Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Bunge La Tanzania
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA MKUTANO WA SABA YATOKANAYO NA KIKAO CHA ISHIRINI 9 MEI, 2017 MKUTANO WA SABA KIKAO CHA ISHIRINI TAREHE 9 MEI, 2017 I. DUA: Saa 3:00 asubuhi Mhe. Najma Murtaza Giga (Mwenyekiti) alisoma Dua kuongoza Kikao cha Bunge. Makatibu Mezani: 1. Ndugu Theonest Ruhilabake 2. Ndugu Charles Mloka 3. Ndugu Neema Msangi II. HATI ZA KUWASILISHA MEZANI 1. Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji aliwasilisha Randama za Madirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018 2. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi aliwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018. 3. Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Rose Cyprian Tweve aliwasilisha Taarifa ya Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 pamoja na maoni ya Kamati kuhusu Bajeti ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2017/2018. 4. Msemaji wa Upinzani kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Masoud Salim Abdallah aliwasilisha Taarifa ya Upinzani kuhusu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi juu ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2017/2018. 1 III. MASWALI OFISI YA RAIS (TAMISEMI) Swali Na. 165: Mhe. Seif Khamis Gulamali (kwa niaba ya Mhe. Selamani Jumanne Zedi) Nyongeza: Mhe. Marwa Ryoba Chacha Mhe. Kangi Alphaxard Lugola WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI Swali Na. 166: Mhe. Joseph Kizito Mhagama Nyongeza: Mhe. Joseph Kizito Mhagama Mhe. Cecil David Mwambe Mhe. Kasuku Samson Bilago Mhe. Venance Methusalah Mwamoto Swali Na. 167: Mhe. Hassan Selemani Kaunje Nyongeza: Mhe. Hassan Selemani Kaunje Mhe. Qambalo Willy Qulwi Mhe. Zakaria Isaya Mhe. Nape Moses Nnauye WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI Swali Na. 168: Mhe. Haji Khatib Kai Nyongeza: Mhe. Dkt. Khalifa Salim Suleiman Swali Na. 169: Mhe. Zainab Nuhu Mwamwindi Nyongeza: Mhe. Zainab Nuhu Mwamwindi Mhe. Juma Selemani Nkamia 2 WIZARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI Swali Na. 170: Mhe. Maria Ndila Kangoye Nyongeza: Mhe. Maria Ndila Kangoye Mhe. Yussuf Salim Hussein Mhe. Abdallah Majula Bulembo Swali Na. 171: Mhe. Dkt. Immaculate Sware Semesi Nyongeza: Mhe. Dkt. Immaculate Sware Semesi WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO Swali Na. 172: Mhe. Bonnah Moses Kaluwa Nyongeza: Mhe. Bonnah Moses Kaluwa Swali Na. 173: Mhe. Balozi Adadi Mohamed Rajab Nyongeza: Mhe. Balozi Adadi Mohamed Rajab Swali Na. 174: Mhe. Latifah Hassan Chande Nyongeza: Mhe. Latifah Hassan Chande Mhe. Seif Khamis Gulamali IV. MATANGAZO: Wageni 1. Wageni 20 wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kutoka Wizara hiyo walitambulishwa. Wageni hao ni:- (i) Meja Jenerali – Projest Rwegasira, Katibu Mkuu (ii) Dkt. Juma Malewa – Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (iii) Ndugu Thobias Andengenye – Kamisha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 3 (iv) Dkt. Anna Makakala – Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo mbalibali vilivyopo chini ya Wizara hiyo. 2. Wageni 3 wa Mhe. Godbless Jonathan Lema ambao ni familia yake na Wanachama wenzake walitambulishwa. (i) Ndugu Neema Lema – Mke wa Mhe. Lema (ii) Ndugu Salim – Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar (iii) Ndugu Haleluya – Katibu wake 3. Wageni wengine waliotembelea Bunge pia walitambulishwa na Bunge. MWONGOZO WA SPIKA (i) Mhe. Mchungaji Peter Simon Msigwa alisimama kuomba mwongozo kuhusu