Umoja - Jarida Tanzania
Total Page:16
File Type:pdf, Size:1020Kb
UMOJA - JARIDA TANZANIA MKUTANO WA NAIROBI ULIOKUTANISHA Toleo la 87 WAJUMBE KUTOKA DUNIANI KOTE! Novemba - Decemba 2019 VIDOKEZO • Juhudi za kulinda vyanzo vya maji katika Mkoa wa Kigoma • Sauti za watoto na vijana zasikika baada ya watu wenye ushawishi kuahidi kusaidia haki zao katika Siku ya Watoto Duniani • Siku ya Kimataifa ya Wanaojitolea (IVD) • Jamii zaleta mabadiliko Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Msichana Initiative, Rebeca Gyumi, katika kumaliza UKIMWI akipokea Tuzo ya UNFPA ya kutambua kujitolea kwake katika kupigania haki na fursa ya kuchagua kwa Watanzania wote. Picha| UNFPA Tanzania wezi Novemba, zaidi ya la Idadi ya Watu (UNFPA) ajili ya Programu ya Utend- Mwajumbe 8,000 kutoka pamoja na serikali za Kenya na aji (PoA) ya Kongamano la katika zaidi ya mataifa 170 Denmark ambapo wote hawa Kimataifa la Idadi ya Watu na walishiriki katika Mkutano waliunganishwa na ajenda ya Maendeleo (ICPD). Programu Mkuu wa ICPD25 wa Nai- pamoja: kuimarisha juhudi ili hiyo ya Utendaji, ambao ni robi mkutano ulioitishwa na kuongeza kasi ya utekelezaji chapisho la kipekee Shirika la Umoja wa Mataifa na upatikanaji wa fedha kwa Inaendelea Ukurasa wa pili (2) Kauli ya Serikali “Kuwepo kwa Ukatili wa Kijinsia (GBV) kunaathiri sana ukuaji wa uchumi wa nchi yetu kuelekea uchumi wa kipato cha ngazi ya kati kupitia maendeleo ya viwanda kwa sababu juhudi zote zinaelekezwa katika kupambana na uovu huo. Serikali ya awamu ya 5 haitavumilia vitendo vya aina hiyo kwani vinaathiri moja kwa moja maendeleo ya nchi.” Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akihutubia wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya GBV jijini Dodoma, Novemba 26, 2019. Kutoka ukurasa wa Kwanza (1) doa kabisa vikwazo katika uongozi wake katika kupi- linalotokana na ICPD ya Cairo kupata huduma za kuzuia gania haki na uchaguzi na ya Mwaka 1994, ilitoa wito mimba na matunzo ya afya kutetea mazingira salama wa kupatikana kwa haki za ya uzazi; kuondoa kabisa vifo shuleni na upatikanaji wa wanawake na wasichana za vinavyozuilika kwa sababu elimu bora nchini Tanzania, afya ya uzazi kwa kupewa ya ujauzito na kujifungua; Rebeca Gyumi, mwanzilishi kipaumbele katika juhudi za na kutovumilia hata kidogo na mkurugenzi mtendaji wa maendeleo za kitaifa na ulim- vitendo vya ukatili, unyanyas- Msichana Initiative, alipokea wenguni kote kama sharti la aji na mateso kwa msingi wa tuzo kutoka UNFPA. kuleta maendeleo endelevu, jinsia. yenye usawa na yaliyo jumui- Mkutano huo Mkuu wa Nar- shi. Wajumbe kutoka Serikali iobi ulipokea ahadi zipatazo ya Tanzania waliungana na 1,250 kutoka kote duniani, Licha ya kupigwa hatua jumuiya ya kimataifa jijini ikiwemo ahadi ya mabilioni kubwa katika miaka 25 tangu Nairobi na kurudia kutoa ya dola kutoka kwa washirika Kongamano la ICPD la Cairo ahadi za kuongeza kasi ya wa sekta za umma na binafsi, ambalo lilitoa matunda kwa utekelezwaji wa ICDP, wakia- na kuweka mipango kamili ya kuimarisha afya na maisha hidi kuongeza bajeti ya afya baadaye ya uchukuaji hatua bora kwa mamilioni wasio- nchini hadi kufikia asilimia 15 ili kuendeleza ajenda ya ICPD hesabika ahadi zilizotolewa na kuongeza juhudi za kuzuia na kuleta mageuzi duniani zinabaki kuwa ndoto ya vifo vya akina mama kwa katika muongo ujao kwa mbali kwa wengi, wakiwemo kuimarisha utoaji huduma kukomesha