao. Kwa lakini kwa bahati kubambikia watu 2006 kulikuwa na makosa makubwa ya jinai mfano, hatudhani mtu mbaya, sauti zao hazina kesi, hakuna hatua mpango wa kuboresha nchini hususan mwaka kama Marehemu Daud msikilizaji. zilizodhihirika za Jeshi letu la Polisi uliotwa 2005 na mwanzoni mwa Mwangosi alistahili Viongozi wa vyama kukomesha unyama huo. Programu ya Maboresho 2006 kulikosababisha kupigwa hadi kufa kama vya upinzani na asasi Baadhi ya ya Jeshi la Polisi. kudorora kwa hali ya mhalifu hali ya kuwa za wanaharakati nao askari wamekuwa Ilikuwa ni Programu usalama wa raia na mali mazingira na uhalisia wamekuwa wakipaza wakituhumiwa ya serikali ya kuboresha zao kote nchini. unadhihirisha kuwa sauti zao, kilio kikiwa ni kuhusika katika baadhi utendaji wa Jeshi la Nyingine ilikuwa ni hakuwa mhalifu na kile kile cha utendaji ulio ya vitendo vya kihalifu Polisi chini Wizara kudorora kwa ufanisi hakustahili kipigo. Wala jaa dhulma na ukiukwaji kama ujambazi, bado ya Mambo ya Ndani katika utendaji kazi wa haitukutarajiwa kama wa haki za binadamu wa hatusikii wala kuona ya Nchi, iliyokuwa Jeshi la Polisi kutokana vijana wa Kamanda jeshi hilo. Nao hakuna usafi ukifanyika ndani imegawanywa kwa na kutumia mifumo Suleiman Kova, aliyewasikiliza. ya jeshi hilo. awamu mbili. Awamu ya iliyopitwa na wakati wangegombea fuko Lakini kwa upande Wanasiasa kwanza ilielezwa kuanza wa kuzuia na kudhibiti la fedha zilizokuwa mwingine, jeshi hilo wamelalamika kuwa 2010/2011 hadi 2014/2015 uhalifu, uchache wa zimeibwa katika duka hilo la polisi limekuwa jeshi linatumiwa kisiasa na awamu ya pili askari, ukosefu wa moja huko Kariakoo na utekelezaji mzuri kudhibiti wanasiasa hasa iliahidiwa kutekelezwa mafunzo ya ujuzi, jijini Dar, badala ya wa amri kutoka kwa wa upinzani, hususana kati ya mwaka 2015/2016 uchache wa vitendea kupambana na kuwatia wanasiasa walioshikilia katika kutumia haki hadi 2019/2020. kazi na mazingira duni adabu majambazi dola na hata wenye yao ya msingi ya Programu hiyo ilianza ya ofisi na makazi. waliokuwa wameziiba fedha na ukwasi wa kufanya mikutano baada ya Jeshi la Polisi Kupungua kwa imani fedha hizo na kukimbia mali. Vyombo vya habari au kuandamana kwa kupokea ripoti ya timu ya wanachi kwa Jeshi huku wakitupa fuko mara kadhaa vimekuwa amani, njia mbazo iliyohusisha watalaamu la Polisi kutokana na hilo la fedha. vikiripoti madhila kadha ndizo zilizozoeleka wa ndani na nje ya Jeshi kuongezeka kwa vitendo Kadhalika si sahihi wa kadha yanayofanywa kwa wanasiasa la Polisi iliyofanya utafiti vya uhalifu nchini na kummiminia marungu na jeshi hilo dhidi ya raia kuwafikia watu wao. na kutoa mapendekezo kushuka kwa nidhamu mwandamanaji na wanyonge, wakiwa na Tumeshuhudia mikutano yao kwa uongozi wa na hadhi ya Jeshi la Polisi. aliyekamatwa na matumaini labda serikali ya kisiasa ikipigwa Jeshi la Polisi na Wizara Hata hivyo, kwa kumweka ndani ya inaweza kuguswa na marufuku kwasababu ya Usalama wa Raia. mwenendo wa sasa wa himaya (gari la polisi) kuamua kulisafisha jeshi zinazoitwa za kiusalama, Timu hiyo iliweza jeshi letu hili, hatudhani kasalimu amri, halafu hilo, ili liweze kufanya lakini kimantiki lengo kukusanya maoni toka kama serikali ilitilia polisi wakaendeleza kazi zake kiadilifu na likiwa ni kuzuia nguvu kwa viongozi wa juu wa mkazo utekelezwaji kipigo kwake. Matukio kwa weledi kwa mujibu ya upinzani. Hapa ndipo nchi wakiwemo Marais wa progaramu yake ya namna hii yamekuwa wa sheria bila kuwaonea tulipolifikisha jeshi letu. waliokuwa madaraakni hiyo kuboresha jeshi mengi na hakuna