vijana waliopata ajali Arusha kwamba Wabunge hawakupewa nafasi kutoa salamu za rambirambi kwa wafiwa (Wabunge wa Arusha) (ii) Mhe. Godbless Jonathan Lema alisimama kuomba mwongozo kuhusu kuzuiliwa kwa magari yaliyotolewa kutoa msaada katika msiba wa vijana Arusha wa sababu yalikuwa na nembo ya msaada iliyotolewa na Mbunge. V. HOJA ZA SERIKALI Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018. (i) Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi aliwasilisha Hotuba ya Wizara hiyo kuhusu Bajeti yake kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018. 4 (ii) Mwenyekitia wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama alitoa maoni ya Kamati hiyo kuhusu Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ya 2017/2018. (iii) Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni (Mhe. Godbless Lema) aliwasilisha maoni ya Kambi ya Upinznai kuhusu Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018. Waheshimiwa Wabunge waliendelea kuchangia kama ifuatavyo:- 1. Mhe. Ibrahim H. Raza - CCM 2. Mhe. Khamis Mtumwa Ali - CCM (iv) TANGAZO Mwenyekiti alitambua uwepo wa Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Mwingira na Wasaidizi wake 9 waliokuwepo katika gallery ya Spika. (v) KUAHIRISHA BUNGE Saa 7:00 Mchana Bunge lilisitishwa mpaka saa 11:00 jioni. (vi) BUNGE KUREJEA Saa 11:00 jioni Bunge lilirejea na Waheshimiwa Wabunge waliendelea na uchangiaji kama ifuatavyo:- 3. Mhe. Kangi Alphaxard Lugola - CCM 4. Mhe. Peter Ambrose Lijualikali - CHADEMA 5. Mhe. Katani Ahmed Katani - CUF 6. Mhe. Khatib Said Haji - CUF 7. Mhe. Jaku Ayubu Hashim - CCM 8. Mhe. Fakharia Shomar Khamis - CCM 9. Mhe. Capt. George Huruma Mkuchika - CCM 10. Mhe. Pauline Philipo Gekul - CHADEMA 11. Mhe. Ussi alum Pondeza - CCM 12. Mhe. Mwantakaje Haji Juma - CCM 5 13. Mhe. Khadija Hassan Aboud - CCM 14. Mhe. King Ali Hassan Omar - CCM 15. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi 16. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (vii) KAMATI YA MATUMIZI MATUMIZI YA KAWAIDA FUNGU 51 Mshahara wa Waziri 1. Mhe. Abdallah Bulembo - CCM 2. Mhe. George Malima Lubeleje - CCM 3. Mhe. Peter Joseph Serukamba - CCM 4. Mhe. Masoud Abdallah Salim - CUF 5. Mhe. Peter Simon Msigwa - CHADEMA 6. Mhe. Cecilia Daniel Paresso - CHADEMA 7. Mhe. Saada Salum Mkuya - CCM 8. Mhe. Raphael Masunga Chegeni - CCM 9. Mhe. Adadi Mohamed Rajab - CCM 10. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi 11. Mhe. Peter Serukamba alikubaliana na majibu wa Waziri Mhe. Mwigulu Nchemba. 12. Mhe. Godbless Jonathan Lema - CHADEMA 13. Mhe. Hamidu Hassan Bobali - CUF 14. Mhe. Halima James Mdee - CHADEMA 15. Mhe. Eng. Stella Martin Manyanya - Naibu Waziri wa Elimu 16. Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi - Waziri wa Katiba na Sheria 17. Mhe. George Mcheche Masaju - AG 18. Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba - Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi 19. Mhe. Saleh Ally Saleh 20. Mhe. Zitto Zuberi Kabwe 21. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani 6 Kamati iliingia kwenye Guillotine. Bunge lilipitisha Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka 2017/2018 katika Kamati ya Matumizi. X. BUNGE LILIRUDIA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi alitoa hoja Bunge lipitishe Bajeti ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2017/2018. Hoja iliamuliwa na kuafikiwa na Bajeti hiyo ilipitishwa na Bunge. XI. KUAHIRISHA BUNGE Saa 2:15 usiku Bunge liliahirishwa mpaka siku ya Jumatano tarehe 10 Mei, 2017 saa 3:00 asubuhi. 7 .