kabisa vifo vyote wanawake na wasichana wa za dharura wakati wa uzazi vya akina mama, kutimiza Tanzania, hadi pale ahadi hizo pingamizi na huduma kwa mahitaji ya uzazi wa mpango, zitakapotimizwa, vinginevyo watoto wachanga. Vilevile, na kukomesha vitendo vya kufikia Malengo ya Maende- Serikali iliweka ahadi ya ukatili kwa msingi wa jinsia leo Endelevu mnamo mwaka kuongeza upatikanaji wa na mila na taratibu nyingine 2030 itakuwa jambo gumu, huduma kamili, zinazoen- potofu ili kwamba kila mwan- au hata lisiwezekane kabisa. dana na umri za ngono na amke na msichana, bila kujali afya ya uzazi na utoaji taar- anaishi wapi, apate haki za Majadiliano yote katika ifa zinazofaa kwa wananchi kweli na kufanya uchaguzi kongamano hilo yalilenga ambao wengi wao ni vijana. wa masuala anayotaka katika numerali moja Sifuri (zero). Kwa namna ya pekee, ili maisha yake. Hii maana yake ni kuon- kutambua mchango na MFUKO WA UENDELEZAJI MITAJI WA UN WAONYESHA NJIA YA MAENDELEO YA KIFEDHA KATIKA SERIKALI ZA MITAA wezi Novemba, Mfuko umuhimu wa modeli za Mgeni rasmi katika tukio hilo Mwa Umoja wa Mataifa ubunifu katika fedha, ushirika alikuwa Bw. Gerald Mweli, wa Maendeleo ya Mitaji na ushirikiano ili kufikia Makamu Katibu Mkuu, Ofisi (UNCDF) ulionyesha matokeo Malengo ya Maendeleo ya Rais Tawala za Mikoa na ya Mfuko wa Maendeleo Endelevu (SDGs) kwa uwiano Serikali za Mitaa; Bw. Michael (LDF) wa nchini Tanzania na sahihi. Dunford, Kaimu Mratibu nchi nyinginezo, ukikazia Mkazi wa Umoja wa Mataifa Inaendelea Ukurasa wa Tatu (3) This newsletter is published by the UN Communication Group in Tanzania. To subscribe and provide feedback, 2 please contact us at: [email protected] | Website: www.tanzania.un.org | Tel: (+255) 22-219-5021 Kutoka ukurasa wa Pili (2) sha kuanzishwa kwa Kituo mashauri.” na Mwakilishi wa Nchi wa cha Ukusanyaji cha Mvugwe, Mpango wa Chakula Duniani; ushirika kati ya Halmashauri Bw. Peter Malika, ambaye ni na Bw. Peter Malika, Mkuu ya Wilaya ya Kasulu, Ubal- Mkuu wa UNCDF Tanzania, wa UNCDF Tanzania. Wawak- ozi wa Norway na UNCDF. aliongeza kwamba Mfuko wa ilishi wa serikali za Jamhuri Katika kituo hicho, njia ya LDF LDF wa UNCDF umesaidia ya Muungano wa Tanzania, inaunganisha mtaji wa kuan- kuanzisha na kugharimia Nepal, Uganda, Bangladesh, zia na msaada wa kiufundi ili miradi 21 inayoingiza kipato Gambia, Guinea, na Leso- kujenga mfumo wa biashara kwa kuwekeza takribani Dola tho, kutoka sekta za umma na kuweka miundo sahihi ya za Marekani milioni 20 katika na binafsi, ofisi za kiba- kiutawala ambayo itahakik- sekta ya umma na ile ya bin- lozi, mashirika ya Umoja wa isha kwamba kunakuwa na afsi. Aliipongeza serikali, Mataifa, na wengineo wal- uendelevu katika masuala ya Familia ya Umoja wa Mataifa ishiriki. uendeshaji na fedha tofauti na washirika wa maendeleo na msaada wa UNCDF. kwa msaada wao endelevu Washirika, wadau na vyombo na ushirika katika kufikiwa vya habari walipata ushuhuda Akizungumza katika tukio kwa malengo ya maendeleo wa moja kwa moja kuhusu hilo, Bw. Mweli alisema: “Seri- ya kiuchumi ya halmashauri, maendeleo ambayo UNCDF kali ya Tanzania inashukuru akisisitiza kwamba: “lengo imekuwa ikiyafanya katika sana kwa juhudi za UNCDF za kuu la ushirikiano wetu huu kujenga uwezo mahalia wa kusaidia halmashauri kuanzi- ni kuona kuna mabadiliko utekelezaji wa SDGs kupi- sha miradi inayoingiza kipato chanya katika maisha ya watu