watu. Limegeuka kuwa kama na wastaafu, Rais, hilo na kuzifanyia anayewajibika. Pamoja na kelele za chombo cha kulinda Mawaziri, wanachuoni, kazi changamoto Wananchi wanataka viongozi wa vyama vya maslahi ya watu kisiasa, viongozi wa vyama vya zilizoanishwa hapo juu. ifike tamati ya mazoea siasa na wanaharakati kugeuza vituo vyake siasa na dini, wananchi Ni matumaini yetu yaliyojengeka kwa pamoja na raia ambao kuwa ofisi za kuchuma wa kawaida na wadau kwamba, wabunge miongo kadhaa ya kwa namna moja au fedha chafu kwa njia ya wengine. kwa kutambua shida watu kudhulumu kwa nyingine wameumizwa rushwa, kugeuka pepo Moja ya Mapendekezo wanazopata wananchi, kutumia Crown. na jeshi hilo, bado hakuna ya wenye fedha kununua ilikuwa ni kuanzishwa wataifanyia kazi hoja Watanzania wanahitaji hatua zozote madhubuti haki za wanyonge nk. kwa Programu ya iliyowasilishwa Bungeni jeshi safi lenye maadili, zilizochukuliwa Siku hizi kwa Maboresho ya Jeshi la hivi sasa na Mhe. James linalofuata sheria kuliboresha jeshi letu upande wa walala hoi, Polisi ili kuzifanyia kazi Mbatia, kuhusu utendaji na haki za binadamu likawa la kistaarabu na wakifikishana polisi changamoto mbalimbali usioridhisha wa chombo katika ukekelezaji wa linalofuata sheria na haki kutatuliwa mashauri yao, zilizokuwa zinalikabili hiki kinachoitwa cha majukumu yake. za binadamu. kila upande utalazimika Jeshi la Polisi. usalama wa raia. Si jambo lenye tija wala Takwimu za taasisi kutoa chochote Mwaka 2007 Zitizamwe sheria na la kujivunia kuendelea mbalimbali zimeonyesha ukitegemea kupata iliteuliwa timu ya kanuni zinazosimamia kuwa na jeshi la polisi kuwa jeshi hilo ndio haki. Muhimu si nani kuratibu na kusimamia jeshi hili, ili kuondoa lisiloaminika mbele ya kinara wa rusha nchini. kamkosea mwenzake. Ni maboresho iliyohusisha sheria na kanuni raia wake. AN-NUUR 3 Habari/Tangazo RABIUL THANI 1436, IJUMAA FEBRUARI 6 - 12, 2015 Mkurugenzi TAMPRO afunguliwa kesi ya ugaidi Na Seif Msengakamba Akizungumza za kiusalama kufuatia hakimu anayesikiliza ambayo inahusu watu mahakamani hapo, vurugu zilizotaka kesi hiyo Mh. Janet 23 ilipangwa kutajwa leo WAISLAMU waliduwaa wakili wa upande wa kujitokeza katika eneo Kaluyenda, alimtaka lakini Serikali walisema kwa muda baada ya utetezi Abubakari la magereza wakati dereva huyo kutorudia kupitia kwa DPP, juzi Jumanne wiki hii Salim, alisema kuwa wanajiandaa kuanza tena kitendo hicho na kuwa wameshaamua kumuona Mkurugenzi ameshangazwa na safari ya kuelekea endapo kitajirudia, basi kukata rufaa kwenda wa Fedha na Utawala kitendo hicho kwani mahakani. taarifa itolewe kwa Mahakama ya Rufaa kwa wa TAMPRO, Ustadhi sio cha kiuungwana “Niliamua kufunga mkuu wa magereza ili Haruna Mussa Lugeye, na kuitaka Mahakama vioo baada ya kuona atoe maamuzi, kwani hiyo mara ya mwisho pamoja na mkewe itambue kuwa, dalili ya vurugu, mahakama haihusiki na wametuambia wamesha wakipandishwa watuhumiwa hao ni lakini kabla sijaamua masuala ya magereza. faili hati ya rufaa lakini kizimbani katika kesi binadamu wanaohitaji kufunga niliwatangazia Hakimu Kaluyenda hatukuwa nayo”. nyingine ya ugaidi. hewa. watuhumiwa kuwa aliahirisha kesi hiyo hadi Alisema wakili huyo. Ustadh Lugeye Akithibitisha kutokea nafunga kwasababu ya Februari 16 mwaka huu. Alisema siku ya pamoja na mkewe Bi. kwa tukio hilo, dereva usalama wao na wangu. Naye Wakili waupande kutajwa kesi ndio Mwajumbe Wendu wa gari linalowabeba “Kwa bahati mbaya wa utetezi Abubakari wamepata barua kutoka Bakari, walipandishwa watuhumiwa hao nilisahau kufungua, Salim, alisema kesi zote