tia programu za maendeleo na hivyo kuimarisha mapato na jamii”. nchini Tanzania na katika nchi na kukidhi mahitaji ya kimae- nyingine. Vidokezo vilijumui- ndeleo katika ngazi ya hal- Bw. Abraham Byamungu, Ofisa Mwandamizi wa Uwekezaji wa UNCDF, akitoa maelezo ya jumla kuhusu matokeo ya miradi ya UNCDF kwa Bi. Leyla Cuevas Lopez, ambaye ni Mshauri wa Idara ya Uchambuzi wa Uwekezaji wa Umma na Binafsi anayetoka Makao Makuu ya UNCDF jijini New York. Picha | UNCDF Tanzania This newsletter is published by the UN Communication Group in Tanzania. To subscribe and provide feedback, please contact us at: [email protected] | Website: www.tanzania.un.org | Tel: (+255) 22-219-5021 3 UNDP YAREJEA AHADI YA KUSHIRIKINA NA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ya Maendeleo ya Zanzibar ambao ni mpango wa muda mrefu na ile mikakati ya maendeleo ya muda wa kati, na kutambua maendeleo yali- yopatikana kama matokeo ya ushirika imara kati ya serikali na washirika wa maende- leo. Msaada wa UNDP kwa SMZ ni hasa katika maeneo ya Utawala wa Kidemokrasi, Ukuaji Jumuishi, Mabadiliko ya Tabia ya Nchi na Nishati, Mazingira na Rasilimali za Asili. Bi. Christine Musisi, Mwakilishi Mkazi wa UNDP (kushoto), akikabidhi Ripoti ya Tanzania ya Tathamini ya Hiyari ya Taifa kuhusu Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu kwa Mh. Ali Mohamed Shein, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Vilevile, UNDP inasaidia ute- Zanzibar. Picha| Ikulu Zanzibar kelezaji wa miradi iliyo chini ya Programu ya Misaada Kizazi kijacho cha kazi za kwa wastani wa asilimia 6.6 Midogo (SGP), ambayo hutoa maendeleo hakina budi katika miaka minne iliyopita “ misaada katika jamii, ziki- kuunganishwa na jinsi watu na pia kwa kuwezesha upa- wemo asasi za kijamii katika wanavyojenga maisha yao tikanaji wa huduma bora za eneo linalohusika na vikundi kwa namna wanayotaka; na jamii kwa usawa, hasa elimu, vingine kama hivyo visivyo Umoja wa Mataifa hauna budi afya, maji, usafi wa mazingira vya kiserikali. Wakati wa kuendelea kujenga ushirika na kinga ya jamii. Vilevile, Bi. ziara yake, Bi. Musisi aliweza na serikali, washirika wa mae- Musisi alitambua mafani- kuwatembelea washirika, ndeleo na wadau wengine kio makubwa yaliyopatikana wakiwemo Mradi wa Ufugaji ili kuhakikisha kwamba njia katika kupunguza vifo vya Samaki huko katika Mbuga inayofuatwa ni ile inayolenga watoto na watoto wachanga, ya Taifa ya Jozani-Chwaka na maendeleo ya watu kwanza,” kudhibiti kuenea kwa VVU, na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa aliasa Bi. Christine Musisi, kuhamasisha usawa wa jin- Serikali. ambaye ni Mwakilishi Mkazi sia na uwezeshaji wanawake wa UNDP nchini Tanzania, huko Zanzibar. Lengo ni kutambua fursa na wakati wa mkutano wake changamoto zilizopo katika hivi karibuni na Mh. Dkt. Ali Bi. Musisi alirejea kuzung- maendeleo ya kijamii na kiu- Mohamed Shein, Rais wa Zan- umzia nafasi ya UNDP katika chumi ya Zanzibar, ikiwemo zibar. kuisaidia Serikali ya Mapin- msaada wa kiufundi na duzi Zanzibar (SMZ) ili kufikia kifedha kwa ajili ya uandaaji Wakati wa ziara yake, Bi. mipango yake ya maendeleo wa Dira ya Maendeleo ya Zan- Musisi aliipongeza serikali na kuimarisha ubora wa mai- zibar ya 2050. kwa kudumisha viwango vya sha ya watu kama inavyo- juu vya ukuaji wa uchumi elezwa katika Dira ya 2020 This newsletter is published by the UN Communication Group in Tanzania.